SASHA MAKOYE:MAHARI YANGU MILIONI 200 |NATUMIA MILIONI MOJA KWA SIKU |NIMEMBLOCK KIREDIO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Nyie😂😂😂 jamani sasha afunguka mazito mahari yangu milioni 200 je wanaume tutaoa kweli ?

ความคิดเห็น • 41

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 หลายเดือนก่อน +11

    Kashindwa kutaja anachofanya, hao wanajiuza hotelini wanashinda club wako wengi,, wanatembea na vizee wanawapurura pesa wanakimbia wengi tunawajua😢😢😢

  • @FastpayMauzo
    @FastpayMauzo หลายเดือนก่อน +1

    Sass Dada umetoka Oman juzi tu mara hii ushakua fanya biashara wa nguo za wadada poch nk.. Vip mbona autaki biashara yako ya spare za frank? 😂😂😂
    Umeanzishaje biashara harakaharaka wakati Ata pigo la frank halijaisha?
    Mm naona kama unatupanga tu na kiredio wako

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 หลายเดือนก่อน

    Sasha your so beautiful mummy

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 หลายเดือนก่อน

    Hata ukishusha ufanye 10000 Bado ufai ata frenk alishindwa juu akujuwa asili yako gani juu ulembo wote wakukopa 😂😂😂😂

  • @NuruOmary-nc2xh
    @NuruOmary-nc2xh หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 watangazaji wana moyo me ningeropoka apooo upuuziii uwooo

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike หลายเดือนก่อน +2

    Mamaae million tat wap wakati kuna copy 210000kwendra ili danga mbwa t

  • @user-wz6yd8wx1g
    @user-wz6yd8wx1g หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bhana alitaka umaarufu tuuu ata anachoongea ata akieleweki kinachekacheka tuu umalaya AAAAH 😂😂

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu หลายเดือนก่อน

    Iyo pua kama ya baba levo

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂huyu Dada ana mambo mengi eti million moja Kwa siku

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG หลายเดือนก่อน +1

    Basi huyu Oman alikuwa ana danga hakuwa shaghara😂😂😂 muongo huyu mahali 200 Alf ulikuwa una ishi na yule masaghura

  • @NaimahKhalifasalim
    @NaimahKhalifasalim หลายเดือนก่อน +1

    Kwa siku anatumia milion 1 😅😅😅 anatumia oman umekuja kufanya nn

  • @Judywakomeka
    @Judywakomeka หลายเดือนก่อน +1

    S alisema miaka mitatu vp tena miwil tena ashukur kiredio amemtredisha

  • @ShelaOmary
    @ShelaOmary หลายเดือนก่อน

    Huyo dada ni muongo ni msanii tu wa maneno maana kazi yake yenyewe alio kua akifanya huko umani haieleki huyo ni muongo asitupozee mda.

  • @nallitykyline3795
    @nallitykyline3795 หลายเดือนก่อน +2

    Utakua umenda misri sio oman amna mkataba wa mika 3😅😅😅dada muongo kma nn unadanganya media na wazawa wa oman tuna kuskiza tu na uongo wko mxuuu

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike หลายเดือนก่อน +1

    Muongo huy dada kumbe hakuwa Oman wala nn ni alikuwa anatafuta Kiki Tu mbwa huy miaka 2..aagize na gari maanina

  • @GMk-fw4vd
    @GMk-fw4vd หลายเดือนก่อน +1

    😮😮😊😊😊😊😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada hakuwa shaghara wala nn alikuwa ana danga naile ni kiki mwehu huyu Tanzania kitu kidogo kinakuwa kikubwa

  • @ashufaaali2731
    @ashufaaali2731 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu dada kumbe zamwamwa eeh sialisema walkutana na frank ndo akaondoka mshenzi wewe dada na macho yake kama mbuzi wa kichina mjinga weweee halina hata aibu na uongo wake linachukiza sana hili

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 หลายเดือนก่อน

    Mavi ya kenge,hana uwezo hata wa kutumia laki kwa siku

  • @LizzyTarimo-b7n
    @LizzyTarimo-b7n หลายเดือนก่อน

    Da sasha Ana miaka mingapi?

  • @SanjerSiamon
    @SanjerSiamon หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada muongo tena mdangaji sugu alaf anajionaa

  • @rehemamgeni203
    @rehemamgeni203 หลายเดือนก่อน

    Itakuwa zandani

  • @murtanseif3539
    @murtanseif3539 หลายเดือนก่อน

    Kwanza muongo mascat hakuna mkataba wa miaka 3 ni 2 miwili 2 tu asiongope hao ndio wanaokuja hapa oman kuwaharibia wenzao tu

  • @happymollel4690
    @happymollel4690 หลายเดือนก่อน

    Kanikera sanaaa

  • @mrssalim1444
    @mrssalim1444 หลายเดือนก่อน

    Ovyooooo

  • @SalhaIradukunda
    @SalhaIradukunda หลายเดือนก่อน

    Kwakazi gani za Omani jamani😅😅😅😅 umemu hoga mkaka afu ubaki na nini??😅😅zayidi yapumzi tu😅😅

  • @hamedatanzani6
    @hamedatanzani6 หลายเดือนก่อน

    Acheni kutafuta kiki na oman yetu eti nimeagiza gari kwapesa zipi sasa za miaka miwili 😂😂😂😂😂 hata nyumba hujengi achakufanganya watu

  • @MaryamMaryam-ru1qt
    @MaryamMaryam-ru1qt หลายเดือนก่อน

    Sura mbayaaa fyuuuuuuu halina hta aibu

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie หลายเดือนก่อน +1

    Kwaza muongo akuna mkataba miaaka mitatu😂😂😂

  • @NinaMon-b1y
    @NinaMon-b1y หลายเดือนก่อน

    Mahali m 200 mmmmh

  • @tatusalehe8775
    @tatusalehe8775 หลายเดือนก่อน

    Milioni 200 mwanaume anakuta nini umeshakidangisha

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie หลายเดือนก่อน

    Duuh😂😂😂😂😂😊

  • @user-pk8bp7th9e
    @user-pk8bp7th9e หลายเดือนก่อน

    Usingefanya lazi za ndani nyooo

  • @user-yl8qz6ku3p
    @user-yl8qz6ku3p หลายเดือนก่อน

    Akanye lelin uko hakana lolote uongo to

  • @MomArman
    @MomArman หลายเดือนก่อน

    Muongo mkubwa ww

  • @saudabangu3002
    @saudabangu3002 หลายเดือนก่อน

    Muongo huyu dada hana hata aibu yote hayo uongo mtupu

  • @harusi6391
    @harusi6391 หลายเดือนก่อน

    Oman nice ❤❤❤❤

  • @user-yj2qc6cw3q
    @user-yj2qc6cw3q หลายเดือนก่อน

    Kitu kidogo uwa kikumbwa kwa watazania kufatiliana vya danipka unapo shuta mmmmmmmh

  • @user-jl3ck5mf8p
    @user-jl3ck5mf8p หลายเดือนก่อน +1

    Muongo hyu 😂mwanzo alisema miaka 3 leo miwili mbwa kabisa