The Story Book: Ukweli wa Maajabu Ya Miujiza Ya Yesu ! (All Jesus Miracles in Swahili)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @kelvinantony7833
    @kelvinantony7833 3 ปีที่แล้ว +268

    Kama umekubali Yesu anaweza weka like yako hapa

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      Sijaelewa yesu anaweza nini tena

    • @japhetmasawemasawe5468
      @japhetmasawemasawe5468 ปีที่แล้ว +1

      Yesu Ni mfalme wa wafalme

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      @@japhetmasawemasawe5468 1 Timotheo 2
      5 Kwa sababu Mungu ni mmoja,
      na mpatanishi kati ya Mungu na
      wanadamu ni mmoja, Mwanadamu
      Kristo Yesu;
      Yesu mwanadamu km wewe ufalme katowa wapi

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +1

      @@japhetmasawemasawe5468 Mathayo 22
      29 Yesu akajibu, akawaambia,
      Mwapotea, kwa kuwa hamyajui
      maandiko wala uweza wa Mungu.
      Nawe utapotea kwa sababu hujui maandiko soma biblia yako vizuri utaelewa

    • @DavidGithaiga-lx2ic
      @DavidGithaiga-lx2ic 9 หลายเดือนก่อน

      Anaweza..Jamal..we love you..ur pure talent from God brother

  • @stanleywalker6708
    @stanleywalker6708 3 ปีที่แล้ว +189

    Mungu akubariki sana jamal, wapi ata likes kumi zake!

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว +35

    Wakristo tujuane hebu,Bwana yesu Kristo asifiwe,Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏YESU Kristo ni mwana wa Mungu aliye hai.

  • @beatricepeter301
    @beatricepeter301 3 ปีที่แล้ว +289

    kama umesikia k2 ndani ya Roho yako tujuane apa love you Jesus.. i cannot get tired of listening to the word of lord Jesus n our saviour...

  • @abdallahrajabu2818
    @abdallahrajabu2818 3 ปีที่แล้ว +85

    Jamal Jamal Jamal hakika unakitu chakipekee sana like zake tafadhal

  • @sofialinus8241
    @sofialinus8241 3 ปีที่แล้ว +82

    YESU KRISTO ndie njia ya Kweli na uzima, hakuna atakae-ingia mbinguni bila kupitia kwake

    • @dannymdete3931
      @dannymdete3931 2 ปีที่แล้ว +3

      Kweliii

    • @izmoo1835
      @izmoo1835 ปีที่แล้ว +3

      Yes

    • @nduwimanaamidou4009
      @nduwimanaamidou4009 13 วันที่ผ่านมา

      Kwa wana wa Israel

    • @nduwimanaamidou4009
      @nduwimanaamidou4009 13 วันที่ผ่านมา

      Kwa wana wa Israel

    • @DulaMudi
      @DulaMudi 3 วันที่ผ่านมา

      uwong-o yesu ni mtume wamungu nawara siyo mungu m musipotee katika ii Dunia tambuweni Kuma maisha myengini Bada yaiii Dunia je nyinyi munawo hamini kuwa yesu nimungu siku ikikufiki yeni sijuwi mungu mutamuwambia nini badirikene muda ndo uuu

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 3 ปีที่แล้ว +74

    Mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu hawezi kufika kwa baba bila ya kupitia kwangu alie niona mimi amemwona Baba asema YESU mwokozi wa ulimwengu 🙏🙏🙏🙏
    AMINI NAWE AKUPONYE

  • @gbreezy_tz
    @gbreezy_tz 3 ปีที่แล้ว +78

    Hii ndio story ambayo itampa baraka na mafanikio ya kila aina kw jamal april(The professor) mungu akubariki sana professor wa maprofessor🙏🙏

  • @belafontesteven5144
    @belafontesteven5144 3 ปีที่แล้ว +173

    Muujiza uliosahaulika hapa ni huu kwamba huyu Yesu anaendelea kufanya miujiza hata sasa na yupo hai hata leo, mwamini uokoke.

  • @farajamsigwa1304
    @farajamsigwa1304 ปีที่แล้ว +12

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Bwana kupitia miujiza na mtendo makuu aliyoyafanya Yesu imenipeleke kukua kwa Iman yangu. Mungu azidi kujifunua kwako kila utakapo Pata kibali cha kufafanusha habari zake🙏🏽

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 ปีที่แล้ว +35

    I love you Jesus my savior my Lord my king my everything ❤️

    • @saudatoller642
      @saudatoller642 6 หลายเดือนก่อน

      Apo sas unakufuru, ikiwa yeye ndio kila k2 kwako, je yle aliemuagiza Kuja hapa dunian kw ajili yetu tumpe nafc gan

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyo ndie Star wangu number 1 ninae mwamini nakutamani kumuona siku moja maana nimekaa kaa mlinzi kila itwayo leo. Nakupenda sana Yesu kuliko kitu chochote hapa chini ya juwa😭🙏

  • @norbertlilungulu5018
    @norbertlilungulu5018 3 ปีที่แล้ว +17

    Utuhurumie dunia na corona eeh Yesu! Utuponye na magonjwa yetu eeh Yesu! Amen

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 2 ปีที่แล้ว +15

    Umenitajia mtu nimpendae maishani mwangu hakika nimefurahi sana.Dumu kutujuza na mengine .

  • @collinskipkorir4501
    @collinskipkorir4501 ปีที่แล้ว +14

    YESU WA NAZARETI , WAPI LIKES ZA PROF🔥🔥

  • @ummylucky4885
    @ummylucky4885 2 ปีที่แล้ว +20

    Nisamehe Yesu Kwa maovu niliyokutendea😭😭nikumbuke katika uzima wa milele🙏🙏

  • @pastorypatrick9472
    @pastorypatrick9472 3 ปีที่แล้ว +16

    Asiyeamini matendo na maelekezo ya Bwana Yesu namuombea neema ya Yesu imshukie ili aweze kuamini.

  • @najalinanyambo3971
    @najalinanyambo3971 3 ปีที่แล้ว +223

    Mtuliza mawimbi yesu 💥💥💥💥 like Tafadhari kama unapenda story kama hizi

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 3 ปีที่แล้ว +4

      mtuliza mawimbi ni yesu au mungu?

    • @selector728
      @selector728 3 ปีที่แล้ว +2

      Tafadhali sio tafadhari

    • @selector728
      @selector728 3 ปีที่แล้ว

      @@salumabdallah2990 tulia ww

    • @itNeza
      @itNeza 3 ปีที่แล้ว +2

      Like ya Nini acheni Mambo yakisenge 🤔🙄

    • @seebs1156
      @seebs1156 3 ปีที่แล้ว

      @@salumabdallah2990 kwan wewe ukifa unamsubili nani kaburin???

  • @barakamollel5090
    @barakamollel5090 3 ปีที่แล้ว +35

    Mungu ni mwema siku zote kwa watu wote!!

  • @noti1k752
    @noti1k752 3 ปีที่แล้ว +46

    Nipeeni likes za mwokozi wetu yesu💥

    • @DulaMudi
      @DulaMudi 3 วันที่ผ่านมา

      m upotevu tu

  • @wencesmarc6847
    @wencesmarc6847 ปีที่แล้ว +22

    Am proud of you LORD JESUS

  • @veronicakg7372
    @veronicakg7372 3 ปีที่แล้ว +52

    ❤️ Christian for life👑💯

  • @willywox5040
    @willywox5040 3 ปีที่แล้ว +22

    Ujawahi niangusha na hautakuja kuniangusha kaka! wewe ni genius tu💪👍"SALUTE"

  • @julietjotham8812
    @julietjotham8812 3 ปีที่แล้ว +165

    I love JESUS you love JESUS we love our master 🙏💓💓💓💓

  • @Ccj77
    @Ccj77 3 ปีที่แล้ว +27

    Every knee will bow and confess Jesus is Lord ( Lord in Jewish national name of God: - Jehovah, the Lord.) Every mouth will confess "Jesus is Almighty Jehovah"

  • @godfreycharles2792
    @godfreycharles2792 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwa haya uliyoyaeleza juu ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai, amini Mr. Jamal, ushuhuda na wokovu hautakuacha na Neema ya Mungu itakufuatilia. Amen

  • @jofreyfumboonline4866
    @jofreyfumboonline4866 3 ปีที่แล้ว +30

    Naomba Jamal Mungu aendelee kukupa neema ya kutuelimisha maan hata wakristo wengi umetuzidi kufuatilia maandiko nimekupenda bro..

  • @johnmichael8596
    @johnmichael8596 2 ปีที่แล้ว +5

    Thanks, mwili wa damu na nyama havikukushawishi ufanye story hii bali Roho wa Mungu. God bless🙏🏿!!

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 3 ปีที่แล้ว +10

    Hapo mzee umeshahubiri Injili, tena kwa kwa mashiko kabisa. Barikiwa sana

  • @rayfaakim1920
    @rayfaakim1920 3 ปีที่แล้ว +64

    Ngoja Nika pike futari nikimaliza kufuturu nije kuangalia the story book Nije kusikia miujiza ya Yesu story in iingie wakati nimeshiba 👌👌👌👌👌

    • @enemtatuka5863
      @enemtatuka5863 3 ปีที่แล้ว

      Utoa kar ya mwakaa hiii jamn

    • @emmysam1510
      @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

    • @MishiPapalan
      @MishiPapalan 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapo kama kunamtu atasema yesu mungu basi balaa lake mana huyukaka kaeleza vizuli kama yesu ni mtume wa mungu wala sio mungu

    • @MishiPapalan
      @MishiPapalan 3 ปีที่แล้ว

      Yesu kasema yeye mwana wa adamu

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว +1

      @@MishiPapalan bado mtabisha tuu ila itabaki kuwa Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.

  • @maggiek5002
    @maggiek5002 3 ปีที่แล้ว +21

    Jesus we need ur miracles too,, gonga like Kama unaaimini atakutendea muugiza pia🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @kingpin2511
    @kingpin2511 3 ปีที่แล้ว +194

    Mnipee likes Za Professor Tafadhali

    • @fredrickmbaga1196
      @fredrickmbaga1196 3 ปีที่แล้ว +4

      Upewe likes umefanya miujiza gani?

    • @carlixtz4594
      @carlixtz4594 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fredrickmbaga1196 😂😂

    • @lovenessrobert9815
      @lovenessrobert9815 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fredrickmbaga1196 😂😂😂😂😂

    • @hermanndaka5210
      @hermanndaka5210 3 ปีที่แล้ว +2

      @@carlixtz4594
      Babe

    • @yeboclassic9058
      @yeboclassic9058 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/8bs_9VGV_0k/w-d-xo.html

  • @AmosiDeogratius
    @AmosiDeogratius 3 ปีที่แล้ว +51

    Nipe likes Kama umemuangalia Jamal akiwa kwenye code mavazi makaliii kwelii hii Ni wasafi WCB for life✌️

  • @godfreydeus1832
    @godfreydeus1832 3 ปีที่แล้ว +85

    " I'm the only way of trust and life, no one can come to the father except through him" Jesus said..simply Huwezi kwenda kwa Mungu bila kumuamini Yesu.

    • @hopgraphic2965
      @hopgraphic2965 3 ปีที่แล้ว +2

      tumuamini Yesu au Mungu ?

    • @godfreydeus1832
      @godfreydeus1832 3 ปีที่แล้ว +4

      Yesu ni Mungu.

    • @kendrick956
      @kendrick956 3 ปีที่แล้ว +8

      Yesu ni roho ya mungu ukimuamini yeye bas umemuamini mungu 👌👌

    • @hopgraphic2965
      @hopgraphic2965 3 ปีที่แล้ว +4

      @@godfreydeus1832 kama Yesu ni Mungu ? Mungu ni nani ?

    • @godfreydeus1832
      @godfreydeus1832 3 ปีที่แล้ว +2

      @@hopgraphic2965 Mungu ni mmoja ambaye ndo Jesus Christ, he dead on cross because of our Sina.

  • @leahmgunda177
    @leahmgunda177 2 ปีที่แล้ว +21

    Hey narrater,very happy to hear the story of my Lord;yes the Lord of lords.

  • @johnwafula5599
    @johnwafula5599 ปีที่แล้ว +5

    Hapana mwingine kama yesu asifiiwe na kutukuzwa milele, Amen.

  • @IbrahimAli-tf4dw
    @IbrahimAli-tf4dw 3 ปีที่แล้ว +41

    Ela ya vitafunio nmenunua bando kwa ajili ya Jamal naombeni like zake nikologee chai tupu nisukumie 😁😁

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 ปีที่แล้ว +8

    Yesu Kristu Nabii Issa Alleh Salaam. Mungu ni wetu sote

  • @rosaliemane2194
    @rosaliemane2194 3 ปีที่แล้ว +42

    Amen, Jesus is the lord Glory to him . Thx for the History , May God bless u . Keep it up .

  • @amosmunezero9958
    @amosmunezero9958 2 ปีที่แล้ว +20

    My Lord! the perfect and Almighty one!! Believing in you gives me peace!

  • @saraabdulatif6171
    @saraabdulatif6171 3 ปีที่แล้ว +20

    Hakuna kama Yesu nahata wanapomshusha hakuna siku watafanikiwa Yesu atakuwa juuu jamali ubarikiwe unajuwa kuna vitu maimamu wamisikitini hawasemi lakini Mungu anajeshi ambalo linamfanyia kazi yake

    • @mwarabumbarak4342
      @mwarabumbarak4342 2 ปีที่แล้ว

      Lakini Yesu huyo huyo atakuja kukufukuza siku ya mwisho Kwa sababu yeye katumwa tu kwa waisraeli.
      Luka 13:25-28
      Wakati mwenye
      nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;
      26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
      27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
      28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 2 ปีที่แล้ว

      @@mwarabumbarak4342 umesoma lakini hujaelewa vitu vilivyo wazi hujaelewa pameandikwa nini hapo japo panaeleweka na yote hii ni sababu ya mafundisho ya uovu mliyopewa

    • @mariammbeye8239
      @mariammbeye8239 2 ปีที่แล้ว

      @@mwarabumbarak4342 tatizo umebeba kipande hata hujui ilikuaj mwanzo biblia ni msitu mnene peaneni ya uongo tu

    • @roidysimchimba7103
      @roidysimchimba7103 2 ปีที่แล้ว

      Hongera Sarah hakika mungu iko saa na wakat watamuelewa zaid maana kristo kumwelewa inahtaj nguvu ya rohoni

  • @abdulsanga57
    @abdulsanga57 3 ปีที่แล้ว +37

    Kama umeirudia zaid ya mara mbili gonga like kwa professor

  • @YorandaBonephas
    @YorandaBonephas 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante naubalikiwe uendelee hivyohivyo kutuletea habali njema za mkombozi wetu yesu Kristy wanazaleti Alie hai Amina.

  • @gibbs1320
    @gibbs1320 ปีที่แล้ว +1

    Yesu Mwana wa Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye njia ya uzima na ukweli. Mimi ni nani nikatae kupita katika njia yako ?! Na iwe utakavyo juu yangu na hatma ya maisha yangu ya hapa duniani. Amina

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว +26

    Jesus is king of all kings Jesus is son of God Jesus is lion of Judah hallelujah 🦁👑🙏🙏🙏❤️❤️❤️✝️✝️✝️

    • @adamkamaze9888
      @adamkamaze9888 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbona hamueleweki wengine wanasema ni Mungu na wengiine ni mtoto wa Mungu hamuoni kuwa ni ukafiri Mungu ampe utume mja wake ili kuwafikishia nanyi mnamuita Mungu Kwa matamanio ya nafsi zenu

    • @faumahona5769
      @faumahona5769 2 ปีที่แล้ว

      @@adamkamaze9888 huo ni mtazamo wako

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

      @@adamkamaze9888 waislamu hua mnaniacha Hoi sana,,, mbna wakristu hatufatiliii mambo yenu? Afu nahisi mnafundishwa kutuchukia dini zingine,,, wakristu twaamini Yesu ni Mungu ,,,maana Mungu ni mmoja na nafsi tatu yaani Mungu Baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu,,,hiii hata mtutishie kutuuua Kwa jihadi hatubadiliki....cha msingi ni kuwa Mungu wawakristu na waislamu ni mmoja...tupendane...hizi dini ni mapito

    • @rachealnazi9115
      @rachealnazi9115 ปีที่แล้ว

      Mbona sisi wa kristo hua hatu fatilii mambo ya kiislaam lakini wa islam wakisikia tu Yesu utaona waki complain

    • @ShikaAdabuICTLab
      @ShikaAdabuICTLab หลายเดือนก่อน

      acha ushamba

  • @musstiamulannoamulanno1243
    @musstiamulannoamulanno1243 3 ปีที่แล้ว +14

    Uyo ndiyo mwanaume
    Yesu

  • @BestLife486
    @BestLife486 3 ปีที่แล้ว +151

    My Lord Jesus christ is the king of kings

    • @theresaelizabethelijah117
      @theresaelizabethelijah117 3 ปีที่แล้ว +2

      Amen 🙏🏾

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +2

      Amen akuna kama yy👏

    • @peterkinqiuna1900
      @peterkinqiuna1900 3 ปีที่แล้ว +2

      Uwongo mtupu

    • @seasonepisode3328
      @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +7

      @@peterkinqiuna1900 ndio maana kuna mpinga kristo so atushangai ukibisha. Ila ishapenya iyo

    • @lent286
      @lent286 3 ปีที่แล้ว +4

      @@peterkinqiuna1900 pimbi ww unaishi kwa pumzi ya mungu bado humwamin

  • @georgeslupopo6215
    @georgeslupopo6215 4 หลายเดือนก่อน +1

    Neno La Mungu wetu katika Bwana Wetu Yesu-Kristo Li sifiwe milele na atamilele, Amen !🙏

  • @roxxanetz54
    @roxxanetz54 3 ปีที่แล้ว +20

    Jesus my Lord and My Salvation😍 Love you my God

  • @EstherLyatuu
    @EstherLyatuu ปีที่แล้ว +3

    Yesu ni maisha yangu, kama umeirudia hii zaidi gonga like

  • @vinmwasele8032
    @vinmwasele8032 3 ปีที่แล้ว +12

    Upo vzuri sana umepta mule mule Mungu akuongoze na kukuongezea kipaji cha hizi simuliizi zako🙏

  • @elijahbaya5428
    @elijahbaya5428 ปีที่แล้ว +4

    Jamal kwani wewe mkristo ama ni muislam Kwa sababu ni vigumu sana muislam kueleza ama kufafanua ubora wa mkristo. Na ni vigumu sana muislam kuamini kuwa yesu ni mwana wa MUNGU, lakini kama wewe unayaamini hayo basi naomba MUNGU azidi kukupa neema ya ufahamu zaidi na hekima. Na ubarikiwe sana🙏😇

  • @paulpraise.w.m7121
    @paulpraise.w.m7121 3 ปีที่แล้ว +14

    Hongera Sana prof.. Hili ni jambo kubwa sana umefanya Mungu akupe uwezo mkubwa zaidi wa kuendelea kufanya mkubwa zaidi yatakayo leta manufaa kwenye ufalme wa Mungu na watu wake.

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 3 ปีที่แล้ว +90

    Nilikuwa naisubiri kwa hamu kubwa sana. Nipeni likes za Jamal jmn😂

  • @yunisdavid7350
    @yunisdavid7350 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda huyu mfalme napia natakumtumikia kwa moyo wangu wote l, Love my 👑

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +20

    Uyo ndie Yesu king of kings..yy ndie muhukumu wa ulimwengu huu..yy ndie njia ya kufika mbinguni bila yy akuna binadamu ata 1 atae weza ingia mbinguni..ukimkosa Yesu umekosa vyotee na ukimpata Yesu umepata vyotee..Yesu nakupenda kwakua ulinipenda bila ww mimi si kitu .ww ndie mwenye mamlaka mbinguni na duniani ww ndie mwenye funguo za mauti na uzima..Yesu niongoze nifike salama.

  • @cgm9211
    @cgm9211 3 ปีที่แล้ว +36

    🇰🇪🇰🇪 Shukran , much love from Kenyan people............

  • @eliasmapuli2674
    @eliasmapuli2674 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice story nimempokea yesu katika maisha yangu yote

  • @dottomarko1890
    @dottomarko1890 3 ปีที่แล้ว +2

    Haleluyaaa haleluyaaa haleluyaaa naliamini jina lake yesu na nalipenda kwa kuwa yeye ndy njia kwer na uzima wa milele

  • @steavmcper7322
    @steavmcper7322 3 ปีที่แล้ว +42

    JESUS IS MY EVERYTHING

  • @brinasally7451
    @brinasally7451 ปีที่แล้ว +3

    God of gods,the omnipresent, God of Nazareth, ..thanks for your mighty deeds 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽.I love you Jesus

  • @voyagemakile3223
    @voyagemakile3223 3 ปีที่แล้ว +27

    I love you Jesus❤🕊🙏

  • @annamakome2979
    @annamakome2979 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina kubwa. Na ubarikiwe unaetoa simulizi hii maana Mungu ana makusudi nawe ili kila sikio lisikie habari za Yesu Kristo na kumwamini.

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 3 ปีที่แล้ว +8

    Yeye pamoja na Jamaa zake wote wakamwamini Yesu 16:46

  • @bedabedan2617
    @bedabedan2617 3 ปีที่แล้ว +18

    "Malaika wanaimba na kusema
    "Yesu ni "Bwana"

  • @neyemrode4165
    @neyemrode4165 3 ปีที่แล้ว +14

    Jesus is the way, truth and life

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi wakristo hamuoni yesu na wanafunzi wake waisilamu kweli kanzu kofia shuka kila kitu uisilamu mashaAllah❤❤

    • @DulaMudi
      @DulaMudi 3 วันที่ผ่านมา

      wambie awo wapotevu wadunia

  • @almassylivester4691
    @almassylivester4691 3 ปีที่แล้ว +42

    Yohana 1:10
    Alikuwako ulimwenguni, hata kwa yeye ulimwengu ulipata kuwako, wala ulimwengu haukumtambua. YESU KRISTO NI MUNGU.

    • @adamkamaze9888
      @adamkamaze9888 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ni mtume Tu wa Mungu wala yeye sio Mungu .yesu ni binadamu kama wewe tofauti yake na wewe kuwa yeye alikuwa mtume wa Wana wa izrael

    • @sikitu8957
      @sikitu8957 2 ปีที่แล้ว +3

      @@adamkamaze9888 yesu sio binadamu kama sisi
      Tambuwa vitabu vya dini vinatuambia kuwa kila binadamu alizaliwa Na dhambi ya asili
      Tofauti na yesu tu
      Malaika alisema kutazaliwa neno la Mungu kwa iyo yesu ni neno la Mungu lililovaa Mwili

    • @monicabh1668
      @monicabh1668 2 ปีที่แล้ว +2

      @@adamkamaze9888 yesu ni NENO

    • @officialmtiamoyo6922
      @officialmtiamoyo6922 2 ปีที่แล้ว +3

      @@adamkamaze9888 Hapana Mwanadamu hawezi kuumba, Yesu ni Mungu

    • @christinamwilawi8335
      @christinamwilawi8335 2 ปีที่แล้ว

      @@adamkamaze9888 masihi ni neno lenye asili ya kiebrania linalomaanisha MKOMBOZI...na sisi wakistro tunaamini kupitia maandiko ya MUNGU yaani biblia kwamba tulianguka dhambini na hivyo MUNGU kabla hajatuumba alijua hilo litatokea na ndiposa akaandaa mpango wa UKOMBOZI wa mwanadam KABLA YA KUWEKWA KWA MISINGI YA DUNIA......muda ulipofika ambao obvious aliupanga yeye akaacha kiti chake cha enz juu mbingun akachukua jinsi ya ubinadam akaja duniani akaishi na AKAFA NA KUMWAGA DAMU ili sisi wadhambi tukimuamini na kuamin kafara yake pale msalabani na kuomba msamaha tunapata ONDOLEO LA DHAMBI ZETU...zamani walikua wanachinja kondoo na wanyama kama kielelezo cha zoezi zima litakavyokua pale kondoo halisi atakapokuja na kuchijwa,,,, ndio maana YESU alipokufa pale msalabani akasema imekwisha NA kondoo aliekuepo hekaluni kwa ajili ya kuchinjwa alikimbia na kisu kikamdondoka kuhani na pazia la hekalu lilipasuka.....kumaanisha kwamba TUKIO HALISI LA kuchinjwa na kumwaga damu lililokua practised kama kielelezo limeshatimia hivyo hakuna haja tena ya kuendelea kuchinja kondoo na kutoa kafara kwa ajili ya kusamehewa dhambi.....ndio maana sasahvWAKRISTO HATUCHINJI WANYAMA KWA AJILI YA KAFARA YA KUSAMEHEWA DHAMBI'''''''''' NIMEJARIBU KUKUELEZEA YESU NI NANI ALIKUA WAP NA NINI LENGO LA KUJA NA KUFA MSALABANI.....LABDA UNAWEZA KUPATA PICHA KIDOGO.........Kuhusu uungu wake malaika Gibril ameiweka vizuri kabisa katika INJILI YA MATAYO 1 fungu la 23''''''''' anasema TAZAMA bikra atachukua mimba nae atamaa mwana ....naye ataitwa emmanueli YAANI MUNGU PAMOJA NASI.....mpango wa MUNGU kuja kutukomboa aliupanga yeye na ilikua ni kwamba avae namna ya ubinadam ...azaliwe kwa uwezo wa roho mtakatifu...aishi nasi....akamatwe ,.....asulubiwe ....siku ya tatu afufuke katika wafu...PLAN IMEISHA ....sasa kama una maswali kuhiusu hio plani ukifika firdaus utamuuliza kwa nini hakushuka moja kwa moja tu kama alivyo....kwa nini aliamua kuzaliwa?? asante
      ​ @Hop Graphic

  • @ericmukabwa4563
    @ericmukabwa4563 2 ปีที่แล้ว +7

    Glory Glory Glory ❤️

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 ปีที่แล้ว +3

    ISSA bin Mariam,ni kiumbe wa mungu aliozaliwa bila baba kila alifanya ni kwa uwezo wa mungu tu,hakua mungu Wala mtoto wa mungu,hakusulubiwa Wala kuuwawa,alipaisbwa ,kwa miujiza ya mungu yupo hai na atarudi kabla siku ya mwisho.

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni isa wenu sisi Yesu wetu alikufa kwa kusulubiw na akafufuka

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 3 ปีที่แล้ว +7

    Sijui kwanini msikitini hawatufundishi haya kweli hawatutakii amani. Daah mfungo wangu umekuwa mwepesi

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว

      Weeee!!!!! Si Mtawatimua hao Maimamu, Maanake Mtaona eeeeh wanamtaja Yesu na hapo Sio kanisani, Mtanzania kuona wamechanganyikiwa Mtawapopoa kwa Mawe, na kama walikuja na njia Moja watarudi na njia Saba😛😛😂😂😂😂🤪😂😂

    • @jumasaid2792
      @jumasaid2792 3 ปีที่แล้ว

      Mh!! Mzee baba umesema kitu usichokijuaaaa kwani huyu aliekufanya wew uandike baada ya kusikia ni mkristo au muislamu?

    • @yasinali4377
      @yasinali4377 2 ปีที่แล้ว

      Hakika kuna watu wanalaana mbna ujawahi sema km mnna hakuna sheh au muumini wa dini aloshiba uislamu kubadilisha dininya kiislamu kuwa mkristo ila mapasta na wakuu wa church washatokea kuwa waislamu jiulise kwann kichwan mwako

    • @yasinali4377
      @yasinali4377 2 ปีที่แล้ว

      Halafu jiulize kwann kuna baibo ya kale na ya sasa wakati qur ani nimmoja tokea iletwe hadi kufa kwetu ndo iyoiyo haitobadilika milele na haikatai ujio wa yesu ila inakataa yesu dio mungu na ni jina linaloitwa na ukristo ss wailamu anaitwa NABII ISSA IBN MARYAM

  • @donathakihombo4298
    @donathakihombo4298 2 ปีที่แล้ว +2

    Utukufu kwake yeye astahiliye. YESU KRISTO WA NAZARETI, MUNGU MWENYE NGUVU.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +44

    This is over all stories 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @renathamartin6272
    @renathamartin6272 3 ปีที่แล้ว +7

    Amina barikiwa na Mungu aliye hai. Halafu mi napenda unsvyoanza kutoa background, litrev mpaka findings na concludions. Mi ntakutafuta unifunze maana u mwalimu mwema. Hakika we ni Prof na zaidi

  • @GodWithUs_GodVoice
    @GodWithUs_GodVoice 2 ปีที่แล้ว +1

    Atukuzwe MUNGU BABA, MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU AMINA.

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 ปีที่แล้ว +4

    Naona Wayahudi waliomuua Yesu wame dis like☺️

  • @rangos4749
    @rangos4749 3 ปีที่แล้ว +13

    Guess wat!! Hii ndyo stor niliyokuwa nikisubir for years now,thanx Jamal,may God bless ya!!!

  • @user-pi6yz9vw8l
    @user-pi6yz9vw8l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana namwokozi wetu alleluia alleluia alleluia amin❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 3 ปีที่แล้ว +25

    I appreciate All Members of this Team 🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌Professor You Kill It.. In Tambwe Voice PINDI BOVU SANAA..!

  • @irjackjackson4739
    @irjackjackson4739 2 ปีที่แล้ว +8

    Thanks for talking about my Jesus Christ... My lord

    • @moxasaidi3398
      @moxasaidi3398 2 ปีที่แล้ว

      huyo anaongea juu yA mitume yote ndani ya uislamu yesu sio Mungu kwani Mungu ni mmoja tuu na ni Allah S.W ambae alimuumba yesu na mitume yote

  • @sylvesterkalinga1214
    @sylvesterkalinga1214 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwamba umehubili bila kuchukua sadaka nimekupenda

  • @veronicalaiser8394
    @veronicalaiser8394 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki kwa kuhubiri Injili. A vessel of the Living God.

  • @roddybob6871
    @roddybob6871 3 ปีที่แล้ว +1

    Kitu kikubwa Ninacho kipenda kwa Yesu.....Ktk Bibilia Hakuwahi kujiita Mungu....Japo Baazi ya watu wasiyo soma Bibilia Humwita Mungu......
    Wanadamu turudi kusoma vitabu Tusiwe tunaimani ya Dini kama ushabiki wa mpira
    Amina

  • @AbelDelaGenese
    @AbelDelaGenese 3 ปีที่แล้ว +11

    We believe in him because he said “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.

    • @simonkaggwanjala9597
      @simonkaggwanjala9597 3 ปีที่แล้ว

      Na vipi kuhusu binadamu wote waliopita kabla yeye kujaa🙏

    • @AbelDelaGenese
      @AbelDelaGenese 3 ปีที่แล้ว +1

      @@simonkaggwanjala9597 Kabla yeyote kuwako yeye alikuwako tangu kuumbwa kwa ulimwengu YOHANA 1:1 na ametabiriwa hata kuja kwake ulimwenguni kupitia manabii ISAYA 7:14, ISAYA 9:6

    • @simonkaggwanjala9597
      @simonkaggwanjala9597 3 ปีที่แล้ว

      @@AbelDelaGenese Ndio alikuwepo Mungu ambaye ndio aliwaleta mitume wote na sio yesu na akatabiri kuja kwa Yesu (REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE)kupitia mitume na yesu akatabiri kuja kwa Muhammad (REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE)

    • @AbelDelaGenese
      @AbelDelaGenese 3 ปีที่แล้ว +1

      @@simonkaggwanjala9597 Leta andiko YESU ametabiri kuja kwa Muhammad

    • @simonkaggwanjala9597
      @simonkaggwanjala9597 3 ปีที่แล้ว +1

      @@AbelDelaGenese Ndio maana tunaamini Injili ilibadilishwa aya na maneno coz kabla Mtume Muhammad (S.A.W) kupewa utume alichukuliwa na bamkubwa ake katika safari wakafikia kwen nyumba ya umkristo ambae aliisoma Injili ya kwelii alippmuona Mtume akamuuliza yule mzee huyu ni mwanao akasem ndio yule mkristo akasema huyu si mwanao ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu anaitwa Muhammad PBAH alitabiriwaa kwen kitabu chetu cha Injili na usiendenae huko safarini wakimuona watamjua wamuuwe na baada ya miaka kadhaa ndio Mtume Muhammad PBAH akashukiwa wahai🙏Ila pia kuna wasomi wameonesha sehem inayotabiri kuja kwa mtume atokeae Beka (Makka) kwenye biblia nimesahau ni sehem ganii

  • @khassimramadhani866
    @khassimramadhani866 3 ปีที่แล้ว +19

    Mwambaaa naelewa sana story kiukwel una elimisha sanaa kaka

    • @zabronbaltazary5048
      @zabronbaltazary5048 3 ปีที่แล้ว

      Unajua mungu akujalie hekima ktk kuandaa kazi yako. Unawafunulia funzo ambao hawana nafasi ya kwenda ibadan.

    • @jemesipasco9994
      @jemesipasco9994 3 ปีที่แล้ว

      nzur

  • @josephmwalimu8522
    @josephmwalimu8522 2 ปีที่แล้ว +4

    I love you Jesus my savior Lord and my everything

  • @evandan7
    @evandan7 3 ปีที่แล้ว +34

    Japokuwa proffesor Jamal April ni muislam, naamini anaijua vizuri Biblia hata kushinda wakristo wengine wengi

    • @rehema2018
      @rehema2018 3 ปีที่แล้ว +1

      Soon atakua mkristo sabab anapenda sana ukristo

    • @shemdaud6233
      @shemdaud6233 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @kahindoheritier4688
      @kahindoheritier4688 3 ปีที่แล้ว +1

      Kila mtu anaweza juwa ila watu awapendi kusoma biblia , njo kwamana imeandikwa “ watu wangu wanapoteya kwa kukosa maarifa”

    • @prayerchamber1600
      @prayerchamber1600 3 ปีที่แล้ว

      Lakini maneno ya biblia na quran haina utofauti sanaa... Mitindo ya kuishi na lugha inayotumiwa ndo naona ikitofautiana.... Yani wote tunaita Mungu kwa kiswahili.

    • @millionairejeffreysunofbez3766
      @millionairejeffreysunofbez3766 2 ปีที่แล้ว +3

      @@prayerchamber1600 kuna tofaut kubwa sana ww , bible ndio msingi wa waisha, ktk bible majini yameitwa masaliti na mafuasi ya ibilis, ktk guran majini yamepewa nafasi had sura na yanatukuzwa

  • @francisjaytv4995
    @francisjaytv4995 3 ปีที่แล้ว +11

    Professor i honour you
    God bless you to continue preaching these good news and also educating people with unknown articles of the world

    • @bensonsafari5773
      @bensonsafari5773 2 ปีที่แล้ว

      Sure anafunza sana.
      Msimulizi na the story book.. wasafi namba one🙏🙏👏👏👏👏👌

  • @lizzymasawe6566
    @lizzymasawe6566 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaeni kwa kutulie muhaho wa nini yaaan mjue wengine mnamapepo Coz katajwa yesu mnapata mhaho wa nini jesus is really he is king of king’s

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks so much siku hizi huwa nasikiza story book ,
    Mwalimu pia usisahau kutusimulia kuhusu kitabu alichopewa Nabii Muhammad AS maana kwa mujibu kitabu kile inasemekana hakufa wala hakufufuka,

  • @user-hy5gz9qd1j
    @user-hy5gz9qd1j 4 หลายเดือนก่อน

    Anaepaswa kuabudiwa na mungu...yesu ni mtakatifu na mwenye mamlaka duniani na mbinguni...yesu ni mungu na watu wa kwanza kumuabudu ni wanafunzi wake

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana Kaka kwa kukumbusha watu uwepo wa mungu kama tupo pamoj weka like apo

  • @mohamedsaleh9312
    @mohamedsaleh9312 3 ปีที่แล้ว +11

    Hakika haya nikweli 🙏

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu Mungu wangu unirehemu,,,naomba msamaha wa dhambi zangu. Amina.

  • @hassanmohamedi7585
    @hassanmohamedi7585 2 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mola wangu nijalie mm mja wako mnyongeee nife aliyakua ni muislamu mola wa mbingu na ardhi arahman usie na mwanzo wala mwisho na hauna unaefananae hata mmoja mmiliki wa kila kilichopo duniani na sayari zengne zote duniani mungu wangu mm n yule mungu wa Abrahamu, Mohammad, yakoub, Issa (yesu), hajazaa wala hajazaliwa

  • @selfaakinyi7824
    @selfaakinyi7824 3 ปีที่แล้ว +15

    Yesus, Yesus, Yesus the true, the way and the life, 🙏🙏🙏.

    • @philimonikibulungwa4420
      @philimonikibulungwa4420 2 ปีที่แล้ว +1

      niyeye yule hata milele

    • @juliuslucas461
      @juliuslucas461 2 ปีที่แล้ว +1

      Glory be Jesus king of kings and Lord of lords. To you i put my trust.

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 3 ปีที่แล้ว +14

    Kila kitu n kizuri ila inategemeana n mtu gan anaetenda icho kitu bwana Mstafa umenifanya niijue vizuri kazi ya yesu kutokana na jinzi unavyo simulia kwa umakin Ubalikiwe Sana bro maana hata mie nimesha barikiwa Kazi njema

  • @Agneskithitu.
    @Agneskithitu. หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anaendelea na kazi yake ata Leo Tena kwangu

  • @josephandrew3444
    @josephandrew3444 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana hakuna nabii au mtume kupata tokea ulimwenguni alietenda kazi kubwa na kushangaza sana uponyaji ndio balaa! Thus why his alpha and Omega hallelujah

  • @suzanfelix8065
    @suzanfelix8065 3 ปีที่แล้ว +3

    Jina yesu kiboko Cha wachawii 😅chezea yesu wew