Prof. ANNA TIBAIJUKA ACHARUKA/ WATU WANAINGILIA UTENDAJI/BANDARI/ DP WORLD/ MKATABA UREKEBISHWE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Haya ndio matunda ya Nyerere. Elimu, uelewa, kujiamini, ukweli, na uimara wa dhati ya moyo kusimamia lile unaloliamini bila uwoga/unafiki… Kudos Mama Tibaijuka! Umeingia kwenye Historia pekee ktk hili na mengine uliyoyafanya kulitumikia Taifa letu.
Very good my mother ❣️🇹🇿
Mwanache bunge lingebidi liwe na wabunge wa aina hii.Tatzo reasoning yetu imekuwa ndogo sanaaaaa.Mama tibaijuka hawa ndio real thinkers watu wametumikia taifa na kimataifa pia alikuwa director wa UN habitat kwa kuteuliwa na katibu mkuu koffi annan.Watu ambao IQ zao ni kubwa they think further
@@juliussilvestar8988 .
Haya sasa Nani anakataa WAHAYA wasipewe nchi. 🙏🙏 Bibi yangu Anna Tibaijuka Mungu akupe maisha marefu.
Apewe nchi hata kufafanua anashindwa kufafanua
Kibibi kijizi kilpewa rushwa pesa ESCROW KIKASEMA HIYO NI PESA YA MBOGA 16 billion Tsh na MAASKOFU WA TEC
"Maneno hayasifiwi kwa wingi wake bali kwa uzito wake" - Prof. Tibaijuka 2023
Hapo kwenye goverment taxation kwa nini vijana wanaojiajiri wasipewe tax holiday kwa muda fulani ?
naiona elimu halisi hapa
Hii nchi kuna watu wanaakili sana, prof tibaijuka upewe maua Yako mama shikamoo sana
Saaana aiseee
😂
Inchi inaogonzwa na wajinga wenye akiri wamekaaa kuwa watazamaji ,ndo ccm hawataki kuweka watu wenye Quality wanatuwekea watu wenye history ya kuwa makalani we nned watu wenye brain bana siyo wapaka poda.
Sasa angalieni mda wa kusoma akaelewa mkataba atatoa wapi wakati kusoma kwenyewe kaishia kuwa kalani
Lakni cha ajabu watu kama hawa ndio wanaogwa vita na haishii hapo mwisho hata kuuliwa wanauliwa hapo ndipo pakushangaza
MZEE MWENZANGU UMENIFURAHISHA SANA. TATIZO HAWA WATOTO TUNAOWATETEA HAWAJITAMBUI . NCHI TUNAYOYATAKA WAIRITHI HAWAJUI JINSI YA KUILINDA. HIVI WAANDISHI HAWA WANAOGOPA KITUO CHAO KUFUNGIWA? (Herufi kubwa hapa ni kusisitiza)
Huyu ndio professor..OG..anazungumza vitu vinaeleweka wala hatumii nguvu..blessings..
Huyo Ndio mama halisi wa nchi yetu Tanzania 🇹🇿 ❤🤲🏽❤
Ameen 🤲🏽
Hongera sn,,, hakika umetoa Elimu kubwa Mnoo kuhusiana na Taifa na huo Mkataba kwa Ujumla...Mm binafsi nimekuelewa Vizuri Mnoo kwa undani sn,, Mwenyezi Mungu akubariki sn Prof. Anna Tibaijuka 🙏🙏👏👏👏👏
You are an Angel mama Mungu aendelee kukutumia. Uishi maisha marefu mama yetu. Keep up on raising your voice for our country. God bless you
Do u really know that woman na alichokifanya kwenye hii nchi guys acheni siasa
@@KassimAlly-xp4dz vp wew binafsi umefanya kipi cha maana kwenye hili taifa
❤ "Bandari ni roho la uchumi wetu. Maneno hayasifiwi kwa wingi wake bali kwa uzito wake "....mie nime mnukuu prof. Tubaijuka
Huchoki kumsikiliza Prof! She is well informed
nani kama tibaijuka
Mama Tibaijuka..wewe ni almasi ya nchi yetu.Mungu Akutunze❤❤
Mungu akuzidishie miaka na afya njema, na awanyakue wote walio na Nia ovu juu ya nchi yetu
Professional conversation much respect to professor 👌
Professor Tibaijuka deserves the presidency, at least her words show the way...
Ni kweli mama mkataba hiyo ni madharau sana kwa nchi yetu na raisi wetu
Eeeeh Mungu ahsante kwa ajili ya maisha ya mama Anna Tibaijuka.
Uyu mama kichwa Sana eeeeeh, nimemuelewe, Sana kwa kilicho andikwa ni shida mama, huu mkataba wa ovyo shida wengi wanawaza kula umeongea Jambo la nchi Asante Sana.
Mama yetu mungu akuzidishie maisha zaidi tunakuombea waambie halo wajuwe
Asante Mama Anna Tibaijuka usiogope kuwa mkweli Sisi tutaunga mkono unachokizungumza na hiyo ndo Maana ya Elimu, Ubarikiwe
Ana anaukweli gani wakusema mwizi tu huyu kakosa masilahi elimu gani alonayo punda huyu mzigo tu kwajamii
@@chingaboy1149 we unaakili kweli !!!
@@chingaboy1149 we mbumbumbu unakipi cha kumkosoa profesa.....
Wewe ni kichaa
@@ZionTZ09 frofesa or profusa kasaidia nni zaidi ya wizi kwendraaaaa huko mtwanwa wakifikra wew
Safi sana mama Tibainyuka kwa kuwa mkweli na kuweka itikadi pembeni. Na umefafanua ili watu wa kawaida waelewe. Ni watu kutokuelewa maana ya maneno. Na kuwa ruhusa akina Msukuma Bungeni wa sio na elimu kuuchakachua bila wa kuelewa kwanza sababu ya lugha na wakati a hoja na kuongelea ni kama kumpa Mtoto awe raisi wa nchi. Hivi wana ccm wasomi wote, maraisi wastaafu wamekaa kimya inamaanisha nini? Huyu muuliza maswali kijana, maswali ya kijinga sana bila uelewa kabisa. Na vijana hawa hawaelewi kabisa. Mtanzania ukaombe okay Dubai kuhusu nchi yako unajua wa Sawa tu. Swali kwa vijana, wewe Unami I’m a ruhusa jirani yako mwanaume kuhusu mambo yako ya Ndani si umekuwa bwege? Tibainyuka kakuuliza je unajipenda? Hawa vijana hawana uelewa kabisa.
Inawezekana anaelewa Ila kauliza ili yeye na wengine waelewe zaidi
I love this prof,the way she articulate things,it's so impressive.
she deserve to be a role model 💪🤏🧠
mama unatosha saidia Tanzania inamalizwa
unatosha saidia nimekuelewa Rais awafukuze wanamuza mama
Hawa ndionwa kuwafanya kuwa Washburn wa Rais
Tz ni vigumu Sana mtu mwenye akili kubwa kufanya kazi vizuri maana Kuna, wivu, fitina, kuangaliana unatoka wapi? Wakigundua unafanya vizuri kuwazidi wanapanga mbinu ya kukuangusha. Bora abaki mstaafu awe huru kutoa maoni bila hofu. Mchawi wa Afrika ni Muafrika mwenyewe.
Nawaomba Viongozi wa C C M tumieni Hazina yenu hiyo Muitoe Bandari Yetu na Bahari Yetu kwenye Mikono ya Mkataba Wenye Mashaka yakutuingiza kwenye Majanga.
Kama Ushauri wa Prof. Anna Tibaijuka aliyewahi kufanya Kazi UN- HABITAT huko Duniani Kimataifa hautozingatiwa Nadhani Tutakuwa Tumelogwa.
Tutakuwa Tumechawiwa.
Bishop Gwajima Fanya Maombi ya Kurudisha Bandari Yetu Imechukuliwa Msukule.
Akili za Baadhi ya......zimelogwa na Chai ya Marashi huko Jangwa la Dubai.
Rudisha Akili ya Viongozi Kwa Mamlaka ya Jina la Yesu Kristo wa Nazareti Aliye Hai.
Uishi miaka Mingi Prof Tibaijuka !!
Mama Nakupa Maua yako 🎉
Prof apewe maua 🌹🌹🌹🌹yake kichwa kimoja zaidi ya wabunge 300
S ndyoo kwishaaaaaa
Hivi hawa wabunge wanaopiga makofi tu bungeni kupitisha utumbo huo IQ zao zinaakili kweli???
Huyu ndiye professor na ana hofu ya Mungu ubarikiwe professor
Yani Oscar kweli unalinganisha mkataba wa FEISAL na Azam na Mkataba Bandari 😂😂😂. Halafu eti unasimea PhD? Utakuwa Dr. Wa hovyo Sana 😂😂😂
Wasomi wa tz bd Sana ata raia wa kawaida awez kbal mkataba wa ovyo wa bila kikomo Yan miaka buku kwel nononooooo
I will become a Prof like her siku Mojo. Am so much inspired kwa kweli..
Do it faster like the mkataba
Well said Prof Tibaijuka
Be blessed🙏🏼🙏🏼
Asante sana prof tibaijuka umeongea vizuri sana tena kwa uzoefu na kwa mifano wale wanaojitaidi kupinga wakupinge na watoe sababu zenye mashiko kama hizo Kiukweli kabisa hakuna sababu ya kutumia nguvu sana kama wanatulazimisha walazimishe lakini hatuwezi kufikili kama wao
Mwenyezi Mungu amzidishie miaka mingi zaidi tuzidi kufaidi elimu yake. Hakika huyu ni professor haswaaa
Mungu akubariki Mama yetu umeongea kwa niaba ya Nchi Nzima. Mama Samia anamengi ya kujifunza kwako
Mama wewe ndo Prophesor Mungu akupe maisha marefu Sana.
Tunaomba interview nyingine na huyu mama..🇹🇿🇹🇿🤞❤️anajua vitu
Congrats Prof Tabaijuka... Napenda uadilifu wake pia🇹🇿🇹🇿✔✔.
Uadilifu haupimwi kwa maneno wala kwa muonekano wa mtu bali uadilifu unapimwa kwa matendo ya mtu...!
Very intelligent one women from Bukoba well sayed
Mungu akubariki mama Anna Tibaijuka 🎉❤
Mama ana hakiri sana mungu amjalie umri na maisha mrefu Tanzania tunahitaji viongozi wenye hakiri na busara kama awa❤
We nawe hakiri ndo nini sasa! 🤷♀
Halex sio Hakiri ni Akili ..bwana Alex 😂😂
Hakiri ndio nini sasa na wewe
Sasa huyu ndio proffesor. Big up Mama Tibaijuka ❤
Asante mama umeonesha uzazi wako kwa taifa letu na mungu akubariki
God bless mama, prof Tibaijuka 🤝🏆
Masuala ya nchi mnatuletea issue za Mpira. Inaonyesha Uwezo mdogo wa waandishi. Well done prof. Well said
Yani hao hapo studio ni bogas sijawahi ona, wana leta mpira kwenye Issue ya maana hivyo shame on you ppl.
Mungu akutunze prof hakika sichoki kukuskiliza
Mama nimekupenda sana. Umetema madini. Hujamungunya maneno.
kawaida yake
Kweli kabisa Professor Tibaijuka. Mh Raisi wetu alikuwa anafanya kazi yake vizuri sana ila mkataba bubu huu sijui ni nani alimshauri akakubali kuingia kwenye hii shida maana Watu wengi hatuafiki ni wachache wakiwemo wabunge tunaowachagua watusaidie lakini wanatuangusha jamani ni lazima watu wakubali mrejesho wa watu wengi kuwa watu hawataki labda kama Nchi ni ya Wa bunge tu. Shukran sana Prof Tiba MMUNGU akupe afya rizk na umri mrefu.
Hela hizi,mnashangaa nizambogamboga tuu,wpo watu Wana mapesa Bwana,naanzanje kumpongeza huyu na kwalipi?.
Anaongea kwa maslahi ya nchi kwanini asipongezwe Acha chuki binafsi kama hujui kitu kaa kimya
@@ibrahimshilinde6129 Watz ni watu wa kusahau kirahisi hata Joka la Makengeza akijitokeza hapa kuongelea suala la DP watampa Maua kama yote
@@user-rp2so8bg2j@osiahlwinga915 Unajua kwamba huyu bibi alipokea billion kadhaa Toka kwa washirika wake kina Rugemalila na Sethi Singasinga wakati wa lile sakata la Richmond/Escrow na kuita hizo billion ni visent vya mboga
@@wilbertmombo9834 kwahiyo mtu akituhumiwa hapaswi kutoa maoni kuhusu nchi yake.?uthibitisho wa kwamba alipewa pesa haupo ndo maana walishindwa kumpeleka mahakamani hafu istoshe ishu ya Escrow waliohusika ni wengi kwanini huyo mama tu ndo anayeandamwa.?
Mama uko vizir mungu akutangulie na kauli yako iwe namashiko 🙏😘🇹🇿
Mama akihitaji kiben10 nipo hapa kijana wa hovyo,bado anadai kabisa na uzuri wake nataka anileee
eddo na Oscar acheni ujinga kabisa mama anaongea kwa points nyie mnaleta kubalance kwa serikali acheni hizo
Kujipendekeza ndio sifa yetu
Wanahabari walilambishwa asali.
Wanahabari kazi Yao no kuchokoza na wamechokoza haswa, ww ungepataje?
Jamani naomba Mama apewe muda na Watanzania wengi wamsikie!! Naomba sana!!
Syo kwa waandishi hao
Ndiyo, Media nyingi zikutane naye ili elimu iwafikie watanzania wengi....iv mbona baadhi ya watu hawana uzalendo jamani?
@@bibieismaily5761 media zipo hizo zenye waandishi watangazaji wanaojua kungamua na kuuliza maswali,proffesionalism imevamiwa sahv
Nimumuelewa sana prof Anna Mungu ambariki
Tibaijuka Anna kwenye Ubora wake. Mungu akutunze mpendwa wetu.
Tanzania kwisha habari yetu. Asante Mama kwa ufafanuzi mzuri. 😢😢😢 Chochote kile kitakacho fanyika Tz lazima tutoe taarifa. Maana Tz ilisha pewa Waarabu iwe yao milele
Waandishi leo mmeniangusha ,hamuwezi kumuingilia prof anaongea, mie nimechukia mnavyomshambulia sana! Hebu muwe mnaspare maswali walau mnamtafutia interview ya masaa sita ! This is professor please respect her
Hawana upeo
yani ni kama anahojiwa na watoto wa chekechea!
Hawana upeo kabisa, huoni wanaingiza maswala ya mpira kwenye issue nyeti..Soo sad
Asali ndugu
Amka usingizini ndugu yangu hamna kitu hapo uprofesa chini ya mitaara ya MKOLONI 😂😂😂
Kweli nimekubali. Nchi hii kuna hazina. Big up Kajumulo.Mungu akulinde.
Una uhakika hazina uyo mangapi ameyafanya kipindi chake rasimali ngapi ameshiriki kuuza fisadi uyo
Alisema mnao jua aliyo yafanya mjitokeze myaseme na muonyeshe vidio sio hayo ya kuediti mnaweka pc yake huku mnasoma.
Nyie ongeeni tu ila mimi mama nimemkubali bado ni pisi halafu nimesikia yupo single dah.mimi kama kijana wa hovyo naona mama utelezi bado anao najitolea anilee
Nawashukuru wasafi kutuletea profesa ametuongezea maarifa kuhusu huu mkataba.
Partnership inabidi iwe 60 kwa TZ and 40 kwa Dubai. Tayari TZ imewekeza sana kwenye Ports zetu.
Barikiwa Sana mama Tibaijuka
Wagambage muno❤
Umeeleweka sana mama profesa wetu. Wazee kama nyie ndiyo tunu ya taifa hili.
Nimekusamehe kwa habari ya escrow hasa ile sentensi yako ya “hela ya mboga” iliyotukwaza sana.
Kwa uzalendo ulioonesha leo tunaamini tuko pamoja sasa. 👍
Huyo Ndiye Profesa Tibaijuka mwenye uwezo.mzuri sana
Kweli maoni yake yaangaliwe na kutekelezwa
Meamini akili za wandishi wa habari wetu ni hamna kitu😢😢😢😢😢😢😢 pole snaa hii nchi inawatu wa hovyo sanaa
😂😂😂
Alafu ndiyo wanajiita waandishi
Inasikitisha sana uchawa kujipendekeza ndio kumezaAa watu wa aina hii watu hawaamini taaluma hawaelewi madhara ya mikataba ya hovyo hivi unaambiwa uhuru wako unaenda kumkabidhi mwarabu na bado umeshupaza shingo
Ni wasenge wanauliza maswal ya kipuuzi,, issue serious kama hii unaingiza story za mpira fala kabisa
😅 we have none.. kina kikeke ndio watu
Very conscious prof Anna Tibaijuka👏👏👏👏👏👏
ASANTE Prof kwa tafsiri yako nzuri kuhusu Mkataraba. Vijana hao hapo studio hawaelewi somo zima la kuachia nchi kirahisi hivyo. Rais samia amefanya mazuri meeeengi sana. Lakini wabunge wooote eti hakuna mwenye kuonyesha hofu kuhusu Uwekezaji wa Bandari na anga letu? Binafsi nina miaka zaidi ya 60 sasa.! Inauma sana sana wabunge wetu kuingizwa ndani ya zwengwe hili. Kusiwe na vitisho kwa sisi wachangiaji wszalendo. Mkataba huu urudiwe wawakilishi wetu yaani wabunge wetu sifuate mkumbo yaa wawe upande wa CCM ni Mh. Mpina tu ndiye ameonekana kuhoji na kujenga hofu ya mkataba wa Dp world na wapinzani wa chadema.? Hakika, katika hili wawakilishi wetu mhhhh? Sikieni sauti za wananchi wenye hofu badala ya kusema atakaepinga tupo nae. Kumbe ni lasilimali ya maeneo ya bahari,maziwa badari na anga? Alafu kweli mna kaa harakaharaka mnaupitisha?Jamani jamani,.mbana SGR na BWAWA LA NYERERE NA BOMBA LA MAFUTA hawashiki maeneo mengi ya nchi yetu wanahusika na maeneo ya mradi ulipo tuu? DP WORLD ni BANDARI MAZIWA eti na ANGA?.MKATABA HUU UBORESHWE. WATAALA NA WAZALENDO MPO?
Mama uko safi sana. Nyumba yako halafu uombe ruhusa kuifagia? Utumwa unarudi kwa mlango wa nyuma. Samia mama na rais wetu, sauti ya wengi in sauti ya Mungu. Mniwie radhi," Hii ni laana kwa kuyapuuza ya baba wa Taifa na Yale ya JPM." Uhuru bila mipaka hats visiwa watu wanauza tu. Tusiporudi kwenye njia sahihi, kama she he mmoja alivyosema tumlilie Mungu, hays yatatumaliza. Tibaijuka mama asante sanaaa
Shida imekuwa IQ ya mama nikubwa kuliko hawa waandishi waliomuinterview ndio unakuta anajibu maswali kabla yawao kuuliza alafu wanauliza tena😂😂😂
Kabisa
Sidhani kama wanaweza kuwa sawa unawaonea tu waandishi hata rais wenu wa zt akili hana kwa huyu mama
Ha ha ha ha
Huyo mama kazoea kufanya kazi na wazungu uwezo wke ni mkubwa saana
Kwa ufupi tu huyu Mama IQ iko juu mno. Kumbuka ni Mama aliyesoma enzi hizo na amefanya Kazi kimataifa alishawahi kushikiria nafasi kubwa Duniani na aliongoza vikoao UN na kushiriki midaharo ya Kimataifa. Huyu ni Frofeseri 😂😂😂😂😂
Hongera sana mama tafadhali waelimishe ndugu zetu kama wamekosea pia kwanini mfafanuzi mkuu amekaa kimya?
Vile vile Jamhuri ni pande mbili sasa jamani wasomi wetu waliojazana kwenye serekali hawaoni haya mambo mpk utoke wewe mstaafu ?
Anyway sijui lkn meseji yako imefika hio na wewe tu nakuombea mama akuchukue kama mshauri wa uchumi maana unaweza kuliko hao wanaume.
Mungu akubariki inshaallah na akulinde kwa kutoa ufafanuzi uliofichwa. Amiin
Asante sana mama kweli si wingi wa maneno bali uzito wa maneno.mama kaa karibu na mama Samia umshauri kuhusu hili jambo mama fanya hivyo kwa ajili vizazi vya kesho ❤mama
congratulation sana Professor Anna Tibaijuka.....umeongea kama mzalendo mwenye uchungu na nchi yake umeona mbali kwa faida ya vizazi vijazo big up mama
ASANTE sana Proffesor kwa Elimu kwa Sisi watu wa chini Raslimali za nchi ni za wananchi Hazina utikadi Ni zetu wote
Hawa waandishi nap ni poor
@@vedastusngaiza5960 wote vilaza
🥀🌻🏵️🌼Maua yako professor
Asante Dada yangu Umeongea vizuri sana .Gombea Urais 2025 tutakupa kura za ndiyo.
Professor your so wise nimekuelewa sana.Hao form iv hawakuelewi nchi yenye uhuru hawezi kwenda kuriport kwa nchi nyingine juu ya fursa zake huko ni kutawaliwa
Mama Anna Kajumlo kweli una madini kichwani,tema 2 Asante xn
Wasomi kama huyu MAMA ndiyo wanafaa kuwa viongozi wakubwa katika inchi zetu,siyo huyu kiazi tulienaye.MUNGU wetu wa mbinguni akutunze mama Tibaijuka.
Haha😂😂kweli ni kiazi
Alipewa huo Uongozi akaupiga mwingi na kujizolea maua kwenye Richmond, ulisahau au hutaki?
@@hajihassan5433😅😅😅hawamjuiii watafute clip za bungeni kuhusu escrow Maza alivyozoa mpunga, akasema bilioni Moja ni Hela aliwekewa ya mboga😂😂😂sshv inamuuma sana maana wenzie wanakula za mwarabu na yy ni mtazamaji km sisi....lazima iumee....that time alitu let down sana. mpigaji sn huyuu
Alishapewa uwaziri wa ardhi akapita na hela za Bush kidogo atuuze Wana kigamboni,,,na Kuna mabilioni ya escrow aliyazoa halafu Kwa dharau akasema ni Hela kidogo TU ya mboga😅😅😅Lol ....sshv lazima atoboe Siri maana migao ya mwarabu haijamkuta, anaangalia àkiwa nje nchi inavyotafunwa....sshv ndio anaelewa uchungu wananchi wanaoupata...hata yy hafaiiii🙌
Watu wamesahau kwamba kina Ruge na Singasinga walikula pamoja na huyu mama wa visent vya mboga
Tibaijuka ur are real prof, very good mamaaaa
Asante mama, umeitendea haki elimu Yako. NATAMAN wanawake wanisaidie mama Samia. Mama Samia ni Rais mzur sana na ana Nia nzuri sana ya kufungua nchi hii... Ila wasaidizi na washauri wawe makini. Pia idara za habari za serikali zimepwaya sanaaaa.... Hatujaskia afsa habar wa wizara ya ujenzi, wizara ya biashara walisema kitu,, Gerson na mwenyewe alichelewa pia.... NA MUHIMU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YUPO WAPI?? AMEKAA KIMYA SANA
Maneno hayasifiwi kwa wingi wake yanasifiwa kwa uzito wake.✔✔✔
BIG UP PROF. TIBAIJUKA
Excellent Prof Tiba - We are all knows that there's no professional journalists in Tanzania now a days - Those 'journalists' they are lucking ability to comprehend and absorb your intellectuals doses. They are lucking ability of analyzing and process on how such stupidity and immoral 'controversial' port deal contract could exploit millions of Tanzanians for such many generations to come . They do not understand the interests of state (sovereignty ) has been compromised and position at stake. They are lucking Patriotism.
Very true@Maxwellking9399
Maxwell tuna watu ma bogus ambao kama hatupo makini wataipeleka nchi pabaya . Benjamin mkapa alisema wabunge siku hiziiii akili zao ndogo hawafanyi critical analysis kabisa.Jamani nchi tutaipeleka pabaya.kbsaaa.
Luck = it is lack
Hebu jamani tuisaidie nchi yetu, wabunge tunaowapeleka no bogus sana hawana uwezo wa kuchuja mambo, wako kwa maslahi yao tu, wabunge walioenda Dubai akiwemo msukuma wabepigwa bahasha wakaanza kuhujumu bandari yetu.
mungu akubariki pro.. Anna Tibaijuka Heshima kubwa kwako🙏🙏🙏
Asanteee sana mama kwa maelezo yako mzuri bila kuangalia uliyoyafanya huko nyuma kama wasemavyo watu
Nishajua tatizo uyu mama interview aloingia sio ya mambo ya siasa so mama kaelezea vizuri sna bali wasafi washazoea mpira na umbea so hamna mtu mwenye mawazo ya siasa
Kwanini watangazaji mnauliza maswali mara mbili mbili mbona mama anaeleza vizuri tu ,,,,duhhhh ila watangazaji hebu kwenye kipindi km hiki wekeni watangazaji wenye uelewa mzuri ili kipindi tukielewi na wawe wenye kuuliza maswali ipasavyo na sio kurudia rudia
Tz hakuna waandishi, hao wote hapo uelewa mdogo Sana.
@@titokwareh1852 sahihi yani huyo mama ana madini ila kakutana na watu wasioweza kwenye kazi yao
Akili hamb
Hawana akili watangazaji
Prof.Asante umetufungua, kweli tunahitaji wasomi kama nyie, urithi wetu na vizazi vyetu tuulinde .Mungu akulinde.
Asante kwa kututoa tongotongo bibi yetu.
Wewe Kweli ni profesa wa ukweli. Usichoke endelea kusaidia taifa lako
Yes, my sister Prof!
Leo watangazaji mmenizihilishia kuwa uwezoo wenu ni mdogo sana yaaan mdogo mnoo
Hawajui lugha. mikataba imepigwa kizungu. pia watu hawajausoma mkataba
Kweli bibi mungu akulinde sana
Bongo nawasikiliza maprofessa wawili Tibaijuka na Kabudi🎉🔥🔥🔥
Huyu mama yuko vzr, anaongea kitu muhimu sanaaaa
This Prof. is Patriotic and Realistic!
Alivotafuta billion za escrow na kusema ni hela ya mboga alikua patriotic?
HONGERA SAANA. MAMA ANNA DIBAJUKA TUNAKUHITAJI MWAKA 2025 KUTOKANA NA TAALUMA YAKO, ELIMU YAKO NA HOFU YA MUNGU ILIYOPO NDANI YAKO PROFESA ANNA
MUNGU AKUBARIKI SAANA PROFESA ANNA
@@jitukorofi9517alafu leo hii za bandari anaona zinauma
Hongera sana mama, umeongea vizuri. Sisi hatuna bunge la kutetea wananchi, tuna wabunge wengi wao wakufuata mkumbo, bila kutumia hekima busara na kudadafua jambo kwa kina wanasema tu ndiooo Ee Mwenyezi Mungu tujaalie viongozi wenye hekima na uzalendo kwa nchi yetu.
lakutetea matumbo yao
Hii ndo interview sio ile ya wale mapacha wa3 wa Dubai.!! Mama chukua maua yako na uishi sana ❤
Yaani mshaambiwa hiyo ni dharau kwanini muwape taarifa wao??? Afu waandishi mnajifanya hamumuelewi prof,,afu mnapo fanya interview angalieni na mtu ,,huyo ni mtu mkubwa na amefanya mengi ,,huyo siyo msanii wa kumuuliza unavo taka,,,,, hakikisha unaelewa unacho uliza
Ndio tatizo la kuendekeza uchawa kuliko taaluma,hizi redio zinaendekeza sana mipasho,umbea na uchawa/kujipendeleza,zina watu wanye maneno mengi yasiyo na uzito ndio maana kwenye maswala ya msingi wao hawaoni wanafikiri wanawahoji wasanii wao wa WASAFI. Inaumiza kwa kweli
Wasafi wamekuwa caught by surprise hawakutegemea angle ya mama Tibaijuka ingekuwa hivi. 😂
Hhhhhhhh 😆
Ni kweli ndo maana wamewapeleka akina kitenge dubai kulamba makalio ya dp
Hawakutegemea kabisa kwamba wangechezea za uso.
Hongera mama Mungu akulinde umefafanya kwa uzito na si wingi.Serikali na bunge wajitafakali sana.
Sijui kama watafanya hivyo. Naomba Mungu DP WORLD wajitoe
Profesa, you are the best! Mwenyezi Mungu akujaalie mema mengi.
Oscar oscar unajua mpira haya mambo makubwa
Hii tasnia ya habari na yenyew apewe mwekexaji wa dubai maana vilaza hili ndo limekua chaka lenu cku hizi,,nyie mlitaka ajibu mnavuotaka nyie au aje hapo asifie na mkumbuke huyo ni prof she already done a lots of research and wrote a lot of books hata km hasiusiani na hili but yuko ni high thinking capacity
😂😂😂😂😂
Professor, hao vijana ni uwezo wao mdogo. Hakuna wanachoelewa ndio maana wanaleta mzaha kwenye mambo makubwa. Wasamehe. Umekosea kuhojiwa na watu kama hao
kabisaaa
Hao vijana Issue zao kuu ni kujadili Mchezo wa Soka haya mengine kwao ni sawa na Nuru na Giza tu.
Yaani ni aibu tz hatuna waandishi mambo ya msingi wanaleta mzaha duh hadi anawasisitiza wajipende kwanza hata mkataba hawajausoma
Mama, professor. Tibaijuka Asante kwa uzalendo wako, kweli umeonyesha utetezi kwa wananchi wako.,
Yaan interview hii inaonyesha eddo na mwenzake ni watu hovyo sana mpira umekula akili asee, jipendeni vijana msipojipenda nani atawapenda by prof. Tibaijuka
Huyu Oscar akili mdogo ndogo hizi anadiriki kunyanyua mdomo na kuuliza hizo zinashida gani, inakua kama ku seek approval/submission to your employee he's so damn cold.
Madam Tibaijuka,always a scholar per excellence.I remember you in Nairobi,UNEP/UNDP etc.
Kumbe oscar Oscar Hana akili kweli 😅😅Sasa nimemuelewaa
Mama uko sahihi kabisa mama Samia anatakiwa kusaidiwa sana Warabu wasimuingize mkenge
Samia keshaingizwa chaka na wabunge
Si kuwapa taarifa tu. Ni kuwapa taarifa na mpaka wakubali.
Nawashangaa sana hao vijana nao ati hawana macho ya kuona ubaya wa mkataba huo. Kwa maneno mengine chochote tutakachotaka kufanya hapa nchini ni lazima tuwajulishe kwanza. Wakisema watafanya wao mambo yanaishia hapo. Kuweni wazalendo. Leo Raisi wetu Samia yupo hai, watu wanamwonea haya kumshauri vizuri kesho atakuwa hayupo ndipo utakujakukuta watu wanakula matapishi yao. Ooooh mimi sikuelezwa vizuri, Ohoo sikuusoma niliambiwa tu; too late. Raisi ana nia njema sana na yeye siyo Mwanasheria anstakiwa ashauriwe vizuri ili mkataba uboreshwe vizuri kazi zianze. Huo mkataba umeandikwa Dubai kuna ubaya gani na sisi Watanzania tukaweka mawazo yetu humo kwa manufaa ya vizazi vyetu vijavyo? Hapa hakuna siasa, hakuna udini, hakuna ukabila ni maslahi ya nchi yetu. Hakuna anayepinga mkataba huo ysiwepo bali watu wanaoelewa hasa Wanasheria wanatoa ushauri ili mkataba urekebishwe usitubane sisi kama nchi na kwamba uwe na kikomo na ikiwezekana utsje asilimia tutakayopata. Wanaosema tusubiri mikataba inayokuja wanakosea sana. Mikataba ijayo inaandikwa na wao kulingana na matakwa ya huu mkataba mama na hatutakuwa na nafasi ya kupinga lolote ili mradi tumeshasaini mkataba mama. Pa kuwa makini na kujiridhisha kabla ya kusaini makubaliano hayo ni sasa. Mwenyezi Mungu awaongoze Viongozi wetu tusije kujuta au hasa wajukuu zetu na vitukuu visije kutulaani. Nia ya kuwa na Mwekezaji ni njema sana na tunaipokea kwa mikono miwili. Lakini tusiingie kichwa kichwa.
vijana wanafanaya vile ili mama afunguke inaitwa reverse psychology in media
Ni sawa , ila kuna jopo la waandishi 40 walienda Dubai. Waliporudi wamekua influencers wa dp world. Nchi hii tatizo ni moja, umaskini wa fikra tu
@@kilimohub580 na kuendekeza njaa
Mwanangu umenena
Innalillah wainnaillaihi Raajiun😪😪😭😭🇹🇿
Huyu jamaa anaeuliza maswali hasikilizi, kuchanganua na kutafakari... "... inform any other opportunities..." maana yake Dubai wakikataa kujihusisha kwa namna yeyote ukihusisha kampuni, nchi au mtu mwingine ni kinyume na taratibu za Mkataba na Nchi inatakiwa kuwajibishwa. Mama Anna heshima yake na Jalali antunze zaidi Inshaallah ❣