WANANCHI WAFURIKA MSAADA WA KISHERIA KAMPENI YA MAMA SAMIA, YAMALIZA MIGOGORO YA NDOA NA MIRATHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imesaidia wananchi wengi huku ikitajwa kuwa kimbilio kwa wananchi wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili.
    Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Msaada wa Huduma za Kisheria Ester Msambazi anasema Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuhakikisha hakuna mtu anakosa huduma za kisheria katika kipindi hasa kwenye Kampeni ya Mama Samia.

ความคิดเห็น •