YA KUKUWEKA HURU NI KWELI YA KRISTO NA DAMU YA YESU TU! _ MWL. TENGWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • YA KUKUWEKA HURU NI KWELI YA KRISTO NA DAMU YA YESU TU! _ MWL. TENGWA.
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
    M-PESA: 0752 001 840
    TIGO PESA: 0678 304 931
    AIRTEL MONEY: 0694 331 055
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA AU KUPITIA BANK ACCOUNT
    CRDB: 015 232 628 6200
    NMB: 2461 0015 434
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
    #HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
    #0752001840

ความคิดเห็น • 27

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 ปีที่แล้ว +1

    Eliya akasema Bwana nimebaki peke yangu ooohoo Mungu akamjibu wapo nimejisazia wengi, kwakweli wateule tusikate tamaa ata Kama shetani ananguruma Hana meno haumi Yesu aliyangoa na Mungu atujaalie mwisho mwema kweli yake isimame tumechoka kuonewa na kuzimu😭😭,Asante BWANA YESU kwa kuttusaidia🙏❤️

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว

    Ameen Mungu akubariki sana hata mimi ndivyo wanavyoniambia ninamizimu ,Kisa tu Kuwaambia waache mapambo

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 5 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu anisaidie niache mapambo.

  • @sophiaisaya408
    @sophiaisaya408 ปีที่แล้ว

    Mungu atuongeze nguvu na atufungue mioyo

  • @monicaisuja8917
    @monicaisuja8917 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie sana hasa kuhusu mapambo na nguo

  • @SusanAshle-zj8do
    @SusanAshle-zj8do ปีที่แล้ว

    Amen Amen in the name of Jesus Christ

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 ปีที่แล้ว

    Ahsante Yesu

  • @osianakingdom203
    @osianakingdom203 ปีที่แล้ว +1

    Natamani mno tena mno siku nikapata kanisa ambalo wanajisitiri na kufunika vichwa. Tena wawe wanamwimbia BWANA katika Roho na kweli. Hao Wamama walichokisema ni kweli na wapo sahihi kabisaaa

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke anatakiwa kuvaa mavszi ya kujisetiri

  • @DeboraSamwery-qm3br
    @DeboraSamwery-qm3br ปีที่แล้ว +1

    🎉amna mwalimu tegwa endelea na njili ili wanawake tubadilike tabia zetu zinatisha

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kwa ajili ya shuhuda hizi.

  • @noellyaruu1807
    @noellyaruu1807 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU Muweza wabariki watumishi wakomtumishi tengwa na wenzake Kwa jina la BABA na la mwana na la roho mtakatifu Amina

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว +1

    Tuachane na mawigi na suruali

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว +1

    Wamama mlio simama Apo mbele kutoa ushuhuda na ujumbe aliowapa Yesu mbarikiwe Mungu anaweza kuunganisha wa tumishi wake

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mama aliemalizia maombi MUNGU akusaidie utoe mahereni ukayatupie mbali kwa JINA LA YESU

    • @rmaryp6269
      @rmaryp6269 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja na ushanga/cheni aliyovaa shingoni.

  • @drnow1528
    @drnow1528 ปีที่แล้ว +2

    Amen tunainuliwa

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 ปีที่แล้ว +1

    Amen !mimi naamini kabisa!nimesema hamna mwanamke mchungaji !ASIFIWE BWANAAA !

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU anatupenda tulivyo mapambo MUNGU hayataki basi tuisikie sauti yake MUNGU anatupenda wanawake

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 ปีที่แล้ว

    Acsenti Damu y’a Yesu Mwami Niponye Mawumivu Chronic mismatch na mismatch na choka Mwami na Womba na choka ata Kama ni Lana Mimi silo tena Chini y’a Lana ? Jhon8:36 Shalom

  • @abelimashinemwambwiga4745
    @abelimashinemwambwiga4745 ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimeanza kukufatilia sio natoka nikujue kwa yutube pana wiki2 lakin injil yako nimeielewa injil hii niyapekee Mungu alie kuita kweli niwapekee nashukuru kwajil ya nafas uliyowapa hawa dada kwajili shuhuda kwajili ya mapambo

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 ปีที่แล้ว +4

    Shalom....namtukuza Mungu kwaajili ya wanawake mliotoa ushuhuda juu ya mapambo! Kweli wanawake tumekua na shingo ngumu tunapoonywa na Roho Mtakatifu juu ya kuacha mapambo. Tubadilike sasa ili hata tunapoomba Mungu atusikilize.

  • @ahazimsigwa
    @ahazimsigwa ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏 asante sana

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว

    Haleluya

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 ปีที่แล้ว

    Jamani mtakuja na bukoba??

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 ปีที่แล้ว

    Kwakweli sasa.ndio.tunaiyerekea toba ya kweli mana nilikuwa nafuatilia sasa nasema maombi gani na mapambo ukiangalia arafu mtumishi hawaambi jamani kweli tubadirike

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 ปีที่แล้ว

    Ameeen