🎉🎉❤bro i promise nitakuwa mtu mkubwa apa nchini na nitakua wealth lkn naomba uifadhi hii text nitakapo kutana na wew nitataka uirudie hii text sir. GOD BLESS U
Amina Amina, Naona uyu n mimi ntasonga mbele na juu Zaid in Jesus name, Bidii pekee haiwezi kukupeleka mbali bila Mungu, Mungu na Bidii usiviache, see You at the Top
Kwa kutumia hii Semina naweka rekodi hapa,nitakuja kuandika ushuhuda mrefu sana.Sioni sababu ya kulala,naamka nimpige Mike Tyson.Naamka kuisaka Goals zangu kama Oxygen.
Mungu mwenyezi naomba ukilinde kichwa hiki kwa faida ya kizazi kijacho.Joel,kila herufi unayoitoa kwenye kinywa chako ina thamani kuliko dhahabu yenye kilo 20.Asante sana.
Kaka nimekufuatiria kwa mda sasa wa mwaka na miezi toka ninalize elimu yangu ya secondary lakin bado naendelea nimejifunza mengi Sana toka kwako naomba unifundishe kuhusu kutengeneza fedha ukiwa chuon
🎉🎉❤bro i promise nitakuwa mtu mkubwa apa nchini na nitakua wealth lkn naomba uifadhi hii text nitakapo kutana na wew nitataka uirudie hii text sir. GOD BLESS U
Ur the best broo best of luck ✊🏿keep on moving
Nahiifadhi, nasubiria ukubwa wako🙏
Amina
Acha kuota mchana ww amka
Napenda Sana vile ukitoa somo unaingia kweye somo moja kwa moja huna Mambo mengi ya kumchosha msikilizaji
Naona jinsi nnavopiga hatua Kwa kufatilia elimu yako Asante sana
Safi prof joel nanauka.naendelea kujifunza Niko Nairobi,kenya
really I see you "at the top" napata uelewa zaidi kupitia lesson zako
Mungu akubariki sana kakaangu umefanyika baraka sana
Amina Amina, Naona uyu n mimi ntasonga mbele na juu Zaid in Jesus name, Bidii pekee haiwezi kukupeleka mbali bila Mungu, Mungu na Bidii usiviache, see You at the Top
Amen,mimi nina 48yrs but i believe ican do something after many years of making Mistakes in life,see you at the top!
Mungu awe nawe ndg
I'm from Comoro, Mr Joel you are the true meaning of a life coach God bless you👑🙏
Thank you so much, let’s keep on learning 🙏🙏🙏
I'm from Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩,i just like your speech too much🎉❤
Asante kaka Joel mungu azidi kukubariki nimejifunza kitu kw..hii.. video asante sana 🙏🙏🇧🇭🇧🇭
Asante sana Kaka Joel Nanauka Hakika elimu yako inaniongezea hatua saaana,Najikuta nasonga mbele kwa ujasiri mkubwa kila siku❤🎉
Asanteee sana Mr joelnanauka nimebarikiwa sana rafiki Angu
Be blessed my mentor nakufatilia since2019 nkiwa form four najifunza kitu .....2024 ni mwaka wangu God be be with me......🔥🔥God bless you 🙏
Napata nguvu mno ninapokusikiliza, mungu akubariki sana.
Nitaijurisha Dunia kuwa thamani yangu inaitajika sehemu furani one day maana wakati sahihi utakapo fika ❤
Ubarikiwe sana bro 😊
Speaker Pekee ninaemkubali dunia nzima ni Mr Joel Nanauka 🎉
Asante sana Joel 🙏🙏🙏🙏
asante sana kaka umenipa somo kubwa sana naanza kuyafanyia kazi sasa ili niweze kuishinda hofu yangu Mungu akubariki sana🙌🙏
Shukrani sana kaka Joel 🙏🏽🙏🏽, kila siku nifunza mambo mapya. Hakika kila siku nakuza maarifa na fikra zangu kupitia kwako.
God bless you kaka Joel🙏🏽🙏🏽
Asant sana kwa somo zuri,.tumekuona Mwanza airport leo,tulifrahi.
Nashukuru sana sana 👏🏽👏🏽
this is the best Joel,you are transforming so many lives out here for real ,God bless you abundantly
Hili somo lina nibariki nalirudia kila wakati
Kaka Joel unatisha, ubarkiwe sana. Utatuvusha.
Mungu Amemleta Abraham kwa wanaIstraeli❤❤
👏👏 mentor
Ndugu yangu wewe ni baraka kwa wengi
Sanaa❤
Jamaa anaonekana ni msomaji mzuri wa vitabu. ❤
Life transforming thank you Nanauka
Nashukuru kwa mafundisho yako bro
Kwa kutumia hii Semina naweka rekodi hapa,nitakuja kuandika ushuhuda mrefu sana.Sioni sababu ya kulala,naamka nimpige Mike Tyson.Naamka kuisaka Goals zangu kama Oxygen.
God bless you
Kaziyako ni zuri sana kaka Mungu akubariki sana
Love it, najifunza kitu hapa
God bless you
Najifunza mno...
Maisha yangu yamebadilika
Ubarikiwe sana sitachoka kukufuatilia
Shukrani kaka❤❤
Kaka zawadi Yako mungu akupe kibali zaidi
Mimi waleo ni wathamani sitatumika bure kuanzialeo mimi ni thamani hii miezi 6 iliyoboki nitakuwa wathamani
Asante sana kaka
😂😂😂 yaaan kaka Mungu akubariki sana wallah. Unapoint nzur sana. Shukran sana
Mm N mtu mkubwa sana na nitakuwa tajiri ndani ya miaka mitano Ii kufikia mwaka 2030 lazma niwe tajiri mkubwa Tz
Be blessed brother 🙏
Naendelea kukufatilia❤❤❤
I didn't know there's something like Baby friends.....kenya is well represented
Asante kwa somo ziri
NASHUKURU TU MAANA NAJIFUNZA
Barikiwa ndugu
Nimebarikiwa kupitia hisemina naaza kuandaa ushindi
Tunakuchukuru sana
🙏
Noted.see me at the TOP
Pamoja na kuku fuatilia video zako za kila siku sasa nina hitaji kuhudhulia kwenye semina zako sija jua taratibu zako za simina zako.
Good motivation
Bro uko vzir sna ❤❤
Mungu mwenyezi naomba ukilinde kichwa hiki kwa faida ya kizazi kijacho.Joel,kila herufi unayoitoa kwenye kinywa chako ina thamani kuliko dhahabu yenye kilo 20.Asante sana.
Ameen Ameeen Ahsante sana sana🙏
Kaka Mimi nakufatilia sana toka 2019 naninapambana sana wakati unakuja ntatoa nilichokua nafanya kupitia masomo yako
Hata mm kuanzia sasa naanza kuishinda hofu yangu
Kaka nimekuelewa
Nzr
Ni vyema kama serikal ikikupa nafasi wew na tim yako kutoa hii elimu mashulen o-level na advance kwa form 4 na 6 itakua nzur zaid
Kaka nimekufuatiria kwa mda sasa wa mwaka na miezi toka ninalize elimu yangu ya secondary lakin bado naendelea nimejifunza mengi Sana toka kwako naomba unifundishe kuhusu kutengeneza fedha ukiwa chuon
NIKIWA NAKUSIKILIZA youtube NI KAMA VILE TUKOWOTE DARASANI . SICHOKI KUKUSIKILIZA . UBARIKIWE SAAANA ,P6
Asante
Naomba namba zako
Mm sikufatilii tu bali nafanya n unacho kifundishaa naamin nitakua mtu wa tofauti sana miaka kumi ijayo i will be the best na mungu anisaidie 🙏
😂😂😂😂😂Eti chura alikuwa kiziwi alijuwa anapewa moyo❤kumbe walikua wanamcheka😂😂😂😂
👏👏👏👏👏👏🎉🎉🎉🎉🇨🇩
Kuanzia Leo mwaka huu nitaruka Kama tai❤🎉
kupitia ww lazm niwe Tajiri 2026, nitakua nimekuza jina lang
Nimesikiza hadi mwisho MM sio kuku ila MM ni tai
🙏