ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

SASHA MAKOYE: AMFUMANIA BOFYFRIEND WAKE/KIREDIO ATOBOA MCHONGO/NIMEMBLOCK KIREDIO KUTRENDISHA VIDEO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Nyie😂😂😂 Kumbe Kuna Wadada Bado Wanalipa Kodi? Wanakununulia Usafiri Na Mipango Ya Biashara Wanakunyooshea??? TEAM STRONG MKO VIZURI
    Usisahau ku subscribe TH-cam channel ili kuwa mwanafamilia wa Bongo Fm.
    #simbafans #nbcsports #timuyawananchi
    #timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #simbasc

ความคิดเห็น • 476

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd หลายเดือนก่อน +133

    😮waliogundua ni kiki like hapa

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilijua kuona bagi Tu nikajua hii ni Kiki 😂

    • @DfhhffDryy
      @DfhhffDryy หลายเดือนก่อน

      Kwanza kwa hella gani jmn mshahara wenyewe umeshuka

    • @HawaJumanne-uy4eu
      @HawaJumanne-uy4eu หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kweli nimechoka huyu dada katufanya sisi watoto kumbe katengeneza muvi😢😅😂

    • @UpendoLema-bx9ji
      @UpendoLema-bx9ji หลายเดือนก่อน +1

      Duuuh

    • @Marry-k5p
      @Marry-k5p หลายเดือนก่อน +1

      Huyu sio wa ramata badala ya lamata na ruru badala ya lulu😂😂😂ili igizo hili

  • @Amayrah-fe6ec
    @Amayrah-fe6ec หลายเดือนก่อน +7

    Usimlaumu kiredio wakati ww mwenyewe na kihere here chako ndio ulimtafuta kiredio sasa kwa nn umlaumu kiredio😢

  • @EstellaMagara-zk2qx
    @EstellaMagara-zk2qx หลายเดือนก่อน +63

    Kwa wale tumemujuwa kupitiya @kiredio like zenyu

  • @NaahJr
    @NaahJr หลายเดือนก่อน +15

    Sasha alitaka kutrend tuu 😂😂 atajuju aliyataka mwenyew kiredio asingeweza kumfata Sasha kwanza hamjui watu wanaopenda mambo ya mitandaoni ndo wanamtafta kiredio wenyewe 🤣😂😂😂

    • @RhobinaDaudi-iz4ju
      @RhobinaDaudi-iz4ju หลายเดือนก่อน

      Alisema alimtafta kiredio mwenyew, sio kiredio aliemtafta huy dada

  • @RayOmar-vk2nn
    @RayOmar-vk2nn หลายเดือนก่อน +13

    Umeigiza juzi tubumetoka oman juzi tu wewe ni mfanyabiashara wewe ni housegirl omzn wewe ni muigizaji mashallah

  • @MoureenPresiours
    @MoureenPresiours 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mh kweli wambea tupo wengi jamani😂

  • @buyegintambi3867
    @buyegintambi3867 หลายเดือนก่อน +8

    Hahahaaaa.........kama ilikua ni private Kiredio umemtafuta wanini😊.

  • @Shadia544
    @Shadia544 หลายเดือนก่อน +110

    Hicho ndiyo alichokitaka yaani sijui Kwanini kutaka umaarufu ndiyo alioutaka jamaniii tuliokuwa Oman tujuane hapa LIKE 10 😂

  • @miriammseke
    @miriammseke หลายเดือนก่อน +11

    Oman mchezo tuulize tuliyoko oman uku wee kwa ile mikucha na zile nywele we umetoka oman ipi dada😂😂 na kale kabegi😂 mashallah waarabu kwa nguo lazima na ww uwe na nguo za kutosha uku tumefungusha na nguo zao zilivyo kwa kile kibegi na izi hekaheka za oman eti mkalee na mwanaume😂😂dada pesa oman tunapata nyingi kweli lakini cyo kirahisi ivyo eti ukaongee na kulea mtoto wa mtu weeeeee

    • @Mariamyotube-p2e
      @Mariamyotube-p2e หลายเดือนก่อน +1

      Kwnza alikuwa analipwa kiasi gn omani hii ya joto la jiwe au

    • @AlaikaHassan
      @AlaikaHassan หลายเดือนก่อน

      Kwa kucha na nywele shost ni inawezekana kabsaaaaaa, labda hayo mangne ndo tumjudge maana hvo sjui kucha na wigi una order online na unajibandika vizuri sana sku unayoondoka hakuna wakukuzuia

    • @ashahassan7414
      @ashahassan7414 หลายเดือนก่อน

      Mimi nilijua tu huyu dada anataka umarufu kwa jinsi nilivyomuona ck ile anakuja kibegi kimoja kidogo chepesiii mwanamke huna hata kipochi kidogo tu hebu fikiria half makucha sasa huyu muongo xn kwa kiredio alisema frenk walikuwa wanaishi wote ile nyumba kabla ya kuondoka akamuacha pale na alivyorudi yeye ndo alienda moja kwa moja pale kwa frank kwasababu alisema anapajua yeye ndo alipanga kabla hajaenda omani halfu hapa tena anasema alimtumia pesa apange nyumba ndo kaenda kutafuta nyumba uswahilini ambayo haiendani na pesa aliyokuwa anamtumia huyu dada ni muongo xn alitaka umarufu tu hana lolote mbwa huyu mm nilijua toka ck ile ya kwanza kwa kitedio 😏😏

    • @rogatienmathari1838
      @rogatienmathari1838 29 วันที่ผ่านมา

      Hello

  • @ClaraSudi
    @ClaraSudi 28 วันที่ผ่านมา +3

    Hata mm niliona jaman like beg halikuwa naki2 chchote mana co kwaubebaj uleee😂😂😂😂😂

  • @user-gb3sf9fy2u
    @user-gb3sf9fy2u หลายเดือนก่อน +6

    Huyu dada kweli ni muongo yan mwanaume anatumia pesa zako za Oman, hlf unasimulia unarelax kbisa yan, na pesa ya muarabu inavyouma ivi

    • @jovithakawimbe7472
      @jovithakawimbe7472 หลายเดือนก่อน +1

      Haki anatufunga kwamba huyu 🥹 katufanya mazuzu

  • @millahboo
    @millahboo หลายเดือนก่อน +3

    Ety private na camera,? Na microphone na kiredio juu😂😂😂😂 kenge wa kijaniii

  • @jesckamolel5693
    @jesckamolel5693 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu dada ni mwongo jmn yeye si alinyooka moja kwa moja kwenye mlango na kasema ndiyo nilikomwacha huyu dada mwongo sana

  • @msalice4451
    @msalice4451 หลายเดือนก่อน +17

    ❤❤❤❤❤ mm Niko omani nataka nijue ALIKUWA anafanya kazi sehemi gani omani kama kweli ALIKUWA omani

    • @KuluthumuMsuwakollo
      @KuluthumuMsuwakollo หลายเดือนก่อน

      Utakuwa umefanya la mana 😂😂

    • @user-gj7rb5zd7i
      @user-gj7rb5zd7i หลายเดือนก่อน

      Kwanza Ile begi haikuwa na kitu ndani

    • @RahmaBenedictor
      @RahmaBenedictor หลายเดือนก่อน +1

      Halafu ukishajuwa ufanyeje mfyuuu pambana na hali yako huko

    • @user-jo8mj8ww9c
      @user-jo8mj8ww9c หลายเดือนก่อน

      Masqat

    • @user-pk8bp7th9e
      @user-pk8bp7th9e หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂​@@user-gj7rb5zd7i

  • @Mohamedrajab-p2j
    @Mohamedrajab-p2j 10 วันที่ผ่านมา

    waongo hawa frank anasema duka LA nguo yeye demu anasema duka vifaa vya pikiki😂😂

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 หลายเดือนก่อน +13

    1:Bag dogo kwa aliyefanya kazi oman halafu halikua na details za msafiri aliyepita airport .
    2:Maelezo ya nyumba mwanzo alisema alimuacha pale that's why alipafahamu wakati wa kurudi halafu leo hii anajifanya eti nyumba cheap na midomo anabinua kwa dharau😂.
    3:Kiredio alimuita mwenyewe leo anamtupia lawama.
    4:Oman amekaa miaka 2 mara ni mwigizaji kaigiza miaka 4 mashabiki wanamkubali😂
    Dada kajua kucheza na akili za watanzania.
    KIKI tu kuwa na akili za kuona unajidhalilisha Aaahh!😂😂

    • @Namtumbo
      @Namtumbo หลายเดือนก่อน

      Wasanii

    • @momsash9210
      @momsash9210 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbe ndo yule alomkosoa lamata kumueka lulu baada ya maria😂 asa mbona ile ni current ishu na yy alikua oman for two yrs?hii no 2 ina mantiki sana win,kwann ashangae ile nyumba wakat anaijua ndomana katoka airport direct mpk mikocheni alikompangia?

  • @user-kg2tm2eq7q
    @user-kg2tm2eq7q หลายเดือนก่อน +3

    miaka miwili upo oman...Okkk haya hiyo tamthilia ya koneksheni Sinema zetu uli igiza lini dadaaa 😂

    • @RehemaMwango-xy8qo
      @RehemaMwango-xy8qo หลายเดือนก่อน

      Nachekaaaa to kwa heka heka z omn shghara mie😂

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 หลายเดือนก่อน +24

    😂😂 kumbe muigizaji basi hii imeenda

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 หลายเดือนก่อน

    Miss. Sasha your so beautiful mummy. Bout jama hana mana nimeumia sana mummy

  • @user-ui4ve7jc6s
    @user-ui4ve7jc6s หลายเดือนก่อน +4

    mwanamme duka languo mwanamke duka la vifaa vya pikipiki😂😂

  • @hamedatanzani6
    @hamedatanzani6 หลายเดือนก่อน +4

    Ila huyo dada nimuongo 😂😂😂

    • @AminaOmary-sm4wl
      @AminaOmary-sm4wl หลายเดือนก่อน

      Hakuna mkataba wa miaka mitatu hahahahhaah jaman

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 หลายเดือนก่อน +3

    Kwaio Omani karudi lin😂😂😂maana kafanyiwa interview na carry mastory baada ya mimi Mars kubadilishwa😂😂😂mpuuzi m1.....

  • @ednaallen3757
    @ednaallen3757 หลายเดือนก่อน

    Kiredio wetu hana baya kabisa kabisa 😂😂

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 หลายเดือนก่อน +15

    Naisi apo kuna kik akitoka oman kweli miaka 2 uwez kumtumia milion 10 kwa mshahara bei gan yan

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk หลายเดือนก่อน

      Anaweza mana sikuiz Oman watu Kila mwez ijumaa wanatoka wengine wanajiuza

    • @gladsmwageni9049
      @gladsmwageni9049 หลายเดือนก่อน +1

      Mishahara ni mizuri oman rial 100 hadi 120 yaani laki saba naa hadi laki 8 nachenji so inaweza ikawa ni kweli

    • @gladsmwageni9049
      @gladsmwageni9049 หลายเดือนก่อน

      Harafu huyu ukimsikiliza ni kiki hajatoka oman wala nini 😅

    • @user-xw8om1qd1g
      @user-xw8om1qd1g หลายเดือนก่อน +1

      Kuna ambao wanalipwa rial 200,dadaangu analipwa rial 200 ,sema nyiee mmeshakariri ubeki tatu tuu,kazi zipo nyingi,Kuna supermakert, saloon,shule kazi kibao

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh หลายเดือนก่อน

      Alikuw anatak kuja mjin tu

  • @ghanimaalabri5783
    @ghanimaalabri5783 หลายเดือนก่อน

    Kwanza alisema alimfumania na frenk yuko juu ya kitanda na nwanamke😂😂 ipo kazi kweli

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 หลายเดือนก่อน +5

    Lile bag halikuwa na zile stickers za airport zinazobanwa kwenye bag kuonyesha details za mtu. Pia halkuwa na kitu. Ni kiki

    • @user-pm5zi2cs7d
      @user-pm5zi2cs7d หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Jamani Tanzania sihami nimecheka kwa sauti

    • @athumaniKazua
      @athumaniKazua หลายเดือนก่อน

      Na pia milango aliotokea sio sahh😂😂mbwa huyu kingine wakati wanataka kuweka begi mbn anasema hili buti linafunguka alijuaje na ndo kwanzaaa gari kapanda diku ile

  • @user-mo3wn6cc7h
    @user-mo3wn6cc7h 15 วันที่ผ่านมา

    Ulivyomuita kiredio hukutaka apost mbna hukusema mapema asije na camera 📸😂😂😂😂

  • @RujaynaRashidi
    @RujaynaRashidi 25 วันที่ผ่านมา +1

    Milion moja na lak6 kwa nyumb gan?.. ebu kwenda huko

  • @HoitherJesse-fc9se
    @HoitherJesse-fc9se 12 วันที่ผ่านมา

    Eti nyumba so ya hadhi ya laki moja na anashangaa sa kabla hajaondoka c aliiona mpaka anamleta kiredio 😂😂 n kwamba anapajua ase na mm nianze Kiki nijulikane niwe mwigizaji😂😂😂

  • @AgeCare-w2h
    @AgeCare-w2h 27 วันที่ผ่านมา

    Kiredio akianza kiki za hivi asitulaumu badae tukiacha kumfatilia,alianza vizuri anelekea kujiharibia

  • @DevothaTheonas
    @DevothaTheonas หลายเดือนก่อน +7

    Mbona kama kiki.
    siku zinavyoendelea nazidi kuamini hii kiki 😂

    • @soniahassan6769
      @soniahassan6769 หลายเดือนก่อน +4

      Hii kiki mahi mtu anatoka nje na kibegi kama kile afu ajabu begi Haina hata sticker za mizigo

    • @DevothaTheonas
      @DevothaTheonas หลายเดือนก่อน

      @@soniahassan6769 kabisa yani

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@soniahassan6769Si ndo hapo mahi wangu😂😂😂 yaan kwaza mtu anae toka nnje tulivyo na mihemko mabag matatu mawili😅😅😅😅

    • @soniahassan6769
      @soniahassan6769 หลายเดือนก่อน

      @@ashazuber6548 wasituzalilishe wapambanaji wa oman hakuna siku hizi bwege anaehonga mwanaume

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i หลายเดือนก่อน

      ​@@ashazuber6548mm mwenyewe nimeshangaa maana hpa kuna wang ana mipolo kma yote na bdo kuondoka yy kibegi kile chepesi.

  • @JoyceLKisha
    @JoyceLKisha หลายเดือนก่อน +1

    Mala Frank alipanga nyumba mbaya wakat yeye ndo alimpeleka kiredio na ukasema unapakumbuka

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 หลายเดือนก่อน +3

    Mnafaa mnípe maua yangu nilikoment sikuileile kuwa hii ni kiki ,,mimi najua kumsoma mtu kiufupi tu nina mashale

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx หลายเดือนก่อน +3

    Kweli begi halikuwa na kitu hii. Ni Kiki wanatafuta follow follows. Huyo kiredio tushawajua uongo trend

    • @user-gb3sf9fy2u
      @user-gb3sf9fy2u หลายเดือนก่อน

      Hata mm nimeshangaa mtu unatoka nje ya nchi na begi moja kweli

  • @mantoumm4448
    @mantoumm4448 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani dada muongo uyu ata Oman apajui

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu ni Miongo Sio kwelii Hakwenda Oman wala nini.. Kama Mnakumbuka Ndio Yule Alosema Ruruuuuu Ramataa.. haya kaenda oman lini Mpk Akaa miaka 2... Walipanga hao Kwanza bag halikuwa na Stkaaa Bahna... Semaa Luluu na Sio Ruruuuu

    • @BerthaModest
      @BerthaModest หลายเดือนก่อน

      Yani😂🙌

    • @CAPTAIN_GALAXY13
      @CAPTAIN_GALAXY13 หลายเดือนก่อน +1

      ᴺᴵᴷᵁᴹᴮᵁˢᴴᴱ ᴴᴱᴮᵁ ᴺᴵᴷᵁᴹᴮᵁᴷᴱ ᴺᴬ ᴹᴵᴹᴵ

    • @user-rb5hs3lq6v
      @user-rb5hs3lq6v หลายเดือนก่อน

      Daah
      Nilikuwa nasema hii sura mbona kama sio ngeni😅asante kwa kunikumbusha ndugu yangu😂😂

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 หลายเดือนก่อน

      @@user-rb5hs3lq6v 🤣🤣🤣 Af'waan mpz Yaani wanatufanya Wajinga na watu Tunakumbukumbu...

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 หลายเดือนก่อน

      @@CAPTAIN_GALAXY13 🤣🤣🤣 Umesahau kipindi Lulu Amewekwa Jua kali.. Nenda kwa karma Story Yule Aliyehojiwa Akawa Anasema Ramata Amemuweka Ruruuu Yaani Alikuwa Akitumia RRR Nyingi sana. Kwenye L anasema R..

  • @Mwaguntobi-ip1yi
    @Mwaguntobi-ip1yi หลายเดือนก่อน +2

    Alikuwa anaosha vyombo😂😂😂😂

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 หลายเดือนก่อน

      Haina shida swala ni kazi...

  • @madinarobert4944
    @madinarobert4944 หลายเดือนก่อน +1

    Dada hii michezo😂😂katafuta namna ya kujulikana2

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

      Kujulikan wap alikuw oman kweli jinga hili

  • @britneyivy
    @britneyivy หลายเดือนก่อน

    Million moja kwa nyumba ipi😂😂

  • @omarabulbustsalim531
    @omarabulbustsalim531 17 วันที่ผ่านมา

    Si rahis atume Milioni10 😊

  • @ZulfatJalal
    @ZulfatJalal หลายเดือนก่อน +1

    Mhhh jamn kiki hizi zitaua watu

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c หลายเดือนก่อน

    Dada muongo Sana. Pesa ya Omani mshahala wa kwanza ndohyo yote umetuma kwa hyo ulirudi hata mia huna😮😮

  • @CossyKiria-fd6pq
    @CossyKiria-fd6pq หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kule kwa kiredio full mashungi huku ni hiv

  • @RehemaSalum-vp6rf
    @RehemaSalum-vp6rf หลายเดือนก่อน +14

    Uyu dada nae muongo tu

    • @umaima1178
      @umaima1178 หลายเดือนก่อน

      Sana tena mwanzo alisema walikaa wote hiyo nyumba sasa anasema alimpa pesa sio ya kukaa hapo

    • @edwardchilewa6289
      @edwardchilewa6289 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu fala mwongo kinouma ile nyumba ndo milioni mbili kweli wakati hata laki tatu haifikii

  • @swaumuabdallah6886
    @swaumuabdallah6886 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn kigofu kile ndo milion 😅😅😅😅😅

  • @adamapollo9859
    @adamapollo9859 หลายเดือนก่อน

    Eti sasha ni mfanya biashara😂😂😂wai wakati wewe ni shagla ulukuwa unaosha hamu mama😂😂wacha uwongo

  • @missfetty4173
    @missfetty4173 หลายเดือนก่อน

    Iki kidada kiongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo mi 10 ndo mshahala wa miak 2 namaan uyo uku alikaa kumudumia bwana tu kwaiyo uyu dada kaludi patup😢

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 หลายเดือนก่อน

      Hajarud kap sai rial ipo juu mwaka mmoja una milion 10 na lako 2 na pesa kidog yy kakaa miaka 3 kwa hiyo huyu ni mjinga tuy tusem hajielew pengine hata kwao gajajenga

  • @rukiammanyi-qm9iz
    @rukiammanyi-qm9iz 27 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu muongo muongo et nimekuta kapanga nyumba isiyo na hadhi niliyomtumia hela huku alinyooka moja kwa moja kwenye mlango na kusema nilimuacha apa mara kule kadi ya pikipiki mlisema Frank hapo umesema kadi ina jina langu mfyuuuu kwenda

  • @fawzalbusayid7232
    @fawzalbusayid7232 หลายเดือนก่อน

    Wandishi wa habari wachochezi🤣😂😊

  • @Mojabo-qi7sv
    @Mojabo-qi7sv หลายเดือนก่อน +1

    We tukome ww Kwanza ujui ata mkataba miezi mingapi una tafuta kk kupitia uongo wako ata Oman upajui😢😢

  • @user-oy2fi5qz9n
    @user-oy2fi5qz9n หลายเดือนก่อน +3

    Hivi ile begi ndo la kutoka Oman? Mara nyumba nilikuwa naifaham Mara nyumba sio ya hela niliyokuwa namtumia

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i หลายเดือนก่อน

      Na nnvojua wanaondoka na ndundu hzo mibegi tleee mitumba yote

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 หลายเดือนก่อน +2

    Kumuhudumia mwanamume lazima aje akupige tukio zito Kwa sababu mwanamke akuumbiwa kumuhudumia mwanamke

  • @crispingerald3000
    @crispingerald3000 หลายเดือนก่อน

    Acha upumbamvu Yani kiredio asipost akose Hela we ulimuita wanin kiredio ana ishu privet uyu demu mpuz kweli kweli 😅😅

  • @sofiasophia9018
    @sofiasophia9018 หลายเดือนก่อน +1

    Dada kasha upata umaarufu tayari naulikua unamulaumu kiredio kwanini kapost

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo huo umesema ulimuacha kwenye Nyumba na unapajua sasa tena unasema alipanga Nyumba sio ya hazi yako utatudanganya sana

    • @sanyaalone6180
      @sanyaalone6180 หลายเดือนก่อน

      Ahsante kwa kuona hichi na wew

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 หลายเดือนก่อน

    Pwagu na pwaguzi poli lao moja mchukuane maisha yaendele ila tu muowane kila mtu amueshimu mwenzake😂😂😂

  • @JulithaOliva
    @JulithaOliva หลายเดือนก่อน +18

    Kiki tu kwanza begi halikuwa na kitu ila kinawatu wanapata majanga kama hayo

    • @khamoshmikidadi618
      @khamoshmikidadi618 หลายเดือนก่อน +1

      Kwnz hakua anatok Oman uyo

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i หลายเดือนก่อน +1

      Begi lilikua halina chochote lile

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 หลายเดือนก่อน +1

      Pia mkononi alikuwa ana karatas

  • @muddywatown
    @muddywatown 25 วันที่ผ่านมา

    Huyu anavyoongea2 unajua anautaka umaarufu sauti sio yake ebu rejea hapo kwenye bei ya kodi 😂😂😂

  • @user-qs9bw4kw4q
    @user-qs9bw4kw4q หลายเดือนก่อน

    Nimuongo huyo 😂😂😂 Oman ipi hiyo

    • @MaryamMaryam-sr8zp
      @MaryamMaryam-sr8zp หลายเดือนก่อน +1

      Muongoo uyuataka umalufu maalufu

  • @ashazuber6548
    @ashazuber6548 หลายเดือนก่อน

    Hiii lakin japo ni kiki watu wanapigwa matukio 😂😂😂😂😂😂ila Haya namtafuta wa kumuhonga simuon😅😅😅😅😅😅

    • @modestajamada3496
      @modestajamada3496 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅 umu oni

    • @ashazuber6548
      @ashazuber6548 หลายเดือนก่อน

      @@modestajamada3496 simuon kwakweli wanapatikana wapi

  • @hanifasaidi8395
    @hanifasaidi8395 หลายเดือนก่อน

    Mm sijaelewa chochote leo😂

  • @user-qs4sc7cp8q
    @user-qs4sc7cp8q หลายเดือนก่อน +1

    Nimeisikiliza kwenye radio saloon kwangu mwanzo mwisho leo

  • @LizzyTarimo-b7n
    @LizzyTarimo-b7n หลายเดือนก่อน

    Lakini wanaume waache tabia ya kupenda kulelewa. Fanyeni kazi maana hata maandiko yasema mwanaume atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu. So mwanaume asimame kwa zamu yake na mwanamke kwa zamu yake. Nyie wanawake mnaowapoteza wanaume wadogo kwa kuwarubuni kwa hela na Mali na mahaba mazito muache hiyo tabia ili waweze kujitafutia na kuanzisha familia zao.

  • @Mwaguntobi-ip1yi
    @Mwaguntobi-ip1yi หลายเดือนก่อน +1

    Heeeh, ujinga haununuriwi😂😂😂

  • @RAHELIDARABE
    @RAHELIDARABE หลายเดือนก่อน

    Ndo alichokuwa anataka unamlipia nwanau😢chumba, unanunua pikipiki afya unakaa Oman miaka yote hiyo yaani unatakakeje hizo hela ungewapa wazazi wako siyo hao mbwa mwitu kwani umefunga naye ndoa?ndo akili zikukae mwanaume anayeweza kumfanyia hayo yote ni mume wa ndoa tu.😊

  • @soniahassan6769
    @soniahassan6769 หลายเดือนก่อน +6

    Kiki tu kufanya maisha aaah

    • @maryammeme3203
      @maryammeme3203 หลายเดือนก่อน

      Kweli yani hata siku ya kwanza unaona I muogo

    • @soniahassan6769
      @soniahassan6769 หลายเดือนก่อน

      @@maryammeme3203 yaan wasanii bongo ujinga ujinga ndo mwingi

    • @RamlatyMkwata
      @RamlatyMkwata หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @StellahJacob
      @StellahJacob หลายเดือนก่อน

      😅😅😂

  • @ireneevaristo5552
    @ireneevaristo5552 หลายเดือนก่อน +3

    Kule alisema miaka 3 huku miaka 2 mfyuuuuu Oman ametoka na kibag kimoja na mikucha kama msungo
    Labda alikuja kujiuza maana mabellah wamejaa wabongo wanauza nyuchi zao

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 15 วันที่ผ่านมา

    Yaani hwa wadada hawadada

  • @sharifahemed5253
    @sharifahemed5253 หลายเดือนก่อน

    Kiki mbona😂😂😂😂😂

  • @HeryethAleck
    @HeryethAleck หลายเดือนก่อน

    Huyu dada anaigizaga msitupige na kitu Kizito😅

  • @rohdaphilip2470
    @rohdaphilip2470 25 วันที่ผ่านมา

    Jaman tulio oman tujuwane nataka kuuliz au ni mie jaman umekaa oman miaka 2 alfu ufike tu tz ety umpigie mtu cm jsmn huyu dada muongo kwanz rain inafungiwa alfu yy kafik na kupata vocha wapi?? alfu beg lake harin nembo jamn😂😂 Hata mkomba hana 😂😂

  • @penuelmichael3374
    @penuelmichael3374 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi hawa wenzetu wanapata wapi hela zakuhonga wanaume😢

  • @user-pi6lb6nx3m
    @user-pi6lb6nx3m หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni kiki mnafiki huyu harafu bado anatamka Ruru badala ya lulu mara business fwuuuu😊

    • @abdalahaby3658
      @abdalahaby3658 หลายเดือนก่อน

      Wewe pia umeandika harafu badala ya halafu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo mnatuigizia sio asantee kwa kutumalizia mb zetu

  • @FranklinHosea
    @FranklinHosea 7 วันที่ผ่านมา

    Dada Kapata umaarufu uyu asaiv utashangaa anapost matangazo

  • @mariamhelen7808
    @mariamhelen7808 หลายเดือนก่อน

    Aiseee huyu dada nimuongo sana hakua oman

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 หลายเดือนก่อน +2

    dada muongo mpak kuelezea hawezi ovyoooo kabisaaa

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 หลายเดือนก่อน +2

    Kiredio kakupeleka mjini dada

  • @stelladaudi9206
    @stelladaudi9206 หลายเดือนก่อน +9

    Muongo huyu miaka miwili oman ndo unaludi ka kibegi kama kile alafu eti hera aliyokuwa anatowa nitafauti na nyumba alio kuwa amepanga wakati anadayi alikuwa amemuacha pale pale na alikuwa anapajuwa muongo tu

    • @sharifahemed5253
      @sharifahemed5253 หลายเดือนก่อน

      Ajui kama tunafatilia maisha ya watu.....Muongo uyo mdada

    • @user-wz2wi6tx9g
      @user-wz2wi6tx9g หลายเดือนก่อน +1

      Watu wengi wanao enda Omani wanakazi nyingi wengine wanauza mwili wanafanya kazi saloon na wengine kazi za ndani kwaiyo huwezi jua kama alikuwa anafanya kazi wap

    • @salomecassian3715
      @salomecassian3715 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂hapo sasa

  • @batulialmass8914
    @batulialmass8914 หลายเดือนก่อน +4

    Dada ni muongo uliku unalipwa bei gani Oman eti miliion 3 kwa miezi mitatu kwenda huko

    • @Mwanah-cg3ie
      @Mwanah-cg3ie หลายเดือนก่อน

      Et jmn muongoo uyu

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i หลายเดือนก่อน

      Hyo uwongo kweli

    • @Mwanah-cg3ie
      @Mwanah-cg3ie หลายเดือนก่อน

      @@user-dx6dm6lh1i et jmn ela iyo iyo Kodi boda Duka bd ipo bank bd amenunua car jmn 😂😂

    • @miriammseke
      @miriammseke หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂muongo jmn tulioko oman tunamshangaaa😂😂😂😂khaaaaa dada acha uongo miaka miwili umtumie mwanaume alafu ww ukarudi na sh ngapi

  • @saidmanjuti7441
    @saidmanjuti7441 หลายเดือนก่อน

    huyu dada muongo jaman hahahahahahahahahahahahah

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc หลายเดือนก่อน

    Huyu hajawahi fanya kazi oman mimi ni mkaguzi hapa airpost Dar hajawahi kutoka wala kirud

    • @MonnaPonda
      @MonnaPonda หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @nasrafarjallah6691
    @nasrafarjallah6691 หลายเดือนก่อน

    Nyumba ya million 1.2 ni ip???😂😂😂😂

  • @KeiOmaromar
    @KeiOmaromar หลายเดือนก่อน

    Mwana kulitafuta mwana kulipata 😂😂😂wenzio tunamek ela zetu ww unahonga 😂😂😂😂make kwnz ncheke😅😅

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki tu ovyo sana huyu dada

  • @adamapollo9859
    @adamapollo9859 หลายเดือนก่อน

    Jitu zima ovyo😂😂

  • @noreen2654
    @noreen2654 24 วันที่ผ่านมา

    Huyo mwongo mbona frenk anasema duka la nguo?

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni Muongooooooo

  • @SalimaOman-hz1mi
    @SalimaOman-hz1mi หลายเดือนก่อน

    Muongo sana uyu dada

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sababu picha alivyotoka Oman na kisanduku kimoja tuu kidogo😢

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 หลายเดือนก่อน +1

    huyu anaigiza bwana sio kweli katoka omani😊

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo sehemu nyingine umejikoroga!!

  • @user-ze3zw4dq4r
    @user-ze3zw4dq4r หลายเดือนก่อน +1

    Wee wat tuk omn hatujasikia msharah wa million 3

  • @abc-en3em
    @abc-en3em หลายเดือนก่อน

    Mmh pale kodi ni million 😂😂😂

  • @noreen2654
    @noreen2654 24 วันที่ผ่านมา

    Aache ushamba yeye anamkasirikia kiredio kwani yeye kiredio alijipeleka pale mwenyewe? Huyo asijishaue.

  • @nassirabas
    @nassirabas หลายเดือนก่อน

    😂ukiangalia kwa undan huyu dada huko oman alikuwa anajiuza mana hakuna msichana wa ndan akalipwa pesa nyingi oman na tena amekaa miaka 2 hakuna maendleo ya miaka 2 na pia skia alichosema mwanzo kabla hajaondoka amempangia nyumba na alipajuaje kwa frank pesa alipata wap wakat mitaji yote alimfungulia frank wakat yupo oman huyu dada anataka kupelekewa moto na wasanii hajapata kikiiiii 😅

  • @JoyceLKisha
    @JoyceLKisha หลายเดือนก่อน

    Nimeacha kuamin kaz za kiredio

  • @user-np6ti8lh7v
    @user-np6ti8lh7v หลายเดือนก่อน

    Uyu dada nimuogo