WAKILI MWABUKUSI ACHARUKA ,ATOA MANENO HAYA MAKALI MKATABA WA BANDARI,AAHIDI KUTOKIMBIA NCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 337

  • @Makassyamelo-wk9gd
    @Makassyamelo-wk9gd ปีที่แล้ว +7

    Saaafi saana nguvu ya wasomi nimeanza kuielewa Sasa hapo mkituambia vijana sogeeni nakuja Sasa hivi

  • @GloryJohn-nm5wo
    @GloryJohn-nm5wo ปีที่แล้ว +6

    Huwezi kufa mungu akutangulie sana sana

  • @KamuliShija-iy6sb
    @KamuliShija-iy6sb ปีที่แล้ว +4

    Fact sana mzalendo wetu mungu mwema atasaidia

  • @zuarikazungu5997
    @zuarikazungu5997 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikiliza maelezo na uchambuzi kwa kweli inaumiza sana, Mungu atusaidie sana. Na awaingoze viongozi wetu waone changamoto zilizopo katika mkataba huu na wazirekebishe kulingana na maitaji ya watanzania.

  • @Awa503
    @Awa503 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali kaka mungu akupe ulizi wamalaika wenye kheri akupe kauli yenyenguvu naakuongoze kwakila unalolipigania leo na kesho

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว +13

    Majambaz wanapga sana,..nchi niya kwetu wote,..safi sana wanasheria nyosheni hii nchi,.tumechoka na ujambazi huu

  • @PhilipoTomoka
    @PhilipoTomoka ปีที่แล้ว +4

    Nimekuelewa sana wakili

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe maisha malefu
    Nimekuelewa sana

  • @wemawamungu9866
    @wemawamungu9866 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awatangulie mawakili

  • @HemediHemedimikole-ez8lc
    @HemediHemedimikole-ez8lc ปีที่แล้ว +3

    Thank you my brother upo vizuli sana

  • @KaseMwaliyoyo-mb3wp
    @KaseMwaliyoyo-mb3wp ปีที่แล้ว +2

    Amina Wana wa tanzania ikomboe bandari mungu yupo anasikia atajibu tu

  • @johntogoro6191
    @johntogoro6191 ปีที่แล้ว +12

    Mungu wetu awasimamie katika hili

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana,..wanasheria teteeni hii nchi

  • @AziziDogwe-i4v
    @AziziDogwe-i4v ปีที่แล้ว +1

    Goooooood baraz

  • @KinundaAlex
    @KinundaAlex ปีที่แล้ว +7

    Ujumbe kwa sisi Raia wa Tanzania ambao tupo nje ya Tanzania tunakuunga mkono sana Brother Wakili Mwabukusi kwa kupigania Rasilima ya watanzania .Tanzania sio ya chama cha CCM.Tukuombea mwenyezi akulinde .

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 4 หลายเดือนก่อน

      Bandari ni Mali ya CCM na je mbona hatuioni kwenye safari Chaneli?

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb 4 หลายเดือนก่อน

      Na mbuga ya Ngorngoro Kuna nini ? Bandari ni Mali ya CCM?

  • @SwaleheKudisa
    @SwaleheKudisa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pongezi kaka mkubwa kwa ushidi mungu akujaalie umri na afya tupe nguvu kuhusu katiba mpya mungu akulinde inshallah.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SadickAlly-jm5sr
    @SadickAlly-jm5sr ปีที่แล้ว +4

    Waoooo mwanaume amejitokeza tetea taifa letu, sisi ni kupiga maombi tu! Ju yako

  • @taitatimotheo3075
    @taitatimotheo3075 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe maisha malefu

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 ปีที่แล้ว +2

    Mungu utusaidie

  • @dennisdatius7972
    @dennisdatius7972 ปีที่แล้ว +2

    Napenda kuwashukuru mwenyezi mungu u mapoja na sisi katka kutetea & kurinda masilai ya taifa

  • @JoramRegend-jb4tr
    @JoramRegend-jb4tr ปีที่แล้ว +1

    Mungu awatetee tupo nyuma kumuita mungu katika hili swala

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว +8

    Inchi hii kumbe inawasomi wengi tu mbona mnakuwa kimya sana tusaidieni jamani tanzania hii imekuwa ya watu wachache

  • @JolamHosea-yr3cn
    @JolamHosea-yr3cn ปีที่แล้ว +6

    A man like Charles Taylor on how he spoke.

  • @yusuphdaniel847
    @yusuphdaniel847 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤mwabukusi god bless you

  • @ErickKipilimba
    @ErickKipilimba ปีที่แล้ว +2

    Ni vizuri muheshimiwa rais kwa hekima tu,sitisha mpango huu wa ubinafsishaji wa bandari,tuanze upya

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 ปีที่แล้ว +7

    Hii nchi ni yetu sisi sio wahamiaji❤❤

  • @MgetamafuruMgeta
    @MgetamafuruMgeta ปีที่แล้ว +1

    Mungu hakurinde sana

  • @SubiraJohn-oe5fx
    @SubiraJohn-oe5fx ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaaa mwana sheria mungu ukulinde,na pia mungu atuangalie kwa jicho la pili kwa kweli maana mmmh!

  • @AwadrMwalongo-js2pn
    @AwadrMwalongo-js2pn ปีที่แล้ว +1

    Watanganyika tunaonewa sana,maraisi wote wa Zanzibar upumbavu huu utakoma TU.

  • @hafsamnenga1942
    @hafsamnenga1942 ปีที่แล้ว +13

    Nyie ndio wasemaji wetu tunaowategemea kwa kutetea nchi yetu Mungu awatie NGUVU

  • @pastormarytz
    @pastormarytz ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde. Mungu akulinde Mungu akulinde nalia huku naomba Mungu akulinde. Mungu akulinde.

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 ปีที่แล้ว

    wow great things for inchi Mungu asimame yeye pekee ktk hili

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 ปีที่แล้ว +7

    Niseme Nini mungu wakumbuke watu Hawa walio jitoa kutetea nchi yetu

  • @jumamavind7713
    @jumamavind7713 ปีที่แล้ว +7

    Aa Magufuli alituambia kueni makini namikataba mibovu namajizi yote serekalini aliyafukuza sasa yamerudishwa madarakani

  • @SadickAlly-jm5sr
    @SadickAlly-jm5sr ปีที่แล้ว +4

    Labda mungu ametupa magu mwingine

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd ปีที่แล้ว +4

    Hahaha yaani kuna watu wanajua aisee. Wakili Mabeleka na Wakili Mwabukusi wanajua sana. Tanganyika tunao wasomi. Mungu awasaidie

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wabariki wanasheria wa Tamzania

  • @gracedonatus6859
    @gracedonatus6859 ปีที่แล้ว +1

    Mungub amlinde na ampe upeo

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana wanasheria!..inafaa mpewe nchi muishonye kdogo tumechoka kuibiwa,..

    • @fabianjames8920
      @fabianjames8920 ปีที่แล้ว

      Wewe mbuzi tu kama mbuzi mkipewa nchi mnauza fara nyie na slaa wako mbona kapewa ubaloz hajafanya lolote

    • @angelsgabriely3575
      @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว

      @@fabianjames8920 we ndo mbuz,.mbuzina!..usituletee ushoga wako hapa we usiyejitambua!..waliouza nchi ni wanaopinga bandari isiuzwe au nihao wanaokubali iuzwe kwa masilah yao ya sirini?!!.ili ujue umefirwa had kwenye ubongo!..hujitambui nenda kwa waziri anayehusika kadai faili la dr silaa uone vtu alovifanya!..fala wewe acha kukurupuka mwsho utauzwa had hizo pumbu zako!..

  • @aminamusa7314
    @aminamusa7314 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante sana 🙏🙏🙏

  • @jamesbutendeli4511
    @jamesbutendeli4511 ปีที่แล้ว +2

    🫡🫡🫡🫡🫡🫡 wakili msomi, thank you so much

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 ปีที่แล้ว +5

    Elimu tunazofundishwa kwenye shule na vyuo vyetu ndiyo matunda yake hayo,kuingia mikataba holera.

  • @AlbertoMahenge-yh1sl
    @AlbertoMahenge-yh1sl ปีที่แล้ว +2

    Hongera kaka kwakututetea mungu akusimamie

  • @ShibjiNgenya
    @ShibjiNgenya 4 หลายเดือนก่อน

    Bladha fanya kazi Mungu amekujalia kipaji chakutetea wananchi waali ya chini fanya kazi Yani mimi ata usingizi auji nikiona ukiongea kaka

  • @barakamagoma
    @barakamagoma 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde sana na musimamo wko usibadilike

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 ปีที่แล้ว +6

    kiongozi wa nchi ni mbinafsi anauza mali za tanganyika tu ili akimaliza mda akapumzike salama kwao Zanzibar sisi tubaki tumechakaa

  • @TwahilYunus
    @TwahilYunus ปีที่แล้ว +2

    Mungu atutangulie ili ni zimwiiiii

  • @DautchGogo-fb8cm
    @DautchGogo-fb8cm ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 ปีที่แล้ว +2

    Excellwnt!!!!

  • @jafarisebastian1047
    @jafarisebastian1047 ปีที่แล้ว +1

    Bravo

  • @jamesbutendeli4511
    @jamesbutendeli4511 ปีที่แล้ว +2

    We ndo mzalendo wa kweli

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mwambukusi Mungu akubariki sana na atakuwa nawe siku zote. Samia anadhani na anang'ang'ania ili katika kuanzia tarehe 2025 mpaka 20230 ameagana na mafisadi hata wakina Awadhi watakuwa wamesaidia kupokea kutoka kwa wale wataouziwa watakuwa na makaazi huko uwarabuni. Waweze kutuacha hoi kama Nyerere alivyo anza kutoka kwenye ukoloni wa Uingereza. Hata waingereza walikuwa wakifuata sheria na kanuni walizopeana Nyerere alipoanza harakati hawakuwa kama wakoloni wa CCM maana sikuwahi kusoma historia ya watu kupigwa na polisi ovyo karibu Inchi nzima na Awadhi akituka washenzi. Nyerere angekuwa hai tu hata kama asingekuwa raisi Awadhi angefukuzwa upolisi na kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma za unyanyasaji wa raia wa Tanganyika. Maana KATIBA ya chama chake watu wote walikuwa sawa na heshima na hivi vyeo ilikuwa dhamana tu na kuheshimu utu wa mtu ulikuwa juu sana leo Awadhi anawatukana wanainchi wapumbavu, washenzi yeye ni NANI? NA AMEZALIWA KATIKA INCHI GANI YENYE USTARABU TOFAUTI NA SISI. BASI AENDE AONGIZE HUKO ALIKOTOKA KULIKO NA WASTARABU NA WELEVU AMBAYO SIYO WAPUMBAVU. AWADHI OMBA MUNGU SUGU APONE KWELI WATANGANYIKA WATAKUPEKEKA MAHAKAMANI KWA SHITA KUBWA LA MAUWAJI YA KUSUDI

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akusimamie kutetea haki

  • @saimonmatonya9341
    @saimonmatonya9341 ปีที่แล้ว +4

    Polisi wanawatumia vibaya jamani

  • @fiziakayombo5243
    @fiziakayombo5243 ปีที่แล้ว +5

    Tupo pamoja kwa maombi tutashinda

  • @LuhendeZakaria
    @LuhendeZakaria ปีที่แล้ว +4

    Chadema tegenezen mazigira hii nchi inatakiwa mapinduzi ya chama kitawale kingine sio ccm tena

  • @abernegolkigeleso9909
    @abernegolkigeleso9909 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Bwana Boniface itakuwaje kushugulikiwa shataka hilo ikiwa mahakama bos wake ni yule Alie Saini mkataba feki?

    • @asiaelias-m6q
      @asiaelias-m6q ปีที่แล้ว

      Mungu yupo ataitetea nchi yetu

  • @MgetamafuruMgeta
    @MgetamafuruMgeta ปีที่แล้ว

    Dah aisee maisha haya bado wanaiba tu hawatosheki

  • @YusuphJilala-it9bo
    @YusuphJilala-it9bo ปีที่แล้ว +2

    Nahata bunge letu lisiwakejeli watanzania nimaliyao wasijewakafikapabaya😢😢

  • @liogojafari
    @liogojafari ปีที่แล้ว +2

    Selekali na chama cha ccm Imetunyo sana sana

  • @kadirijuma2618
    @kadirijuma2618 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli muheshimiwa

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 ปีที่แล้ว

    Mwambia wetu jmn mungu akulinde magufuli wetu hajafa upo

  • @gracesanga6489
    @gracesanga6489 ปีที่แล้ว +4

    hakika MUNGU akutumie apendavyo,

  • @DianaJuliusMushi
    @DianaJuliusMushi ปีที่แล้ว +4

    Mungu ametupa akili na utashi, kuna shida katika hili jambo. MUNGU WA MBINGUNI UTUOKOE WATANZANIA, TUNAHITAJI UTUONDOLEE VIONGOZI WASIO WAZALENDO NA UTUPE VIONGOZI WAZALENDO.

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd ปีที่แล้ว +4

    Unaongea kwa hisia.mungu awabariki

  • @ChejoBuchejo-mm8bb
    @ChejoBuchejo-mm8bb ปีที่แล้ว +2

    Oooh nyoko anaupiga nyoko .....yaaani Ni UPUUZI HAWA MANYOKO WATUACHIE TANGANYIKA YETU

  • @FaudhiaNgamilo-zf1he
    @FaudhiaNgamilo-zf1he ปีที่แล้ว

    Allah akulinde na shari za majinni na watu ,sema kweli hata kama mshirikina akirihike ndio amri ya Allah

  • @isaacmalach7929
    @isaacmalach7929 ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde kuitetea inchi yetu na ninawaamini sana mwambukusi slaa na wengine nawaamini nawaombea Ukiacha kudai Utakufa na Ukidai utakufa sasa ni vema Tudai bado Tukiwa hai hata mimi sitaogopa kuwasaport:

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 ปีที่แล้ว

    Wakili msomi huyu hapa🔥🔥🔥🔥

  • @kidomelaedward5916
    @kidomelaedward5916 ปีที่แล้ว

    Huyo mama siapinduliwe tu arudi Zanzibar kwa mumewe

  • @EdnaMgongolwa
    @EdnaMgongolwa ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalinde,awatunze

    • @irambadc5167
      @irambadc5167 ปีที่แล้ว

      Wew bwana hebu nyamaza ,!!usifukuzane na maji korongoni utamezwa

  • @godlistenmbise9087
    @godlistenmbise9087 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU Akutanguliye ndugu yangu na MUNGU Akutumiye Malaika wa kukulinda

  • @AbdurahmanMahfoudh
    @AbdurahmanMahfoudh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hamlalamiki na ruzuku kwenda kwenye makanisa sio wote watabeba falsafa zenu udini unawasumbua ndio maana visulkari na mashinikizo ya dam haviwaishi wa Islam hawana time na dunia hii tunakwetu tunawatizama tunajihadi zetu sio maandamano hatufanyi jambo lisilo na muongozo wa qur an wa Islam tahadhari kujitoa kwenye mambo msiyoyajua as ilia yake

    • @c.l.g.mchurch6426
      @c.l.g.mchurch6426 4 หลายเดือนก่อน

      Kada wa ccm 😂 njaa ina kusumbuwa

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 4 หลายเดือนก่อน

    Baada ya yote mkataba umepitishwa , na saiv silent mode activated... Daaah

  • @VunjaBoy
    @VunjaBoy ปีที่แล้ว

    Dhaaa kweri kakak

  • @BarakaSembeta
    @BarakaSembeta ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢😢

  • @nkindamasanja5260
    @nkindamasanja5260 ปีที่แล้ว

    Mungu baba akutagurie mbere ya safari

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd ปีที่แล้ว

    Mwanangu asomee sheria

  • @machilafaustin9473
    @machilafaustin9473 ปีที่แล้ว +1

    Baba komaa hivyohivyo na huko uliko sisi tuko nyuma yako mitandaoni na bango la free mwambusi

  • @passportchannel7389
    @passportchannel7389 ปีที่แล้ว

    Nice Advocate

  • @robertelly3392
    @robertelly3392 ปีที่แล้ว +2

    Yn jinsi tulivyo fundishwa kuwa ukimya ndio uzalendo wa Tanzania wana maisha magumu ila wa chache ndio wanao nufaika ikitaka kuamini tembelea masokoni au stendi yn wajasiriamali wadogogo wakuzwa km vile sio sehemu ya wa Tanzania let's use our mind but not our stomach 4 our own beneficiary

  • @emanuelkilangilo5585
    @emanuelkilangilo5585 ปีที่แล้ว

    Tatizo elimu bro viongozi walewale Mara Mtoto Wa flan wanalithishana

  • @JulyZacharia-iz1bf
    @JulyZacharia-iz1bf ปีที่แล้ว

    tupambanie kk, watanzania jaman tumezidi kwa upore na uoga, amkeni jamaniiii

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli mkuu wakili

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 ปีที่แล้ว +2

    Wanahofu kuwa wameharibu, wanaogopa kukili kuwa wanamekosea, na hawataki kujionyesha kwa wananchi kuwa wamekosea hivyo wanaendelea na huo mkataba kulinda heshima yao

  • @AziziDogwe-i4v
    @AziziDogwe-i4v ปีที่แล้ว

    Mwamba nimekukubali yani wew

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 ปีที่แล้ว +7

    huyu jamaa ni kichwa hatari Mungu akulinde uendelee kutetea nchi yetu

  • @mbarakaissa-s9e
    @mbarakaissa-s9e ปีที่แล้ว

    kiongozi mungu akuli na hawa mafisadi wa hii nchi

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 4 หลายเดือนก่อน

    Mcha
    Mungu anatakiwa awe km mwabugusi sio kumsifu fisadi au mdhulumaji km ccm hat aibu hawana mpaka wastafu wameporwa mafao yao!!!watalaniwaaa

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy ปีที่แล้ว +1

    Wapiga dili wanahangaika uzalendo upi una tetea

  • @CharlesSemboni
    @CharlesSemboni ปีที่แล้ว +1

    Mama unachelewesha waaraabu hawa wengine achana nao

  • @mecksanchale9396
    @mecksanchale9396 ปีที่แล้ว

    TANZANIA BHANA

  • @barakamagoma
    @barakamagoma 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa lkn angalia usipewe posho ukapunguza speed zako tunakukubalia sana ww na makonda usibadilike basi na ww

  • @ThomasNyarusanda-fl3fd
    @ThomasNyarusanda-fl3fd ปีที่แล้ว +1

    Waziri Mkuu Majaliwa, anamsikia mzalendo mkweli huyu aliye na uchungu na nchi ya Watanzania?

  • @AbeidiAbeidi-xv1ix
    @AbeidiAbeidi-xv1ix ปีที่แล้ว

    Noma

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +1

    Amir Jeshi Mkuu SSH tunazid kukuombea na Mungu akupe umri mrefu uongoze Awamu zote , Watanzania tulio wengi na wenye uchungu na Nchi hii Pendwa huwa tunaweka Tanzania mbele mengine baadae

  • @FranksimonKivuyo-xl4vt
    @FranksimonKivuyo-xl4vt ปีที่แล้ว +2

    Wakili uko vyema,awamu wa kugombea uras chukua kura zangu yote. Magufuli mpya ajae.

  • @classicvisiononline8334
    @classicvisiononline8334 ปีที่แล้ว +3

    UYO PADRI APO PEMBEN VP

  • @kantonankwera768
    @kantonankwera768 ปีที่แล้ว +1

    Nawaombea mtupambanie munguawalinde.

  • @THONTEMBA
    @THONTEMBA ปีที่แล้ว

    Jamani mm hatamkinipa hii nchi niiongoze kw sasa jinsi ilivyokuwa mbovu nakataa mchana kweupe maan ni mbov mbov sijapata kuona kabs yani wameiharibu paka basi