SHEK MZIWANDA AWAAMBIA POLISI KUNA MAHALA HAPATAKIWI NGUVU CHUNGENI DAMU ZA WATU MAANDAMANO NI FITNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @kabeyajeff2948
    @kabeyajeff2948 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naam maalim Muharram Mziwanda ALLAH akupe radhi zake kama alivowaridhia arrasikhuna fiyl ilmu waliotutangulia

  • @habibushabani2890
    @habibushabani2890 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tunajivunia sana Sheikh Mziwanda Wallahi

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 2 หลายเดือนก่อน

      Mziwanda mpiga makelele tu dini ataka siasa ataka njaa tu

    • @habibushabani2890
      @habibushabani2890 2 หลายเดือนก่อน

      @@nassoraliy3871 hayo uyasemayo ya kweli? aliyekwambia siasa haipo kwenye uislamu ni nani? halafu mbona hapo hamna kilichozungumzwa juu ya siasa zaidi ya kusisitiza amani ndugu.

  • @AmiriMtei
    @AmiriMtei 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akulinde sheh wetu mzinda unafichua mambo mazito tuna kuelewa sana .

  • @SalmaHaidar-s5o
    @SalmaHaidar-s5o 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @NassirSaid-d7i
    @NassirSaid-d7i 2 หลายเดือนก่อน

    Maashallah apa points tupu

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 2 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda siasa wataka dini wataka hufahamiki wala hujui nafasi yako

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 2 หลายเดือนก่อน

    Mb zangu hapa zinaliwa kihalali Safi

  • @maase2023
    @maase2023 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi jamani vita yote ya kupiga israel inatekelezwa na mashia tu je ss masunni tupo wapi?? Au tukubali kuwa mashia ndio wanaume wa kweli na wanatetea wenzetu hapo mashariki ya kati! Ss masunni ni hodari wa mdomo na kubeza tu! Naomba tuwekani wazi

  • @maase2023
    @maase2023 2 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda unaona hao mashia unaokashifu siku zote eti sio waislam wanavopambana na israel huko? Mashia wanaonyesha hisia kali kutetea waislam wa gaza na lebanon wanavoonewa je masunii tupo wapi??? Au kazi yetu masunni ni kubeza tu na kukejeli? Hata kukemea mauaji ya israel mnashindwa??? Aibu kwa masunni

  • @maase2023
    @maase2023 2 หลายเดือนก่อน

    Maustaaz mmegeuka wanasiasa sasa??????(

    • @alisaid3074
      @alisaid3074 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani kukaa kimya huwezi mpaka uoneshe udhaifu wako

    • @NgamelaYussuph
      @NgamelaYussuph 2 หลายเดือนก่อน

      Wakati Wanapambana Na Uhuru Walikua Wakina nana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      WALE WACHINGAJI WANAOMZOMEA RAISI NI KINA NANI?!

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 2 หลายเดือนก่อน

      Wanasiasa kivp mbona makanisani yanazungumwa zaidi au kwasababu ni uislamu? Hiii dini ni yamungu hamuiwezi hiii

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 2 หลายเดือนก่อน

      Mziwanda siasa wataka dini wataka hufahamiki wala hujui nafasi yako