LIJUE KANISA MALAYA NA KANISA BIBI HARUSI KATIKA SIKU YA AJABU | MWL. TENGWA |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
Asante kristo yesu Kwa kuniachilia kweli Yako inifikie kupitia mtumishi wako huyu, Amina.
Asante san mtumishi
Nmecheka mpaka nakulia ewe roho yangu na nafsi yangu mche BWANA YESU,,nakupenda sana Yesu wangu, Asante mtumishi raha ya injili umpate mtu sahihi wakukuonesha Yesu halisi oohoo Yesu wewe n mzuri sana nakupenda Mme wangu unapendeza sana katika tabasamu la uso wako napata faraja,wewe unayajua mapenzi Bwana nafurahi nikiwa nawewe hakika dunia iende nyuma yangu Yesu uwe kipaumbele changu, ubarikiwe Sana Yesu wangu.
Asante roho wa mungu
Ameeen Ameeen.
Mwalimu asante, leo nimejikuta nacheka sana huku machozi yamenitoka. Somo gumu lenye maneno ya kuonya, kuimaridha ufahamu na kukumbusha wajibu wetu kwa Mungu.
Amakweli Mungu ni wa ajabu sana
We acha tu huyu Yesu jamani Basi tu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu hakika tumepotoka binafsi narudi tena Kwa Bwana,Mimi niko upande wako na upande wa Bwana
Piga injili mtumishi Dunia ipasukepasuke walio wa Bwana tuwe upande wake...
Asante Mwalimu wangu, hakika wewe ni hazina, Mungu amekuleta duniani ili dunia ipone. Hakika mimi na familia yangu tutakuwa upande wako na upande wa Bwana
AMINA, MUMTUMISHI WA MUNGU, HAKIKA MUNGU AKUBALIKI, KWA UJUMBE HUUMZITO, MUNGU NISAIDIE NIKUJUE ZAID
Oooh Bwana Wangu unirehemu Kwa kuwa Nimekuwa C Mke mwaminifu kwako Kwa kutaka haja za Moyo Wangu ,,,nmepotoka Mm Hakika
Amen Amen Amen
Ameen Mwalimu
Mungu na anirehemu kwa kuwa mjinga kiasi hiki hata nisielewe mapenzi ya Mungu juu angu na kuruka ruka nje huko nisieridhika na mapenzi yake na kwenda kutafuta ngono nje Bwana Yesu nisamehe mfalme wangu nirejeshe Sasa nielew mapenzi yako na niishi katika ya mapenzi hako uliyotufundisha kupitia mtumishi wako uliyemchagua ktk ulimwengu huu uliokinyume na wewe Bwana ili wale walio wako wakurudie Bwana Yesu Sifa na utukufu vikurudie wewe mfalme wa wafalme
Ahsante sana ,uishi milele
Nakuelewa mtumishi !!
Amém, Deus me perdoe SENHOR.
Heee!ahaa!aaahaha!hahaha!Hiyo ndiyo sahihi sahihi sahihi sana!
th-cam.com/users/shortsFX8T1mC1-WA?si=uL3mk8f3_cm6IBXM
Wala hakuna tusi hapo... huu ni ukweli kbs