BOB JUNIOUR: ALIKIBA NA MIMI TULIMZAA DIAMOND,ALIKIBA KANIFUNDISHA VITU VINGI KWENYE MUZIKI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
Hongera Sana Bob Junior kwa hekima kubwa.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻shukrani bob junior kwa kutulete simba himself 🔥🔥🔥🔥
Noma nimefurahi sana kusikia hivyo Bob na diamond wawapendaaa sana
Unaakili sana dogo M mungu awazidishie mapenzi wewe na SIMBA wako🙏🏽❤️
Aisee! bob umeongea vizuri sana ubarikiwe
Mkono Wa Bob Hauja Wai Kuozesha Nyama Bali Umeskuma Na Kuzalidha Mazao Makubwa Sana . Big Up Sharo #Bobjunior
King 👑 music ✌️
Mwenyezi Mungu akuzidishie bob junior
Mondi muheshimu sana kiba na sharobaro
Dakika ya 2 sekunde 20 mpaka 30 Hakunagaaaa😂😂😂🙌For Sure interview za Bob nazipenda Sana saivi namfatilia Sana broo😂😂🙌
😀😀
Nimeielewa sana yani pongez sana kwa bob
On trending♂️♂️💪
Sikieni neno la Bob junior fadhila ni Siri, hongera Sana Bob Junior kwa hekima kubwa,amesema fadhila hawezi kusema kafadhiliwa kwenye yapi.
Makini sana 💪👍💜
Wow mungu akufungulie hiyo miangaza
Unaroho safi sana bob
Bob junior umenena ukweli sana
Bob junior ni msenge kumbe
Mr chocolate uko nom sana
And sorry tô say só u grow my guy...
Bobjunior ninyoko aiseee😍😂😂😍
But bob Junior is too cute🙈🙈
Yupo deeee!
Bob unaakili sana
Naona kamvuta dem kamla denda katikati ya interview wameficha angalia dakika ya 8:37 🤣🤣🤣
Naona kamvuta dem kamla denda katikati ya interview wameficha angalia dakika ya 8:37 🤣🤣🤣
Bom trabalho
Bob eu ama vc muito só eu mama jamilah bonzo
Tranquilo muito eu
Ivi uyu bob junior anavuta bangi???
Yupo High 😂😂
Bob Junior ndo anatakiwa apambane ili afike level ya Lava Lava🙄🙄
Mwana ume unajisifu kua unakata viuno Sana 🤣🤣Umelalayooo
😂 😂 😂
Hahahahahahaha Huyo dem atakoma Ku date na Bob junior
Lava lava maskini wa watu 😭😂😂😂
Anaongea point sana ila sasa!!
Huyu mwamba anapenda sana chini
Njaaa mbaya
😂😂😂😂😂apo kwa kukatika viuno😅😅😅😅na uhandsome na 😅😅😅kupendwa na madem wazuri😅😅😅
👋👋👋👋👋
Huyo dada mbona kama anatumia carorait?Alafu sio mzuri kabisa
Lavalava na Alikiba😂😂😂😂
Mr misifa uzuri wa Bob junio hapo tayari asgapiga vyombo vingi so yeye Tena hapo
Bob junior uo uongo ulikuw nabifu na diamond Tena kipindi kile crauzi redio ndo mulikuwa munaongeleana mabifu acha uongo tunakumbuk sn
Kwa hiyo duu kamtongoza junior arafu kwa Maelezo huyu duu ndo katika wale madem zake wakali
Nishusheni kituo Cha mwisho 🧐
😀😀😀
Bob kond gang
Hakunagaaa😂😂🙌
Dem mwenyewe ana ahibu kinyama hataki kubusiwa
Huyu jamaa mental anaonekana hayuko sawa saiv
Kumbe uyu nae chawa😂😂😂
Jamaa anajipiga kifuaaaa ..
Ishi miaka mingi sharobaro hakika Umeua....
Moves majitu
Choko kweli ww unajisifia kama dem
Kwan ungemuacha demu home ingekuwa vibya alfu nguo siku nyingin mchagulie😄😄😄
Mtangazaji kumbe choko
Kweli kiba Kwanza mondi ndokafwata
msanii wa kwanza mwenye digrii tatu
Anasema kweli na ndiyo kweli yenyewe
Akosei
Mapenzi ni faragha, unapotaka kuwaonyesha watu tena harharani unataka nini, binadamu hupendelea kuonyesha vitu ambavyo ni vigeni kwake,. Unapotaka jamii ione kwamba uko na dem, maana yake bado unatuachia maswali watazamaji, maana Kwa tasnia ya habari siyo habari. Lakini unatufanya tutumie nguvu kubwa kufanya habari za kiuchunguzi, nini kimejificha baina yako. ..😆
Mbona mkali sn haipendezi ww m2 mzima saivi
Nc1
Kama shogaa,yani
Anapendwa na watoto wazuri harafu demu wake enyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mala 20 ndo amfikie wa kwangu
Naisi kamnyonya mate kwenye interview ndomaana wameficha jamaa sizan km havuti bangi 🤣🤣🤣
Kwaiyo wewe ndio Mama king Kiba ndio baba😂🤣🤣
psychological huyu hayuko sawa 😁
Naona kamvuta dem kamla denda katikati ya interview wameficha angalia dakika ya 8:37 🤣🤣🤣
Bob acha bangi
Kwa lava lava ujakosea kak
Hiyo alichofanya Bob Junior, kisaikolojia inatafsiri kitu fulani ambacho kimejificha kwake. Hiyo ni Defensive mechanism
Wewe ni Jiniazi kama Mimi ...ni wachachesana tutagundua Hilo...na kwakuongezea hapo Juu...Stress zinamzidi muda Sio mrefu atakuwa anatukana kwenye Mahojiano.
Alikiba tena?😂😂🤣
Hkn kitu kikubwa na chakuheshimu teknorojia na Mungu Bob junior sio ww miaka mitatu imepita ulisema diamond hakukupa hta kumi hdi masikio yako yaliharibika kwasababu ya kutengeneza album ya mond leo umekuja na swala la milioni 10???? Hahahahaaaaaa Ila
Hakunaga duuuu huyujamaa....ilaanajua sana
Aliekwenda leba alikua Nani Kati yenu
Bobjunio ndiomaana atumsikii ujinga mwingi mno .. ila presenter anachangia ujinga kuhoj watu wenye ujinga mwng
Naona kamvuta dem kamla denda katikati ya interview wameficha angalia dakika ya 8:37 🤣🤣🤣
Bangi aijawai kumwacha mtu Salama
Diamond hajawahi kusahawu Aliko Toka
Gulu Ramadan ni babaako
Mihasira 😆😆
Mmmh
Mukwende hukooo
anajiamini hataaar
Nuks huyu nae alisema mwenyewe nasibu anarombaya wampijia spokei sms arudish leo kifumgu kimepita et akuna mxm
Chawa kazin 🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀😀
Huna akili wewe unaweza kufananisha ali kiba na lava lava
Dhaty
Mtangazaji daaah hujui kuhoji malegends kabisa uko kama unapigwa mti
😂😂😂😂😂😂😂😂 duuh ukuni
🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu leo hii dogo anawadharahu....,,
Mtangazaji kumbe shoga
Kumbe hujui
Aisee kwelii au???!
@@africanbeadwork9434 analiwa au anakula
Skupingi SHOGA uyu
Ndugu zangu msihukumu watu, bila ushahidi Dunia imeisha hii acheni hivyo vitu
Look like Comedy, poor interview to witness I think
Thats an understatement is the worst thing i have ever watched. nashangaa watu huku wanasifia nini. sijui hata nianzie wapi kuikoso maana everything is just poor it kinda explains why jamaa alipotea kimziki
@@thabitdaudi9815 I wonder then
MCHEZO WA KARATA 21
th-cam.com/video/nY3wGmpnKi4/w-d-xo.html
Diamond Platnumz 🔥🔥🔥🔥🔥👉 👉👉👉👉th-cam.com/video/u_SvHoeHeUI/w-d-xo.html