Nimefuatilia Kwa karibu Sana Kila clip iliyorushwa nikiwa kimya kimya ,maana Kila unabii hupimwa Kwa neno la MUNGU . Bila shaka yoyote hili ni neno la MUNGU KWELI mtumishi Mungu akutie nguvu kuyasema yote ambavyo MUNGU ameweka ndani yako Kwa ujasiri huo huo episode 8 hukumung'unya juu waombaji mitume, manabii na wachunguji. hii ndo Injili ya Yesu kanisa hasa kama ilivyo ktk mathayo 5 nakuendelea, wengi tulikuwa tumeiacha kabisa, na huenda ingesaharuka .MUNGU AMEWEKA NDANI YAKO KITU JITUNZE MBELE YAKE. UBARIKIWE SANA
Mmetumwa kwa kazi moja, kuwainua manabii walio.katika vifungo....nyie mnaona mjihubirie wenyewe.....!. Mkidhani mta impact jamii na injili ihubiriwe duniani kote. Mnajidanganya wenyewe! Msipo ungana ni kazi bure.
@@GraceMamaDeborah-he3my wewe wapenda sana nifatilia.... na hicho ndicho kitakacho kusaidia kumjua MUNGU wa dunia....! Mwezi huu kabla haujaisha nitaianza kazi yangu iliyo nileta duniani.... I promise you, nitakuelekeza nini cha kufanya ili umkaribie MUNGU wa kweli...
Neno hili ni tamu zaidi ya Sega la asali amen
Amen, KWELI UMEPEWA UJUMBE MWL TENGWA, BARIKIWA
Asante mwl.ni ufahamu mzito huu kuelewa unatakiwa unyenyekevu mkuu.natamani Mungu afute kabisa mafundisho yote ya kale nikimeze kitabu.
Barikiwe sana mtumishi tengwa
Amina mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai kazi hii ni njema kabisa Mungu anifungue kabisa nifanikiwe kuyapokea na kuyafanyia kazi
Amen mtumishi wa BWANA
Amina na Amina.
Naam tunasonga mbele BWANA anazidi kutuelewesha neno lake kupitia mtumishi wake,atukuzwe BWANA YESU KRISTO
Amina, Mtumishi wa Bwana
Amen amen amen
Amém
Amen
Mungu akupe nguvu zaidi za kusema ulichotumwa na Mungu aliye hai,naona comment ni chache Ila wàtakuelewa badae...
Nimefuatilia Kwa karibu Sana Kila clip iliyorushwa nikiwa kimya kimya ,maana Kila unabii hupimwa Kwa neno la MUNGU . Bila shaka yoyote hili ni neno la MUNGU KWELI mtumishi Mungu akutie nguvu kuyasema yote ambavyo MUNGU ameweka ndani yako Kwa ujasiri huo huo episode 8 hukumung'unya juu waombaji mitume, manabii na wachunguji. hii ndo Injili ya Yesu kanisa hasa kama ilivyo ktk mathayo 5 nakuendelea, wengi tulikuwa tumeiacha kabisa, na huenda ingesaharuka .MUNGU AMEWEKA NDANI YAKO KITU JITUNZE MBELE YAKE. UBARIKIWE SANA
🤝🙏🙏
Barikiwa sana Baba Kwa injili hii ya matengenezo
KWELI SI RAHISI KAMA TUNAVYODHANI "kulinda moyo KULIKO vyote maana ndiko zitokako chemchem za uzima" YESU MOYO WANGU NAKUPA WEWE
🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍🧎
Mmetumwa kwa kazi moja, kuwainua manabii walio.katika vifungo....nyie mnaona mjihubirie wenyewe.....!. Mkidhani mta impact jamii na injili ihubiriwe duniani kote.
Mnajidanganya wenyewe!
Msipo ungana ni kazi bure.
@@GraceMamaDeborah-he3my wewe wapenda sana nifatilia.... na hicho ndicho kitakacho kusaidia kumjua MUNGU wa dunia....!
Mwezi huu kabla haujaisha nitaianza kazi yangu iliyo nileta duniani....
I promise you, nitakuelekeza nini cha kufanya ili umkaribie MUNGU wa kweli...
Nyie wote mnatakiwa mle matunda ya manabii wa wakubwa walio vifungoni....!
Mkidhani nyie mmetubwa basi kuna siku mtakayo umbuka inakuja,...