@@ndogoroedson199Katumwa vp mbona ameuliza maswali mazur ambayo hata mm nisiemjua nimeyakubali je nimemtuma mm wakat hata simjui? Je wewe unapenda aulizwe nani hayo maswali kma sio police?
Hakuna cha maana alichohoji ila ni kulazimisha uongo kuwa ukweli ila afande alivyojibu kamjibu vyema kulingana na taaluma ya uchunguzi. Afande nakupa bravoooooo kubwa sana tuko pamoja
Asante sana Afande Mulilo kwa kuwanyoosha hawa waandishi wanaharakati, wamekua ndio wachochezi wa kuchafua jeshi la Polisi kwa Taarifa za kulazimisha, mfano kesi ya Sativa yule ni mcheza kamari waliomteka wote wanajuana halafu anabadilisha kesi kujifanya mwana harakati, Afande amewafahamisha fateni sheria na muheshimu mamlaka hivyo visimu vyenu kusambaza visivyo kweli vitawaponza
Hapo,mnajisumbua hao mpaka wafe kw Ajali kama Farao yukowp aliishia bahar ya sham na hp litoke wafe kw Ajali hao watekaji,wa sojulikana ndoo wako salama c raia, Allah atusaidie KWANZA TZ,
Unatakiwa ukili kwamba kazi imewashinda kuwzibiti hawa watu wasio julikana mpaka Leo hawaja julikana Leo ni mwezi wa kumi na moja tarehe 25 mwaka _ 2024
Mahojiano mazuri. Lakini muulizaji tayari yupo biased. Hii inamuondolea uhalali wa kuwa mwandishi mzuri. Na siku zote Odema one of the weakness ni kulazimisha maswali hata kama majibu yako very clear. Na bahati nzuri Afande murilo anajibu vizuri sana. Na mpongeza sana kwa majibu yake yapo very clear. Swala la uchunguzi huwa ni mtambuka sana.
Kazi imemshinda kweli kbs watu wanapotea na wengine kuuwawa yeye hana majibu yeyote. serikali inausika na haya mauaji ndio maana Muliro bado yuko kazini
Kwanza kabisa kwa dhati ya moyo wangu naomba nikupongeze Kamanda Muliro kwa kuonyesha ukamanda wako kwenye kujibu maswali magumu sana ya Odemba. Lakini zaidi nakupongeza kamanda Muliro kwa kukubali kujumuika hapo. Pangezi za kipekee kwa wazazi wa Odemba kwa kutuletea kijana huyu
Kamanda jumanne Muliro yuko vizuri ni mtu anaejiamini mno.. Ameulizwa maswali magumu lakini hajababaika katika majibu Wala hadhira haijamchanganya kabisa Hongera pia kwake chief Odemba
Kueni waelewa uwepo wa polisi hakuzuii matukio ovu ila polisi wapo kuzuia matukio ovu kama huna D mbili utakua unauliza maswali ya ajabu kama hayo mnayo uliza
Muliro ni genius sana kwannza kuingia kweny mdaharo akijua kabisa asilimia 90 hawapo upande wake, ukiacha hilo kwannza ameingia si kama kamanda bali pia ni kama. Muwakilishi wa taasisi , so litakalo semwa ni kama msimamo wa polisi amejitahid sana
@@philemonsnyanda9450kwenye uhai acheni uvyama, yule jamaa alikuwa akisoma kitabu kilichoandikwa na Dr. Slaa na kinaeleza, angekuwa pangupakavu asingekuwa kishakamatwa?,
Mungu akulinde sana mtangazaji chief Odemba
Asante sana mr odemba jamaa kakoswa majibu anadai ueshim shelia tushaelewa thank you very much for your speech
Nafurahi namna Chief Odemba anavyompa makavu Muriro ".... KAZI IMEKUSHINDA"🎉🎉🎉🎉
Chif odemba mungu akulinde uko makini na kazi Yako
Maua mengi sana kwako Chief Odemba. Kwangu wewe ni mwandishi na mtangazaji namba moja Duniani.
Hongereni sanna waandaaji wa kongamano Hilo, bila kuwasahau TLS,kamanda muliro na mwandishi wetu jasisi.Mungu awabariki sanna.
Hongereni sana chief Odemba kwa kazi njema unayoitendea watanzania
Anaitendea wap? Wakati tunajua anatumwa kulazimisha mambo?
@@ndogoroedson199Katumwa vp mbona ameuliza maswali mazur ambayo hata mm nisiemjua nimeyakubali je nimemtuma mm wakat hata simjui? Je wewe unapenda aulizwe nani hayo maswali kma sio police?
@@ndogoroedson199A atumwa nanani? Au wewe ndio mmoja wapo wakuteka watu
Kwnn haupendi ukwel? @@ndogoroedson199
@@ndogoroedson199 😅wewe ni mTanzania kweli ?
Asante chief kwamaswali magumu unafanya kiweledi muzuri
Daaa chief odemba hongera sana upo makini sana kwenye mahojiano nafuatilia sana MEDANI ZA SIASA star tv.
Odemba wewe ninoma,
Odemba odemba aise hapana una kitu kichwa chako kime hifazi vitu vya maana hongera kwa ujasir wako wakuhoji❤❤❤❤
Jembe... The real journalist, Odemba!!!!
Mungu akuoe nguvu na misimamo isiyoyumba...
Naamini ni mbegu njema ya jornalism ya kweli!!
Hakuna cha maana alichohoji ila ni kulazimisha uongo kuwa ukweli ila afande alivyojibu kamjibu vyema kulingana na taaluma ya uchunguzi. Afande nakupa bravoooooo kubwa sana tuko pamoja
Naiyo shat yko sishangai kuona maneno hayo
Hongera Bro Odemba. Kazi nzuri
Kamanda upo vizuri Alha akufanyiewepesi inshallah kwenye kazi yako
Odemba yuko another level, welldone
Muliro ni genious mwandishi humwez hata kidogo
Watu hawajamuelewa Muliro the man is very confident and constructive
Hamuwezi wapi wakati maswali yenyewe anaweka story nyingi
Kama huyu ndo polisi genius basi hiyo kazi ni mkusanyiko wa wajinga, na hata wewe unayeona kuwa huyo ni genius basi wewe ni zwazwa
@@jumamangombe6493 mbona una fos kupakatwa
Amuwezi wapi wkt majibu anayotoa hayaeleweki
Tunataka na hili la mzee kibawo. Wapatikane. Watekaji.
kamanda yuko vizuri salute sana kwa IGP Muliro
Ww upo Dunia ya ngap uyo ni igp
Hahahhaha ety igp nan kakudanganya😂
@@johnsway5253 kwahy ni nani
Mkunduwo
@@PendezaPendezaallybakaly jitathmini
Chief odemba on 🔥 🔥
Asante sana Afande Mulilo kwa kuwanyoosha hawa waandishi wanaharakati, wamekua ndio wachochezi wa kuchafua jeshi la Polisi kwa Taarifa za kulazimisha, mfano kesi ya Sativa yule ni mcheza kamari waliomteka wote wanajuana halafu anabadilisha kesi kujifanya mwana harakati,
Afande amewafahamisha fateni sheria na muheshimu mamlaka hivyo visimu vyenu kusambaza visivyo kweli vitawaponza
Kweli kabisa
Bro kawa nyoosha wapi? Ambapo nasisi hatuja sikia yan mnaleta siasa mpaka kwenye mambo ya msingi you are very stupid bro
Unacheza naye kamari? Au wewe ndo ulimteka?
Funga mdomo wew huilewi kitu chochote
Tanzania Tanzania Naipenda Nchi yangu, Utekaji ni laana
Kamanda j,4 ni jembe sana mungu akupe maisha marefu tunakuoenda sana sana chuma kama chuma.
Unaliwa ww
Kweli kabisa. He is the perfect fit for the position.
Hawa watu ni kama wanalipwa wakoment usenge sio bure
Wtqit
Big up kwa murilo kwanza tuu kushiriki kwako ni jambo jema ambalo mtu mwingine asingekubali
Labda ungekuw ww na uchizi wako
Congratulations Mr odembo you are in another level.
Hapo,mnajisumbua hao mpaka wafe kw Ajali kama Farao yukowp aliishia bahar ya sham na hp litoke wafe kw Ajali hao watekaji,wa sojulikana ndoo wako salama c raia, Allah atusaidie KWANZA TZ,
Hongera sn kamanda wngu Muliro ulikua sehem moja ngum sn lakini umepambana kikamanda na umemaliza mjadala hyo ndo kazi. Yetu
Assah kumbe ndio wale
Kamanda asingekuja kwenye interview...huyo jamaa angelia mpaka kamasi😂😂😂😂mtu asipokuja kwenye interview Odemba anakichapa kilio cha msibani kabisa😂😂😂
Muliro muogope Mungu ,utalipizwa hapa hapa duniani
Acha kuhukumu usijo kijua Mungu anaweza kutanguliza hukumu kwako tatizo lenu mnakurupuka
Ttgttyy
@@ndogoroedson199 vvvgvvg retro
Ycccc
@@ndogoroedson199fact
Kamanda yuko vzur sana. Anajibu jwa hekima kubwa sana.
Hilo jicho la mwabukusi sasaa kwa kamandaa duu!!! Ni balaaa!!
Unatakiwa ukili kwamba kazi imewashinda kuwzibiti hawa watu wasio julikana mpaka Leo hawaja julikana Leo ni mwezi wa kumi na moja tarehe 25 mwaka _ 2024
Congratulations cammander in chief J.4 Murilo
Mzee kidogo atoke nje ya ulingo kwa kupanik
Mtamuona mungu sku ya mwisho muamini mungu yupo naote tunazikwa chini tumuogope mungu
kazi imekushinda nimerudia mara mbili mbili
Kamanda hujajibu swali,umezunguka😢
Mahojiano mazuri. Lakini muulizaji tayari yupo biased. Hii inamuondolea uhalali wa kuwa mwandishi mzuri. Na siku zote Odema one of the weakness ni kulazimisha maswali hata kama majibu yako very clear. Na bahati nzuri Afande murilo anajibu vizuri sana. Na mpongeza sana kwa majibu yake yapo very clear. Swala la uchunguzi huwa ni mtambuka sana.
Amekomaa kusema kuwa ''kazi imekushinda'' analazimisha kamanda akiri kuwa kazi imemshinda
Mulilo he is very smart🎉
Huyu ni Mwandishi MAANDAZI kama Maandazi tu
Yani so poor, hana ueledii hata kidogo....wapenda mihemko ndio wanaompenda tu ila hii interview muliro amemtoa nishai nakuona stupid kwa anaelewa
Umejibu kitaalamu sana
Mm nilitaka iwe mulilo Vs mwabukusi😊
Odema nae ana uchama flan ivi ndani yake
Tatzo odemba nae kama vle analalia upande wa chama vle Hali ambayo sio sahh
Odemba unatisha mungu akupe maisha marefu unapenda haki zawatu kuishi
Safi sana Commander muliro
Saafi sana mulilo mwambie huyo odemba haerewi analeta chuki kwa wanainchi na seriksli
Mriro nimekuelewa sana
😂😂😂😂😂😂etiy jumanne Kaz imekushinda 😅😅😅😅😅
😅😅😅😅 hata mm nmecheka sana odemba anaweza kukutoa mchezoni mapema tu
Kazi imemshinda kweli kbs watu wanapotea na wengine kuuwawa yeye hana majibu yeyote. serikali inausika na haya mauaji ndio maana Muliro bado yuko kazini
Swali la kizushi 😢😢
😄😄😄😄😄😄@@MashakaMagesa
@@dengahmediatz3113 alitaka akubali ili Boss wake ajue pa kuanzia😀😃😄😁
Ila Odemba eti washikaji ndio waliompeleka Osterbey.😂😂😂😂
Murilo Mungu ni mkuu kuliko ww shaur yako
❤kamanda anastahili pongezi kwa kukubali kujitokeza na hotuba yake, huyu anakitu cha maana kwetu watz akipewa uongozi wa juu, bravo Murillo ❤
Kichwa chako ovyo sana
Wazee wakusifia 😅 ila hii bongo
@@eph_kubwa5788😂😂😂
Kapimwe akili we kaka 😂😂
Hivi haya matukio yangetokea kwa familia yako ungesema hivyo , una matumizii mabaya ya akiri wew
Odemba sijui umesomea wp, hahaha hayao maswali yanaitwa mawe, ila kamanda siro yuko vizur zaidi,🤣🤣🤣 kama ni mm Meshack 🏃🏃🏃🏃 hunioni
Pongezi kwa TLS, pongezi kwa Kamanda Muliro mahojiano mazuri
Bado hatuna hoja ya msingi unaulizwa unajibu tofauti
Yaan maswali magumu na majibu tofauti majibu mepesi
Odemba viva viva
Kwanza kabisa kwa dhati ya moyo wangu naomba nikupongeze Kamanda Muliro kwa kuonyesha ukamanda wako kwenye kujibu maswali magumu sana ya Odemba. Lakini zaidi nakupongeza kamanda Muliro kwa kukubali kujumuika hapo.
Pangezi za kipekee kwa wazazi wa Odemba kwa kutuletea kijana huyu
Haya ni maswali ambayo mngemuhusisha NAY WA MITEGO (RAIS WA KITAA 😂😂😂😂)
Kamanda jumanne Muliro yuko vizuri ni mtu anaejiamini mno.. Ameulizwa maswali magumu lakini hajababaika katika majibu
Wala hadhira haijamchanganya kabisa
Hongera pia kwake chief Odemba
Smart
Kea hiuo unafuraji?
Mh mjomba eb angalia Tena hyo video utajifunza kitu
@@JohnsonLameck-ug9xt alivyo jibu umeelewa vp? Au unaongea tu utumbo,maana wenye akili zao hapo hakuna majibu
@@نوفل-س5رulitaka jibu gani
chief odemba Ur so brilliant;
sfi sana chif ondemba kaka mungu akutie nguvu maswali maziuri
Very good question concern sativa
Kamanda yupo vzr kukwepa maswali ya mtego
Kukwepa maswali ndio Yuko vuzur?iangalie hii maiti nayo wew nimait kabisa
Sasa kukwepa swali ndo kujua?
Mungu anaona,ya silini
Odembaa ni mwambaaa uyooo yupo vizuli sanaa
Angeuliza kwann hamza alifanya shambulizi kwa askari tu na si kwa raia wa kawaida?
Nice kweli nadhani hakukumbuka au hakuwa amjiandaa kuhusu KADA HAMSA ALILENGA KUUA askari tu
Kueni waelewa uwepo wa polisi hakuzuii matukio ovu ila polisi wapo kuzuia matukio ovu kama huna D mbili utakua unauliza maswali ya ajabu kama hayo mnayo uliza
wakati ndio mwalimu mzuri
Tuamini vyombo vyetu siku hizi dhuluma imekuwa kubwa Sana watu wanatekana kwa sababu wamedhulumiana
Muliro ni genius sana kwannza kuingia kweny mdaharo akijua kabisa asilimia 90 hawapo upande wake, ukiacha hilo kwannza ameingia si kama kamanda bali pia ni kama. Muwakilishi wa taasisi , so litakalo semwa ni kama msimamo wa polisi amejitahid sana
uongo mbaya kamanda yupo vizuri...haingizi hisia katika majibu yake hata kama maswal ya Odemba yapo straight sna na yanaumiza😂😂😂😂😂😂😂
Gonga likes km unamwelewa 0demba, SWALI GUMU KWA MULILO,WALIMTEKA WASHIKAJI WAKAMPELEKA POLISI NA AKATUPWA KATAVI.
Thank U sana chief, maswali yaloenda shule👏👏
kazi nzuri Odemba🤣
Jitu lina toa respct
Muliro ni habari nyingine kabisa he is another level
Hongera kamanda kwa majibu yaloshiba wasikutoe kwenye reli
Uko vizuri kamanda
kazi imekushinda
Kazi imekushinda ila we jamaa😊😂
Mungu azidi kuwabarikia Sana kwakweli
Aaaaaa mnalinda watu wepi namungu awalani mpaka kizazi chenu
@chiefodemba_Full of confidence 🎉🎉🎉🎉🎉
Odemba wew ni Mchambuzi wa kimataifa kiwango chako syo sawa na hawo mabwenyenye wa Mafisiemu
Chama na ubora mtu vinausika nini mtaendelea kujifanya wana chama bora kumbe nyie ndio wakwanza kukibomoa chama ccm wanasonga tu😅😅😅
This is a professional officer. Too high standards for Odemba
Number kwenye hii nchi ukitekwa namaste washikaji ni.halali
Nampenda captain Ibrahim traore
Mzee kampiga mwandishi, sababu mze siasa anaziweza
Ila odemba, et kazi imekushinda😂😂
Odemba is a germ...😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
HAO NIWAONGO KAZI IMEWASHINDA HAMNA LOLOTE NI
Hii nimeipenda,safi sana
Kamanda na msifu sana
Ogopeni mungu
trust no body
Hii nchi Shwaru sana haswaa haooo....
Anaitetea ccm leo duniani kesho kiama atokua na mtetezi
Murilo unajua sheria sana.Upo vizuri sana.Ninakuelewa sana.
Chief Odemba The great questioner 😂
Mama samia hungera sana
Leo ñdo nimejua mafunzo yà kigaidi ni dini Gani😂
Kensi ya gendere
Anapelekewa nyani😢😢😢😢
Mbona mwandishi haulizi kuhusu Joseph Yona Yule jamaa wa chalinze?, inaonekana mwandishi ana kauchama siasa
Kwamba hampendi mama kwa sababu ya dini yake
Huyo wa chalinze ni mtu anaelipwa na ccm iliaichafue chadema
@@josephlorri431 Dini weka kando, mwandishi wa habari hatakiwi aegemee upande mmoja, waathirika ni wengi vipi aulizie wanachama wa chadema tu?,
@@philemonsnyanda9450kwenye uhai acheni uvyama, yule jamaa alikuwa akisoma kitabu kilichoandikwa na Dr. Slaa na kinaeleza, angekuwa pangupakavu asingekuwa kishakamatwa?,
Bora yeye kasema anachojua kuleta ufumbuzi ,wewe umefanya nini???
Itisha kongamano mtaani kwako kwaajili ya huyo unaemfahamu kafanyiwa jambo hilo.
Bigup sana Chifu Odemba uko sawa.
This is good politics, I admire u a lot, kamanda Muriro,u have the big brain
Pfyuuuj
Vichwa vya panzi hawawez kuelewa wamebaki na mihemko yao, ila anajua kusimamia kitu gani chakusema na uhalisia wake ulivyo