Maajabu Ya Sala Ya Mtume (S.A.W) / Hakuna Ibada Ya Ajabu Kama Sala Ya Mtume (S.A.W) / Sheikh Walid

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Maajabu Ya Sala Ya Mtume (S.A.W) / Hakuna Ibada Ya Ajabu Kama Sala Ya Mtume (S.A.W) / Sheikh Walid Alhad Omar
    Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Maajabu Ya Sala Ya Mtume (S.A.W) / Hakuna Ibada Ya Ajabu Kama Sala Ya Mtume (S.A.W) / Sheikh Walid Alhad Omar
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tV

ความคิดเห็น • 77

  • @Hinduhamza
    @Hinduhamza หลายเดือนก่อน +2

    Allah humma swali alla saidina muhammad waallihi as habih asallam❤❤❤

    • @SwalehAbdullah-u8d
      @SwalehAbdullah-u8d 20 วันที่ผ่านมา

      Mungu akujazze
      Mema
      Uzidi
      Kutuelimisha

  • @MaalimMwinyi-d2p
    @MaalimMwinyi-d2p หลายเดือนก่อน +2

    Allah akulipe ujira mwem sheikh walid n.ssi pia wasikilizaj Allah atulip yalio mem amiin

  • @jumakadamila8794
    @jumakadamila8794 14 วันที่ผ่านมา

    Allahumma Salli Ala Sayyidna Muhammad Wasaliim Rabiighfirulun warahmni wanur Mzee Jkapaya

  • @musayosia4081
    @musayosia4081 วันที่ผ่านมา

    Jazakallaah khaira ❤

  • @twahajuma619
    @twahajuma619 8 หลายเดือนก่อน +9

    Sheikh aliyekutowa kwenye sukani akakuleta kwenye mimbar, Allah amrahamu na rehma za Allah zikufikie wewe na sisi na swala na salamu zimfikie Rasulallah swalallahu alaihi wasalam.

  • @khadijaHatungimana
    @khadijaHatungimana 5 หลายเดือนก่อน +4

    MashaAllah sheikh Allah azidi kukuhifadhi na kuzidishiye mazuri apa duniani na kesho akhera Aamiin. I really love you for the sake of Allah ❤❤❤

  • @Amirisekemi-dw9wt
    @Amirisekemi-dw9wt 8 หลายเดือนก่อน +15

    Allahuma swali alaaa sayyidina Muhammadin alifatihi lima ughilika walikhatimi limasabaqa naswiril haq bil haq wali hadi ilaah swiratakali mustaqem waalaah alihi haqa qadihil wameqdaraheel adwimu

  • @ibejoe7719
    @ibejoe7719 8 หลายเดือนก่อน +16

    Dua ya Elimu ya kunufaisha mja kwa waja
    ALLAHUMMA SWALI ALAA SAYYIDINA MUHAMMADI
    SWALATAN TUKHRIJUNII BIHA
    MIN DHULUMATIL WAHMI
    WATUKRIMUNII BINUURIL FAHMI
    WATWUDHWIH LII MAA
    ASHKALA HATTAYUFHAMA
    INNAKATA’LAM

    WALAA’LAM

    WAANTA A’LLAMUL UYUB
    Ewe Mola mbariki bwana wetu Muhammad na aali zake kwa baraka inayotutoa katika giza la upotofu, na ututukuze kwa nuru ya ufahamu, na utubainishie yale yanayotatanisha ili ifahamike kuwa wewe unajua na sisi hatujui. Kwakuwa wewe ni Mjuzi wa ya ghaibu

    • @juwairiyamambo
      @juwairiyamambo 8 หลายเดือนก่อน +2

      Shukran sana Allah awafanyie wepesi.

    • @ibejoe7719
      @ibejoe7719 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@juwairiyamambo 👐Ameen Ya'Rabbu Al'ameen👐

    • @dahelahmad6331
      @dahelahmad6331 6 หลายเดือนก่อน

      Allah akuzidishie zaidi na sisi atupe ulichokuwa nacho.
      Amin

    • @RadjabuNiyonkuru-bf9bq
      @RadjabuNiyonkuru-bf9bq 5 หลายเดือนก่อน

      Tunaiyomba kwa maandishi ya kiarabu

    • @RadjabuNiyonkuru-bf9bq
      @RadjabuNiyonkuru-bf9bq 5 หลายเดือนก่อน

      Shukran saana

  • @letuslearn7548
    @letuslearn7548 7 หลายเดือนก่อน +5

    اللهم صلّ على سيدنا محمد، صلاة العبد الحائر المحتاج، الذي ضج من كل ضيق وحرج، فالتجأ إلى باب ربه الكريم، ففتحت له أبواب الفرج. ١١١ مرة

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 8 หลายเดือนก่อน +23

    ULIPO TUPO BISMILAH MASHAALAH, WASIOKUPENDA TUPA KULE. FROM UK

    • @kezalatif6438
      @kezalatif6438 8 หลายเดือนก่อน

      That's

    • @MussaMakungu
      @MussaMakungu 8 หลายเดือนก่อน

      21:15 @@kezalatif6438

    • @Heroes122
      @Heroes122 8 หลายเดือนก่อน

      From MAREKANI TUPO.

    • @RayyanAbdallah-l7w
      @RayyanAbdallah-l7w 8 หลายเดือนก่อน

      😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮

    • @MbeguBakari
      @MbeguBakari 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@kezalatif6438n

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani sheikh ungepata software moja hivi ukatumia hapo kufundishia mungu nijaalie niweze kukuwezesha

  • @mariamabeid5847
    @mariamabeid5847 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba hizi swallah z a mtume SWA, tuandikieni humu online

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 หลายเดือนก่อน +1

    Annabiyu swalu aala swalawatu llah allei shukrani sana sheikh wetu walid

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe nakupenda kwa ajilinyanAllah

  • @harunaomary5968
    @harunaomary5968 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khaira shkehh kw elmu kubwa tunajfunza kwko

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shekhe waldi umetufundisha Siri kubwa yaelim yandani mungu akujaalie akufanyie nawe wepesi wamaisha yako inshaallahu

  • @AllyMaingo-w9v
    @AllyMaingo-w9v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umenifundisha jambo, bora kunyamaza

  • @Aishasiri8
    @Aishasiri8 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukuran sana

  • @AboudHassan-px7tf
    @AboudHassan-px7tf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asw sheikh sala za mtume ziko nyingi jee zinafaa

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 8 หลายเดือนก่อน +4

    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @yusramwadini
    @yusramwadini 8 หลายเดือนก่อน +5

    mashallah shekh anafafanua sana kama shekh othman maalim mashallah Allah akalipe khery ,,,,,,,amin

    • @omaryiddimonna4236
      @omaryiddimonna4236 หลายเดือนก่อน

      sii kauli njema maana unampima sheikh kwa mfano wa sheikh mwingine, juwa kwa daraja huyu yu juu zaidi ni kiongozi wa mkoa

  • @AllyDjuma-f5y
    @AllyDjuma-f5y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alh'mdulillah sheikh

  • @maryamadam5622
    @maryamadam5622 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mashallah Skh Walid. Darsa njema kabisa. Allahumma Salli Alaa Muhammad.

  • @QueenFridausi
    @QueenFridausi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa ndio mashekhe wakuwaskiliza wengine Wana tucjanaganyashekhe mungu akujaalie zaidinazaidikuwa fundisha waisilamu mungu akujaalie Dunia na akhera inshaall

  • @JokhaRajabu
    @JokhaRajabu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ALLAH akufanyie wepesi Sheikh tunajifunza mengi. ama hakika uislam raha endapo ukijifunza kama hivi.

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakhallah kheir

  • @debbieweston2689
    @debbieweston2689 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nice❤

  • @ruzatuntajadin1274
    @ruzatuntajadin1274 8 หลายเดือนก่อน +2

    Swalu alla Nnaby

  • @zubedamakwaya8432
    @zubedamakwaya8432 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah, tunaelimika Allah akipe atya njema

  • @KhairatOmariMasoud-ge9lc
    @KhairatOmariMasoud-ge9lc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ,tumekuelewa vzr alhamdullah Allah atupe taufiq ya kuyafanyia kazi na kupata ujira mwema.

  • @FaizaSalim-db8zf
    @FaizaSalim-db8zf 8 หลายเดือนก่อน +2

    اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم shukran shekh Waleed jazzakkallah Allah khr

  • @broumaiyyah8018
    @broumaiyyah8018 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah mashallah tabarakallahu.Barakallahu fiikii

  • @mrishongwikwi6448
    @mrishongwikwi6448 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi shekh Wallid

  • @asiamkindi7306
    @asiamkindi7306 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shukraan sheikh

  • @NdweteNjoka
    @NdweteNjoka 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakumu llah khairy

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @AthumanAthuman-wy4fu
    @AthumanAthuman-wy4fu 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ❤

  • @YusrayYunus-rr1kq
    @YusrayYunus-rr1kq 8 หลายเดือนก่อน +2

    asalam alykum ,naomba munisaidie hyo swala y mtume x111

    • @JumaZahoro2000
      @JumaZahoro2000 8 หลายเดือนก่อน +2

      Allahumma swalli alaa sayyidna muhammad swalaata abdi, Haailil- muhtaji, alladhii dhwajja minkulli dhwiiqin waharaj waltajaa ilaa baabil kariiim fafutihat lahu abuwaabul faraaji waala aalihi waswahbihi wasallimu

    • @sharifamhina4345
      @sharifamhina4345 8 หลายเดือนก่อน

      Asalam Aleykum,ALLAH akulipe kheri duniani na kesho akhera InshaaAllah.Shukran sana​@@JumaZahoro2000

  • @wardaam3707
    @wardaam3707 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam alaykum warahmmatullah
    Samahani tunaomba mmoja wapo jamani atuandikie hii kumswalia mtume mara 111 inshaallah hata kosa fadhira mbele ya mwenyezimung

    • @JumaZahoro2000
      @JumaZahoro2000 8 หลายเดือนก่อน +6

      Allahumma swalli alaa sayyidna muhammad swalaata abdi, Haailil- muhtaji, alladhii dhwajja minkulli dhwiiqin waharaj waltajaa ilaa baabil kariiim fafutihat lahu abuwaabul faraaji waala aalihi waswahbihi wasallimu

    • @wardaam3707
      @wardaam3707 8 หลายเดือนก่อน +2

      @@JumaZahoro2000 shukrani Allah akulipe Alhamdulilah

    • @maryamngitami2143
      @maryamngitami2143 8 หลายเดือนก่อน

      @@JumaZahoro2000Jszaka Allah Khayrun

    • @fatmanasser7878
      @fatmanasser7878 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@JumaZahoro20003rd❤

    • @NataliaFuad
      @NataliaFuad 3 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah Allah akizidishie afya elimu na uhai ili uzidi kutuelimisha.

  • @AthumanAthuman-wy4fu
    @AthumanAthuman-wy4fu 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh hii swala ya mtume inamda maalum au nimda wowote tu nikipata mda

    • @wardaam3707
      @wardaam3707 8 หลายเดือนก่อน

      Mda wowote ule ukianza asubuh mpaka jioni umepata dunia yako na akhera yako maaashallah allahu akbar

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@wardaam3707 asalam aleykum sheikh naomba uniandikiye hiyo alhamdulilah wasallwahu niandikie chini

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 8 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @BabySheni
    @BabySheni 4 หลายเดือนก่อน

    Sawa shekhe basi siku moja nikija dar nikaribishe sawa shekhe nataka uniombee😂😂😂

  • @MmMm-hx6ln
    @MmMm-hx6ln 21 วันที่ผ่านมา

    Hio kuitana majina yao naona kwa waarabu wamefeli,maana wanaitana majina yao mume anaitwa weee Jumaa,mke anaitwa wee fatuma,hata awe mtumzima anaendea ujiti anaitwa jina lake tu,mkubwa mdogo tafran tu mpk unashangaa🤔

  • @Heroes122
    @Heroes122 8 หลายเดือนก่อน

    🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾💕♥️♥️♥️💕☝🏾☝🏾☝🏾

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 eti huku umeshika bagia😮😢😢😢😢😢

  • @maryammtamike
    @maryammtamike 8 หลายเดือนก่อน +3

    @ibejoe7719 tunaomba msaada utuandikie na hiyo Sheikh aliyosema tusome 111

    • @khadijahamina8457
      @khadijahamina8457 8 หลายเดือนก่อน +1

      kweli kabisa😢

    • @JumaZahoro2000
      @JumaZahoro2000 8 หลายเดือนก่อน +1

      Allahumma swalli alaa sayyidna muhammad swalaata abdi, Haailil- muhtaji, alladhii dhwajja minkulli dhwiiqin waharaj waltajaa ilaa baabil kariiim fafutihat lahu abuwaabul faraaji waala aalihi waswahbihi wasallimu

  • @saniakhalfan1325
    @saniakhalfan1325 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @zaidiakagambo6100
    @zaidiakagambo6100 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤

  • @KhalfaniHassan
    @KhalfaniHassan 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @AWSRBahlan
    @AWSRBahlan 2 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah