LILITH ALIMKIMBIA MUMEWE ADAM AKAENDA KUZINI NA WANAUME WENGINE NDIYE MAMA WA SINGLE MOTHERS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2024
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.
    ZABURI 119:130
    Kufafanusha maneno yako kwatia nuru na kumfahamisha mjinga
    ZABURI 119:11
    Moyoni mwangu nimeliweka neno lako nisije nikakutenda dhambi

ความคิดเห็น • 130

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน +13

    1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
    1 Timotheo 4:1
    2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
    1 Timotheo 4:2
    Mnaacha kuhubiri kurudi kwa Yesu mnaongea mambo yasiyo ya Mungu Yesu ndicho alichawatuma ulimwenguni

    • @user-eb2el9kw6m
      @user-eb2el9kw6m หลายเดือนก่อน +1

      Wewe Kama una hubiri si inatosha huo ni wito wako. Usilazimishe wito wako Kwa wengine. Do what you think you are called for

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 หลายเดือนก่อน

      Hivi kweli Mungu ni mkatili kwa kuunguza watoto wake na moto?

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 หลายเดือนก่อน

      ​@@leonardchoma3765
      Msome vizuri huyo hapo juu hayo amesema ukweli kabisa, haya ni mafundisho ya Uongo ndio kosa walilolifanya wana wa Islael kwa kutosimama kwenye kweli

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa ndio shida mafundisho ya mafarisayo na masadukayo. Yesu Kristo anawaambia kufunga wanafikili kufunga kimwili anawaambi yeye ndio chakula kilicho Shuka toka mbinguni wanafikili chakula kama chakula.Biblia sio kama gazeti anasema wanamacho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikii.

    • @Aggreymbugano
      @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน

      @@andrewmhagama9816 hatari sana nyakati mbaya hizi watu wameacha imani wengine hawamwamini Yesu Kristo tena wana waamini watumishi manabii mitume mafuta ya upako miujiza ishala maji ya upako hii yote ni kwamba tayali Mungu ametuvurugia lugha au usemi wenyewe kwa wenyewe tunagombana tunalaaniana tunachukiana n.k.

  • @RevocatusJonas-vw1mg
    @RevocatusJonas-vw1mg หลายเดือนก่อน +2

    Jambo Hilo katika nyakati hizi haiwezi kuikuza Imani yetu katika kristo..imetupasa kuuhubili injili ya ondoleo ya dhambi!!

  • @isaacsinoya5889
    @isaacsinoya5889 หลายเดือนก่อน +7

    Ukweli kabisaa, Lilith was the first wife to Adam

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +2

    Unatufunilia mengi Mwakilembe barikiwa sana❤❤🎉🎉

  • @jacksonseleman_
    @jacksonseleman_ หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa Somo zuri. Siku zote najifunza sana kutoka kwa chanel yako hii.
    Kama hujaelewa ujumbe huu maanake sio kwa ajili yako.. 🙏

  • @nelsonkabakakayumba2401
    @nelsonkabakakayumba2401 หลายเดือนก่อน +1

    ❤Asante Sana Kaka BENSON kwa Neno La Mungu ❤ Tuna kupenda Sana Tunakufata Vizuri Hapa Utah Salt Lake City America

  • @MwangoyeMwangoye
    @MwangoyeMwangoye หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi mwenyesikio na naasikie

  • @KennedSangson
    @KennedSangson หลายเดือนก่อน +2

    Achakuhubili fanya kazi zako

  • @user-mn2et2pf6z
    @user-mn2et2pf6z 12 วันที่ผ่านมา

    Biblia ya mungu sio hii tunayo isoma.mzungu hawezi kukuletea neno la mungu la kweri.bali tuliletewa neno la kututia ujinga,hofu pamoja uoga ili wapate mwanya wa kututawala na kusomba Mali zetu.

  • @franciscogervas3149
    @franciscogervas3149 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli upo kwenye jadi yetu uliokuwepo tangu kabla ya jadi maana ata walio leta dini waliwakuta watu wanamtaja mungu embu jiulizeni walimuita mungu pasi kujua!? embu fuatilieni jadi yetu mpate ukweli uliojificha kwa viumbe.

  • @barakaokanya6909
    @barakaokanya6909 หลายเดือนก่อน

    Bwana

  • @barakaokanya6909
    @barakaokanya6909 หลายเดือนก่อน

    Bwana mkuu mimi nakufuatilia sana habari zako mkuu balikiwa sana

  • @mtumwawayesu1956
    @mtumwawayesu1956 หลายเดือนก่อน

    I like you bro😮😮😮😮

  • @zachariasamson1387
    @zachariasamson1387 หลายเดือนก่อน +1

    Ila ninavyoona nyie mshughulikiwe kisheria kwa kuchafua imani ya kikristo,mzusha kwa kiwango kikubwa sana,ila basi tu,Mungu atamua mwisho wenu upo!

  • @user-rw3uu2rw8e
    @user-rw3uu2rw8e หลายเดือนก่อน +3

    Siyo dini unamaono ya kpepo kitabu Cha mwanzo kinasema hapo mwanzo Mungu alimuumba adamu na akatia ubavu wa Adam akamuumba Eva hya mmbwa wewe huyo mwingne katika wap je Ni bbli gan imsema hvo

    • @herbertbathlomeo4650
      @herbertbathlomeo4650 2 วันที่ผ่านมา

      soma Biblia kwa kina kijana acha ushetani wa kutukana ovyo
      soma mwanzo 1:26-27 kisha njoo usome mwanzo 2:13--- uone Adamu alikuwa na wake wangapi katika maisha yake

  • @user-yq8nh5lh7z
    @user-yq8nh5lh7z 29 วันที่ผ่านมา

    Utachomwa usipo badilika kwa sababu unapotosha kondoo wa bwana yesu kristo 😢😢 nasikitika sana na mafundisho yako ya uongo

  • @sekrommbaga6234
    @sekrommbaga6234 หลายเดือนก่อน +2

    Alienda kuzini na wanaume kutoka wapi wakati adam ndie mtu wa kwanza?

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k หลายเดือนก่อน +4

    Hili mwalimu umeenda kinyume na biblia hakuna mwanamke anaitwa lilith haya ni mawazo ya maframasiion siyo biblia tukitoka nje maandiko tutakosa njia hatuna mwanamke mwingine kibibliaa hayupo hayupo.

    • @user-mn2et2pf6z
      @user-mn2et2pf6z 12 วันที่ผ่านมา

      Hapana.hajaenda kinyume.pengine tunasoma biblia bila history ya biblia au uumbaji.lakini kama ukikomaa tu na agano huwezi kujuwa hata kidogo

    • @user-mn2et2pf6z
      @user-mn2et2pf6z 12 วันที่ผ่านมา

      Kwa mfano unahitaji kuokoka lakini unawanawake 6 je ? Utaenda okokanao au utafukuza ubaki na Mmoja? Sasa hapo wengi hawapati majibu.

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 5 วันที่ผ่านมา

      Jiulize.Kaini alienda akaoa mwanamke.Angalia katika maandiko.Sehemu gani inaonyesha kuwa adamu na eva walizaa watoto wanawake?
      Ulisha jiuliza, yule mke wa Kaini alitokea famailia gani? Hali maandiko yanaonyesha Adam na Hawa ndo watu wa kwanza?

  • @AyubuYona-m1x
    @AyubuYona-m1x 27 วันที่ผ่านมา

    Unapoongeza maneno ya uongo katika neno la MUNGU jiandae kumpokea mapigo ya MUNGU geuka mapema bado unayo rehema na MUNGU atakupokea Asante adamu hajawahi kuoa mwingine tena

    • @herbertbathlomeo4650
      @herbertbathlomeo4650 2 วันที่ผ่านมา

      Punguza jazba msikilize vizuri Adamu hakuoa kamwe ila aliishi na wanawake wawili kwa nyakati tofauti

  • @ramawilson3709
    @ramawilson3709 หลายเดือนก่อน +2

    Huo ni uongo unapepo la utambuzi tu ndilo linakufunulia hayo pole kwa kuwa mateka

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu sio biblia unayosoma, wala haya maneno ya Benson. Mungu ni zaidi. Ufahamu tulionao kuhusu Mungu hata hayo yaliyoandikwa kwenye biblia ni 1/100 ya maarifa yote kuhusu Mungu

  • @godwinmsuya6080
    @godwinmsuya6080 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyinyi watu haya mafundisho munayapata wapi? ni mtume gani, nabii gani, au ni-kitabu gani cha Mungu chenye mafundisho haya?!!, hapo zamani 79-80's, kuna vitabu tulikuwa tunavisoma maktaba za shule za msingi viliharibu sana watu (Alfu lela ulela au siku elfu na moja) sasa vimerudi tena kwa mlango wa nyuma kupitia njia ya wahubiri....

  • @African511
    @African511 หลายเดือนก่อน +1

    Masingle mother waliotoka kwa waume zao ndiyo wanaosumbua jamii sasa hivi,na vijana wa elfu mbili ndiyo wanatuharibia kabisa😂😂😂

  • @AngeloSamweli-vt3jy
    @AngeloSamweli-vt3jy วันที่ผ่านมา

    Naweza kupata kitabu cha Henoko cha kiswahili

  • @user-jx1rg4eq9x
    @user-jx1rg4eq9x หลายเดือนก่อน

    Matokeo na Ushadadiaji , baada ya mkutano na maazimio ya huko Beijing 1995 yanaendelea kuutafuna umma wa hii Dumia.

  • @Paulmlambo327
    @Paulmlambo327 หลายเดือนก่อน +2

    👍👍🇿🇦🇿🇦

  • @LovenesyMhame
    @LovenesyMhame หลายเดือนก่อน

    Shetan wew iv ni nani alikutum kudangany binadam ko unatak iwaj kwan hay mafundish yak Yan wew n shetan live

  • @ERASTOSANGA-i7s
    @ERASTOSANGA-i7s 12 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu benson ubarikiwe kwa upana wako wa kueleza maandiko, ninamaswali mawili naomba msaada wa jibu, (1) MALKIA WA KUZIMU NA MAMA WA MAJOKA CHANZO CHAKE NI NINI? (2) SIVEMA MTU HUYU AWE PEKEYAKE NITAMFANYIA MSAIDIZI WAKUFANANA NAE, ( KWANI MKEWE ALIENDA WAPI MPAKA ADAMU AKAKAA PEKEAKE?)

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

    Kanisa la Mungu limejengwa kwenye mafundisho ya mitume na manabii walio kwenye Biblia hatutumii rejea za kiyahudi au kiyunani ewe mwana wa Joka na baba yako Nabii wa uongo Geodavi

  • @masukam.kamuli5954
    @masukam.kamuli5954 หลายเดือนก่อน

    Nimeanza kupata maswali,

  • @EvaristMihingo
    @EvaristMihingo หลายเดือนก่อน +1

    Benson sikiliza usiongeze wala usibunguze

  • @NkenguburundiKenny-xn8of
    @NkenguburundiKenny-xn8of หลายเดือนก่อน

    Mtatuuwa sasa namaandishi yenu, eeh mungu wee mbona kondoo zako wanatutesa na maandishi haya

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana mwalim kwa kujitolea kufundisha meno la Mungu Lilith Yuko wapi mpaka leo

    • @goodlucksenyagwaofficial2299
      @goodlucksenyagwaofficial2299 13 วันที่ผ่านมา

      Nilichomuelew nikwamba anaishi kama immortal. Napia kwani hawa yupo wapi? Ukilijib utakuwa umejua Lilith yuko wap

  • @IbrahimSimon-bi9gi
    @IbrahimSimon-bi9gi หลายเดือนก่อน

    Shalom naitwa Alex mwakyoma kutoka mbeya ukisoma muhubiri 9-5 kwa sababu walio hai wanajua watakufa lakini wafu hawajui lolote hii imekaaje wakati huohuo tajiri aliteseka akimuommba lazaro achovye incha ya kidole ili aburudishe koo naomba unisaidie mwalimu

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน +1

    Hii pesa inayotusumbua ilianzishwa nanani? Na kwa sababu Gani?

  • @ERASTOSANGA-i7s
    @ERASTOSANGA-i7s 12 วันที่ผ่านมา

    SIVEMA MTU HUYU AWE PEKEAKE NITAMFANYIA MSAIDIZI WAKUFANANA NAE, (Kwani mkewe alienda wapi? )

  • @cedricmwavaka4484
    @cedricmwavaka4484 หลายเดือนก่อน

    ukweli kabisaa ni ambiya watu hawakuniamini

  • @sullecom
    @sullecom หลายเดือนก่อน

    Kulikuwa na wanaume wengine kabla ya Adam maana si alikuwa pekee yake

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga หลายเดือนก่อน +1

    Sawa. Ila naomba kufahamu hivi huyo Lilith alipokwenda huko nje ya Eden na kuolewa na Samael. Huyu Samael alitoka wapi yaani asili yake ni nini?

    • @LeloSarwat0
      @LeloSarwat0 หลายเดือนก่อน

      Ni malaika

    • @michaelwanyanga
      @michaelwanyanga หลายเดือนก่อน

      Kwa lugha nyingine huyu Lilith was therefore demonized and now she lives like a spirit (celestial queen) meant to destroy marriages and causing single mamas, lesbianism, and whatever marriage related abominations. Let's be keen on this in Jesus mighty name....!!!

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน +2

    Adamu hajawahi kuwa na mke mwingine hayo ni mafundisho ya Kidunia na hadithi za kusadikika hawa ndiyo mwanamke wa kwanza kwa Adamu
    Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.
    Mwanzo 3:20

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx หลายเดือนก่อน

      Fungua ubongo ndo utaelewa

    • @francistertuly1332
      @francistertuly1332 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hawa ni mama wa walio hai maanake kuna mama mwingine wa waliokufa

    • @boazhenrymtokoma675
      @boazhenrymtokoma675 หลายเดือนก่อน

      Biblia ya kwanza ilikuwa na vitabu 90. Mambo ni mengi sana.

    • @frankmalekela4613
      @frankmalekela4613 26 วันที่ผ่านมา

      Mbona lipo waz tu aoma vzr utaelewa tu

  • @bernardmakala9051
    @bernardmakala9051 หลายเดือนก่อน

    acha michanganyo na uongo, huyo lilith aliolewaje kwa mwanaume mwingine wakati adamu ni wa kwanza kuumbwa,

  • @emmanuelmanga3478
    @emmanuelmanga3478 หลายเดือนก่อน

    Mwalima muongo sana wewe, wew ni wa uongo, tubu kabla Mungu hajachukua pumzi yako, maana unanyo endelea hinyo utasema siku nyingine Mungu anakubaliana ma ushoga na usangaji na unako elekea ni huko, wewe naona unatimiza unabii

  • @HenryTindwa
    @HenryTindwa หลายเดือนก่อน

    Mtumishi upo sawa nipo makini sawa naelewa

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 หลายเดือนก่อน

    Kwa maneno hayo unasema biblia imetudanganya?

  • @ShukuraJacksoni
    @ShukuraJacksoni หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa shukurani
    Nipo pwani
    Mwarimu naomba majibu
    Tukisoma habari za Ayubu
    Arivyo ripwa na Mungu
    Mara mbili yavire arivyo poteza
    Swali mke wake arienderea kuwa nae au Mungu arimpa
    Mke mwingine Arie mzaria
    Wengine watoto?

  • @clementnnko
    @clementnnko 27 วันที่ผ่านมา

    Je zama hizo kulikuwa na wanaume wengine zaidi ya Adam? Na je Uzao wa huyo Lilith ni upi?

  • @sambostone8173
    @sambostone8173 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu umesema lilith aliondok kwenda kwa wanaume wengine sasa ina maana kulikuwa na wanaume wengine tofauti na adam?

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน

    Eva aliishi miaka mingapo?

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 หลายเดือนก่อน

    Hakika wateule tuwe macho maana tunaloelekea nikubaya sana

  • @MAJACKAMOVIES
    @MAJACKAMOVIES หลายเดือนก่อน

    tupe kuhusu sadaka za kuteketezwa

  • @andremchinda3973
    @andremchinda3973 หลายเดือนก่อน +1

    No. LILITH siye ndo Mke wa ADAM. Na wala ADAM akuwayi kuwa na Mke LILITH. Hadi si kuusu Lilith ni simply LÉGENDE, ni MYTH. Siyo hadi si y’a Kweli.

    • @homebest9258
      @homebest9258 หลายเดือนก่อน

      Fanya utafiti

  • @AdamHaonga-cp4lf
    @AdamHaonga-cp4lf หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo ndiye amemwingia Christina shusho?

  • @kennykennedy9868
    @kennykennedy9868 หลายเดือนก่อน

    Kweli umechambua kama nilivyokua nazani

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo MUNGU aliuumba wanake wengi kuliko wanaume ,maana nachojua MUNGU aliuumba mwanaume na mwanamke ambae Ni Eva kumbe sio

  • @boazhenrymtokoma675
    @boazhenrymtokoma675 หลายเดือนก่อน

    Je wakati Lilith anaacgana na Adamu hakuwa na mtoto? Kama hakuzaa na Adam, baadae alizaa na nani na uzao wake ni upi??

  • @gisellamkama3785
    @gisellamkama3785 หลายเดือนก่อน +1

    Swali, huyo aliyezaa na lilith aliumbwa na nani na wakati gani?

  • @AsengaFassman-um8dx
    @AsengaFassman-um8dx หลายเดือนก่อน

    Hata mimi nilikuwa najiuliza kuwa
    Habili na Kaini waliowa wapi!??

  • @nelsonkazaura5713
    @nelsonkazaura5713 12 วันที่ผ่านมา

    Wenye akili kama zako ndiyo watakuelewa! Hiyo Injili yako ni ya kishetani kabisa.

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 หลายเดือนก่อน

    MIMI NAKUKUBALI MWL. NA NDO MAANA WANASEMA Mke mwema utoka kwa Bwana, je mbaya yuko wapi? Anatoka kwa nani???

  • @joshuajohn8533
    @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน +2

    (Yakobo 3:1
    Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi, mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi.)
    Ndugu zangu nawasihii kwa huruma za Mungu huyu mtu ni hatari sana kwa wale wateuli huyu ni adui wa haki. Huyu ni kisima kisicho na maji. Huju mwana wa uharibifu. Huyu ni mtu aliyekufa ganzi na hakuna anayeweza mrejesha.
    Hivyo mjiepushe nae anaweza kukutia unajishi hata ukavurugika kwenye mambo ya imani.

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 หลายเดือนก่อน

    Huyo mke wa kwanza wa Adam umemsoma katika kitabu kipi?,,biblia na Quran vyote,,hivijasema kuwa Adam alikuwa na mke mwingine kabla ya Hawa,,sasa huyo mwingine umemtolea wapi bro,,nakuakikishia watu wakipotea kwa mafundisho yako ya uongo,,siku ya hukumu,,utabeba mzigo wao

  • @Pihansmo1129
    @Pihansmo1129 หลายเดือนก่อน

    HUYU SINGLE MOTHER MWIMBAJI KAYAKANYAGA😂😂😂😂😂😂😂 UMEONGEA KWA HEKIMA KUBWA SANA❤

  • @RevocatusJonas-vw1mg
    @RevocatusJonas-vw1mg หลายเดือนก่อน

    Kila kilichofichwa kitafichuliwa na kujulikana hadharan lakin huo ndio mwanzo wa utungu wa Mambo yote lakin musiiamini Kila roho zipimen katika matendo yao...Mana katika elimu zetu hakika tutaangamia!!

  • @bahatiedward8866
    @bahatiedward8866 หลายเดือนก่อน

    Sikuelewi kabisa.mpotoshaji mkubwa wewe! Si useme tu huyu Lilith alikuwa shetani, halafu kwani ni lazima hayo maandiko ya kiyahudi yaaminiwe U yafuatwe?

  • @johnmnyawi5718
    @johnmnyawi5718 13 วันที่ผ่านมา

    Sasa icho unachoongea kinatusaidia vp kwenye safari ya Mbinguni? na kinahusianaje na Biblia??
    ACHA UJUAJI AMBAYO HAYAJAANDIKWA KWENYE BIBLIA USIFUNDISHE..what for?

  • @MsokaselemaniMkelelwa-so9wr
    @MsokaselemaniMkelelwa-so9wr หลายเดือนก่อน

    Ndugu benson,naomba Aya inayosema Lilith alikuwa mke wa kwanza wa adam,kwa maana hata Jina Lilith halimo bibliani

    • @LeloSarwat0
      @LeloSarwat0 หลายเดือนก่อน

      Ameshasema haijaandikwa kwenye bibilia bali imeandikwa kwenye vitabu vya wayahudi ambako ndiyo chanzo Cha Imani ya kikristo.
      Na mimi nakubaliananaye kwa sababu ukisoma kitabu Cha mwanzo kuanzia Aya ya 3-7 utagundua kwamba kulikuwa na watu wengine tofauti na Adamu na Hawa na watoto wao wawili ambao ni Kain na Habil, maana Kaini alivo muua ndugu yake Habil kain alienda mbali na wazazi wake na hapo tunaona Kaini ana mke maana biblia inasema Kaini akamjua mkewe wakapata mtoto wakampa jina Henoko . kama wewe unaamini hakukuwa na watu wengine Kaini alimuoa nani?

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 หลายเดือนก่อน

      ​@@LeloSarwat0Sasa wayahudi walikuwa wanasali kwenye masinagogi ambayo màana yake misikiti, waislamu wanasali kwenye misikiti,hapa ndiyo utaona kuwa waislamu ni wayahudi wa Leo/siku hizi

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn หลายเดือนก่อน

    Ukristo sio dini ya haki mnapoteza Muda

    • @Pihansmo1129
      @Pihansmo1129 หลายเดือนก่อน

      Unachekesha😂😂😂😂😂😂

    • @user-zj2gc2zj2c
      @user-zj2gc2zj2c หลายเดือนก่อน

      Haki ndiyo nini?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka wanapoteza muda wao tu.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 หลายเดือนก่อน

      Hakuna wanaopoteza muda kama waislamu,wanawekaga mihadhara kujadili ukristo maana hawajiamini wakisikia kitu ukristo kinawanyima usingizi,wanashinda vijiweni hawana kazi ni kujadili ukristo eti wanatetea uislamu ambao duniani unasem was a ni ugaidi siyo dini ya kumtukuza Mungu

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 หลายเดือนก่อน

    😂ila nyinyi kwa kudanganyana mmeshindikana, sasa lilith alitokea wa ikiwa baada ya kuumbwa Adam M/Mungu alimtoa Hawa ubavu wa Adam, sasa huyo lilith aliumbwa lini?😂 acha uongo wakristo mnapotoshana saana.

  • @user-os4hx9et8w
    @user-os4hx9et8w หลายเดือนก่อน

    acha kusema uongo Allah hapendi

  • @LAMPARDFikiri
    @LAMPARDFikiri หลายเดือนก่อน

    Apo unaongea kweli kabisa

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u หลายเดือนก่อน +1

    Je huyo shetani mbona hafi na kwanini shetani hafi mpaka Leo?

    • @faustinbyendeye7954
      @faustinbyendeye7954 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂
      Hakunanga shetani 😂😂😂😂
      Badala yake Kuna negative energy ya mungu 😂😂😂
      ,ambayo tukikumbana nayo ,
      Sababu ya ku muasi mungu tunalemewa malengo yetu ,
      Eti ni sababu ya shetani😂😂😂😂😂?
      Hivo bass ,tumepata shetani wetu
      Wa kujitengenezeya ambaye pia
      Anatushitaki kwa mungu,😂😂😂😂😂
      Shetani anajuwa hata njia ya kwenda
      Kwa mungu ,😂😂😂😂
      Mtukane uone.😂😂😂😂😂
      Bibliya Iko wazi ,😮😮😮😮
      Munatukana mambo musio yajuwa.

  • @shilimaabdallah-mw2bj
    @shilimaabdallah-mw2bj หลายเดือนก่อน

    Uongo

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Benson,me sijawahi tofautiana na wewe hata neno moja,maana hii si sahihi,Neno Lilith limetokana na Talmud ya kale huko babeli,ni fundisho la uongo la kiyahudi.Mimi nimesoma vizuri Talmud,labda nikwambie tu tu zaidi ya 97% ya Talmud ni uongo,Talmud ni tafasiri ya uongo ya watu wsio fanya kazi kwa manufaa na matakwa ya Mungu.Mwanzoni ulikuwa sahihi sana ulipo fundisha kuwa hawa wayahudi ni fake.Biblia ni hadith za waafrika watu weusi 100% ashkanazi waliiba biblia na kujigeuza kuwa wao.USIAMINI TALMUD ni uongo mkubwa sana,Nimesoma vitabu hivyo cha Jesha,nimesoma cha henoko nimesoma kitabu cha Jubilee nimesoma.Usiamini Talmud ni uongo mkubwa sana.Lilith is a fake name

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน +1

    Hao wanaume aliwatoa wapi wakati Adamu ndiye mwanadamu wa kwanza

    • @user-eb2el9kw6m
      @user-eb2el9kw6m หลายเดือนก่อน

      Sasa kama hata hujui samael ni nani alafu unacomment. Wewe Baki huko huko uliko ubongo wako ni mdogo sana

    • @tetritetrino693
      @tetritetrino693 หลายเดือนก่อน

      Ukisoma Biblia vizuri Adamu siyo binadamu wa kwanza, kama utakumbuka wale watoto wa Adamu Kaini na Habili baada ya Kaini kuwua Habili Mungu alimlaani Kaini na akakwambia atatangatanga sana na ataenda kuoa kwa majitu, na hayo majitu yaliitwa Manefili, kwahiyo tunaona Kaini alienda kuoa watu ambao walikuwepo kabla ya Adamu na Hawa

    • @Aggreymbugano
      @Aggreymbugano หลายเดือนก่อน

      @@tetritetrino693 hujui kitu achana na hawa kina Benson kaini alioa jini yaani kati ya wale malaika waasi kaini akaende kuoa wana wa anaki baada ya kutoka mbele za uso wa Bwana akaenda Nod akamjua mkewe huyo mke alimpata wapi? Jibu ni kwamba alioa moja ya majini yaliyo angushwa toka mbinguni pamoja na ibalisi hata Hamu mtoto wa Nuuh alioa mwanamke ambaye asili yake ni mashetani kwa hiyo baada ya Nuuh kutoka kwenye safina anamkuta Mwanawe hamu kaoa moja ya majini ambao ni uzao wa kaini ndiyo sasa Nuuh tukaona hamlaani mwanae Hamu bali ana laani kizazi cha hamu kwa sababu ya asili yao ya damu ni ya mashetani na siyo asili ya binadamu kwa hiyo Nuuh alilaani uzao utakaozaliwa maana ni uzao wa mashetani ukitokea kwa kaini kanaani maana yae kaini

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 หลายเดือนก่อน

    Huyo samael alitokea ikiwa aliumbwa yeye na Adam tuu?😅

  • @optimamarenda7082
    @optimamarenda7082 หลายเดือนก่อน

    Naomba unijibu uyo Lilith alienda kuzaa nauyomtumwingine ametokea wapi nawatu walikua wawilitu? Uyomtuwatatu katokeawapi

    • @user-zj2gc2zj2c
      @user-zj2gc2zj2c หลายเดือนก่อน

      Sikiliza tena ..Amesema alienda akatembea na mwanaume mwingine ambaye ni Malaika

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni nyakati za mwisho YESU KRISTO yuko malangoni TUJITAKASE TUJIANDAYE SHALOOM

  • @StephenKitura
    @StephenKitura หลายเดือนก่อน

    Nani kakuambia hayo maneno? .simlete hivyo vitabu vya kutungwa tuvione.

    • @AsengaFassman-um8dx
      @AsengaFassman-um8dx หลายเดือนก่อน

      Baada ya RUMI kuwa ni dola kubwa yenye nguvu,
      Waliteka vitabu vyote na kuchomoa vitabu baadhi na kuvihifadhi na kisha kuruhusu vitabu 66 tu Vinavyotiwa biblia.

  • @JoeStone-ny3oc
    @JoeStone-ny3oc หลายเดือนก่อน

    Be frank give us chapter n versus zenye pame andikwa kabisa.

    • @nambaga
      @nambaga 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hasemi kwenye bibilia? Anaongelelea vitabu vya kiyahudi! Ndio maana ni vyema kufwatilia story nzima sio kurukia tu na swali

  • @TazManda-ti4xw
    @TazManda-ti4xw หลายเดือนก่อน

    wewe ulifunuliwa na nani au tuoneshe ichokitabu tukione

  • @franciskarurue4863
    @franciskarurue4863 13 วันที่ผ่านมา

    Wacha kuingia dini ni biblia gani unayo itumia wewe wacha kudanganya

  • @ramaEli-kr7qy
    @ramaEli-kr7qy หลายเดือนก่อน

    Biblia gani hiyo?

    • @nambaga
      @nambaga 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msikie kutoka mwanzo usirukie tu kwa swali

  • @IbrahimSimon-bi9gi
    @IbrahimSimon-bi9gi หลายเดือนก่อน

    Aliitwa Queen of poison

  • @pascalthoya1594
    @pascalthoya1594 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu Isaya wewe ni muongo kabisa!!. The book of jasher is not part of the bible,its not canonically its a historical book.your explanation on creation story is a total lie.Lilithy story is a myth remember that there is a lot of satanism in the Israelites history that's why they were taken into captivity.

    • @AdamHaonga-cp4lf
      @AdamHaonga-cp4lf หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo wewe huamini haya maneno ya kitabu hiki?
      Basi hata cha Enock hutaamini

  • @CMfountainofhope
    @CMfountainofhope หลายเดือนก่อน

    Mambo ya msingi yote yamo katika Biblia. Wadanganye wajinga wenzio na hadithi za kusadikika za kipagani.

    • @homebest9258
      @homebest9258 หลายเดือนก่อน

      Kosa sio la kwako ila ni lawale walio kuosha ubongo.

  • @zachariasamson1387
    @zachariasamson1387 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuta kazi ufanye hizi kufuru,zitakuletea matatizo makubwa sana mwisho wako.

    • @MossesSamweli-ig6oi
      @MossesSamweli-ig6oi หลายเดือนก่อน

      Tutafute kujifunza kila iitwapo leo

    • @jacksonseleman_
      @jacksonseleman_ หลายเดือนก่อน

      Watu hamko tayari kujifunza, mnasikitisha sana

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 หลายเดือนก่อน

      Kazi aliyo nayo Ni kumlamba geodev miguu ili ale ashibe she kudanyanya hapa😅