I used to worship to this song in 2022 early morning, as i peeled potatoes with no prospects of a better job, come 2023 God gave me a visa, i’m now working abroad, All Glory to God. Mimi nipungue , wewe uongezeke
Ongezeka kwenye maisha yangu yesu, ongezeka kwenye Tumbo langu la uzazi, Ongezeka kwenye biashara zangu, ongezeka kwenye kazi zangu, Ongezeka kwenye ndoa yangu yesu, Ongezeka kwenye kila hitaji la moyo wangu Mungu wangu 😭
I'm a muslim, I'm always amazed by how my christian friends worshipping God by singing this song. Now literally crying while watching this video. It's so pure and heartwarming. May peace be upon you❤..
It's not through your self conscious that prompted you to comment in that fashion. But it's the holy spirit that guided you to do so, and quite frankly I've a Muslim friend and co worker and God whom you call Allah used her in multiple ways so that I can learn to pray three times a day and even more times if possible, and it's possible. May God bless you
Hallelujah,do not let religion blind you please follow the voice of the most high God,we are living in the end of days,where it's not about any religion but the true worshippers who will accept Jesus the Messiah,the Bible says Rom 10:13 whoever calls on the name of the lord shall be saved!
@worship library,it's all about God! He is calling on you to accept Him as your Saviour and friend! If you believe with your HEART and confess with your MOUTH that Jesus CHRIST is Lord,you are saved!
Ongezeka kweny afya yangu ongezeka kweny maisha yangu ongezeka kweny kaz yangu ongezek kweny uzao wangu ongezeka kwenye familia yangu ongezeka hata kwa tanzania nzima bwana
Mungu kanifundisha Jambo kupitia wimbo huu ... glory to God....Madhaifu yangu yapungue yeye aongezeke ..yeye nimkuu kuliko changamoto zangu, mawazo yangu yapungue ili uhalisia wake uongezeke ndani yangu nimeuelewa kutoka mbali..... mmmh
U visited us at Citam kiambu rd when we were celebrating our 3 yrs anniversary,a small girl came over to say hi she is barely 2 yrs..u r such a blessing,am sure she is blessed as she turns 2 yrs in a few days to come.
My God and My King 😭 This two words has changed my life forever mimi nipungue, Wewe uongezeke Yesu My key word Uongezeke SANA😢😭😭 🙌How many are in repeat mode??
Truly God is real. I encountered The holy Ghost through this very worship song. Since then it has been the ringtone in my mind. I just burst and shout "Uongezeke yesu". Somebody shout AMEN!
Mimi nipungue wewe uongeze Yesu,wewe uinuliwe Yesu,wewe uabudiwe Yesu,wewe usujudiwe Yesu,wewe uheshimiwe Yesu sanaaaaa.Mimi Naomi nipungue wewe Yesu uongeze kwangu na familia yangu,uzao wangu,huduma zetu,baraka zetu,neema zetu,vibali vyetu,maono yetu,ndoa zetu, biashara zetu,kazi zetu,afya zetu na Kila section ya maisha yetu Yesu uongeze🙏🙏.Ondoa viburi,majivuno,dharau na ujeuri kati yetu.
This song will pick early next year and no church service will be complete without singing this song. Give it a test of time Man of God. You will remember my prophesy today.
The servant of God ministered this song in our church in Cathedral of Praise ministries in Nairobi Kenya,kanisa nzima tukalipuka maombi.It was an amazing encounter with Jesus.Since then the song keeps ringing in my heart,be blessed Man of God.
Ooh my God i have goosebumps all over my body and tears are flowing from my eyes freely as i listen to this song😭😭😭Bwana yesu ongezeka sana kwa maisha yangu mimi nipungue
I heard this song yesterday for the first ..it got me into a moment of thinking about my relationship with God and for the first time in this year am going to church..God bless you
Yesu ongezeka kwenye familia yangu Yesu ongezeka kwenye masomo yangu Yesu ongezeka kwenye afya yangu Yesu ongezeka kwa marafiki zangu Yesu ongezeka kwenye akili yangu Yesu ongezeka kwenye moyo wangu Yesu uongezeke kwenye uso wangu Yesu uongezeke Kwa wazazi wangu 🤝🤝🤝🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakumbuka baba yangu wa kiroh wa dodom mch chares zakayo alikua anaupend❤❤ Kama ukiusikiliza unaongezeka kiroho kama mimi tuzidi kumwamini yey ktk maisha yetu🙏🙏🙏.
Mimi nipungue bwana wewe huongezeke 🙏 bwana ninyenyekeshe bwana uongezeke kila eneo la maisha yangu yesu uongezeke nyumbani kwangu ondoa kiburi ndani yangu eeeh mungu wangu mimi nipungue wewe uinuliwe bwana 🙏
Asante Mungu wangu kwa zawadi ya uhai uliyonipatia mpaka sasa hivi, nakushuru kwa mambo makubwa na mengi uliyonitendea katika maisha yangu. Nakuja mbele zako eee Mungu wangu nakuomba mimi nipungue katika kazi yangu, afya yangu na maisha yangu kwa ujumla wewe uongezekee eee Mungu wangu mwaka huu 2024 ukapate kuwa mwaka wa shuhuda nije niwashuhudie watu wengi katika page hii jinsi ulivyoongezeka katika maisha yangu 🥰🥳🙏🙌
I thought I had so many problems in life until I received this song through a worship experience. The words came so real..so alive, it was life changing experience and here I am Lord..mimi nipungue..wewe uongezeke Yesu..Ongezeka sana.. Mimi nipotee..wewe uonekane hallelujah.. my life will never be the same again.
❤ Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi nipungue, wewe uongezeke Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Such a powerful worship song... A prayer from the depths of my heart... Mimi nipungue, Wewe Uongezeke Yesu in my life now and forevermore I surrender 🙏... Wewe uonekane katika maisha yangu, mimi nipungue 🙏🙏🙏
Yesu nakuomba nipungue kabsaa, wewe uongezeke ee Yesu. Remove any hindrace and obstacle in my life that may separate me from you....all for the glory and honour.
Hisia zile zile kila ninaposikia huu wimbo nyakati tofauti tofauti na mahali tofauti tofauti, hakika mm nipungue wewe uinuliwe. Barikiwa nyote mnao muamini bwana yesu 🙏
Lyrics: Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi nipungue, wewe uongezeke Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana Mimi ni pungue, wewe uinuliwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana Mimi ni pungue, wewe uabudiwe Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongozeke Uongozeke Yesu, uongozeke sana Mimi ni pungue, wewe uongezeke
Hasante mungu Kwa afya , pumzi na uhai Kwa siku hiii , ongezeka mungu kwenye maisha angu ongezeka katika kazi angu ongezeka yesu kriatyu naomba roho wako mtakatifu anijalie unyenyekevu katika utaftaji wa maisha angu naomba hayo yote Kwa njia ya kristyu aminaaaaa
This song reminds me of how my Father in the Lord Prophet TB Joshua taught us to pray. 'Take more of me oh LORD JESUS and give me more of you....' Such a powerful song with powerful words. Jesus must become greater as I become less.
@@blestn7806 why are you so bitter? Where did she exalt Tb Joshua. Only said the song reminds her of him. Then went on to praise Jesus. Some christians like you are the cause of disunity in the body of Christ. Always looking for opportunities to fight their own. Mature up
When l hear these song...l can't stop crying..l have been putting people happiness first instead of putting my God.. please forgive me God for being selfish...
I woke up with this song in mind as part of my prayer during my fast and It's my desire that he, Ebenezer, indeed increases in my life as everything else submits to his authority.
Kama umekuwa wa kwanza kumwambia YESU KRISTO aongezeke pita na like Moja tu pamoja na kutazama pia wimbo huu MUNGU atasema nawe jambo hapo
It's our church Atheme.
Uoengezeke
Uongezeke sana Yesu
Mungu akiongezeka maisha yetu yanakwenda na huduma zinainuliwa sana
That's good kiburi ni chanzo cha kukataliwa na mungu
nani yupo hapa September 2024,tuendelee kuomba 🙏 pamoja
I used to worship to this song in 2022 early morning, as i peeled potatoes with no prospects of a better job, come 2023 God gave me a visa, i’m now working abroad, All Glory to God. Mimi nipungue , wewe uongezeke
Congratulations dear
Mungu wetu yu mwema
Amen 🙏
Glory to God. I tap to that grace of a job
God is faithful
Who's here in 2024 asking God the same🙏🙏
Mm aki,ata nikitembea naimba Tu hii wimbo
Ongezeka kwenye maisha yangu yesu, ongezeka kwenye Tumbo langu la uzazi, Ongezeka kwenye biashara zangu, ongezeka kwenye kazi zangu, Ongezeka kwenye ndoa yangu yesu, Ongezeka kwenye kila hitaji la moyo wangu Mungu wangu 😭
Amen
May God fulfill your heart desires
Amen
Amen
Amina
Who's here 2025 acha aongezeke hii mwaka
Here i am, let it rain this time. 2025
Naomba Yesu uongezeke hii mwaka🙏
Ondoa kiburi majivuno kweny maisha yangu 😭😭😭😭 YESU mimi nipungue ww uongezeke saana,,,,,mimi si chochote bila ww YESU Kristo🧎♀️🧎♀️🤲🤲🙏🙏
Amen🥹
I'm a muslim, I'm always amazed by how my christian friends worshipping God by singing this song. Now literally crying while watching this video. It's so pure and heartwarming. May peace be upon you❤..
It's not through your self conscious that prompted you to comment in that fashion. But it's the holy spirit that guided you to do so, and quite frankly I've a Muslim friend and co worker and God whom you call Allah used her in multiple ways so that I can learn to pray three times a day and even more times if possible, and it's possible. May God bless you
Hallelujah,do not let religion blind you please follow the voice of the most high God,we are living in the end of days,where it's not about any religion but the true worshippers who will accept Jesus the Messiah,the Bible says Rom 10:13 whoever calls on the name of the lord shall be saved!
God loves you
@worship library,it's all about God! He is calling on you to accept Him as your Saviour and friend! If you believe with your HEART and confess with your MOUTH that Jesus CHRIST is Lord,you are saved!
Amen
My 7yrs boy taught me this worship 😢😢😢😢 ,he could sing and cry 😢😭 mimi ni pungue wewe uongezeke ... bless my son ooh lord
Awesome 👍
Glory to God
Your boy is filled with the Holy Spirit
OOOhhh cant hold my tears God bless your SON
And since then I love the song we worship together in the morning morning before he goes to school. May the Lord bless you as he bless me and my son
Mimi na watoto wangu tupungue wewe uogezeke Yesu🙏🙏🙏uogezeke sana katika masha yetu Bwana...
Mmmmmh
Hallelujah, Mimi nipungue wewe Yesu uongezeke,
Wimbo huu ufike kwa wote walio kusudiwa dunia nzima ili kuimarisha mwili wa kristo.
uongezeke Yesu kwenye mioyo ya watu,kisha sisi.tupungue.maisha hayana maana bila wewe.Thank you my father.
Mimi nipugue yesu uongezeke
What a powerful song, how many of you have been blessed by this song. Tujuane kwa Kweli.
Song of the day, uongezeka sanaa...mimi nipungue wewe uongezeke..
@@joanharold9055 z
@@joanharold9055 wz,,,,,,,zzzzzzzzzzz,,z,,,,,,zzzz
@@joanharold9055 a
👆
Am here after watching that lady who worship in the streets of Nairobi 🇰🇪
Same here, ❤
Same😊
Ongezeka kweny afya yangu ongezeka kweny maisha yangu ongezeka kweny kaz yangu ongezek kweny uzao wangu ongezeka kwenye familia yangu ongezeka hata kwa tanzania nzima bwana
Uongezeke yesu mwaka huu 2023 katika maisha yangu 🙌 nipungue Mimi wewe uongezeke yesu
Si nyimbo ya kawaida, ila ni maombi, ubarikiwe saaana mutumishi wa Mungu. Ombi langu siku moja, tuonane Mbinguni !❤️
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu,
Nyimbo zikiwa nyingi. Lkn ikiw moja ni wimbo.
@@christinasingano942 Praise God
Amina Hallelujah Hossana
Oooh haleluyah barikiwa mpendwa
Mungu kanifundisha Jambo kupitia wimbo huu ... glory to God....Madhaifu yangu yapungue yeye aongezeke ..yeye nimkuu kuliko changamoto zangu, mawazo yangu yapungue ili uhalisia wake uongezeke ndani yangu nimeuelewa kutoka mbali..... mmmh
Ameeeen
Amen
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
Sawa papa
More blessing bro.
U visited us at Citam kiambu rd when we were celebrating our 3 yrs anniversary,a small girl came over to say hi she is barely 2 yrs..u r such a blessing,am sure she is blessed as she turns 2 yrs in a few days to come.
God take the lead,, Ongezeka yesu kwa maisha yangu ❤️🙏😓
Mungu anifunze kupungua ili Yesu aongezeke katika familia yangu, katika kazi yangu, katika watoto wangu na katika yote ninayoyafanya.
Hallelujah
🙏 🙏
🙏🙏🙏🙏😭😭
My God and My King 😭
This two words has changed my life forever
mimi nipungue, Wewe uongezeke Yesu
My key word Uongezeke SANA😢😭😭 🙌How many are in repeat mode??
No day can pass without listening to this song like word of God
Amen, mimi nipungue wewe uongezeke sana
Sang it whole day
Hakuna kama yesu
Hi Joni
O
UONGEZEKE YESU MIMI NIPUNGUE 😭😭🙌🙌ntarudi ni kushudie UKUU WAKO MUNGU
John 3;30- "He must increase, I must decrease."
Amen
I was going thro divorce proceedings,last year#22,,
Hii wimbo iliponya moyo wangu
Glory to GOD
May God restore what is lost
Ameen Mungu azidi kukupigania.
Do you know God has better plans for you, "Jeremiah 29:11" ... Give all your burdens to Christ Jesus
Yesu ainuliwe SANA maishani mwako.
Yote sawa kwa Baba Yesu mwokozi.
Ongeza sauti kwa Yesu
ongezeka kwa life yangu Mungu mm nipungue ww uinuliwe sana
Mimi nipungue ,, ww uongezeke
Uongezeke YESU
Ainuliwe zaidi YESU
Kaka Boaz Danken Mungu amekuamini na kukutambulisha.
Ubarikiwe sana brother 🙏🙏🙏🇹🇿
Ondoa kiburi ndani yangu
It's September 2024......Tele baraka.........John 3:30....wacha aongezeke Mimi nipungue ....GOD.....MIUJIZA TU
December 2024..uinuliwe Yesu...uinuliwe sanaaa
Truly God is real.
I encountered The holy Ghost through this very worship song. Since then it has been the ringtone in my mind. I just burst and shout "Uongezeke yesu". Somebody shout AMEN!
Ameeeeeeeeeen!🙌🏿
Amen 🙏🙏🙌
Prayers and worshiping songa
Amen...Hallelujah...wacha aongezeke katika huduma
Amen
Who is here August 2024
👋
🙌 here with the same cry, that He may increase as I decrease
Me dear hadi naskia kutoa machozi
Niko hapa. Mimi nipungue yeye aongezeke.🙏
Here to worship God in the highest 🙏 😊
1/10 / 2024 at 3:30 God it's my prayer mimi na mtoto wangu tupungue wewe uongezeke.this far it's God.
Mimi nipungue wewe uongeze Yesu,wewe uinuliwe Yesu,wewe uabudiwe Yesu,wewe usujudiwe Yesu,wewe uheshimiwe Yesu sanaaaaa.Mimi Naomi nipungue wewe Yesu uongeze kwangu na familia yangu,uzao wangu,huduma zetu,baraka zetu,neema zetu,vibali vyetu,maono yetu,ndoa zetu, biashara zetu,kazi zetu,afya zetu na Kila section ya maisha yetu Yesu uongeze🙏🙏.Ondoa viburi,majivuno,dharau na ujeuri kati yetu.
amen
Huwa nabarikiwa sana na wimbo huu... Mungu akulinde brother Boaz.
Ondoa kiburi nipe kunyenyekea Yesu, such a blessed song🙌
“Mimi nipungue wewe uongezeke.” Scripture songs hit differently. Can’t get enough of this song.
Ameeeeni
Am here after vanissy's street worshipping session in town❤❤
Same here
Mimi nipungue wwe uongezeke Nov 2024. Dear Lord hear my prayers 🙏
Mimi nipungue, yesu uongezeke sana katika ndoa yangu ongezeka katika familia yangu ongezeka katika kazi yangu, ongezeka nyumbani kwangu yesu
This song will pick early next year and no church service will be complete without singing this song. Give it a test of time Man of God. You will remember my prophesy today.
I can attest to that, just heard in our cross over service, great worship song Glory to Jesus
Am here and I had this song on 1st Jan and since then I've been hearing the song everywhere
@@maryk6797 amen to this
@@paulinemwangi8305 the word of God is always accurate
You are right🥰@parklands baptist we already sang this year
The servant of God ministered this song in our church in Cathedral of Praise ministries in Nairobi Kenya,kanisa nzima tukalipuka maombi.It was an amazing encounter with Jesus.Since then the song keeps ringing in my heart,be blessed Man of God.
Glory and Honor to Jesus Asante
I love the song God bless you
Ooh my God i have goosebumps all over my body and tears are flowing from my eyes freely as i listen to this song😭😭😭Bwana yesu ongezeka sana kwa maisha yangu mimi nipungue
Copmi was my church some years back
Baba mungu, mimi nipunguwe, Wewe uongezeke yesu. Hallelujah I worship you Jesus Christ
Uongezeke Yesu, mimi nipungue katika ndoa yangu na kila kitu wewe uinuliwe sana.🙏🙏🙏🙏
After Rhema Feast I kept singing this song. It's so powerful!
Absolutely!
Ata mimi nko hapa after hearing his songs in Rhema Feast
You my twin.
Me too👌😭🙏powerful
@@she4873 aaq red dtff
Mimi nipunguee ondoa kiburi ndani yangu ondoaa asira ondoa majivuno uinuriwe sana yesu🙏🙏
Husan hasira
Kiburi ishidwe kwa jina la yesu
I heard this song yesterday for the first ..it got me into a moment of thinking about my relationship with God and for the first time in this year am going to church..God bless you
God bless you and never look back again!
Yesu ongezeka kwenye familia yangu
Yesu ongezeka kwenye masomo yangu
Yesu ongezeka kwenye afya yangu
Yesu ongezeka kwa marafiki zangu
Yesu ongezeka kwenye akili yangu
Yesu ongezeka kwenye moyo wangu
Yesu uongezeke kwenye uso wangu
Yesu uongezeke Kwa wazazi wangu 🤝🤝🤝🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
7/7/23 first time hearing this song.
God may you increase as I decrease. Uongezeke sana yesu.
God take the lead.
Nakumbuka baba yangu wa kiroh wa dodom mch chares zakayo alikua anaupend❤❤ Kama ukiusikiliza unaongezeka kiroho kama mimi tuzidi kumwamini yey ktk maisha yetu🙏🙏🙏.
Huu wimbo hujirudia kichwan kwang usku na mchana
This song made me get born again
Wow welcome aboard. Jesus is real. Trust Him; He never fails
Wow!! Glory to God
Oh wow, welcome to the family.
Welcome you are safe
Hallelujah
Mimi nipungue bwana wewe huongezeke 🙏 bwana ninyenyekeshe bwana uongezeke kila eneo la maisha yangu yesu uongezeke nyumbani kwangu ondoa kiburi ndani yangu eeeh mungu wangu mimi nipungue wewe uinuliwe bwana 🙏
Hakika Mungu aongezeke kwangu
Asante Mungu wangu kwa zawadi ya uhai uliyonipatia mpaka sasa hivi, nakushuru kwa mambo makubwa na mengi uliyonitendea katika maisha yangu. Nakuja mbele zako eee Mungu wangu nakuomba mimi nipungue katika kazi yangu, afya yangu na maisha yangu kwa ujumla wewe uongezekee eee Mungu wangu mwaka huu 2024 ukapate kuwa mwaka wa shuhuda nije niwashuhudie watu wengi katika page hii jinsi ulivyoongezeka katika maisha yangu 🥰🥳🙏🙌
Barikiwa mpaka ushangae 🎚
Barikiwa mtumishi...Mimi nipungue YESU wewe uwongezeke YESU
Who is here at 1st December 2024,❤❤the last month of the year,,,,,🎉mimi nipungue wewe uinuliweeee......
Me
Uongezeke kwa maisha yangu mimi nipungue Yesu maana wewe ni kila kitu kwa Maisha yangu
Ongezeka YESU kwa maisha yangu siwezi bila wewe napungua wewe uongezeke
Have never been close to my God but this song has kept me going whatever the situation I know I Will come back with good news
I thought I had so many problems in life until I received this song through a worship experience. The words came so real..so alive, it was life changing experience and here I am Lord..mimi nipungue..wewe uongezeke Yesu..Ongezeka sana..
Mimi nipotee..wewe uonekane hallelujah.. my life will never be the same again.
Me took just can’t stop listening to it..Excatly what you say
Natamani uongezeke Yesu, uongezeke sana katika maisha yangu, mimi nipungue, this year 2023 I need to be successful in life please help me
Indeed 🙏 amen hallelujah in Jesus name 🙏😭🙌
Wow, beautiful worship hallelujah much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi nipungue wewe Uongezeee kwenye maisha yangu yesu🙏🙏🙏🙏
❤
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Who is here in November 2024,let's keep trusting in GOD and believing in him more
Barikiwa mtumishi wa Mungu
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Tuliopita Tena kuutizama Kwa mwaka 2023 njoo tumuambie Yesu aongezeke zaidi na zaidi
Nakiri Mungu wewe ni mkuu,nitapungua,ninyenyekee,niogope ili wewe UONGEZEKE
The last month of 2024 and God has remained the same 😭😭nipungue uongezeke Baba 😭😭kwa neema na wema wako baba nakupenda🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Here in December 23rd believing God is going to step with me every step i make in 2025 Amen🙏
Uongezeke maishani mwangu ,isiwe ni mimi naonekana ila weee tu Yesu.
Kweli Mimi nipugue Yesu aogezeke na kuinuliwa juu sana
Mungu niondolee madeni uongezeke kwa maisha yangu kwa ndoa yangu na familia yangu kwa ujumla😢😭🙏🙏
God answer my prayers according to Your will upon my life.When they see me they see u Amen
Aigh kila dakika nipungue yesu uongezeke kabisa Dunia yote ijue Jina lako
HALELUUUUUUUUYA nitokomee kabisaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭YESU ONEKANA KILA MAHALI 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😪
To be humble is my prayer too so that Jesus will be exalted.
Such a powerful worship song...
A prayer from the depths of my heart... Mimi nipungue, Wewe Uongezeke Yesu in my life now and forevermore I surrender 🙏... Wewe uonekane katika maisha yangu, mimi nipungue 🙏🙏🙏
Kweli Mimi nipugue Yesu uongezeke na kuinuliwa Juu sana🙏🙏nipee Neema yakunyenyekea
Mimi nipungue wewe uongezeke here i am 2024.
Baba nipe neema ya kunyenyekea,nipe kibali,ondoa kiburi ndani yangu,ongezeka ndani ya maisha yangu
Uongezeke kwenye inchi yetu, uzima wangu, maishani mwangu❤
October 2024 show some love ❤❤
Mimi nipunguwe wewe Uongezeke yesu sana Ee yesu
Yesu nakuomba nipungue kabsaa, wewe uongezeke ee Yesu.
Remove any hindrace and obstacle in my life that may separate me from you....all for the glory and honour.
Hisia zile zile kila ninaposikia huu wimbo nyakati tofauti tofauti na mahali tofauti tofauti, hakika mm nipungue wewe uinuliwe. Barikiwa nyote mnao muamini bwana yesu 🙏
What a prayer!! What a reminder!!! What a way to worship the living God!!! The Lord bless you Sir.
Amen Glory and Honor to Jesus
Powerful song
After Rhema feast in Narok ,,was just singing the song ,,it's touching
Amen! Amen! Amen. Namtukuza na kumwinua MUNGU Kwa kipaji na sauti nzuri unayoitumia kwa kumrudishia sifa na utukufu.
Yesu nipungue wewe ongezeke katika maisha yangu.
Uongezeke maishani mwangu yesu🤲🙏
2023 bado napungua ili uongeze...I decrease Lord that you may increase
Uongezeke kwenye maisha yangu ewe Yesu
I dont know what happens when i sing along to this song everytime 😐 LET GOD BE GLORIFIED FOREVER
Thank you so much
Lyrics:
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongozeke
Uongozeke Yesu, uongozeke sana
Mimi ni pungue, wewe uongezeke
Ave just sang, n it's only tears on MA cheek
Singing a bible verse is very powerful. God bless you mtumishi
Wacha nipungue yesu, wewe uongezeke na kuinuliwa🎉
Hasante mungu Kwa afya , pumzi na uhai Kwa siku hiii , ongezeka mungu kwenye maisha angu ongezeka katika kazi angu ongezeka yesu kriatyu naomba roho wako mtakatifu anijalie unyenyekevu katika utaftaji wa maisha angu naomba hayo yote Kwa njia ya kristyu aminaaaaa
Oooh Hallelujah 🙏 Yesu ongezeka ndani yangu nikutumikie zaidi
This song reminds me of how my Father in the Lord Prophet TB Joshua taught us to pray. 'Take more of me oh LORD JESUS and give me more of you....' Such a powerful song with powerful words. Jesus must become greater as I become less.
We are not talking about TB Joshua, we are exalting Jesus than ourselves or TB Joshua... Ok? Please understand
@@blestn7806 why are you so bitter? Where did she exalt Tb Joshua. Only said the song reminds her of him. Then went on to praise Jesus. Some christians like you are the cause of disunity in the body of Christ. Always looking for opportunities to fight their own. Mature up
Same with me 🙏🙏🙏
Mimi nipunguwe wewe uongezeke it's my special prayer request 🙏 I believe my manifestations will come to pass🙏.