PART 1: NIMEAGIZWA GARI 2/ ACHA WAONGEE KWA JUHUDI / BET / HATA YESU ALIKATALIWA /MAJAY / HARMONIZE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Salaam is very smart. Knows how to answer the questions.
WCB ndo Label inayojtambua kuanzia uongozi na wasanii na ndo maana wanafanikiwa.... This guy is Genius and Real🔥🔥🔥
Kwanza huyu meneja anaakili sana tena sana Diamond amezungukwa na watu wanao juwa biashara wako smart sana.
Mzee wa kunyoosh Salam ajuagi kupindisha uyu n manager mkali✊
Respect
I love Wassaffi all days ❤❤❤
The guy is good 💯 👍. Well educated about what he does 💯👍
Yaani Management ya diamond ina jiendesha ki mambele sana.🔥🔥🔥
The Mendez nakukubali miaka miaaaaaaaaaaa coz u're hiter broo, THE BUSINESS MAN
we jamaa hongera uko vizuri sana good broo
Tutawakera zaidi #SalamSK 💎🦁
Unavyo kuja ndivyo unavyorudishwa😊😊
Namkubali sana The Meneja. Wasafi for life baby
Jamaa Yuko vizuri kwa utangazaji
Mzee wakuchomoa betri😂
Mendez ni mwamba Sana.
Yuko very straight hana kupepesa maneno. Mmoja kati ya mameneja Bora sana nchini na duniani.
WCB iko imara Sana na inasimamiwa vizuri wasanii
"Nassib Abdul juma isaac" Nmependa io professional Manager mendez❤
Nakukubali sana sallam
Huyu jamaaa ni nomaaaa.
Nabii hakubaliki nyumbani, Especially Most of Tanzanians, hawaeleki kabisa. Waweza andaa chakula na kukiweka hadharani kila mwenye njaa aje kula. Watakula then wakishiba watasema huyu jamaa kaehuka. Go Ahead Mondi
Nabii nani mond au unawek mfano wa muabud shetwan kuwa nabii ww sio mzim ww
mtt wa kiislum.... unavaa.... msalaba....!!!! Sawa ni msanii mkubwa....!!!!.... lkin ni freemasonry nd imembebaaa....!!!! kubali kataaaa.... na ni wengi ht huy boya anaeongea nae yumooo.....
Nawaombeeni mungu awape maisha marefu wcb
The MVP nakubali Sana
Ila salamu linajua kuwakera😂😂😂😂😂
Hhhha,anajib fresh kinomah an
Sana
Kabisa ni mtuu na nusu
Jamaa linakera hili
Nakubali Mendez anavyojibu maswali.
Managers wachache performance zao haziendani na wasanii
😂😂😂😂huku tulalamika na tozo!!! Salam naye anatuambia bilioni 11 ni ndogo ukimpa anaimaliza kesho kutwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama hana nywele akili ya kuona billion 11 ni nyingi anaitoa WAP huyu kiparandezi
Fake life
Pesa nyingi sana kwake na hata diamond kwake still is a lot of money..serious money not pesa ya ndogo
Napendanga interview ya salam maana ni mtuu makini sana kwa kujibu mashallah from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Uko vzr sk
Saudi ipi, Tena jeddah ama Riyadh
Riyadh
@@jorgettemwajuma5428 OK mm nipo jeddah
Vizuri kusikiya kuwa uko jida
bonge la manager @salam sk nakukubali mzee baba
Meneja mwenye uwezo mkubwa na mapinduzi kwenye mziki big up salam k
Wasafi chama kubwa
Wasafi chama la 666
WACHAWI
HUFAHAMIAN
This is Mendez sasa, Bonge moja la MANAGER
Kwakweli. Salam unawajibu. Na inaeleweka
Manager jeur wasanii wake jeur upande wa mashabiki sasa ndio yeleuuuuuwiii hatarr sana WCB4LIFE Vimba shabiki la wasaf viimbaaaa!!
Ni shidaa sana
Namba zinatupatia kiburi 💎🔥🔥
Naitwa Vicent naishi Shinyanga wilaya ya Ushetu " Najua Kuimba Muziki wa Bongo fleva Naitaji Sapoti kweko
Sk is a very smart guy
Huyu SALAM SK atengwe 😂 sio kwa majibu hayo 😂😂😂🙌
Unaanzia wap? Mtenge kwanza Mwijaku kabla ya kutenga watu timamu 😂
Salam ur brilliant bro 🙏🙏💥
Ukiwa na Meneja km Mr Aslam.. lazima uonewe WIVUUUU
We unaona kuna maadili hapo.Fuatilia...ulizia unaowaamini wakuambie.Huwezi ukaongea mabaya kuhusu media ambayo labda imeamriwa na bosi wenu kucheza nyimbo za D harafu yeye anasema wamejipendekeza.TOTALY WRONG
@@carlosn_tz sk yupo sawa kama hawataki wasipige tu
Kabisaa huy Diamond 💎 ana ukuta mzito
@@nehemiakiswaga1819 sallam sk hana upumbavu wa kupindisha cloud wamekosa soko wanatafuta pakuponeaa
@@afterfull-time1348 kabiss
Nimefulah kwa majibu ya Sallam 😅😅😅😅😅
😀😀😀
Nimefurahi sio nimefulahi🚮🚮
Uko vizur bro
Salam ukosawa kabisa
Nakukubali sn boss
Huyu jamaa anajua kuongea, napenda sana namna anavyo wadadavua wanafki au chawa wanao tafuta kula kilazima
Wanakubali kiaina
WCB for life
Kweli watuache wasenge wasipige ngoma zetu
Kitambo sana sijaiona hio cap (kofia) nimeimiss sana niliinunua Tsh elfu 23 KARUME bahati mbaya ikachuja 😭😭😭
Pia nimeona Chein ya wcb
@@muddyso1953 Unaambiwa hio chain ni ya gharama sana 🚶♂️
Nachomshukuru jamaa huwa ananyoosha maneno hanaga kuvunga hata kama upo nae ukizingua anasema hapo hapo
Jamaa namuona km anaringa inavyoonekana ana hela kbs
Huyu mwamba yuko na mawee hatarii,coz ni mfnyabiashra wa magariii htrii na nusuu hahaaaaa
SALAM KICHWAAA.!!!🙌🏾
Salam anadhani yeye ndie nan Tanzania acha hasira maisha ayaitaji hasira kaka
Hili Dongo la Diva" Shenzii muongelee Diamond) Upate Ajira🤣🤣🤣🤣
Salaam na kundi lote LA wcb wanajua baba mzazi wa daimondi ni mzee Abdul na tena ametutajia jina la babu wa mzee abdul yaani issaki
Dhuu menager umenen jin moj na limeshapingw si tumeambiw ni family Nyange we unasem Nasib Abdoul Issac
Kwani humjui simba hata leo akiitwa ukoo wenu ni diamond
@@charlesjoshua2938 we unatetea nn
Tambwe uko fre xn leo
Kweli wachane haomifuniko yachooo
Wasipige tu hata mimi nasema🔥🔥🔥
Wasaaaaaafi wcb4life
SK. ASANTE KWA MAJIBU MAZURI
Kipara ndezi
🙌🙌
oh yeah...
Salam unazingua sio Naseeb Abduly hapana ni Naseeb Nyange
Wsaf mko vizur sn ktk kz zenu yn hamuwapi mwanya mafisadi kiwatawala na wala hamuitaji kubembelezwa mtu na kusunudia nikweli unavyo unavyo wnataka ujaribu nanyie ila wnashindwa kuingia
Diamondiiiiiiiiii
Nasibu abdul nimependa hii
Mendeeeez fuundiiiiii
English Caption Please✊
This guy💥💥💥
Naam
For the first time am seeing a...A real manager
Wow
Sk hanaga mchezo kamawariacha kupiganyimbo waache tuna radio yetu tunawasanii wengi hatutakimpige nyimbo zawasafi kamamwanzo nyokonyie cloud
🔥🔥🔥🔥✌️✌️✌️
Yaani Mondi Mtupu, Anavyojibu ni same way na Diamond Platnumz Anavyojibu interview zake
Wekeni Yote pumbafu unaeposti weka full mihamala imepanda bei
😂😂😂
Kwa watu hawa walomzunguka chibu anakosaje kua tajiri? afu paka mmoja unamkuta anaponda wkt hiyo cheni alovaa sk pesa yke hajawai kuigusa blalful yni mwijakua na h mama wakapimwe ubongo wao
Kweli kk
Stream 1=$10000?umechemka daaaah😬😬😬
Kasema Million 1 bhana sio moja
🤣🤣🤣 jamaa mgumu kuelewa uyo
@@jeremiagard6536 sorry!nimesikia vibaya,mziki unalipa ukiwekeza duuuh
CPM ya nchi gan iyo?
Stream 1 dollars elfu kumi kasema muongo huyoo
Mendeze kama mendez
Jamani naombeni kampani yenu angalia nyimbo zangu msikilize Alf mnipe jibu pleaze
Link
Safisana
Pima maji😄😄
Ndo jina lke ilo naseeb Abdul juma Isaac
Hii kubwa xn
Huyu mwamba namkubaligi Sana hichi kichwa kipo makini Sana kwenye maswali
14:46 Spot On.
Ambao tupo haha 2024 tujuane
Jomba ana penda pesa kinoma
Stream Moja dolla elfu kumi hemu tuwacheeee
We ujui chochote kuhusu strms za Spotify na Apple
@@Arnolvel wee unajua tueleweshe...sio kila mtu kwenye social media ni mshamba...Unaona uwongo waziwazi unataka tuamini..Yani mnapenda kudanganywa saaana kisa ni WCB Angeongea mwingine mngesema muongo.Wengine tunajua kila platform maingizo yake sababu Kuna wengine Unaona humu wanacomment lakin wanafanya kazi ya kuwa mawakala ya kuwaunganisha watu na hzo platform,So sio kila salam anachosema ni kweli yeye ni binadam anaweza kuongea ukweli na uwongo pia.
Alikuwa anamaanisha strems 1million
@@Arnolvel Usiwe kichwa Mchungwa Arnold Ushuzii wa Nigga sema uelewshwe
Sawa mendez
🙌🙌🙌🙌🙌
Uyu mwanaharakati hataki ujinga, ndomana haguswi ovyo ovyo na wajinga kam mwijaku...
You guys take time to upload your videos kindly do something
Manager Dola million Tano huna usituzingue.. serious money not pesa ya mboga hiyo
😍😍😍😍😍
boss
Iunajibu kwa akili xana maswali ya broo!!
Kwani Naseeb Abdul Juma Haizaki ndo yupi na Naseeb Nyange tuliyefahamishwa ndo yupi?
Naseeb Babalao au Baba wa mziki ndo anaezungmziwa hapo
Dah mi nilifikiri DJ FETTY naye ni mmoja wa watangazaji hapo kumbe ni mtu mwingine, Da huyo mwanadada atumie sauti yake ili awe na utambulisho wake mwenyewe aache kutumia kila kitu staili na kuiga DJ FETTY;
Sio mimi ila kuna watu wanasema zile gari ni mtumba hamna gari mpya inayo kua vile kwenye kontena amna ata karatasi taili zawekewa mbao kwa kawaida mpya inakuja kwenye box
Wambie waendelee kuongea maana ndo ajira.. alaf MOND 💎 level yake na mafanikio yake hawez kukosa wapmbav wa kumpinga...
✨✨✨