SALLAM SK SIWEZI KUA MENEJA WA HARMONIZE LABDA ARUDI WASAFI AMKATAA WAZIWAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @salumuhamza3920
    @salumuhamza3920 2 ปีที่แล้ว +12

    Salam SK kweli unaondowa wasiwasi kwa wabongo wanao penda kiki kwenye media ,unaongea kweli fresh bro 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 2 ปีที่แล้ว +5

    Salam SK Leo Umenikosha sn bro 💯I U sanaaaaaaa. Ulinichanganya lkn weweeee

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 ปีที่แล้ว +2

    Mumuache Hamonize mashallah anajitahidi saana ❤️❤️❤️❤️

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 ปีที่แล้ว +1

    Slamu sky zuchu hafai kabisa hajuwe kuimba ana changanya hku hku kurukutu kurukutu iyo ndiyo nimbo iyo Mandy tha best saaana kuliko Zuchu Ali kiba amefanya vizuri katika americani ❤️❤️ l

  • @nosthantsalima4834
    @nosthantsalima4834 2 ปีที่แล้ว

    sawa sana Mendez ume ongea sana kwabusara

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 2 ปีที่แล้ว +1

    Harmonize will never come beck wcb
    He is great harmonize.salam be away

  • @dockaridk
    @dockaridk 2 ปีที่แล้ว +3

    You can't be harmonize manager,but you need to build someone/something from foundation,usifurahie kujiunga na kundi yenye imeendelea already, furahia kuwatoa watu chini hadi juu coz you can like you did for diamond.you going to be great than you think,yes, when you do business with low people lifting them up.hamna kujishusha eti unatoka lable iko juu kwenda lable ya chini believe you can man.

  • @frankfathertisa8907
    @frankfathertisa8907 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa mnamuuliza maswali poa sana uyu jamaa Ana mengi ya kutuambia . Angalia kipind cha salam na

  • @raymondkombe1624
    @raymondkombe1624 2 ปีที่แล้ว +5

    Hizi lebo za mziki zikiendeshwa kama football clubs tofauti za wasanii na wenye lebo zitaisha...

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 2 ปีที่แล้ว

    Salute Harmonize nyie wanafik

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp 6 หลายเดือนก่อน

    Diamond planumz big4 🌍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ThayzarTsonga
    @ThayzarTsonga 3 วันที่ผ่านมา

    We kuma sana

  • @mickyiron308
    @mickyiron308 2 ปีที่แล้ว

    usiseme ivyo maisha hubadilika unajua unapotokea hujui unapokwenda anaejua ni mola wako tu !!

  • @malihassan5910
    @malihassan5910 2 ปีที่แล้ว

    Wewe muongo salam muhuni

  • @kuluthummmetisha4630
    @kuluthummmetisha4630 2 ปีที่แล้ว

    Unajielewa sana umeongea vizuri sana endelea kuwa na hekima

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 ปีที่แล้ว +1

    Utajijuw mwenyew na kipala chako hiko

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 2 ปีที่แล้ว +1

    Harmo anajua ww boya Wala hatukutaki konde geng mda wake huu kila kitu kina mwanzo na mwsh

  • @malihassan5910
    @malihassan5910 2 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu wewe umetoma maisha magumu harmonize anakuzidi maisha

  • @shukirumahiki1013
    @shukirumahiki1013 2 ปีที่แล้ว +4

    Waandishi wahabari ndo mnagombanisha watu

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki we Mende kwenye show ya Hamo ulifata Nini? Eti unajishusha kwenda Konde mnafiki wewe Hamo kawaacha mbali kimuziki hamumkamati sisi washabiki ndo ndo tunajua wapi kuzuri kwa Sasa Konde mumuache kidogo mmemshindwa umemfata mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @malihassan5910
    @malihassan5910 2 ปีที่แล้ว

    Wewe una njaa tu mjinga

  • @mamamashauzi8150
    @mamamashauzi8150 2 ปีที่แล้ว

    Salam uko v zur bro

  • @lebomandala556
    @lebomandala556 2 ปีที่แล้ว +1

    Salute salamu

  • @sadhamis5463
    @sadhamis5463 2 ปีที่แล้ว

    Mbona mnaongea uongo sana au wote media za Bongo mnataka kumuangusha HARMONIZE ktk mziki ila mpeni HAKI YAKE HARMONIZE ktk mziki.

  • @fuadmohanna1089
    @fuadmohanna1089 2 ปีที่แล้ว +1

    We have better managers

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 2 ปีที่แล้ว

    Upuuzi toka kwa mpuuzi

  • @chongolee1426
    @chongolee1426 2 ปีที่แล้ว

    Kasema lini .
    Ok ok ok ok
    Tembooooo
    Wake mkongaaa

  • @zaituneadremaneadremane5698
    @zaituneadremaneadremane5698 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 ปีที่แล้ว

    Hata sisi hatukutaki konde

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo 2 ปีที่แล้ว

    Hawezi kurudi WCb kabisa Hamonize na yeye Kisha fika mbali saaana hawezi kurudi teeena WCB Hamonize ata waziri WCB kama hamjamkomesha zuchu ana mzidi fitna 😂😂😂

  • @chongolee1426
    @chongolee1426 2 ปีที่แล้ว

    HAPO KENYE KUYAMALIZA
    KUYAMALIZA NINI
    WAANDISHI HAWAJUI POINT
    ZA KUKAMATA KONDEEEEEEE
    WAKE MKONGAAAAAAAAAAAA
    WAMESARENDAAAAAAAAAAAA

  • @salimomanjavilamanjavila603
    @salimomanjavilamanjavila603 2 ปีที่แล้ว

    Wabiye wenye roho kubwa mze

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 2 ปีที่แล้ว

    Ndio maana sasa hivi mumeona muende na sounds ya ASAKE kwa style hiyo mziki wa bongo hauwezi kuendelea hata kidogo

  • @adetonahsounkoura8038
    @adetonahsounkoura8038 2 ปีที่แล้ว

    SALLAMSK IS A TREAT I KNOW LON TIME

  • @opajumaismail8621
    @opajumaismail8621 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea pointi

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว +1

    Siyo lazima uwe konde gang bwanaa hatukutaki sisi konde gang tunajiweza tunajitegemea mbona tunasonga tu sallam sk unajikosha

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 ปีที่แล้ว +1

    salaa mtu wakutafuta pesa kisha pandishiwa dau na chi bu chibunda.achana na daimond.anaweza kuinunu hata kigamboni yote iwe yake.nilitaka nishangae atoke wasafi mmh wabongo mtuwache.

  • @huseinshaban9963
    @huseinshaban9963 2 ปีที่แล้ว +1

    nyie mnaweka watusawa au kuwagombanisha siokuwa wekasawa intavyuya hio niakinafk

  • @shamsanasserharith4998
    @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +1

    Aulizwe Harmonize na yeye labda hakutaki wewe pia mbona unamshusha Konde sio vizuri kutumia neno kujishusha kwani wewe nani hasa? Si binaadamu kama Harmonize. Leo unakuwa Manager kesho utakuwa mpiga mashuka pasi. Sijapenda kabisa majibu yako labda ungetumia lugha ya kistaarabu vipi wewe ?

    • @oledolokos802
      @oledolokos802 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyo hawagi mnafki kwenye majibu

    • @stevenchenga1978
      @stevenchenga1978 2 ปีที่แล้ว +1

      Salamu Sk kaongea ukweli uliopo na huwa hapendi unafiki xaxa unataka aongee kistaarabu kivipi wakati anaongea uhalisia ulipo kwa msanii wenu mnafiki

    • @shamsanasserharith4998
      @shamsanasserharith4998 2 ปีที่แล้ว +1

      Lugha aibadilishe this is what I mean. Aseme tu kama hatoweza better than kujishusha

    • @oledolokos802
      @oledolokos802 2 ปีที่แล้ว

      @@shamsanasserharith4998 ndio niku jishusha kwel

    • @garruwsuntilibreaththislif3681
      @garruwsuntilibreaththislif3681 2 ปีที่แล้ว

      Tofauti na ukweri huyu jamaa huwa haongei unafiki SEMA umemuelewa tofauti