MKE WA NDOA ATUPIWA NGUO NJE BAADA YAKUMFUMANIA MME NA WANAWAKE WAWILI,MWANAUME ASEMA ANA JINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.8K

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว +158

    Unaolewa Na harusi Na watu wanashangili , leo unadhalilika kama hivi , pole sana dada

    • @adoramathias1028
      @adoramathias1028 4 ปีที่แล้ว +4

      Dah, jamaaani

    • @nyangiboazi8934
      @nyangiboazi8934 4 ปีที่แล้ว +4

      Pole daangu mungu atakulipia2

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 ปีที่แล้ว +2

      Yaani 😭

    • @1salema1
      @1salema1 4 ปีที่แล้ว +2

      So sad yani 😫

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 ปีที่แล้ว +4

      Pole dada Mungu yupo atakusimamia utapata haki yako atoke akuache wewe na watoto

  • @ashaa4896
    @ashaa4896 4 ปีที่แล้ว +71

    Pole sana dada kwanza wewe ni mlembo sana masha Allah utapata mume mwingine muhaminifu

    • @annsommer9640
      @annsommer9640 4 ปีที่แล้ว

      Mrembo sana

    • @christopherngonyani1486
      @christopherngonyani1486 4 ปีที่แล้ว

      Wanawake wanajuaga kulianzisha lkn ukilimalizia matokeo yake ndo haya

    • @missdija4959
      @missdija4959 4 ปีที่แล้ว +6

      Christopher Ngonyani hivi umeelewa stori kweli

    • @RED-kr5vc
      @RED-kr5vc 4 ปีที่แล้ว +2

      miss Dija umeshasikia NGONYANI hawezi elewa kitu

    • @faridaiddi104
      @faridaiddi104 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

  • @odethabanige9536
    @odethabanige9536 4 ปีที่แล้ว +12

    Kulia ni moja ya kupunguza uwezekano wa presha,anamachungu makali, Mambo ya ndoa ni magumu mno, Dada Mungu atakupa nguvu mpya,na huyo aliyejifanya kaolewa na mume wako,ipo siku Naye nguo zake zitabwagwa nje, kweli wanawake hatupendani,

  • @nizcomorian1650
    @nizcomorian1650 4 ปีที่แล้ว +34

    Wa mama kama hawa wanaohangaika hivi ipo siku mimi nitawasaidia. Soon inshallah Mungu anisimamie. Roho imeniuma sana.

  • @boscomwangosi4638
    @boscomwangosi4638 4 ปีที่แล้ว +10

    Tukitumia hakili na uwezo wa kibinadamu hatuwez,bali Mungu ahusike kwa swala hili,mimi naona wote wawili wapo kimwili zaidi hawajui mambo ya kiroho,kwamfano mume anakili aliambiwa na mkewake kuwa mkewe anajini mahaba lkn mune anadhan ni uongo,lkn hilo mimi naamin asilimai kadhaa inawezakua ni kweli mke anahilo tatizo,kunandoa nyingi hili tatizo wanalo mpaka hudhan mmoja wao anachepuka na hufikia kuachana.
    Ushauli wangu kwa hao wanandoa wanao gombana na wengine wenye changamoto kamahizo.tatito kama hilo linapo tokea nendeni kwenyemakanisa ya maombi lazima mtafunguliwa,Mungu pekee anaweza kuleta suluhu na ndoa ikaendelea na mapenzi yakawa mapya wote mkashangaa,najua wengi wanasikia maneno mabaya kuhusu wachungaji,lkn wewe usisikilize nenda kajalibu naamin utaona vitu usivyowahi kuviona katika maishayako na wewe ukaweza kuwasaidia wengine.
    sasa labda nieleze huyujini mahaba anakuaje?
    Jini mahaba ni jini au pepo kaziyake ni kufanya mapenzi na wanadamu hasa kupitiia ndoto.anaweza kua kwa mume au mke,akiwa kwa mke anajiita jini hussen na aikwa kwa mume anajiita maimuna,kazi yake kubwa ni kuhakikisha analeta mafalakano katiyenu yaan msipatane wala msiwe na fulaha,mfano kitu kidogo lazima mzozane lazima mmojawenu awe na hasila hata kwa kitu kidogo,na akiona mmeshinda salama ikifika wakati wa kulala mke anaweza kuugua ghafla tumbo au kichwa au kiingia sikuzake pia akiwa hedhi anachukua siku nyingi sana.hua hapendi wanandoa kufanya tendo la ndoa hapendi kabisa. Ndio maana anahakikisha mdawote mnagombana, kwahio mume wa huyu dada nakushauli nenda na huyu mkewako kwenyemakinanisa ya kilokole naamin utamshangaa Mungu inaweza hata wewe ukaokoka kupitia huyu mkeo,naamin wewe unampenda mkeo nae anakuonda ila tu kunanguvu ipokatiyenu msioiona majiona mkosawa lkn panatatizo kubwa,na wewe mke umeuzwa sawa lkn usitumie hasira Mwite Mungu aingilie ndoa yako nawe utamshangaa Mungu. Lkn kwa wanadam mtafeli wote hauna cha mahakama mkuu wa nini atawasaidia pia mtawapoteza watoto mumeo pia anawezakua hajitambui kutokana na hizo nguvu zinazo wakontuloo.
    Mtafuteni Mungu atawasaidia na maoenziyenu yatakua mapya.kwa ushaulizaidi 0782024188 mtumishi wa Mungu.kama moja wenu ataona ni vigumu kumuezea mume au mke ushauli huu wasiliana nami,naami kwa Mungu yote yawezekana. Na ngifurahisana kupata namba za huyumwanamume.
    Woto mubalikiwe.

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 6 หลายเดือนก่อน

      Jini mahaba linatesa sana , mwanamke haiwezi kufanya tendo na mumewe lakini dawa ya jini sio kuzini, mpeleke mke wako kwenye maombi, sasa ukaona utafute ukimwi badala ya kwenda maombi shida iishe, ni nani aliewadanganya kuwa utakufa endapo hutofanya mapenzi, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, kipo bora kukaa bila mwanamke au kutafuta mwanamke update ukimwi?? Immorality steals spiritual power from men jamani acheni uzinzi siku ya mwisho ipo uuuw, stay alone be safe and pray hard majini yapo hata mimi nimepata iyo shida kwa 13yrs but mumewangu akanipeleka maombi now am free na hakwenda kuzini, Mungu umpe mumewangu maisha marefu yenyewe afya tele

  • @dainessmweta2005
    @dainessmweta2005 4 ปีที่แล้ว +7

    Uyooo mwanamkee kwahy ndo anajiona kuwa anapendwaa Sana yatamfikaa tyu na yy!!! Polee dada

  • @annamariamchau5212
    @annamariamchau5212 4 ปีที่แล้ว +16

    Utavuka dada, Mungu ni wakila mtu 🙏🏻

  • @abigaelbukuru273
    @abigaelbukuru273 4 ปีที่แล้ว +54

    Yani hawa viumbe wanaume wakipata kidogo tu utajuta yalinikuta sina hamu mie 😭😭😭

    • @silyadamian5708
      @silyadamian5708 4 ปีที่แล้ว +3

      Pole mpenz

    • @jennifermlyakalam5000
      @jennifermlyakalam5000 4 ปีที่แล้ว +2

      Pole dear

    • @sirlankagirl6256
      @sirlankagirl6256 4 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 ปีที่แล้ว +2

      Yani acha tu yalimkuta dadangu juzitu hajamazla ata mwezi mume ameoa mke alikuja nyumban msiban mume akamchukua mwanamke wake kulalanae chumban kitandan kwa dadangu

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว

      Yaani ata mm yalinishinda

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 ปีที่แล้ว +81

    Pole sana mpenzi pole mno jamani inauma asikwambie mtu pole mno mungu atakusimamia

  • @dequeen460
    @dequeen460 4 ปีที่แล้ว +207

    Mimi najenga kibanda' changu' nasitaki' hata simiti' 10 za mtu ,ukijenga'n.a. mwanaume' mwisho' dhiki' nihizi' nyinyi' viumbe' muitwao' wanaume' Mna'nn lkn'??

    • @user-cp2xe4rv8d
      @user-cp2xe4rv8d 4 ปีที่แล้ว +13

      kumbe wew kam mim my 👏👏👏

    • @v_i_p1109
      @v_i_p1109 4 ปีที่แล้ว +16

      @@user-cp2xe4rv8d 2po wengi mpendwa mwanamke wa sasa jiandalie maisha yako ukiolewa na mwanaume hata kama anauwezo gan akigeuka unapakuanzia

    • @ibrahimwerejuma4816
      @ibrahimwerejuma4816 4 ปีที่แล้ว +19

      Sio wanaume wote wako na hizi tabia, tabia za mtu mmoja zisikufanye ujumlishe wanaume wote wana tabia za kipumbavu hizi.

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 4 ปีที่แล้ว +14

      @@ibrahimwerejuma4816 95% wapo hivyo

    • @imaninasoro7527
      @imaninasoro7527 4 ปีที่แล้ว +17

      mie ndio wa kwanza .shikamo mwanaume. sitaki kusikia ku share na hawa watu waliokosa maziwa kifuani

  • @sweetnessmtui7052
    @sweetnessmtui7052 4 ปีที่แล้ว +14

    Kuna binadam wana roho mbaya mpaka shetani anawaogopa!kweli mwanamke mwenye nyumba anafanyiwa hivi,mwanamke unayeingia ndani nan alikwambia dunia haitakunyoosha shuwainiii🤬
    Karma ipo njian!Mama kapambane Mungu atakufungulia milango yenye baraka tele.

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akutie nguvu. Mungu akusimamie Dada yang. Muuombe Mume wako sana sana. Unajua ndoa nyingi huwa zina migogoro ya ajabu kwa sababu wanawake hatujiweki karibu na Mungu kwenye ndoa zetu. Dada okoka tafuta mtumishi yeyote wa Mungu mfanye maombi kwa ajili ya familia yako. Mungu ndiye jibu la ndoa yako na ukisimama na Mungu utaenjoy sana kwenye maisha yenu. Hiyo siyo akili yake mume wako msamehe tu ila Muombee i promise atabadilika.

  • @angelkawau1341
    @angelkawau1341 4 ปีที่แล้ว +50

    Jaman!!! Ndoa hizi tuendelee kuyaona 2 kwa wengine, nawashaur wadogo zang kama haujaolewa tafakar sana, ndoa ni kichefuchefu, mnahangaik pamoj baadae anakuona koro.

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 4 ปีที่แล้ว +3

      Nlivyo na ham ya kuolew sas unantsha yan

    • @fatmamussa1161
      @fatmamussa1161 4 ปีที่แล้ว

      Asnte dada

    • @faridamtuka1896
      @faridamtuka1896 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ablashaffy2860 😂😂😂😂😂

    • @venstonvedasto
      @venstonvedasto 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli hata hudanganyi yeyote anaweza geuka mbogo si mwanaume au mwanamke

    • @raycjohn8892
      @raycjohn8892 4 ปีที่แล้ว

      Angel Kawau Mimi iyo nymb itawaka moto

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +4

    Tusikilize na upande mwingine wa shilingi….itakua vizuri sana!
    Ayo TV Jitahidin kufanya hivyo 🙏🙏

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 4 ปีที่แล้ว +2

    Usilie dada.pole sana haki yako utaipata tu.mana huyo mumeo ni muuaji ila.usikate tamaa.pambana.haki yako utaipata tu

  • @momojr9749
    @momojr9749 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama ana tia huruma sana mimi ni mwana ume ila sipendi kuona mwana mke yoyote yule ana teswa hivi, hata kama mwana mke ni mbaya vipi mwana mke ha teswi wana wake niwaku chika kama yaii ili lisi vunjike kuna wanaume duniani mtihani, mwana ume ni kichwa cha familia lakini ndio icho kichwa kama haki fanyi kazi inavio takiwa katika familia, ndoa ita vunjika Mungu amsaidie huyo dada apate mume mwema na mume wake wa kwanza ajute

  • @eyumededu2948
    @eyumededu2948 4 ปีที่แล้ว +18

    Wadada wenzang ambao bado hatujaolewa hili ni funzo Kuna mtu alisema mwanamke kama unafikiria kuzaa jitahidi utengeneze maisha yako peke ako tujifunze kujitegemea
    Wanaume baadhi hawaaminiki

    • @lisajackson5867
      @lisajackson5867 4 ปีที่แล้ว +4

      kabisa my sasa hiv wanaume wanategemea wanawake wanawak wenzangu tafut chako ukiingia kwa ndoa usinyanyasike

    • @eyumededu2948
      @eyumededu2948 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lisajackson5867 ndo ivo wamekua washenzi hawana heshima kwa wake zao hapo akikaa vby ataachiwa watt na ata chumba kimoja hapewi

    • @alexkiria1901
      @alexkiria1901 4 ปีที่แล้ว

      Sio wote mnatuonea

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli

    • @mmn7480
      @mmn7480 4 ปีที่แล้ว

      Nikwer

  • @avmusicsongwe6625
    @avmusicsongwe6625 4 ปีที่แล้ว +62

    jamanii kwann wanaume wanaopata wanawake wenye tabia njema wanawapoteza... inauma sanaaaa

    • @avmusicsongwe6625
      @avmusicsongwe6625 4 ปีที่แล้ว +4

      dada km akikuacha me nipi bwana na hao watoto nitalea woteeee wala hakuna kesi.. anachezea bahati ambayo wengine wanatafta mwanamke mwenye heshima na adabu...

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว +1

      @@avmusicsongwe6625 do you know her? Dont look at the face and the tears baba.or you heard she is a business lady then you want her money

    • @nurarich4945
      @nurarich4945 4 ปีที่แล้ว

      Evans M dada huyu anaonekana anatabia nzuri

    • @immaculatakadyanji5927
      @immaculatakadyanji5927 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa wanawake wenye tabia nzuri ndo huwa wanateseka.

    • @mananuracheal4731
      @mananuracheal4731 4 ปีที่แล้ว

      @@avmusicsongwe6625 ule wa 18 hauta mulea, ni mtu mzima

  • @isrambise2797
    @isrambise2797 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe bdo ni mrembo sana Dada nikupe pole Sana kwa hayo ila kaa tulia mungu atakupa furaha ya kudumu ndoa ya kanisan siyo shida mpaka uteseke Sana omba mungu atakufungulia njia

  • @oliashoo4675
    @oliashoo4675 4 ปีที่แล้ว +20

    Machozi yamenitoka,Mungu akusaidie, upate haki yako mpendwa

    • @lilianmuriithi8391
      @lilianmuriithi8391 2 ปีที่แล้ว

      Sija penda alibi fanya mwenzake Hawaii kuwa bibi ya mtu

  • @rumb9691
    @rumb9691 4 ปีที่แล้ว +71

    Pole sana mwanamke mwenzangu hadi machozi yamenitoka

  • @sureiyamussa3865
    @sureiyamussa3865 4 ปีที่แล้ว +55

    Alhamdulillah niko oman apa nimeshamaliza kujenga sitatamani kujenga na mume wala kuchangia ata mchanga yalinikuta nasasa nina furaha yangu na nalea mtt wangu 😃😃😃acha nipambane tuu awa wanaume akili zao wanazijua wenyewe

    • @scolabahame2214
      @scolabahame2214 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaha pambana mama tupo pamoja mungu atupe subila inshallah

    • @Kaankaraz
      @Kaankaraz 4 ปีที่แล้ว +2

      Ukishakua singo maza sahau kuolewa we endelea kutengeneza maisha yako pekeako ustegemee ndoa tena imeisha hiyo

    • @selemaniselemani5445
      @selemaniselemani5445 4 ปีที่แล้ว

      Big up kwa kuwa na mjengo wak, lkn kuolewa kuna heshima yake, c waume wote wakorofi

    • @ahshbsbx2991
      @ahshbsbx2991 4 ปีที่แล้ว +3

      Jamanii nitafute jamanii naitajii campan yenu 96520204 wanawake wanzang

    • @zebusdaughter8158
      @zebusdaughter8158 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamani sureyya Na mimi nataka kujenga Na Sijui nianzie wapi! Umejenga nyumbani tz? Mkoa gani Na approximately imekukost shngapi yote kwa ujumla? Nataka nianze haraka mana niko hatarini help!

  • @odethabanige9536
    @odethabanige9536 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada tumshukuru Mungu hajakudhuru, wanaume ni viumbe hatari Sana,omba talaka,ndoa siyo cheti ni sakaramenti takatifu!huyo mwanaume Mungu anamuona , Pole sana mwanamke mwenzangu,wengi yametukuta,na wengi tunamajeraha makubwa

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 ปีที่แล้ว +24

    Mlilie huyu Yesu, kwani ana majibu ya yote yanayokuliza! Pole sana hauko peke yako!

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 4 ปีที่แล้ว +31

    Mwanamke ukiwa unamtegemea mume ktk maisha unaishia kufedheheka na manyanyaso wanawake tujitume jamani tutafute vyakwetu na wanawake tupunguze midomo

    • @aikamosha5644
      @aikamosha5644 4 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo sio mdomo Bali upendo hakuna kwa wanandoa wengi,ukishazaa tu upendo unatoeka,Sasa sijui wanandoa mnafeli wp! Naomben jibu tafadhali.😄😄

    • @annsommer9640
      @annsommer9640 4 ปีที่แล้ว +1

      @@aikamosha5644 n kweli kabisaa ukishawazalia wanaume hubadilika

    • @annsommer9640
      @annsommer9640 4 ปีที่แล้ว

      N kweli ukijipweteka tu watakuonyesha movie hawa w2

    • @aikamosha5644
      @aikamosha5644 4 ปีที่แล้ว +1

      Kawaida yao!🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @davidngenda924
      @davidngenda924 4 ปีที่แล้ว +1

      Mme atakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu

  • @shavonnawemadavid2998
    @shavonnawemadavid2998 4 ปีที่แล้ว +11

    Dada, acha kulilia mawe, yawezekana Kuna dhahabu sehemu zinakusubiri, we jipange upya.

  • @marrionwatima797
    @marrionwatima797 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni bora angeondoka aache kila kitu bora uhai kuliko kupoteza maisha, nyumba n.a. vyote vilivyoma atavipata akiwa mtu wa kujituma. Kimbia mama tena kimbia sana penda wanao n.a. ujipende mwenyewe acha kulilia vitu unaeza kuzipata tena mwishowe upote uhai wako.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah,huyo mwanaume hana akili kabisa,huwezi ukamfanyia mke wako wa ndoa vitu kama hivyo hata kama kuna utofauti kati yao,imeniuma sana.Mwenyezi mungu akufanyie wepesi dada angu.

  • @fatumadiriye6162
    @fatumadiriye6162 4 ปีที่แล้ว +45

    Maskini pole sana dada mungu yuko na wewe

    • @hamisiomari1990
      @hamisiomari1990 4 ปีที่แล้ว +3

      Hiondoa ikavunjwe mpeleke mahakamani nyumba iuzwe kila mmoja apate chake

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 4 ปีที่แล้ว

      TATIZO NYIE WANAWAKE

  • @zoohrazoohra7170
    @zoohrazoohra7170 4 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana dada yani uchungu ulionao sasa mimi nimeupitia ila nilisimama nikapata haki yangu mwamini mungu usiogope mungu atakupigania naamini utashinda na utayasahau kabisa

  • @bigboys016
    @bigboys016 4 ปีที่แล้ว +25

    Usinyoshe mdomo,kila MTU analakwake ndani kwake,kama hayajakukuta yatakuja jiandae, ndiyo mdoa

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +29

    Daah! Pole Sana dadangu. Pole 💔💔💔💔
    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @Mnungutz
      @Mnungutz 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana dada angu ila baada ya dhiki faraja ipo cku yako utanyanyuliwa mungu yuko nawe mwombe mungu

    • @jemusfelician5994
      @jemusfelician5994 3 ปีที่แล้ว

      O.mama

  • @hopehope6451
    @hopehope6451 4 ปีที่แล้ว +22

    Eh Mungu tunaomba mafanikio katika maisha yetu wanawake,ili tusinyanyasike🙏😢

    • @khadijaomar2723
      @khadijaomar2723 4 ปีที่แล้ว +1

      Aamin wallahi kuna baadhi ya wanaume madhwalimu Allah atawalipa tu

    • @merynjau5614
      @merynjau5614 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake sijui kwanini tunanya yaswa hiv jmn kwann serikali isitoe tamko la usalama na haki sawa kwa wanawake

    • @hopehope6451
      @hopehope6451 4 ปีที่แล้ว

      @@merynjau5614 wanaona tunakuwa kegemez sana ata wakitunyanyasa hatuna pa kujihifadhi Mungu atusaidie sana 😢

    • @maidamhanje5993
      @maidamhanje5993 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeona eeeee

  • @rinaalbaloushi2981
    @rinaalbaloushi2981 4 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mwanaume atakuja kujuta inshallah dada mungu atakulipia

  • @banamwandenene6975
    @banamwandenene6975 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana dadaangu mm nakushauri ondoka tu Mungu hajakukata mikono atakupa mali zingine na utalea watoto wako kwa amani

  • @fauziakassim323
    @fauziakassim323 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhannallah atapata laana huyu mume jaman mbna ni mitihani hii mungu niepushe na haya kabla sijaingia kwa ndoa

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 ปีที่แล้ว +15

    Poleni sana. In sha Allah Allah Atawafanyia wepesi..

  • @fatumamakungu2942
    @fatumamakungu2942 4 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah nimetumwa na warabu kuosha vyoo na vyoombo na sasa nimejenga na kununua kigari changu mwaume anisumbui

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mwanamke huyu mzur jamani anateswa hivi jamani

    • @herimallya3385
      @herimallya3385 4 ปีที่แล้ว

      Hawa wazuri ndio wenye shida...dharau,kiburi,gubu,nk..vinaumiza sana hvi vitu...yakiwafika shingoni ni kulia

  • @aquilerahchris9082
    @aquilerahchris9082 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada,hayo madogo ukiamini Allah, mimi mwenzako nilirushiwa vtu inje kama mbwa na mtoto wa miezi Allah, Ondoa Hofu, na umwombe Allah njia zako zitafunguka.

  • @juliejulie8704
    @juliejulie8704 4 ปีที่แล้ว +18

    Jameni mwanaume akikushinda mruhusu aende akaoe wanawake wengine

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 ปีที่แล้ว +1

      Dadangu ameruhusu mumewakekuoa na bado shemegiangu akimuona dada amekuja nyumban hata skumoja anabeba uyo mwanamke wake nakulalanae kitandan kwa dadangu

    • @juliejulie8704
      @juliejulie8704 4 ปีที่แล้ว

      @@antybabybintrashid2333 hakuna kitu kwenye hii dunia kama kujipa raha mwenyewe ukiona mumeo yupo hivyo achana nae pambana tafuta maisha yako hivi mnajua ukiwa mwanamke halafu ukawa na pesa yako hiyo Raha ipoje?tatiz wanawake mnaogopa kupambana peke yenu

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 ปีที่แล้ว

      @@antybabybintrashid2333 😅😁😅😁ndoa zinamengi najikuta naceka tu

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 ปีที่แล้ว

      @@juliejulie8704 nailo njo linalo tuponza

  • @fatmakizimba744
    @fatmakizimba744 4 ปีที่แล้ว +7

    Dada huyu kanikumbusha mbali sana.
    Dada kama kweli una jini mahaba hakika unahitaji kupambana kwa maombi pamoja na dawa.mi yalishanikuta,Nashukuru mwenyezi Mungu kaniponya.
    kazi ya jini mahaba ni kuvuruga mahusiano.unamchukia mmeo,nae anakuchukia anakuona takataka kabisa hufai.tena anavuruga na akili ya mwanaume,lengo muachane ili jini yeye akufaidi peke yake( wivu)
    jini mahaba anakubadilisha hadi maumbile ili kukufitinisha tu na mmeo aone hufai.
    Mwenyezi Mungu akusaidie Dada.Ipambanie hiyo hali yako kama kweli.
    Mengine yatakufuata ( Mwenyezi Mungu ni mwema).

  • @jamilapeter3210
    @jamilapeter3210 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake tuna roho mbaya sana unaenda kwenye nyumba ya mwanamke mwenzio alafu unajigamba unaona mwenzako anazulumiwa alafu unaangalia tu Dada usiwaze maisha popote wanaume wakipata hela wanabadilika sana ,alafu serikakali vitu kama hivi wanavipeleka taratibu sana ukimpiga wana jifanya haki za kibinadamu .komaa Dada upate haki yako .

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada muache huyo baba na vimada wake mwanaume akishakuchoka namna hio hakuna ujanja mami hata mi mwenzio yalinikuta kama hayo nikamn'gan'gania kisa eti nipigania ndoa yangu. Niliambulia kuumwa magonjwa ya moyo mwisho wa siku yalinielemea niliamua kuacha kila kitu nikakimbia, muache dada usiji kupoteza uhai wako kikubwa uhai dada leo hii namiliki mjengo wangu nimejenga mwenye we kwa jasho langu alhamdulillah

  • @sliviajosephat2929
    @sliviajosephat2929 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana my Dada,,niwengi tumeyapata kama yako pangusa machozi my,

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +3

    Nasugua vyoo kwa warabu najenga mjengo wangu mwenyew ctak ata shilingi ya mwanaume acha nipambane mwenyewe
    Pole sana dada yangu

  • @yusraruthdaffa5041
    @yusraruthdaffa5041 3 ปีที่แล้ว +2

    Move on dada sio mwisho wa maisha....usidai chochote anza upya muachie Mungu.....

  • @meryjacobmery2695
    @meryjacobmery2695 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndo maan mm napambn kwa jasho langu nijenge yangu mwanaume akileta za kuleta nahamia kwenye nyumba yangu maisha mengn yanaendelea

  • @ezekielmtanda1664
    @ezekielmtanda1664 4 ปีที่แล้ว +4

    Kuna mengi yamejificha hapa, unaweza kumuhurumia msaliti hapa,.. Ndoa ina mambo mengi Sana, na kasi haisikilizwi upande mmoja

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 4 ปีที่แล้ว +39

    Haya ndio madhara ya tamko la VIPANDE VIPANDE Jamani NDOA ZIHESHIMIWE na km wanaume hamtaki kuheshimu ndoa basi MSIOE ili muwe na wanawake kila kona.

    • @halimasaleh5705
      @halimasaleh5705 4 ปีที่แล้ว +2

      Msimsingizie mama wa watu huyu ana matatizo na mmewe toka 2016 kulikuwa na hiyo kauli? Hayo ni mabalaa yao wenyewe na kupenda vipande ndio tabia za wanaume kwani uongo?

    • @elizabethmlay2047
      @elizabethmlay2047 4 ปีที่แล้ว +1

      Hii kauli ya vipande imehalalishwa na sio nzuri.....MUNGU hakuhalalisha mambo yavipande.......ni kosa na inapaswa kupingwa...itaharibu familia nyingii sana....maana hata michepuko imepata nguvu kupitia kauli ya vipande

    • @salamafulu2185
      @salamafulu2185 4 ปีที่แล้ว +1

      @@halimasaleh5705 una maanisha nn

    • @yusuphmedson8806
      @yusuphmedson8806 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanaume sisi tuna nnininnnnnn jaman duuuuuuu

    • @mamagud6274
      @mamagud6274 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli kabisa ata mi kauli ya vipandevipande ata mi sijaipenda

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaa jamani pole sana Dada kwa makubwa yaliyokukuta ,jamani jamani hivi siku hizi ndoa zimeingiliwa na mdudu gani? Mungu wetu wa mbinguni zitetee ndoa hizi.

  • @daliahassan787
    @daliahassan787 2 ปีที่แล้ว

    Dada pole kwa yaliyokukuta ila ilipofikia muache kubali tu hiyo ndoa yawezekana siyo riski naamini mwenyezi Mungu anajibu kwenye kila jaribu nenda Dada jipange lea wanao omba mwenyezi Mungu akupe muongozo utapata majibu atarudi kwa magoti maana sasa haioni thamani yako maana umejaaliwa uzima, afya na upo hai pambana utapata muachee walay Allah atalipa machozi yako na ya wanao hayataenda bure. Ulienda leba ili mjenge familia na muaandae maisha yenu na ya watoto na mwenyezi Mungu atakusimamia hili nakuhakikishia maana hajawai kutojibu maombi.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana mpenzi wangu Mungu atakufanyia wepesi utapata haki yako inshaallah 🙏🙏🙏🤲

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana dada yaan nimelia Sana kwa kwel 😭😭😭mungu atakulipia inshallah. Ila usimnganganie huyo mwanaume utakuja. Kuuliwa dada angu wewe ni mzuri utampata mwingine

  • @daudkayungilo748
    @daudkayungilo748 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana mama angu Mungu akusimamie ktk matatizo yako.

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 4 ปีที่แล้ว +12

    Ana miaka arobaini na mbona ana akili za kibumbavu hivyo pole dada angu mungu akusaidie

  • @shollodegeorge9056
    @shollodegeorge9056 4 ปีที่แล้ว +9

    Ndoa bhana kama sinema vile waliopo ndani wanataka kutoka nje na waliopo nje wanataka kuingia

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mwanaume atoke yeye hiyo nyumba ni ya huyo mama na watoto wake,Huyo mwanaume vyenye yuko na wanawake wengine atafute pahali pakuishi nao,.from 254

  • @marianhassan9460
    @marianhassan9460 4 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa ndoa, sio mwisho wa maisha! Mrudie Mungu wako, nenda kwa maombi na njia yako itafunguka! Mimi nilipitia matatizo Kama yako, tena nilikua mjamzito, akanitupa nje, nyumba tulijenga pamoja, nilitoka bila chochote😢, lakini amini, baada ya maombi, Sasa naishi Ujerumani, na watoto wangu... Jesus will never let you down.

  • @evalunajohannes2382
    @evalunajohannes2382 4 ปีที่แล้ว +13

    Jini mahaba anaharibu ndoa za watu jamaniii,mungu saidia🤧

  • @gmggroup6159
    @gmggroup6159 4 ปีที่แล้ว +5

    Haya mambo yanachangiwa sana na wazazi hasa wazazi wa UPANDE wa kike, japo mwenzangu hapo anakunywa pombe hivyo naushahuri wa marafiki unaponza.

  • @honestvictory7596
    @honestvictory7596 4 ปีที่แล้ว

    ukipata mke alie tulia na anaetafta bora mkashibana.. ndiyo kupishan kupo but sio mpk huko kumleta mtu ndan unamuita babe... kumtafta mke alotulia dunia kama hii ngum watu mnapata wake wametulia alaf mnawashwawashwa.. kama uliamua kuoa bora utulie na mkeo ..ungetaka mademu usingefungapingu za maisha... mitamaa inakufany unaharib ulichokijenga for long tym

  • @ceezbug
    @ceezbug 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa ufupi, Huyu mwanamke hayupo tayari kuachana na mme wake. Kufunga Harusi kanisani haimaanishi ndio ameingia kwenye kifungo cha maisha na wewe. Nyanyuka, nikung'ute uendelee na Maisha yako. Huyo jamaa hana mapenzi na wewe tena, Pambania haki zako nyingine, huyo jamaa na wanawake zake waache.
    Mtoto mzuri kabisa, tafuta mwanaume mwingine, haitazidi miaka tano huyo jamaa atarudi kwa magoti

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +12

    Mh! Jamani ndoa ndoano!! Huyu mwanaume mwenyezi mungu anamuona!!

  • @neemakilango9762
    @neemakilango9762 4 ปีที่แล้ว +10

    NENDENI KWENYE MAOMBI...NI KWELI NI SPIRITUAL HUSBAND/WIFE ARE TAKING OVER...POLE DADA

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 4 ปีที่แล้ว

    mdogo wangu sio vizuri kushauri mtu atoke kwenye ndoa yake ila kwa maisha ya sasa ukiona hakieleweki jiondokee tuu Mungu atakupa maisha mengine uangalie wanao. Watu wamekuwa wanyama sana siku hizi.

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole dada usilie mngu mngu atakupigania mkabidhi kilio chako

  • @olivadickson1466
    @olivadickson1466 4 ปีที่แล้ว +9

    Aiseeee mama dani tuko wengi yaan jitu linakuoa l halafu leo hii eti mtt sio wake alikuwa vitan , mungu yupo nawe 🙏🙏

    • @geraldlaurent7465
      @geraldlaurent7465 4 ปีที่แล้ว

      Acha kusema mbwa Mana yake baba yako aliye kuzaa inamanisha ni mbwaa?

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 4 ปีที่แล้ว

      Wanawake wengi sio waminifu wana michepuko

    • @suhaylaswai1311
      @suhaylaswai1311 4 ปีที่แล้ว

      Uliwah mfumania ad useme sio mwaminifu na ukatae mtto? mwanaume rijal na anaejitambua hakatai mtto wapumbav wanaoshikiw akil na kusikiliz maneno ya watu nd wapo hivy hawajielew

  • @zaynabmohamed3641
    @zaynabmohamed3641 4 ปีที่แล้ว +3

    Wallah ndoa hiz mungu atunusur na majang hay mbon wanawake tunadhalilik HIV wanaume km hawa wanakulag nn

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wakiislam huwakomoa wake zao kuowa wanawake wengine sasa kumbe wakiristo baadh yao ana mke huku anavimada wanaume mungu hawasamehe wafu

  • @stay_onit360
    @stay_onit360 4 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana mamangu mungu akupe uvumilivu 😫😫😫😭😭😭😭

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว +14

    Nimechoka mtu anapaje tendo landoa nauna wanawake nje hata mim siwezi nikiawaga ayo sitamani atakuolea

    • @asiabakari652
      @asiabakari652 3 ปีที่แล้ว

      Yani walioko kwenye ndoa wanaume wanachepuka Sana wanawake tu navumilia Yani mm sitaki hata kuskia kuolewa

    • @nuraansuhail2578
      @nuraansuhail2578 2 ปีที่แล้ว

      Kua uyaonee

  • @reylerreyler2236
    @reylerreyler2236 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada angu pole sna cha msingi achaa na mali ataa Kama mlitafuta pamoja achaana nae japokuwa una mikono na miguu tafuta chako ishi maisha yako mwenyew maana Kama mtu hakupendi huwez kumlazimishia atakutesa tu jmn nenda kaanze umpyaa Mimi naamin utafanikiwa Kama imeshafika mpka kwenye mitandao ishu imeshakuw kubwa sidhan kma kutakuwa na mapenz ataa Kam mtarudiana

  • @fatumamkuzi1475
    @fatumamkuzi1475 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona
    Mwanikatisha tamaa
    Naona nitabaki hivi tu
    Huyo mme ana shida ungeli
    Achananae tu maana kama tu ameweza kukutupia nguo zako nje na anajua aliko kutoa si nibora angeli zibeba akazipeleka kwenu kuliko alivyo fanya anaweza kukufanya chochote huo achana nae ufanye kazi mungu haachi mjawake
    Ila pole sana dada

  • @muniragambere2680
    @muniragambere2680 4 ปีที่แล้ว +17

    Men 😭😭😭.....mda mwingine nalifikiria sana suala la kuolewa kwa kweli

    • @rachelanaeli6246
      @rachelanaeli6246 4 ปีที่แล้ว

      Nikazi😢

    • @anethlaizer823
      @anethlaizer823 4 ปีที่แล้ว +1

      Dada nipingie nikusaidie . Maana ata.mume wangu alizingua ivyo ila nilimunyoosha

    • @straitnews3441
      @straitnews3441 4 ปีที่แล้ว

      @@anethlaizer823 juju nn

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว +13

    Wachena nae dada😭😭😭😓😥😥😢dah jmn mbona inauma hivi ndoa nitackia tu kwanza jmn

    • @wemaomarywema6852
      @wemaomarywema6852 4 ปีที่แล้ว

      Mie hata wazo sina nashukuru tu ninamtoto nababa wamtoto wangu anamtunza mwanae bas kila mtu anakaa kwake kuhusu kuolewa hapana

    • @henrykimaro9607
      @henrykimaro9607 4 ปีที่แล้ว

      Wapo wri. anaume wastaa

    • @henrykimaro9607
      @henrykimaro9607 4 ปีที่แล้ว

      Wote wanamakosa

  • @jloowache5226
    @jloowache5226 4 ปีที่แล้ว

    Nvema mwanamke kujitafutia mwanzo ujipange kimaisha ndio uwamwe kuolewa ,maisha ya cku hzi cio rahisi kumupata mwanaume mwaminifu muda huu.cwenzi kubali mwanaume kunifanyie kitu ka hyoo never.pole dada

  • @dasonsdachi3087
    @dasonsdachi3087 4 ปีที่แล้ว

    Huyo mwanaume hakufai achana nae Dada yangu mwambie akupe chako uondoke hakufai huyo kwanza wewe mzuri kama riziki yako IPO IPO tu utapata akupendae kwa dhati utaolewa Na hutajutia ktk maisha yako

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 ปีที่แล้ว +9

    Alfred Nae Kaongea Vizuri... 🔥

    • @tinaelias3432
      @tinaelias3432 4 ปีที่แล้ว

      Saana hata mimi nimemuelewa alichokosea tu ni kuleta mwanamke ndani huo ni uuaji...yaani mwanaume akosee vyote ila usimnyime lile jambo ni kosa kubwa saaana

  • @mucomwizaruqaiyah4064
    @mucomwizaruqaiyah4064 4 ปีที่แล้ว +14

    Pol San dadangu Allah yuko na wew

  • @aminamalilo6605
    @aminamalilo6605 2 ปีที่แล้ว

    Pole sn dada yangu Allah akufanyie wepesi lakini hapana inathibitisha sheria za Kiislam ziko sahihi kuachana kupo mapenzi yanapoisha mwisho wa siku watu watauana lakini pia kuoa wake wengi maana hapo angela huyo mwanamke na wewe ungeendea kuwepo hayo hayaepukiki ingekuwa siyo hizi sheria hazifai basi haya yasingetokea

  • @sirvestartumia1064
    @sirvestartumia1064 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada yangu kwa unayopitia mungu akupiganie kwa kweli wanadamu tumapitia mengi ila pengine yalikuwa ni chaguo la macho ya nyama .wakwako yupo dada yangu pole Sana dada

  • @lucyngowinimrkorogwe2298
    @lucyngowinimrkorogwe2298 4 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ndio wale wanawake wanaokufa kisa ndoa na Mali. Hivi wanawake kwa nn mnakubali?? Mwachie nyumba atakuua huyo. Katafute chako achana na huyo bwana hakutaki. Endelea kung'ang'ana Hadi uzikwe.

    • @aikamosha5644
      @aikamosha5644 4 ปีที่แล้ว

      Aisee ndoa hiz bora uwe uwe single tuu.

    • @yassminassey6044
      @yassminassey6044 4 ปีที่แล้ว

      Mim nimeachakilakitu kwamumewangu mpasasa nimetafuta Nina viwanja nanime mjengeya mama yangu Sasa mwanangu nategemea kumpeleke shule nzuri. Nilimkuta Hana hata chochote Sasa hivi mungu kampiga Kofi Hana lolote Sasa hivi niliondoka alininyanganya mpaka nguo alizo ninunuliya alinipa kitenge nikashone akaniambiya nikakichukue hatakama kime katwa. Nili umiya Sana Ila mama yangu alinipa moyo Sana Sasa hivi Nina malizanfu Mimi Kama Mimi na Nina mtt mmoja tu

  • @bunnasib1961
    @bunnasib1961 4 ปีที่แล้ว +7

    Siuondoke tu mbona wapare mnakomaliaga sana mali nyie ndokinachokukalisha hapo mtu hakutaki unatafuta nini kwani huna kwenu...utauliwa au utarogwa mwisho,Mtu hakutaki alafu bado unamuita mume wako acha upuuzi ondoka katafute maisha yako

    • @asiahmariam3942
      @asiahmariam3942 4 ปีที่แล้ว

      Wallah Nami nimeona kama ulivyoona atauwawa bure kisa kupigania nyumba

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 4 ปีที่แล้ว +3

      Wew kumbuka inauma hyo MTU amekuoa afu wamezaa nae afu anamkataa kijinga hivo! Wanaume kama hao wapewe fundisho huwezichezea mwili wa mtu had anafikia umri huo kisha unamwambia atoke, aende wapi sasa

    • @faridamtuka1896
      @faridamtuka1896 4 ปีที่แล้ว +1

      Halaf kumbuka hizo mali wametafuta wote

  • @nshomamayungu2326
    @nshomamayungu2326 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Dada mungu atakulipia hata mm imenitokea pole sana inauzunisha sana.

  • @abdullahrashed4817
    @abdullahrashed4817 4 ปีที่แล้ว +16

    achana na huyooo jamaaa mimi sina mkee uje kwangu tu

  • @nahimanaalice1131
    @nahimanaalice1131 4 ปีที่แล้ว +12

    Wallah naksitik dda mzur anatesek pol mama mungu yupamoja nawew

    • @mwanamisimwavidzo4594
      @mwanamisimwavidzo4594 3 ปีที่แล้ว

      Dada acha kulia mungu yupamoja nawe

    • @rayasalum3044
      @rayasalum3044 3 ปีที่แล้ว

      Mzuli jomon wanaume awa

    • @gisabufelician2359
      @gisabufelician2359 2 ปีที่แล้ว

      Dada pole sana ...MATHAYO 7:7 ombeni mtapewa ...bisheni mtafunguliwa ...msii YESU atakupa Amani ya ndoa yako na atakufungulia milango ya Amani katika ndoa yako ...YESU akusaidie

  • @rahmamwalim8143
    @rahmamwalim8143 4 ปีที่แล้ว

    Dada ht usilie bure kwa mtu asie kupenda vunja ndoa tafuta passport kuja gulf kuosha hamamu na life goes on wapi team haman hoyeeeeee💪💪💪💪💪fulus kwanza mapenzi tupa kando

  • @officialdaynesskavishe4143
    @officialdaynesskavishe4143 4 ปีที่แล้ว

    Ndo maana siwazi kuolewa kwa Hali hiii.kufia nyumban kwa watu kisa nn.woiiiii.acha nitafute tu hela akya Mungu.pole Dada angu Mungu akusimamie

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 ปีที่แล้ว +33

    Wacha kulia fanya kazi kila kitu utapata pole aki.

  • @enestinajosephat1269
    @enestinajosephat1269 4 ปีที่แล้ว +9

    Haw wanaume mungu tu ndo anajua jmn pole sana Dada pole inauma😓😭😭

  • @magrethfestomassawe5708
    @magrethfestomassawe5708 2 ปีที่แล้ว

    Nendeni kwenye maombi wewe huna makosa hukifika majini mahaba amna yapo nenda kwenye maombi Ndiyo dawa ya majini mahaba ,hata huyo hulio mchukuwa matatizo yatakuwa hayo hayo Mungu akupe roho ya kuona mbali Amen ✝️🙏

  • @damariam7497
    @damariam7497 4 ปีที่แล้ว

    Hii ilinifika nliacha mjengo wa maana maji ndani stima ndani. 2014 nilijikuta nkilia kwa wajomba kwa kuchanganyikiwa ila Mungu ni nani?
    Now I'm happy single with my 2kids. My acc is reading every end month.dada nakutia moyo. Amka mlilie Mungu wachana na mali ya dunia. Itafute amani na furaha yako.

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 4 ปีที่แล้ว +28

    Huyu dada aombe Talaka maana atamuua
    Wagawane mali

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli wagawane tena akiwa mbali na huyo bwana asije muua bure.Nahisi matendo ya huyo mwanamme yamekua feelings za tendo la ndoa kila akitafakari anavyomkuta na wanawake wengine na uchungu wa kauli chafu umeua moyo na ni hiyo saini ya kanisani inayomfanya awe na huyo bwana ila kiroho bwana kashamtoka ndio maana hampi unyumba Dada dai talaka kisheria mgawane kaanze life yako asije kuua

    • @elizayongolo5943
      @elizayongolo5943 4 ปีที่แล้ว

      Tru

    • @bibiemohamed6044
      @bibiemohamed6044 4 ปีที่แล้ว

      Safi sana.mawazo yko

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 4 ปีที่แล้ว +1

      Utakuta huyo mwanamke anaemsumbua uso kama dagaa bichi

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 4 ปีที่แล้ว +2

      Dadaa achana na huyo jini kuna watu wa maana wanakuhitaji ambao watakujali na kuyasahau yote

  • @mamahusein4476
    @mamahusein4476 4 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana

  • @albs1448
    @albs1448 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah mwanaume akikuchoka, anakufanyia mambo mpaka uondoke, huyu mwanamke aombe Talaka then agawane Mali. Hamna kubembelezana na mwanaume kwakweli

  • @fatumakinga7134
    @fatumakinga7134 4 ปีที่แล้ว

    Tena yuwamuita baby mbele yako, huyo mume hajapata machizi shenzy yeye, pole dada Mungu atakulipia 🤗❤️❤️

  • @gracejacob8818
    @gracejacob8818 4 ปีที่แล้ว +5

    Uyo mwanaume kalogwa iyo sio hali ya kawaida!

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +8

    Bora nikomae ugaibuni nijenge kwangu Sasa ivi hakun wanaume 🤔

    • @nyamkamawanjara29
      @nyamkamawanjara29 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndo habari ya mjini vyakupewa uwii

    • @johnsontobico4454
      @johnsontobico4454 4 ปีที่แล้ว

      kuna nini siku hizi

    • @mmn7480
      @mmn7480 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeona hee ndomana mm niriondoka mapema sana npo zangu oman mpka ss nafnya maendereo yangu

    • @gullaalex6590
      @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว

      @@mmn7480 tukomae tu nchi za watu maana ukiwa n chako utaeshika, sas embu ona uyo mama anavozalilika🙆‍♀️

  • @saudaomary8687
    @saudaomary8687 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Dada angu mungu atakusaidia mimi mwenyewe yamenikuta kama yako ila wanaume mungu anawaona malipo ni hapa hapa duniani