Allah akuhifadhi shekhe Mselemu Ally,Hakika umejaaliwa elimu ya Tafsiri na Allah,Allah akupe kheri zote anazozijua yeye na akuepushe na Shari zote azijuazo yeye ALLAH, inshaa-allah
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
Kila Sheikh anapotoa mawaidha yenye suratul fatiha akatanguliza bis'millahi Rahman Rahim ambayo wengine baadhi wanasema alhamdu lilahi rabul alamiyna ndiyo ayya ya kwanza na hiyi hadith wanapoisoma huanzia Kwa alhamdu Kwa hivyo Kwa vile mahaba yangu ni makubwa Kwa neno bis'millahi Rahman Rahim na anayeitumia kiukweli ninampenda na huwa mawaidha yake yote Mimi nikipenzi yake

Jazaakallah Khairan Sheikh!
Allah akupe baraka ya umri na akuhifadhi Duniani na Akhera akukidhie haha zako.
ALLAH atufanyie wepesi ktk swala zetu ziwe zenye mazingatio.. amiina 🤲
Yaa ALLAH naomba utupe umakinifu kwenye ibada zetu Yaa rabil aalamiyn
Allah akuzidishie umri mrefu tuendelee kuelimika kupitia kinywa chako cha maneno matamu inshallah.
Shukran jazila
MashaALLAH.
Allah bless you
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
Pole sana mtihan gn
@@user-jj8vq5qr9f shukuran yaa shekhe alhamndullilah rabil aalamiyn namshukuru ALLAH amenitatuliya Mitihani tu ya kidunia ya kudhulumiwa
Shukran sana sheikh
Shukrani jazila
Shukran shekhe msellem
Shukrani yarabi
Shukran ya sheikh.
Masha****Allah
MANSHAALLAH tabaraka RAHMAN umengara na nuru ya ibada kweli
Allah atupe umakinifu kwa swala zetu yarabil
Maashaallah shekhe wetu shukurani
Shukran Allah akulipe kheri
Asant shekh wangu
Asant wangu