Mwanangu Furahisha Mahenge ubarikiwe kwa ushuhuda mzuri utakaofungua wengi. Mungu aendelee kukufungulia milango ya baraka. Tulijivunia wewe ukiwa mwanafunzi wetu O-level pale Solace na ninabarkiwa na mafanikio yako leo.
Kwa Damu ya Yesu Kristu ninawaunganisha watoto wangu na madhabahu hii na mentorship program mwaka kesho muda kama huu tutashuhudia matendo makuu ya Mungu kwetu. Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu barikiweni sana vijana mliotoa ushuhuda shuhuda zenu zitawatia moyo na kuwainua vijana wengi.
Asante mtumishi kwa mi ninakukubali sn mi natamani niingie kwenye darasa Hilo ila zaidi ya yote natamani awepo mwanangu Ila bado yuko shule kidato Cha nne darasa hili lingefaa sn Mungu nisaidie I wish wangekuwa wanangu wote wenye maono hayo kwa jina la Yesu nimepokea
Kwa upande wangu Mungu amesema nami kupitia haya mafundisho ya leo Baba Asante kwa huu ushuhuda na niko tayari kushiriki katika hilo darasa unaloandaa. Asante sana Na Mungu akupe afya zaidi
Madhabahu anayotumikia Mchungaji huyu yameenea sifa zote za ki Mungu hakika Mungu anayetumikiwa na Rev.Dr.Kimario yana majibu yote ya mwenye mahitaji. Bwana akubariki sana Mchungaji wangu🙏🙏
Ee Mungu nikumbuke unifungulie baraka zako zinifikie na kunipata. Kumbuka sadaka zangu zote unisaidie niinuke tena. Nirehemu Mungu Kwa Sababu zipo nyakati sijakutolea kwa uaminifu. Ila sasa nahitaji huruma zako. Kwakupitia shuhuda hizo badilisha ukurasa wa maisha yangu. Nimekua naanza biashara zinakufa kila wakati. Mungu wa rehema nihurumie
Nashukuru sana mchungaji kwa ushuhuda , nlikua mfanya biashara nikiwa na umri wa miaka 23 na nlifanikiwa kwa kutoa sandaka kana dad mwenzangu, leo nko 29 hila nilisimamisha biashara nkajiunga na masomo Europa ndiko nko kwa sasa kwa vile Mungu alininyakua kwa ile biashara alinipa na niko masomoni ya kipadri kumtumkia Mungu uyo uto aliyenisaidia
Ee Mungu wangu nakushukuru kwaajili ya vijana hawa,naomba uwaongoze kila wanapopia!zaidi sana naomba kupitia shuhuda hz nipate kibali cha kupata mtajia kufanya biashara yasabuni ya maji na nifanikiwe ,Amen!!
Mwenyezi mungu akusaidie uwe mfano Kwa Viongozi wengine wa dini.Ama kweli unaendana na jina lako.Tunaona kweli unao uthubutu moyoni.❤🎉🎉🎉Bwana yesu Akuhifadhi🙌🙏
Mungu naomba waajalie wanangu na vizazi vyangu ,na mimi atufungue tujue hii Siri na tupate mafanikio haya,tuliinue jina lake,ubarikiwe sana Mchungaji Kwa huduma hii
Mungu awabariki kaka na dada mliyo shuhudiya mbele ya kanisa kipekee nimebarikiwa na ushuhuda mungu akubariki mutumishi wa mungu uliye simama kama kiongozi
Kwa damu ya Yes Kristo wa Nazareth aliye hai naiunganisha familia yangu na madhababu hii, Mungu wa Mbi guni ukafungue vifungo vyote vya uchumi ukaondoe mipaka yote ya uchumi, ukaondoe roho za umaskini, Bwanayesu usimame na familia yangu ukarudishe maradufu ya vilivyopotea, ee Mungu usielala na unaona Kila kiku ukapigane na wanao pigana na kupiga vita uchumi wa familia yangu, bwana Yes kupitia shuhuda hizi hakika naona familia yangu imefunguliwa kwa kiwango cha juu na tutamshuhudia Mungu kwenye madhababu hii. Amen
Ee Mungu naomba unikumbuke rehemani mwako nimedhurumiwa Sana Hadi sasa umenisimamisha tena,naomba unifikishe kwenye kusudi lako naamini hakuna jambo linaloshindikana kwako.Niko DRC Congo napambana lakina naamini kuanzia sasa jupitia shuhuda hizi zote mbili zimenifungua fikra zangu ,nitakuja Tanzania nakushuhudia waminifu wa mungu Amen.
Mch.wangu mimi niliefunguliwa na biblical economy 2018,nilianza na kilimo cha parachichi Njombe 4 acre.24/25 MUNGU amenipa maono mengine niombee mtumishi nami nivuke
Nimejifunza mengi kupitia shuhuda hizi. Bwana Yesu naomba neema niweze kutoa sadaka. AMEN
Mwanangu Furahisha Mahenge ubarikiwe kwa ushuhuda mzuri utakaofungua wengi. Mungu aendelee kukufungulia milango ya baraka. Tulijivunia wewe ukiwa mwanafunzi wetu O-level pale Solace na ninabarkiwa na mafanikio yako leo.
Kushuhudia kwake NAMI napokea kufunguliwa
Eee Mungu kupitia shuhuda hizi naomba na mimi siku moja nisiyodhani nitoe na ushuhuda.Amina
0😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😮😮😮😮😮😮😅😢5😢
Mch Eliona kimaro Mungu aliyeweka kipawa hicho kwako umefanyika bàraka kubwa sana kwa watu wengi
Mchungaji Eliona wewe ni mchungaji wa Tanzania,tafadhali endelea kulihudumia kanisa la Tanzania,barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Baba usinipite kupitia shuhuda hzi NAMI nfunguliwe KWA JINA LA YESU. Amina
Kwa Damu ya Yesu Kristu ninawaunganisha watoto wangu na madhabahu hii na mentorship program mwaka kesho muda kama huu tutashuhudia matendo makuu ya Mungu kwetu. Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu barikiweni sana vijana mliotoa ushuhuda shuhuda zenu zitawatia moyo na kuwainua vijana wengi.
Ameen Baba shuhuda zimenibariki na nimefunguliwa mwakani majila kama haya nitashuhudia ktk jina la YESUU naamini itakuwa Ameen
Mungu nikumbuke fungua vifungo vilivo fungwa kwangu nakuamini ww mungu unafungua wengi...AMEN
MUNGU na afanye kwetu sote ameen
mimi mwislam ila huwa napenda sana maubir yako Allah akuhifadhi 🤲
Mungu,mtu ndy Dini inafuata kikubwa kitu/ mtu anakujenga Learn from them
Unafanya vzr. Fanya maamuzi ya kumpokea Yesu sasa
Hakika Mungu amulende Muchungaji anafundisha vzr sana mno
Aminaa
barikiwa sana.. maneno yako yamenitia moyo
Amen.Napokea huu Ushuhuda ikawe na kwangu katika jina la Yesu juu ya Biashara yangu.Mungu akutunze Baba Mchungaji.
Mungu akupe miaka mingi yenye furaha na nguvu ili ukazidi kutuponya baba mchungaji batikiwa sanaaa
Amina.
❤mchungaji kimaro ninaendelea kuvuka vigingi kwa kufatilia maubili yako tunafanikiwa wengi shikurani kwako kwa kupewa karama.
Amen shuhuda ya BARAKA SANA nimejifunza kitu BWANA YESU NAOMBA NEEMA HII🤲🙏NIWEZE KUKUTOLEA SADAKA AMEN
MUNGU Asante kwa ushuuda uhu nmm nitatoa ushuuda wangu mwakani mwez Kama uhu AMEEEEN
jaman how wonderful our God is. na mimi siku moja Mungu niinue
Ahsante Mungu kwa shuhuda hizi toka kwa wanao nikalipe nami niweze kushuhudia mwakani kama huu mwezi ...Amina amina....
Mimi ni msabato lakini nakufuatilia sana mchungaji nakupenda sana rev eliona kimaro
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Me pia SDA Huwa napata upako sana wa huyu bwana
Rev.Elionora Kimaro
Kwan msabato sio mkristo
Asante mtumishi kwa mi ninakukubali sn mi natamani niingie kwenye darasa Hilo ila zaidi ya yote natamani awepo mwanangu Ila bado yuko shule kidato Cha nne darasa hili lingefaa sn Mungu nisaidie I wish wangekuwa wanangu wote wenye maono hayo kwa jina la Yesu nimepokea
Ikawe kwangu na mimi Yesu wangu nakusihi unitendee mwaka huu 2024
Mungu nakuomba bariki na kizazi changu pamoja na mume wangu
Kwa upande wangu Mungu amesema nami kupitia haya mafundisho ya leo Baba Asante kwa huu ushuhuda na niko tayari kushiriki katika hilo darasa unaloandaa. Asante sana Na Mungu akupe afya zaidi
Amina mchungaji asante kwa kuruhusu hizi shuhuda nimebarikiwa sana
Asante MUNGU kwa Neema ya kukutana na ushuhuda huu Mungu ukanifanyie kama walivyo tendewa hawo
Hakika mungu nimwema huu ujumbe niwangu barikiwa sana dadaangu leo mmpia nimefunguliwa
Madhabahu anayotumikia Mchungaji huyu yameenea sifa zote za ki Mungu hakika Mungu anayetumikiwa na Rev.Dr.Kimario yana majibu yote ya mwenye mahitaji. Bwana akubariki sana Mchungaji wangu🙏🙏
Na pia ni makanisa ya Wasomi,na Makanisa yanawaosoma Riturujia,Lazima Mchungaji aajiriwe na Alipwe mshahara kila Mwezi si kama Pentecoste,
@@trophywilson7211Nisaidie kufafanua "wazo" lako kuhusu "si kama Pentecoste "....Rev. Dr Kimaro barikiwa mno. Shuhuda hizi nzuri piaaa.... Amen..
Eeeeh mwenyezi Mungu Nakuomba kupitia huu Ushuhuda Ukanipe Ushuhuda Nishuhudie ukuu wako
🙌🙌🙌🙌 mungu wetu ni mkuu sana na ni muanifu sana ametenda kwao na kwetu pia atatenda
Mungu naomba bariki kazi ya mikono yangu niweze kufanikisha malengo yangu niweze kusaidia na wengine 🙏🙏
You are my daddy. Mungu akuweke kwa ajili yetu
Mungu ni mwema sana. Mungu aendelee kukubariki Kwa shuhuda hizi inatosha kutufufua sisi vijana makanisani na jamii Kwa ujumla.
🎉Ee mwenyenzi mungu ninakushukuru kwa kunipa afya njema mpaka mwisho wa mwaka nipe mabadiliko katika maisha yangu
Ee Mungu nikumbuke unifungulie baraka zako zinifikie na kunipata. Kumbuka sadaka zangu zote unisaidie niinuke tena. Nirehemu Mungu Kwa Sababu zipo nyakati sijakutolea kwa uaminifu. Ila sasa nahitaji huruma zako. Kwakupitia shuhuda hizo badilisha ukurasa wa maisha yangu. Nimekua naanza biashara zinakufa kila wakati. Mungu wa rehema nihurumie
Nashukuru sana mchungaji kwa ushuhuda , nlikua mfanya biashara nikiwa na umri wa miaka 23 na nlifanikiwa kwa kutoa sandaka kana dad mwenzangu, leo nko 29 hila nilisimamisha biashara nkajiunga na masomo Europa ndiko nko kwa sasa kwa vile Mungu alininyakua kwa ile biashara alinipa na niko masomoni ya kipadri kumtumkia Mungu uyo uto aliyenisaidia
Amen
Ee Mungu wangu nakushukuru kwaajili ya vijana hawa,naomba uwaongoze kila wanapopia!zaidi sana naomba kupitia shuhuda hz nipate kibali cha kupata mtajia kufanya biashara yasabuni ya maji na nifanikiwe ,Amen!!
Hakika utukufu na heshima apewe BWANA.👏👏👏
Namwuunganisha kaka yangu
Kwwnye huu ushuhuhdaa🙏🙏
Amennn amennn
Mungu naomba uwajalie wanangu uwafungulie tupate mafanikio saidia Sana watoto wangu
I tap this testmmony Mungu nifungulie milango mwaka huu IJN
Ee Mungu naomba na mimi siku moja nije nitoe ushuhuda na mimi. Asanteh Mungu
Ee Mungu kupitia shuhuda za hawa vijana naomba umfungue mdogo wangu Florah aweze kifanikiwa.Amen
Mwenyezi mungu akusaidie uwe mfano Kwa Viongozi wengine wa dini.Ama kweli unaendana na jina lako.Tunaona kweli unao uthubutu moyoni.❤🎉🎉🎉Bwana yesu Akuhifadhi🙌🙏
Nami nitembelee Yesu, kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi,Yesu nisaidie kufika ulipokusudia nifike
Nimebarikiwa na nitashuhudia pia. Aksante
MUNGU Akubariki sana baba yangu, ( man of GOD)asante kwa kutaka vijana wako tuinuke.
MUNGU akubariki sana Baba kwa Juhudi zako za kuwainua na kuwapa afya za kimwili na kiroho pia Tunamtukuza MUNGU Sana
Eee mungu wangu naomba namimi mwakani miezi kama hii nishuhudie babaangu..🙏🙏
Mungu mwema, usituache Sisi waja wako, bila wewe Sisi sio kitu Mungu wangu🙏
Jokopoi😅jo
We mwenyezi Mungu NAMI nijalie kupitia ushuhuda huu nami nifanikiwe
Bwana yesu naomba unikumbuke namm kila hatua nijekuwa mfanya biashara mkubwa Sana Ameen na unipe na familia kupitia shuhuda hizi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu naomba waajalie wanangu na vizazi vyangu ,na mimi atufungue tujue hii Siri na tupate mafanikio haya,tuliinue jina lake,ubarikiwe sana Mchungaji Kwa huduma hii
Hongera Sana mchungaji Dkt.Eliona Kimaro kwa kipawa karma Mungu alichokupa uendelee kuwanoa vijana wetu.Amen Amen❤
Mwenye maarifa atapona jina la Mungu libarikiwe
Mungu awabariki kaka na dada mliyo shuhudiya mbele ya kanisa kipekee nimebarikiwa na ushuhuda mungu akubariki mutumishi wa mungu uliye simama kama kiongozi
Kwa damu ya Yes Kristo wa Nazareth aliye hai naiunganisha familia yangu na madhababu hii, Mungu wa Mbi guni ukafungue vifungo vyote vya uchumi ukaondoe mipaka yote ya uchumi, ukaondoe roho za umaskini, Bwanayesu usimame na familia yangu ukarudishe maradufu ya vilivyopotea, ee Mungu usielala na unaona Kila kiku ukapigane na wanao pigana na kupiga vita uchumi wa familia yangu, bwana Yes kupitia shuhuda hizi hakika naona familia yangu imefunguliwa kwa kiwango cha juu na tutamshuhudia Mungu kwenye madhababu hii. Amen
Asante Mungu Kwa kuturejeshea Mtumishi wako Eliona Kimaro.
Furahisha Daaa! Umejua kunipa somo mwanangu kipenzi ❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏❤️Mungu akubariki,,,akijaze kinywa chako maono na mipango Kwa watu wa Kristo.🤲
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kuna mahal hua unatutoa kupitia shuhuda
"Asante Mungu kwa ushuhuda huu mzito"
Nimejifunza somo.
Ameni nami Mungu naomba nibariki kwa ushuhuda juu nivushe haya madeni yasiyoeleweka nalipa hapa nadaiwa pale nivushe Mungu naamini nimeshindaaa
Mtumishi MUNGU wetu mwema nami nina Imani Mungu atatuvusha katika bonde gumu na.zito la madeni. TUTAVUKA
Eee Mungu mwema naomba na mimi mwaka huu huu majira haya haya nishuhudie matendo makuu uliyoyatenda Kwangu 🙏🙏
Mungu wangu nisaidie na Mimi unitendee matendo makuu,nishuhudie👏👏
Mungu uliefanya kwa hawa vijana nakwangu utafanya
Mungu nibariki kwa ushuhuda huu na mm nitendee Fanya jambo jipya nikiwa chini ya miaka 30
Atukuzwe aliyejuu kwa kufungua fahamu kumtumikia kwa njia ya sadaka baba mungu akubariki nabarikiwa na mafundisho yako tena kupitia simu ya jirani.
Mungu akubariki sana baba mchungaji kimaro kwa kazi kubwa unayo ifanya
Mungu naomba kwa ushuuda u uniponye mimi nafamiliya yangu nawatoto Wang
Ninachoamini mungu sio mungu wa upendeleo hata mm kupitia ushuda huu naamini hata mm siku Moja nishudia makubwa ya mungu ,ubarikiwe sana mchungaji
Ee Mungu naomba unikumbuke rehemani mwako nimedhurumiwa Sana Hadi sasa umenisimamisha tena,naomba unifikishe kwenye kusudi lako naamini hakuna jambo linaloshindikana kwako.Niko DRC Congo napambana lakina naamini kuanzia sasa jupitia shuhuda hizi zote mbili zimenifungua fikra zangu ,nitakuja Tanzania nakushuhudia waminifu wa mungu Amen.
Mungu naomba unisaidie mwakwan kama leo nishuhudie matendo makuu utakayonitendea Amen
ee mwenyezi mungu nisaidie NAMI majira kama haya NAMI nifanikiwe
Nisaidie na mimi Mungu wangu niweze kujifunza kutoa fungu la kumi kwa Mungu aliyeniumba Amen
Eee Mungu wangu mwenye Rehema n Neema nakuomba na mm niwe m'barikiwa..AMEN
Eee Mungu mwema nisaidie na mimi majira kama haya mwakani nishuhudie matendo makuu uliyoyatenda kwangu 🙏
Mungu azidi kukubariki mchungaji . Hii program inayoanzishwa naamin itawakomboa vijana wetu wengi.
Mm Naomba Mungu sana nina naziri na hiii madhabahun jamn Mungu nisaidie niweze kutoa fungu la kumi
Mungu anisaidie nami nishuhudie mwakani
111😅😅 22:36
Mungu akulinde baba mchungaji stay blessed
Haleluya nimejifunza kitu kwa huyu Dada hongera sana..
Nami najiungamanisha na ushuhuda wenu Mungu Nina Iman huchelewi Wala hukawii
Nakupenda bure baba Yesu akutunze watu hawazaliwi wanatengenezwa🇰🇪🇸🇦
Ooh God Asante nimefunguka kupitia ushuhuda wa dada Furahisha! Mungu akubariki Mchungaji Kimaro kwakweli umefanyika baraka kwangu
Mungu wa Mbinguni, Nisaidie pamoja na familia yangu. Tufungue baba.
Mungu nakuomba unibariki kwa uwezo wangu nifikie viwango hivi
Amina naiwe kwangu kwajina la yesu napokea ushuhuda huu
Unapopita kwenye matatizo Mungu yupo anakutengeneza, noted with thanks, Glory to God
Mungu ni mwaminifu sana kwetu ila sisi jamani Mungu turehemu
Kweli Mungu ni mwaminifu mno ila sisi wanaadamu Mungu aturehemu jamani. Mungu ametupa akili tuzitumie sawasawa.
Mungu tukumbe Baba unapodhuru wengine na sisi usitupite❤
Mungu akubariki Dr Eliona Kimaro nakufatilia kutokea Shenyang China.
Ikawe kwangu ,Mungu nisaidie
This is timely. I am encouraged
Amina Mungu naamini ntakuwa zaidi ya hapa nilipo asante sanaa mchungaji kwa shuhuda izi.
Mch.wangu mimi niliefunguliwa na biblical economy 2018,nilianza na kilimo cha parachichi Njombe 4 acre.24/25 MUNGU amenipa maono mengine niombee mtumishi nami nivuke
Nisaidie Mungu wangu nipate Moyo wa utoaji
Shikamoo baba Dr. Baba mchungaji Kimaro kwa mahubiri haya mimi natoboa na nitakuja kutoa ushuhuda hapo madhabahu ya Kijitonyama
Hakika nami nimeguswa Mungu akubariki sana kwa Mafundisho yako mazuri
Mungu naoomba wajalie wanangu vizazi vyangu
Mungu akupe Maisha Marefu Mch.Kiukweli nimejifunza Saaana Kwa hizo shuhuda
Ninavyopenda shuhuda jamani. Hapa pa utoaji ndio napapenda zaidi, kitu iko ndani yangu. Hawa ni sehemu ya kina Dorcus wangu. Ubarikiwe Mchungaji
Yaani ww hunifikii kwa kupenda shuhuda.
Mungu afungue uchumi wetu kupitia shuhuda hizi
Ni aibu kubwa sana kufaulu shule, na kufeli maisha.Hii inahusika sana.
Mbona wapo wengi sana waliofaulubshule na maisha wamefeli mno
Mungu nifungulie milango la ridhiki nifanikiwe kama hawa watumishi wako
Mmoja padri kajinyonga eti kafeli kiapo ufaulu
Mungu Akuzidishe Mchungaji
Kwa kweli nitajoin I will become a billionaire one day najiunganisha na huu ushuhuda
Eeh Mungu wangu nifungue na mimi, nifungue nifungue, na mimi nikashuhudie
Baba wewe unejakiwa sana sana kumtumikia Mungu ,Mungu akutunze mnoo
I connect in Jesus name amen 🙏🙏
Bwana yesu asifiwe hata mimi nitafanikiwa katika maisha kwa Damu ya yesu kristo🙏🙏