JE BIBLIA ILIHARIBIWA NA WAZUNGU? MAJIBU KWA ISAYA BENSONY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kutuonyesha usanii wa Isaya, usijali hawa wanaokupinga ni wafuasi wa Isaya ambao wengi wao ni waislamu.Kusema kweli Isaya ni mpinga Kristo, kwa hiyo tujihadharini na mafundisho yake, kwa sisi tunaompenda Yesu

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 2 วันที่ผ่านมา

    Isaya yupo sahihi. Wewe ndiyo mwongo.

  • @user-bw1wn3sz4z
    @user-bw1wn3sz4z 21 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe bwana mchungaji

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 10 วันที่ผ่านมา

    Ameen🙏🙏

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa upako kisha wambia kuwa yesu sio mungu

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 วันที่ผ่านมา

    AAA!!! Mwandagasya kumbe ndo ivyo? dunia hii usiamini maneno ya watu

  • @chistinenduwayezu6080
    @chistinenduwayezu6080 17 วันที่ผ่านมา +1

    Isaya yuko sahihi. We hujui chochote na hujasoma ,unacho jua ni kutukana tu.

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 10 วันที่ผ่านมา

    inahitaji Moyo wenye akili kumuelewa mchungaji huyu Mungu akupe hekima na mafunuo ya Roho Mtakatifu

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 25 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani mavitabu umejaza mashelfu lakini bado hujui kitu chochote hahaha

    • @BrunoBenitho
      @BrunoBenitho 17 วันที่ผ่านมา

      Kwa mfano nini hakijui?

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 6 วันที่ผ่านมา +1

    Isaya ni mwislamu anajifanya kuwa ni mkristo ndiyo maana anaiponda sana Israel eti siyo taifa la Mungu, ndugu zangu wakristo jihadharini sana na huyu mtu, ni fisi aliyevalia ngozi ya kondoo, msiyashike mafundisho yake yatawapotosha.isaya unayejiita mwalimu wa neno la Mungu, kaa ukijua Mungu anakuona,kwa hayo unayo yafanya kwa kulipunguza kanisa,ole wako Isaya kwa kuwa unamuuzi Yesu

  • @youngcee3145
    @youngcee3145 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee pasta ebu Soma history vzr

  • @African511
    @African511 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu mbona unatukana tena

  • @papangomaitala7690
    @papangomaitala7690 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ww,haujui kitu,isays anajua

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 24 วันที่ผ่านมา +1

    Toa vass au ushaidi wa maandiko hacha porojo maneno uliyoambiwa na mkeo nyumbani usilete uku jifunze kwanza ujue mambo ya Biblia hacha kudanganya watu

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 2 วันที่ผ่านมา

    Hiii michungajiii haijui kitu kweliiiii😅😅😅 masikini imekua programed😂😂😂 imemeacha mira na desturi za kiafrika

  • @kelvinyasiwa2108
    @kelvinyasiwa2108 24 วันที่ผ่านมา +1

    We we ndo tapeli was injili ....soma thiolojia vizuri

  • @AhadiAndreaTz
    @AhadiAndreaTz 24 วันที่ผ่านมา +1

    We Mzee hujui kitu, unachojua ni kutukana tu.

  • @EdwardAndrewEdwardAndrew
    @EdwardAndrewEdwardAndrew 24 วันที่ผ่านมา +1

    Hujui kitu wwee

  • @wickymbugunde9298
    @wickymbugunde9298 26 วันที่ผ่านมา +1

    Sema ukweli waako tuusikie ili tuonee Nani muongo na mpumbavu kuliko kutoa Matusi tu

  • @mwitamataiga4748
    @mwitamataiga4748 24 วันที่ผ่านมา +1

    Isaya yupo sahihi, wewe

  • @kelvinyasiwa2108
    @kelvinyasiwa2108 24 วันที่ผ่านมา +1

    Huna akili

  • @athanaskallega4824
    @athanaskallega4824 หลายเดือนก่อน +2

    wewe hufai kuwa ni mtu wa neno la Mungu kwakuwa unatukana bila aibu pia ni mchonganishi wa dini zote.
    Kwani huwezi kujibu pasi na matusi????

  • @kelvinyasiwa2108
    @kelvinyasiwa2108 24 วันที่ผ่านมา +1

    Jibu hoja

  • @user-cf9sk4us6u
    @user-cf9sk4us6u 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna mwenye nafuu awe mzungu au mwarabu wote walileta dini lakini walicho wafanyia babu zetu anajuaungu tu.

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 10 วันที่ผ่านมา

    1 Ndugu zangu, msiwe waalimu wengi, mkijua ya kuwa mtapata hukumu kubwa zaidi.
    Yakobo 3:1
    2 Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi. Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu.
    Yakobo 3:2

  • @goodlucksenyagwaofficial2299
    @goodlucksenyagwaofficial2299 18 วันที่ผ่านมา

    Na sio kingi ni king.

  • @user-vc4xr1mf5q
    @user-vc4xr1mf5q 26 วันที่ผ่านมา +1

    Unaoja nzuri tu ila umeshindwa kuiwakilisha zaidi zaidi nasikia matusi tu nakutetea wazungu aujulikani unatetea nini ukristo au wazungu ebu rejea umsikilize isaya vizuri utajifunza kitu acha kulopoka jenga oja mana uyo unaemtaja hana hulka kama wewe yeye anaenda na maandiko jipange upya umezingua

  • @user-pl3pc4wk9i
    @user-pl3pc4wk9i 22 วันที่ผ่านมา +1

    Bado nenda shule kwanza vitabu nyote hivyo umeshindwa kusoma na kuelewa ww fundisha tukuelewe kwa somo rako mwenyewe

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 10 วันที่ผ่านมา

    Kuna siku alidanganya eti Sanduku la agano la Mungu kuwa liko Ethiopia nikajua huyu naye anatia akili yake mwenyewe na wala siyo Roho mtakatifu anayefundisha watu

  • @user-ob9mc5zc1k
    @user-ob9mc5zc1k หลายเดือนก่อน +1

    Wewe biblia ilikuwa na vitabu vingapi Toka mwanzo,soma biblia vizuri hujui bible

  • @111dudi
    @111dudi 26 วันที่ผ่านมา +1

    Angalia biblia ina vitabu vingapi. In the standard Protestant Bible there are 66 books, in the Roman Catholic Bible 73 books, and in the Eastern Orthodox Bible 78.Sasa kwanini unamlaum Isaya? Papa anataka kuiandika biblia tena. Biblia ilishabadilishwa, usibishe

  • @KenedyDesigner
    @KenedyDesigner 3 วันที่ผ่านมา

    Imani yake Imejengwa kwa misingi gani? maana anaikataa bibilia na anasema yeye ni mkristo

  • @nordinezacharia6559
    @nordinezacharia6559 3 วันที่ผ่านมา

    We mzee ebu jiongeze. Soma historia kwañza kisha uje upya. UPO shalow sana ndo maana unatukana.

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 2 วันที่ผ่านมา

      Katukanwa nani sasa

    • @dasilvajr9647
      @dasilvajr9647 2 วันที่ผ่านมา

      Unataka kulazimisha uongo uwe ukweli

    • @nordinezacharia6559
      @nordinezacharia6559 วันที่ผ่านมา

      @@dasilvajr9647 Unamtukana Isaya. We cha kufanya tumia maandika ya kwenye biblia alafu oanisha na vitabu vingine vya historia vilivyoandikwa na watafiti nguli duniani kisha njoo humu utushirikishe tukusikie. lakini sio kumwita mwenzio mpumbavu, mara shetani......We hujui binadamu tulivyo. Huwa tunamuonea huruma anaetukanwa. Unajiondolea wasikilizaji kwa lugha unayotumia

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 10 วันที่ผ่านมา

    Isaya kasema ukweli bibilia hii ni ya wazungu mpuuzi wewe mzee hujui kitu bibilia ni uongo

  • @111dudi
    @111dudi 26 วันที่ผ่านมา +1

    Padri Vasco Da Gama, alikuja Africa kueneza dini na kumuua kila aliyepinga. Kasome wewe mjinga

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 24 วันที่ผ่านมา +1

    Tuambie tusome wapi mathoyo ngapi au matendo ya mitume ngapi hacha porojo nenda jalale umechoka huna ushaidi wa maandiko zako ni porojo tu

  • @theonasmlengela1411
    @theonasmlengela1411 16 วันที่ผ่านมา

    Mm cpingi kuwa wazungu walileta dini wakaondoka na madini.....
    Swali langu kwanini BIBLIA VIDABU 66 NA BIBLIA VIDABU 73....hapa yupi wa kanza kupunguza ima kuongeza......

  • @humphreyngallawa5630
    @humphreyngallawa5630 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe unajiita ni mtumishi wa MUNGU aliye hai,ni kwa nini hutumii vifungu vya biblia kupinga huo uongo unaousema ni ukafirii,pia kwa nn unatukanaa,basi tuambie kweli unayoifahamu wewee,ha ha haaaa halafu wewee ni mwongooo kuna asilimia milioni mojaaa,,una macho lakini hayaoni,unamajitabu meengi lakini husomi

  • @mwitamataiga4748
    @mwitamataiga4748 24 วันที่ผ่านมา +1

    Vp tukianda mdahalo wewe na isaya utakuwa na hoka

  • @goodlucksenyagwaofficial2299
    @goodlucksenyagwaofficial2299 18 วันที่ผ่านมา

    Waislam wanatoka wapi hapo. Soma theolojia kwan unaongea kwa uzio mmoja just go beyond the cage.

  • @robertmodestmushema1297
    @robertmodestmushema1297 15 วันที่ผ่านมา

    Sasa hujajibu hoja bali umetumia muda mwingi kushambulia mtu

  • @Kanyawela
    @Kanyawela หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kwakweli

  • @NduwimanaMoise
    @NduwimanaMoise 24 วันที่ผ่านมา

    Asante saaaaana kyabashasa wasaidie Awa makafiri awaelewi Mimi nakupongeza saaana

  • @kazolemuganguzi5258
    @kazolemuganguzi5258 25 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa wewe mzee na papa wa roma muna mahusiano gani kiimani nk. Maana unasema ukristu hauhusiane na siasa wakati waliokuletea ukristu walikuletea kisiasa.uwe macho.omba Mungu akupe macho ma nne.uone ya mwilini ;ya rohoni;uone mbele na nyuma.ikibidi akuonyeshe yalio sirini na yalio bayana.ila tatizo huwezi kuyaamini kwa sababu ya mapokeo.

  • @user-ht2dl4ft6n
    @user-ht2dl4ft6n 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki

  • @goodlucksenyagwaofficial2299
    @goodlucksenyagwaofficial2299 18 วันที่ผ่านมา

    Mpaka hapo ninamashaka na elimu yako, unaonekana hujaenda shule na kama umesoma hukuelewa. Jibu kwa hoja nazaidi fundisha kweli unayoijua sio unaingia saiv ilihali mwenzio kaanza. Ulikuwa wapi kutupa mafndisho

  • @d.family.choir1799
    @d.family.choir1799 10 วันที่ผ่านมา

    Du kumbe watumish weng hamjui biblia ivi wewe kweli unaijua historia ya biblia zaidi ilipopitia

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 25 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa mbona wewe unahusisha waislamu? Kwani lini Benson kasema yeye ni mwislamu? Wewe umechanganyikiwa, wewe ukapimwe, acha kumshambulia Benson kibaraka wa wazungu wewe mla sadaka

    • @BrunoBenitho
      @BrunoBenitho 17 วันที่ผ่านมา

      Uwazavyo kichwani mwako ndivyo ulivyo,
      Soma Ezekiel 3&33-34. Katika sura hizi tatu utaelewa

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 12 วันที่ผ่านมา

    Sema wakristo wakiambiwa ukweli halalamika mno, Isaya sio mwislam ila ni wale wakristo wanao jitambua na kuutambua ukweli. Ziko biblia za waroma na waingereza na idadi ya vitabu inatofautiana. Ndio maana Warusi kwakina Puttin wao ukristo wao na imani yao ni tofauti na wazungu. Ukisoma biblia yenyewe inasema torati ilichomwa mara kibao.

  • @daudikimola9442
    @daudikimola9442 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi wewe ndy unadanganya watu yesu hakuja kuleta ukristo Wala yeye hakuwa mkristo yesu alileta wokovu Mt 1:21

    • @Aggreymbugano
      @Aggreymbugano 10 วันที่ผ่านมา

      Ukirisro siyo dini Ukristo ni Imani ukimwamini Yesu Kristo umekuwa mkristo yaani Ushirika wako na MUNGU

    • @zionembassytv5672
      @zionembassytv5672 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Aggreymbuganohaipo hiyo Iman ya kiktisto kwenye biblia

  • @BARAKA888
    @BARAKA888 หลายเดือนก่อน

    Kabisaaa

  • @humphreyngallawa5630
    @humphreyngallawa5630 24 วันที่ผ่านมา +1

    Biblia imepita ktk vita nyingiii,kuna karne biblia ilifichwa ,waaumini waligawana vipande vya kalatasi kwa kujifunzia kutokana na sheria kali zilizowekwa juu ya biblia,wewe ndiwe mwongo

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 15 วันที่ผ่านมา

    Uwe untuwekea na vidro kama ushahidi wa alichosema benson maana unavonuukuu inawezekana unamuekea manano benso. Hamuaminiki nyie

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba 10 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo wewe kwanza ujajibu Kwa hoja soma vifungu sio kutukana yeye anasoma pia adanganyi wewe ujui

  • @kazolemuganguzi5258
    @kazolemuganguzi5258 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee hujambo?unayo research nzuri ya maandiko matakatifu?Hivi tangu ulienda kusoma neno la MunguMungu kuna sina ngapi za bibilia unazozijuwa? Na udhidi kuwaamini wazungu hao na mapokeo yao.kwani hao wazungu ndio malaika sio wanadamu?

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba 10 วันที่ผ่านมา

    Unamchuki yeye sio muongo wewe ndie muongo

  • @kelvinyasiwa2108
    @kelvinyasiwa2108 13 วันที่ผ่านมา

    Unaongea pumba....

  • @111dudi
    @111dudi 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ama huyu kibaraka kweli, wazungu waliwapora mali za waafrika, waliwaua watawala wake kama Mkwawa, Isle, Abushiri ili wapate kutawala. King Leopord aliua wajonfo milioni 14, kwa kutumia aya za biblia . Angalia hii :Ephesians 6:5-8, Paul states "Slaves, be obedient to your human masters with fear and trembling, in sincerity of heart, as to Christ

    • @user-cf9sk4us6u
      @user-cf9sk4us6u 25 วันที่ผ่านมา

      Wote PAMOJA,waarabu na wazungu wameharibu tena Bora wazungu kuliko waarabu.

    • @111dudi
      @111dudi 23 วันที่ผ่านมา

      @@user-cf9sk4us6u Waarabu wamewastaarabisha, wamewalerea dini,lugha,mavazi, vizazi na wakaishi na nyie,muwe na shukran. Utumwa nyie wenyewe mliufanya

  • @AdelinaAloys
    @AdelinaAloys 9 วันที่ผ่านมา

    Pr Kyabashasa namna unavyojibu naona hata MUNGU humjuhi historia yako ni ya hisia tu wala hujuhi kitu! Majibu yako inaonekana hata YESU KRISTO hakufa Talabani maana unavyotafasiri wanadamu wasingemuua!

    • @AdelinaAloys
      @AdelinaAloys 9 วันที่ผ่านมา

      Nikukumbushe mtumishi mpaka Leo ipo dini haiwafundishi wary blblia isipokuwa wai unyofoa baadhi ya maandiko na kama naming hawawezi kubadirisha maneno twambie walio waua mitume wa YESU MUNGU alifanya nini? Mzee ukija kujibu fanta maombi roho mt. Amusaidie

  • @goodlucksenyagwaofficial2299
    @goodlucksenyagwaofficial2299 18 วันที่ผ่านมา

    Leo nakoment, wewe ni mzee ila huna busara sababu unaongea lugha ya matusi kana kwamba umelazimishwa kumfuatilia. Mim naomba katubu kwa kumuataki mtu. ISAYA MY FRIEND TAKE ACTION TO THIS STUPID MAN CAUSE USES RUBISH WORDS.