Ee BWANA MUNGU wa utukufu tusaidie MUNGU. Niliwahi kusoma maono ya bibi wa miaka 90 wa nchini Norway .Alionyeshwa unabii huu mwaka 1968 KU HUSU watu wa diaspora kuteswa sana kabla ya Bwana Yesu kurudi kumuchukua bibi arusi wake. Sasa unakwenda kutumia. MUNGU tusaidie pekeyangu siwezi lo lote Ee BWANA.
@@bonifasiemanueli21 usitweze unabii. Kutimia au kutotimia inategemea ni nani amesimama mahari palipobomoka ili MUNGU aghairi. “Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu. [Ezekieli 22:30]”
KAMA UKO TAYARI BASI TUTAFUTE KWA NAMBA ZIFUATAZO ; HB TENGWA +255 750 200 500. NABII ALPHA +255 760 200 500. SENATOR AGNES BRUNO +255 766 182 718. KARIBU SANA MTU WA MUNGU, NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
KAMA UKO TAYARI BASI TUTAFUTE KWA NAMBA ZIFUATAZO ; HB TENGWA +255 750 200 500. NABII ALPHA +255 760 200 500. SENATOR AGNES BRUNO +255 766 182 718. KARIBU SANA MTU WA MUNGU, NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
Unabii hauendani na biblia, matayo 14 unasema wazi hayo yatatokea Lkn kwanza injili itajubiriwa kwanza, injili haijahibiri Kama biblia inavyosema lbd Kama biblia inajipinga
Aminaaa mbarikiwe sana Mungu awatangulie sawa sawa na mapenzi yake
Tupoo Mtumishi UBARIKIWE sana
Shalomu Mtumishi. Tumepokea unabii, tunashukuru. Nashauri ungetafuta mfasiri mzuri zaidi. Ubarikiwe
Huyu ndiye tuliyepewa na Bwana.
Lol @@tengwatv
Mungu wangu nipe kusitahimi li mpaka mwisho
Tumtubiea M. Mungu ! Dhambi na maovu yame dhidi duniani !!😢
Damu yako YESU Ina nguvu naomba utufiche na ugonjwa huu watoto wako
Ee BWANA MUNGU wa utukufu tusaidie MUNGU. Niliwahi kusoma maono ya bibi wa miaka 90 wa nchini Norway .Alionyeshwa unabii huu mwaka 1968 KU HUSU watu wa diaspora kuteswa sana kabla ya Bwana Yesu kurudi kumuchukua bibi arusi wake. Sasa unakwenda kutumia. MUNGU tusaidie pekeyangu siwezi lo lote Ee BWANA.
@@andrewnday9127 AMEN; NIWAKATI WA MUNGU KURUDISHA HESHIMA YAKE.
Kwahiy elf2025 ni mwaka wakilio ee mungu nitetee Mimi na family yangu.
Ni Mungu pekee awezaye kuokoa kizazi hiki maana uharibifu umekuwa mwingi kwenye kila nyanja
Mi nipo aisee bora nifie kwa Bwana
Imani hauleweki jamani, Mara mnyama atataka kutawala, Mara Mungu anataka kuheshimisha watumishi wale Mara ugonjwa
Naomba nikusaidie, tatizo lako la kutokuelewa tafuta video ya
“LUGHA IMECHACHAFULIWA DUNIANI KOTE”
itafute iko Tengwa tv yamkini unaweza kuelewa.
Kikubwà ñi kuoñdoà hofu kuñà meñgiñe hayatatimia ktk jiñà là Yesu, yañayo semwa kamà yote yangetimia tusingekuwepo, Zabuli 23:1-
@@bonifasiemanueli21 usitweze unabii. Kutimia au kutotimia inategemea ni nani amesimama mahari palipobomoka ili MUNGU aghairi.
“Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu. [Ezekieli 22:30]”
Tokaaa pepoushindweeee
Mimi Andrew Niko tayari 100%
KAMA UKO TAYARI BASI TUTAFUTE KWA NAMBA ZIFUATAZO ;
HB TENGWA
+255 750 200 500.
NABII ALPHA
+255 760 200 500.
SENATOR AGNES BRUNO
+255 766 182 718.
KARIBU SANA MTU WA MUNGU, NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
Nikotayari Mungu nisaidiye
KAMA UKO TAYARI BASI TUTAFUTE KWA NAMBA ZIFUATAZO ;
HB TENGWA
+255 750 200 500.
NABII ALPHA
+255 760 200 500.
SENATOR AGNES BRUNO
+255 766 182 718.
KARIBU SANA MTU WA MUNGU, NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
Niko tayari Ee BWANA, nisaidie!
Sidhani kama siku hizi kuna haja ya kutafsiri kwa kiingereza anyway unabii umefika tumeupokea tuzame kwenye maombi
Mimi NIPO tayari Mungu NISAIDIE nisibadilike Bali niutagemee wewe tu na niwasijilize WATUMISH I wako
Unaposema diasporas, wamarekani wote ni Diaspora… wote walihamia . Sasa sijui ni watu gani
Baba turehemu
MUNGU Yu nawe
Tufanye je mtumishi tupe mafunuo
God fordbid
Mafundisho ntayapata je
Fuatilia Playlist yenye TITLE inayosema IPOKEE NGUVUBYA MABADILIKO YA MSIMU MPYA WA MATENGENEZO YA KANISA
Manga kristo hawezi kuja mpaka hekalu la Mfalme Solomon halijajengwa Bado unabii unapinga biblia
Wameanza kuutangaza tayari
Unabii hauendani na biblia, matayo 14 unasema wazi hayo yatatokea Lkn kwanza injili itajubiriwa kwanza, injili haijahibiri Kama biblia inavyosema lbd Kama biblia inajipinga
Injili ihubiliwe mara ngapi ameni usiamini wakati umekalibia
Mwisho Marekani ha iko Kwenye unabii wala biblia, hivyo mwisho hautakuja iwapo US Bado ni super power… so your prophecy is irrelevant.
Amekwambia nani kama marekani haiko kwenye biblia imesoma Daniel sura ya 9 hadi 12.Basi kama haujaiona basi wewe ni kipofu wa kiroho.
Hatuogopi tunae Yesu Kristo
Kama unae Yesu Amini watumishi wake Kisha TUBU ili UOKOKE.
Kama unae Yesu Amini watumishi wake Kisha TUBU ili UOKOKE.