TUSIPO YAFANYA HAYA HAKUNA MAISHA TENA || SHUGHULI ZOTE KUSIMAMA DUNIANI || MWL. TENGWA |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
- BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
Moses kulola aliwahi kusema ukitaka kujua watu walivyo na mizigo yao mtumikie Mungu kila siku unakua wa maumivu, wapendwa ukibebeshwa mzigo na Mungu juu yawatu aaaaaaaah Yani acha kabisa unatamani ukaishi maporini ulie kila siku,mzigo alonao mwalimu n mkubwa Sana Sana,na Yesu Kristo amtie nguvu hakika eeee Bwana utupiganie wanao peke yetu hatuwezi.
Umenena vema sana.
Naomba maelekezo nifikeje hapo watumishi wa Mungu.
Mungu wetu uturehemu tumekutenda dhambi
Ee Mungu tusaidie
Mungu fufua kazi yako katika miakahii. Ameen
Aisee niko tayar kujitoa kwa kdg alichonijalia mungu
Mungu tusaidie kutenda kazi yako
Karibu na dodoma
Mungu nisaidie nikutumikie Kwa Mali zangu,Wala nisiufanye moyo mgumu
Bwana nisaidie tisaidie watanzania,naogopa nami sauti hii inatisha mno japo nimetoka kuhubiri lakini naona bado sijafanya kitu, msaidie mtumishi wako Bwana
Mungu utusaidie na uturehemu na utupe moyo wa kupoteka mbele zako. Mwalimu BWANA naazidi kukupa nguvu .
😭Najianganisha namadhabahu yako mtmish wamungu TENGWA, MUNGU Anisaidie niyafanye mapenzi yake nisimame Njia Kuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina na Amina
Mungu wetu aliye hai wa Mbinguni aturehemu na kutusamehe uovu wetu
Mungu nimwema mtumishi tumefunguliwa
Eeh Jehova Mungu Mkuu uturehemu sisi wanawako !!
Asante Yesu Kwa mafunuo haya
Meu Deus me ajude para eu fazer a tua vontade. Amém
Ameeen.
Mungu Baba tuondolee roho ya Farao.
Mungu nisaidie nitende kazi yako
Amina.Yesu tutetee.
Mungu tupe rehema Yako 🙏😭😭
Mungu muumba mbingu na nchi uturehemu
Amina
Haleluya haleluya
Bwana uturehemu Baba wa mbinguni !
Mtumishi mioyo yetu ipo pamoja nawe kupia maneno Asemayo bwana wa majeshi tunalia na kutetemeka
Jaman mungu tunaomba utusamehe
Ee Mungu wangu nisaidie mimi nakuogopa sana Mungu wangu nisaidie nitumike kwako
Niko chini ya mtumishi Tengwa
@@charlesgaspalliwilliam1232Kaa chini Ya Mungu
Hatuchoki ktk jina la Yesu
Hema moja linagharimu shingapi mtumishi
Niko chini ya mtumishi Tengwa
Eee Yesu tunaomba rehema yako, bila wewe hatuwezi lolote
Shalom Mtumishi
Mambo ni mengi nipo Lutheran nitabaki hapahapa ❤
Shalom Mtumishi Muulize Mungu hapo ulipo nisalama ?
Arusha baba tunakuitaji huduma hii tutafanyaje
MUNGU NISAMEE, MIMI NAOMBA NITIENGUVU NIIFANYE KAZI YAKO.
Uletewe vyombo bila kufanya kaxi ningumu.
Je nchi yetu ya Kenya uku tufanyaje mtumishi?mimi nauzunika sana
Kusudi la Mungu 2k 5:16--- si vinginevyo,litumikie hilo,acha pretending kama ni Mungu ! Amen
Chunga sana kinywa chako ndugu,who is pretending
Cha msingi n kuangalia anachosema n neno lakuturudisha kwa Mungu au la kama unaona halikusaiidi basi usiongee kitu kwa hyo Linda sana mdomo wako
Naomba uniunganishe na group la watu wa Arusha
Namba ya kiongozi wa group la Arusha ni 0684 377 322
Ubarikiwe mtumishi.
My Jesus my Jesus nisadie mbna naogopa ninaposikia sauti hii
Mimi je,naogopaa mnoo
Eh Mungu tusaidie
Ni hatali yajayo yanasikitisha,je tutapataje kuopona alieandikiwa kufa kwa upanga atakufa kwa upanga,
MUNGU tusaidie tuna kiu na ww