God bless you My Family for your Prayers and Watching this Gosple Channel kindly keep on sharing the good news and Dont forget to Subscribe GloryandHonortoJESUS
Here on 25 oct 2024 with a great testimony 🙌🙌.I was suffering from very painful fibroids from last year and the doctors were like you're only 24yrs with fibroids do you know it's very hard for you to give birth secondly it's hard to be healed from the disease😭,My mum told me I ignore the information given by the doctor and trust God He will heal me one day, I used to cry, pray day and night God to heal me . I was supposed to go for operation but when I went for the last cheeckup gynaecologist said am free from fibroids,, am fully healed 🙌😭😭🙏.God is really faithful to His people 💯,My heart is full of thanksgiving 😭😭.
LIKE ZIKO WAPI TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 HIZI NILIKUA NAZIONA KWAKINA DIAMOND, HAMONIZE NA ALIKIBA BUT LEO NIMEFURAHI KUONA JUKWAA LA WATUMISHI WA MUNGU TANZANIA WAMEKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU HAKIKA ANASTAHILI KUSIFIWA YESU NI MZURI BOAZ DANKEN YESU AZIDI KUONGEZEKA KWAKO
Eee Yesu nifundishe kukuamini, kukukubali, kukusikiliza na kukutegemea wewe tu,,, maana wewe ni kila kitu. Barikiwa sana kaka Boaz, namtukuza sana Mungu kwa ajili yako ❤❤
Musician drive me crazy ❤❤, very amazing combination.. I love you Jesus 💥 my Keep it up minister danken.. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿..now at mbeya napata this amazing song.
wimbo kalibu uhudumie nafisi yangu nilikua nakungoja naleo nimekupata hudumia ata taifa langu la tanzania na wazazi wangu hudumia loho mtakatifu oooooooooo nafisi yangu msifu bwana
Hii Ibada ilikuwa ya baraka kupita maelezo nazani waliohudhuria walijionea. Halikuwa tukio la Kutimiza maono ila ilikuwa Ibada ya Nguvu ya Mungu na Roho wa Mungu alimwagika Sana. Mungu aendelee kukutumia Boazi Danken kwa utukufu wake.
Natamani siku moja Mungu Aliye hai awakutanishe pamoja mtuleteeni wimbo kwa pamoja Nitabarikiwa sana sana sana mimi 🙏🙏🇹🇿 Boaz danken ft patrick kubuya ❤🙏🙏🙏. Amina.
Oooh Lord Jesus Chrst.. I wish to see my comment 2100 year.. whoever watching this in 2100 this man is BOAZ DANKEN, The Most worshipper Leader in Mwanza.
Nafsi yangu usisahau ata siku moja kumshukuru na kumabudu na kumsifu Bwana. 🙌🏾. This sound was released directly from Heaven. Thank you for being totally sold out to Jesus Christ and allowing Him to use you…. Receive all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@boazdankenAmeeen mtumishi wimbo huu umenifanya nikutane na Mungu kwa upya!!kila nikiusikiliza nazama rohon nguvu za Mungu zinanijilia.Ahsantee Mungu akupe kunyenyekea na kumsikia zaidi!Ameen.
I FEEL HOLY SPIRIT🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ TALKING WITH MY SOUL 🙏🏿🙏🏿🙏🏿💯💯. MAY GOD IMPRESS AND BLESS ALL WHO TYPE AMEN 🙏🏿🙏🏿. MAY GOD BLESS YOU @BOAZ DANKEN💯🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kakangu yangu..Ubarikiwe mnoo..Binafsi ninakufahamu tokea tupo BMCC utumishi wako na unyenyekevu wako Kwa Mungu.. Mungu akuinue zaidi Ninawapenda na Dada Imani... Nitaendelea kukuombea Ili Mungu aendelea kukutumia zaidi na zaidi
Kama nakosea jaman mnisamehe lkn nimaoni yangu tu kuwa mtumishi awe anavaa Shati Refu kwakua ni mtu wa kuruka ruka sidhan kama nivyema ata ti~shirt kuonekana! Nimawazo yangu lakn msije nirusha mawe
Minister boaz is highly favoured of God..this song is much more than a worship but also inner ministration... the whole team is much more blessed not forgetting the musical team led by Andrew Michael kaniki...huku Kenya 🇰🇪 more love ❤
Utukufu kwa Mungu aliyehai,wimbo ulituhudumia sana siku hiyo.Mtumishi wa Bwana Mungu aendelee kukutumia zaidi ilituendelee kumuabudu Mungu kwa viwango 🎉🎉
Hakika katika hili jaribu langu hapa nilipofika NINAKUAMINI WEWE TU! Hakuna daktari wa mtu mwingine wa Kumuamini... ni WEWE TU YESU WANGU... NINAKUKUBALI BABA....NAKUSIKILIZA WEWE... TAMKO LA MWISHO WANGU....😊😊.❤❤❤❤😢😢😢😢😢
God bless you My Family for your Prayers and Watching this Gosple Channel kindly keep on sharing the good news and Dont forget to Subscribe GloryandHonortoJESUS
Amen Amen... Kenya we love you.
Much love to you mentor Mungu autunze sanaa❤❤
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,upakwe mafuta mabichi zaidi ya praise and worship
Ubarikiwe kaka na timu nzima🎉🎉🎉🎉 Glory and honour to Jesus❤❤❤
❤️ yeleeelelele ayaiyaiya 🔥🔥,Revealing God
Kama ulikuwepo usiku wa revealing Jesus Messiah piga kelele nyingi Kwa Yesu🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ni 🔥🔥🔥
Irudiwe tena
❤ 🤗🤗🙏
😊😊😊😊😊
🔥🔥🔥❤️
Here on 25 oct 2024 with a great testimony 🙌🙌.I was suffering from very painful fibroids from last year and the doctors were like you're only 24yrs with fibroids do you know it's very hard for you to give birth secondly it's hard to be healed from the disease😭,My mum told me I ignore the information given by the doctor and trust God He will heal me one day, I used to cry, pray day and night God to heal me . I was supposed to go for operation but when I went for the last cheeckup gynaecologist said am free from fibroids,, am fully healed 🙌😭😭🙏.God is really faithful to His people 💯,My heart is full of thanksgiving 😭😭.
Hallelujah glory to Almighty God🎉
Amen 🙏
Amen🙏
Glory to God!!!
Hapa lazima nafsi yangu imsifu bwana 😅😅🎉🎉ameeeeeéni
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kujeni hapa tuendelee Kuamini Mungu pamoja ❤❤❤
LIKE ZIKO WAPI TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
HIZI NILIKUA NAZIONA KWAKINA DIAMOND, HAMONIZE NA ALIKIBA BUT
LEO NIMEFURAHI KUONA JUKWAA LA WATUMISHI WA MUNGU TANZANIA WAMEKUSANYIKA PAMOJA KUMSIFU MUNGU HAKIKA ANASTAHILI KUSIFIWA YESU NI MZURI
BOAZ DANKEN YESU AZIDI KUONGEZEKA KWAKO
This man has never disappointed
Mungu atujaze Roho mtakatifu alisia
Amen,Glory and Honor to Jesus ,
Please subscribe and share to many
Anze na mimi bila ROHO WA MUNGU nitashidwa nijaze YESU
Ameeen sana mtumishi wa Mungu akupe neema yake sana
@@VictorjeremiaJeremia Amina
Thanks @@boazdanken
Nina barikiwa na nyimbo zako mtumish wa Mungu boaz Mungu azid kukuinua zaid na zaid
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Hii ni kali sana kama umebarikiwa na kumsifu bwana Wacha mapenzi yake yatimize katika moyo zetu
Amen
Here from 🇰🇪...asante kwa kubali Yesu akutumie uwe wa baraka...tumuamini Yesu..chombo🤏🏼
Ninakuamini wewe tu kwa ajili ya kuikomboa maisha yangu,ya familia yangu,ya marafiki zangu na bado ni yeye ataikomboa nchi yangu🇰🇪
Underline hapo kwa kuikomboa taifa letu la Kenya
Amina tuendelee kumuamini ataikomboa kabisaa
Eee Yesu nifundishe kukuamini, kukukubali, kukusikiliza na kukutegemea wewe tu,,, maana wewe ni kila kitu.
Barikiwa sana kaka Boaz, namtukuza sana Mungu kwa ajili yako ❤❤
Natamanii ningekuwaa apoo mungu akubariki sana minister boaz akika tunamuonaa mungu ubarikiwee sana
Musician drive me crazy ❤❤, very amazing combination.. I love you Jesus 💥 my
Keep it up minister danken.. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿..now at mbeya napata this amazing song.
YESU WANGU anatukuzwa🙌🙌🙌✨️
wimbo kalibu uhudumie nafisi yangu nilikua nakungoja naleo nimekupata hudumia ata taifa langu la tanzania na wazazi wangu hudumia loho mtakatifu oooooooooo nafisi yangu msifu bwana
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Jitu la mbinguni Boaz danken my bro yesu kristo Mungu mkuu anakupandisha viwango vya juu
Mungu wangu nakuamini kwamba kabla mwaka huu kuisha ,,utanipa ushuhuda mkubwa,,,maana wewe tu na kukimbilia
Amen 🙏
Kwa hakika ni yeye tu tunamwamini🙌
Ninakuamini Yesu🙏🏾📢🎶🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hata mazingira ya nje yakatae bado ntaendelea kukuamini wewe tu yesu wangu
Hii Ibada ilikuwa ya baraka kupita maelezo nazani waliohudhuria walijionea. Halikuwa tukio la Kutimiza maono ila ilikuwa Ibada ya Nguvu ya Mungu na Roho wa Mungu alimwagika Sana. Mungu aendelee kukutumia Boazi Danken kwa utukufu wake.
ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Ninamtegemea Yesu tu
Amen kaka Nashukuru sana Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Natamani siku moja Mungu Aliye hai awakutanishe pamoja mtuleteeni wimbo kwa pamoja
Nitabarikiwa sana sana sana mimi 🙏🙏🇹🇿 Boaz danken ft patrick kubuya ❤🙏🙏🙏.
Amina.
This man got anointing from above his songs carries a lot of grace .... Ooh my God !!! Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oooooooh halleluyah
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Naamini sana Mungu anaeishi ndani yako❤
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Mungu aliye ndan yako azidi kukuinua katika viwango vya juu katika huduma yako ya uimbaji mtumishi
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Very powerful song
Utunzwe na Kristo Yesu
Mtumishi wa Mungu Jehovah
Boaz dankeni
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many.
Ninakuamini wewe Yesu tu🙏🙏
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Oooh Lord Jesus Chrst.. I wish to see my comment 2100 year.. whoever watching this in 2100 this man is BOAZ DANKEN, The Most worshipper Leader in Mwanza.
amen, ulikosa ibada nzuri sana bro
Yesu wewe wewe tu🥺🥺🥺🥺
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
@@boazdanken Ameeen
Wapi likes za drummer 12:46 🥁 😂❤
🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😢 YESU KRISTO tusem Nini mbeleyak zaidi kusem oooo!!!Nafsi yangu sifu Bwana kwakua YESU niwewe tunakuamini
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
This is very powerful. This is a song which will minister to us day in day out.God bless you man of God.From Kenya.
Oh..... What a song! Ninamtegemea Yesu tu! I depend on God!
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Ooo nafsi yanguuu, msifu Bwanaaa..... What a spirit filled song.. bless up the Man of God... May the good lord preserve you for his kingdom sake🔥🔥🙏🏿🙏🏿
Nafsi yangu sifu Bwana
Waiting for this mtumishi
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Ninakuamini kabla ya mwaka ujaisha kuna jambo utatenda baba...❤ nitakuja kushuhudia hapaa
Amen Glory and Honor to Jesus please don't forget to Subscribe and share to many
Amen Glory and Honor to Jesus please don't forget to Subscribe and share to many
Nafsi yangu usisahau ata siku moja kumshukuru na kumabudu na kumsifu Bwana. 🙌🏾. This sound was released directly from Heaven. Thank you for being totally sold out to Jesus Christ and allowing Him to use you…. Receive all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
@@boazdanken I’ve subscribed and I’ve shared to so many. Let God be exalted
Ninakuamini wewe Yesu Tu🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 Mtumishi Boaz Danken Unabariki Moyo wangu sana
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu!!!!! Mungu akubariki sana.❤❤❤
Amen,asante kunipenda,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
@@boazdankenAmeeen mtumishi wimbo huu umenifanya nikutane na Mungu kwa upya!!kila nikiusikiliza nazama rohon nguvu za Mungu zinanijilia.Ahsantee Mungu akupe kunyenyekea na kumsikia zaidi!Ameen.
HALLELUYAH .....OOO NAFSI YANGU SIFU BWANA NA VITU VYOTE NDANI YANGU SIFU BWANA 🙌🙌🙌🙌🙌 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤
1:49 Hommes de Dieu Boaz Danken 🔥🔥 Glories á Dieu 🙏🙏🙏🙏
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many people.
Amen 🙏🙏
Haleluya
Ninakuamini
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
I FEEL HOLY SPIRIT🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️ TALKING WITH MY SOUL 🙏🏿🙏🏿🙏🏿💯💯.
MAY GOD IMPRESS AND BLESS ALL WHO TYPE AMEN 🙏🏿🙏🏿.
MAY GOD BLESS YOU @BOAZ DANKEN💯🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many people.
@@boazdankenAmen very Powerful Thank you GOD for this Minister in our Country Tanzania 🙏💯
@@boazdanken I HAVE ALREADY LIKE, COMMENT AND SHARE IT TO MY FRIENDS 😄🎹❤️🎸🎸🎸🙏🏿🙏🏿🙏🏿💯💯💯
Kakangu yangu..Ubarikiwe mnoo..Binafsi ninakufahamu tokea tupo BMCC utumishi wako na unyenyekevu wako Kwa Mungu.. Mungu akuinue zaidi Ninawapenda na Dada Imani... Nitaendelea kukuombea Ili Mungu aendelea kukutumia zaidi na zaidi
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to
Amen
Yesu ni wewe ni wewe tu Yesu Ameeeen😊❤I love You Jesus .
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Oh Haleluya 🔥
Nilikuwa nasubiri sana hii asante sana Mtumishi kwa kazi nzuri
Nafasi yangu usijisahau mwabudu Bwana kila wakati bila kujali ulivyonavyo
Mungu akubariki sana Boaz na team yako
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Finally have a song 😊
Amen Glory and Honor to Jesus please don't forget to Subscribe and share to many
Yesu wewe ni wewe tuuu daaaaah. God bless you so much 🙏🙏
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many.
Kama nakosea jaman mnisamehe lkn nimaoni yangu tu kuwa mtumishi awe anavaa Shati Refu kwakua ni mtu wa kuruka ruka sidhan kama nivyema ata ti~shirt kuonekana!
Nimawazo yangu lakn msije nirusha mawe
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
@@boazdanken okay
I love this song...more so with the shining of each person in your band... Drummer has gotten me high in this... God bless you... Kenya loves you more
Ubarikiwe sana mtumishi nimebarikiwa sana na siku hii nilikesha kwenye hii concert. Ardhi University.
Amen,Glory and Honor to Jesus,Asante kukesha nasi ,Please don't forget to Subscribe and share to many people
Amen,Glory and Honor to Jesus asante kukesha nasi ,Please don't forget to Subscribe and share to many people.
This is another anthem....
🔥
Barikiwa sana sana sana san nimesikiliza wimbo mara mbili dah GLORY TO JESUS🙏🙏🙏🙏🙏
Utukufu apewe MUNGU.
Hi siku nilisimama usiku kucha sikuchoka sikuwa na hamu ya kukaa aise.
YESU ni mwaminifu sana.
MUNGU yupo ndug zangu tumwamini.
Natamani hata ningeka nipo kweny management yako niwe nakuepo kila mahali ukiwa una imba napendaaa saan..Mungu akubariki
Mungu WETU anapenda kusifiwa sanaaaa❤
Minister boaz is highly favoured of God..this song is much more than a worship but also inner ministration... the whole team is much more blessed not forgetting the musical team led by Andrew Michael kaniki...huku Kenya 🇰🇪 more love ❤
Mungu akubariki Mtumishi Mungu nabarikiwa jamani Mungu ananihudumia
Powerful Powerful Powerful Jesus is Our life
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Only you deserve the Glory king of Kings
Hata mimi namuamini sana huyu YESU
Be blessed mtumishi Kwa nyimbo yenye upako wa Mungu kiasi hiki
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Utukufu kwa MUNGU JUU BINGUNI
NINAKUAMINI YESU TU🙏😭🙌
Amen Glory and Honor to Jesus please don't forget to Subscribe and share to many
Oooh haleluya nyimbo za wana Mungu zina mguso wa ndani..Yesu aendelee kuimba ndani yako, uendelee kuita nguvu ya Roho wa bwana, tubarikiwa.
Holly spirit is alive best song in October my god bless your 🙏
Nasikia tu kumuamini Mungu kuna kitu ataenda kufanya kwaajili ya maisha yangu haya 😢🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Ninakusikiliza wewe yesu tuu na wewe usiniache bwana nakutegemeya wewe pamoja na baba🇲🇿 Moçambique
This is Davidic kind of Praise...🙌O bless the Lord O my soul and all that is within me bless His Holy name ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
yesu wewe ninakuamini .believe in me i will do great work halelujah
thank boaz
More grace brother 🇰🇪
Ninakuamin Wew tu 🙏🏾 ni wew yesu🙌🙌
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
@@boazdankenAmen
Ninakuamini Wewe Yesu Pekee ❤
Utukufu kwa Mungu aliyehai,wimbo ulituhudumia sana siku hiyo.Mtumishi wa Bwana Mungu aendelee kukutumia zaidi ilituendelee kumuabudu Mungu kwa viwango 🎉🎉
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Can’t seriously wait for 27th October!!! We are going to represent Christ!!!! Hallelujah to the mountain tops!!!!!!!
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Neema n ya ajabu sanaa,vijana wa Yesu wanapiga kazii hawana utaniii,hii imekaaa kibabe sana,,YESU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Na MD wetuu shifon naona katuliaa poa sana ..na Andrew hatariii kwelii vyombo vyaliaa
Ninakuamini wewe tu, Yesu ni wewe tu😭😭😭🙏🏿, Ubarikiwee sana Mtumishi wa Mungu Boaz
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
Mtumishi Boaz danken mimi nabalikiwa sana nauimbaji wako naomba sema chochote maana namimi napenda kuwamuimbaji kamawewe
Barikiwa mno Man of God 🙌
Amen,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many
The recording was a mighty moment in the presence of the Lord.
Boaz nyimbo zako zinaniguza
Mungu wangu anipe kujiajiri aseeee ..event kama hizi popote mtakapo kuwepo ndan ya Tz stoweza kkosaa hata kidogo..nabarikiwa sanaaaaaaaa❤❤❤❤
Ooooooooh!!! Hallelujah to the LAMB of GOD 😭😭
He is Great and Greatly to be Praised🙏🙏
So powerful be blessed servant of God
Mungu atupe nini tanzania jaman
Wooow amen to God be the glory🎉🎉❤❤❤
Amina saaana Kwa wimbo huuu nimebalikiwa sana sijui niseme Nini mtumishi wa MUNGU 🇹🇿💯👍🔥🔥🔥🔥
Bado ninakuamini wewe tu. More grace Servant of God
Utukufu kwako Mungu uliyetupa kaka Boaz ili kurejesha watu kwako bila kumsahau kaka Dr Ipyana
Thank you for another blessed song. We believe!! We thank God for you. Blessings from Nairobi 🎉🎉🎉🎉
Glory Glory Glory🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
The Glory of God is Exceptional in this song.❤️
Oooh My soul praise the Lord.🙏
Amen Glory and Honor to Jesus please don't forget to Subscribe and share to many
Mtumishi wa Mumgu, Mungu aendelee kukupa neema ya kudumu UWEPONI MWAKE siku zote 🙏🙏🙇🙇
Ooooh nafsi yangu msifu BWANA YESU😭😭 🙏
JESUS IS KING
YESU NI WEWE TU
I BELIEVE, AMEN
Twakukimbilia wewe Tu,tulikimbilia binadamu,,tukawategemea wakatuangusha,,Yesu ni wewe Tu twategemea,ni wewe Tu twaamini 🙌🙌🙌🙌🥹
oooh Nafsi yangu,Msifu BWANA 🙇♂️🙇♂️
Oooh My Soul,Praise the LORD GOD🙇♂️🙇♂️
Boaz NAMUONA MUNGU ANAKUTYUMIA KWA VIWANGO VIKUBWA NABALIKIWA SANA
Oooh nafsi yang msifu BWANA msifu BWANA utukufu ni wako jehovah😭
Hakika katika hili jaribu langu hapa nilipofika NINAKUAMINI WEWE TU! Hakuna daktari wa mtu mwingine wa Kumuamini... ni WEWE TU YESU WANGU... NINAKUKUBALI BABA....NAKUSIKILIZA WEWE... TAMKO LA MWISHO WANGU....😊😊.❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Amen,Bwana akuvushe katika Jina La Yesu.,Glory and Honor to Jesus,Please don't forget to Subscribe and share to many