MUNGU ALIKUWA ANAISHI WAPI KABLA YA KUUMBA MBINGU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 125

  • @PatrickMusyoka123
    @PatrickMusyoka123 25 วันที่ผ่านมา

    Nimependa mafunzo yako mwalimu, iko kiwango cha juu sana MUNGU akubariki sana

  • @mremjthekingtv1154
    @mremjthekingtv1154 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe huu mzito wa kujifunza kwa namna ya kipekee kabisa kuhusu makao ya Mungu mwenyezi 🙏🙏❤️

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hachunguziki, tusitake kufasilj juu ya uungu wake.

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c หลายเดือนก่อน +1

    Leo ndo nimeelewa kwa nini malaika Mikaeli alimwambia lucifa "Mungu na akukemee" Barikiwa Mtu wa Mungu

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu Kwa kweli nimeelewa sana

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 13 วันที่ผ่านมา

    Una NEEMA kubwa mtumishi wa MUNGU UBARIKIWE SANA

  • @jorammasunu7040
    @jorammasunu7040 2 หลายเดือนก่อน +2

    Je jua ni sayari na kama ni sayari kwanini sayari zote zinategemea jua,nafikiri Mungu anakaa kwenye jua

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @JamaliMbogo
    @JamaliMbogo 15 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi nazani Mungu na shetan ni mapacha yaani marafiki walio pishana mwingine ni jua na mwingine ni giza yaani usiku na mchicha Usiku niwa Shetan na mchana niwa Mungu wamegawana mamlaka sawa kwa Sawa akuna mbabe kati Yao

  • @prophetemanuelpaul8405
    @prophetemanuelpaul8405 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana mwl Isaya nimejifunza vitu barikiwa

  • @MichaelAbel-s4r
    @MichaelAbel-s4r 8 หลายเดือนก่อน

    Ujazwe Roho Mtakatifu utamfaa Kristo si vinginevyo.Amen

  • @yusuphsitta2400
    @yusuphsitta2400 10 หลายเดือนก่อน +4

    1Timetheo 6:16 “ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, AMEKAA KATIKA NURU ISIYOWEZA KUKARIBIWA; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina”

  • @NurdinNgereza
    @NurdinNgereza 10 หลายเดือนก่อน +5

    vizuri sana uko elim nzuri ukita kuboresha elim yako nenda kasome quran utakua zaidi ya mwalimu na utakuja nikumbuka kwa hilo

    • @myself4128
      @myself4128 10 หลายเดือนก่อน

      Quran haina ukweli kuhusu uumbaji sababu mtume hakuwa na Elimu hiyo alibabaisha tuu,mara aseme Dunia imeumbwa kwa siku6 mara 7,mara mungu alikuwa Macca mara hewani mara Mbinguni yaani nawaonea imani waislamu manaake wanafuata mtu anaewapeleka machinjioni ndio maana mkisali mnaangalia Kwenye Sanamu ya jiwe Jeusi ndio aliko mnaemwabudu

    • @NurdinNgereza
      @NurdinNgereza 10 หลายเดือนก่อน

      @@myself4128 hata unachokisema sikuelewi naona ww ndio ulie babaishwa maana uongeayo hayaeleweki leta hoja yenye elimu mjomba nenda lasome huakuna kitabu chenye ufafanuz duniani.zaidi qur an nendakasome usisililize maneno na propaganda zamashoga hao ndio waharibifu wakubwa duniani

  • @DevidMakolo
    @DevidMakolo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Elim ya mambo haya bado inahitaji mwongozo wa kiroho barikiwa sana

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 10 หลายเดือนก่อน +11

    Una elimu ya kujuwa kufafanua mambo upo vizuri sana

  • @kibetkatepi5876
    @kibetkatepi5876 5 หลายเดือนก่อน

    I love your teachings

  • @AdelineGara
    @AdelineGara 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unajitahidi mwalimu. Ubarikiwe

  • @zephaniahnkombe1607
    @zephaniahnkombe1607 10 หลายเดือนก่อน +2

    Umefafanua vizuri sana nimebarikiwa na mafundisho

  • @gaspanpetro6744
    @gaspanpetro6744 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukifikiria mambo ya mwenywe mngu kupitiliza hio inaitwa kufuru, mungu akusaidie

    • @raykyando7571
      @raykyando7571 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli unaweza kukufuru kabisa

  • @faithe4063
    @faithe4063 8 หลายเดือนก่อน +1

    Katika mafundisho yako iko karibu na kweli kwa mtu mwenye asomi maandiko katika Roho na kweli ,ila katika Roho wa Mungu naona kwa fundisho yako sana sana unatetea shetani,sasa swali yangu ni Mungu wako ni Nani? Kwa sababu ninajua kwamba ata shetani anajua kusoma maandiko, ndio maana alijaripu kudanganya Yesu kwa neno, akitaka amsuhudie

    • @bahatimaselo8528
      @bahatimaselo8528 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika huyu anaejiita mwalimu amefikia hatua mbaya anakufuru Sasa Mungu amusamehe maana hajui alitendalo.

    • @faithe4063
      @faithe4063 7 หลายเดือนก่อน

      Inastahili tuwe makini sana kwa watumishi wa siku izi, ni heri Mtu uombe Mungu akusaidie wakati unapo soma maandiko, nakumbuka vizuri Yesu alisema ninaenda na sitawaacha kama yatima, nitaomba Baba awape msaidizi mwingine atakaye kaa pamoja nanyi ata Milele, ndiye Roho mtakatifu ili atukumbushe yote aliyosema Yesu, ni vizuri tutambue kwamba ni nyakati za mwisho na waongo wamejaa kila mahali, kueni makini sana

  • @GasparMacha-sm3xk
    @GasparMacha-sm3xk 8 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Benson HAKIKA MUNGU ANATISHA SANA NA TUMWACHE MUNGU AITWE MUNGU...Amina
    Asante sn kwa elimu na ufafanuzi huu mzuri

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 3 หลายเดือนก่อน

    Umeniongezea kitu Mwl Asante sana.

  • @LeonceMushy
    @LeonceMushy 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana baba mungu akubariki ata Mimi nilikua na maswali kuusu uumbaji

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 10 หลายเดือนก่อน +5

    Yaliowazi ni yetu na vizazi vyetu.
    Yaliosirini na ya Mungu mwenyewe

    • @raykyando7571
      @raykyando7571 8 หลายเดือนก่อน

      Mwache aendelee kuchimba mambo ambayo hayamsaidii na atachanganyikiwa sana tu

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 3 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa

  • @BeataPetro-x7p
    @BeataPetro-x7p 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ninyakati zamwisho kweli acha kupotosha watu

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 10 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani 😘😘😘

  • @DeogratiasLekariro-gq3gk
    @DeogratiasLekariro-gq3gk 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo alitaja baba wa mbinguni kutofautisha na baba wa duniani. Na Mungu ni roho, hashikiki wala haonekani kwa macho ya kawaida

  • @adelaidemuraya8615
    @adelaidemuraya8615 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu please eleza tofauti ya heaven na paradise

    • @prophetically
      @prophetically 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubaliki sana

  • @WajaraWalaga
    @WajaraWalaga 27 วันที่ผ่านมา

    Lakini mungu ni jua

  • @Emmanuel-zt3sc
    @Emmanuel-zt3sc 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Isaya Benson mwakilembe

  • @bishopmarylydialuyesi8698
    @bishopmarylydialuyesi8698 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Neno na yesu ni Neno kavineti ya binguni haropapeti Mungu M N ni neeema 12 + 12 = ( 26) Mungu ni ❤

  • @truth7796
    @truth7796 7 หลายเดือนก่อน

    How many heaven to we have.... Genesis indicates separate of water above and below

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie acheni kumtafiti mungu fuata tu utaratibu aliowapa acha mambo hayo msitende maovu

  • @hbdina
    @hbdina 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @daudmtoba191
    @daudmtoba191 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu achunguziki

  • @kabayesankula7895
    @kabayesankula7895 9 หลายเดือนก่อน +1

    11-7 Quruani ameziumba mbigu kwa siku 6 na kiti chake chaenzi kilikuwa juu ya maji

  • @adelaidemuraya8615
    @adelaidemuraya8615 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli twasoma

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 8 หลายเดือนก่อน

    God is Universe it self

  • @EmmanuelTumusifumungu
    @EmmanuelTumusifumungu 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu kimafupi mungu ni roho maana roho hanina mupaka kwenda marekani ni visa rakini saa hi unaweza kuwa mhapa Burundi 🇧🇮 maramoja roho yako inakuwa 🇺🇸 mana mungu ni roho aliku maharishi popote natena ujuwe kunamvingu 3

  • @S1rb0ny
    @S1rb0ny 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli Shetani Yupo na Nguvu nyingi but Wakati ule wa Daniel na Wakati huu ambao Damu ya Yesu imemwagika Msalabani nitofauti kwani ipo nguvu kuu katika chembe ndogo sana ya imani kwa mtu yoyote yule anae amini katika Yesu Kristo. Mtu anaitaji imani ndogo sana kama punje ya haradari aweze kufanya jambo kubwa ivyo baada ya kifo cha Yesu ipo nguvu kuu inayomsaidia yeyote yule atakae amini .

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 4 หลายเดือนก่อน

      siyo imani ndogo tu MUNGU ALIMAANISHA KUWA PUNJE YA HARADALI HUWA INAKUWA KUBWA MTI MKUBWA SANA,KO KAMA WAKKRISTO INABIDI IMANI YETU IWE INAKUA KAMA VILE PUNJE YA HARADALI INAVYOWEZA KUKUA NA KUWA MTI MKUBWA.

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 5 หลายเดือนก่อน

    Yani wwe kama kuna mtu hakuelewi basi atakua hajielewi mwenyewe pia, yani unaeleweka vizuri kabisa 🙌🙌😂😂😂

  • @simionsteven5618
    @simionsteven5618 8 หลายเดือนก่อน

    Hueze toa refalens ya sayans kujubu ya mungu,

  • @jorammasunu7040
    @jorammasunu7040 2 หลายเดือนก่อน

    Je nyota,jua na sayari ni mbinguni.lakini dunia nayo iko binguni

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

    ukijadili sana utakufuru

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter9454 8 หลายเดือนก่อน +1

    unajibu maswali yanayonisumbua

  • @misheckmisheck6350
    @misheckmisheck6350 10 หลายเดือนก่อน

    Ufafanuzi wako ni mrefu sana unachosha

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 10 หลายเดือนก่อน

      Umelazimishwa?

  • @AbelsonGidion-vo1uj
    @AbelsonGidion-vo1uj 8 หลายเดือนก่อน

    Anzaaa kuipendaa Israel Kwanzaa

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota 8 หลายเดือนก่อน

    Unakwenda kuchangajikiwa unako enda kwa kujifanya unamchunguza Mungu, Mtakatifu. Kwa alikili zako fupi

    • @marobaraka
      @marobaraka 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyechora ile circle ya sayar mbona wanasayansi wapya hawajawahi kuiapdate? Alikuwa nani

  • @txsoundsrecord3663
    @txsoundsrecord3663 8 หลายเดือนก่อน

    Dah... Inabidi... Utowee.. Na.. Ya cm....tuwe.. Tunatowa sadaka. Wew Mwl kwel

  • @deogratiusdeo6954
    @deogratiusdeo6954 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi ubarikiwe sana ila ninaswali je mti wa matunda waliokula adamu na eva uko wapi?

  • @emanuelneriwa6619
    @emanuelneriwa6619 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu alioko juu mbiguni yan yupo juu ya mbinguu sijuii kama unaelew yan yupo juu ya mbingu mbgu iko chin yake na hii ni lugha ya kutukuza ama kumuinua Mungu

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 9 หลายเดือนก่อน +1

    Suala bovu kabisa na mchungaji hayo si masuali itakusaidia nn katika maisha yako

  • @MpokiBuya
    @MpokiBuya 10 หลายเดือนก่อน +1

    MWAKILEMBE MUNGU HANA MAKAZI ,MAAMA MAKAO NI KWA AJILI YA VIUMBE PEKEE

  • @wilsonkinga
    @wilsonkinga 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi Nina yangu katika fikra zangu japo sinta kuwa sahihi najua hutakubaliana na Mimi wengi wanaamini shetani aliumbwa na MUNGU Mimi naamini shetani hakuumbwa mwalimu utalisahihisha kisomi zaidi niatataja sababu mbalimbali zinazonifanya niamini kuwa shetani hakuumbwa mpaka hapa mwalimu umeelewa namaanisha Nini ,

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 4 หลายเดือนก่อน

      SHETANI ALIKUWA MALAIKA KO ALIUMBWA KWA MOTO KAMA MALAIKA WENGINE

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 8 หลายเดือนก่อน

    Bro Bible na sayansi ya anga ni kitu kimoja. Big up to you kaka

  • @samwel-pr8yw
    @samwel-pr8yw 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu hakai gizani,ila kabla ya kuumba ndiyo alikuwa anakaa gizani (lower party of darkness)lakini sio sasa hv

  • @leonardmaganga5615
    @leonardmaganga5615 7 หลายเดือนก่อน +1

    1,Adam na mke wake wa kwanza walizaa watoto? na kama walizaa ni nani hao.
    2,Kweli kuna mbigu 7? na kama ni 7 ni nani hao wanaokaa kwenye hizo mbingu?

    • @hellaskarras1567
      @hellaskarras1567 13 วันที่ผ่านมา

      Watoto waliozaliwa kwa mke wa kwanza wa Adam ni Abel na Kain

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 10 หลายเดือนก่อน

    Haaaa,, Amen

  • @JosephMajani-lq9eh
    @JosephMajani-lq9eh 9 หลายเดือนก่อน

    Binadamu ni wavivu katika kujifunza mazoea ya kukaririshwa mambo bila kuchimbua kea kupata maarifa

  • @AsisaAmani
    @AsisaAmani 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalim ningependa kupata namba yko

  • @AbrahamBoaz
    @AbrahamBoaz 10 หลายเดือนก่อน

    Vizuli sana Mwalimu mimi naomba unambie wakina nani wanayoona Mungu face 2 face ?je ni Yesu Kristo anaomuona Mungu vipi kuusu ma angels? Asante Mwalimu

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 10 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa katika Roho,manake Ukimuona katika macho ya nyama huwezi ishi, hakika unakufa Kwa sababu ya Utukufu na utakatifu,mwanga Wake.

  • @LosotwaMichael
    @LosotwaMichael หลายเดือนก่อน

    Na yule kiboko ya wachawi naye asile majani siyo.Wako wanaofaakula majani ndugu

  • @adelaidemuraya8615
    @adelaidemuraya8615 10 หลายเดือนก่อน

    Kishetani kishindwe asante teacher we need your number tukiwish merry xmas

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba ufafanuzi zaidi.Seraphim wako na mabawa 6. katika kila mabawa 2 ziko na kazi yake.Kati ya manawa mbili nizakujifunika uso.Je wamejifinika uso wasione nini wakati umesema makaazi ya Mungu kuna giza?

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 7 หลายเดือนก่อน

    Bado hamna jibu kama unasema Mungu aliishi gizan na ilo giza lilikua linakaa wapi

  • @EUSEBIOKIVEVELE
    @EUSEBIOKIVEVELE 10 หลายเดือนก่อน +1

    Noooo!!!

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jodev amekomaa ndio maana amejua kuwa badhii ya maandiko Ya biblia yamewaingiza chaka

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 10 หลายเดือนก่อน

      Kama ni chaka limeingiza wengi
      Ila imani ndio imetupeleka huko
      Labda wewe unaushahidi zaidi au nawe umebase kwenye imani lete hoja zako basi

  • @anorderick7162
    @anorderick7162 8 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo manabii wanaotwambia walikutana na Mungu wana tudanganya et eehh....!!

  • @BatonRichard
    @BatonRichard 6 หลายเดือนก่อน

    Dunia ilipofikia tunahitaji mafundisho ya kibabe namna hii

  • @HenryTindwa
    @HenryTindwa 29 วันที่ผ่านมา

    Anga inamaana nyingine kioo

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 8 หลายเดือนก่อน

    Waliotaka kujenga mnara wa babeli walifarakanishwa na Mungu ili wasije waka kufuru , na ni kitu ambacho kwao hakikua cha muhimu , sasa kusema Mungu anakaa gizani hiyo sasa si ndio kufuru yenyewe, maana yeye ni nuru na malaika wake wanaitwa malaika wa nuru , acha kupeleleza mambo ambayao hayataokoa Roho yako , uliambiwa mwamini Yesu utaokoka sasa swala la Mungu anakaa wapi linakupa faida gani

  • @juliusgitonga363
    @juliusgitonga363 10 หลายเดือนก่อน

    Hapo umenipea ufunuo mwalimu

  • @Asma-s4l3m
    @Asma-s4l3m 8 หลายเดือนก่อน

    Ukisema inaonekana alikua aki kaa katika mbingu nyegine inama huna uakika Sasa unatufundisha nini na huna uakika

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu hamjaribu mtu Bali mtu hujaribiwa na tamaa zake Yak 1:13 je Mwanzo 22:1 Abrahamu alijaribiwa na nani ikiwa Abrahamu naye ni mtu?

  • @AbelyNyota
    @AbelyNyota 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe usha changajikiwa na hujui unacho sema. Kumbukumbu la torati 29:29. Mambo ya siri ni ya Mungu. Yaliyo funuliwa ni yetu sasa mahali biblia ilipo kaa kimya nawe usijifanye unauwezo wa kumchunguza Mungu, Mtakatifu. Na akili zako za maandazi Mungu, Mtakatifu. Usimfananishe na kichwa chako

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mimi swali langu ni je ni kweli kuna pepo wachafu au wabaya na mapepo wazuri ? Kama waumin wa dini nyengine wanavyohubir

  • @KingdeeDavid
    @KingdeeDavid 7 หลายเดือนก่อน

    umesema ilo andiko linalosema tumepewa mamlaka ya kukunyaga nge na nyoka si ya watu wote waliookoka bali ni ya watu flani ambao ndio wamekusudiwa sasa tunaposoma biblia tunaamini kile kilichoandikwa kiko hai na kwa imani itatimia kwetu sasa iweje ilo andiko moja lisiwe la kwetu wote tuliokoka basi biblia pia itakua imeandikwa kwa ajili ya watu flani waliokusudiwa sio watu wote

  • @WajanaKarani
    @WajanaKarani 8 หลายเดือนก่อน

    Kunawatu waajabu hakuna aliyefika kwa Mungu lkini anaweza Sema mwalim anapotosha je wewe unajua kweupi? Sisitunajifunza basi tusaidie ukweli halisi niupi

  • @Bonface-o5q
    @Bonface-o5q 8 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu,Isaya:nauliza,"je Yesu ni kiumbe kimoja na au malaika mukuu Mikael?

  • @TediMussa
    @TediMussa 10 หลายเดือนก่อน

    Hizii ni njaa tupo😂

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni ufunuo hasa

  • @rajabkibiki5415
    @rajabkibiki5415 8 หลายเดือนก่อน

    Wewenimekuku bali

  • @moohazuume
    @moohazuume 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa Mohammed nataka kujuwa eti yule mtoto wa Adam Alie ASI Kaabili.nikwwli NDIE MASIHI DAJAL na yupo wapi huyu mtoto kwani maamdiko haya mzungumzia aliishia wapi

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna shekh anaitwa ibnu abbas mtafute

  • @adelaidemuraya8615
    @adelaidemuraya8615 10 หลายเดือนก่อน

    Next time teach about rapture

  • @adelaidemuraya8615
    @adelaidemuraya8615 10 หลายเดือนก่อน

    Tukiondokaa kumlaki mungu miaka Saba wale wataachwa kaburini watatoka kaburi nakuanza kurura duiani manyumba yetu itakua nanani tukienda kwa anga miaka Saba tukieudi duniani baada ya miaka Saba tutarudi kwamanyumba zetu ama tutakaa wapi kwa Ile 1000years

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 9 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi baada ya shida zote Yesu atarudi kutuchukua tutakaa miaka 1000 mbinguni pamoja na kristo na baada ya Ile miaka 1000 mji wa yerusalemu ya mbinguni utashuka duniani pamoja na watakatifu wote walioshinda dhambi
      Nyumba zenu zitabomoka siku Yesu atakaporudi kwa utisho Wake

  • @simionsteven5618
    @simionsteven5618 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani Sasa mbingu ipo na nchi ipo unaeza sema anakaa wapi

  • @MagereMalebo-kd5yb
    @MagereMalebo-kd5yb 10 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho yako mazuri, kanisa unako abudu nasi tukaabudu

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe utapotosha sana,kwa sababu Kuna injili mbili ya waliotahiriwa na ya wasio tahiriwa, Galatia 2:7, wewe unafundi ipi?

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 10 หลายเดือนก่อน

      Huyu ni agent wa shetani mpendwa, hawa wako wengi sana Sasa hivi. I pray for the people of God

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 10 หลายเดือนก่อน +3

    Chambua mambo ya Ukraine mambo ya dini bado hujaiva

    • @barakabahati6600
      @barakabahati6600 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 10 หลายเดือนก่อน

      Tuchambulie wewe mtaalam

    • @fastonsambo-du4rd
      @fastonsambo-du4rd 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni mtumishi was shetani

  • @TediMussa
    @TediMussa 10 หลายเดือนก่อน

    Msitudanganye hakuna yoyote anae jua story ya mungu zaidi ya yesu krsto alie hai

  • @maystellakajuna5461
    @maystellakajuna5461 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu yamgu wewe unahitaji msaada. Sasa mapepo si no jesho la shetani! Wanapokea orders toka kwa shetani, yeye ndo anawatuma, kumbuka wako chini yake, mapepo na shetani ni kambi moja ndugu.. Sasa watumishi wanaposema wanapigana na shetani inamaana hiyo kwamba kweli wanapigana naye.
    ‭Kum‬ ‭29:29‬ ‭SUV‬
    [29] Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili t
    ‭Ufu‬ ‭19:19‬ ‭SUV‬
    [19] Kisha nikamwona huyo mnyama, na wafalme wa nchi, na majeshi yao, wamekutana kufanya vita na yeye aketiye juu ya farasi yule, tena na majeshi yake.

    • @EsterbernardoVumo-kn2xv
      @EsterbernardoVumo-kn2xv 9 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtumishi Niko Maputo Msumbiki Nakufatilia Sana Nabarikiwa.

    • @PierreNacom
      @PierreNacom 8 หลายเดือนก่อน

      we subiri ufundishwe ujengwe na mwalimu...ubish wa nn

    • @timeofjesusministries9611
      @timeofjesusministries9611 8 หลายเดือนก่อน

      Ndugu hebu soma hii
      1 Wafalme 22:3,20-23
      [3]Mfalme wa Israeli akawaambia watumishi wake, Je! Hamjui ya kuwa Ramoth-Gileadi ni yetu? Nasi tumenyamaza tusiitwae mkononi mwa mfalme wa Shamu?
      And the king of Israel said unto his servants, Know ye that Ramoth in Gilead is ours, and we be still, and take it not out of the hand of the king of Syria?
      [20]BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
      And the LORD said, Who shall persuade Ahab, that he may go up and fall at Ramothgilead? And one said on this manner, and another said on that manner.
      [21]Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya.
      And there came forth a spirit, and stood before the LORD, and said, I will persuade him.
      [22]BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.
      And the LORD said unto him, Wherewith? And he said, I will go forth, and I will be a lying spirit in the mouth of all his prophets. And he said, Thou shalt persuade him, and prevail also: go forth, and do so.
      [23]Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
      Now therefore, behold, the LORD hath put a lying spirit in the mouth of all these thy prophets, and the LORD hath spoken evil concerning thee.

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu hachunguziki, tusitake kufasilj juu ya uungu wake.

  • @DominicaUggy-em8vc
    @DominicaUggy-em8vc 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu hachunguziki, tusitake kufasilj juu ya uungu wake.