Mkuu wa mkoa diwan Sister Joice🙏🙏 Asanten Sana siku ya Kwanza nimeona iyo clip niliumia Sana na kusema kimoyo moyo uyo Dada akamatwe haraka! Najua icho ndio kinafuata 🙏🙏🙏
Pole sana mama laaa watanzania wallai munaupendo sana big up ingelikuwa nasisi warundi tunaupendo kama nyinyi kama inchi yetu iko vizuri nawatakiya Amani
Pole sana Dada. Wanawake tunakurupuka sana. Bila kujua waume zetu wakati mwingine utaftaji wao Ili tule na watoto ni lazima washirikiane na wanawake wengine katika utoftaji wao. Wanawake tunachowaza ni wanaume Malaya bila kufkiri namna Ya utaftaji wa waume zetu.
Pole sana Dada angu umeshalipwa na mungu sasa zamu yake kufunzwa adabu mungu akusaidie upone haraka ili uendele kupgania watoto wako sasa yeye amewapa shida watoto wake upumbavu wake umewaasiri watoto alizan anapgania haki kumbe alikua anapgania ujinga
Huo ni mpango wa Mume na Mke kwa maelezo ya Dada yanajitosheleza huyo Mume ndio chanzo na walikuwa wamepanga na ndio maana alikimbia hiyo ni gia Dada hao inatakiwa wafundishwe adabu
mungu awabariki sana wote mlioguswa najambo hl...ningeshangaa sana kwaserikali hi ya magufuli jambo hl lingepita bila kuchukuliwa hatua...pole sana dada tunafahamu mamazetu mnapitia kwenye changamoto nyingi mpk tunafikia ktk hatua zakujitegemea...uyu nimama nauwenda bila kujua hata mama zetu wameyapitia haya...hakuna kama mama
Ni kweli yaani sisi single mothers kiukweli jamii yaweza kutuchukulia vibaya wengi hatupendi kua single but shit happened no way out Mungu atusaidie tu
Pole sana dada na mwanamke yoyote anaesikiliza hii ikitokea umemfumania mume wako pambna na mume wako na sio mwanamke mwenzio kumbuka hujamaliza safari ya umwanamke. .unamdhalilisha mwenzako kesho yanakukuta.... Pia kimtazamo zaidi naona km ni mbinu iliopangwa mke na mume alijuaje huyu dada anapesa nyingi.
Hii niwazi dhahiri kua yule bwana na mke waka walipanga njama ya kumtapeli na kudhalilisha huyu dada. My dear sister you are a super woman. Mazuri Yakima njiani. Polisi wakamateni hawa wauni.
Pole Sana Binadamu tunajisahau sana hasa sisi wanawake tulio olewa kuna leo na kesho unajikuta umeachika au unefiwa na uyo mumeo unae mlingia na kusababisha wanawake wenzio kuwaona malaya
Huo utapeli...haiwezekani amwambie aende na pesa kwenye nyumba ambayo hata haikaliwi ili wafanye biashara kisha atokee mkewe kutoka kusikojulikana eti amfumanie na chakushangaza mwanamume akimbie...kama huyo mwanamke alikuwa ameachana naye iweje akimbie...kuna mchezo walifanya ili kumtapeli huyo mama pesa yake. Pole sana dada..hao wezi na matapeli wasio na utu wataingia mkononi mwa sheria haki itatendeka. Mwanamume hakuwa na pesa akapanga mpango huo na mkewe ili kupata pesa ya dhuluma.
@@bjzee1981 Kweli kabadili kauli haziendani na video. Tena bora angeiacha ilivyokuwa tu maana kulingana na maelezo yake kwenye video,bado asingekuwa na kosa. Huyo mwanamke angepambana na mbwa wake tu.
Lkn jaman mama ana huyo dd alikuosea kwenda home kwamwenzie hizo nizalau hata mm ningemfyeka napanga kwann wasinge kaa seheem wakaongea hapana tumechoka mm angerud hana mguu
Sio mkweli kwa nini kama walikuwa kwenye biashara kwa nini amkimbie mke ,au wote walipanga kumwibia Huyu dada .mwisho mtu humjui ùnapanga kufanya naye biashara angekuwa anajua ana mke
Kwa jinsi .nikivyosikiliza ile tukio vyombe vya usalama vifanye kazi haiwezekani we we mwanaume umeachana na mwanamke huwezi ukaleta changudoa ndani ya familia yako hao wezi washunghulikiwe
Daaaah nimelia sn😭😭😭 pole sn mpendwa Huyo Mume na mke pamoja na Dadake ni wezi na lilipangwa mke hakutokea bahati mbaya.Haki itendeke huyu Mama apewe haki yake. Pole My Mungu yu pamoja nawe
Mim naona n mpango,ulichezw na uyo Mwanaume, OK viongoz naomba uyu mama,baba,wachukuliwe hatua Kali Za kisheria,Na SKU zote Adhabu utolewa pindi sheria znapovunjwa,kwa wahuska na iwe fundisho kwa weny tabia hyo na iman sheria itafuatwa na kuadhibiw uyo mama NA Mme wke
Huyo shetani ya mwanamke eti mungu ameniita nikuje kumuona mme wangu mungu wawapi we umbwa ya mwanamke pore sana dada Mungu atakuripia naumiaa sana jikaze uyo ibilisi atakutana na ibirisi mwenzake jikaze sana niko naiiona niko oman tangu bimeaanza mpaka sahiii naumiaa sana
Uyu diwani namba moja katika ufatiliaji wa matatizo ya wananchi wake ..big up diwani .
Diwani huyo ana hekima sana nikama alisomea Kenya hiyo akili ako nayo ni buzara
Uko alipo anajinyea nyea hasira hasara🤦🏽♀️ anaenda kuozea ndani sasa.... Power of social media🙌🏽
Pole dada kweli niliumia sana alivyokudhalilisha vile na uyo Mwanaume kwa nini alikimbia Naye akamatwe
Kasema yeye kamanda .
Haya akakutane na makamanda wenzake .
Hasira hasara
Alafu watu wakifanya matukio wanajirekodi!
Akomeshwe mshenzi halafu Mwizi yule dada
Kumbe aliachika
Mkuu wa mkoa diwan Sister Joice🙏🙏 Asanten Sana siku ya Kwanza nimeona iyo clip niliumia Sana na kusema kimoyo moyo uyo Dada akamatwe haraka! Najua icho ndio kinafuata 🙏🙏🙏
Pole sana dada yng uyo mwanamke aliyempiga mwenzie achukulowe atua za kisheria Aisee
Ilove u so much Mumy god blessing u u took like 100 people Mumy that amazing nenda ukatibiwe Dada angu upone na maisha iendelee
Ungeandika tu kiswahili hiyo kingereza 😀👋
🤣🤣🤣🤣🤣sijakuelewa dada
@@reymgusi1616 Andika wewe kama huelewi jipange kwani coment ni zako
Pole sana mama laaa watanzania wallai munaupendo sana big up ingelikuwa nasisi warundi tunaupendo kama nyinyi kama inchi yetu iko vizuri nawatakiya Amani
Mimi ni mkenya, hilo tukio liliniskitisha Sana.
Pole dada, huu Ndio mwanzo wa baraka zako
Lakini mambo ya kupigania coz ya mwanamume huo ni ushamba. Wanaume Malaya tu
Wakenya nanyiye ndo wengine munavyo penda ku pigana juu ya wanaume
Uyu diwani kweli ni kamanda big up diwan👍
Yuko vinzur sana aise nimemuona kweny matokeo mengi hua yuko mstari wa mbele sana 👍
Mheshimiwa Anna Ngwira...Mungu akuzidishie na akupe maisha marefu....
RC Anna mgwira! I love you soo much mama, wish ningekua on your family!
Always I feel happy to see you!
Congratulation to you Mom!
Pole sana Dada.. Hao ni matapeli tuu wachukuliwe hatua
Pole sana Dada. Wanawake tunakurupuka sana. Bila kujua waume zetu wakati mwingine utaftaji wao Ili tule na watoto ni lazima washirikiane na wanawake wengine katika utoftaji wao. Wanawake tunachowaza ni wanaume Malaya bila kufkiri namna Ya utaftaji wa waume zetu.
Hongera sana viongoz wangu mmefanya jambo la maana Mungu atawalipa....
Hongera pia media kwa kurusha hili tukio....
Mama pole kweli Mungu ako pamoja na ww utapona katika Jina la Yesu🤲🤲🤲
Shukrani kwa kuonyesha upendo ,jinsi ya kutatua tatizo, na kumsaidia pesa kidogo. Mungu awabariki
Kila mtenda ubaya ajuwe nyuma anadeni.Dada pole sana mungu atakulipia,nasheria itachukuwa mkondo wake
Duuuh pole San dad kwa hilo janga sometimes unawez kuhis umetengwa na dunia ila mapito2 hayo Never give up & don't trust any one Jah bless you.🙏
Pole sana Dada angu umeshalipwa na mungu sasa zamu yake kufunzwa adabu mungu akusaidie upone haraka ili uendele kupgania watoto wako sasa yeye amewapa shida watoto wake upumbavu wake umewaasiri watoto alizan anapgania haki kumbe alikua anapgania ujinga
Daaah atajuta kumpiga mwenzie🙆sheria ifate mkondo wake 🚶🚶🚶
Huo ni mpango wa Mume na Mke kwa maelezo ya Dada yanajitosheleza huyo Mume ndio chanzo na walikuwa wamepanga na ndio maana alikimbia hiyo ni gia Dada hao inatakiwa wafundishwe adabu
Maskini 😢😢😢pole Sana mwenyezimungu atakulipia my dear jambo lolote lisiotoa uhai wako lichukilie kama changamoto katika maisha
Pole Sana my love
Pole Sana dada😭😭huyo mwanaume itakuwa wamepanga na mke wake ili kumtapeli huyo dada jamani tunaomba haki itendeke kwa dada huyo
Pole Dada alafu mm naona huyo mwanaume walipanga na mkewe
@@tunumakila2220 ni kweli mwanangu ni matapeli mke na mume
mungu awabariki sana wote mlioguswa najambo hl...ningeshangaa sana kwaserikali hi ya magufuli jambo hl lingepita bila kuchukuliwa hatua...pole sana dada tunafahamu mamazetu mnapitia kwenye changamoto nyingi mpk tunafikia ktk hatua zakujitegemea...uyu nimama nauwenda bila kujua hata mama zetu wameyapitia haya...hakuna kama mama
Milard hajawah kukosea,big up kwa taarifa nzuri.
Huyu mama ni kahaba km walikua kwenye ishu za biashara je kilichomfanya yule mume akimbie ninini? N uongo hata na pesa hakuibiwa
Uyo aliyemfanyie ivyo akamatwe fast
Kweli ukipiga teke chura wamuongezea mbio na sikila anae jiuza ana penda 😍 pole sana Dada mungu akusaidie zaidi
Daah pole sana Dada hatua za kisheria zichukuliwe kwa WOTE mke na mme ni wataperi hao
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 pole Dadangu....wale tuko Single like yako hapo Mungu atusaidie wengine C kupenda kwetu😭
Ni kweli yaani sisi single mothers kiukweli jamii yaweza kutuchukulia vibaya wengi hatupendi kua single but shit happened no way out Mungu atusaidie tu
Amen Coletha yuko nasi atatuepusha na Hawa wanaume wanja wasio sema ukweli
🙊🙊🙊🙊🙊😰😰😰😰
4really it's pain
Nikweli hila ajafanya ubinadamu
Pole sana roho iliniuma sana mpaka nasema ningekua apo kwenye ugonvi ungekua wangu pole sana
Weww nawe
Yan liliniuma kweli dah
Yni ww mm kbsaaa sipndi mtu aonewe namuuska amekimbia
Pole Sana Dada uyo jamaa ni mwizi na mke wake
Wale wamepanga na mkewe majambazi kwann alimwambia aje na hela alaf alijuaje kama wapo sait dakika hyo
Pole sana dada na mwanamke yoyote anaesikiliza hii ikitokea umemfumania mume wako pambna na mume wako na sio mwanamke mwenzio kumbuka hujamaliza safari ya umwanamke. .unamdhalilisha mwenzako kesho yanakukuta.... Pia kimtazamo zaidi naona km ni mbinu iliopangwa mke na mume alijuaje huyu dada anapesa nyingi.
Yes Hii ndo team work!!!!! Haijalish umekosea pia au umesngzw ila acha Serikali ichukue mkondo wake Naipenda Tz yangu!!!!!
Asante mukuu Wa mkoa,waelimishe mama yetu
Pole Sana mpendwa,Mungu atakusaidia utatoka tu kimaisha.Usikate tamaa kwa kilichokupata.
Duuuuuu...Mungu msimamie huyu dada...ameniumiza Sana anavo ongea😭😭😭😭😭
Mkuu wa Mkoaaaaaaa 🔥🔥🔥 Hyu Mama wa Mkoa yuko vizur aseee
Erick Libaba haha haha... ET Mama wa Mkoa
Hii niwazi dhahiri kua yule bwana na mke waka walipanga njama ya kumtapeli na kudhalilisha huyu dada. My dear sister you are a super woman. Mazuri Yakima njiani. Polisi wakamateni hawa wauni.
Kiukweli hili jambo liendeshwe kihaki dada amejieleza vizuri na kwangu nimemuelewa sana
Sana kabisa hao jamaa ni matapeli yeye na mke wake mkono wa sheria uchukue mkondo wake
Mependa sana mulivoshirikiana kumsaidia huyu dada mungu atawalipa kwa wema.wenu amiin
Daah
@@generaljo9339 😑
Ameen
Subhana llah polesana dada mwenyezimungu akupenguvu zaidi utashida kwauwezo namwenyezi mungu polesana dada
Mnatia moyo viongizi wa Tanzania . Mnafuata nyayo za Rais wetu JPM
Mungu ibaraki Tanzania. Wenye wivu wajinyonge , lol
Umeona eee
diwani pongezi kwa ujasiri
This is unacceptable ladies!!!
utapiga wanawake wenzio wangapi kama mbwa wako hajatulia??
saa zengine wanawake tumieni akili na mpendane.
Ingekua ni Mimi..ningemtandika kwelikweli
Mmmmh mwenye kosa mwanaume kwa nn alikimbia wakati wa tukio nae akamatwe
Milad ayo tupe namba zako mabogini shabaha matukio mabaya yapo sana ili tuweze kukupata
Kweny ile video akipigwa aliuzwa ulikuwa unaisikia simu ,na alikubali walikuwa ndani na mwanaume ukiangalia vzr utajua ukwel
pole sana dada yangu kwakilicho kukuta
Pole Sana Binadamu tunajisahau sana hasa sisi wanawake tulio olewa kuna leo na kesho unajikuta umeachika au unefiwa na uyo mumeo unae mlingia na kusababisha wanawake wenzio kuwaona malaya
Napongeza sana viongozi wa Tanzania wako vxuri kufatilia mambo yanatokea kwa wanainchi wao
dada anna barakoa itakata skio jmn
Karibu tz
Ahsante kwa kufuatilia.
Yani huyo mwenye mume apelekwe mahakaman kwa kosa la kushambulia
Jamani nihatari wamemuumiza huyu Dada maskini. Jamani chukuweni hatuwa kwa huyu Dada wamemkashifu sana. Loooh
So painful😭😭😭😭😭,. She deserve justice
Wanawake jamani acheni unyama pambana na mumeo
Mume walipanga na mke wake kumlagai huyu Dada wote wapate fundisho sheria ichukue mkondo wake
Daa nimetowa chozz pole sana dadaagu
Safi sana Mkuu wa mkoa, nimekuelewa. Na pole dada angu, lakini hao wote, kamata hao wafikishwe panapohusika
Huo utapeli...haiwezekani amwambie aende na pesa kwenye nyumba ambayo hata haikaliwi ili wafanye biashara kisha atokee mkewe kutoka kusikojulikana eti amfumanie na chakushangaza mwanamume akimbie...kama huyo mwanamke alikuwa ameachana naye iweje akimbie...kuna mchezo walifanya ili kumtapeli huyo mama pesa yake. Pole sana dada..hao wezi na matapeli wasio na utu wataingia mkononi mwa sheria haki itatendeka. Mwanamume hakuwa na pesa akapanga mpango huo na mkewe ili kupata pesa ya dhuluma.
😭😭😭Pole sana maman yangu i nshaallah malipo ni hapa hapa duni yani 🙏💋
Mbarikiwe sana mlio jitoa kumchangia huyu Dada Mungu awazidishie.
Pole dada namna watu walivokuongelea Daah hucchangie Mada husoielewa 🤗
Achana na wanawake bwana. Alisha sema hakujua ana mke na aka muomba urafiki. Hapa ni ana jaribu kufuta picha
Kwer et kiherehere c poa
@@bjzee1981 Kweli kabadili kauli haziendani na video. Tena bora angeiacha ilivyokuwa tu maana kulingana na maelezo yake kwenye video,bado asingekuwa na kosa. Huyo mwanamke angepambana na mbwa wake tu.
Nimekupenda we dada
@@bjzee1981 mbona hiyo kauli kairudia kama alivyosema mwanzo?
MAMA MGWILA ni mama mwenye hofu sna ya MUNGU kwa kweli
Mama Mgwila Mungu azidi kukubariki
Pole san mama .inshallh tupo pmoj n wew na M .mung atakusaidiaa
Dah! Yan nimeshindwa kujizuiaa😢😢... Pole sana dadaa.....
hata
Naomba jeshi lapolisi liwatie nguvuni hao wariomtaperi Hugo Dada sheria ifanye Nazi yake
This is so human aki tanzanians you have good leaders
Jamani
Subhannallah, mtihani kwakweli
Ulimchapa mama sasa cheki imekuwa blessings kwake,mugu amemfugulia njia, na wewe unaeda jela hahaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣😢😢😢malipo ni hapa hapa
Huyo mwanamke achukuliwe hatuwa harakaa Sanaa pole Sana Dada yangu😭😭😭
Na kwel Mungu anamuona huyo mwanamke kwa kumzalilisha mwanamke mwenzie inauma Sana pole dada
😭😭😭😭😭
Wachana na Bwana wa mwenyewe, tafoya wako mfanye biashara pamoja.
huyo mwanamke alishikwa na hasira tusimlaumu sana ni ubinadamu
Mungu akusaidie upone Dada pole kwa tukio lililo kupata
Huyo mume na mke nimataperi walipanga kumtapeli huyo mama
Kabsa Mchungaji wangu
Walikuwa ni matapeli
NIKODEM MWAHANGILA kabisaaa kama ile nyumba ilikua familia haikai huyo mwanamke alijua vp??
VERY TRUE
Kweli kabisa
Huo mchezo umepangwa ila pole sanaaa bi mkubwa MUNGU 🙏 atakufanyia wepec ktk lfe yako
Pole sana Dada, huyo mwanaume ni mwizi kashirikiana na mkewe, na wewe kwa nini umemuamini mapema namna hii
Mungu wabariki viongozi wetu wa Awamu ya 5.pele Dada😭
Pole dada sana
Mungu awabariki Kila alotoa msaada mumeonesha ushieikiano MashaAllah
Lkn jaman mama ana huyo dd alikuosea kwenda home kwamwenzie hizo nizalau hata mm ningemfyeka napanga kwann wasinge kaa seheem wakaongea hapana tumechoka mm angerud hana mguu
Pole sana dada yangu himeniuma sana hiii kitu safi diwani na mkuu wa mkoa kwa kufatilia hilo shwala haki hitendeke
Pole sana akulipe ili pia iwefundisho kwake kama alivokua alisema mwenyewe
😭😭😭😭😭😭😭Allah atawalipa kwa mujibu wa vitendo vyao😭😭😭pole Sana mama angu😭
Pole San dada angu huyu Mama mungu anamuona kumfanya kumdhalilisha mtoto mwanamke mwenzie roo huna haya wew mama
Kwa jinsi anavyoongea huyu dada ni mkweli
Sio mkweli kwa nini kama walikuwa kwenye biashara kwa nini amkimbie mke ,au wote walipanga kumwibia Huyu dada .mwisho mtu humjui ùnapanga kufanya naye biashara angekuwa anajua ana mke
Ayub Nsajigwa hiyo inatokea kwa wengi sana dear wanawake wanatapeliwa sana
Kwer kabisa dada aziza ujakosea tunataperiwa Sana wanawake
Ayub Nsajigwa, walipanga wamuibe
Ayub Nsajigwa iyo ni njama walipanga kumuibia
Ndio maana yule dada alimuuliza wewe ndio namba inaishia 26 kumbe alikuwa hamjui dah 😭😭hadi nimelia jaman mama wawatyu 😣😣
Huyo mama ni gaidi ndio maana mwanaume alimkimbia
Hivi vidole rangi yake sijaitambua
Kwa jinsi .nikivyosikiliza ile tukio vyombe vya usalama vifanye kazi haiwezekani we we mwanaume umeachana na mwanamke huwezi ukaleta changudoa ndani ya familia yako hao wezi washunghulikiwe
@@kwambokamkisii3870 naona walipanga namme wake wamtapeli dada wawatu duh
@@stratonmaembe2480 walipanga naona wamtapeli dada wawatu
Pole sana Dada mungu akubaki upone
Mama anna mwingira oyeeee,Joyce kiria oyeeee
Mkorogo mbaya dah aliyeona mkono tujuaneee🙄🙄🙄
duuuu....hta mi nimeona hiyo kitu
😁😁😁una macho duhh
😂😂😂 daaa nouma sn
😀😀😀nimeona
We na we ni tako kwel
Pole sana dadangu Mungu atakutendea tu nimeumia sana
uvumilivu ni kitu kizuri sana ,tazama mwanamama anavuna ndani ya uvumilivu wake hapo ndipo pakujifunza juu ya uvumilivu
Nimekuelewa hapo
Hakika
Pole xn dada
Hao Ni wezi kina mtu kaniambia Ni mchongo tu
Aonimatapeli wotehao niwezi wakamatwe wafunguliwe mashtaka
Huu ulikuwa ni mpango wao hawa kumtapeli huyu mdada, hakuna cha kufumania hapo
Upo sahihi uwo ndio ukweli wa wazii
True
Wamepanga hao mke na mume wamuibie huyu mama
Umeongea sahihi
Nikweli kabisa walipanga kumutapeli
Wangapi wanaamini kwamba huu ni Mchezo wa Wizi na ujambazi na Utapeli, na wakamatwe na Kufungwa Kabisa .GONGA LIKE CHINI.
Aisee yule mama aliempga yuko wapi aisee nnahasira nae vbaya sana
Huyo mwanaume na mwanamke lazima wakamatwe inawezekana hii ilikuwa ni mission ya kupangwa kutapeli
Very true
Haswaaa
Iyo. Ni njama ya utapeli
Kwel dunia inamambo mengi
😥pole
Mungu awabariki hongera Sana mama ngwira kwa kuonyesha mfano Ayo TV big up
Nahisi mke na mume lao lilikua moja, kwanini ajue unapesa na ndio akupata.
Hata mm nahis lao ni moja mume na mke
kweli.hao.walipanga
Haswaa
Nazani pia, wazo letu limekua moja, hebu upeleelzi ufanyike kuna uwezekano ukawa ndo mchezo wao wa kujipatia kipato
Kabisa
Wanaume tubadilike, sio vizuri
😭😭😭 kweli kaka,y chanzo kiwe mwanamume y?mungu awalinde wanawake wote,na awape imani wanaume wote wabadirike.
Pole Sana mungu akutete na akulipe machozi uliyotoa yakawe ya furaha yote ulitendewa yakamrudie
Pole dia huyo mama afunzwe adabu
Haipendez et Irene
Daaaah nimelia sn😭😭😭 pole sn mpendwa Huyo Mume na mke pamoja na Dadake ni wezi na lilipangwa mke hakutokea bahati mbaya.Haki itendeke huyu Mama apewe haki yake. Pole My Mungu yu pamoja nawe
Pole sana dada ni mtihan sana kuibiwa na kudhalilishwa,hao walikua matapeli walipanga na huyo mwanaume wawajibishwe
Pole mamaangu😭😭😭huo ni mchongo tu
Achakuliya dada Allah atakupiganiya
Ndio ndio maana akamuimiza aende na pesa
kabisa
Wallah nimeumia km huyu mama ni ndugu yangu!!😭😭
Mim naona n mpango,ulichezw na uyo Mwanaume,
OK viongoz naomba uyu mama,baba,wachukuliwe hatua Kali
Za kisheria,Na SKU zote Adhabu utolewa pindi sheria znapovunjwa,kwa wahuska na iwe fundisho kwa weny tabia hyo na iman sheria itafuatwa na kuadhibiw uyo mama NA Mme wke
Barakoa ya mkuu wa mkoa sasa 😂😂😂😂
😂😂🤣
Kelvin Charles hahahaha hahahh
Mbavu zangu
Kumbe mkuu wa mkoa...cjamjua
Sio poaa ukivaa wiki masikio lazima yawe kama side mirror ya gar
Naomba akamatwe huyo mama jamani nawaomba jaman nimeumia sanaaa😭😭😭
Nimelia sna
Pole sana Dada, Ila huyo mama achukuliwe hatua Kali za kisheria , awe kamanda awe ni nani mpuuzi mkubwa huyo. Pole Sana dada
JOYCE KIRIA OYEEEEEEEEE
😭😭😭😭Naumia kama mwanamke mwezie Jamani Jamani tusipo pendana nduniani tutapendana wapi mungu tutie ujasiri nautu sisi wanawake 😭😭😭😭
Af aliefanya hay et mwl.sijui mwl gan anakua mjinga hv
Huyo mume ni tapeli mbon mwanaume ni taprli
Pole Sana dd hao ni wezi wachukulie hatu
Pole sana achukuliwe hatua hatakama nimpenzi wako wewe hunakosa kwasababu mumewe ndokakuleta afungwe siwezikumpga mkemwenzangu kisamume hatasikumoja😪😪😪
Jamani nimelia daaah
Jamanii jamaniiiiiiiii
Pls help her
Neema hujambo
Pole sana
Pole Sana my dear wanawake tunajua mume anauma!lkn kuchukuwa hatua mkononi siyo sawa kabisa
Huyu mama namkumbuka tulipanga wote nyumba 1 dar,,Anaitwa mama karimu
Maskin Pole yake inaonesha mpambanaji😥
@@beatricetenywa4367 Sana tena mpole ,kipindi Ambacho tumeishi nyumba 1 wote ckuwahi kusikia kagombana na mtu
Jamaniii jiraniii. Watu wana roho mbaya. Sana lao moja
@@nyamogafamily4262 ale myawe 🙏
@@beatricetenywa4367 Kumbe na ww wa iringa
Huyo shetani ya mwanamke eti mungu ameniita nikuje kumuona mme wangu mungu wawapi we umbwa ya mwanamke pore sana dada Mungu atakuripia naumiaa sana jikaze uyo ibilisi atakutana na ibirisi mwenzake jikaze sana niko naiiona niko oman tangu bimeaanza mpaka sahiii naumiaa sana
Jomon mamy umenitia uchungu sana ila Mungu akuteteye mamy💕💟🙏
Amissa Hassan
Milima haikutani binadamu hukutana cjui unanikumbuka!!!
@@lucianicolaus1179 nakukumbuka my mzima ni check +96871147492
Serikali uchukue hatua jmn hili tukio limeniudhi sana
Kabsa yn
Hata mi pia nimeumia sana sababu, hawezi kudharirisha mwezie angedili na mumewe
Masikin Dada pole sana
Saana hii ni dhulma ya watu walikuja hawana hatiya 😣
Mama mjinga cna mama yetu mkuu wa mkoa msaidie dada huyo jaman mpk nimelia
Safi sana watz tunapendana mungu awabaliki
Pole dear
Ila wanaume nyie acha niwazoom tu asee
🤣🤲🤣🧔🧔🧔
Kwel ni kuwazoom tu hawa wanaume
Mimi apa nizoom
Pole sana dadangu....😢😢😢😢😢 pole sana ila wakati mwengine wanaume wetu hutuangusha jamani 💔
Sanaaaaa
pole sana naMungu akutetee
generose gastor shukran 😘😘😘😘
Evo Dia yani sema pole pole 😘😘😘
@@juliaayieta2578 bora tuseme kwa sauti ili wajue kuwa wanatukosea na kutuangusha Sana 😘😘