Acha kuwapa watu zambi je unataka kuniambia hizo like zako na views ni sawa???? Acha kutupa zambi za namna hiyo....Futa hii comment hakika utaulizwa ulikuwa na maana gani KUANDIKA MANENO HAYO?
@@flova7022 jamal ni jina lenye asili ya kiarabu,Kuna majina yenye asili ya kiarabu lakini wenyewe siyo waislam ukitaka kujua hili labda fuatilia nchi za mashariki ya kati mfano Lebanon,Siria,Palestina na Iraq.Kuhusu hilo la Issa(yesu)kuwa mtoto wa Mungu ni suala la imani ya kikristo ambalo siwezi kuliingilia.Kwa sababu naheshimu imani ya wengine,Kwa sisi Waislam tunaamini vingine kuhusu yesu na Kwa upande wa wakristo pia wanaamini vyengine kuhusu yesu(Issah)mlengwa ni mmoja huyo.Kwa waislam pia Tunamuamini yesu(Issah) kama nabii wake na ni moja ya nguzo ya imani ya kwenye uislam,zipo sita mojawapo ni hiyo kuamini mitume na manabii wake,Ukisema mimi yesu(issah)simtak lakini Mussa(moses) ama wengine nawataka automatical utakua umetoka kwenye uislam.Hatubishani ni kupeana tu ama kufahamishana.Mwisho sisi ni watanzania kumkashifu mtu kwa imani yake siyo miongoni mwa jadi ama asili yetu,muasisi wa taifa letu Nyerere alitujenga tuishi kwa umoja mpagani mkristo,muislam na wengine ndiyo maana tumeishi kwa amani mpaka leo.Sema kuna baadhi tu wapo kwenye kuhatarisha amani kama tuonavyo nchi nyengine za wenzetu.🙏🙏🙏🙏
Hata ikiwa ni ukweli Yesu aliwahi kusafiri nchi hizo ila sio kwa ajili ya kutafuta elimu sababu tayari alikuwa mwenye upeo wa juu aliojaaliwa na Mungu hata alipokuwa mchanga alipomtetea Mama yake kwenye shutma za uzinzi...Mungu ndiye aliye mkhiari na kumpa elimu hiyo angali mtoto na hivyo kwenye usafiri aloufanya,Mungu alikuwa yuathibitisha ubinadamu wake na na si eti alikuwa yuaitafuta elimu...Naomba upafanyie research zaidi hapo ili usijejipata ukipotosha wengi kwa kupitia vitabu vya watu wasomjua Mungu na kuwafanya kama mashahidi wa Historia ya Yesu... Shukran kwa research Ila usiegemee sana vitabu walivyoandika watu unaposimulia visa vya Manabii
hata sasa hivi tunaona wasomi wakubwa hapa duniani bado wanaitafuta elimu, unapo zani wajua ndipo unajikuta ujui, pia hakuna sehemu inayo sema alikua akitafuta elimu tu badi alikuwa akiwafundisha pia, umelewa?
Ukimsikiliza vizuri Kwanza hajabase na nadharia yoyote Pili hajasema alikuwa anajifunza bali alikuwa anawachallenge na kila alipo pita wanashangazwa na upeo wake
Yesu alizaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu aliongozwa na Roho mtakatifu alifundishwa kila kitu na Roho mtakatifu na mwisho wa yote Yeye Ni Mungu ambae alijuwa MAMBO yote ndiyo maana katika umri mdogo miaka kumi na miwili aliwashangaza viongozi wa Dini waandishi na wanazuoni kwa akiri kubwa alikyokuwa nayo.
Wala theologia hawana majibu halisi kumzungumzia Yesu kristo Yesu ni spiritual all of us no one will understand him except who he believe spiritually Yesu hamilikiwi na wanatheologia ni wa kila mtu atakaye amin kuwa Yeye ni Bwana
Hupendi mbona unafatilia sasa hayo ni maswal wazungu wanatuzungusha kma kichwa maji utajikuta unachuki moyoni kisa dini kumbuka tumeletewa ili tuibiwe africani amkaaa ww
Hii inanifanya niamini kwa kazi za watu wenye kipaji Cha kuonyesha makubwa kwa vitendo zaidi bila kuangalia vyeti wala historia. Kweli hii Ni kazi ya Professor
Hakika mimi Naamini Mungu Yupo Na Ni Mmoja Hana Mshirika Wake,Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mfano Wake Na Ndo Maana Tunamuabudu Kwa Sababu Anasifa Za Kipekee Zisizofanana Na Kitu Kingine chochote.
Prof. Jamal, your research and reporting type is great than many others. Katika Tanzania upo juu kabisa. Unajua kuwianisha mambo mbalimbali hata ya kidini ambayo ni very sensitive. Your, research questions, are perfect than ever. All the BEST
Huyu jamaa unaweza ukasema hakunaga...ni wachache sana wenye kipaji kama hiki mfano wakr kama othman maalim vile anakuhadithia kitu mpaka unaijengea picha ile story anakuhadithia, may allah bless and protect you Jamal we proud for you brother...❤
Ndio kabisa anajua kupangilia uongo mtamu mpaka watu wanakubali kudanganyika kama unataka kujua Yesu ni nani soma biblia Yesu alitabiriwa kuzaliwa kwake kuishi kwake kufa kwake na kufufuka pia. Isaya 9:6-7, yer 23:6Mika 5:2-4, isaya 53 sasa ukweli wa Yesu usome biblia tena kwa lengo la kujifunza Mungu atakusaidia kuelewa na uchaguzi utakuwa juu yako
Narudia Yesu siyo Isa na wala hakuwa muislamu. Msimuingize Yesu Kristo kwenye dini zinazokubali kuwa majini ni rafiki zake. Yesu hakuwa na urafiki na majini. Mnapenda sana kuingiza Imani ya kistaarabu ya Kikristo na taratibu zenu jlimradi tu muweze kujifanya mko sawa lakini kwaujumla na uhalisia kila kitu kijulikane YESU KRISTO atabaki kuwa Mwana wa Mungu.
Yesu miaka 18 alikuwa ana pewa mafundisho na alifanyiwa majaribia mengi ambayo wewe nami atuyawezi atunaaja yakuyajua ila jua yesu alishinda naalikuwa teyari kukuokoa sisi kiroho na akawa teyari kubeba dhambi yawe nami jambo ambalo sisi limetushinda kama unaungana nami like comment yesu ndio mshindi naanapaswa kuabdiwa kama mungu alivyo mwamin amina
Hii kazi anayofanya prof. Jamal ni ngumu sana, just imagine kila wiki inabidi afanye research juu ya story flani mpya, then katika hiyo story anachimba sana. Hata wahadhiri wa vyuo vikuu kazi zao sio ngumu kama hii maana wao hurudia topics zilezile zilizofundishwa mwaka uliopita. Hakika huyu jamaa anahitaji pongezi sana👏
Kaka yangu Jamal wee ndo king wa the story, ila plz keep it up, coz nilikuwa nakunywa pombe, kuona story hii hata bila kuisha kiu ya pombe yote imekata Kisha ninekaa kuangalia the story book yako but iyo story ya yesu kwenda India😂 nilicheka,na izo nchi zingine za uwongo but niko kawaida2 nakunywa zangu Pepsi not (jokes) sio tena pombe kama before but, God is Great for all peoples in the World, Bro ur the Best 🙏🏽🌍. 100% Mungu yupo pia ndo King Wetu.
kazi nzuri Jamal, Yesu alikua Mtume wa Mungu na sio Mungu, kingine lazima muelewe kila mtu Mungu kampa atakavyo yeye, kusema Yesu alizunguka kutafuta elimu Sijambo la kubishana sababu Hata Mtume Mussa aliambiwa aende ktk makutano yabahari mbili atakutana na mtu mwenyeelimu zaidi yake, Lamsingi Mitume wote inatakiwa tuwakubali na kuwaheshimu, lamwisho Jamal hajatumia maneno yake yeye kafanya research ktk vitabu tofauti vya kale. kwaiyo kama unataka kujua zaidi nawewe unanafasi ya kwenda kusoma.
Umenena vyema, lkn Ili ujue nafasi ya YESU katika uungu ni mpaka u some sana na kuuamini utatu mtakatifu. Nitakuacha na swali, Mwanzo 1:26 [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; And God said, Let us make man in our image, after our likeness: Je hapa MUNGU BABA, aliposema "Tumfanye"..... " Wetu" Hapa tunaona nafsi zaidi ya moja, Je hawa wengine ni wakina nani? Katika kulitafuta jibu, utapata mwanga.
@@salsashmomy When "ALLAH -- The all knowing" got the "TRINITY" wrong!!! And when Allāh will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allāh?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen. - Saheeh International (5:116) --- Surah Al -Maidah :116
Yesu Mambo aliyoyafanya ni mengi San yasingeweza kuandikwa yote. Ata kama mbigu ingekuwa kratasi, miti iwe kalamu bahari iwe wino hakika wino ungekwisha
Miaka hyo chuo kitoke wap Elimu walikuwa wanapata kupitia kufanya kazi za kila cku kutokana na uhitaji wa maisha ndiyo unajifunza unadhani walivyosema Yusuph alikuwa fundi selemara Unahis huo ujuzi aliupata Chuo cha Veta jibu hapana ila aliujulia wap bas Kuna namna alijifunza ndiyo shule yenyewe hiyo Sasa sio mpka uende Chuo ndiyo ujifunze
Unajidanganya na hayo maandiko, bado hujafikiria vizuri. Shida wakristo tunazani kwakua Yesu ana uwezo mkuu hakuhitaji kujifunza wala kusikia lolote kutoka kwa yeyote. Ila kumbuka kua Yesu alikua ni mwanadam asilimia mia na uungu pia mia. Hivyo alikua mwanadam mdaisi, na tabia hii alioonesha tangu utotoni, na alikua ikipendelea elimu ya mambo ya kidini. Kwaio mim sishangai kusikia Yesu alisoma, tena alisoma mambo ya dini, hata ivyo ilikua ni ndoto yake kuwa mwalimu na mwenye wafuasi.
Jamal you are doing an extremely wonderful job....kuvihadidhia hadithi hizi na ambazo lazima afanye research kwa upana na undani zaidi sio kazi rahisi...you deserve it man....just continue.We love what you does alot.
Eyesu uliyejifanya binadamu ukiwa sehemu ya nafsi tatu tunakuomba utende miujiza kama ilivyo kawaida yako ww ndiye ujuaye ukweli kuhusu hilo nakuomba katika jina lako takatifu jifunue kwangu japo ninadhambi ilikuondoa huu upotoshaji unaotendeka juu yako japo mm sina hofu na ww namini ww ni mungu tenda ilikuondoa huu unafiki amina
Hapa Kuna kitu ndani yake maana kwa Mim Profesa mdogo Kuna kitu nakiona kwa mbali sana juu ya Yesu na kimefichwa lkn nashindwa hata kidogo kukielezea Ila Mungu mwenyewe anajua maana mwanadam naona anakwenda lkn Kuna sehemu anakwama yaan kama Kuna pazia hivi na siku ikiwa wazi tu basi Yesu karudi, lkn big up Jamal April, Professor 🙏🏿🙏🏿
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. Isaya 9:6 Kama mfalme Suleiman hakusoma chuo chochote na alikuwa na hekima kuliko watu wote Sasa Yesu Kristo ✝️ Ana hekima kuliko mtu yoyote aliwahi kuishi duniani kuwepo
Yesu hakuwahi kusoma dini yoyote na mbaya zaidi wabudha Ni Imani potofu ya mashetani . Lakini Yesu siyo Isa Bari kwa lugha ya kiyahudi Ni Yeshua yaani Mungu mwenye kuokoa jina Isa linatumiwa na wapinga Imani na kupotosha ukristo.
Yeshua ni mwana wa #Haruni toka ukoo wa #ibrahim baba wa imani. Na yesu ni mwana wa mungu kiimani aliyezaliwa kwa uwezo wa roho mtaka hai(mtakatifu). Yesu sio mungu bali anaonekana katika utatu mtaka hai(mtakatifu). Yesu pia alitukana wanadamu kwa majuto wa namna alivyojitoa kwajili yetu na bado tukawa tunawaza mabaya ""baba naomba kikombe hiki kiniepuke" imeandikwa bibliani. Budha sio imani ya kishetani bali ni watu wanaomba kwa uzingativu na ukimya kama anavyosema muumba kuwa ""muombe kwa utulivu na uzingativu pasi kelele" wao hufuata hivyo. Mungu hakuumba dini na wala dini haikupeleki peponi bali kukufanya kuwa na utaratibu wa kuwa karibu na muumbaji wako kwa kuongozwa na dini kutenda yampendezayo. Na kwa haki. Asante
Kama unaamini mungu Yupo basi nipeni like 🙏
afu utazila au
We likes zinakusaidia nn mzee😂😂
Ushamba huo bobuuu
Zinakusaidia nn
Acha kuwapa watu zambi je unataka kuniambia hizo like zako na views ni sawa???? Acha kutupa zambi za namna hiyo....Futa hii comment hakika utaulizwa ulikuwa na maana gani KUANDIKA MANENO HAYO?
Amen Amen Amen nina imani kua Mungu yupo nakilasiku namuona kupitia matendo na makuu yake 🙏🙏kama unaamini kama mimi like hap jmn
Uishi Sana brother Jamal uendelee kutupa maarifa God bless you 🙏 tujuane tunayemwombea miaka mingi brother jamar miaka mingi kwa like hapa.
Sasa like za nn..!?
Tujuane kwann..!?
Tujuane tunayemkubal professor
ℌ𝔞𝔨𝔲𝔫𝔞 𝔪𝔞𝔞𝔞𝔯𝔦𝔣𝔞 𝔥𝔞𝔭𝔬 𝔦𝔳𝔶𝔬 𝔥𝔱𝔞 𝔫𝔶𝔦𝔢 𝔪𝔫𝔞𝔧𝔲𝔞 𝔪𝔴𝔦𝔰𝔥𝔬 𝔴𝔞 𝔡𝔲𝔫𝔦𝔞 𝔶𝔢𝔰𝔲 𝔫𝔡𝔦𝔢 𝔞𝔱𝔞𝔪𝔞𝔩𝔦𝔷𝔞 𝔨𝔴𝔞 𝔨𝔲𝔯𝔢𝔧𝔢𝔞 𝔨𝔴𝔞𝔨𝔢 𝔪𝔢𝔞𝔫𝔦𝔫𝔤 𝔥𝔢'𝔰 𝔞 𝔰𝔲𝔭𝔢𝔯𝔫𝔞𝔱𝔲𝔯𝔞𝔩 𝔟𝔢𝔦𝔫𝔤 𝔨𝔴𝔞𝔫𝔦 𝔥𝔞𝔡𝔦 𝔶𝔢𝔶𝔢 𝔞𝔰𝔬𝔪𝔢 𝔫𝔢𝔫𝔬 𝔞𝔲 𝔶𝔢𝔶𝔢 𝔫𝔡𝔦𝔬 𝔞𝔣𝔲𝔫𝔷𝔢 𝔥𝔢𝔢𝔢𝔢𝔢𝔯 𝔪𝔨𝔬 𝔤𝔯𝔢𝔢𝔢𝔫 😢😢😢😢
Eee Mungu wangu uliye hai,E Yesu kristo ee Roho mtakatifu ikikupendeza funua neema yako anaesoma na ataesoma ushuhuda wangu akujue na akupokee,Amen
Pole sana NA mungu akusameh
Kama unaamini Mungu yupo nipe like na weka neno Ameni🙏🙏
Amina
Mungu yupo milele ndio mkuu wa wakuu mfalme wa waflme mungu mkuu
AMEN AMEN AMEN
Ameni
Amen
I really love this Man like nothing else 💝💝
Nchi zote hizo yesu alitumia usafiri gni kufika
Now I can agree that the Bible was truly corrupted.
@@hellenjelimokiplagat5615 yes indeed
Unapenda aje mwanaume mwenzako....He dsav respect not love
KAMA UNAAMINI YESU NI MWANA WA MUNGU SIO BINADAMU , Gonga like👍
Ndiyo! Na amini ivo kbs
Yesu ndio tegemeo langu
Hata mm na ww pia ni mwana wa mungu kwa mujibu na maneno ya Yesu Yohana 20:17
Mungu akusamehe
❤
Nachoamini YESU NI MWANA WA MUNGU❤️😍
Wewe umesema yeye muhusika anasema ni mwana wa adamu
😍😍
Yesu ni mwana wa Mungu aliyejuu
@@Baharia92 wewe unaamini nini... mbili Jamal ni jina la kikristu au kiislam. ...povu ruksa
@@flova7022 jamal ni jina lenye asili ya kiarabu,Kuna majina yenye asili ya kiarabu lakini wenyewe siyo waislam ukitaka kujua hili labda fuatilia nchi za mashariki ya kati mfano Lebanon,Siria,Palestina na Iraq.Kuhusu hilo la Issa(yesu)kuwa mtoto wa Mungu ni suala la imani ya kikristo ambalo siwezi kuliingilia.Kwa sababu naheshimu imani ya wengine,Kwa sisi Waislam tunaamini vingine kuhusu yesu na Kwa upande wa wakristo pia wanaamini vyengine kuhusu yesu(Issah)mlengwa ni mmoja huyo.Kwa waislam pia Tunamuamini yesu(Issah) kama nabii wake na ni moja ya nguzo ya imani ya kwenye uislam,zipo sita mojawapo ni hiyo kuamini mitume na manabii wake,Ukisema mimi yesu(issah)simtak lakini Mussa(moses) ama wengine nawataka automatical utakua umetoka kwenye uislam.Hatubishani ni kupeana tu ama kufahamishana.Mwisho sisi ni watanzania kumkashifu mtu kwa imani yake siyo miongoni mwa jadi ama asili yetu,muasisi wa taifa letu Nyerere alitujenga tuishi kwa umoja mpagani mkristo,muislam na wengine ndiyo maana tumeishi kwa amani mpaka leo.Sema kuna baadhi tu wapo kwenye kuhatarisha amani kama tuonavyo nchi nyengine za wenzetu.🙏🙏🙏🙏
God bless you Jamal 🙏 you are the best stories teller 🥰🤝
Story fake
Hata ikiwa ni ukweli Yesu aliwahi kusafiri nchi hizo ila sio kwa ajili ya kutafuta elimu sababu tayari alikuwa mwenye upeo wa juu aliojaaliwa na Mungu hata alipokuwa mchanga alipomtetea Mama yake kwenye shutma za uzinzi...Mungu ndiye aliye mkhiari na kumpa elimu hiyo angali mtoto na hivyo kwenye usafiri aloufanya,Mungu alikuwa yuathibitisha ubinadamu wake na na si eti alikuwa yuaitafuta elimu...Naomba upafanyie research zaidi hapo ili usijejipata ukipotosha wengi kwa kupitia vitabu vya watu wasomjua Mungu na kuwafanya kama mashahidi wa Historia ya Yesu... Shukran kwa research Ila usiegemee sana vitabu walivyoandika watu unaposimulia visa vya Manabii
Ninashukuru sana kwa ushauri uliotoa ( kwa hiyo anataka kusema Yesu alisomea kutembea juu ya maji.)
hata sasa hivi tunaona wasomi wakubwa hapa duniani bado wanaitafuta elimu, unapo zani wajua ndipo unajikuta ujui, pia hakuna sehemu inayo sema alikua akitafuta elimu tu badi alikuwa akiwafundisha pia, umelewa?
Nimependa ulicho andika
Ukimsikiliza vizuri
Kwanza hajabase na nadharia yoyote
Pili hajasema alikuwa anajifunza bali alikuwa anawachallenge na kila alipo pita wanashangazwa na upeo wake
@@sleeprelaxation8431 😀
Wajumbe leo na mm nimewah nipen like zangu wajumbe
Sawa bhn
Yesu alizaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu aliongozwa na Roho mtakatifu alifundishwa kila kitu na Roho mtakatifu na mwisho wa yote Yeye Ni Mungu ambae alijuwa MAMBO yote ndiyo maana katika umri mdogo miaka kumi na miwili aliwashangaza viongozi wa Dini waandishi na wanazuoni kwa akiri kubwa alikyokuwa nayo.
Nadhani bado upo gizani
Kwaiyo mungu alikuwa anafundishwa
Hiyo miaka mingine alikuwa wapi? Ila Issa ni mtu poa sana
@@kilalasalu361 ww ndo upo gizan
@@kilalasalu361 wewe na Jamal wenu ndo mpo gizani
Kama unaamini Yesu ni nabii toa like tujuane waumini wa kweli👍
Unabii unatoka kwake
Na'am masii Issa bin mariam
Yesu mwana wa Mungu aliye hai
@@sumayimahule2748 sisi waislam tunajua kama Yesu hayupo hai Alishapaa mbinguni long time... Uhai wake ni upi ndug wakat mnasema aliuliwa msalabani
He is not just a prophet ,,,but almasihi
Yesu ndiye njia kweli na uzima wa milele hakuna mwingine tena
That is very very true
Rudi shule ukasome
Akasome nn? Yesu ndio ukweli na uzima ,ukimuamini yeye hutaangamia, akasome nn tena
Yesu ndio njia
Lete andiko
Mungu yupo ndiyo yesu mwana wamungu
First Kenyan here🇰🇪🇰🇪
Am always here bro .
God is the King 👑🙏🏽😇.
Wish u Good Morning from Dubai 5:32 am👑.
BWANA YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI APEW SIFAA TENA Yeye Ni Bwana Mpaka Usio Kuwa Nakipimo🥰🥰🔥🔥
Amen
Amenii
Amen
Yesu alikataa kusifiwa lkn nyie kina nani usifie ? Hebu soma Yohana 17:3 ndiyo utamjuwa mungu wa kweli
Ushauri wangu kwako Jamal! Achana na story za Yesu kwenye story book.
Waachie Theologians, na wahubiri.zungumzia story zingine kabisa.
Yes u are right, watu wengi ana wapotosha
Anahitaji ashuhudiwe Mana hajui kilicho Cha roho hakitafsiriki kilimwengu/kimwili fixion story
Waoga wa kweli,, muovu huogopa kweli
Kwanini unaogopa changamoto? Hata yeye ajataka kwenda deep kwakukataa mambo kama haya usemayo wewe, Ila soma saana ufunuliwe.
Wala theologia hawana majibu halisi kumzungumzia Yesu kristo Yesu ni spiritual all of us no one will understand him except who he believe spiritually Yesu hamilikiwi na wanatheologia ni wa kila mtu atakaye amin kuwa Yeye ni Bwana
move hizi n nzuri sanaaaaa zinafundisha zaidi katika njia ya imani endeleeni kuzirusha ili tujengwe kiroho kupitia move hizi za Yesu mwana wa Mungu
Kutoka Burundi but naishi Nairobi nampenda huu jama kupitiliza mnipee like plz
Mtoto wa kiume unaomba like,dada ako ataomba nini?
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Ila we jamaa ni critically thinker
🇧🇮
Nilukua nimegukumbuka San aca nisikiliz mambo yako🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Once am with Jesus I will never die
I don’t like Wasafi TV, but because of you, i am watching. Endelea kuleta story kama hizi. Stay blessed indeed 🙏🏾💕
Ndio maana unaambiwa wasafi ni kama maji usipo yanywa utayaoga
Hupendi mbona unafatilia sasa hayo ni maswal wazungu wanatuzungusha kma kichwa maji utajikuta unachuki moyoni kisa dini kumbuka tumeletewa ili tuibiwe africani amkaaa ww
Yesu.
Mwana wa daudi.
Mfalme wa wayahudi.
Aliyewakomboa watu wake na dhambi zao.
Ni neno aliyeshuka akakaa kwetu.
Kumbe sio watanzania😅
Jamal your the best teacher in world, God bless you
Wampenda kristo like💋💋
from Missouri U.S.A much lovee watz wenzangu
Story ya Leo nzur 💋😘
Nan kasema mbaya
Nzuri sana hindu
Hii inanifanya niamini kwa kazi za watu wenye kipaji Cha kuonyesha makubwa kwa vitendo zaidi bila kuangalia vyeti wala historia. Kweli hii Ni kazi ya Professor
"Waeseni walikaa jangwani ili kujitakasa wakimsubiri Masihi, na mmoja wa wanafunzi wa Waeseni ni Yohana Mbatizaji". Father Ricardo Maria (2014).
Hakika mimi Naamini Mungu Yupo Na Ni Mmoja Hana Mshirika Wake,Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mfano Wake Na Ndo Maana Tunamuabudu Kwa Sababu Anasifa Za Kipekee Zisizofanana Na Kitu Kingine chochote.
HUO NDIO UKWELI WALA HAKUZAA WALA KUZALIWA.
Amiin allahumma amiin
Safi kabisa professor
Kenya twakupenda💗💟
Thnks for story
Bro Jamal🥰🥰🥰🥰🥰
God above all
Indeed you're a professor. Thanks jamar one day we gonna meet! InshaAllah.
Nilitaka nishanga kweli bro ata kakufungia mwaka hautupi. Nimefurahi Sana shukrani 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
My best role model n story teller, I appreciate your skills Brother
Prof. Jamal, your research and reporting type is great than many others. Katika Tanzania upo juu kabisa. Unajua kuwianisha mambo mbalimbali hata ya kidini ambayo ni very sensitive. Your, research questions, are perfect than ever. All the BEST
Thanks again i was waiting to hear from you
Huyu jamaa unaweza ukasema hakunaga...ni wachache sana wenye kipaji kama hiki mfano wakr kama othman maalim vile anakuhadithia kitu mpaka unaijengea picha ile story anakuhadithia, may allah bless and protect you Jamal we proud for you brother...❤
Ndio kabisa anajua kupangilia uongo mtamu mpaka watu wanakubali kudanganyika kama unataka kujua Yesu ni nani soma biblia Yesu alitabiriwa kuzaliwa kwake kuishi kwake kufa kwake na kufufuka pia. Isaya 9:6-7, yer 23:6Mika 5:2-4, isaya 53
sasa ukweli wa Yesu usome biblia tena kwa lengo la kujifunza Mungu atakusaidia kuelewa na uchaguzi utakuwa juu yako
For God so Loved the world 🌍 that he gave us the only begotten son so that whomever believe in him should not perish but have Ever over lasting life
JAMAL thenks 2 much love from usa Portland Oregon
Kwa sababu nna amini technology ina dumu🥰 nampenda Allah
Ameen
More congratulations to Jamal to make us aware 🙏🙏
You are the main reason I love wasafi tv
💚
Kwa Mungu yote yawezekana _Amina
Hakuna amjuae Baba Wala hakuna amjuae Mwana isipokua yule tu ambae mwana amependa kumfunulia ujui chochote kuhusu Yesu.
Jamal Nakupenda sanaaa... Yani hauja wai kufeli kabisaaaa... Nakukubali sanaaa
Unamkubali!!!!
i believe in jesus jamal thanks 4 give us a lot of story about jesus
Ilove story of Jamal 💥 unanfanya niipende xna ,na io biti haswaaa
!!!!?😎💎🔥 Mungu ni mkubwa sana katika dunia
I love history, history is life, long live Jamal April
Me to i love jamar history
Kama unaamini yesu nibwana weka like
You are the best jamal, tnx for educating us ❤️❤️❤️❤️
I think you deserve to be plo.....
Glory to God 🙏🙏❤
Mukubwa 💙 vraiment 🤗
Nakupa kumi juu ya kumi (10/10)
Niko fan wako wakwanza kufata vidéo zako zote, Niko nafata elimu nisio ijuwa kwa kila atua 💪 👏🤝
Narudia Yesu siyo Isa na wala hakuwa muislamu. Msimuingize Yesu Kristo kwenye dini zinazokubali kuwa majini ni rafiki zake.
Yesu hakuwa na urafiki na majini. Mnapenda sana kuingiza Imani ya kistaarabu ya Kikristo na taratibu zenu jlimradi tu muweze kujifanya mko sawa lakini kwaujumla na uhalisia kila kitu kijulikane YESU KRISTO atabaki kuwa Mwana wa Mungu.
🤣🤣
Toa ushahidi ww kuwa alikuwa mkristo
YESU SIO MUNGU NA MAPEPO NA MJINI TUNAYAONA.MAKANISANI 2 MISKITINI HAKUNA UJINGA HUO FALA WEWE TAFUTA MUME AKUOWE KANISANI DINI YAKO INAKURUHUSU.
@@barakashaban9698 ANATAKA KUOLEWA HUYO.
@@salimmalaka256 kweli kabisa nakubali
Iko sawa sana nipeeni hizo likes pls
Wooow mungu azidi kutufunulia ukweli,be blessed bro
Yesu miaka 18 alikuwa ana pewa mafundisho na alifanyiwa majaribia mengi ambayo wewe nami atuyawezi atunaaja yakuyajua ila jua yesu alishinda naalikuwa teyari kukuokoa sisi kiroho na akawa teyari kubeba dhambi yawe nami jambo ambalo sisi limetushinda kama unaungana nami like comment yesu ndio mshindi naanapaswa kuabdiwa kama mungu alivyo mwamin amina
Yesu sio mungu na hafai kuabudiwa,anae faa kuabudiwa pekee ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi!Kipindi Yesu yupo tumboni mwa mamaake,nani alie abudiwa?
Asante sana kwa elimu
Kwa kweli nikisikia habari kama hizi nafurahia sana kwa kweli...
Mungu awabariki sana kutuletea taarifa nzuri
Hii kazi anayofanya prof. Jamal ni ngumu sana, just imagine kila wiki inabidi afanye research juu ya story flani mpya, then katika hiyo story anachimba sana. Hata wahadhiri wa vyuo vikuu kazi zao sio ngumu kama hii maana wao hurudia topics zilezile zilizofundishwa mwaka uliopita. Hakika huyu jamaa anahitaji pongezi sana👏
Saaaaaaana
Alishakusanya material na kwenda kupeleka kwenye TV it means hadithi zote anakuwa nazo kinachobaki ni kutoa tu
@@valentinekigahe9707 ila si tayari umesema alikusanya.? So bado amefanya kazi kubwa, bila kujali ni lini amefanya.
Hakika😍
@valentine kigahe sio kweli bhana, hawezi Sanya kila kitu. Me ntakataa katukatu.
Kaka yangu Jamal wee ndo king wa the story, ila plz keep it up, coz nilikuwa nakunywa pombe, kuona story hii hata bila kuisha kiu ya pombe yote imekata Kisha ninekaa kuangalia the story book yako but iyo story ya yesu kwenda India😂 nilicheka,na izo nchi zingine za uwongo but niko kawaida2 nakunywa zangu Pepsi not (jokes) sio tena pombe kama before but, God is Great for all peoples in the World, Bro ur the Best 🙏🏽🌍. 100% Mungu yupo pia ndo King Wetu.
😃🤣
🤣🤣🤣
Mashaallahh pr jamaal allah akuzidishie elmu na umrireefu wenye manufaa💓
kazi nzuri Jamal, Yesu alikua Mtume wa Mungu na sio Mungu, kingine lazima muelewe kila mtu Mungu kampa atakavyo yeye, kusema Yesu alizunguka kutafuta elimu Sijambo la kubishana sababu Hata Mtume Mussa aliambiwa aende ktk makutano yabahari mbili atakutana na mtu mwenyeelimu zaidi yake, Lamsingi Mitume wote inatakiwa tuwakubali na kuwaheshimu, lamwisho Jamal hajatumia maneno yake yeye kafanya research ktk vitabu tofauti vya kale. kwaiyo kama unataka kujua zaidi nawewe unanafasi ya kwenda kusoma.
Umenena vyema, lkn Ili ujue nafasi ya YESU katika uungu ni mpaka u some sana na kuuamini utatu mtakatifu. Nitakuacha na swali,
Mwanzo 1:26
[26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu;
And God said, Let us make man in our image, after our likeness:
Je hapa MUNGU BABA, aliposema "Tumfanye"..... " Wetu" Hapa tunaona nafsi zaidi ya moja, Je hawa wengine ni wakina nani?
Katika kulitafuta jibu, utapata mwanga.
Kasimp tena
Emmanuel God with us ✝️🕊️🔥 Yesu Ni Mungu take it or leave it.
@@yhwh353 astaghfirrllah
@@salsashmomy When "ALLAH -- The all knowing" got the "TRINITY" wrong!!!
And when Allāh will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allāh?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.
- Saheeh International (5:116)
--- Surah Al -Maidah :116
Nakukubari jamal super story🙏🙏🙏🇹🇿🇬🇷
Thank you for your education but always is JESUS,BIBLE,AND CHRISTIANITY now we want to be educated on MTUME MUHAMMAD S.A.W,QURAN AND ISLAMIC THANKS
Jamal kama unamwamini Mungu basi nafurahi🙏
Well done Prof.Jamal "keep it up 💯"....
We jamaaa daah! Utakuwa unajua mambo mengi sana2 sema hutak kuharbu iman za watu respect sana brooh
Nakuombea uishi maisha marefu sana kaka Na Ubarikiwe sana ❤👍
Yesu Mambo aliyoyafanya ni mengi San yasingeweza kuandikwa yote. Ata kama mbigu ingekuwa kratasi, miti iwe kalamu bahari iwe wino hakika wino ungekwisha
Hio sasa kufuru
Namshukuru Kwa kujua kumbee yesu alikuani mwisilam inshaallah kama unaupeo wakutosha basi utakua umeelewa apo
yohana 3; 31-36 yesu hakusoma chuo chochote duniani
Miaka hyo chuo kitoke wap Elimu walikuwa wanapata kupitia kufanya kazi za kila cku kutokana na uhitaji wa maisha ndiyo unajifunza unadhani walivyosema Yusuph alikuwa fundi selemara Unahis huo ujuzi aliupata Chuo cha Veta jibu hapana ila aliujulia wap bas Kuna namna alijifunza ndiyo shule yenyewe hiyo Sasa sio mpka uende Chuo ndiyo ujifunze
Vyuo vilikuepo... Soma kitabu cha danieli ndugu.
Unajidanganya na hayo maandiko, bado hujafikiria vizuri.
Shida wakristo tunazani kwakua Yesu ana uwezo mkuu hakuhitaji kujifunza wala kusikia lolote kutoka kwa yeyote.
Ila kumbuka kua Yesu alikua ni mwanadam asilimia mia na uungu pia mia. Hivyo alikua mwanadam mdaisi, na tabia hii alioonesha tangu utotoni, na alikua ikipendelea elimu ya mambo ya kidini.
Kwaio mim sishangai kusikia Yesu alisoma, tena alisoma mambo ya dini, hata ivyo ilikua ni ndoto yake kuwa mwalimu na mwenye wafuasi.
@@barakadavidmakome6353 mungu asilimia mia na mwanadamu asilimia mia dah kuna sehemu binadam tumefeli ktk kufikiri 😮
@@ilhamswaleh3428 sio swala la kufikiri ni maandiko ndugu!
Congratulations JAMAL una story yenye uzito mkubwa kweli mungu azidi kukuongeza ujuzi kaka nataman sana kuwa kama wew
Jamal you are doing an extremely wonderful job....kuvihadidhia hadithi hizi na ambazo lazima afanye research kwa upana na undani zaidi sio kazi rahisi...you deserve it man....just continue.We love what you does alot.
Mbona siku hizi amenyamaza sana huyu Mr Jamal mstafa
Yes
Eyesu uliyejifanya binadamu ukiwa sehemu ya nafsi tatu tunakuomba utende miujiza kama ilivyo kawaida yako ww ndiye ujuaye ukweli kuhusu hilo nakuomba katika jina lako takatifu jifunue kwangu japo ninadhambi ilikuondoa huu upotoshaji unaotendeka juu yako japo mm sina hofu na ww namini ww ni mungu tenda ilikuondoa huu unafiki amina
Mambo ya imani ukiyafutilia ni🤯🤯 ko yaacge kama yalivyo!! Be blessed bro🙏🏽🙏🏽
AHSANTE JAMEEL. Ufafanuzi Mzuri, Ufafanuzi Makini.
Asante sana kwa kuelezea History ya yesu kulingana na Elimu ya msikiti.
Imeandikwa,Mungu akasema Yousouph mchukue Mkeo na Mwanao Mkimbilie Misti,Maana Herode anataka Amuangamize, Kwahyo Yesu Alikimbilia Africa
Always you're the best story make. ❤❤❤❤❤❤
Hapa Kuna kitu ndani yake maana kwa Mim Profesa mdogo Kuna kitu nakiona kwa mbali sana juu ya Yesu na kimefichwa lkn nashindwa hata kidogo kukielezea Ila Mungu mwenyewe anajua maana mwanadam naona anakwenda lkn Kuna sehemu anakwama yaan kama Kuna pazia hivi na siku ikiwa wazi tu basi Yesu karudi, lkn big up Jamal April, Professor 🙏🏿🙏🏿
🥰🥰 mwenyezi Mungu akusidishie kibali kakangu 🙏
kwa story ipi?story according to msikitini wanavyofundishwa? Yesu ni Mungu na ni njia na kweli
Tumkimbilie Mola yy ndo alituleta duniani na yy ndo atatutwaa jina Lake litukuzwe,praise to God
Well done Jamal 🙏🙏🙏
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Isaya 9:6
Kama mfalme Suleiman hakusoma chuo chochote na alikuwa na hekima kuliko watu wote Sasa Yesu Kristo ✝️ Ana hekima kuliko mtu yoyote aliwahi kuishi duniani kuwepo
We bless by God always 🙏
Eai
Ahsante sanaaa tuuuu Kwa ujumbe kutoka The story book.
Yesu hakuwahi kusoma dini yoyote na mbaya zaidi wabudha Ni Imani potofu ya mashetani .
Lakini Yesu siyo Isa Bari kwa lugha ya kiyahudi Ni Yeshua yaani Mungu mwenye kuokoa jina Isa linatumiwa na wapinga Imani na kupotosha ukristo.
Atakuwaje mungu ambaye amesurubiwa na wanadamu wake?
@@feisaldasilvajr311 👍👍 Good question
@@feisaldasilvajr311hivi vitu kama huvielewi sasa utaelewa baadae
Yeshua ni mwana wa #Haruni toka ukoo wa #ibrahim baba wa imani. Na yesu ni mwana wa mungu kiimani aliyezaliwa kwa uwezo wa roho mtaka hai(mtakatifu). Yesu sio mungu bali anaonekana katika utatu mtaka hai(mtakatifu). Yesu pia alitukana wanadamu kwa majuto wa namna alivyojitoa kwajili yetu na bado tukawa tunawaza mabaya ""baba naomba kikombe hiki kiniepuke" imeandikwa bibliani. Budha sio imani ya kishetani bali ni watu wanaomba kwa uzingativu na ukimya kama anavyosema muumba kuwa ""muombe kwa utulivu na uzingativu pasi kelele" wao hufuata hivyo. Mungu hakuumba dini na wala dini haikupeleki peponi bali kukufanya kuwa na utaratibu wa kuwa karibu na muumbaji wako kwa kuongozwa na dini kutenda yampendezayo. Na kwa haki. Asante
Aimen ubarikiwe 🙏🙏
Ooh the story book, ya leo ni nzuri sana tayari nimewahi darassani??
Asante sana my brother from another mother
This man Jamal April,Jamal Mustafa, Professor is something else mungu akupe neema my brother huzidi kutupa hizi hadithi.
But not like this
Erimu ya Yesu ni erimu ya kimungu mambo ya mungu ukitaka kuyachunguza yaitajika roh mtakatifu akushukie kweli kweli mungu achunguzwi ata kidogo yani
The story book 🥰🥰, Jamal April Mustafa professor, merry Christmas to of you 🙏🙏🌲🌲🎇 nipeeni likes za Christmas tafadhalini🙏🙏
God bless you professor
You're awesome