Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Hongera Sana dada Lillian nami napenda nijenge nyumba ya ndoto yangu. Nipe maelekekezo na mbinu ulizotumia. Mungu akubariki Sana akuinue zaidi na familia yako. I connect from Norway ❤😊
Mdogo wangu Lilly Mungu akubariki sana. Nimejifunza mengi kutoka kwako. Nimekupenda sana Mdogo wangu. Natamani kukutana na wewe.ubarikiwe na Bwana Yesu Yesu.
Hongera sana dogo.... Mimi naamini eneo ambalo unatakiwa uliboreshe kwa kadri uwezavyo ni nyumbani kwako maana huko ndio kunakupa maana na sababu ya kuishi. . Na kwa hili umejitendea haki big up 😘
Sijui dada alianza lini mipango yake bt am very inspired na milioni moja yangu kwa account miaka 10 mbele takuwa na milioni ngap na itafaa kufanya nn😅😅😅😅😅❤❤❤❤
Dah sina cha kusema hongera sana kipenzi nimnyekevu sana dada nami ndoto yangu nipate mtaji wa milion kumi niweze kufanya biashara ili niweze kufika pale napptaka🙏
Yaani kutenga chumba cha kusalia dah lilian nimekupenda mimi mwenyewe nyumba ndogo ila chumba cha kumulilia Yesu wangu lazima nimetegemea binadamu wakaniangusha nikapiga goti niko Mungu mimi sina. Wa kumtegemea.simtaki mganga.nakutaka wewe..mwalimu wa math hapa wapi
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Mkopo wa pesa au nn jaman
Hongera sana.
UMEWEZA AFU UMEWEZA TENA.
God bless&protect 🙏🙏
Hongera mwanamke mwezetuy mpambanaji mwezetuy na sisi tutafika tuy
Kudos lilian wish ningekuwa karibu nikuibie ramani ya nyumba I like it watching from Kenya umeweza mummie
Hongera Sana dada Lillian nami napenda nijenge nyumba ya ndoto yangu. Nipe maelekekezo na mbinu ulizotumia. Mungu akubariki Sana akuinue zaidi na familia yako. I connect from Norway ❤😊
Dada Lilian hongera sana tena sana mm mwenyew nimepeenda sana nyumba yako,uko vizur sana mwanamke kusimam hivi ni vizur Sana
Hongera sana mwanangu, Mungu akubariki sana. You have inspired me. BIG UP PRINCESS WE LOVE YOU AND APPRECIATE YOU.
MashaAllah, hongera sana Da lilian umeweza ❤️ nyumba nzuri quality
Hata mimi nilisema siku ya kujenga nyumba ya ndoto yangu chumba cha maombi lazima.
Mdogo wangu Lilly Mungu akubariki sana. Nimejifunza mengi kutoka kwako. Nimekupenda sana Mdogo wangu. Natamani kukutana na wewe.ubarikiwe na Bwana Yesu Yesu.
Mashaallah 🎉
Mashallaah dada hongera sana
IPO siku na mm nitakua na kwangu hongera dada umeweza ❤
Kitu nakitamani hapa duniani ni kumiliki nyumba yangu nzuri hongera sana dada
Hongera sana Ubarikiwe
Hongera sana ,Da lily Nimemuelewa sana natamani anishauri jambo,
MashaAllah MashaAllah
Umeweza Mungu akusimamie nasi inshaAllah inshaAllah
Nmependa deco ya mbao❤❤❤hongera dadadaangu.ila MUNGU NDO KILA KITU
Lili hongera sana mdogo wangu, with God everything is possible🎉
❤❤❤ kudos,I type this blessing
Hongera sana dogo....
Mimi naamini eneo ambalo unatakiwa uliboreshe kwa kadri uwezavyo ni nyumbani kwako maana huko ndio kunakupa maana na sababu ya kuishi. . Na kwa hili umejitendea haki big up 😘
Hongera kubwa sanaaaa mungu akuzidishie zaid ya hapo hongeraaaaa mno
hongera dada
Mashaallah hongera
Hongera sana my dada Lilian, na mimi nikifika umri wako nitakuwa na nyumba zaidi ya hii
In Jesus name
Lili mm nakuombea mungu akujarie maisha marefu na mm naomba mungu niwe kama ww naitwa staford mnyenyekevu sana
Sijui dada alianza lini mipango yake bt am very inspired na milioni moja yangu kwa account miaka 10 mbele takuwa na milioni ngap na itafaa kufanya nn😅😅😅😅😅❤❤❤❤
hongera
Mungu ambariki huyu dada sana, anafanikiwa pia kutokana na roho yake nzurii
Hongera sana dada
Dada ni nakupogeza mweyezi mungu akujaliye katika malengoyako ogera sana tena sana
Hongera sana sana jirani gobs 🎉
wow so amazing,,, nimependa sana umeweka room for prayer,, umetumia akili sana nimeipenda sana hii
Hongera sanaaa beautful
Hongera wajina 🎉❤❤
Hongera daa Mungu ndiyo tengemeo la kila kitu❤❤❤❤❤
Hongera sana lili nipe sir
Big up,sana mdada,mapambano yaendelee mama
Sina la kusema zaidi ya kusema hongera sana sana.
Hongera Sana Lily
Congole dada Lily,,,Tz ndiyo Inch pekee yakuvunjana mioyo,,,hatupendi jifunza ,,,bt heshima yako
Unyama sanaaa🙌
Ongera sanaaaa
Duu hongera dada mungu anipe nymba kama hii
IPO siku na mim ntakuwa tajir eeh mungu nisaidie
Hongeraaaaa sana unatu inspireeee sana
😭😭😭 one day yes
Hongera sana 😊
Mashallah
Hongera sana age mate! Nipo njiani nakuja..
Congratulations 🎉
Hongera sana
Hongera sana dada mpambanaji
Jamani Mungu atujalie na ss mwe
ukiona mtu kafanikiwa na kakuzidi usimchukie, kuwa nae karibu kwa kujifunza iwe maisha au dini, Mubarikiwe wote kwa kutenga muda wenu ili tupate elimu
Hongera sana mwanang lilian nyumba ninzuri sana. Pongez zake mama aliekuzaa
Hongera dada liliy jamsn all God knows mpka ulipo fika
Na miee naomba mungu nipate nijenge mjengo wangu inshaallah nipate pesa ya halali nijenge 🤲🤲🤲
Nyumba nzuri sana.
Congratulations ❤
Safi sana chumba cha maombi, na chumba cha ofisi yako nimevipenda
Wao hongera sana lily those days tulikuita Masiao 🎉
Da liliiii chukuaaa maua yakoool🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
safi sana sister 😂❤
Hongera sana na mimi siku nitawaletea yangu 😊 mtangazaji ❤
Safiiiiiiii sanaa mdada
Congratulations dada
Hongera mdada Mungu akubariki
❤❤❤❤hongera hongera cnaaaa ❤❤❤
Naomba hiyo ramani ya nyumba nimeipenda na mm nitajenga mungu mkubwa hongera ❤❤❤ cna cnaaaa❤❤❤
Nyumba nzuri sana, sema furniture zimekuwa nyingi zikakafanya nyumba kujaa , ikafanya kuwa Giza . Hongera sana
Nyei congratulations 🎉
Nimependa sana siku moja napenda unidizainie nipo kwenye ujenzi
👏👏👏👏👏👏Bravo
Hongera wa nyumbani sanya juu hoyeee me mwenyewe ni ndoto yang na nna uhakika Mungu ataniwezesha one day
Hongera sana Lilian mwanamke wa nguvu
Keep it up dada
Aloo Hongera sana sana team July😊 Happy birthday inadvance my dear
Hongera san dada lilian
she is a genius 🎉
❤❤❤❤ naomba milion 1 lilian 🥹
Hongera my sisterhondera❤❤❤
Aisee huyu dada ame ni ita mini maskini kwa zaid ya aina 20😂😂
Hongera dad mungu azidi kukupigania naomba mungu namm maombi yangu na malengo yangu yatimieAmina ❤
Dah sina cha kusema hongera sana kipenzi nimnyekevu sana dada nami ndoto yangu nipate mtaji wa milion kumi niweze kufanya biashara ili niweze kufika pale napptaka🙏
Anza na ulicho nacho mungu ataku saidia
Hongera mdada.Mungu mwema 10:25
Jamani pesa ilivyo ngumu mimi sina ela😢 sija jenga ata choo bado😂
Akili
Mwanamke nangai
Hongera Sana Manka wangu.
Unaweza kuwa mushauri kwawengine
🎉❤
Hongera sana dada Lily
Dada Emelda mpaka umechoka mwenyewe 😂
Fanya mchezo nini maana jumba kubwa 😂
Aiseee hapo hela nying imetumika
Sana😂
Iwe kweli sasa kihalali maana hamchelewagi
Da Lilian ni mpambanaji sana Mungu azidi kumwinua
Nyumba ni nzuri hasa
❤❤
Imelda kipenzi leo Kwa mara ya kwanza umefeli katika kuuliza maswali ya msingi.