LATRA: HAKI NA WAJIBU KWA WASAFIRI NI HUU UKIKOSEA USIJILAUMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka abiria wanaosafiri kwa kutumia vyombo vya moto ardhini kujua haki na wajibu wao wawapo safarini ili kuepuka usumbufu.
    Katibu Mtendaji wa LATRA Daud Daud amesema kila msafiri anayo haki akiwa ndani ya chombo cha usafiri hivyo anapapswa kupewa haki hiyo ikiwemo taarifa za safari hata inapotokea dharura.
    Hata hivyo Daud amesema mbali na Haki lakini kila msafiri anapaswa kujua wajibu wake ili kuondoa mkanganyiko katika kipindi chote cha safari.

ความคิดเห็น •