SALLAM SK: ZARI ATAKUWA JINI, LAZIMA DIAMOND AENDE / ALIKIBA ALIOMBA NA KUSAMBAZA MWENYEWE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 152

  • @sshaby52
    @sshaby52 5 ปีที่แล้ว +12

    Kama bado unacheki iyi interview ya kizazi hadi 2019 Nov. ngonga like twende sote

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 6 ปีที่แล้ว +22

    Yani anajielewa huyu manager na hataki mchezoo aya kama unamkubali sallam na wcb wote gonga like hapa..+254 Mombasa

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 5 ปีที่แล้ว +1

    love that simzindikizi mtu kwenye utajiri money talk alright!?
    Got nothing for free nimependa hiyo.. We love u SK xxx London

  • @soljtv4123
    @soljtv4123 6 ปีที่แล้ว +3

    Mature answers from salam sk 🔥 🔥

  • @noelmangoma6197
    @noelmangoma6197 6 ปีที่แล้ว

    mjomba lil omy nashukuru kwa energy na insparation unayonipa siku nitakutana na ww

  • @juanitaokech4136
    @juanitaokech4136 6 ปีที่แล้ว +7

    Such a good interview. I rarely sit up through an interview but I did. Brains at work, I see y WCB is doing so fine

  • @kancelarmnyolow6766
    @kancelarmnyolow6766 6 ปีที่แล้ว +3

    ommy kudos Kati ya interview zako huwa umefanya utafit WA Hali ya juu.. Kazi njema nzuri bro

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +67

    Yaan kama unawakubali WCB kwa ujumla acha ubishi acha majungu gonga like yako hapa

    • @6tv908
      @6tv908 6 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/U5sTJPOcGDo/w-d-xo.html
      hiyo link moja kat ya intervie ya smba

  • @mbwanaomary7537
    @mbwanaomary7537 6 ปีที่แล้ว +5

    Akili kubwa sana big up salam sk

  • @jrwizzy1883
    @jrwizzy1883 6 ปีที่แล้ว +10

    Li ommy huwaa ukoseii interview zako hatariii 👏👏👏👏

  • @michaeljeremiah634
    @michaeljeremiah634 6 ปีที่แล้ว +3

    Baila..mil 4..iyena 8.9 kama sikosei tambwe kizazi xana...mzee..salute kwako ...mvp

  • @williamuzale4578
    @williamuzale4578 6 ปีที่แล้ว +4

    Duuuh sk nomaaaaa♨

  • @maryamammar1702
    @maryamammar1702 6 ปีที่แล้ว +2

    Manager mwenyewe 😍😍😍

  • @wawukweliaisha8414
    @wawukweliaisha8414 6 ปีที่แล้ว +5

    kizazi sana🙌🙌

  • @morgan0016
    @morgan0016 5 ปีที่แล้ว +1

    My fav from 254 cessbeauty kwa fb. Love saalam 2 death.

  • @shechow_tz6827
    @shechow_tz6827 6 ปีที่แล้ว +2

    my role model #LilOmmy

  • @yohanakedimon990
    @yohanakedimon990 6 ปีที่แล้ว +6

    pamoja sana liliomy kizazii sana man

  • @timothyjackson2961
    @timothyjackson2961 6 ปีที่แล้ว +11

    Nachomkubl lilommy uwa anachimba xana v2 thats how presenters are supposed to be👊👊👊

  • @gideonkabyemela3744
    @gideonkabyemela3744 6 ปีที่แล้ว +4

    kizazi sana Ommy...such a very conc (Fcu 25) questions..

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 6 ปีที่แล้ว +3

    Jaman naomben namba ya huyu Kaka,nampenda jaman(Ommy)

  • @hababoytv788
    @hababoytv788 6 ปีที่แล้ว +10

    Sallam SK🔥🔥🔥

  • @zahoorzozo2241
    @zahoorzozo2241 6 ปีที่แล้ว +3

    Pa 1 Lilly Ommy 😙😙

  • @davidseleman5060
    @davidseleman5060 6 ปีที่แล้ว +3

    sallam.......he is so brave aiseeee

  • @omarngala396
    @omarngala396 6 ปีที่แล้ว +8

    sallam SK wewe nimkweli broo

  • @salmamohamed4678
    @salmamohamed4678 6 ปีที่แล้ว +2

    mtu mwenye akili big up kaka

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +4

    Big up

  • @thomasndumila4382
    @thomasndumila4382 6 ปีที่แล้ว +3

    Kizazi sana in #lilommy voice

  • @salimsiri5735
    @salimsiri5735 6 ปีที่แล้ว +2

    nice bro lilommy

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 6 ปีที่แล้ว +32

    Yani wwe lil ommy akuna kama wwe interview zako ziko juu nikiwa 🇰🇪🇰🇪🙏🏽

    • @6tv908
      @6tv908 6 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/U5sTJPOcGDo/w-d-xo.html
      hiyo link moja kat ya intervie ya smba

    • @LilOmmyTV
      @LilOmmyTV  5 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja sana. Asante kwa luv na sapoti

  • @عزامشيخ
    @عزامشيخ 6 ปีที่แล้ว +5

    Kazi nzuri sana kaka

  • @munnymunny7299
    @munnymunny7299 6 ปีที่แล้ว

    My best presenter

  • @boasmbwaga8362
    @boasmbwaga8362 6 ปีที่แล้ว +1

    bg Up lili omy

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 6 ปีที่แล้ว +5

    Wcb for life 🔥🔥

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 ปีที่แล้ว +38

    MANAGER MWENYE AKILI, ANAJUA INTERTAMENT, ANASWAGGAZ, ANAJUA KIPI CHA KUONGEA NN,NA NN SIO CHA KUONGEA!!! WENGINE TUJIFUNZE HAPA AISEH!!

    • @6tv908
      @6tv908 6 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/U5sTJPOcGDo/w-d-xo.html
      hiyo link moja kat ya intervie ya smba

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 6 ปีที่แล้ว +2

      Benson Frank kweli sana bro

  • @halimambwego7706
    @halimambwego7706 6 ปีที่แล้ว

    Nice boss

  • @jumambuto8980
    @jumambuto8980 6 ปีที่แล้ว +8

    kizazi sana hiyo Tambweeeee ✊✊✊

    • @maryamoman1631
      @maryamoman1631 6 ปีที่แล้ว

      JUMA MBUTO sana ningeipata ningeweka ring tone

  • @hashimmahdi4101
    @hashimmahdi4101 6 ปีที่แล้ว +6

    Dah,Tambweee first view,first comment.....

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว +4

    Kizazi sana

  • @yusuphomary5464
    @yusuphomary5464 6 ปีที่แล้ว +7

    Jamani mmeona T-shirt ya salam imeandikwa BUMBU

  • @Kibitiyetu1
    @Kibitiyetu1 6 ปีที่แล้ว +10

    Tabweeeee show kali sana

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 6 ปีที่แล้ว +4

    Manager mkali saana

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 6 ปีที่แล้ว +5

    ya kizazi sana kama k +254 nawakilisha

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 6 ปีที่แล้ว +4

    Actually×100 amejibu vizuri sana

  • @moestunnertv2582
    @moestunnertv2582 6 ปีที่แล้ว +2

    Lil ommy interview zako kali aisee

  • @alexkush9385
    @alexkush9385 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa anajielew kinomaaa

  • @mrskenny905
    @mrskenny905 6 ปีที่แล้ว +2

    Nakuamini san LilyOmmi TV

  • @kakuhassan4734
    @kakuhassan4734 5 ปีที่แล้ว

    uko safi,nlitaka kujua iyo kofia utavaa adi njee au ndani tu apo studio.

  • @kingsimbahh8458
    @kingsimbahh8458 6 ปีที่แล้ว

    Aiseee

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 5 ปีที่แล้ว +1

    Nilifikir interview mpya 😃😃

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice Show I Have EVER Love
    This Guy Is Genius #TAMBWEE
    Leo Umewakaa mzee🙌🏽♥️🙌🏽♥️🔥

  • @baimbaramadhan424
    @baimbaramadhan424 6 ปีที่แล้ว +9

    Actually 😂😂😂😂😂

  • @munnymunny7299
    @munnymunny7299 6 ปีที่แล้ว

    We jamaaa unajua sanaaaaaaa

  • @happinessmdaki3367
    @happinessmdaki3367 6 ปีที่แล้ว +7

    Aliposema zari atakuwa jini mbna sijaona

  • @adamwaziry2253
    @adamwaziry2253 6 ปีที่แล้ว +2

    We here.2 tambweeee

  • @joshuamkupi1694
    @joshuamkupi1694 6 ปีที่แล้ว +3

    Hehe pitia account yangu uone Zari alivomjibu sallam

    • @daudijuma9093
      @daudijuma9093 5 ปีที่แล้ว

      Mbn skuon kit ebuu pig screenshoot nione

  • @aimanabwedu7047
    @aimanabwedu7047 5 ปีที่แล้ว

    Mr actually......

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +13

    **Lil ommy interview zako ni za kibabe yaani ziko vizuli

  • @sarahmukangura7154
    @sarahmukangura7154 6 ปีที่แล้ว +13

    Too much actually my God

  • @afmabeat9567
    @afmabeat9567 6 ปีที่แล้ว +1

    Siku hizi unayumba sana na hizo heading zako. Sasa hapo zari na ujini uko wapi?! Au na wewe ni walewale wanaoandika heading Za diamond ft alikiba halafu ndani ni msondongoma!
    You are great now mzee. Hizo ni vitu vya youtube beginers. Jifunze kwa waliotangulia. Achana na hawa mawaki wa siku hizi. Weka title inayoweza kuwa observed na inayoreflwect yaliyomo. Usituunganishie maneno ya interview ukatoa sentensi ambayo hata haina uhalisia.

  • @irenelucy6349
    @irenelucy6349 6 ปีที่แล้ว +3

    W.c.b. forever

  • @amosmsafi3528
    @amosmsafi3528 6 ปีที่แล้ว +11

    Salam malza gogoro na mavoko bro tunataka music 🎶 malumbano si kitu poa kwa hatua mliyopo wcb forever

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 6 ปีที่แล้ว +5

    is like actually your favourite word. actually, actually actually

  • @MibobaBaha
    @MibobaBaha 6 ปีที่แล้ว +1

    iyena 8.7M views brother

  • @godfreyakyoo5359
    @godfreyakyoo5359 6 ปีที่แล้ว +3

    kizazi sana tambweeee

  • @iddafr7171
    @iddafr7171 6 ปีที่แล้ว +2

    tuletee seven umfanyie interview

  • @bukaone7507
    @bukaone7507 6 ปีที่แล้ว +1

    Lil Ommy & Salam mko vizur sana.

  • @hawashabani6150
    @hawashabani6150 6 ปีที่แล้ว +4

    Penda.sana simba

  • @CLASSICTVONLINE1969
    @CLASSICTVONLINE1969 6 ปีที่แล้ว +2

    Gonga like nakukubali

  • @baroamani4420
    @baroamani4420 6 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @nzwallahprince2616
    @nzwallahprince2616 6 ปีที่แล้ว +4

    mambo

  • @devicedodo9781
    @devicedodo9781 6 ปีที่แล้ว

    #Liomy Noumaa san

  • @bothinabothina3603
    @bothinabothina3603 6 ปีที่แล้ว +3

    9689 nakupenda bure unauliza swali za maana omani tunakupenda lil omy

  • @abibumlotwa2722
    @abibumlotwa2722 6 ปีที่แล้ว +2

    Sana Mzee baba

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 6 ปีที่แล้ว +5

    yah walau kinaeleweka wakubwa kama hawa wakizungumza.

  • @brightonvalentino9024
    @brightonvalentino9024 6 ปีที่แล้ว +3

    TAAAMBWEEEE UMENILETEA MTU MUHIMU SANA WCB KAZI NZURY BILA HUYU NA BABU TALE WCB TUSINGE TOFAUTISHA NA WEUSI

  • @semendonatusi1071
    @semendonatusi1071 6 ปีที่แล้ว +2

    dar nimependa hiii

  • @arnoldkimbory4193
    @arnoldkimbory4193 6 ปีที่แล้ว +4

    Show ya kizazi

  • @innocentisakala6179
    @innocentisakala6179 6 ปีที่แล้ว +4

    Viewer wa 5 💪💪💪😂

  • @ginnimoreno6239
    @ginnimoreno6239 6 ปีที่แล้ว +40

    simsindikizi mtu kwenye utajir

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

    Tambweee!!!

  • @jamboproductsjambo1452
    @jamboproductsjambo1452 6 ปีที่แล้ว +4

    Tambwee mmnyemaa

  • @omarmwalile543
    @omarmwalile543 5 ปีที่แล้ว

    Kweli siovyema kumsindikiza mtu kwenye utajir.

  • @wakuchoramasatu1518
    @wakuchoramasatu1518 6 ปีที่แล้ว

    seeN

  • @tariqissa5083
    @tariqissa5083 6 ปีที่แล้ว +4

    Kama umemuona whozu katika laptop gonga like

    • @denicefrances9099
      @denicefrances9099 6 ปีที่แล้ว

      mmh kwn yule ni whoz?

    • @tariqissa5083
      @tariqissa5083 6 ปีที่แล้ว

      Denice Frances angalia kwenye laptop ya Lily ommy

  • @bachirncadebachir7099
    @bachirncadebachir7099 5 ปีที่แล้ว

    mozambiki colours ilifanyika na Liza jems in portuguese

  • @wilymsumary6263
    @wilymsumary6263 6 ปีที่แล้ว +5

    Mtu mwenyeakil xake timamu simbaaaaaaaaaàaåāäääääääää

  • @fadhiljnr2686
    @fadhiljnr2686 6 ปีที่แล้ว +3

    Kijana wa kiislamu ana advertise #Bumbu mungu atuongoze sote inshaAllah

  • @ibrahimgreyson7829
    @ibrahimgreyson7829 6 ปีที่แล้ว +5

    Amann sindioo

  • @mussansoleziplutnumz2097
    @mussansoleziplutnumz2097 6 ปีที่แล้ว +2

    Iyena ina views m8 bhana

  • @salmamassoud9863
    @salmamassoud9863 6 ปีที่แล้ว +4

    maswali yako pambe

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe Salaam aitwa Mende?

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 6 ปีที่แล้ว +3

    Tambwe

  • @ithurttolovesomeone
    @ithurttolovesomeone 6 ปีที่แล้ว +2

    JIUNGE NA GROUP LA WHATSAPP LA GIGOLO NA STRIPER 0710609844 UPATE HUDUMA ZURI NA UINGIZE PESA NYINGI

  • @nicksape6598
    @nicksape6598 6 ปีที่แล้ว

    wcb 4 lif3

  • @fatumabhallo8518
    @fatumabhallo8518 5 ปีที่แล้ว

    Kwa nn mnapenda kutafunatafuna mkihojiwa huo ni ujinga

  • @lyeesanchez3725
    @lyeesanchez3725 6 ปีที่แล้ว +2

    Tambweeeeeeeeee

  • @dontusethis481
    @dontusethis481 6 ปีที่แล้ว +3

    Ajira shida kweli bofya hapa
    th-cam.com/video/PmIISWHAK0o/w-d-xo.html

  • @rahmar4728
    @rahmar4728 6 ปีที่แล้ว +5

    Meneja acha porojo kama wahana ugomvi wafanye colabo ili kutuminishia mashabiki kuwa alliy na daimondi hawana beef

    • @ibrahimdaffa1208
      @ibrahimdaffa1208 6 ปีที่แล้ว

      Rahma R hasindikizwi mtu kwenye utajiri, wimbo utakuwa wa nani na nani amlipe mwenzake?

    • @mikehjackson6185
      @mikehjackson6185 6 ปีที่แล้ว

      Rahma R una upeo mdogo sana wa kufikir kwaiyo collabo ndo kiashilia cha kutokua na ugomvi ?

    • @issasalimu6532
      @issasalimu6532 6 ปีที่แล้ว

      Rahma R Rahma hahahaaa naona kakithembe hakajawai kukuacha salama mamaaa wahanaaa=hawana

    • @rahmar4728
      @rahmar4728 6 ปีที่แล้ว

      Mbna mapovu jaman

  • @rongemwibe1873
    @rongemwibe1873 6 ปีที่แล้ว +2

    Unamaswali mazuri sana

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 6 ปีที่แล้ว

    INA million 8 cyo NNE bwana