Bwana Yesu Kristo unirehemu kwa kukumbuka yaliyopita yafute kwa damu yako takatifu takasa kumbukumbu zangu mbaya zote unipe neema nisiyakumbuke tena nipe mawazo yako ambayo ni ya amani yenye kunipa tumaini siku zangu za mwisho, katika jina lako Takatifu Yesu Kristo. Amina. Barikiwa Mtu wa Mungu Baba.
Blessed. My prayer is always still not to be taken away from God's way. That's powerful keys to open up and switch on the mind to God's lines life according to his grace and mercy.
Pongezi kwa huduma nzuri mtumishi Antony Kapola. Badilisha namna ya kuwafikia hadhira wako wote kwa usawa. Yani wasiojua kiingereza huteswka kupata ujumbe kutoka kwako. Asante. Maoni yangu tu mtumishi.
Shaloom Man of God ... I am from Tanzania but currently in India i dont know if it is right to just call you straight as i can see a number on the video but all i can say is "This message has been year for one year now for a very powerful reason i just came to TH-cam today 30/04/2022 and found this and to be honest am soo blessed and touched there is alot that i have been failing to do well cause of remembering my past deeds that haven't been good at all but this day i decree and declare that Satan shall never overcome my thoughts again and i connect with the prayer you gave us at the end of the video in JESUS name AMEN... I love you so much papa 🙏🙏
Huyu ndio mtumishi mwenye karama ya kumtumikia Mungu. Anachoongea ni uvuvio wa Roho Mtakatifu. Hongera
Sana blood mungu amubaliki
Yan mwenzuni natamn ni like tu na kukoment kwajinsi maubiru yanavyo nifungua mungu akubariki san mchungaji anton🎉🎉❤
Wakenya like and share kwa marafiki waje kusikiza ujumbe huu na mtabarikiwa 🙏🙏🙏💕
Me too am addicted to his preaching,,, may they work on me
I like his preachings
Mungu azidi kumtunza anahubili vzr nimebalikiwa sana
Genius Pastor, Mungu Akutunze Uzidi Kuongoa Zaidi. Amen
Nakupenda sanaaa mtumishi wa Mungu jamni Mungu azidi kukutunza unanisaidia sanaa
Am following you all the way from kitui county Kenya...we ni mwanga zindi kung'aaa
Amenigusa kabisa🙏🏿🙏🏿
Ooh yes thnx Jesus kwaajili ya mtumishi ulietupa🙏🏼❤
Amen pastor, aki you makes me feel strong and blessed
Bwana Yesu Kristo unirehemu kwa kukumbuka yaliyopita yafute kwa damu yako takatifu takasa kumbukumbu zangu mbaya zote unipe neema nisiyakumbuke tena nipe mawazo yako ambayo ni ya amani yenye kunipa tumaini siku zangu za mwisho, katika jina lako Takatifu Yesu Kristo. Amina. Barikiwa Mtu wa Mungu Baba.
Powerful message man of God,you bless me every time I listen to you.
Am transformed today by the renewal of my mind in Jesus mighty name Amen
Haleluya my Pastor thanks I received and i believed
Great man of God congratulations
Ameeen.
Be Blessed Servant of God Pst.@Kapola
Blessed.
My prayer is always still not to be taken away from God's way.
That's powerful keys to open up and switch on the mind to God's lines life according to his grace and mercy.
Mahubir ya uyu mchungaj sometimes yananifany niwe na Hof ya mungu San kwa kwel mungu ambarik said
Amina 🎉🎉🎉
I'm also addicted.. God bless you pastor Tony.
Am addicted to this preaching....
Neema ya Mungu izidi kuwa kubwa Mtoto wa YESU Vijana tunajifunza na kukua kiroho tunamshukuru Mungu kwa Ajiri yako Ubarikiwe.
Hallelujah Asante sana mutumishi wa MUNGU kwa mafunzo mazuri 🙌🙌
Amina
You are something else Pastor, uko vizuri
Oooh God nalia nlkua pagumuuu leo nimekutana na hii Asante Yesuuu nmepona akii imenigusaa ni kweli 100%
Amen,Mungu akuinue zaidi akupe hekima na maarifa zaidi
I love this may the Lord Jesus Christ bless you servant of the most high
AMEN KUBWA MTUMISHI WA MUNGU HIYO KWELI MUNGU ATUSAIDIE
Very genius..man of God,!!!
My message on right time, be blessed Pastor Tony Kapola
Amen 🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu 👏
Amen mtumushi barikiwa sana
Amina Yakare yangu yamepita
Aiseee siku nimejipata hapa najikuta siwezi kaa siku sijakuskiza man of God... Daaah...naona vile nakua transformed live live
Amen 🙏
Amen amen mtumishi ubarkiwe sana,, NENO linaponya
Pongezi kwa huduma nzuri mtumishi Antony Kapola. Badilisha namna ya kuwafikia hadhira wako wote kwa usawa. Yani wasiojua kiingereza huteswka kupata ujumbe kutoka kwako. Asante. Maoni yangu tu mtumishi.
Mungu akutunze mtumishi ktk kazi ya kuwatoa watu waliofungwa ktk vifungo mbalimbali (kiroho na kimwili)
Huyu Baba kwa kweli hunibariki sana (kenya Mombasa)
Pastor I'm from Kenya I love ur preachings they are blessings shallom.
Mungu akutunze pastor God bless you thank you so much 🙏
Amen mtumishi hakika Imani n mambo yatalajiwayo
Am addicted to Ur preaching from kenya but currently working in Saudi Arabia
Amen.
Sijui mbona nalia😭😭😭😭🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙏🙏🙏Lord ineed total mindset and spirit transformation ooh🤲🤲🤲
Am happy to hear this from u pastor
Saf sana Pastor Tony Kapola.....MUNGU akuinue juu sana
Amen Mchungaji, nabarikiwa sanaaaa kupitia mafundisho yako.
always a blessing preachings
Nko meru tuko pamoja, be blessed Man of God
Naona kuona mbali kwa jina la YESU. AMENI AMENI
What you teaching is what am going through today
Amen Mungu akubariki Mtumishi
Mpaka nakaa naandika hizi point
Amen amen 🙏 barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
Powerful words 🙏🙏 amen🙏🙏
Amen 🙏 MUNGU akubarik sana
Amen Amen Amen Haleluyah Glory be to God
asee, Yesu asifiwe sana, hili Neno limeniinua sanaa,
Shaloom Man of God ... I am from Tanzania but currently in India i dont know if it is right to just call you straight as i can see a number on the video but all i can say is "This message has been year for one year now for a very powerful reason i just came to TH-cam today 30/04/2022 and found this and to be honest am soo blessed and touched there is alot that i have been failing to do well cause of remembering my past deeds that haven't been good at all but this day i decree and declare that Satan shall never overcome my thoughts again and i connect with the prayer you gave us at the end of the video in JESUS name AMEN...
I love you so much papa 🙏🙏
Call us with the number at the screen
Hi
Oooo barikiw sanaa hàleluyaa
God blessing you .
Amen Kwa mafundiso yako daddy mungu akumbariki sana
Amen pastor I love your preachings
AMEN AMEEN AMEEEEN
Stay blessed man of GOD🙏
Oooooh asante BWANA YESU kwa ajili ya mtumishi wako
Hii nondo ni zaidi ya madini, "Mtu wako wa ndani anapaswa kuwa na nguvu kuliko wa nje, maana yake hata wewe mwenyewe".
Ooh Jehovah help to focus ahead in mighty name of your son Jesus Christ Ameen
Very inspiring quotes about life ❤❤❤
Amen in Jesus mighty name God bless you 🙏🏾
Mungu akubariki sanaa mtumishi
Amen mungu akutiye nguvu
❤ Amen 🙏🙌
Pastor Pasua 🙌🙌🙌🙌
🙏 🙏 🙏 🙏
Asant sana Pastor Mungu akubaliki akutie nguvu
Halleluuuuuuujah!!Mungu azidi kukuinua baba yangu Tonny Kapola
Ameeen
Ameeeeen
Asante kwa Neno
Ubalikiwe sana mtumish wa MUNGU
Ameen
Such a powerful message
Ubarikiwe sana Pastor Tony May God bless you.
Amen Amen is true pastor Amen Amen 🙏 🙏
Amina, hakika huyu mtumishi ana upako wa Mungu, anaongea mambo ya ukweli kabisa
Amen blessings
Napenda kusikiliza sana maubiri yako
Amen kaka
🔥🔥The man of GOD🔥🔥✅be blessed🔥✅
Amen
Akili yangu n bora kuliko jana kwa Jina la Yesu
Nabarikiwa sana na mafundisho yaliyojaa hekima
Mungu akutie nguvu mtumish
Amen 🙏🙏🙏🙏
Yote ni kwelii
Amen san
Hallelujah hallelujah YESU AHSANTE
Leo hii ni bora kuliko jana.
God bless you pastor