VILIO TENA! VIJANA WALIOPOTEA TEMEKE WAFIKIA 4 - MOCHWARI na POLISI HAWAPO - WAZAZI WALIA KUWATAFUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • VILIO TENA! VIJANA WALIOPOTEA TEMEKE WAFIKIA 4 - MOCHWARI na POLISI HAWAPO - WAZAZI WALIA KUWATAFUTA
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 102

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  16 วันที่ผ่านมา +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co 16 วันที่ผ่านมา +11

    Wazazi tunatakiwa tumuombe sana mungu vizazi vyetu viwe vyenye kutusikiliza kwa kua mtoto wako akiangukia ktk bange panya roood na matukio ya uporaji siku zake zinahesabika.

    • @user-id1me9ve1o
      @user-id1me9ve1o 13 วันที่ผ่านมา

      Uko sawa kabisa yani 😢

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 16 วันที่ผ่านมา +9

    Kama ni wezi... Basi hiyo itakuwa kimya kimya!!

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 16 วันที่ผ่านมา +8

    Temeke mh kunatisha mana wanaowachukua sio machiz wanakua wameshafanya upelelez kuhusu wao mana kuna kijana aliuliewa kwa visu wakamuibia cmu yke pia alikua ni mwanafunz mm km mzaz naomba kama walikua watt wema bas mungu awape ulinz walud salama ila km ni wasababishaj matukio ya kuua kupora bas lolote liwakute

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 16 วันที่ผ่านมา +7

    Poleni sana.wazaxi.mnapitia wakatimgumu. Allah awape subra kwawingi inaumasana jamani sasa wamewachukua kuwafanya nini. Basi wapigiwesm mapolic wahuko kilwa.

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 16 วันที่ผ่านมา +9

    Sura inaonekana kabisa hawa ni wezi siku hz wakichukuliwa hawarud sahauni

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 16 วันที่ผ่านมา +2

      Wangekuwa wanao ungesaau kilais

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 15 วันที่ผ่านมา +2

      Huyo wa mwisho hiyo sura ngumu hata bangi anavuta

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 15 วันที่ผ่านมา

      Acha kusema ivo ndugu ​@@philemonmagesa5548

    • @charlesmugisha6529
      @charlesmugisha6529 15 วันที่ผ่านมา +1

      Msiwaukumu watu kwa sura zao sio vizuri.unakuta ata bangi na wizi hawatumii kabisa.

    • @samwa9496
      @samwa9496 15 วันที่ผ่านมา

      Sura ya mtu isiwe tishio hata Remi Ongala alikuwa na surab.mbovu

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 16 วันที่ผ่านมา +8

    Km niwadokozi. Ndoimetoka. Hvy hameshawauwa kunavijana HK kwetu walipotea 3 mpk Leo nwaka 8

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 15 วันที่ผ่านมา

      Duh mwaka wa nane?

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 12 วันที่ผ่านมา

      Wazazi tyonye wanetu waache udokozi hakuna wa kulaumiwa zaidi ya wazazi

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 15 วันที่ผ่านมา +5

    Sura za marijuana kabisa hizi.😂😂😂😢😢😢

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 16 วันที่ผ่านมา +9

    Mnalea wezi mkiambiwa mnakua wakali mnaletewa vitu walivyo ibia watu mnakula mnajifaya hamuelewi leo mnalia lia

    • @meckiphasonmorewa2944
      @meckiphasonmorewa2944 15 วันที่ผ่านมา +2

      Ata kama mtu ni mwizi Si anapelekwa mahakamani...au sheria ya Tanzania inaruhusu mtu kupotezwa

    • @RidhiwaniMrisho
      @RidhiwaniMrisho 15 วันที่ผ่านมา

      Omba yasi kukute

    • @user-id1me9ve1o
      @user-id1me9ve1o 13 วันที่ผ่านมา

      Ayiii 😂

    • @user-ol7pp5dw8j
      @user-ol7pp5dw8j 13 วันที่ผ่านมา +1

      Usiwe mtu wa kuhukumu mzee sura sio roho

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@meckiphasonmorewa2944kwani wao walivyoua mwanafunzi waliruhusiwa

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 15 วันที่ผ่านมา +8

    watoto wenu pengne Niwezi semeni ukweli mana bila shaka Nanyinyi mnajua kwamba watoto wenu Niwezi wanaumiza wengne kazi ya police wakiona mhalifu amekua sugu bx inatakiwa wafanye mpango hao wahalifu wasirudie tena iwe mwisho kabx inauma kweli ila tulieni kama sio wezi pengne wamesafili

    • @DaheerK
      @DaheerK 15 วันที่ผ่านมา +3

      Ata km wakiwa wez mzazi ni mzazi uwez kukosa kumlilia mtoto wako

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 15 วันที่ผ่านมา

      Hayo kweli ni mawazo ya kiscopion, sishangai!

    • @user-ur8cq1ye3b
      @user-ur8cq1ye3b 15 วันที่ผ่านมา

      Hata kama wez wawapele polic wabakaji wanawabaka watoto wadogo wanapelekwa polic wanatoka

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 14 วันที่ผ่านมา +1

      mahakamani kufanya Nini kama Niwezi wapotee kabx

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 11 วันที่ผ่านมา

      Hata wakiwa ni wezi kweli wtt wetu wana tabia ambazo hata mzazi uzijui sura si tatizo wapo watt wapole ukija juwa anayoyafanya mzazi uwezi.kuamini cha.singi ni kusali.kumuomba Mungu..na.mzazi lazima alie uchungu watt acheni mambo mengi mtatuuwa wazazi wenu Mungu aweke mkono wake jamani aisee vijana wa Sasa Mungu awasahidie na.malezi ayana ujuzi tusali sana wtt wa.kiume wengi wao ni mwiba yaan uwiiii polisi kwakweli wana kazi.kubwa.mnoo na.kizazi cha Sasa ni ahidaa

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 15 วันที่ผ่านมา +6

    Mlidhani chalamila anawatania

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 16 วันที่ผ่านมา +8

    Watoto mapanya unafikiri watakuwa wapi

    • @chemstry409
      @chemstry409 15 วันที่ผ่านมา

      Excuse me??

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 16 วันที่ผ่านมา +5

    Msijue kulialia mjue na kuwalea watoto vzr maana wizi upanyarod umewatawala

    • @rajabuidd45
      @rajabuidd45 15 วันที่ผ่านมา

      Wewe usimalize maneno kama haujazaaa

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 15 วันที่ผ่านมา +4

    Namashaka hii kamata kamata inachangiwa na kifo cha yule mwanafunzi alieuliwa sababu ya cm tuu akatolewa roho yake maskini

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 15 วันที่ผ่านมา +7

    Kwa sura ya huyo kijana kwenye picha duh

    • @DaheerK
      @DaheerK 15 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo asimtafute kwakuwa alikuwa mwizi

    • @abelmwakipesile9868
      @abelmwakipesile9868 15 วันที่ผ่านมา

      Wakwako ata akiweje utamtafuta maana ni wako​@@DaheerK

    • @madinasilima6925
      @madinasilima6925 15 วันที่ผ่านมา

      🎉Allah akupeni subra inshaallah duwa kwa wingi na inshaallah watoto wenu watarudi inshaallah kuweni na amani mtangulizeni Allah mele yeye ndio kila kitu

    • @user-id1me9ve1o
      @user-id1me9ve1o 13 วันที่ผ่านมา

      Nini kime hapeny jaman 😂😂

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x 15 วันที่ผ่านมา +7

    Mitoto mijizi iyoo mbona inaereweka na ukitaka kujua ubaya wa mwizi kutana nae kuku ua kukulawiti kukubaka sio shida zao

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 15 วันที่ผ่านมา

      Unauhakika uyasemayo?

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 15 วันที่ผ่านมา

      Subiri kw uwezo wamungu yakufike huna haya kumwambia mtoto wamwezio mwiz kua na sura ngumu ndo kua mwizi au

    • @user-xq6rg2pb1x
      @user-xq6rg2pb1x 15 วันที่ผ่านมา

      @@SihabaAbdallah-li6dx haya una wewe ulikuja ku replying kwenye comments ilo dua la kuku alimpati mwewe ushukuru TCRA Kenge

    • @user-xq6rg2pb1x
      @user-xq6rg2pb1x 15 วันที่ผ่านมา

      @@SihabaAbdallah-li6dx sikiliza stoli kwa umakini soma na comments za watu wengine mbona unaerewa kabisa sio unakurupuka unaniletea makasiliko mimi hii nchi huru bwana watu kutoa mawazo yetu ili mradi usivunje sheria

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 5 วันที่ผ่านมา

      @@user-xq6rg2pb1x KWANI we uss ema Nini hemm nenda kajifunze kusoma ten kidog😂

  • @methodiutou7278
    @methodiutou7278 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwandishi tafuta na wababa wa hao vijana uwahoji! Maana mtoto mbovu ni mzigo Kwa mama na mtoto mwerevu ni sifa kwa baba

  • @RamlaRamadhan-do8mw
    @RamlaRamadhan-do8mw 16 วันที่ผ่านมา +4

    Nendeni kwa kiboko ya wachawi buza mtajuwa watoto wenu wako wapi

    • @latifamubba100
      @latifamubba100 16 วันที่ผ่านมา +2

      Nauy pia muongo ushuuda wa uwongo

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 15 วันที่ผ่านมา +3

      Tapel tu huyo kawateka akil zenu endeleen kua misukule yake mwenzenu anapiga hela😂😂😂

  • @aggysammy6756
    @aggysammy6756 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo maeneo Temeke Mikoroshini kuna mtoto wa kidato cha tatu kauliwa kwa kuchomwa visu,aliporwa simu wakamchoma visu mpaka akafariki... Mungu awape subra wazazi hao watoto wenu wasiwe wanahusika kwenye hilo tukio

  • @user-jj3yt1ex5c
    @user-jj3yt1ex5c 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mama zeto wapata chida kweli mungu awape subra

  • @latifamubba100
    @latifamubba100 16 วันที่ผ่านมา +3

    Poleni San viatu vyenu vinaban San mungu nilindie watt wangu mie

  • @user-mo4gu3uc8m
    @user-mo4gu3uc8m 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ibada,ibada wapendwa acheni mambo ya kidunia lieni na MUNGU yeye ndiyo kila kitu siyo ukiwa na shida ndiyo unakumbuka MUNGU yupo unakuwa unakosea kwa kweli.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 15 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania jamani mbaka naogopa machozo haya.mungu awafute machozo.watapatikana,vijana hawa

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 15 วันที่ผ่านมา +1

    Wameshauliwa hao ndio polisi yetu inavyofanya kazi yao sasa, mahakamani hakuna tena, wanapigwa risasi ndio hukumu

  • @AwzaMstafa
    @AwzaMstafa 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu nilindie kizazi changu

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 15 วันที่ผ่านมา

    Temeke watoto 3 wamebakwa na wameuwawa, temeke vijana wamepotea Mungu Saidia Tanzania yangu 😢😢

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 16 วันที่ผ่านมา +1

    Weeeh sini watu wanaojielewa kwaio Kuna kitu inaendelea chini ya maji .

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 10 วันที่ผ่านมา

    kiu ya mama kupata mtoto mwawenye kumjua Mungu tuwaonee huruma wazazi wanaopata mitihani ya watoto wao

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 12 วันที่ผ่านมา

    Wazazi tunawapenda wanetu sana ila wakifikia umli wa myaka 15,18,20 apo watoto wanapotoka nyumbani huwa wanakuaga na mazingira mengine tupende kufatilia myenendo yao, tusiwaache tu kunamakundi huwa wanapitia kwenye makuzi yao, maana ukiangalia walipo kamatiwa kulikuwa na watu kibao ila wakachukuliwa wao tu, hii inatakiwa wachunguze kwa maragiki zao wakaribu wajuwe historia yao ya nje ya nyumbani.

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mm wazazi wanapata wakati mgumu basi tuuuu 1:14 1:17

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kama ni majambazi acha wapotee maana wanatuchoma visu usiku mnaona Raha tu kulia Lia pengine nyie wazazi mnajua watoto wenu sio watu wazuri kwa binadamu wenzao kwa hayo macho ya mzee wa Simba sio poa poleni ila mwizi sio mtu mzr

    • @aishathkalugira3296
      @aishathkalugira3296 15 วันที่ผ่านมา

      Akipotea ndugu yako ndo utajua kama ni jambazi ama laaah

    • @user-ol7pp5dw8j
      @user-ol7pp5dw8j 13 วันที่ผ่านมา

      Unajua tofauti ya jambazi mdokozi?

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 15 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana aisee

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv 13 วันที่ผ่านมา

    Yaan sasa hv wanakiachia wauwaji watekaji kwa magufuli walikua wanaogopa ila sasa hvi hawawaz kabisa polis shida yaan cjui tufanyeje duh mungu tusaidie na saidie familia yangu peke angu cwez ila ni wewe tu ulie juu ndie muweza wa yote simama kwa familia yangu na watt wangu kwa ujumla

  • @alu_tz1
    @alu_tz1 15 วันที่ผ่านมา

    Hatujajua kwanini wanatuulia watoto wetu hii ni serikali ndio inatufanyia hivi hata Mimi nimepotelewa na mdogo wetu hatujui haripo mbaka leo hatujajua wanampango gani na sisi hata ukishtaki Hakuna hata hushilikiano😭😭😭

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh 😢

  • @user-ur8cq1ye3b
    @user-ur8cq1ye3b 15 วันที่ผ่านมา

    Hata kama wamikosea simungewapeka polic tuu nakwenda maakamani bac wazazi wanajua watoto wapo polic

  • @user-pf2cf4hp6w
    @user-pf2cf4hp6w 15 วันที่ผ่านมา

    Shida tusiongee tukamaliza maneno tumuombe mungu atujalie watoto wanaokuwa na hofu ya mungu wazazi wanajua tabia ya watoto wao sema kibaya chako emungu tujalie watoto wema

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 14 วันที่ผ่านมา

    Naona mnapotezewa muda kidogo mpooze hasira mwishowe mtaambiwa mkazichukue maiti zenu serekali haina muda na vijana wadokozi hata kidogo😢

  • @leilayathumani2295
    @leilayathumani2295 15 วันที่ผ่านมา

    Ushaur wangu kwao wajarbu kwenda mochwar ya muhimbili na ile hospital ya keko na wazdishe maombi naumia mno mimi wa kwangu nilimkuta mochwar ya muhimbili na alikua anaanza kuoza

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 15 วันที่ผ่านมา

    Kuna mwingine hapa petu makangarawe ana mwezi sasa tumeshaenda mochwari zote hayupo magerezani hayupo

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 15 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tanzania sisisote niwa Safili tutapita kwanini mnageuka mamba nakuraana nyinyi mtaliwananani? Jiulizeni tabia hizo nizakichawi

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 15 วันที่ผ่านมา

    Wanakwapua simu na mikoba ya watu, nanyi ni zamu yenu Julia wengine tunalilia Mali zetu ziliporwa. Waleeni vizuri na funikeni mabega yenu.

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 15 วันที่ผ่านมา

    MUNGU AINGILIE KATI JAMBO JILO

  • @rajabuidd45
    @rajabuidd45 15 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo kama ni wezi ndio wawauwe kwa kuwapoteza siwangefata sheria na utaratibu wa nchi.....

  • @leilayathumani2295
    @leilayathumani2295 15 วันที่ผ่านมา

    Viongoz wa police watakupa Iman nenden muhimbili omba maiti za police mtaonyeshwa afu Hawa watoto wetu Kuna matukio wanafanya Bila xx wazaz kujua

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 15 วันที่ผ่านมา

    mhhh mbona huyo Kelvin anaonekana kabisa ni mvuta bange tu hata sura yake

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba 15 วันที่ผ่านมา

    Hawa vijana waliwatenda kosa gani

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n 15 วันที่ผ่านมา

    Hapaliki wala Hapalaliki kwa kweli.

  • @AminahChaupole
    @AminahChaupole 15 วันที่ผ่านมา

    Wandugu yetu alipotea jumapili kapatikana j3 amekufa kabakwa kapasuliwa tumbo vitu vyandan yatumbo hamna 😭😭😭😭😭 mtoto wa miaka5

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 15 วันที่ผ่านมา

    Wazazi mwende kwa Nabii kiboko ya wachawi Buza tumieni imani nendeni Buza kwa Nabii kiboko ya wachawi mutapata mafanyikio

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 15 วันที่ผ่านมา +4

      Huyo kiboko ya wachawi mpk akupe mimba ndio utajua km ni tapel mwiz tuu mshatekwa ufaham hamjielew😂😂😂

    • @mwaget0815
      @mwaget0815 15 วันที่ผ่านมา

      Hao wameshapotezwa. Wanasumbua sana mtaa. Panyarodi kukata watu kwa visu na silaha kali, kupora kubaka. serekali inafanya kazi yake..

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 15 วันที่ผ่านมา

    Siku hizi mtoto akiwa ni mhalifu sugu ni kimyakimya!!

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 15 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuuh

  • @navioma4882
    @navioma4882 15 วันที่ผ่านมา

    Hiii nchiii jamani😢😢😢😢😢

  • @saidismailgatalya8174
    @saidismailgatalya8174 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona wanaolalamika na kuhangaika ni wamama tu,hao vijana walikuwa hawana baba zao?

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 16 วันที่ผ่านมา +3

    Sema temeke nako daah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 16 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢😢 inaumiza jamani. .hawawatu wasiyojulikani.nimtihani tz sijuiwi wanatokea wapi Mungu tuhurumie wafichue.haowatu kwauwezowako. Najaalia watoto wapatekane wakiwawazima yaraby

    • @AminahChaupole
      @AminahChaupole 15 วันที่ผ่านมา

      Achatu my sister kapotelewa namwanae j2 mbagala kapatikana j3 amekufa kabakwa kapasuliwa tumbo vitu vyandan yatumbo hamna chaajabu kapatikania jirani2 namaeneo yanyumban jana ndy timezika 😭😭😭😭😭😭inasikitisha sana mtoto wa miaka5 kakosa nn 😭😭😭

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 15 วันที่ผ่านมา

      @@AminahChaupole Subuhanallah. Yaraby. ,inalillahi wainailahi rajuun .huwoniunyamawa haliyajuu. Jamani sshapohatawakumkatata unashindwa mtuujuininani. Pengine.hatokimbali mualifu.....polenisana Allah awapesubra naatawali0ia.lnshaallah

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 15 วันที่ผ่านมา

    Halafu majizi mnaita watoto mijitu mizima!

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 3 วันที่ผ่านมา

      Chalamila alishawambia kila mzazi achunge mwanae

  • @user-uo9tq8cc7q
    @user-uo9tq8cc7q 15 วันที่ผ่านมา

    Ccm oyeeeee

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 16 วันที่ผ่านมา

    Hilo limama limevaa ccm hovyo kabisa