BUSTANI YA KWANZA ALIISHI SHETANI YA PILI WALIISHI ADAMU NA EVA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2023
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 97

  • @bharumokona8159
    @bharumokona8159 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana mwalimu hakika wewe ni mtu Wa Pekee ..
    Ninaamini mafundisho Yako...nadhani unafanya Kwa uongozi Wa Mungu.
    Lakini kuna sehemu haujaweka sawa kwamba misri ya zamani waliishi weusi
    Hapana bali waliishi wamisiri waliotokea Kwa yule kijana Wa Hamu aliyekuwa anaitwa misri.
    kijana misri hakuwa mweusi ukizingatia aliwazaa wafilisti na mataifa mengine ya huko asia ..pia aliwazaa wamisiri ambao walikuwa si weusi watoto wengine Wa Hamu ni canaani,Libya na kushi . Huyu kushi ndiye anadhaniwa kuwazaa weusi.
    Hamu hakuzaa weusi tu

  • @Onesmo245
    @Onesmo245 2 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mwalimu somo zuri endelea kutufindisha

  • @AgnessPete
    @AgnessPete 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutienguvu yakutufundisha neno ra mungu jwajina rayesu emen❤

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu kusema amepumzika kama tunavyofahamu kwa kiswahili chetu.Kupumzika ni kumaliza kazi ya kutengeneza dunia.

  • @PIERREMUKINA
    @PIERREMUKINA 3 วันที่ผ่านมา

    Asante kwaufunuo ambayo unatuletea, naamini manenoyako sana, nataka uniambie kanisa la kweli na mashartiyake, basi

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mumishi wa mungu uyo ni Mungu ana sema si wewe barikiwa sana
    Mungu hakuinue saidi

  • @MarryCharles-x5n
    @MarryCharles-x5n 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe uvumilivu kuyavumilia matusi ya hao walio zoea kudanganya

  • @donaldfrancissassa8360
    @donaldfrancissassa8360 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mwalimu ila kiswahili hakina 'majina!' Bali kina jina tu kama ilivyo katika Kiingereza ; 'my name is . . . . ! Siyo ' names'

  • @user-gs6qp5np2c
    @user-gs6qp5np2c 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mwalimu unanijenga kimani sana.from Nakuru Kenya

    • @akilisaba8944
      @akilisaba8944 5 หลายเดือนก่อน

      Mafundisho mazito Kweli, thank you teacher🎉 following you from Nairobi Kenya.🙏🙏🙏

  • @Samtz-t5i
    @Samtz-t5i หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana kwamaneno yako mwalimu

  • @RoseMwanga
    @RoseMwanga 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani alizingua !!!,daa hakika hii ni Neema yakujibu Maswali hongera my dear Teacher

  • @kalawakyando6079
    @kalawakyando6079 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwalim kwa ufafanuz mzuri

  • @edwinchisala4954
    @edwinchisala4954 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana mwalimu naomba kuwa mwanafunzi wako

  • @KithikasumaliGilbert
    @KithikasumaliGilbert 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalim kwa kweli, mungu akubariki akukupe ufunuo na ulelewa wa kazi hiyo aliyo kuitia kwa kuhidhisha ukuu wake kupitia kwako wewe mwalimu twapata kufunguliwa jinsi mwenyezi mungu kazi zake zilizo takatifu. Ubarikiwe sana sana Mimi ni mkenya kutoka mombasani, yaani wanifanya kiasi natamani kukuona wewe mwenyewe mwili macho kwa macho yaani jinsi ulivyo ipenda kazi ya mwenyezi mwenye vyote. Amen.

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Isaya, ashukuriwe Mungu aliyekujaalia neema ya hekma ktk kazi hii njema.

  • @HalimaPembe-pm7yi
    @HalimaPembe-pm7yi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen mungu akubariki pia Ameen

  • @jubyman_mza5232
    @jubyman_mza5232 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mwalimu. Barikiwa.

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe mtumishi wa Mungu

  • @williamshitobelo6433
    @williamshitobelo6433 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mwalimu wa neno la MUNGU

  • @Emmanuel-zt3sc
    @Emmanuel-zt3sc 7 หลายเดือนก่อน

    Thanks mwalimu

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r 7 หลายเดือนก่อน

    Shukrani mwalim 😘😘😘

  • @mbashaphabian7668
    @mbashaphabian7668 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa sana mwalimu

  • @user-jk6ym6mp3o
    @user-jk6ym6mp3o 6 หลายเดือนก่อน

    Big up teacher

  • @ShukuraJacksoni
    @ShukuraJacksoni หลายเดือนก่อน

    Mwalim Mimi ninakihitaji hicho
    Kitabu cha enocko
    Nitakipataje

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 3 หลายเดือนก่อน

    Nakufuatilia sana mtumishi

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa Mtumishi wewe umesoma kitabu cha Enoch,kuna vitabu vingi vipo havijawekwa kwenye Biblia.kwa watu wengine sio rahisi kuamini.

    • @cliffdenis144
      @cliffdenis144 3 หลายเดือนก่อน

      Havijawekwa maana ni hadithi za kutunga za watu

  • @user-yz3hx6uw2k
    @user-yz3hx6uw2k 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ok keep it up !je hilo tunda alilo kula eva na Adam lilikuwa tunda gani ?

  • @T-Fellow
    @T-Fellow 7 หลายเดือนก่อน

    Hello hello man...mimi nakufatiria sana hio niukweri na uzidi kufuuza watu ambawo hawaelewi.

  • @user-xi9pq2tr3y
    @user-xi9pq2tr3y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu, Lucifer na Mungu walifiya Uwumbaji wa Adamu na Ever... udongo uli wawumba Adam na Eva ndiyo ulileta utata kati ya Lucifer na Mungu.

  • @benikayange2605
    @benikayange2605 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @KennethChambilo-oh8pw
    @KennethChambilo-oh8pw 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unae mkosowa hujui chochote hayo mambo yanahitaji utafiti mwingi sana

  • @user-gj9pr7rs5u
    @user-gj9pr7rs5u 5 หลายเดือนก่อน

    Hi bro mwarimu nakupenda pia mafunzo yako inanijenga sana so kunakitano naweza pata niweze kuzingatia hio masomo na hio majibu unatoa kwa majubu mbarimbari mimi ni Abiah Nuru kultoka nairobi

  • @leomika8473
    @leomika8473 7 หลายเดือนก่อน

    Akuna siyo kweri

  • @akilisaba8944
    @akilisaba8944 5 หลายเดือนก่อน

    Thank you for your teachings teacher🎉 Am from Nairobi Kenya, I've a question plz, Mkrisito Anafaa Kupatizwa Mara ngapi, meaning Ulipatizwa mwanzo After wards you backslided? Kuna Anja ya Upatizo mwingine?- Am Geoffrey Morara/ Akili Saba Motors.

  • @emmanuelscdbacher2281
    @emmanuelscdbacher2281 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe nuku heshimu bro

  • @bensonkivuzi1028
    @bensonkivuzi1028 5 หลายเดือนก่อน

    Eeh wakenya tupo ndani

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota 5 หลายเดือนก่อน

    Nawe ni haki yako uwepo ili kuongeza idadi ya watumishi wa uongo. Uwezo wa Mungu. Haufanani na akili zako Mungu, Mtakatifu. Anao uwezo wa kutamka tu na dunia ikatoweka. Acha kuwa mgodo wake shetani

  • @nengajoseph2421
    @nengajoseph2421 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza kuhusu mke wa kain l na wale watu alipobiwa wasimuuue wakiona ile alama aliowekwa je walitoka wapi ,?

  • @robi7printing291
    @robi7printing291 6 หลายเดือนก่อน

    safiii umelitendea haji hekalu LA MUNGU, Harika utalipwa memayako

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo ina maana mpaka mungu anamuuliza shetani ametoka wapi mungu alikuwa hajui shetani alikuwa wapi.na shetani aliumbwa na nani

  • @davidkitumbi6457
    @davidkitumbi6457 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Mwalimu wa uwogo, Mwalimu ni mmoja tu Zouloula 100 search pia ujivuze na ujue kweli.

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 หลายเดือนก่อน

    Naweze nikakutumia je swali.?

  • @NiyokwizeraDalton-oi5xc
    @NiyokwizeraDalton-oi5xc 6 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Mwalim.swali hap hapa kwani kweny hio bustani ya kwanza kulikua kuna ile miti miwili ambayo ilionekana ndani ya bustani ya pili? Na hio miti inamaanisha nini?

  • @simonetz7036
    @simonetz7036 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani kwani injili inayookoa imeisha Hadi kufundisha watu izi vitu ndugu yangu? Haya ni matango pori kabisa

  • @innocentmathias8668
    @innocentmathias8668 7 วันที่ผ่านมา

    Nimekufuatilia kwenye kila video nasoma komenti nikagundua unafundisha watu wenye upeo mdogo wakati mafundisho yako yanahitaji IQ kubwa ili kuelewa.

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweri mwarimu maana siku zake yeye moja kwetu ni miaka 1000

  • @HenryTindwa
    @HenryTindwa 2 หลายเดือนก่อน

    Napata wapi abali za awa malaika walio owa binadamu niwangapi

  • @user-nc3em9ge6g
    @user-nc3em9ge6g 5 หลายเดือนก่อน

    Isaya una mapepo, huna ajili wewe sio walokole, wewe ni mbumbumbu nenda kaolewe

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume6380 5 หลายเดือนก่อน

    Imeonyeshwa kuwa watu walikuwepo kuanzia miaka 300000 -100000 Kama Adamu alikuwepo Basi Ni miaka ya karibuni Sana 6000-8000 Watu wa wakati huo hawakuwa na stori zozote Kuhusu Uwepo wa Mungu na Mashetani Hayao ya dini na Uwepo wa Miungu yameanza 4000 kwenyemabonde ya Moto mikubwa baada ya kuimarisha Kilimo na kuwa na ziada ya chakula

  • @victorgodluck574
    @victorgodluck574 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahuyo kumbe shetani aliubwa ?
    Na
    Alikuwa kwenye bustani ya adeni siyo edeni
    Ya adamu

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 5 หลายเดือนก่อน

    Sioni maana ya kujuwa nani alianza au kuishi, cha msingi fuata alichofundisha yesu, ni kuwa yuko adui na wa kupambana naye, hakufundisha tujuwe dunia iliumbwaje haikusadii, cha msingi ni kutoa, kufukuza mapepo na kuponya magonjwa na ndicho alichowatuma wasaidizi,😂

  • @simonnjako5364
    @simonnjako5364 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kuumbwa kwa dunia miaka mingi naomba,andiko tafadhali,tena umesema shetani ndiyw alianza kuishi duniani,hiyo ufunuo12 naomba uisometena hapo inaposema shangilieni enyimbingu,ole wa nchi na bahari,je hapopia mwanadamu hajaumbwa?,hiyo edeni ya lusifa ilikuwa wapi,

  • @antonyshikanga1864
    @antonyshikanga1864 5 หลายเดือนก่อน

    Hujambo mwalimu nifahamishe ili nifahamu je, tunda lililo liwa na Adamu na Eva lilikuwa ni tunda halisi au ni kitendo cha ngono?

  • @bwiganemwamasage3844
    @bwiganemwamasage3844 7 หลายเดือนก่อน

    Bustani ya Eden ni halisi? Kama ni halisi iko wapi, kuna viashiria vyovyote kwenye Neno la Mungu juu ya ilipokuwa/Ilipo? Pia, kwenye Kitabu cha Mwanzo inaonesha Mungu aliweka walinzi ( Makerubi) mashariki mwa Bustani ya Eden ili kuilinda, hapo naomba kupata ufafanuzi inalindwa kwasababu gani? Na je inalindwa hata sasa?

  • @mussamohammedy8014
    @mussamohammedy8014 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu issaya umeniacha kidogo nataka nifahamu je shetani anafanya kazi yake duniani na huko mbinguni au bado anauwezo wa kwenda mbele ya uflame wa mungu?

  • @ndayihimbazealoys9737
    @ndayihimbazealoys9737 5 หลายเดือนก่อน

    Shetani ni ESAU YANI MZUNGU WA LEO

  • @user-fu3yj9ox6v
    @user-fu3yj9ox6v 7 หลายเดือนก่อน

    Asantee sana,Mimi swali langu ndoa ni nininii?? Maana wengi tunajua ndoa ni mpaka ifungwe kanisani

  • @mishaelngonzi8195
    @mishaelngonzi8195 7 หลายเดือนก่อน

    Swali langu ni kwamba kulingana na maelezo yako kuhusu bustani ya kwanza, unawezadhimbitisha kwamba hiyo bustani ilikuwa duniani au mbinguni sababu Mungu anamwambia shetani amemtupa chini watu waweze kumtazama kulingana na jinsi ulivyosoma hilo andiko.
    Pia kulingana na andiko la ufunuo sura ya 12:12 inakuwaje malaika wanahuzunikia wanadamu walioko duniani kama bado alikuwa anaishi pamoja na wanadamu humo duniani?.

  • @jastinefaustin9982
    @jastinefaustin9982 7 หลายเดือนก่อน

    Je hizo historia kabla ya kuubwa Kwa Adam zinapatikana wap

    • @chazy7ya216
      @chazy7ya216 7 หลายเดือนก่อน

      Kwenye kitabu cha shetani nilifanikiwa kusoma ukurasa mmoja tuu😂😂😂

  • @leomika8473
    @leomika8473 7 หลายเดือนก่อน

    Arikuwa ajawa shetani kipind.adam na awa wanaumbwa

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka Mungu aliumba kwa siku saba halisi ukisoma mwanzo 1:2-- baada ya kutamka kuumba kitu fulani anasema ikama asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza
    Usijidai kwamba wewe ndie unaesoma sana kuliko wengine

    • @georgebataze6625
      @georgebataze6625 6 หลายเดือนก่อน

      Siku 6. Ya saba akapumzika

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 7 หลายเดือนก่อน

    Lucifer alikuwa anakaa wapi wakati Adam na eve wako katika bustanini?sijaelewa, kwani shetani alikuwa katika bustanini baada ya kuanguka, na je malaika zake?

  • @user-hw3wn8ms6j
    @user-hw3wn8ms6j 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hiyo roho uasi aliipata wapi? Huyo rucifa . Zingatia ss binadamu tunasema shetani ametudanganya. Je? Shetan alidanganywa na nani?

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 2 หลายเดือนก่อน

    MTU ukitaka kupindua nchi na mapinduzi yako yasifanikiwe na ukabaahatika kuchoropoka huwezi kurudi ktk nchi hiyo...why LUSIFA alijiudhulisha khali ni MHASI ...au si LUSIFA huyu wa Biblia..!?

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna maneno mengine unakichanganya --- unaposema walokole hatunaga majibu kwa waislamu --- siyo kweli,kama wewe huwa unakosa majibu,ni wewe tu.siyo walokole wote, ni baadhi yao,usiwajumlishe wote --- mwislamu anaweza kuwa na swali gani linaloweza kukosa majibu kwenye Biblia --- atakataa tu ukweli,lakini hawezi kukosa majibu.

    • @JulianMakondo
      @JulianMakondo 7 วันที่ผ่านมา

      Kuwa mkweli ndugu walokole sio wote ila baadhi Yao hawapendi kutafuta maarifa sahii ya Mungu na maarifa ni gharama lkn hawapo tayari kutoa hizo gharama ikiwemo na muda wa kujifunza

  • @ndikumanagile797
    @ndikumanagile797 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna utofauti kati ya Dunia na Ulimwengu.

    • @justineemanuel127
      @justineemanuel127 6 หลายเดือนก่อน

      Dunia ni sayari inayo support maisha.
      Ulimwengu ni mjumuiko wa sayari na viumbe vingi vyote nje na ndani ya dunia

  • @omaar5693
    @omaar5693 7 หลายเดือนก่อน

    lakini hiyo vita ya malaika shetani hahusiki, kipindi hicho yeye alikuwa mwema..
    ushetani wake ulianzia alipo umbwa Adamu...
    edit:
    kwanini aumbwe aliye juu yangy

  • @Tion-b7
    @Tion-b7 7 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako Yana make sense sanaa...

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume6380 5 หลายเดือนก่อน

    Shetani Ni nani

  • @user-dd9ty7bg8j
    @user-dd9ty7bg8j 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka Yesu pia no el

  • @BoniphaceNashon
    @BoniphaceNashon 2 หลายเดือนก่อน

    Nauliza swali sabato ya kweli ni ipi kati ya siku 7 za juma nawewe unaamin katika siku ipi

  • @pjsite2390
    @pjsite2390 7 หลายเดือนก่อน

    We unapotosha watu

  • @ernestmswima7549
    @ernestmswima7549 5 หลายเดือนก่อน +3

    Aaah sorry kwa kukuzingua kumbe mwalimu wako ni GEODARVIE? Sio kosa lako ila upo wrong sana bro... nakukosoa nakuta kila kitu kinatakiwa kukosolewa.... ila ningeomba ukasome THEOLOGY maana hivihivi hautajitambua kama unapotosha na unafundisha bila ata Roho mtakatifu kaka yangu... Muombe Mungu aliye Mbinguni kabla ya kuandaa kipindi naamini yeye ni mwaminifu atakupa maneno ya kuongea...... kama utaendelea kufundisha kwa namna hii JUA KUWA Mathayo 18:6 "Bali atakayemdanganya mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari." OLE WAKO KAMA HAUTABADILIKA NDUGU YANGU OLE WAKO KAMA UTAENDELEA KUPOTOSHA

    • @user-ki9wu6no3d
      @user-ki9wu6no3d 7 วันที่ผ่านมา

      Hapana Wewe ndo Huelewi tu na huraki kuelewa Shetani aliumbiwa bustani Ya Adeni Ezekiel 28:13 Na Adamu Bustani ya Edeni

  • @christeternallifetv5959
    @christeternallifetv5959 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pia shetani hakuwahi kuwa malaika MKUU neno liko wazi malaika mkuu ni mikaeli, na hakuwahi kuishi duniani bali mbinguni sawasawa na neno la Mungu katika kitabu cha
    Isaya 14:12
    Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!
    shetani alipewa nafasi ya kuzijua siri za Mungu na hekima ya uendeshaji na si malaika mkuu, HAKUNA HATA SEHEMU MOJA NENO LIMESEMA LUCIFA ALIKUWA MALAIKA MKUU MBINGUNI BALI ALIWEKWA KWENYE BUSTANI NA MLIMA WA MUNGU yaani alipewa kumjua Bwana

    • @christeternallifetv5959
      @christeternallifetv5959 7 หลายเดือนก่อน

      Ukisoma kitabu cha isaya 14 kuanzia mstari wa 12 na kuendelea utagundua kuwa lengo kuu la shetani ilikuwa sio kuwa Mungu maana anajua kuwa kamwe asingeweza bali ilitaka KUFANANA NA MUNGU yaan kuchukuwa nafasi ya mwanadamu ambae kwa Mujibu wa bibilia ndie kiumbe pekee alieumbwa kwa mfano na sura ya Mungu (upendeleo katika mamlaka, utawala na umiliki) Sawa Sawa na neno la Mungu katika kitabu cha
      Mwanzo 1:26
      Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini.
      Hapa tunaona wazi kabisa aliepewa neema na kibali cha kufanana na Mungu katika kutawala ni MWANADAMU TU! na si kiumbe mwingine yeyote. Malaika ni watendaji na wajumbe wa Mungu sisi tumehesabiwa haki kama wana wa Mungu kiasi cha kufikishwa katika cheo cha kristo na kupewa nafasi ya kutawala pamoja nae Sawa sawa na neno la Mungu katika kitabu cha
      2 Timotheo 2:11-12
      Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye. Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.

    • @eliasnzamba7377
      @eliasnzamba7377 7 หลายเดือนก่อน

      Mbona biblia inasema ikawa usiku ikawa mchana! Shetani alikuwa kwaya Master!

    • @imagepower3641
      @imagepower3641 7 หลายเดือนก่อน

      Hata kwa akili ya kawaida, lucifer alikuwa mkuu wa malaika asingeweza kufanya ushawishi wote huo akiwa malaika wa chini. Lazima alikuwa juu ya safu.

    • @antonyshikanga1864
      @antonyshikanga1864 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe soma biblia vizu malaika aliekuwa mkuu ni lucifer wakati huu ni shetani .

    • @christeternallifetv5959
      @christeternallifetv5959 5 หลายเดือนก่อน

      @@antonyshikanga1864 onyesha maandiko acha mihemko

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 5 หลายเดือนก่อน

    Shetani kuwa malaika haiwezekani na malaika kuwa shetani haiwezekani tusome kwenye dini zote zinasemaje kwa waislam shetani au lucifa ni kati ya katika kizazi cha majini ambao walianza kuishi kabla ya binaadam

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Isaya benson bwana yesu asifiwe kuna kitabu kinaitwa kitabu cha lucifer kilichopotea kinaelezea Enki na enlili naomba kama ungeweza kuchambua izo tablets kwa uzuri utufanyie ivyo na kama kuna kaukweli au ni janjajanja

  • @sarahdeograthias9097
    @sarahdeograthias9097 2 หลายเดือนก่อน

    MTU ukitaka kupindua nchi na mapinduzi yako yasifanikiwe na ukabaahatika kuchoropoka huwezi kurudi ktk nchi hiyo...why LUSIFA alijiudhulisha khali ni MHASI ...au si LUSIFA huyu wa biblia