Bomu la Nyuklia: Nini kitatokea likilipuka? Utashangaa! yaliyotokea Nagasaki na Hiroshima yanatisha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Makala hii itakujuza mambo ya kutisha kuhusiana na Bomu la Nyuklia ambalo ni silaha mbaya zaidi ya maangamizi. Kaa nasi ili kufahamu mengi yaliyoikumba miji ya Japan ya Hiroshima na Nagasaki

ความคิดเห็น • 120

  • @hanschuma7734
    @hanschuma7734 2 ปีที่แล้ว +7

    Wamarekan ndio sos ya yote washenz sana

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 2 ปีที่แล้ว +5

    Marekani na Uingeleza ni wabaya sana Duniani

  • @abubakarmsangi1036
    @abubakarmsangi1036 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watumie tu huko wazungu wafe tu wote tubaki wa àfrika wenyewe wanatuletea ushoga kwetu hawa wazungu nawachukia

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 ปีที่แล้ว +2

    yaani kwauovu huu bado japani anamkumbatia marekeni ama kweli hawana akili

  • @mussacharles3
    @mussacharles3 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante Kwa Alimu hiii kaka Mungu Akulide sanaaaa

  • @sebagasper2772
    @sebagasper2772 ปีที่แล้ว +1

    Usimuliaji safi..... ni zaidi ya kuangalia movie barikiwa sana

  • @peter_boym_drc
    @peter_boym_drc 2 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭mama eeeeeh ila akuna shida
    Wa Africa tuko juu tunanyuklear yakutopatwa na hasari hiyo ✊✊✊✊✊

    • @ndizindeleti761
      @ndizindeleti761 2 ปีที่แล้ว

      Nikwwli lakini endapo utatengeneza hicho kifaa Cha kuzuia au kulipoteza malengo vp kikiwa hakijatimja au kikafeli unazani Mambo yatakuaje dunia hii

  • @emmanueljosephati3192
    @emmanueljosephati3192 2 ปีที่แล้ว +6

    Selikari inatakiwa kuwekeza kwa wanafudhi wano soma (phycis) ndo mabingwa wa hizi mambo tunaweza kutengeneza airgraphics ya kuyazuia yasi lipuke na kuyaelekeza bahari au ziwani kila kilicho tengenezwa na mwanadamu kinaweza kuzuirika na mwanadamu mwenyewe!!?

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj หลายเดือนก่อน

    Duuuuuu nashukuru mung kuumbwa afrika ila iyu mtangazaji anakipaji sanaaaaaaaa yan km unaangalia mivi vile

  • @shabansamwi9891
    @shabansamwi9891 2 ปีที่แล้ว +4

    du kweli binadam tunajimaliza wenyew

  • @darsinana2647
    @darsinana2647 2 ปีที่แล้ว +3

    Bado Africa itengeneze nagisi tuko wajuaji tutajiripua wenyewe bira kuripuria😂😂

  • @nishaismail1178
    @nishaismail1178 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubarik

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 7 หลายเดือนก่อน

    Nimehipenda Sana elimu hii unaongea kiukakamavu Yana kijasiri mwenzi mungu hakulinde,

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 ปีที่แล้ว +4

    Dunia imeisha 😭

  • @ndiiyolazarolemoloo2164
    @ndiiyolazarolemoloo2164 2 ปีที่แล้ว +2

    Inatisha sana esee

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 ปีที่แล้ว +4

    TUOMBEN HIZI VITA ZIISHE MAANA DAH JAMAN

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 ปีที่แล้ว +2

    Je panya au kitu chochote kikiangukia kitovu cha kulipulia nyukilia itakuaje.

  • @nishaismail1178
    @nishaismail1178 2 ปีที่แล้ว +2

    Yan hii imenigusa kwel jaman mungu atunusuru Sisi waja wake

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 2 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana hii

  • @benpeter7367
    @benpeter7367 ปีที่แล้ว +1

    Watupige tu make nchi yenyewe ish ashauzwa ii

  • @sikitu8957
    @sikitu8957 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninaweza kutengeneza uchawi wa kupoteza hiki kitu muelekeo sio hiki tu kitu chochote kukipotezea muelekeo wake serekali kama wanakubali wanipe nafasi sema tu serekali zetu hatuamini saana uchawi tu Ila upo Na hayo ni mambo madogo wanaweza kurusha Na yakatua Chini Bila kulipuka

    • @SalumJuma-iz2gj
      @SalumJuma-iz2gj หลายเดือนก่อน

      Kasonge ugali na bamia ule ulalee😂😂

  • @desanta.017
    @desanta.017 2 ปีที่แล้ว +1

    Series ya The 100 inaenda kua kweli

  • @patrickmukundichalamila3038
    @patrickmukundichalamila3038 2 ปีที่แล้ว +1

    Sky simulizi 🏆

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 2 ปีที่แล้ว +1

    🏆🏆🥉

  • @petronilamtei7470
    @petronilamtei7470 2 ปีที่แล้ว +2

    hadi naogopa

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 ปีที่แล้ว +2

    Marekani ana roho mbaya sana

  • @musamoses5123
    @musamoses5123 2 ปีที่แล้ว +3

    Siyo uvamizi ni opershini maalumu

  • @ReganKimaro-kr7nn
    @ReganKimaro-kr7nn 10 หลายเดือนก่อน

    Kadri sayansi inavyo ongozeka ndivyo na Dunia inavyo zidi kuwa sehemu hatari hatari kwa wanadamu kuishi.
    Ukisoma kitabu cha mwanzo Mungu alimumbia Nuhu "Kwakua mwanadamu ameiharibu Dunia nami nitamuaribu pamoja na Dunia " ndipo alipo shush gharika.
    Sasa safari hii ni Mwanadamu mwenyewe nazidi kuwasha moto nyumba anayo ikaa mwenyewe 😢
    Sasa mnataka tukaishi wapi maana hamna sayari nyingine zaidi ya hii kuishi .
    Hiii inakupa tu kujua HII PLANET IMEFIKA MWISHO.
    17:03 17:04

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie tusikumbwe na hii dhoruba

  • @ReganKimaro-kr7nn
    @ReganKimaro-kr7nn 10 หลายเดือนก่อน

    Kadri sayansi inavyo ongozeka ndivyo na Dunia inavyo zidi kuwa sehemu hatari hatari kwa wanadamu kuishi.
    Ukisoma kitabu cha mwanzo Mungu alimumbia Nuhu "Kwakua mwanadamu ameiharibu Dunia nami nitamuaribu pamoja na Dunia " ndipo alipo shush gharika.
    Sasa safari hii ni Mwanadamu mwenyewe nazidi kuwasha moto nyumba anayo ikaa mwenyewe 😢
    Sasa mnataka tukaishi wapi maana hamna sayari nyingine zaidi ya hii kuishi .
    Hiii inakupa tu kujua HII PLANET IMEFIKA MWISHO.

  • @rogatimushi689
    @rogatimushi689 2 ปีที่แล้ว +1

    Jiulize kama puting anamwambia marekani kama anapenda dunia iwe na uhai ache uchochezi unajua uko kwenye magala yake kuna nn si maangamizi

  • @alibinali_
    @alibinali_ 5 หลายเดือนก่อน

    AFRICA hatuna silaha kali kama hizo itabidi tujenge underground Chambers😊 😂😂😂

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว

    Noma sanaaa

  • @sakuranitillya6088
    @sakuranitillya6088 ปีที่แล้ว

    Bro nakukubali sana piga kazi mzee

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 2 ปีที่แล้ว

    Sky 👑

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 ปีที่แล้ว +2

    Hivi vitu vikibuma vizazi vyote vitakuwa viwete kila mtoto

  • @LawiNgakala-f1t
    @LawiNgakala-f1t 5 หลายเดือนก่อน

    URUSI NI BABA WA DUNIA URUSI USIIFANANISHE NA HEROSHIMA NA NAGASAKI URUSI BABA MALIZA WOTE.

  • @selemanthabit5718
    @selemanthabit5718 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli bado tupo kwenye hatar zaid kwasababu hayo mabom hata wasipo yapiga yanawza xpire yakajilipukia Kama ya goms.

    • @gamma9590
      @gamma9590 2 ปีที่แล้ว

      Yanaexpire huku Tanzania sio kwa wazungu wako makini sana

    • @gamma9590
      @gamma9590 2 ปีที่แล้ว

      Wasingekua wanafanyia maonesho, Kuna namna wanayahifadhi hadi waamue kuyaruhusu ndio yalipuke

  • @agnessantony7105
    @agnessantony7105 2 ปีที่แล้ว +3

    Huzuni..sijuii Viongozi wa dunia wanapigania nin na kipi wakati maisha yao n mafupi san hap dunia Mungu anasuru kizazi hiki na viongozi wenye uchu ya mali n madaraka n majina

    • @majutomusegu
      @majutomusegu 11 วันที่ผ่านมา

      Dada shetani yupo kazini na ni zama za mwisho sasa hivi wewe angalia maandiko matakatfu

  • @LawiNgakala-f1t
    @LawiNgakala-f1t 5 หลายเดือนก่อน

    URUSI BABA PUTINI NA KUUNGA MKONO HATUTAKI USHOGA MALIZA MA SHOGA WOTE NA WASHILIKA WAO WOTE VIVA VIVA VIVA PUTIN RAISI WA URUSI

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว +3

    Russia anamzigo wa Nuclear ambao akipiga juu unatoa mvua ya acid

    • @SADEE._
      @SADEE._ 2 ปีที่แล้ว

      Nieleweshe hii kaka imekaaje?🤔

    • @wilondjarama1427
      @wilondjarama1427 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭dar to kigoma. Mrusi hafai kabisa kumchokonoa huyu jamaa

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 5 หลายเดือนก่อน

      😭😭😭nilifikili kagera tutanusulika 😭😭

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 ปีที่แล้ว +1

    Naogopa Allah tunusuru

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ataidhibu marekani marekani Kwa fedheha

  • @martindepores6309
    @martindepores6309 2 ปีที่แล้ว +1

    marekani na urusi kwani wao hawaogopi ,madhara ya hizo siraha , kama wao wanazo na wanataka kuzilipua basi tuwaache wazilipue,sisi tuendeleeni na kazi zetu , ikitokea tuacheni kuwa waoga na mabomu haya, maana ni makali vyakutosha kuwamaliza hata wao

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 หลายเดือนก่อน

      Wanaogop lakin lazima kila mtu awe na tahadhar marekan amezid Sana kuongea watu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo Marekani inachukulia poa lakini madhara ni ya dunia nzima

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 ปีที่แล้ว +1

      Marekan watajuta ipo cku

    • @salmaseif7085
      @salmaseif7085 2 ปีที่แล้ว +1

      @@binaljabirmshihirzanzibar8369 tutajuta kwa sote maana madhara ni ya ulimwengu mzima

  • @wilondjarama1427
    @wilondjarama1427 2 ปีที่แล้ว

    Itakueje sasa

  • @ramadhanidaudihaji2174
    @ramadhanidaudihaji2174 2 ปีที่แล้ว +1

    hatari Sana 😬😬

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 ปีที่แล้ว +1

    Mi napenda walipue nione jinsi yanavyo fanya kazi

    • @majutomusegu
      @majutomusegu 11 วันที่ผ่านมา

      Wewe isiombe hilo litokee

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 2 ปีที่แล้ว

    Nalijua sn ilo bomu ni htr sn, nmeishi nalo karbia mwaka mmj na nusu miaka kadhaa nyuma

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie tu😢😢😢😢😢

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi mna jua vizuri dunia kweli dunia sio kijiji 😂

  • @ilhamjonas6986
    @ilhamjonas6986 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 2 ปีที่แล้ว +4

    Kulingana na Biblia kitabu cha Ufunuo chasema Yehova kaweka malaika watatu wauzuie upepo katika dunia mpaka pale mavuno yake yatapotimia yaan watumish wake wakishakuwa tayar hao watu wake atawaruhusu waondoke hao malaika wazuiao hasira ya wanadamu hapo dunia ndio watauona uovu mkuu na watamtafta Bwana hawatamuona madhara makuu yatashudiwa katika ulimwengu hali mbaya inakuja Jikabidhi kwa Yehova akuokoe katika dhiki ijayo

  • @ladislauskabosa3511
    @ladislauskabosa3511 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah inatisha mbaka najiuliza kwann nimefahamuu

  • @kaginazongori3489
    @kaginazongori3489 2 ปีที่แล้ว

    Ni hatari

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    😣😣😣nime tishika m niko hapa karibu yao🤔 mi nadhani na hii corona sio ugonjwa m nahisi wakuna kitu kilikuwa kina tengenezwa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 ปีที่แล้ว +3

    Moto wa Urusi ikiguswa pabaya tutapoteana dunia nzima

  • @hamzacedricole3673
    @hamzacedricole3673 2 ปีที่แล้ว

    Usa 🇺🇸 ipo na zaid Kuliko ote hapo

  • @k.moneytv9053
    @k.moneytv9053 2 ปีที่แล้ว

    professor kashiidadavuw vzurii

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 2 ปีที่แล้ว

    MUNG WA AJABU SAN SS WENYEW ND TUNATK KUJIANGAMIZA DAAH

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 2 ปีที่แล้ว

    Bomu la ICBM ya Russia, ni bomu mmoja nzito kwelikweli kuliko bomu zote za nuclear ulimwenguni kote. Hii ikitupwa mmoja tu aise cjui kama kesho tutakwepo. Wote tunalala tu.

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 2 ปีที่แล้ว

    Tuombe mwisho mwema

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 2 ปีที่แล้ว +1

    *Mbona kama the story book washa toaga hii shory*

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 ปีที่แล้ว

      Hii ni story ya dunia nzima imeelezewa na vyanzo vingi vya habari

  • @shebbylovemsafi903
    @shebbylovemsafi903 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭🇧🇮🇿🇦🇿🇦👂👂 nihatar

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 6 หลายเดือนก่อน

    Puttin unachelewa kupiga

  • @patrickmulonda9710
    @patrickmulonda9710 2 ปีที่แล้ว +1

    Yehova peke yake atakaye iyokowa ulimwengu.

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama ni story book jamani😂

  • @elinathanbanka5485
    @elinathanbanka5485 2 ปีที่แล้ว

    Sns 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @upendo1020
    @upendo1020 2 ปีที่แล้ว

    Watu wenye pua ndefu sio wazuri kabisa

  • @jacksongidion5170
    @jacksongidion5170 2 ปีที่แล้ว

    U

  • @salmaabdalla6029
    @salmaabdalla6029 2 ปีที่แล้ว

    upumbavu mtupu

  • @deodatusdeusdelitdeodatus5171
    @deodatusdeusdelitdeodatus5171 2 ปีที่แล้ว

    Mzee baba izirael ndo number mmoja

  • @tomshiii485
    @tomshiii485 2 ปีที่แล้ว +2

    Korea kaskazini ikifanya majaribio yake, ayo mabomu huwa yanalipukia wapi??? Na yakilipuka huwa yanaleta madhala kiasi gani kwenye sehemu walipofanyia jaribio??? Au ayo mobomu ya majaribio huwa ayana nyuklia ndani yake?

    • @amingabonface7298
      @amingabonface7298 2 ปีที่แล้ว

      swali nzuri....ama haifanyii duniani😅

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 5 หลายเดือนก่อน

      Yanadondokeaaga baharini huko japan

    • @NasibuShabani-w8p
      @NasibuShabani-w8p 5 หลายเดือนก่อน

      Awaweki kiini cha nyuklia ndiyo maana hakuna hasari

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 หลายเดือนก่อน

      Huwa wanalipua feki.wanatupa baharin Yale halis hawayatumi ila huwa wanapima spidi kwamba watakaporusha kwel itafika kweny bara kingine kwaiyo wanatumia ambay hayan adhari yenyew sim yako stoo

  • @ReganKimaro-kr7nn
    @ReganKimaro-kr7nn 10 หลายเดือนก่อน

    Kadri sayansi inavyo ongozeka ndivyo na Dunia inavyo zidi kuwa sehemu hatari hatari kwa wanadamu kuishi.
    Ukisoma kitabu cha mwanzo Mungu alimumbia Nuhu "Kwakua mwanadamu ameiharibu Dunia nami nitamuaribu pamoja na Dunia " ndipo alipo shush gharika.
    Sasa safari hii ni Mwanadamu mwenyewe nazidi kuwasha moto nyumba anayo ikaa mwenyewe 😢
    Sasa mnataka tukaishi wapi maana hamna sayari nyingine zaidi ya hii kuishi .
    Hiii inakupa tu kujua HII PLANET IMEFIKA MWISHO.

  • @twagiramungu1aboubakari317
    @twagiramungu1aboubakari317 2 ปีที่แล้ว +3

    Kuiyangamiza dunia nzima iyo aiwezekani Mungu mwenyewe diye awezaye kuyangamiza dunia zima na viumbe hayi kwaiyo mimi siyamini kuwa mwana damu anaweza kuiyangamiza dunia..!

    • @williamkeita1519
      @williamkeita1519 2 ปีที่แล้ว

      Inawezekana sana sema tu hujui nuclear iko na nguvu kiasi gan aise

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 2 ปีที่แล้ว

      mwanadamu anaweza kuangamiza ila mungu hawezi kuruhusu

  • @KhamisJumanne-q2l
    @KhamisJumanne-q2l 5 หลายเดือนก่อน

    iran kwa sasa ndiyo noma dunia haimuwezi muirani

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro naku Respect sana Mungu akuweke

  • @nishaismail1178
    @nishaismail1178 2 ปีที่แล้ว +2

    Yan mm nakupenda bure jaman

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 ปีที่แล้ว

      Mimi nakupenda Nisha🥰🥰🥰🥰

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 2 ปีที่แล้ว

    Mungu tunusuluu yaraby