Waaah 😢😢😢team strong hii ni hard sana aki .....I know her mum anasikiza take care of your kids before is too late😢😢😢😢na huyu mwanaume mwenye mimba anafaa kuwa ndani ,hii ni defilement
Msichana, ndio hukujua, mlikutana mbali na mjombako ambae alikupachika mimba. Hungekua na uhusiano wowote wa kimapenzi na yeyote, km kweli unajua masomo na tabia ni muhimu sana maishani yako, unapoendelea kukua na, kimasomo. Nina niece km wewe. Nilikua namlea cz yy ni yatima. Alikua bright, hata Head-girl kwa shule yao. But, hakuacha tabia baya repeatedly. Long story short, nasikia siku hizi anajiuza Coast. Kijana or vijana waliokua wakimharibia, hawapo. Sasa yuko peke yake. // Hata mama wa kijana, alichangia kuharibika kwa niece yangu. Hata walikua wakitumia senti nyingi, nilizokua natumia my niece for education, upkeep, rental, etc etc. Hata akinidanganya kua amekua pickpocketed pesa nilizo mtumia. Kumbe... Finally, nikaachana nae. Sasa nikuhangaika na maisha peke yake. Waliokua wakimhadaa, pamoja na kijana wao, wakamfukuza. Na hata dini na jina, walikua washamsaidia kubadilisha. Lakini sasa jee? Amebaki kujiuza ma beach. Watoto, haswa wa kike, chungeni maisha.
But at 17.anajua anaweza pata miba.sio defilement.ilaakosa ni ya wazazi kukosa kuwaelekeza watoto.na saidi ni jina la muislamu.wewe kaka.chukua majukumu kama baba.muogope Allah acha dhulma.
Not defilement, it's INCEST. She willingly agreed to have sex with the man., only to realize later that he is her relative. Ladies, don't just meet a guy and give in without due diligence.
Yaani wazazi wakishakuwa tofauti, ina waathiri sana watoto. Malezi ya baba na mama ni bora sana, kuliko kulelewa na mama wa kambo, ingalau walio wachache ni wazuri sana kwa kulea .ila mzee Said ni muungwana sana, nimempenda kwa busara zake. 👏👏
Imagine we should not be blamming this girl. Maagizo ya mama pia hatujazigatia. Alfu wazazi wakidivorce wototo huumia Sana. Pole Sana lafifa, I feel your pain.
Ghai it’s about time we start family gatherings again this one shocked me and that uncle should be in Kamiti because he was much aware they are related then hio mimba itolewe juu ni laana
1. Utengano ya wazazi ni mbaya tena kila mara hua chanzo cha uharibifu kama hizi. 2. Wazazi wapee watoto nafasi ya kutembelea wa ukoo wao wote iwe upande wa mama ama baba ili wajuane kukinga hali kama waliopitia hawa. 3. Kama lazima utengano ue, basi heri mama akae na watoto hadi wakue wakubwa. Iwapo ni lazima baba abaki na wao. Mama asiweke fitima kwa mtoto kwa njia yoyote, bali ashiriki kwa umoja.
The Girl needs someone to understand her, she is looking for a belonging. she is not the first and will not be the last to get pregnant, she needs her parents love and guidance, she can give birth and go back to school. At her age, so many things go through her mind and body, and this is the time she needs close guidance and love.
Plz baba samehe mtoto lakini mukalishe Jini muongeleshe mambo mawili na mtoto. ajifunguwe alafu akikubali arudi shule na mwenye alimpa. mimba ajuliwe. atua Kali sana
Saidi audhubilahhi minashaytani rajeem.alikuaibisha juu ulikosa kutimiza majukumu yako kama baba wewe ndio umejiaibisha wacha kumzomea sai ana mimba unataka ajiue au aue mtoto.wew ndio failure number one.ulikosa kumfunza dini hayo ndio umepata.wewe ndio utajibu kwanza kwa Allah.
Nashangaa mwanamke mzima anaenda saudi unasahau mtoto wako mpaka anapewa mimba na mjomba maoni yangu atolewe io mimba arudi shule sio yeye atakua wa kwanza hii dunia hata ni aibu kuzaa mtoto wa mjomba wako ...wanawake wako gulf walisahau watoto kitambo wengi wao
😢😢😢matokeo ya kuwacha watoto nyuma ndio haya,sasa bt sometimes i don't blame ladies maybe alipokonywa watoto,ama alikatazwa ,bt ushahuri wangu kwa ladies wote heri ungangane na watoto adi wajielewe,
Waaah 😢😢😢team strong hii ni hard sana aki .....I know her mum anasikiza take care of your kids before is too late😢😢😢😢na huyu mwanaume mwenye mimba anafaa kuwa ndani ,hii ni defilement
Very true 17yrs she's steel young arudi shule akii so painful wa mama wa saudi saidieni watoto pls the are our Destiny helper wa kesho.
If someone can link me up with this wise parent it can be good because this kid need a good help.
Msichana, ndio hukujua, mlikutana mbali na mjombako ambae alikupachika mimba.
Hungekua na uhusiano wowote wa kimapenzi na yeyote, km kweli unajua masomo na tabia ni muhimu sana maishani yako, unapoendelea kukua na, kimasomo.
Nina niece km wewe. Nilikua namlea cz yy ni yatima. Alikua bright, hata Head-girl kwa shule yao.
But, hakuacha tabia baya repeatedly. Long story short, nasikia siku hizi anajiuza Coast.
Kijana or vijana waliokua wakimharibia, hawapo. Sasa yuko peke yake.
// Hata mama wa kijana, alichangia kuharibika kwa niece yangu. Hata walikua wakitumia senti nyingi, nilizokua natumia my niece for education, upkeep, rental, etc etc. Hata akinidanganya kua amekua pickpocketed pesa nilizo mtumia. Kumbe...
Finally, nikaachana nae. Sasa nikuhangaika na maisha peke yake. Waliokua wakimhadaa, pamoja na kijana wao, wakamfukuza.
Na hata dini na jina, walikua washamsaidia kubadilisha.
Lakini sasa jee? Amebaki kujiuza ma beach.
Watoto, haswa wa kike, chungeni maisha.
But at 17.anajua anaweza pata miba.sio defilement.ilaakosa ni ya wazazi kukosa kuwaelekeza watoto.na saidi ni jina la muislamu.wewe kaka.chukua majukumu kama baba.muogope Allah acha dhulma.
Not defilement, it's INCEST. She willingly agreed to have sex with the man., only to realize later that he is her relative.
Ladies, don't just meet a guy and give in without due diligence.
Yaani wazazi wakishakuwa tofauti, ina waathiri sana watoto. Malezi ya baba na mama ni bora sana, kuliko kulelewa na mama wa kambo, ingalau walio wachache ni wazuri sana kwa kulea .ila mzee Said ni muungwana sana, nimempenda kwa busara zake. 👏👏
Gidi please follow up on this issue...this gal deserves a chance to study.Mimba sio mwisho wa maisha😢😢
Yes, let her go back to school.. She's an underage & that man should be jailed for taking advantage of a minor🙏
Mungu nilindie watoto wangu 🙏🙏🙏
Imagine we should not be blamming this girl. Maagizo ya mama pia hatujazigatia. Alfu wazazi wakidivorce wototo huumia Sana. Pole Sana lafifa, I feel your pain.
Hii nayo no comments 😢sisi tumewacha watoto nyuma hii age ni mungu aki 😢
She needs support regardless.. she is young.
Uncle needs to face the law, this girl is underage 😭 God help our society 🙏
Hata hiyo ni incest. Na km ni uncle jina tu au wa mbali, bado ni kosa sana.
Ghai it’s about time we start family gatherings again this one shocked me and that uncle should be in Kamiti because he was much aware they are related then hio mimba itolewe juu ni laana
Kutoa pia ni thambi. So, shida juu ya shida.
Mimba miezi mbili, watoe haraka sana mtoto arudi shule
This is complicated aki😢😢 yale babake aliongea kwa hasira wakati msichana alitoroka yaligeuka laana,, bt amsamehe tu bcoz still n mtoto wake
Peer pressure and broken marriages are very bad for a kid
Team strong may God protect our kids
Gidi unasemanga hapo ni supreme court ., Case dio hio, nakuhurumia sana gidi but you are patient msy God bless you
Duh pole sana latiffah 😢😢
1. Utengano ya wazazi ni mbaya tena kila mara hua chanzo cha uharibifu kama hizi.
2. Wazazi wapee watoto nafasi ya kutembelea wa ukoo wao wote iwe upande wa mama ama baba ili wajuane kukinga hali kama waliopitia hawa.
3. Kama lazima utengano ue, basi heri mama akae na watoto hadi wakue wakubwa. Iwapo ni lazima baba abaki na wao. Mama asiweke fitima kwa mtoto kwa njia yoyote, bali ashiriki kwa umoja.
Hapa genes zitamaliza hii familia. Ni kama laana jameni. Huyo uncle aekwe ndani bana
Uuuuuwwwii😢😢😢😢
Gidy naomba ufutilie hii kesi please,upate ata mamake ,i know uwa ufanyi hivo bt please gor the sake of this girl fanya follow up tujue ,its so sad
Saudi ,Miaka mi Nne huyo mama Ratifa,Ali Kemboi 😅bt anyway Wacha azae
Ni ngumu sana 😮😮😮
Waa😢😢😢😢 aki huyo jamaa anafaa ku face the law juu huyu ni mtoto mdogo sana😢😢
Think with knowledge 😢
Mtoto alikosa malezi. Hana baba hana mama.
Wah this is 😢
Aha wewe uende upate mimba na unasomeshwa ? 😔Ai hapo tunaachana tu roho safi , hiyo ni ujinga Sana
Incest is very common in Kakamega, the father should not let her go alone. She was young and she still needs a father.
The uncle is supposed to be in kamiti, the girl is under age, and she should go back to school after she derived
Kama ni mimba ya mtu wa ukoo itabidi hiyo mimba itolewe,yy arudi shule juu kwa waluhya sio vizuri kuzaa mtoto kwa ukoo
Atoe mimba 😢
That man should be in jail as we speak , so sad
The Girl needs someone to understand her, she is looking for a belonging. she is not the first and will not be the last to get pregnant, she needs her parents love and guidance, she can give birth and go back to school.
At her age, so many things go through her mind and body, and this is the time she needs close guidance and love.
The comment I was looking fr instead of judging n blame game..understand her n show her that despite her mistakes she still can make things right
God bless you for a wise comment 🙏
Life is not easy outside here
Plz baba samehe mtoto lakini mukalishe Jini muongeleshe mambo mawili na mtoto. ajifunguwe alafu akikubali arudi shule na mwenye alimpa. mimba ajuliwe. atua Kali sana
Hao wajomba huwa wanazaa na family members akili yao inakuwanga tuh sawa🤔
Bwana Gidii huyo msichana atolewe hiyo mimba
Its against the law
If it's a case of incest it can be terminated legally ,
@@stevendegwa5387 yes
@@stevendegwa5387 ooh i didn’t know about that
Agree with you
Itolewe.
Na imagine how much worse it is considering they're Muslims 😩😩😩
Saidi audhubilahhi minashaytani rajeem.alikuaibisha juu ulikosa kutimiza majukumu yako kama baba wewe ndio umejiaibisha wacha kumzomea sai ana mimba unataka ajiue au aue mtoto.wew ndio failure number one.ulikosa kumfunza dini hayo ndio umepata.wewe ndio utajibu kwanza kwa Allah.
Nashangaa mwanamke mzima anaenda saudi unasahau mtoto wako mpaka anapewa mimba na mjomba maoni yangu atolewe io mimba arudi shule sio yeye atakua wa kwanza hii dunia hata ni aibu kuzaa mtoto wa mjomba wako ...wanawake wako gulf walisahau watoto kitambo wengi wao
True wengine walifika gulf wakasahau watoto wao
DEAR LADIES!!!! NO JUDGE!!!! HOW MANY MAMAS WANAPOKONYWA WATOTO NA BABA DADDIES???? NO JUDGE
That's murder.
Kwani ujasikia akisema amejua mamake juzi tu meaning baba aliwachukua
@@Sabrina1977-yTrue. Mimi nilienda na watoto wangu wawili na nikawalea kama mama.
Baba na mwenye mimba washikwe na polisi
Huyo baba amsamehe tu mtoto maji yakimwagika hayazoleki
But mtoto akinyelea mkono haukatwi😂😂😂
Haulambwi either.
Kushika mimba sio mwizo wa masomo
Huyo unko ashikwe for impregnating under 18😢
Between compelling to support the kid and going to jail, which is the best.
Maisha yako na misukosuko
😢😢😢matokeo ya kuwacha watoto nyuma ndio haya,sasa bt sometimes i don't blame ladies maybe alipokonywa watoto,ama alikatazwa ,bt ushahuri wangu kwa ladies wote heri ungangane na watoto adi wajielewe,
Hii mimba watowe banaa
Kabisaa nawastaki hio nyang'aù
Haki atolewe hiyo mimba na arudi shule
Hakuna kuua kwa waislamu.azae
Hiyo mimba itolewe tu msichana arudi shule
Shezi wewe unaeza shauri mtu atoe mimba? Ni heri kujifungua mtoi kuliko kutoa mimba.
@@Seventhdayadventistsongs elegant huyo ni mtoto wa mombasa yake sasa wataitanaje surely?mm ni maoni tu kwa ubaya,mbona unitusi?
Mimba itolewe
Uislamu hakuna kuua
Mtoeni mtoto mimba asije kuleta laana kwenye boma
Excuse za ujinga 😢17 na akili ya kijinga hivi , alafu kukosa fees isn't an excuse hizi ni pressure za kijinga, anyway
Hujui chenye unaongea wewe,huyu ni mtoto,teenager,,usiropokwe tu kama mwendawazimu
Ngoja ulee moto mschana hivi wa ropoka usijidai haiwezi tendeka kwa mtu yeyote nonsense.