Balagumu Media
Balagumu Media
  • 70
  • 16 560
SIKIA ALICHOKISEMA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AKITETA NA MKURUGENZI WA IFAD, YAJAYO YANAFURAHISHA,.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Natu El-maamry Mwamba, leo Alhamisi Septemba 12,2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki na Kusini, wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Sara Mbago-Bhunu ambapo wamejadili kuhusu kuimarisha uhimilivu wa mifumo ya upatikanaji wa chakula nchini.
Katika Mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma, Dk. Mwamba alisema kuwa, mradi wa Kuimarisha Uhimilivu wa Mifumo ya upatikanaji wa Chakula unachangiwa na wadau mbalimbali ikiwemo IFAD, inayochangia dola za Marekani milioni 40 katika utekelezaji wake
Katibu Mkuu amesema mkutano kati yake na Bi. Bhunu, utaendelea kuimarisha ushirikiano na IFAD katika kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu kwa kuboresha hali ya maisha, utawala wa Sheria na kujenga uchumi imara.
มุมมอง: 17

วีดีโอ

WAFAMASIA JUMUIYA YA MADOLA WAJA NA MBINU HII KUMALIZA TATIZO LA USUGU WA VIMELEA NCHINI
มุมมอง 1912 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Habel Chidawa- Dodoma TATIZO la usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa huenda ukapata ufumbuzi baada ya Wafamasia kutoka Jumuiya ya Madola kuanza kusambaza mafunzo ya kukabiliana na tatizo hilo. Mafunzo hayo yanalenga kuwafundisha wafamasia mahospitalini kuwa na ujuzi wa kutengenza vitakasa mikono kupitia Jumuiya ya Madola ya wafamasia, kwa kushirikiana na Tropical Health and Education Tru...
KAMATI YA BUNGE YANG'AKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MIKUMI
มุมมอง 5414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
KAMATI YA BUNGE YAMUAGIZA MKANDARASI KUMALIZA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MIKUMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo ambao ni sehemu ya utekele...
WASIOJULIKANA WANANASWA NA POLISI, WAMEUA WATU 10 NA KUWAZIKA WAMEKAA, WATOTO 2 WAZIKWA WAKIWA HAI.
มุมมอง 47014 วันที่ผ่านมา
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania wamenasa genge la wauaji katika mkoa wa Singida ambao wamekuwa wakiwaua watu na kuwazika wakiwa wamekaa huku watoto wawili walizikwa wakiwa hai. Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania David Misime amesema kuwa Polisi waliwabaini watu hao baada ya kupata ushirikiano mkubwa kutoka kwa raia wema na tayari miili ya watu hao imeshafukuliwa huku uchunguzi zaidi uki...
MAWAKILI WAENDELEA KUPAMBANA KESI YA NYUNDO NA WENZAKE, UAMUZI KUTOLEWA HUKU AFANDE AKISUBIRIWA.....
มุมมอง 17614 วันที่ผ่านมา
Kesi ya Nyundo na wenzake imeendelea kuongeza mvutano wa kisheria kwa mawakili wa pande mbili huku jarada hilo likipangwa kuendelea Agost 29,2024.
BASHE AWEKA REHANI UWAZIRI, "NIPO TAYARI KUPOTEZA LAZIMA BENKI YA USHIRIKA................"
มุมมอง 12821 วันที่ผ่านมา
Waziri wa Kilimo Tanzania Hussein Bashe ametoa masharti ya kupatikana vibari vya ununuzi wa korosho kwamba lazima mnunuzi awe na akaunti katika benki ya Ushirika. Bashe ametoa kauli hiyo jijini Dodoma alipozungumza na wadau na wajumbe wa Bodi ya korosho akisema wakulima wa Watanzania wamechoka kuonewa huku akihoji kila viongozi wa vyama vya Ushirika kuendelea kufungua akaunti kwenye benki tofau...
SERIKALI YAZINDUA MFUMO WA KIJANI APP, KUWASAIDIA WAKULIMA NA UTUNZAJI MAZINGIRA
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde amezindua mfumo unaojulikana kwa jina la Kijani App ambao unakuwa suluhisho la utunzaji wa mazingira na elimu kwa wakulima. Mfumo huo unaendeshwa na Taasisi ya Just Diggit ambao Naibu Waziri ameutaja kuwa mkombozi mkuu wa wakulima na wananchi wote kwa ujumla kwani unamfanya mkulima kutambua hali halisi ya ardhi yake na zao gani apande.
LATRA: HAKI NA WAJIBU KWA WASAFIRI NI HUU UKIKOSEA USIJILAUMU
มุมมอง 39หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka abiria wanaosafiri kwa kutumia vyombo vya moto ardhini kujua haki na wajibu wao wawapo safarini ili kuepuka usumbufu. Katibu Mtendaji wa LATRA Daud Daud amesema kila msafiri anayo haki akiwa ndani ya chombo cha usafiri hivyo anapapswa kupewa haki hiyo ikiwemo taarifa za safari hata inapotokea dharura. Hata hivyo Daud amesema mbali na Haki la...
SHEMDOE ATOA KAULI NZITO KWA WAFUGAJI, MATUMAINI YAREJEA
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo Profesa Riziki Shemdoe amewataka wafugaji nchini kuacha migogoro na wakulima kwani makundi hayo mawili wanafanya kazi kwa kutegemeana. Profesa Shemdoe ametoa kauli hiyo leo Agosti 7,2024 wakati akizungumza na wafugaji kutoka Wilaya ya Chamwino waliotembelea maonyesho ya Wakulima na Wafugaji katika viwanja vya Nane Nane Nzuguni Jijini Dodoma. Hata hivyo ameagiza m...
VETA ILIVYOGEUKIA KILIMO, SASA KUZALISHA MBOLEA NA KUTIBU UDONGO WAKITANGAZA KUONGEZA VYUO.
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wanasubiri mamlaka zinazohusika ili kuwaruhusu kuzalisha na kusambaza mbolea ambayo wameibuni kwa lengo la kuwasaidia wakulima. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa VETA Anthony Kasole wakati akizungumza na wananchi pamoja na waandishi wa habari kwenye banda la VETA katika viwanja vya maonyesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni. Mbali na Mbolea amb...
WANANCHI WAFURIKA MSAADA WA KISHERIA KAMPENI YA MAMA SAMIA, YAMALIZA MIGOGORO YA NDOA NA MIRATHI
มุมมอง 29หลายเดือนก่อน
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imesaidia wananchi wengi huku ikitajwa kuwa kimbilio kwa wananchi wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili. Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Msaada wa Huduma za Kisheria Ester Msambazi anasema Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuhakikisha hakuna mtu anakosa huduma za kisheria katika kipindi hasa kwenye Kampeni ya Mama Samia.
KING LION WATAJA SIRI YA UBORA WA BIDHAA ZAO WAKITANGAZA KUPELEKA HUDUMA MIKOA YOTE TANZANIA
มุมมอง 26หลายเดือนก่อน
Meneja Mauzo wa Kiwanda cha King Lion Joseph Banzi amesema kuwa wamekuja kivingine katika utoaji huduma bora lakini kwa gharama nafuu zaidi. Banzi ametaja baadhi ya bidhaa ambazo zinapatikana kwenye kiwanda hicho ni Mabati, pikipiki na Generator ambavyo bei zake ni nafuu ukilinganisha na ubora wa bidhaa zenyewe. Kwa upande wake Afisa mauzo wa kiwanda hicho Kedrick Mwakipesile amesema hivi hivi ...
WAKULIMA WA NDIZI HILI HAPA SULUHISHO KWA UGONJWA WA FUNGASHADA YA MIGOMBA, ITAKUSAIDIA
มุมมอง 30หลายเดือนก่อน
Taasisi ya IITA imekuja la suluhisho laTeknolojia kwa ajili ya kudhibiti Ugonjwa wa Fungashada ambao umekuwa ukiwasumbua wakulima wa migomba kwa miaka minne mfululizo. Mtafiti kutoka IITA Rudovick Shirima anasema wamebuni mpango kabambe wa kuzuia ugonjwa huo na kuwapa ahueni wakulima wa ndizi ambao walikata tamaa kwenye zao hilo.
TRA KUMALIZA MIGOGORO NA WAFANYABIASHARA WANAOLIPA KODI, YATAKA WAKAE MEZA MOJA KUJADIRIANA
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
Kamishina wa Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema mamlaka hiyo imekuja mpango mkakati wa kuhakikisha wanamaliza migogoro na wafanyabiashara kuhusu masuala ya kodi ili kila mtu aone fahari kuchangia uchumi wa nchi. Mwenda ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi na waandishi wa habari kwenye banda la maonyesho la TRA katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma akisisitiza kuwa kila m...
WAKULIMA WAPATIWA NEEMA KUTOKA NAMBURI, KILA AINA YA UDONGO ZINAOTA..HAKUNA SHIDA TENA
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
WAKULIMA WAPATIWA NEEMA KUTOKA NAMBURI, KILA AINA YA UDONGO ZINAOTA..HAKUNA SHIDA TENA
BODI YA KAHAWA TANZANIA WABUNI MKAKATI KUWAKOMBOA VIJANA, NI MIGAHAWA INAYOTEMBEA
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
BODI YA KAHAWA TANZANIA WABUNI MKAKATI KUWAKOMBOA VIJANA, NI MIGAHAWA INAYOTEMBEA
TRA: NJOONI TUWAPE MISAMAHA YA KODI, BIDHAA NYINGI ZA KILIMO ZIMEFUTIWA KODI IKIWEMO MATREKTA
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
TRA: NJOONI TUWAPE MISAMAHA YA KODI, BIDHAA NYINGI ZA KILIMO ZIMEFUTIWA KODI IKIWEMO MATREKTA
TROUW NUTRITION WAJA NA MKAKATI KUWAKOMBOA WAFUGAJI TANZANIA, NJOO NANENANE WAKUHUDUMIE
มุมมอง 27หลายเดือนก่อน
TROUW NUTRITION WAJA NA MKAKATI KUWAKOMBOA WAFUGAJI TANZANIA, NJOO NANENANE WAKUHUDUMIE
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA UHAKIKA WA MASOKO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI, ASIFU SOKO LA MBOGA
มุมมอง 125หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA UHAKIKA WA MASOKO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI, ASIFU SOKO LA MBOGA
WATU MILIONI 296 DUNIANI WANAISHI NA MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI, SERIKALI YATAJA MKAKATI KUKOMESHA
มุมมอง 84หลายเดือนก่อน
WATU MILIONI 296 DUNIANI WANAISHI NA MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI, SERIKALI YATAJA MKAKATI KUKOMESHA
MASWI AONYA, WASIOFUATA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA KUKIONA, ATAJA KONGAMANO KUCHUKUA WATU 1000.
มุมมอง 95หลายเดือนก่อน
MASWI AONYA, WASIOFUATA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA KUKIONA, ATAJA KONGAMANO KUCHUKUA WATU 1000.
UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA
มุมมอง 862 หลายเดือนก่อน
UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA
KISA ARDHI, BIBI HUYU ATEMA CHECHE AKIMTAJA HAYATI...MKUU WA WILAYA ATOA UFAFANUZI WAENDE MAHAKAMANI
มุมมอง 1172 หลายเดือนก่อน
KISA ARDHI, BIBI HUYU ATEMA CHECHE AKIMTAJA HAYATI...MKUU WA WILAYA ATOA UFAFANUZI WAENDE MAHAKAMANI
VIONGOZI WA DINI WALALAMIKA MADADA POA KUFANYIA BIASHARA KARIBU NA MISIKITI, POLISI YAONYA.......
มุมมอง 6522 หลายเดือนก่อน
VIONGOZI WA DINI WALALAMIKA MADADA POA KUFANYIA BIASHARA KARIBU NA MISIKITI, POLISI YAONYA.......
KWA MTAJI WA BUKU BENKI YA NMB IMEGAWA MAOKOTO NA VIFAA, NA PIKIPIKI ZA KUTOSHA
มุมมอง 252 หลายเดือนก่อน
KWA MTAJI WA BUKU BENKI YA NMB IMEGAWA MAOKOTO NA VIFAA, NA PIKIPIKI ZA KUTOSHA
MBUNGE FIYAO WA UPINZANI ASHUSHA NONDO "KWA MARA YA KWANZA NAPONGEZA BAJETI" MABULA NA VIPAUMBELE
มุมมอง 543 หลายเดือนก่อน
MBUNGE FIYAO WA UPINZANI ASHUSHA NONDO "KWA MARA YA KWANZA NAPONGEZA BAJETI" MABULA NA VIPAUMBELE
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATAMBA TANZANIA KUSHINDA AFCON NA KUISHANGAZA AFRIKA, ATAJA MBINU NA MKAKATI
มุมมอง 1133 หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATAMBA TANZANIA KUSHINDA AFCON NA KUISHANGAZA AFRIKA, ATAJA MBINU NA MKAKATI
WASOMI MMESIKIA HILI? HII HAPA MAKTABA YA KISASA YENYE KILA KITU KWA FAIDA YENU
มุมมอง 1133 หลายเดือนก่อน
WASOMI MMESIKIA HILI? HII HAPA MAKTABA YA KISASA YENYE KILA KITU KWA FAIDA YENU
INAPOKUJA SUALA LA AFYA, WABUNGE HAWATAKI MCHEZO...SERIKALI YAWATOA HOFU
มุมมอง 333 หลายเดือนก่อน
INAPOKUJA SUALA LA AFYA, WABUNGE HAWATAKI MCHEZO...SERIKALI YAWATOA HOFU
NAFASI ZA NAIBU MEYA NA MAKAMU WENYEVITI LEO ZIMETEKA MJADALA WA BUNGE..WATAKA MITANO KWAO
มุมมอง 443 หลายเดือนก่อน
NAFASI ZA NAIBU MEYA NA MAKAMU WENYEVITI LEO ZIMETEKA MJADALA WA BUNGE..WATAKA MITANO KWAO

ความคิดเห็น

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 12 วันที่ผ่านมา

    Kesi yanini wakati kra kitu kipo wazi au mnatafta rushwa

  • @daudijulius4437
    @daudijulius4437 17 วันที่ผ่านมา

    Wakili mandazi ufai sana

  • @yustinbangi9231
    @yustinbangi9231 หลายเดือนก่อน

    Aerobic exercise

  • @yustinbangi9231
    @yustinbangi9231 หลายเดือนก่อน

    Aerobic exercise

  • @Gracemagoma-mi9ub
    @Gracemagoma-mi9ub 2 หลายเดือนก่อน

    hiyo wanatia haibu ndivyo mlivyo

  • @Gracemagoma-mi9ub
    @Gracemagoma-mi9ub 2 หลายเดือนก่อน

    wooooote nyie mnatafuta vyeo mkikosa mnaanza migogoro

  • @michaelmanyasi9186
    @michaelmanyasi9186 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaha mwingira nani akuruhusu urudi huku kaaa huko😅😅😅

  • @deograsiasngailo4871
    @deograsiasngailo4871 2 หลายเดือนก่อน

    Tumeshajua kua mmetumwa na CWT kuja kuharibu

  • @deograsiasngailo4871
    @deograsiasngailo4871 2 หลายเดือนก่อน

    Kama mnakuja CHAKUHAWATA kwaajili ya uongozi bakini hukohuko C.W.T kwani kuna mtu aliwalazimisha kuhamia CHAKUHAWATA? Tanga mnatia aibu kubwa sana.

  • @ZaidSeifSuleiman-q9w
    @ZaidSeifSuleiman-q9w 5 หลายเดือนก่อน

    Wizi wamitandao nimingi sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mama Samia. U b arikiwe. 🎉

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 5 หลายเดือนก่อน

    Mshukuru kwanza mwenyezi mungu kisha watu ndio wafuate haswa unapozungumzia Uhai We dada muogope Muungu wako Mwenyezimungu pekee ndio anayeokoa , binadamu wanafanya juhudi tu , hivyo pia wanapaswa kushukuliwa kwa juhud zao Ila wa kwanza kushukuliwa ni Mwenyezi mungu Usije ukaleta uchawa mpaka ukapitiliza

  • @mozasalim7725
    @mozasalim7725 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana mama