With this kind of worship and kind of servants of God, Tanzania is overtaking everyone and soon this country will be totally changed to a WELL of worship..... God bless you my neighbors. Lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Libarikiwe tumbo la uzao wenu... Mungu wa mbingu na nchi awape neema y kutumika katika patakatifu pake.. Bwana awaongezee maika.. Na uzee wenu ukawe heri katika jina la YESU KRISTO aliye hai 🙏🙏🙏
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri,Mungu aziimarishe huduma zilizo ndani yenu,ninachowapendea mnatumia neno la Mungu kupata nyimbo hivyo zina ujumbe..mimi nimepata neno hapo "awezaye kutenda makuu mno kuliko niyaombayo hata niyawazayo. hii verse..sisi tunaomba kidogo wewe unajibu sana...HALELUYAH
Na kenya pia 🇰🇪 Kuliko tuyawazaye, kuliko tuyaombayo kwa nguvu itendayo kazi ndani yetu Kiswahili chafafanua maneno mazito ya Mungu wetu Nitakuimbia hadi mwisho wa Dahari Baraka tele Boaz
Thanks. Glory to God who has poured out his Spirit of worship to our Nation and we pray spill over effect od the same Spirit to other Nations on East Africa, Africa and the world at large
Imagine.. Boaz and his team are really blessed. I was there the whole time. Was joyful and danced alot... moreover God presence was oll over the place.
Nimetafuta wimbo mzuri wenye maneno matamu nkuimbie na kukusifu Mungu wangu lakini Ambwene na Boaz wamenizidi 🙏sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Bwana .#watabeautifuldec
Lets all take a minute to pray for those who are dealing with •depression •anxiety •bpd •e.t.c •cancer •for those who are struggling Amen 🙏🏻 god loves you
And may every spirit of oppression of any kind in their bodies and hearts be submerged in the lake of fire of the holy ghost in Jesus name. May they walk in victory in the parted red sea and every obatacle, depression etc be drowned in the same sea in Jesus name. I declare them free for who the son sets free is free indeed. Amen
This worship in Tanzania is full of God's annointing and presence Tz we love you, honor and adore you for thirst you have in worship ministry ata sisi huku Kenya twaiga kutoka kwenu na for sure Africa is ment just to worship and praise God 🙏
Someone tell someone to tell someone and someone that this is what Africa is made of. Good music that makes God happy. Africa made of more. We thank God for you Tanzania. Love from Kenya. meanwhile Ameni Ameni Ameni.
Wow... Hakika sisi Tunaomba kidogo ila wewe unajibu sana baba... hata ambayo hatujaomba ..uwiii I cant mention dady... Nimeguswa.... I feel anointing fill my room now... speeking in tongues... I will stay here..2080... Amen..Amen Mbarikiwe watumishi wa Mungu. Kazi yenu ni njema sana.
Barikiwa Sana watumishi wa Mungu huduma yenu na ikaokoe watu wa mataifa yote, wajue kuwa yupo Mungu Tanzania, Africa na Dunia nzima Amen. Amen. Amen............. Hallelujah Napokea Kwa jina la Bwana Yesu Be Blessed Tanzania 🇹🇿 Be Blessed Pastor Boaz Danken and Ambwene Nawapenda Sana ❤️
Amen.. Amen...Amen...this is Soo powerful TZ is blessed having true worshipers who worship God in Truth and spirit, showing love from Kenya more Grace men of God.
Upako huu wa Injili ya Bwana Wetu Yesu Kristo na uenee Tanzania nzima mpaka Afrika mashariki na bara zima la Afrika . Amen. Nasikia upako kila nikitazama wimbo huu. Amen
Naomba utamke neno moja tuu mtumishi wa MUNGU Boaz nami nitatoka nilipo kihuduma natamani MUNGU anipe mafuta ya Roho Mtakatifu katika uimbaji wangu na kibali pia🙏🙏🙏
Woooow Glory to God!we use to see this level of worship in South Africa,but now is in my country Tanzania.Thank you God for this huge worshipping talent you have granted to ua Servants. Asante Yesu.
I tap in this powerful worship, i admire tz coz it's blessed having this kind of worships. May God raise worshippers in🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I being one of them for God's glory. Baraka watu wa Mungu
Hallelujah Hallelujah Hallelujah to Jesus 🙌🙌🙌.....Waefeso 3:20 imewekwa kwa Muziki👌🔥🔥🔥🔥🔥. AMEN AMEN Kwa Yesu anayestahilishi wasiostahili🙌. This is Glorious and Powerful Watumishi wa Mungu Boaz & Ambwene🔥🔥🔥🔥. Kenya we Celebrate you
I was there on that day and i can say there is only one boaz in the world and no other.. i repeat only one Boaz...the real man of God ....stay blessed man of God
God bless you minister Boaz and ambwene mwasongwe.SHALOM THE DRUMMER!!!!!Umekua sana mdogo angu kimwili na kimuziki pia.Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine.Am your very big fan.
Hii ndio corrabo niliyokuwa nikiiwazia, Hatimae Mungu amefanya, Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu, hakika huduma yenu ni Njema, mnaunyenyekevu ndani yenu
I honour God for you servants, your songs haufananishwi, Mimi nipungue has been a lifting up in my life then this one, let God be God and may he receive all the glory. More Grace to your ministry. We love you here in Kenya.
This song had not touched Me till You sang yesterday live at Ruiru at the Crossover Kesha and Lemmie tell You You are a Worshiper Boaz....It's still ringing in my mind
Mbarikiwe Sana ambwene pamoja na Boaz, utumishi wenu, nyimbo zenu zimekuwa nizabaraka Sana, na pia zinanisogeza Sana karibu na MUNGU, zinanipa kutafakari Sana,
Mungu mwema sana, namshukuru Mungu kwa ajili yako ndugu yangu Boazi Danken umekuwa Baraka kwa Taifa.
Wimbo huu una nguvu ya uponyaji ndani yake
Utukufu na Heshima Kwa YESU Kaka Asante kusimama na Mimi
Hongera umekuwa mnyenyekevu sana. Umekuwa tayari kumsifia mwenzako wakati kazi mmefanya wote. Nimependa huo moyo. Yesu awabariki sana
Amen Brother Ambwene umekuwa mfano Bora Sana Yesu Akuinue sana
Amen Amen Amen Kyala nnunu
@@boazdanken Mungu azidi kukibariki.namimi napokea uimbaji wa upako kama huo kwa Jina La Yesu.Amen I receive in Jesus Name.shish from Kenya
Sauti ya pili ya kaka Ambwene! Kaitendea haki!
Tujuane sauti ya pili hapa!👌
🥳🥳
Alooooh🙏
Amen
Sauti yangu ya pili 💋💋👏👏😘😘
Ukiwasikiliza hawa watu wawili unajikuta uko mbinguni 🙇🤗👏
Unatamani kwenye uwepo huo usiondoke maana dunia Ina kelele nyingi......
Aki vile
🤣🤣🤣
With this kind of worship and kind of servants of God, Tanzania is overtaking everyone and soon this country will be totally changed to a WELL of worship.....
God bless you my neighbors.
Lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thank you and Amen for this profency. As a nation we are humbled. it is not by power not might but by the Spirit of God.
This ministers know what it means to worship and praise
Amen!
I still can't get enough of this. Can't stop admiring the spirit in the whole team and congregation.
Huyu ni Mungu
Ameeen for these prophetic words
Libarikiwe tumbo la uzao wenu... Mungu wa mbingu na nchi awape neema y kutumika katika patakatifu pake.. Bwana awaongezee maika.. Na uzee wenu ukawe heri katika jina la YESU KRISTO aliye hai 🙏🙏🙏
Ameeeen
Powerful comment from you David. God bless you
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri,Mungu aziimarishe huduma zilizo ndani yenu,ninachowapendea mnatumia neno la Mungu kupata nyimbo hivyo zina ujumbe..mimi nimepata neno hapo "awezaye kutenda makuu mno kuliko niyaombayo hata niyawazayo.
hii verse..sisi tunaomba kidogo wewe unajibu sana...HALELUYAH
Na kenya pia 🇰🇪 Kuliko tuyawazaye, kuliko tuyaombayo kwa nguvu itendayo kazi ndani yetu
Kiswahili chafafanua maneno mazito ya Mungu wetu
Nitakuimbia hadi mwisho wa Dahari
Baraka tele Boaz
Powerful 🙏🙏
Mungu awabariki sana Tanzania tunawapenda na tunajifunza kwenu. Atukuzwe Yesu ndani yenu. Best singer in Tanzania
Amen Amen mpendwa, karibu Tanzania the nation of worshipping our real God .
Mbarikiwe mno
Qq
Thanks. Glory to God who has poured out his Spirit of worship to our Nation and we pray spill over effect od the same Spirit to other Nations on East Africa, Africa and the world at large
Amen 🙏
Okaaaaayyyy. Can we now acknowledge the instrumentalists? This is just wow🙌🏽🙌🏽🙌🏽 OMG😩🙌🏽
Glory and Honor to Jesus
Imagine.. Boaz and his team are really blessed. I was there the whole time. Was joyful and danced alot... moreover God presence was oll over the place.
This exceptional service to our God. More grace
Ambwene agombee UBUNGE tuuuuuu sasa akapeleke hekima na busara BUNGENI sasa
We have but ours are for ohangla they don't want to use them to worship the Creator.
Nimetafuta wimbo mzuri wenye maneno matamu nkuimbie na kukusifu Mungu wangu lakini Ambwene na Boaz wamenizidi 🙏sasa naomba maneno na mawazo ya moyo wangu yapate kibali mbele zako Bwana .#watabeautifuldec
Amen
I envy Tanzania kind of worship I wish was in this kind of place, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yes Definitely but You should also try @Dr Sarah K
Lets all take a minute to pray for those who are dealing with
•depression
•anxiety
•bpd
•e.t.c
•cancer
•for those who are struggling
Amen 🙏🏻 god loves you
And may every spirit of oppression of any kind in their bodies and hearts be submerged in the lake of fire of the holy ghost in Jesus name. May they walk in victory in the parted red sea and every obatacle, depression etc be drowned in the same sea in Jesus name. I declare them free for who the son sets free is free indeed. Amen
@@eunicemuyale916 0lpmpl
Amen
Natamani hata kuwapa mtt wangu ili naye awe mfano wa kuingwa
Very. good. song❤🎉😊. God. bless. you 😇🇰🇪
Glory to God Hallelujah 🙌! Tanzania 🇹🇿 Twawapenda sanaa Wa Kenya 🇰🇪 wimbo huu ni moto sanaa kutoka jikoni. Mungu Apewe sifa na utukufu
Nathaniel Bassey of East Africa.
The Swahili version of Nathaniel Bassey. God bless you minister of God.
This worship in Tanzania is full of God's annointing and presence
Tz we love you, honor and adore you for thirst you have in worship ministry ata sisi huku Kenya twaiga kutoka kwenu na for sure Africa is ment just to worship and praise God 🙏
Awezaye kutenda mambo makubwa kuliko tuyaombayo,kwa nguvu itendayo kazi ndani yetu,Utukuzwe YESU🙏🙏
Amen 🙏 watumishi Mungu awabariki sana Ta 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Eish!!!! Bwana Yesu asifiwe saaaana! Tanzanians have taken worship a notch higher! Much Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Glory to Jesus who does all these. It is not by mighty not by power but by his Spirit.
Amen, we love you Kenyan
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hao wacheza vyombo sio mchezo 👏👏👏👏👏
Someone tell someone to tell someone and someone that this is what Africa is made of. Good music that makes God happy. Africa made of more. We thank God for you Tanzania. Love from Kenya.
meanwhile Ameni Ameni Ameni.
Glory to God🙌🙌🙌
Be blessed brother in Christ.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uabarikiwe Sana kaka ambwene hatar sahuti ya pili umetisha
Napokea uponyaji wa mwanangu ss katika Jina la Yesu, Amen Amen Amen
This anointing is releasing fire...
Great Men of God ministering together is a powerful thing.
🇰🇪🥰
We love you Tanzanians wonderful praise God bless you my neighbor.love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Roho Mtakatifu kwa kumpa mtumishi wako wimbo huu, wenye melod ya kimbingu, utukufu ukurudie. Mungu azidi kukuinua kaka Boaz
Best work from Kikolo, oooh Kyala akusaje mundu gwake
Glory and Honor to Jesus please if your Blessed this ministry kindly subscribe our channel
0:04
Ephesians 3:20. He is able to do far more abundantly than what we ask or think, according to the power at work within us❤️...Amen Amen
Am blessed, Glory to Jesus... AMEN
Ee
12min singing Amen Amen Amen🎶This Amen hits deferent.. TZ we learn from you ,big love from Kenya 🇰🇪
Be blessed
Jmn Wapiga Vyombo Yesu ,baba Yangu wa mbinguni azidi kuwainua Viwango vingine🔥🔥🙏
Utukufu kwa kristo
Amen amen mtumish. Thanks Sana.
Hii ndio 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 YA YESU MWENYEWE blessing singles.
I love this song,
Sisi tunaomba kidogo wewe unajibu sana Yesu🙌🙌🙌
Umenifurahisha statement yako ubarikiwe
Unastahilisha wasio stahili🙏🙏
Kuna nyimbo huwa Napenda kusikilizia Nikiwa Kwenye changamoto furani ili niachane na mawazo nianze kumtukuza Mungu na huu wimbo ni mmoja wapo.
The grace that Tanzania gospel musicians carry😭😭😭😭😭😭😭 i want it
Kazi nzuri sana mungu awabariki kwani mnazidi kumtukuza mungu kwa kweli mungu awatie nguvu.🙏
Very powerful song since morning nasikiliza hii imeniinua, nimepata wimbo wa kumtukuza Mungu na kufungia mwaka
Mungu amewapa sauti nzuri na unyenyekevu mungu awabariki
Wow... Hakika sisi Tunaomba kidogo ila wewe unajibu sana baba... hata ambayo hatujaomba ..uwiii I cant mention dady... Nimeguswa.... I feel anointing fill my room now... speeking in tongues... I will stay here..2080... Amen..Amen
Mbarikiwe watumishi wa Mungu.
Kazi yenu ni njema sana.
True worshipers in spirit in Tz...may God gives you more grace pastor...love this song✌️✌️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
stay blessed man of God
Kazi yako ni kubwa
Mmebarikiw bhando bha kyala
Mbarikiwe sana.Just decided to give my life to christ na nyimbo zako ni motisha sana kwa maisha yangu.
Karibu katika ufalme ndugu yangu,ubarikiwe na karibu tena Ameni Ameni.
Glory to God
Mbarikiwe sana, Mungu azidi kuweka nyimbo zenye nguvu zake ndani yenu.
Barikiwa sana, hakika Mungu ametumuka ainuliwe sana ajibuye zaidi ya tuombayo na lutustahilisha tusiyostahili
Mungu anajibu maombi kuliko tuyaombayo! Amen Amen Amen, Aaamen Aaamen! Amen Hallelujah!
Ephesians 3:20
Glory to God.
Mtumishi Boaz you have been a blessing to me in your ministry.Kenya presented
Wow! Nakaza mwendo nifike kule paradiso ya amani tele, foreal i want to praise God with you guys forever , kule juu kwa baba yetu😇
The night of joy I won't forget . stay blessed servants of God- we Tanzanians hav gifted having u guys~ Boaz danken & Abwene.
Glory and Honor to Jesus
@@boazdanken kaka na kukubali sana naomba naomba zako
Amen amen.mbarikiwe sana tu!
this is very wonderful to me
Barikiwa Sana watumishi wa Mungu huduma yenu na ikaokoe watu wa mataifa yote, wajue kuwa yupo Mungu Tanzania, Africa na Dunia nzima
Amen. Amen. Amen............. Hallelujah Napokea Kwa jina la Bwana Yesu
Be Blessed Tanzania 🇹🇿 Be Blessed Pastor Boaz Danken and Ambwene Nawapenda Sana ❤️
Mungu Wa Mbinguni Awabariki Sana Na Azidi Kuwainua Viwango Vingine Watoto wake Kazi nzuri Sana,Amen Amen
Amazing how these two legend voices complement each other. This is an absolute thing of beauty. Bless you men of God❤
Glory and Honor to Jesus
Mungu awatunze kwaajili ya Utukufu wa Jina Lake🙌🙌
Amen.. Amen...Amen...this is Soo powerful TZ is blessed having true worshipers who worship God in Truth and spirit, showing love from Kenya more Grace men of God.
Amen
Always God stand with the person who have faith with his son Jesus Christ 🙏🙏🙏Ameen
Upako huu wa Injili ya Bwana Wetu Yesu Kristo na uenee Tanzania nzima mpaka Afrika mashariki na bara zima la Afrika . Amen. Nasikia upako kila nikitazama wimbo huu. Amen
I pray in this new season, God is going to heal my brother,mould his life in the way He desires..It shall be a testimony in Jesus name.
Naomba utamke neno moja tuu mtumishi wa MUNGU Boaz nami nitatoka nilipo kihuduma natamani MUNGU anipe mafuta ya Roho Mtakatifu katika uimbaji wangu na kibali pia🙏🙏🙏
Woow! Aki Mungu awabariki watu wa Mungu .. amen amen amen
Vijana wote wangefurahia kumtukuza Mungu kwa furaha namna hii dunia ingekuwa amani hongera sana
Woooow Glory to God!we use to see this level of worship in South Africa,but now is in my country Tanzania.Thank you God for this huge worshipping talent you have granted to ua Servants. Asante Yesu.
Connection za kimbingu kabisa huu wimbo MUNGU AWAKUMBUKE
I tap in this powerful worship, i admire tz coz it's blessed having this kind of worships. May God raise worshippers in🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I being one of them for God's glory. Baraka watu wa Mungu
Nataman wote wanaohisi kukata tamaa Mungu akawaone na kuwagusa kupitia huu wimbo una nguvu sanaaa AMEN
Hallelujah Hallelujah Hallelujah to Jesus 🙌🙌🙌.....Waefeso 3:20 imewekwa kwa Muziki👌🔥🔥🔥🔥🔥.
AMEN AMEN Kwa Yesu anayestahilishi wasiostahili🙌.
This is Glorious and Powerful Watumishi wa Mungu Boaz & Ambwene🔥🔥🔥🔥.
Kenya we Celebrate you
Glory and Honor to Jesus
@@boazdanken Ameeen.
Wewe ni wa BARAKA saana Baba....Kenya tunakupenda na tunapenda Huduma Yako zaidi.....Acha Yesu azidi Kuongezeka ndani Yako
Amen amen bwana hata iweje bado nitasema amen wewe umekua mwema saaana kwangu bwana amen na utaendelea kuwa mwema
I was there on that day and i can say there is only one boaz in the world and no other.. i repeat only one Boaz...the real man of God ....stay blessed man of God
God bless you minister Boaz and ambwene mwasongwe.SHALOM THE DRUMMER!!!!!Umekua sana mdogo angu kimwili na kimuziki pia.Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine.Am your very big fan.
Can't get enough of this song, you are a blessing... much love from 🇰🇪🇰🇪
Hao wasichana wa MUNGU ni wanajuwa kusimama kitumish wanaimba Kwa hsia sana very nice 😢
The instrumentalists out did themselves for God’s glory…powerful song
Kwa hakika
Anajibu zaidi ya yale tuyaombayo
Kwa nguvu itendayo kazi ndani yetu
BWANA YESU Atukuzwe Milele yootee🙌🙌🙌 kwakuwa YEYE ndiye Mwema, Amen Amen.
Hii ndio corrabo niliyokuwa nikiiwazia, Hatimae Mungu amefanya, Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu, hakika huduma yenu ni Njema, mnaunyenyekevu ndani yenu
I honour God for you servants, your songs haufananishwi, Mimi nipungue has been a lifting up in my life then this one, let God be God and may he receive all the glory. More Grace to your ministry. We love you here in Kenya.
👏👏🎶🎺🔥🔥Mungu awabariki zaidi na zaid
Watumishi wa Mungu mbalikiwe Sana kwa wimbo🙏🙏🙏,,,,,,waefeso 3:20,,,,,
Atukuzwe sana YESU
Amen wimbo mzuri unafariji pia unaudhihirisho wa nguvu ya Roho mtakatifu. Nimebarikiwa sana Mungu Akubariki
be blessed sir boaz we love u a servant of GOD
Aisee hawa jamaaa wanapika mziki sana❤
God bless you Man of God Boaz danken
Unaibariki mioyo yetu sanaa
This song had not touched Me till You sang yesterday live at Ruiru at the Crossover Kesha and Lemmie tell You You are a Worshiper Boaz....It's still ringing in my mind
wimbo mzuri sana Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Powerful worship flow of the presence of Holy Spirit. Keep the fire burning my Brothers mmetufungia mwaka na baraka. 🔥🔥🔥🙏🏾
Glory to Jesus
Umetawala jukwaa sana Boaz
This man jmn nyimbo zake zina upako flan hivi...nimekua nikitumia nyimbo zake before I pray..zinanibariki mno
Ameni! Ameni! Unastahili wasiostahili! Unainua wasiotegemewa! Kuliko tuyawazayo! Kuliko tuyaombayo! Kwa nguvu itendayo kazi kati yetu! Ameni!
Love
Hallelluyah waoooo hongera sana baba mwalimu wangu
Thankyou Tanzania for blessing us with good worship songs, they are ministering to us in big ways🙏🙏🙏. Much love from Kenya🇰🇪
Mungu wa Mbinguni azidi kukupaka mafuta MABICHI Mtumishi wa BWANA.
The music arrangement itself is just wonderful. Woow that is another level my brothers from Tanzania, shine like the stars
Glory and Honor to Jesus
Ubarikiwe mtumish sijuh nisemaje nimepokea nilikuwa na huzuni lakin baada ya kusikiliza uchungu umetoka amina Nimebarikiw mungu akubariki
Kuliko tuyawazayo Kuliko tuyaombayo this song has blessed me, more grace
Waabuduo halisi watamwabudu katika roho na kweli, Mungu awatunze Ambwene na Boaz, msipate kiburi
Huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 musician Mungu awabariki.
Amen amen. Asante sana mtumish
waoooh yani nimesikiliza na kuangalia mpka najikuta mwili unasisimuka haki Yesu atukuzwea kupitia nyinyi watumishishi ✊🙌😭
From 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪and loving it...more grace 🙌
Hakika mungu ni mwema sauti zenyewe zimebeba neema na utukufu wa mungu tuu barikiwa watumishi wa mungu
I love how u guys worship. The only thing we can give to God is our praise
th-cam.com/video/-S0WAax26Tw/w-d-xo.html Jackie
Sisi tunaomba kidogo Wewe unajibu sana...God you are good... Thank you Jesus
Wow !! Wow!! Glory to Jesus... This has been done with the help of God
Mbarikiwe Sana ambwene pamoja na Boaz, utumishi wenu, nyimbo zenu zimekuwa nizabaraka Sana, na pia zinanisogeza Sana karibu na MUNGU, zinanipa kutafakari Sana,
Much love from Kenya. God bless Tanzania
Kenya is listening,very powerful song,nimeisikiza Mara mingi,very nice keep it up.
This is indeed the signature of GOD among His dear sons and daughters. Powerful ministration to the glory of GOD!