MSANII WANGU ANATAKA MSAFARA, BADO PIKI PIKI MBILI / PRIVATE JET IMEBAKI 80% / ACHA WAONGEE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 352

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +13

    DIAMOND 💎🔥 Anajua kutesa wapmbavu mwaka huu kuna watu watatembeza matako njee

  • @letshavealiltalk2313
    @letshavealiltalk2313 3 ปีที่แล้ว +7

    I love lil ommy anauliza bila uoga tofaut na wengine wakihoj boss zao

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 ปีที่แล้ว +61

    Hapo uliposema gari ikiwa na kilomita 100.bado mpya uko sawa kabisa

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 3 ปีที่แล้ว +8

    This is what brilliance looks like.. Eh he's really smart. Nmerudia hizi clips za interview zake mara nyingi kwa sababu I'm even learning in the process. Ukiwa na manager kama huyu lazima tu utaendelea kutajirika 🔥🔥

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +22

    Na kupendaga salam unawanyoshaga maneno ALLAH akuzidishiye umri na barka katika jobs zako from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦

    • @barkaaaalnahdii2109
      @barkaaaalnahdii2109 3 ปีที่แล้ว

      Unaweka bendera sudia ww sio msudi usiweke bendera wakati ww mtnz acha nchi zawatu hawana ujinga kama ww

  • @jerryjackson3464
    @jerryjackson3464 3 ปีที่แล้ว +2

    Msifedheheke haya ndio maisha mazuri ambaya kila mwanadamu anapaswa aishi...tatizo ni kwamba mmoja akipata wengine matatizo yana wapata!! Natoa hongera kwa yoyote mwenye mafanikio!! Hayaa mi naenda zangu 🚶

  • @sirallantoiske6250
    @sirallantoiske6250 3 ปีที่แล้ว +12

    Very genius person... One of my Role Models.. #SKSalam 🇰🇪🇰🇪🌅

  • @mghazas9858
    @mghazas9858 3 ปีที่แล้ว +11

    SALLAM SK. NAKUFAGILIA Sanaa. BigupBRO

  • @janetsesay8928
    @janetsesay8928 3 ปีที่แล้ว +20

    Wcb for life

  • @delickpesambili3732
    @delickpesambili3732 3 ปีที่แล้ว +8

    Dah !! WCB for life ase 👏🏿👏🏿👏🏿team WCB Like kama zote

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakukubali kwenye majibu huwa hapindi jamaa. Wakere tu bro salama

  • @Kevin_acee
    @Kevin_acee 3 ปีที่แล้ว +3

    DIAMOND IS ON HIS OWN LEAGUE! PERIOD...!

  • @hamidumuhammad5607
    @hamidumuhammad5607 3 ปีที่แล้ว +18

    Wcb4life daimond platnam baba lao iyo wa iyona iyo

  • @awadhjamal3430
    @awadhjamal3430 3 ปีที่แล้ว +37

    Hii show ya moto sanaa

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 ปีที่แล้ว +87

    Mashallah Diamond anahela na nusu ilicho bakia amnunue King Kiba na family yake yote🤣pamoja na Konde gang🙄👈🤣🔥

  • @kolokokoloko9276
    @kolokokoloko9276 3 ปีที่แล้ว +5

    Sallam sk yuko vzr sana kwenye kuwanyoosha haters

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 ปีที่แล้ว +2

    Simba anajuwa kuwakomeshaa wapinzani 👉💎💎💎🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌😀😀😀😀

  • @subraissiaka6440
    @subraissiaka6440 3 ปีที่แล้ว +16

    Kizazi sana lil ommy👌👌

  • @lexq-sm6lq
    @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +16

    Yani uki muangalia Sallam..
    Amekaa ki hela hela tu🔥🔥

  • @smootkizy_jr
    @smootkizy_jr 3 ปีที่แล้ว +42

    Aaha majibu ya #SalamSK ni ya kisomi zaidi mwenye akili atamwelewa tu #wcb for life.
    #garizimekuacm 😂

  • @agnesollie753
    @agnesollie753 3 ปีที่แล้ว +1

    Diamond 💎 Kila siku kumbuka wimbo wako wa kimya kumbusha mdomo ukukome🇰🇪🙏❤️

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana salam wewe ndio unaejua mambo ya kishua

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 3 ปีที่แล้ว +7

    Salim he so smart.....

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndege ije jamani h mama atembeee unchi 🙊🙊

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 3 ปีที่แล้ว +4

    diamond platinum SIMBA wa Afrika

  • @salimmtama9303
    @salimmtama9303 3 ปีที่แล้ว +2

    Naeza mpa Hi Mondi alafu nisimpe Salam Sk..... acha wakabishane na TRA...

  • @lucasmsangalawe4254
    @lucasmsangalawe4254 3 ปีที่แล้ว +4

    2nakubaliii sana SIMBAAA

  • @ashazaidi9068
    @ashazaidi9068 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm binafsi nakubali ximbaa mpaka kufa hakuna kama yeye

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 ปีที่แล้ว +15

    watajuwajeeee😘🥰😍😍

  • @fficiallymasue1903
    @fficiallymasue1903 3 ปีที่แล้ว +22

    Only one chibu D platnumz diamond leteni mavituz 😂

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 3 ปีที่แล้ว +10

    From Lusaka zambia Daimond platnumz is the best

  • @ItsLeonel
    @ItsLeonel 3 ปีที่แล้ว +3

    Management ya Diamond noma sana bro

  • @adambabu687
    @adambabu687 3 ปีที่แล้ว +11

    Nakubali

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 3 ปีที่แล้ว +19

    Wabongo ni wivu unawasumbua tu hamna lingine,kama gari ni fake si lake kwani amekupa?mtakufa masikini juu ya wivu,mwafatilia maisha ya mtu kana kwamba mulimuongezea pesa ya kununuwa hilo gari

    • @yussufyrn1590
      @yussufyrn1590 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza in the world hakuna mjinga wakununua kitu fake cha billion mpk ju hakun

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +1

      Ujinga n kwamba walikuwa hawaamini kama mwamba anaweza kununuaa

    • @Roncita-c5k
      @Roncita-c5k 3 ปีที่แล้ว

      @@yussufyrn1590 imagine and am even wondering mange anaishi ulaya ila she behave like illiterate gosh,wamemkwamilia diamond kana kwamba walimpa pesa awaletee Rolls Royce akawanunuliwa yenye hawakutaka

    • @Roncita-c5k
      @Roncita-c5k 3 ปีที่แล้ว

      @@afterfull-time1348 yaani wanaboa kinoma kila siku nikufatilia maisha ya watu,umasikini ni ugonjwa mbaya sana

    • @delilahbutterwick9789
      @delilahbutterwick9789 3 ปีที่แล้ว +1

      Sharon channel Hapo chacha

  • @letshavealiltalk2313
    @letshavealiltalk2313 3 ปีที่แล้ว +3

    Salam mswahili khaaaa😂😂😂😂😂wangemuhoji kwenye mashamsham ndo angechamba vzr😂

  • @makatym6151
    @makatym6151 3 ปีที่แล้ว +5

    Salam is smart upstairs

  • @pinochio5465
    @pinochio5465 3 ปีที่แล้ว +7

    Akina mwijaku mhaho unawahusu mwaka huu lazima waugue uchizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sharinv8864
    @sharinv8864 3 ปีที่แล้ว +5

    Kushabikia wcb ni raha pongezi salaam wacha waongee maneno yao ni kelele tu .

  • @mosessichone3628
    @mosessichone3628 3 ปีที่แล้ว +1

    Diamond platnumz is the best from mpika zambia

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 ปีที่แล้ว +13

    WCB for life 🔥🔥🔥🔥

  • @nangehtz35
    @nangehtz35 3 ปีที่แล้ว +15

    Uyuu jamaa anahakili konoma

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu salam sk namkubali sanaa

  • @raisimseveni1955
    @raisimseveni1955 3 ปีที่แล้ว +6

    #hbaba get read to walk nicked 😀😀😀😀 #mwanza to #daresalam,,,private jet is on right now

  • @jamesdube8119
    @jamesdube8119 3 ปีที่แล้ว +10

    Cool

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 ปีที่แล้ว +20

    Hii show iko motooo sana

  • @lavidaloca_255
    @lavidaloca_255 3 ปีที่แล้ว +6

    #Wasafimedia niwakosoe kidogo hajasema privet jet imebaki 80% kasema imekamilika 80%

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +7

    🛩 Mwijaku na H Baba wata 💩 💩 💩 hadi Burundi na Congo 😛😛😛

  • @johnmogope8520
    @johnmogope8520 3 ปีที่แล้ว +15

    Wcb 4life

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 3 ปีที่แล้ว +17

    Ombeni nanyi mtapewaa😂😂😂😂

  • @wissobacarsabila1228
    @wissobacarsabila1228 3 ปีที่แล้ว +17

    Lê grande Mendez

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 ปีที่แล้ว +3

    Simbaaaaaaaa.

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 3 ปีที่แล้ว +2

    Boss kama bosss anaanga umbea

  • @athanacedward7803
    @athanacedward7803 3 ปีที่แล้ว +3

    Maneger kama menager watajuajee sasaa bila kuwajuzaa

  • @rinoxkatambi5541
    @rinoxkatambi5541 3 ปีที่แล้ว +7

    sipendi vile @lil ommy anavyosemaga oyeaah

  • @austinesautisolnamipendasa3856
    @austinesautisolnamipendasa3856 3 ปีที่แล้ว +1

    Best manager

  • @azizikassimu3676
    @azizikassimu3676 3 ปีที่แล้ว +3

    Chibu niwakimataifa💪💪💪

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว +3

    Kizazi sana hii show

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 3 ปีที่แล้ว +1

    Korosho lazima atoe pesa maana ni mjeur na hn shukurani panya yule

  • @officialjox_ninja9704
    @officialjox_ninja9704 3 ปีที่แล้ว +13

    Salamu sk 🤔

  • @jumbebakari1364
    @jumbebakari1364 3 ปีที่แล้ว +1

    Biashara ya pweza inalipa usione aibu njoo ujifunze namna pweza anavyo andaliwa kachori ngisi dagaakamba samaki taa kaa na pilipili ndan ya siku 3 tu ushajua tufollow kwenye peg yetu au whatsap no 0688297307🦐🦞🦑🦀🐟🐠🐙🐳🐬🐡

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 3 ปีที่แล้ว +8

    Kuhusu msafala asijali kila binadamu ataupata msafala ni hakiyetu kupata msafala sote

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Kula sumu ufe mamae huyu ndo Mond kiboko wa kunyoosha wapumbavu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว

    Swali zuri *Ammy girl* mimi kiukweli Sallam sikukubali.

  • @willyclassic9263
    @willyclassic9263 3 ปีที่แล้ว +2

    Kutafuta hela natumia ngv nying bado kuwaaminisha watu kwamba na hela nayo ntumie nguvu tena jamn duh

  • @davidmwango9388
    @davidmwango9388 3 ปีที่แล้ว +5

    show kali sana

  • @jackstar508
    @jackstar508 3 ปีที่แล้ว +12

    Kwanini asimnunue kiba awe chawa wake😹😹

  • @shootershilcon8307
    @shootershilcon8307 3 ปีที่แล้ว

    Nyiye waongo ivi cheni kaziposti iko dukani sasa gari imewashinda kupost 🤣🤣🤣🤣

  • @nadedgirls7489
    @nadedgirls7489 3 ปีที่แล้ว +65

    Mimi wa burundi nawafata vizuri sama, mimi wa 29 ku views nipe like

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +15

    Kumbe Rolls Roys Toka Dubai?leta hizo mbili…daaah

    • @nancychuwa9629
      @nancychuwa9629 3 ปีที่แล้ว +1

      Cjui mnamuelewa

    • @theoblesslesaf1285
      @theoblesslesaf1285 3 ปีที่แล้ว +1

      Dubai ni wakala tu.ndomaana magari mengi yanauzwa dubai sio yanatengenezwa dubai kule yanaenda kuuzwa tu.

    • @camistechnology2091
      @camistechnology2091 3 ปีที่แล้ว +1

      Napia Dubai hununua magari Sana Japan kuja kufanya modifikesheni nivyema wange nunua uingereza na japan

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 3 ปีที่แล้ว +12

    Sk we mkali

  • @yohanajuma7183
    @yohanajuma7183 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji mkubwa unamilikiwa bora milad we kele2

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nashangaa sana.
    Mbona watu wengi wananunua magari na hamtaki uthibitisho.
    Why Diamond? Nawashangaa Wasafi nao kuna ulazima gani kutumia mda mwingi kuwathibitishia
    watu hao wakiwa kama wakina nani

  • @sebastianfesto8777
    @sebastianfesto8777 3 ปีที่แล้ว +14

    Ndio mkuuu

  • @ibraimomomademomade5159
    @ibraimomomademomade5159 2 ปีที่แล้ว

    Sisi wcb wasafi 4life oeeeeé

  • @prosperkiller9679
    @prosperkiller9679 3 ปีที่แล้ว +10

    Nouma sanaa 🤟🏽🤟🏽🤟🏽

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 3 ปีที่แล้ว +2

    #MANGE KAMA #MangrKimambi 🙌🙌🙌🙌

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 3 ปีที่แล้ว +4

    Daimond ni kiboko yao watanyooka tu waliosema watatembea uchi wajitayalishe sasa 😊😀daimond ni jembe wakubali wakatae daimond ndiyo baba yao

  • @ramadhanhamisi7405
    @ramadhanhamisi7405 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa mwanangu faida

  • @dxhkitengela5454
    @dxhkitengela5454 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndovu ni kuuu

  • @rashidmashaka1264
    @rashidmashaka1264 3 ปีที่แล้ว

    Omy upo vizuri sana

  • @abdallasuleiman6414
    @abdallasuleiman6414 3 ปีที่แล้ว +1

    Don Mendez kiboko ya mabishoo 🔥🔥

    • @bensonmwakasanga9316
      @bensonmwakasanga9316 3 ปีที่แล้ว

      Kwamipangohiyonilazima wenyewivumjinyonge au lasivompasuke jamaanyotaimewaka

  • @anjunurdin2392
    @anjunurdin2392 3 ปีที่แล้ว

    Dada huyu mh kweli kiboko hataki kushindwa anataka amshinde Lily Ommy.

  • @chayoamaeda7955
    @chayoamaeda7955 3 ปีที่แล้ว +1

    salami hao wanao ongea hawana jipia na ilivyo lazima waseme kuhusu diamondi ili waonekane hawana lakusema

  • @albs1448
    @albs1448 3 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo it's TRUE imetokea Dubai

  • @franciswabukalaloveitkeepu9009
    @franciswabukalaloveitkeepu9009 3 ปีที่แล้ว

    Busy listening to sorry ya Jeshii

  • @agustinonwaka2089
    @agustinonwaka2089 3 ปีที่แล้ว +11

    Halafu kuna watu wanasema eti Akothee kamzidi Simba hela.. si vichekesho hivyo

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 ปีที่แล้ว +3

      Kwahyo yeye kununua misafara ndo wengine hawana pesa wee jamaaa aiseeee...tunaweza kuwa wote showroom mm nikanunua vits nawewe ukanunua Range lakin mm nikawa nimekuzidi pesa.kwahyo kununua misafara kusikuchanganye mzee.

    • @leeldavid3712
      @leeldavid3712 3 ปีที่แล้ว

      Uwezi linganisha value ya pesa za tz na value ya pesa za Kenya...most probably akothee anamshinda period

    • @agustinonwaka2089
      @agustinonwaka2089 3 ปีที่แล้ว +1

      @@leeldavid3712 utajir wa mtu unapimwa in term of us dollar hamna cha ksh or tsh.. umenielewa

    • @godfreymbwambo4460
      @godfreymbwambo4460 3 ปีที่แล้ว +2

      Everything is pegged at dollars, and not at Ksh. or Tsh.! Japanese yen is weaker than Ksh.! WHAT DOES IT MEAN? IT'S SIMPLE ARITHMETIC, CALCULATE AKOTHEE'S FORTUNES IN DOLLARS AGAINST DANGOTE!!

    • @agustinonwaka2089
      @agustinonwaka2089 3 ปีที่แล้ว

      @@godfreymbwambo4460 waeleweshe waelewe hao

  • @muddyrasta1933
    @muddyrasta1933 3 ปีที่แล้ว

    H baba ni chawa tu kwani anaongeya nini kuhusu DIAMOND

  • @wilsonshailla7237
    @wilsonshailla7237 3 ปีที่แล้ว

    Umarekani umeanza kuwa mwingiiii😀

  • @mirromsodoki2777
    @mirromsodoki2777 3 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi nichama kubwa

  • @bonnyvanny8321
    @bonnyvanny8321 3 ปีที่แล้ว +2

    chibuuuu🔥....nipen likes zangu😋

  • @karengaoso2356
    @karengaoso2356 3 ปีที่แล้ว

    BLUE HAKUNA 2021 ACA KUTU CUKURIA MAFARA SISI

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 3 ปีที่แล้ว

      We ndo fara kwelikweli Nani kakwambia Rolls Royce Cullinan Black Badge 2021 hakuna Ya Rangi ya Blue?,Muwe mnatembelea na official page ya Rolls Royce mnajionea na sio kumezeshwa ujinga nanyi mnaamini bila kufanya research

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 3 ปีที่แล้ว +1

    Hichi ndio tuncho kitaka wasafi tujue kinachoendelea ili tuwe live na maisha msiwe mnatusahau coz manyan'gau yatatunyakua jamani ya yanaspidi. na wamesahau sisi n engine vya ndege tena sio ndege tu ila ni dege la jeshi la ulusi linaloganda hewani wasafi muendelee kuwepo.unajuwa amna kitu kizuri kama kuona maendeleo kwa kile unacho kisimamia jamani nimeisimamia kama fan n zaid ya miaka kumi tukiavha leo TH-cam iko on air nikitambo amna ata tachi tuko na mondi sio leo acha wadie mjua diamond leo, hicho ni chuma

  • @anasdahir2776
    @anasdahir2776 3 ปีที่แล้ว +2

    Even in kenya....feki iko
    Hiyo ya RR NI FEKI

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Kenya n masikin wa pesa hadi Akili hawatusumbui🤣🤣

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 3 ปีที่แล้ว

      Feki ipi?

    • @hafidhsalim1077
      @hafidhsalim1077 3 ปีที่แล้ว

      @@afterfull-time1348 kenge wewe

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      @@hafidhsalim1077 unafirwa na Babaako mbweha ww

    • @hafidhsalim1077
      @hafidhsalim1077 3 ปีที่แล้ว

      @@afterfull-time1348 wewe ndiyo unayefirwa unasemaje kenya ni maskini wakati uchumi wetu umezidi wenu

  • @GsmMrsoft
    @GsmMrsoft 3 ปีที่แล้ว +2

    Big show

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว +9

    Hivi uyo ray haongei

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 3 ปีที่แล้ว +5

    Burudan kwel2

  • @ahmedmatic3152
    @ahmedmatic3152 3 ปีที่แล้ว +2

    Dunia tunapita tuu ayoo magar hawez zikwa nayoo ni upuuzi tufany ibada tukale maisha peponi

  • @jumannerajabu5019
    @jumannerajabu5019 3 ปีที่แล้ว +4

    kama ninyewe kweli bei ni dollas 350000 kwa kule kwa pesa ya tz kama sikosei mil 750 na chenchi kidogo kwaiyo mpaka ikifka tz itakua mzigo mnene

  • @mawazomdemu5169
    @mawazomdemu5169 3 ปีที่แล้ว +4

    Kipindi kipo vzr sana

  • @hishamchege9091
    @hishamchege9091 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyo dem anaongea sanaa kweli..

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 3 ปีที่แล้ว

    ONEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE WCB ONE DIAMOND