Vitu Vya Kufanya Ili Ufanikiwe - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 102

  • @jorvithmofuga-ng1lf
    @jorvithmofuga-ng1lf 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana brooo mungu akupe miaka mingiii sana ushauri wako kwe2 ni manufaa makubwa sana broo

  • @Iamsasboy
    @Iamsasboy 2 ปีที่แล้ว +7

    Mambo 4 ya kufanya ili utanikiwe.
    1. Displine - Nidhamu binafsi
    2. Commitment - Kujitoa kwenye jambo fulani. All in.
    3. Sacrifice - Kuachilia mambo ambayo unayapenda eg Entertainment udaku uhunzi nk
    4. Ditamination - Kuamua haswa kufanya hilo jambo regardless kuna changamoto gani.
    Nice one JOEL NANAUKA.
    SEE ME AT THE TOP 🔝

  • @elkins_musa
    @elkins_musa 2 ปีที่แล้ว +4

    Naitwa Elikins Mussa ni mwalimu niliyekosa ajira serikalini kwa sasa mm ni msanii wa bongofleve na stendup comedy kutoka mkoa wa songwe napenda sana masomo yako kwa sababu yananiimalisha natamani nifanikiwe kukuza sanaa yangu

    • @thomvision1914
      @thomvision1914 2 ปีที่แล้ว

      Good bro ...even Thom is a professional teacher!

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 2 ปีที่แล้ว +5

    NASEMAJE... JOEL.. miaka 10 kutoka sasa kuna jambo Tanzania na DUNIA nzima litathibitika... it's ABDULHALIM FROM ZANZIBAR.. wengine tumepanda MIANZI YA KICHINA...

  • @dionisswai5304
    @dionisswai5304 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe shida kwangu kuna vitu vya kuacha tu mambo yawe sàwa, Asante

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 18 วันที่ผ่านมา

    Asante sana MUNGU Baba wa Mbinguni Akubariki

  • @firdosoman3133
    @firdosoman3133 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe kaka somo zuri sana

  • @hiland255fundi5
    @hiland255fundi5 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka hii ya leo umeua zaid sana

  • @longoriaetaan6210
    @longoriaetaan6210 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Joel unanijenga tu sana Kwa mawaidha hayo

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 2 ปีที่แล้ว

    Upo sahii sana..Kuna vitu vingi vya kuacha

  • @jumajama2886
    @jumajama2886 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama wewe unazijua hizi njia Mbuna wewe hujafanikiwa

  • @abubakarkibwana756
    @abubakarkibwana756 2 ปีที่แล้ว

    Asee Joel Nakukubaki Mpaka basi yaaaaani

  • @edommdende4309
    @edommdende4309 2 ปีที่แล้ว

    Fact! brother nanauka ,,,endelea kituelimisha

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa sana bro joel mungu akupe miaka 100000

    • @pilichuli4449
      @pilichuli4449 2 ปีที่แล้ว

      Yaaaaaniiii Aishi miaka 900000000000000

  • @abubakarkibwana756
    @abubakarkibwana756 2 ปีที่แล้ว

    Dah umekuwa taa yangu bro ni mwaka wa Tano huu Assse we Mtu noma

  • @magrethmalangalila8041
    @magrethmalangalila8041 2 ปีที่แล้ว

    Nasoma pharmacy natamani kufanya kwa kiwango Cha juu Sana naomba endelea kunisaidia maana Kuna mahaali nimetoka leo Mungu akubariki

  • @annmulu934
    @annmulu934 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother Joel umenijenga Sana katika mafundisho yako, tangu niaze kukusikiza nimekuwa mtu tifauti Sana na vile nilikuwa mwanzoni Mwenyezi Mungu akuzidishie bro

  • @mugishasine7778
    @mugishasine7778 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka uko mwalimu wetu

  • @mtundimtundi5153
    @mtundimtundi5153 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Nijambo jema mno
    Kujitambua

  • @sarahwilliam212
    @sarahwilliam212 2 ปีที่แล้ว

    asante kaka ubarikiwe mara elf moja

  • @ambrose_vevo137
    @ambrose_vevo137 2 ปีที่แล้ว

    Aisee mabadiliko ni muhimu hapa

  • @davidfrancis8582
    @davidfrancis8582 2 ปีที่แล้ว +14

    Vitu vya kufanya ili ufanikiwe
    1. Discipline / Nidhamu Binafsi
    2. Commitment / kujitoa kwa kile unachokifanya bila kujali chochote
    3. Sacrifices /kujitoa dhabihu kuacha na vitu ili ufanikiwe ie kuna vitu unabidi uache
    4. Determination / hata kitokee nini lakini ni lazima nipambane

    • @johnwarioba4679
      @johnwarioba4679 2 ปีที่แล้ว

      Asante kakaa

    • @johnwarioba4679
      @johnwarioba4679 2 ปีที่แล้ว

      Me naitwa elinaice Asante umenifunza meng San na npo mbal

  • @samweldaniel3774
    @samweldaniel3774 ปีที่แล้ว

    Aisee brother napenda Sana mafundisho yako nakuombea mungu azid kukupa mafunuo mbalmbal naamin Kuna siku nitakualika kwenye kilele Cha mafanikio yangu

  • @ruthdaniel1688
    @ruthdaniel1688 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka nahitaji kitabu chako cha timiza malengo yako

  • @mcchristmass7647
    @mcchristmass7647 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki kaka mkubwa

  • @obedilaizer2580
    @obedilaizer2580 2 ปีที่แล้ว

    Pamoja Broo...

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 2 ปีที่แล้ว +1

    Jinsi tunavyobarikiwa kupitia maarifa haya nawe Mungu Akuzidishie kwenye mahitaji yako na Yale yaliyo magumu

  • @mansouromary9246
    @mansouromary9246 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli mtupuu bro 💯

  • @newstar7415
    @newstar7415 2 ปีที่แล้ว

    New star

  • @yemk2105
    @yemk2105 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuri

  • @daniellepari4525
    @daniellepari4525 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mwalimu kwa somo lako ubarikiwe 🤞🤞

  • @renacyoscar2192
    @renacyoscar2192 2 ปีที่แล้ว +2

    Unachokisema its exactly I used to practice always in my life .... Thanks for strenghten me to still doing the same

  • @danieltoroka7281
    @danieltoroka7281 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka nanauka naelewa sana mwanzo mwisho unacho sema 🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏wewe ni super man nakukubali kaka elimu yako iko juu zaidi 💪 sijapata kuona baraka nyingi kwako mungu awe mtetezi wako kwa kila jambo 👏👏👏

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi

  • @jomomepukori6209
    @jomomepukori6209 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana comrade!!! Karibu Monduli

  • @herimailo5350
    @herimailo5350 ปีที่แล้ว

    Asante bro nazidi kuimarika kiakili na kubadilika baadhi ya mienendo yangu

  • @zainabozainaty6188
    @zainabozainaty6188 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu aendeley kukuabariki ila kusema kweli vitu vyote ivo ulivyo vitaja mimi ninavyo tatizo sasa changamoto ni nyingi ila napambana kukata tamaa siwezi na kuna vitu vingi nimeacha ili nifanikiwe ila kila najitaidi kujaribu kabisa kupiga hatua panatokea changamoto za hapa na pale ila bado napambana na Amini ipo siku ntafikia malengo yangu juu ni nakiwii kabisa 💪💪na Mungu anitangulie kukataa tamaa siwezi wala kurudi nyuma nilazima nizifikie ndoto zangu

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana nimekuelewa kabisa Muumbaji anisaidie kuweka kwenye MATENDO.

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa kunipa hamasa ya kuendelea kusonga mbele, haijalishi itatokea nini lakini lazima nifanikiwe katika nifanyacho. WEWE ni MTEULE #You HERO# 🥋🥊👉🏆

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 6 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

  • @joseshimba3635
    @joseshimba3635 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kaka

  • @josephjeremiah1526
    @josephjeremiah1526 2 ปีที่แล้ว

    Exactly my brother

  • @paulfrenck7269
    @paulfrenck7269 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Joel ubalikiwe saana

  • @cabasamusicworldwide8215
    @cabasamusicworldwide8215 11 หลายเดือนก่อน

    You're so genius

  • @anjelinamdugange825
    @anjelinamdugange825 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli nangoja kuwa mtu mkubwa, kupitia ushauri wako,big up. Brother

  • @mcsidoo95
    @mcsidoo95 2 ปีที่แล้ว

    Shukran Sanaa #JoelNanauka kwa ushauri wako Mungu akubariki.

  • @africangoldenmusic8061
    @africangoldenmusic8061 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani Joel.May Almight God keep sharpening your brain.Kiukweli masomo yako yamebadili fikra potovu nilizokuwa nazo hapo awali.

  • @listonereuben7114
    @listonereuben7114 2 ปีที่แล้ว

    Teacher of my life god bless you🙏🙏🙏🙏

  • @jameskulwa6530
    @jameskulwa6530 2 ปีที่แล้ว

    Thank you joel

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa ujumbe kaka

  • @dullahwago5360
    @dullahwago5360 2 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel ahsante sana 🙏🙏

  • @pastergabrielmfoy7840
    @pastergabrielmfoy7840 2 ปีที่แล้ว

    Thank you Brother

  • @mohdfearless2116
    @mohdfearless2116 2 ปีที่แล้ว +1

    role model 🎆

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kwa mafundisho yako .Ubarikiwe

  • @abumajzaamohammed2265
    @abumajzaamohammed2265 2 ปีที่แล้ว +1

    Nangoja kua hamu na gamu

  • @nsiandeshoo244
    @nsiandeshoo244 2 ปีที่แล้ว

    Joel let me add consistency ! Ni muhimu sana!

  • @neemakalinga8206
    @neemakalinga8206 2 ปีที่แล้ว

    Thanks MUNGU azidi kukutumia kuinua akili zetu

  • @eltonmnunga8228
    @eltonmnunga8228 2 ปีที่แล้ว

    Kaka u r blessed, endelea kutufunza na tukuwa sehemu ya ushuhuda kwa mfanikio tutakayopata kupitia mafundisho yako

  • @millenium-tz7151
    @millenium-tz7151 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @__B.O.B
    @__B.O.B 2 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Joel. GOD bless you. Keep lightening our minds.

  • @sirjeffgodbless7463
    @sirjeffgodbless7463 2 ปีที่แล้ว

    Thank you so much

  • @hitimanajoachim.thierry6936
    @hitimanajoachim.thierry6936 2 ปีที่แล้ว

    Hakika bro you are talking the totally truth

  • @sadockyekonia6486
    @sadockyekonia6486 2 ปีที่แล้ว

    Nice Mr Joel Nanauka

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว

    Genius 🔥

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

    Nitapataje kitabu chako mm niko burundi

  • @bibianaalfred8444
    @bibianaalfred8444 2 ปีที่แล้ว

    Thanks Bro

  • @ayoubmnemadau1001
    @ayoubmnemadau1001 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @francisshaula7291
    @francisshaula7291 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed @JoelNanauka

  • @nickolousrajabu5001
    @nickolousrajabu5001 2 ปีที่แล้ว

    Joel. Thank you for education

  • @mohayzosule8887
    @mohayzosule8887 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว

    Awesome thank

  • @josephjohn4283
    @josephjohn4283 2 ปีที่แล้ว

    That point is true!

  • @cloudswai307
    @cloudswai307 2 ปีที่แล้ว

    Thank you teacher

  • @harunamdogo19
    @harunamdogo19 2 ปีที่แล้ว

    So nice

  • @joharfilemon9747
    @joharfilemon9747 2 ปีที่แล้ว

    Kaka nataka kujua lini una kuja mwanza nina zawadi yako

  • @sarahmtenga134
    @sarahmtenga134 2 ปีที่แล้ว

    Joel,uko vizuri,Mungu azidi kukuwezesha,kwani masomo yako yanaponya wengi,ni DAWA.

  • @mmangammanga4503
    @mmangammanga4503 2 ปีที่แล้ว

    Kaka hapo mwisho nikama unatuombea ila tunakupenda asaenteh🤣🤣

  • @leonardsilago4221
    @leonardsilago4221 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว

    Kwetu. Ni. Neema

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 ปีที่แล้ว

    Mm nataka kitabu chamafanyikiyo plz

  • @mamakarim-cy7ld
    @mamakarim-cy7ld ปีที่แล้ว

    Nyumbayaudongo

  • @enaelcassim8062
    @enaelcassim8062 2 ปีที่แล้ว

    Sorry
    Naomba namba zako za simu kuna mawazo nahitaji msaada kutoka kwako

  • @nairaabdallah4223
    @nairaabdallah4223 2 ปีที่แล้ว

    Hi bro napenda san mafunzo yako ila nhataj msaada wako juu ya ushaur wa kibiashara

  • @safarijean-pierre4918
    @safarijean-pierre4918 2 ปีที่แล้ว

    Sijapata number yako ya kweli naitaji kuongea nawewe binafsi

  • @japhetjohn5697
    @japhetjohn5697 2 ปีที่แล้ว

    Niache kufanya nini?ili nifanikiwe.

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 2 ปีที่แล้ว

    Bado tu

  • @Directortomwillz
    @Directortomwillz 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaongea ukweli kbx Joel upo frsh snaa kweny advice yko th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html

  • @joseshimba3635
    @joseshimba3635 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @munaissa2529
    @munaissa2529 2 ปีที่แล้ว

    Thank you brother

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani