Sahihi mziwanda hakika allah ana kila njia ya kumpatia mja wake ujumbe na elim asispo zinduka huyo kiumbe kuna sku allah atamuumbuwa eety kisa kaoa mtoto wa muf.....basi kamaliza angeoa mtoto wa Muhammad s.a.w ingekuwaje massage sent hahhaàa Asante mungu
Mkitoka apo kaeni kikao cha kujadili jinsi ya kukarabati shule kongwe ya Alharamain kwani ipo chini yenu na ina mazingira mabaya, isitoshe IPO katkati ya jiji la kibiashara.
Mziwanda anapenda sana mipasho mipasho mawaidha yake asilimia 99.9999 ni mipasho tuu. Hapo mamwinyi wamekutana wanapiga zoga Mashekh wanayoipenda dunia kuliko akhera aiseee waislam tatizo letu kubwa ni uongozi na elimu ya dunia hapo wote hao waliyokaa high table la saba watupu hilo ni tatizo jamani dunia imebadilika hii mbona waislam wenye elimu zote mbili tunao wengi sanaa tuachane na hawa mamwinyi
@@SirajuChilindo-b4y Daah tunafundishwa kuwachukia waislam wenzetu acheni kurefusha porojo jadilini hoja hivi ww unayefundishwa upendo uliambiwa hao Mashekh wako hawatakiwi kukosolewa?!mie naongea nayo ongea kwa sababu hao Mashekh wote hapo hapo high table nawajua vizuri sana na wote hapo ni Darasa la saba na form four zero
@@Marjeby wanawachuoni ni warithi wa Mtume Mwenye kuwaheshimu amemuheshimu Mtume na mwenye kuwadharau hakika amemdharau Mtume na mwenye kumdharau Mtume hakika amemdharau Allah. Elimu waliyonayo mashekhe zetu inatosha sana Hawahitaji hata hilo la saba unalolisema kwani ktka uislamu kuna kila kitu.
Mtume Muhammad s a w amesema usimdhanie dhana mbaya ndugu yako akasema katika Hadith nyingine mpe udhuru ndugu yako zaidi ya mara 70 kwa maana hata mtu Akikosea mpe udhuru useme labda kateleza kwa ubinaadamu usimhukumu Moja kwa moja
Maa Shaa Allah.
Sauti kama ya Al marhuum Amran Kilemile.
Jitahidi umrithi.
Naendelea kusoma ❤allah akueke san
Sahihi mziwanda hakika allah ana kila njia ya kumpatia mja wake ujumbe na elim asispo zinduka huyo kiumbe kuna sku allah atamuumbuwa eety kisa kaoa mtoto wa muf.....basi kamaliza angeoa mtoto wa Muhammad s.a.w ingekuwaje massage sent hahhaàa Asante mungu
Kweli mziwanda alhadi wenziwe wanasoma yy anashinda makanisani
Mkitoka apo kaeni kikao cha kujadili jinsi ya kukarabati shule kongwe ya Alharamain kwani ipo chini yenu na ina mazingira mabaya, isitoshe IPO katkati ya jiji la kibiashara.
Umewakumbusha Jambo la msingi sana
Mziwanda anapenda sana mipasho mipasho mawaidha yake asilimia 99.9999 ni mipasho tuu.
Hapo mamwinyi wamekutana wanapiga zoga Mashekh wanayoipenda dunia kuliko akhera aiseee waislam tatizo letu kubwa ni uongozi na elimu ya dunia hapo wote hao waliyokaa high table la saba watupu hilo ni tatizo jamani dunia imebadilika hii mbona waislam wenye elimu zote mbili tunao wengi sanaa tuachane na hawa mamwinyi
Muogope Allah Acha kuwadharau watu ni kibri
Ni wazi kuwa maneno Yako yamekosa fikra,shekh kaongea fact, ila ni vile2 nyie mnafundishwa kuwachukia waislamu wenzenu📌🔨
@@jamalishoo3802 Hilo ndio tatizo letu waislam wengi sana so viongozi wetu katika uislama ni untouchable kivyovyote vile!?
@@SirajuChilindo-b4y Daah tunafundishwa kuwachukia waislam wenzetu acheni kurefusha porojo jadilini hoja hivi ww unayefundishwa upendo uliambiwa hao Mashekh wako hawatakiwi kukosolewa?!mie naongea nayo ongea kwa sababu hao Mashekh wote hapo hapo high table nawajua vizuri sana na wote hapo ni Darasa la saba na form four zero
@@Marjeby wanawachuoni ni warithi wa Mtume Mwenye kuwaheshimu amemuheshimu Mtume na mwenye kuwadharau hakika amemdharau Mtume na mwenye kumdharau Mtume hakika amemdharau Allah.
Elimu waliyonayo mashekhe zetu inatosha sana
Hawahitaji hata hilo la saba unalolisema kwani ktka uislamu kuna kila kitu.
Daaa jaman muacheni sasa dini haitaki mipasho
Acha dhana we mjinga
Hivi kwa nini mnakaa chini, kwa wazee ni mbaya wataumwa na migongo, pia mbona wanawake hawaonekani, mnaonyeshwa nyie wanaume tuu
Vigogo vitupu hapo
mipasho wap shekhe anaongea ukweli ukiona nimipasho maana anakugusa ndio maana inawauma
Mh
Kwan huu usheikh wa mkoa unatokea wp naon mikoa mengne hatuckii km kun sheikh wa mkoa 😅😅😅
Wew ndio hujui ndugu yangu usheikh wa mkoa upo Sana tu
@@Hassanintandu-u7s me hku zanzibar cmjui sheikh wa mkoa hat mmoj hat uka mainland cwajui masheikh wa mikoa mengn
@@Hassanintandu-u7s ungensaidia hat masheikh wa2 wa mikoa mengne
Sheikh Hassani kabeke ni sheikh wa mkoa wa mwanza
Sheikh Mustafa Rajabu sheikh wa mkoa wa Dodoma
Hiyo nyundo imegonga sehemu yake. Tusipo elewa hapo basi tena
Hilo dongo kwa Alhad musa anahusda
Acha dhana we mjinga jiepushe na dhana mbaya
Dhana ipi?? Alhad mussa husda nyingi sana alafu husda ya Alhad mussa aijifichi
Mtume Muhammad s a w amesema usimdhanie dhana mbaya ndugu yako akasema katika Hadith nyingine mpe udhuru ndugu yako zaidi ya mara 70 kwa maana hata mtu Akikosea mpe udhuru useme labda kateleza kwa ubinaadamu usimhukumu Moja kwa moja
Sahihi kabixa
@@W.Engineer125 upo sahihi hakuna mkamilifu Illa Allah