Sasa hapo kwenye raha tumwachie mwenye raha yake yeey ndyo anajua kwamba anafaa kupata raha au hafai, swala ni sisi je? Tumejifunza kipi kuhusu hili tukioo? Ndy kitu cha kuangalia wewe mambo ya raha achana nayoooo
mama you're very strong mama..Allah akupe nguvu..ila hapo ndoa ilikuwa na changamoto nyingi..kuchukua roho ya mtu sio sawa ila hapa palikuwa na tatizo kubwa lilipaswa kutatuliwa mapema
Huyu Mama anaujasiri sana...Mungu ni Mkuu sana .hakuna kitu kinauma kama Mzazi kumzika mtoto wake😥😥😭😭😭😭😭Nyie INAUMA Sana...Mola Akufute mchanga wa Usoni Mpenz..Ulale salama🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mtume Muhammadصلله عليه وسلم Amewahusia sana wazazi wa watoto wa kike kwamba.`` Wakiridhishwa na Tabia na Dini ya mwanaume basi wamuozeshe'' Sasa wazazi wetu leo wanatizama sana wanaume wenye pesa na hili ni tatizo kubwa sanaa
@@gerrymroki509 Point yangu ni kwamba Wazazi wa Mwanamke hawakutizama kigezo cha dini,, Laiti wangetizama kigezo cha Dini ungesikia Swalher kapewa Talaka moja au 3... YAANI Namaanisha nwanaume mwenye Dini aisngempiga risasi bali angemwacha kwa wema kama wameshindwana
Pole sana kwa familiaa, ila mm ningeomba tu vyombo vaa dola, laia jaman wasipewee vyombo vya moto jaman, hizi kesi zimekuwa nyingi jaman, dah poleni sana familia
Pole sana mama,ndio maana mimi husema if marriage doesn’t work quit.long distance needs trust iko na challenges mingi sana maana huyu amekufa juu ya insecurities issues.ooh God
Siku yako ikifika hauna ujanja tumuombe mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema 🙏 wadada turidhike na kina bakari kichwa wetu🥴 matajiri siku zote maamuzi magumu kwao kitu Cha kawaida Sana. Riziki za kulazimisha matokeo yake ni mabaya.
Roho mbaya haina tajiri wala maskini wanaokatwa mikono huko vijijini waume zao nao ni matajiri? Tena maskini ndio wana hasira nyingi za umaskini stress zimewajaa sana. Hawa walikuwa na matatizo mengi ambayo hakuna anaweza kuyajua.
@@stellamsangi4281 🤗🤗 nafikiri utakuwa ujanielewa nilicho maanisha hapo haijasemwa roho mbaya Ila ni ujasiri. Sasa kwenye ujasiri na roho mbaya ni Mambo mawili tofauti!! Kama ujawahi kupitia changamoto za hao wanao itwa matajiri. Nilicho kiandika uwezi kukielewa. kabisaaa
@@elizabethpeter8456 nazijua zote za matajiri na maskini pia. Hiki kitu ni kipana sana its about been poor or rich dear hapo ndipo tunapokosea na hii inasababisha shida kutoisha. Haya ni makuzi, depression, anger management, watu wanatembea lakini wana misongo ya mawazo ya kila aina na hawajui nani wakuongea nae so wanapoguswa kidogo tu hasira inapanda mpaka kupita kiwango. Kwa kitaalam huyo mwanaume tunamuweka kwenye kundi la watu waliokuwa na msongo mwitu na hawakupata tiba kwa wakati sahihi na huenda ni sababu hata yeye hakuwa anajijua kuwa ni mgonjwa. Hiki kitu ni kipana sana na chanzo huanzia toka utotoni ndio maana tunashauri wazazi kuwa makini sana na jinsi wanavyowalea watoto wao pia kuwa na muda wa kuongea na watoto kujua changamoto wanazopitia mashuleni, kwa marafiki zao na mengineyo. Hicho alichoganya huyo kaka ni matokeo ya vitu vingi vilivyokuwa vimejaa ndani yake. Tatizo ni kwamba watu wanaangalia tatizo ki wepesi sana kuliko lilivyo.
Pole sana mama wa marehemu, nafikiri kuna shida katika jamii zetu na malezi kwa ujumla. Mabinti wanatak financial freedom, vijana wanataka wake wenye kujitambua. Poleni sana
Ukimwambia mtu acha hasira, basi yafaa uache kwanza mambo yanayomsababishia hasira! Ndoa zimekuwa changamoto hasa pale wanandoa wenyewe wanapoingia kwenye ndoa kabla hawajaumaliza ujana, mke mheshimu mumeo, mume mpende mkeo, kuwe na hofu ya Mungu kwa wanandoa, kama mmeshindwana basi gawaneni ustaarabu kila mtu ashike njia yake, japo Ni ngumu maana shetani kapiga kambi na anachochea vita, Mungu ampokee dada wa watu.
Umeandika vizuri sana Mr James,dada hakuwa na heshima kwa mumewe hata kidogo, huwezi kumwambia mumeo eti acha nilale weweeeee lazima mfike pabaya,lkn mwanaume mwenzetu amefanya kitu kibaya sana,hakufakari kuhusu watakao hangaika kwa kukosa wazazi duniani.S
Ata Dada awe na tabia mbaya huwezi muua si uachane nae basi, sasa ataoa wangapi mana aso hili ana lile, mwanamme uwe mstahamilivu kama huwezi bora usioe ndo mnaua hivyo
Ule msemo wa haki sawa kwa wote madhala yake ndo haya wanawake wengine wanatumia vibaya ndoa ina miaka mitano kaa nyumban tulia kwa mumeo uone changamoto za ndoa ziko vipi na kama una kazi fanya ila kuwa na heshima kwa mumeo kuna wakati tunaweza laumu wanaume ila ukweli wanawake wengine huwa wanataka kuwa wababe kwa waumezao sio vizuri polen sana wanafamily wote
watu wanaongea2 rakini ki2 ambayo hukijui usiseme sana mana wanawake nao wasiku is niwashenzi sana hasa kwenye mahusiano mtu anakusalit arafu ww unajua kabx kwamba hili jambo lipo kweri unamuuriza mtu anakujibu kunya hata mm sitaweza Moyo uwo sina mm
Duuuh! Inaumiza sana pole sana mama kwa kuondolewa uhai, binadamu wenzangu ususani wanaume au wanawake tumuogope mungu jamani tuwe na hali ya imani ya kiroho ktk kujali uhai wa kila kiumbe, tusihukumu tusija tukahukumiwa maana siku zaja
Nd mana nawakubali sn wa Afghanistan kwakuwazuwia wanawake kufanya kz nje na kwake !!!!wanawake wameumbwa km ubavu! Wamepinda pinda!! Mda mwingi wanawake wanatakiwa kuusiwa mema!! Mwanaume lzm uwe na wivu kwa mkeo tena sn ! Ni wivu ni sunna na hatoingia peponi mwanaume ambae hana wivu! Nd mana mtume muhammad s a w amesema tuoe wanawake wenye dini! Kwasababu ukiwa na wivu alf ukamuoa mwanamke hana dini bs tambueni kuna hatari kubwa itakuja kutokezea !!
Sababu za ovyo ovyo tu,tatizo hatupendi Mungu asimamie mambo yetu duniani hata haya ya ndoa.Hakuna legitimacy ya kumuua binadam mwenzako kwa sbb yoyote.
Huenda kweli mke alikuwa na jeuri ,na mume anaonekana mwenye hasira na wivu mkali mno ,lakini kutoa roho ya mtu sio sawa ,huwezi kumuua mkeo kwa wivu ,kama imethibit umechoka kuvumilia ni bora umpe talaka inatosha
tatizo kubwa wa tz wengi sana tuna maisha ya kuigiza,wengi wapo kwenye ndoa huku wana tamaa ya kuwa na wapenzi wengine,unaweza kuta dada mzuri kweli kaolewa ila hawezi acha wapenzi wengine,na hata kumjibu mumewe vibaya akiomuona hana thamani maana anajua pa kwenda ukimuacha.Na wanaume michepuko kibao,na ku over love,mtu mmoja amewahi sema ndoa ni a couple of best forgivers.watu hawawezi samehe na kuachilia,maisha ya duniani sio matamu kama wengi tunavyojidanganya.
Awww ndoa zina sili nyingi mno usijaji watu mpak huwe uko mwanamke ambaye anampenda Mume wke atakama anakitu atavumilia ukimwona anatoka ujue kuna tatizo kubwa arafu atujui ukweli wapo wanaume wanawivu kam ugonjwa atakama unamtu wamezaliwa ivyo yan mwanaume anayepiga mkimbie siku ni kifo
@@allthingdranabeauty noo! let us be practical tusiiishi kwa kufuata hisia na mihemko,wote walikuwa na makosa,hao nimeisoma na kufuatilia kwa karibu,me taaluma yangu ni ya kumsoma binadamu,movie zinawadanganya sana,mnadhani maisha ya ndoa ni that too superficial?why ur husband calls you hupokei?mara 35?why should you shoot ur wife?mbona hukufanya hivyo last year unafanya leo?THINK AND NOT SINK
Kwa maelezo ya mama tunapata fundisho kuwa wivu Ni sumu inayoweza kukumaliza wewe mwenyewe! Lakini pia tunapata fundisho kuwa mapenzi Ni kuaminiana, kusikilizana, kuoneana huruma na kujaliana! Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi Amina!
Sijafurahia alichokifanya huyu jamaa ila sasa ndoa nyingi zina changamoto, Wanawake kwa wanaume wana take their marriage for granted, pia maisha yamekosa uhalisia, wanawake walio kwenye ndoa wanajirahisisha wanapenda ulaini na miserereko wanaume pia wanapenda kila mrembo anayepita mbele na kuona huo ni umwamba ...ndoa zimekuwa one sided sana kuna anayeumia siku zote. Wanawake mlioolewa jitulizeni maana hali sio nzuri na inauma sana unapojua kuna mtu anakumegea kisela. Pia mwanamke kama hakuna sababu ya msingi kaa nyumbani. Ila kikubwa kwenye ndoa ni uaminifu tu.
Kutokujiamini ndio sababu watoto wetu wa kiume na baadhi ya watoto wetu wakike wanaua wenza wao, hakuna kingine huyu kaka atakuwa alikuwa anagubu sasa kumuua ndio suluhu.
Unaua halafu unaishi kama digidigi si ujinga huo! Kabla hujaua ulikuwa unaishi kwa wasiwasi wa wivu, sasa umeua unaishi kwa wasiwasi wa kwenda kunyongwa, sasa umetatua nini?
@@mathewdeus9978 mbona unaongea kama vile simu ulininunulia wewe? Nina miaka 50, mke na watoto, hiyo ndo unaita bado ni mtoto? Jifunze kumheshimu mwenzako hata kama wazo lake hukubaliani nalo.
Mimi situmi lawama kwa jama Mimi nililipa mali yote zikiwa zimebaki Siku 114 kufunga ndoa mwanamke akatoa mimba akisingizia wazazi wake kwamba wamemwambia atoe nilipo funga ndoa ndani ya Siku 30 niligundua anawanaume 6 ndani yake yupo Ndugu yangu sasa ukiwa na roho ya kipepo unatwanga lisasi 7000
Mwanamke akimueshimu mme, mme automatically atampenda. Wanawake wa siku hizi wanakosa heshima umetoka kazini kwako umefikia kwenu na unajua umeolewa kwanini usienda kwako. Nabado mwanaume anakupigia sim hupokei unamtia hasira mtu. Lakini sisi wanaume nao tuwe na huruma hata kama mwenzako kakuuzi mkanye kwa hekima akili na kwa upole jitahidi kumjua mwenzako ni wa aina gani. Tuishi na wake zetu kwa akili ....
Umeongea Vyema Mkuu ila Hapo kiukweli mdada amejisababishia Kwa kumtia Hasira Jamaa ww huwez toka Kwenye mishe zako ukafikia Kwenu wakat umeolewa halaf mbaya zaidi hupokei sm unadhid kumuudhi tu, na kwa uzuri huo akajua kabisa Huko uliko kuwa umetoka Kumegwa upo hoi na bado unaendelea Kumegwa
Nyie wawili akili zenu ni sawa na uyo jamaa the fact is wanaume muache unyanyasaji hamtuoi ili tuwe watumwa kwenu kwaiyo mtu huna haki ya kuwasalimia wazee wako
@@fatmatwalib8179 Kusalmia haukatazwi lakini iwe kiutaritibu sio kwa unavyojisikia weewe kumbuka umeolewa ili ukamtumikie mmeo na ukiolewa wewe hauna amri tena juu ya mwili wako yaan mwanaum ndiyo anakua mmliki wa mwili wako uelewe hilo au haujui maana ya Mwili mmoja??
Dah! Inasikitisha kwa kweli,mume katili na sijui kama sio jambazi...anamiliki mpaka bastola! Ila Marehemu alikuwa Mzuri Masikini!😥😭kajaliwa na shepu na sura Mungu Amrehemu!🤲🏻
@@casmiraugust6853 ni kweli Shep bila akili ni ujinga kingine wanaume tujifunze tunapokuwa na uwezo kifedha tusiwaruhusu wake zetu kufanya kazi binafsi ni heri tuwafungulie miduka au akae tuu
umeona shape tu au sio,,, hcho ndo kilimpa kibur mwenzio mpk leo hayupo tena,,,,, vtulizeni hvyo vishape vyenu kama bado hujamaliza kudanga usiolewe!!!
Poleni sana wafiwa, Allah awajaalie Subra. Nae ampokee kwa wema In Shaa Allah. Ameen. Kwa maelezo ya huyu mama, mume anaonekana kuwa na wivu kupitiliza, ana gubu pia... huyo dada anaonekana sio mtu wa kudanga, ni mtu wa kujituma. Siku zote mume anatakiwa awe mlezi kwa mwenziwe. Miezi 5 ni michache sana kushindwa kumchukulia mwenzio. Tukisema hayuko serious na ndoa tunakosea, maturity ni suala la msingi ktk ndoa. Dada anaounekana bado ana utoto fulani, alipaswa amvumilie... kuna vitu vidogo vidogo angeweza kumanage yy km yy (mume). Wapo watu wanachukua miaka kupata quality ya mke wanaemtaka, wanasubiri ikibidi wanajitoa kwa ajili ya wake zao. Subra ni changamoto kwa huyu mume. All in all, hakupaswa kuua. Amekosea!
@@emmanuelmashallo9739 Uko sahihi, mjuzi ni mmoja tu... Allah pekee! Ila ametuqadiria viumbe vyake kw kiasi alichopenda. Huo ni mtazamo wangu. Kukukumbusha ni kuwa comments haziko turned off, instead of criticizing what I said, uko huru kuandika uonavyo wewe. Hatuko kwenye mabishano hapa as if tunatarajia mmoja amshinde mwengine... Sio kila wakati tuoneshe tuko wajinga kiasi gani!
@@salomemakore4809 Mmmh, kuna mjinga mmoja eti amejibu sijui kitu nitulie... Hivi utapigaje call zote hizo km wewe si mtu wa bugdha? Kwnn asifikirie kuwa labda mkewe amepumzika? Negative thoughts muda wote... hakuwa akimuamini wala kujiamini yy mwenyewe!
Mwanamke sio mdogo ni ndoa yake yapili kwaiyo uyu mwanamke ni malaya kwasababu hata kampani zake wote malaya so uyu mwanaume yuko sawa kumpiga lisasi dawa ya msaliti nikifo
Kitu kingine nilicho jifunza ktk tukio hili ni kuepuka kuishi na mwanamke jilani na mazingira ya kwao.ukichunguza kwa makini utagundua huyu dada alikua akai au kushinda nyumbani kwake muda mwingi .
Hapa nachokiona ni dharau au kutokujali maswala mazima ya ndoa. Au yawezekana kauli zilizotumika kwenye majibizano ni kali. R.I.P Lakini huyu mama mtu nae hata chozi hamna ... Mkavu kama marehem sio mwanae duh 😱
Wanao jua maumivu ya mapenzi naombeni like zenu. Mshikaji kama namwona ambavyo hakupata usingizi mke wake hapokei simu dah inauma hasikwambie mtu bia tamu
hv kweli mkeo wako wa ndoa unamuua unakatisha maisha yke hv hv kwa kosa huna uhakika nalo kuhis hv unajua uchungu wa mke na wakwe zako wengine tunalilia tunanyenyekea kwa mola wetu atupe wake tutakao ishi nao kwa wema hatujabahatika hv unajua thaman ya mwanamke maishan umesahau mema yke utu wake nguvu zake huruma yke mangap anakufanyia kwa siku tunaenda wap hata uuze dunia na vilivyomo huwezi nunua utu wa mwanamke maishan 😢😢😢
Kwa jinsi nilivyosikiliza maelezo ya huyo mama,nmegundua mambo yafuatayo:- 1: Mwanamke alikua na dharau sana Kwa mume wake. 2: mwanamke alikua anajiondokea nyumbani Kwa kujiamulia bila kuomba ruhusa kutoka Kwa mume wake. 3:Mama mzazi wa mwanamke alikua akimuunga mkono mwanae hata pale alipoona anachokifanya Kwa mme wake sio sawa. 4: Mwanamke alikua anataka yeye ndo awe mwenye sauti juu ya mme wake. Pia nimegundua mwanaume :- 1.mwanaume alikua na msimamo ,hakutaka kutawaliwa na mke wake. 2: mwanaume alikua akivumilia sana dharau za mke wake. 3: Mwanaume Hana hatia yoyote ,hayo ndo malipo ya wanawake wote wanaowadharau wanaume wao na kutaka kuwa juu Yao . Ushauri wangu Kwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa:- 1:Tambua mume wako ndo kichwa Cha familia na siku zote huwezi kuwa juu yake. 2:Usifanye maamzi yoyote au kujiondokea nyumbani bila kuomba ruhusa Kwa mume wako ,hata kama unaenda kwenu hakikisha amekuruhusu. 3:Ukigombana na mume wako usikimbilie kwenu ,kimbilia Kwa ndugu wa mume wako waeleze watasuruisha. 4:Ukishaolewa punguza mazoea ya kwenda kukaa kwenu muda wote na kumuacha mume wako peke yake. Ushauri Kwa wamama ambao mabinti zenu wameolewa:- 1:mwanao akigombana na mume wake usiegemee upande wake na kumjaza maneno(unampotosha na kumtafutia matatzo),kikubwa pale anapokosea mshauri . 2:mwanao akija nyumbani Kisa kagombana na mume wake ,jarbu kufikiria namna ya kuwapatanisha ila sio kumjaza maneno mwanao. 3:Mama mwanao akija nyumbani akakaa muda mrefu au siku nyingi bila kuondoka ,muulize atampikia mume wake chakula saa ngapi?
@@fenomenatz9104 yeah! Kikubwa tumuombe Mwenyezi Mungu atujaalie hekima ktk kuishi na Hawa wanawake,,,,aisee Kuna wanawake wana dharau,hajui heshima ya mume,anajiamulia mambo yake hata akosee huona yupo sawa ,,,yaani mi natoa ushuhuda Kuna mwanamke niliwahi kuishi nae alikua na dharau,majibu ya shombo,mpaka sometimes nilikua nikiongea ananirukia ili anipige,,,lakini Mimi nilikua na msimamo sikutaka kuruhusu anipande kichwani ,ila hakubadirika mwisho wa siku nikaona nitaishia kwenda jera nikaamua tuachane tu kiroho safi ili kuepusha mengi
Maamuzi aliyochukua kuutoa uhai was my ni makubwa Ingawa uliyoyaandika inawezekana huyu mwanamke hakuwa mtu wa kusimamia ndoa yake na kuna Mambo mengine nyuma ya pazia
Eee Mungu wangu naogopa hata kwa maisha yangu yaliobak nitaahirisha hata walioniomba ndoa nitawakataa hayo sio mapenzi ni uhalifu, usikute huyo mume ni jambazi hiyo silaha aliyokuwa nayo ni ya Nini?
Angemuaacha, ila shida ninayoiona hapa pengine palikuwa na maneno ya kukwazana... pengine jamaa kaambiwa hamkuni vizuri... hasira inapokuja ndio kinachotokea.
Kuna haja ya serikali kuweka mafunzo ya ndoa kwa kila channel ya TV kwa lazima japo siku moja kwa wiki. Sio mnaweka kampeni za choo kizuri mnasahau jambo hili. Vianamke vya siku hizi hasa vinavyotumia mitandao sana havina adabu kabisa, vinawaza kudanga ndo alternative. Alafu kuna nyimbo nazo zizuiliwe hasa singeli sababu zinapotosha jamii. Mfano nyimbo kuachana shilingi ngapi. Yani shetwan ametulia plan kona mbalimbali
Wanawake wao wanawauwa waume zao kimya kimya wanacheza tu na mitishamba na mganga hawfungwi Wala hawakamatwi na polis coz serikali haijui uchawi wanawake Kwa Hilo wamefanikiwa Kwa kiasi kikubwa ila wanaume Kila Kila ukatili. Wanaoufanya wanajikuta wapo mikononi mwa serikali wanawake wametuzidi ujanja
Came here again after listening to Rapcha's 40 missed calls 😭😭😭 may their souls rest in peace🙏
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Pole sana mama
Sasa hapo kwenye raha tumwachie mwenye raha yake yeey ndyo anajua kwamba anafaa kupata raha au hafai, swala ni sisi je? Tumejifunza kipi kuhusu hili tukioo? Ndy kitu cha kuangalia wewe mambo ya raha achana nayoooo
Sema Inna lilah waina ilahi rajioon muislam uyo
Acheni kushoboka shoboka ovyo kila mtu anaandika anavyojiskia acheni kunipangia chefuuuu 😏😏😏
Raha tena ?? Na apumzike kwa amani?
mama you're very strong mama..Allah akupe nguvu..ila hapo ndoa ilikuwa na changamoto nyingi..kuchukua roho ya mtu sio sawa ila hapa palikuwa na tatizo kubwa lilipaswa kutatuliwa mapema
Pole sana
Rambirambi ziwafikie wafiwa mungu amlaze mahali pema marehemu Salha.asanteni milliard ayo tv.kwa umahiri kwa kutuletea habari za kijamii.
Pole saana mwanamke mwenzangu! Poleeh Dada! Sina zaidi ya hilo Mungu akupe Subra, mmmmmmh😭😭
Pole sana sana
Pole Sana mamangu ❤️ mungu akufanyie wepesi kwa mdada wako mpaka apumzike salama àmiin yaraab 🙏
Poleni Sana Wana familia yote ya Bi tiba Mohammed,kwa msiba huu mzito, ALLAH awape subra kubwa kwa kuondokewa na mpendwa wenu😭😭😭😭
Jamaa kakimbilia kuoa kabla ya kuovercome his insecurities. Sad. RIP 🙏🏽.
Umeongea point sanaa yan ameoa bila kuakikisha security ya mapenz yake
Very correct yani alikuwa very insecure na iyo ni mbaya sana
Exactly
@@vicentmayanda3935 hahaha babu kasome kamusi
@@mathewdyzymaleyafrica9128 kwann mzee hana security hamwamini hata anayempenda maana ndoa changa mzee
Inatisha sana wanawake tuwaogope wanume MUNGU Amlaze mahalo pema peponi AMEN
Poleni sana wafiwa kwakuondokewa na mpendwa wetu ALLAH amuhifadhi ampe qauli thabiti .
Huyu Mama anaujasiri sana...Mungu ni Mkuu sana .hakuna kitu kinauma kama Mzazi kumzika mtoto wake😥😥😭😭😭😭😭Nyie INAUMA Sana...Mola Akufute mchanga wa Usoni Mpenz..Ulale salama🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mtume Muhammadصلله عليه وسلم Amewahusia sana wazazi wa watoto wa kike kwamba.`` Wakiridhishwa na Tabia na Dini ya mwanaume basi wamuozeshe'' Sasa wazazi wetu leo wanatizama sana wanaume wenye pesa na hili ni tatizo kubwa sanaa
Kweli kabsa
Sasa maalim point yako ni ipi hapa.?
@@gerrymroki509 Point yangu ni kwamba Wazazi wa Mwanamke hawakutizama kigezo cha dini,, Laiti wangetizama kigezo cha Dini ungesikia Swalher kapewa Talaka moja au 3... YAANI Namaanisha nwanaume mwenye Dini aisngempiga risasi bali angemwacha kwa wema kama wameshindwana
If you feel someone's son/daughter isn't giving you peace, just release them in peace and NOT in pieces. May she rest in peace 💔
True
HHHAHAHAHHAHA excelent,in russian we say attlichna,in swahili barabara
Kabisaa
Angemuacha tu salama sisi tungemuoa
Imesemwa kirahisi kuliko vitendo 😂, Kwan si asingemuoa kama alimjua yuko hivyo
Nim release bila kionjo
Poleni sana wafiwa nyote, Mungu awape subra , Amina Ali Hamad Mkurugenzi mafunzo na vyuo Vikuu CUF-Chama Cha Wananchi
Pole sana kwa familiaa, ila mm ningeomba tu vyombo vaa dola, laia jaman wasipewee vyombo vya moto jaman, hizi kesi zimekuwa nyingi jaman, dah poleni sana familia
Pole sana mama,ndio maana mimi husema if marriage doesn’t work quit.long distance needs trust iko na challenges mingi sana maana huyu amekufa juu ya insecurities issues.ooh God
Uyu mama nae inaweza akawa sababu ya yote ndio maana ukienda kuoa mahali chunguza mama mkwe kwanza yukoje
Inna lillahi wainna ilaihim raajiun,mama jasiri sana,Allah akupe subra hivyohivyo mamaangu,mm japo mwanaume lkn nna roho ndogo,siwezi kuvumilia kwakweli.
Siku yako ikifika hauna ujanja tumuombe mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema 🙏 wadada turidhike na kina bakari kichwa wetu🥴 matajiri siku zote maamuzi magumu kwao kitu Cha kawaida Sana. Riziki za kulazimisha matokeo yake ni mabaya.
Ushasema kweli
Roho mbaya haina tajiri wala maskini wanaokatwa mikono huko vijijini waume zao nao ni matajiri? Tena maskini ndio wana hasira nyingi za umaskini stress zimewajaa sana. Hawa walikuwa na matatizo mengi ambayo hakuna anaweza kuyajua.
@@stellamsangi4281 🤗🤗 nafikiri utakuwa ujanielewa nilicho maanisha hapo haijasemwa roho mbaya Ila ni ujasiri. Sasa kwenye ujasiri na roho mbaya ni Mambo mawili tofauti!! Kama ujawahi kupitia changamoto za hao wanao itwa matajiri. Nilicho kiandika uwezi kukielewa. kabisaaa
@@elizabethpeter8456 nazijua zote za matajiri na maskini pia. Hiki kitu ni kipana sana its about been poor or rich dear hapo ndipo tunapokosea na hii inasababisha shida kutoisha. Haya ni makuzi, depression, anger management, watu wanatembea lakini wana misongo ya mawazo ya kila aina na hawajui nani wakuongea nae so wanapoguswa kidogo tu hasira inapanda mpaka kupita kiwango. Kwa kitaalam huyo mwanaume tunamuweka kwenye kundi la watu waliokuwa na msongo mwitu na hawakupata tiba kwa wakati sahihi na huenda ni sababu hata yeye hakuwa anajijua kuwa ni mgonjwa. Hiki kitu ni kipana sana na chanzo huanzia toka utotoni ndio maana tunashauri wazazi kuwa makini sana na jinsi wanavyowalea watoto wao pia kuwa na muda wa kuongea na watoto kujua changamoto wanazopitia mashuleni, kwa marafiki zao na mengineyo. Hicho alichoganya huyo kaka ni matokeo ya vitu vingi vilivyokuwa vimejaa ndani yake. Tatizo ni kwamba watu wanaangalia tatizo ki wepesi sana kuliko lilivyo.
subhanallah! inasikitisha kuona habari kama hii…mungu aiongoze umma yetu na awape waliomo kwenye ndoa subira na maelewano
Daa poleni sana family yote Mungu awatie nguvu amen.
Pole sana mama wa marehemu, nafikiri kuna shida katika jamii
zetu na malezi kwa ujumla. Mabinti wanatak financial freedom, vijana wanataka wake wenye kujitambua. Poleni sana
Wewe mama ise umesema kitu kikubwa sanaaaa 🤝🤝🤝🤝
@@jay-nyeye1900 ndio huyu mama ana akili sanaa nampenda japo simjui
mama umeongea kitu kizurii nakupenda sanaa mungu akulinde
Mama chukua maua yako
Ukimwambia mtu acha hasira, basi yafaa uache kwanza mambo yanayomsababishia hasira! Ndoa zimekuwa changamoto hasa pale wanandoa wenyewe wanapoingia kwenye ndoa kabla hawajaumaliza ujana, mke mheshimu mumeo, mume mpende mkeo, kuwe na hofu ya Mungu kwa wanandoa, kama mmeshindwana basi gawaneni ustaarabu kila mtu ashike njia yake, japo Ni ngumu maana shetani kapiga kambi na anachochea vita, Mungu ampokee dada wa watu.
Umeandika vizuri sana Mr James,dada hakuwa na heshima kwa mumewe hata kidogo, huwezi kumwambia mumeo eti acha nilale weweeeee lazima mfike pabaya,lkn mwanaume mwenzetu amefanya kitu kibaya sana,hakufakari kuhusu watakao hangaika kwa kukosa wazazi duniani.S
@@juniorsamuelsamuel1224 ndo amuue eishhh
Barikiwa sana ndugu yangu nimefurah kwa ulichoandika ..
Mama hakuwa a namshauri binti yake nini maana ya mume.
Ata Dada awe na tabia mbaya huwezi muua si uachane nae basi, sasa ataoa wangapi mana aso hili ana lile, mwanamme uwe mstahamilivu kama huwezi bora usioe ndo mnaua hivyo
Allah tunamuomva Allah ampokee dada yetu. Amsamehe. A'miin.
Amiin yarabilghalamin
Mama Mungu akutie nguvu.Hilo tu ndo naweza kusema kwa sasa.
Pole sana.
Pole mama unajikaza Sana,kwakweli inauma unazaa kwa uchungu mtu anaua Kama kuku
pole sana mama mtoto anauma vibaya yaani nimejikuta nalia tuuuuu nikiwaza,mungu akupe nguvu yarab😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole Sana Mama kwa kuondokewa na mwanao
Pole sana mama tumwombee alale salama mwanao ya Dunia ndo yalivyo to
Mwisho Kabisa Kila Nafsi Itaonja Mauti Na Kifo Hakikosi Sababu . Tujiandae Tulio Baki, R.I.P swalha
Mwenyezimungu awasamehe wote marhemu na sisi pia atupe mwisho mwema. AMIIIN
Daaah !Mungu azid kumpa hekima Mume wangu ht mm pia atupe mioyo ya kumuofia yeye. Polen kwa familia daah Dunia hii inaelekea ukingon kwakwel
Inna Lilah Wainnailah Rajuun Mungu akampe kauli thabit na akamsamehe makosa yake. Amina
Ule msemo wa haki sawa kwa wote madhala yake ndo haya wanawake wengine wanatumia vibaya ndoa ina miaka mitano kaa nyumban tulia kwa mumeo uone changamoto za ndoa ziko vipi na kama una kazi fanya ila kuwa na heshima kwa mumeo kuna wakati tunaweza laumu wanaume ila ukweli wanawake wengine huwa wanataka kuwa wababe kwa waumezao sio vizuri polen sana wanafamily wote
Ndo maamuzi ya kuua yatumike... Wenyewe wakizingua wanauwawa ?
Miezi
@@divine6145 hasira sidhani kama mume alizamilia kama ukiyasikiliza mahojiano ya mama na hatuwezi jua walipishana nini huko ndani
@@ariphkimani3790 miezi mi5
watu wanaongea2 rakini ki2 ambayo hukijui usiseme sana mana wanawake nao wasiku is niwashenzi sana hasa kwenye mahusiano mtu anakusalit arafu ww unajua kabx kwamba hili jambo lipo kweri unamuuriza mtu anakujibu kunya hata mm sitaweza Moyo uwo sina mm
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah awape Subra Wafiwa
Duuuh! Inaumiza sana pole sana mama kwa kuondolewa uhai, binadamu wenzangu ususani wanaume au wanawake tumuogope mungu jamani tuwe na hali ya imani ya kiroho ktk kujali uhai wa kila kiumbe, tusihukumu tusija tukahukumiwa maana siku zaja
Pole Sana Mama , mungu Ampumzishe Roho yake kwa Amani Amina
Nd mana nawakubali sn wa Afghanistan kwakuwazuwia wanawake kufanya kz nje na kwake !!!!wanawake wameumbwa km ubavu! Wamepinda pinda!! Mda mwingi wanawake wanatakiwa kuusiwa mema!! Mwanaume lzm uwe na wivu kwa mkeo tena sn ! Ni wivu ni sunna na hatoingia peponi mwanaume ambae hana wivu! Nd mana mtume muhammad s a w amesema tuoe wanawake wenye dini! Kwasababu ukiwa na wivu alf ukamuoa mwanamke hana dini bs tambueni kuna hatari kubwa itakuja kutokezea !!
Usikivu,Heshima,Kuiga,Magroup,Umaarufu kunawafelisha sana wanawake.....
Nature yetu wanaume mwanamke wewe ni uwe msikivu.
Acha kukariri maisha, kwa hiyo watu wasifanye kazi? Mnaweza kutoa mahitaji ya wake zenu? Huyo Mwanaume hajiamini, ana gubu
tatzo unaweza kuwa msikivu sehem ambyo haikunufahishi kwa maish ya baadae kwasabab unanilish isiwe sababu ya kuninyima uhuru wangu
@@yasnaghump5763 ukiisi hujawa tayali kuolewa ishi maisha yako pekeako maana si lazima kuolewa
@@kingmtetezi6670 kuolewa si utumwa acheni kukariri maisha yamebadilika
@@yasnaghump5763 omba talaka ukafanye Mambo yako..mbona simple.
Pole sana Ndugu yangu,Mungu akutie nguvu.
Poleni Sana ndugu wazazi wa Binti mungu awape subira
Ndoa ni nzur mnapokua ukumbin na mnapokua katka maandalz ya ndoa! Ila mkishaingia ndani ya nyumba ndo mtajuamjui 😢😢😢😢
Jn lako zuri
Hata mimi nimelipenda
@@magrethxamir9816 😋jmn
Acha kudanganya watu
Sababu za ovyo ovyo tu,tatizo hatupendi Mungu asimamie mambo yetu duniani hata haya ya ndoa.Hakuna legitimacy ya kumuua binadam mwenzako kwa sbb yoyote.
Kabisa
Ndoa za siku hizi jamani miezi mitano tu mume keshauwa mke wake Mungu atusaidie
th-cam.com/video/N80zk6dLF0s/w-d-xo.html
Shetani yuko Kazini
Mtu anawekeza kwako anatumia resources kibao. Afu unamletea mauza uza lazima mfike huko tuu
Kweli kabisa shetani yuko kazini nachoona tu kama ikishindikana nafuu kuachana kuliko kuuwa
Analaanat uyo kaka duu
Pole mama yangu pole sana,pole na Baba kwa kupoteza kipnz chako,Mungu wa Mbinguni Awape Subra tu
Warangi Watu wa Imani sana just imagine Mama Mzazi anaweza kuhadithia tukio zima Namna hio
Huwajui warangi wewe ,warangi shikamoni
Huenda kweli mke alikuwa na jeuri ,na mume anaonekana mwenye hasira na wivu mkali mno ,lakini kutoa roho ya mtu sio sawa ,huwezi kumuua mkeo kwa wivu ,kama imethibit umechoka kuvumilia ni bora umpe talaka inatosha
Jamani kweli miezi4 na mda wote hawakai wote hasira gani hizo jamani😭😭😭
Jamani kabisaaa
Kaa umechoka na mtoto wa mtu mrudishe kwao
Hata uwe na wivu gani lakini huwezi kumuua mkewako
Umeongea point
Sikuiz hakuna ndoa kuna maonyesho ya mavazi na show yanayosimamiwa na kina mcgara b kubwa
😂😂😂😂
@@aggreyenock1221 sio kitu cha kucheka ila nimecheka 😀😂😂😂😂💔
Na MC Gara B humo humo amechanganywa
@@cheiknamouna2058 kabisaa
Umenena 100%
Genuine love is not about holding very tight but letting things to flow and nourishing.
hii kibongo bongo tunafeli sana labda huko kwa wazungu
true dear
Well said🤝
Well put brother!
Mwanamke Mzuri wa kiislam Kama Avai zile Baibui kujistili na Umemruhusu ww kama mwanaume kujiachia hivo Ndgu yangu kama una wivu utauwa au utajiuwa tu
Duuuu! Mama amejitahidi kueleza hali ilivyokuwa licha ya hali ngumu aliyo nayo! Pole sana mama
ndoa zasaiv mtihan sanaaa,ni kuomba mungu sanaa awasimamie na ndoa ukiona imedumu ujue mmoja alijifanya mjinga
polen wafiwa
th-cam.com/video/HisVj5RQuTQ/w-d-xo.html #zuhurashaaban #kimasomaso👌
tatizo kubwa wa tz wengi sana tuna maisha ya kuigiza,wengi wapo kwenye ndoa huku wana tamaa ya kuwa na wapenzi wengine,unaweza kuta dada mzuri kweli kaolewa ila hawezi acha wapenzi wengine,na hata kumjibu mumewe vibaya akiomuona hana thamani maana anajua pa kwenda ukimuacha.Na wanaume michepuko kibao,na ku over love,mtu mmoja amewahi sema ndoa ni a couple of best forgivers.watu hawawezi samehe na kuachilia,maisha ya duniani sio matamu kama wengi tunavyojidanganya.
Awww ndoa zina sili nyingi mno usijaji watu mpak huwe uko mwanamke ambaye anampenda Mume wke atakama anakitu atavumilia ukimwona anatoka ujue kuna tatizo kubwa arafu atujui ukweli wapo wanaume wanawivu kam ugonjwa atakama unamtu wamezaliwa ivyo yan mwanaume anayepiga mkimbie siku ni kifo
@@allthingdranabeauty noo! let us be practical tusiiishi kwa kufuata hisia na mihemko,wote walikuwa na makosa,hao nimeisoma na kufuatilia kwa karibu,me taaluma yangu ni ya kumsoma binadamu,movie zinawadanganya sana,mnadhani maisha ya ndoa ni that too superficial?why ur husband calls you hupokei?mara 35?why should you shoot ur wife?mbona hukufanya hivyo last year unafanya leo?THINK AND NOT SINK
Fact sana kaka
@@jeanmusamba8906 ww acha uongo
Jaman polen sana ndugu wa marehem mungu ailaze loho yake mahali pema pepon
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali panapo sitahiki Amina
Mke Mchepuko...Mume hasira hasara...Poleni familia zote
Kwa maelezo ya mama tunapata fundisho kuwa wivu Ni sumu inayoweza kukumaliza wewe mwenyewe! Lakini pia tunapata fundisho kuwa mapenzi Ni kuaminiana, kusikilizana, kuoneana huruma na kujaliana! Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi Amina!
Sahihi kabisa Wivu ni sumu ya kukumaliza mwenyewe pia.
Wengine sisi tutaogopa ndoa...Allah amlaze pema peponi inshaAllah🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@@swabrinnahally8747 hapana usiogope kwa maana kila mtu Ana riziki yake!
Sijafurahia alichokifanya huyu jamaa ila sasa ndoa nyingi zina changamoto, Wanawake kwa wanaume wana take their marriage for granted, pia maisha yamekosa uhalisia, wanawake walio kwenye ndoa wanajirahisisha wanapenda ulaini na miserereko wanaume pia wanapenda kila mrembo anayepita mbele na kuona huo ni umwamba ...ndoa zimekuwa one sided sana kuna anayeumia siku zote. Wanawake mlioolewa jitulizeni maana hali sio nzuri na inauma sana unapojua kuna mtu anakumegea kisela. Pia mwanamke kama hakuna sababu ya msingi kaa nyumbani. Ila kikubwa kwenye ndoa ni uaminifu tu.
Ungeongea 👍kabisa mambo ni mengi sana na watu wanaigiza sana hakuna ualisia kabisa na wadada tuna mambo mengi sana san
@@sashahauke2032 kwa hiyo wanawake ndio wenye makosa etiiii
Shikamoo bro...umenena nilioyameza
@@sashahauke2032 wanaume ndio wana mambo mengi,,fungua macho ww au utaonewa kila siku
kazi + ndoa + changamoto za maisha
Kutokujiamini ndio sababu watoto wetu wa kiume na baadhi ya watoto wetu wakike wanaua wenza wao, hakuna kingine huyu kaka atakuwa alikuwa anagubu sasa kumuua ndio suluhu.
Kbsaa wanaume n vishoiya Sana .jmn Kwan kuua mtu 🤔 ndo suluhu ya tatzoo.? Mkichomwa Moto 🔥 mnasem wanawake wanaroho mbya
Mnasahau mna majibu ya hovyo...?
Na mkiwa wazuri ndo kujiona na kunyoosha mdomo kunazidi......
Ww ulimuona kachepuka au unakurupuka tu!
@@sulekun7245 ANGEKUWA DADAKE ASINGESEMA HIVYO.
@@erickmichaelmugele2107 KWA HIYO UNAONA SAWA KUULIWA???
Pole sana Mama kuondokewa na mwanao mungu akupe faraja
Pole sana mama swaliha
Mungu ailaze roho yake pema peponi but wivu ndio umemfanya jamaa akaua😭😭😭
Kabisaaa
si wivu nikiburi cha wanawake
Mwanaume mkorofi tuu uyo, alitaka muuwa mwanzoni. Anavuta bangi mkrofi na mbaba tuu
@@georgeigogo9259 ANGEULIWA DADAKO UNGESEMA HIVYO????
@@georgeigogo9259 ulikuwepo kwenye ugomvi
Unaua halafu unaishi kama digidigi si ujinga huo! Kabla hujaua ulikuwa unaishi kwa wasiwasi wa wivu, sasa umeua unaishi kwa wasiwasi wa kwenda kunyongwa, sasa umetatua nini?
🤣🤣🤣
Wewe bado mtoto omba YASIKUKUTE
@@mathewdeus9978 huyo mwanaume alikua chiziii kabisaaa kichwani kwake hakuko sawa kabisaaa ni kichaaa
Hahahahaha
@@mathewdeus9978 mbona unaongea kama vile simu ulininunulia wewe? Nina miaka 50, mke na watoto, hiyo ndo unaita bado ni mtoto? Jifunze kumheshimu mwenzako hata kama wazo lake hukubaliani nalo.
Mimi situmi lawama kwa jama Mimi nililipa mali yote zikiwa zimebaki Siku 114 kufunga ndoa mwanamke akatoa mimba akisingizia wazazi wake kwamba wamemwambia atoe nilipo funga ndoa ndani ya Siku 30 niligundua anawanaume 6 ndani yake yupo Ndugu yangu sasa ukiwa na roho ya kipepo unatwanga lisasi 7000
Dah
Mungu jaman hivi kwann ni hery mtu umrudishe kwao tu jaman mungu ampokeee mahali pema peponi Amina pole wanafamiliya jaman
Duu inauma sanaa.polee mama Mungu awapeni nguvu..nakosa hata cha kusema.watu wamekua zaidi ya wanyama pori.
Mwanamke akimueshimu mme, mme automatically atampenda. Wanawake wa siku hizi wanakosa heshima umetoka kazini kwako umefikia kwenu na unajua umeolewa kwanini usienda kwako. Nabado mwanaume anakupigia sim hupokei unamtia hasira mtu. Lakini sisi wanaume nao tuwe na huruma hata kama mwenzako kakuuzi mkanye kwa hekima akili na kwa upole jitahidi kumjua mwenzako ni wa aina gani. Tuishi na wake zetu kwa akili ....
Umeongea Vyema Mkuu ila Hapo kiukweli mdada amejisababishia Kwa kumtia Hasira Jamaa ww huwez toka Kwenye mishe zako ukafikia Kwenu wakat umeolewa halaf mbaya zaidi hupokei sm unadhid kumuudhi tu, na kwa uzuri huo akajua kabisa Huko uliko kuwa umetoka Kumegwa upo hoi na bado unaendelea Kumegwa
Nyie wawili akili zenu ni sawa na uyo jamaa the fact is wanaume muache unyanyasaji hamtuoi ili tuwe watumwa kwenu kwaiyo mtu huna haki ya kuwasalimia wazee wako
Unyama sana 🔥🔥
@@fatmatwalib8179 Kusalmia haukatazwi lakini iwe kiutaritibu sio kwa unavyojisikia weewe kumbuka umeolewa ili ukamtumikie mmeo na ukiolewa wewe hauna amri tena juu ya mwili wako yaan mwanaum ndiyo anakua mmliki wa mwili wako uelewe hilo au haujui maana ya Mwili mmoja??
Fact
Acheni kuoa wanawake warembo by pastor mgogo mana wivu sio mzur
If there is no LOVE There is no peace at all never force love you you will face negative impact of force love
Dawa ni Bwana Yesu Kristo. KUOKOKA.
Mm naona ukiona huwezi kuvumilia tabia ya mwenzi bora kuachana.Mungu awatie nguvu wafiwa
M/mungu ilaze rohoyamarehem mahali pema peponi..poleni sana familia
Dah! Inasikitisha kwa kweli,mume katili na sijui kama sio jambazi...anamiliki mpaka bastola! Ila Marehemu alikuwa Mzuri Masikini!😥😭kajaliwa na shepu na sura Mungu Amrehemu!🤲🏻
Juwa chanzo acha kutia huluma ww mwanamke danga acha afe
Kweli wewe mjinga umeona shepu tu huna akili
shepu bila akili
@@casmiraugust6853 ni kweli Shep bila akili ni ujinga kingine wanaume tujifunze tunapokuwa na uwezo kifedha tusiwaruhusu wake zetu kufanya kazi binafsi ni heri tuwafungulie miduka au akae tuu
umeona shape tu au sio,,, hcho ndo kilimpa kibur mwenzio mpk leo hayupo tena,,,,, vtulizeni hvyo vishape vyenu kama bado hujamaliza kudanga usiolewe!!!
Kila mtu ana tabia zake acheni kusema warangi nyie wenyewe ni wachafu haswa wa tabia
Waja wanakera kila tabia mbovu wanatupià lawama warang na wambulu wakat saiv kila kabila n malaya tu
daaa ni tukio la kusikitisha mungu atusaidie tulioko kwenye ndoa
Innalillahi wainnaillayhi rajioun...Allah amrehemu....wivu ukizd na kukosa uaminifu Kwa mwenza wako ni hatar sana
" KUMBUKENI KWA JINSI HUYO MAMA ANAVYOONGEA NAONA KAMA NI MRANGI " NA KAMA WARANGI WANAVYOJULIKANA JAMANI.
Haswaaaa
Nimejikuta nacheka jaman 🤣🤣 looh
hujakosea kabisa
🤣🤣🤣
Mrangi kabisa
Poleni sana wafiwa, Allah awajaalie Subra. Nae ampokee kwa wema In Shaa Allah. Ameen.
Kwa maelezo ya huyu mama, mume anaonekana kuwa na wivu kupitiliza, ana gubu pia... huyo dada anaonekana sio mtu wa kudanga, ni mtu wa kujituma. Siku zote mume anatakiwa awe mlezi kwa mwenziwe. Miezi 5 ni michache sana kushindwa kumchukulia mwenzio. Tukisema hayuko serious na ndoa tunakosea, maturity ni suala la msingi ktk ndoa. Dada anaounekana bado ana utoto fulani, alipaswa amvumilie... kuna vitu vidogo vidogo angeweza kumanage yy km yy (mume). Wapo watu wanachukua miaka kupata quality ya mke wanaemtaka, wanasubiri ikibidi wanajitoa kwa ajili ya wake zao. Subra ni changamoto kwa huyu mume. All in all, hakupaswa kuua. Amekosea!
we umeonaje? mambo ya gubu yanakuhusu nn we tulia bhana HUJUI KITU
@@emmanuelmashallo9739 Uko sahihi, mjuzi ni mmoja tu... Allah pekee! Ila ametuqadiria viumbe vyake kw kiasi alichopenda. Huo ni mtazamo wangu. Kukukumbusha ni kuwa comments haziko turned off, instead of criticizing what I said, uko huru kuandika uonavyo wewe. Hatuko kwenye mabishano hapa as if tunatarajia mmoja amshinde mwengine... Sio kila wakati tuoneshe tuko wajinga kiasi gani!
Wivu uliopitiliza kabisa na ujinga pia .....huyo mwanaume hakuwa na hekima,unapigaje sm 42 missed call serious??.
Mungu amrehemu dada yetu
@@salomemakore4809 Mmmh, kuna mjinga mmoja eti amejibu sijui kitu nitulie... Hivi utapigaje call zote hizo km wewe si mtu wa bugdha? Kwnn asifikirie kuwa labda mkewe amepumzika? Negative thoughts muda wote... hakuwa akimuamini wala kujiamini yy mwenyewe!
Mwanamke sio mdogo ni ndoa yake yapili kwaiyo uyu mwanamke ni malaya kwasababu hata kampani zake wote malaya so uyu mwanaume yuko sawa kumpiga lisasi dawa ya msaliti nikifo
Kitu kingine nilicho jifunza ktk tukio hili ni kuepuka kuishi na mwanamke jilani na mazingira ya kwao.ukichunguza kwa makini utagundua huyu dada alikua akai au kushinda nyumbani kwake muda mwingi .
Kbsa yaan mzururaji acha amekiona alichokuwa anakitafuta
Angelimuacha tu..katika sababu zote ,a kumuua mwenzio ni hio..wanawake wapo tele...hakuna cha kumruhusu unyama kama huo..
Juzi mama alienda kwao Leo baba kawaida watoto hawa ndo wanawaharbia watoto ndoa zao
Pole sana mama Mungu akutue nguvu maumivu hayaelezeki
Wanawake wasifanye kazi wakae. Nyumbani kwajir ya kulea family acheni sisi waume tupambane
Hapa nachokiona ni dharau au kutokujali maswala mazima ya ndoa. Au yawezekana kauli zilizotumika kwenye majibizano ni kali. R.I.P
Lakini huyu mama mtu nae hata chozi hamna ... Mkavu kama marehem sio mwanae duh 😱
Don't judge Kesha Lia sanaaaa
Kuna mtu atoi chozi anaumia ndan na aneza lia kwa sauti tu uwez amin uwaga wanaumia sanaah kuzid watu wanaolia machozi yakatoka.
Yaan hata hizo nguvu za kujieleza kaitoa wp
@@jenniphergiovane2688 c anajua mwanae labda alikuwa anamakosa
Innalilah Wainna lilah rajioun poleni sana familya 😭😭
😭😭😭rest in peace wivu mbaya sana asante mungu nilinusurika
Nyooo ungeuliwa
🤔🤔🤔
Haahaaha
Ulnusurika kama nani na kivipi
Huyu mama. Mtu wa singida eeh
Hongera milard kwa picha Safi.
Wanao jua maumivu ya mapenzi naombeni like zenu. Mshikaji kama namwona ambavyo hakupata usingizi mke wake hapokei simu dah inauma hasikwambie mtu bia tamu
C kihivyo huyu MWANAUME alikua ajatulia so akajua na mkewe pia km yeye ndomana akaleta WIVU KWA mkewe.
Wadada wamekapu wanaume Kama hamuezi Bora mtulie 2 kwasabubu Kaz zao muwe wavumilivu
Huyu mwanaume alitoa mahari shilling ngapi mpaka kauwa binti wa watu. Ukimshindwa mrudishe kwao. Huyu baba ni wivu
hv kweli mkeo wako wa ndoa unamuua unakatisha maisha yke hv hv kwa kosa huna uhakika nalo kuhis hv unajua uchungu wa mke na wakwe zako wengine tunalilia tunanyenyekea kwa mola wetu atupe wake tutakao ishi nao kwa wema hatujabahatika hv unajua thaman ya mwanamke maishan umesahau mema yke utu wake nguvu zake huruma yke mangap anakufanyia kwa siku tunaenda wap hata uuze dunia na vilivyomo huwezi nunua utu wa mwanamke maishan 😢😢😢
Mama pole sana Yan umejikaza sana ningekuwa mm nisingeweza hata kueleza uchungu wa mwana aujuae mzazi
Mapenzi nimeyainulia mikono🙌🙌. Hapo mwenye makosa ni mwana mkee kutokana na maelezo hayo
May her soul rest in peace😭😭
Sasa kuuwa ndo solution ?? Wote hawakuwa naibada ya Mungu,Mitihani mtupu yaraby
Apumzike kwa amani! Ila kuwa na silaha ndani ya nyumba ni shida! Huyo mwanaume anaroho mbaya humuwezi mkeo muache!
Kuoa mwana mke mzr ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule.
Matokeo yake ndo hayo
Mungu ampumzishe kwa amani pole mama kwa msiba mzito
Kwa jinsi nilivyosikiliza maelezo ya huyo mama,nmegundua mambo yafuatayo:-
1: Mwanamke alikua na dharau sana Kwa mume wake.
2: mwanamke alikua anajiondokea nyumbani Kwa kujiamulia bila kuomba ruhusa kutoka Kwa mume wake.
3:Mama mzazi wa mwanamke alikua akimuunga mkono mwanae hata pale alipoona anachokifanya Kwa mme wake sio sawa.
4: Mwanamke alikua anataka yeye ndo awe mwenye sauti juu ya mme wake.
Pia nimegundua mwanaume :-
1.mwanaume alikua na msimamo ,hakutaka kutawaliwa na mke wake.
2: mwanaume alikua akivumilia sana dharau za mke wake.
3: Mwanaume Hana hatia yoyote ,hayo ndo malipo ya wanawake wote wanaowadharau wanaume wao na kutaka kuwa juu Yao .
Ushauri wangu Kwa wanawake wanaoingia kwenye ndoa:-
1:Tambua mume wako ndo kichwa Cha familia na siku zote huwezi kuwa juu yake.
2:Usifanye maamzi yoyote au kujiondokea nyumbani bila kuomba ruhusa Kwa mume wako ,hata kama unaenda kwenu hakikisha amekuruhusu.
3:Ukigombana na mume wako usikimbilie kwenu ,kimbilia Kwa ndugu wa mume wako waeleze watasuruisha.
4:Ukishaolewa punguza mazoea ya kwenda kukaa kwenu muda wote na kumuacha mume wako peke yake.
Ushauri Kwa wamama ambao mabinti zenu wameolewa:-
1:mwanao akigombana na mume wake usiegemee upande wake na kumjaza maneno(unampotosha na kumtafutia matatzo),kikubwa pale anapokosea mshauri .
2:mwanao akija nyumbani Kisa kagombana na mume wake ,jarbu kufikiria namna ya kuwapatanisha ila sio kumjaza maneno mwanao.
3:Mama mwanao akija nyumbani akakaa muda mrefu au siku nyingi bila kuondoka ,muulize atampikia mume wake chakula saa ngapi?
Bingwa kashindwa vumilia halaf ndoa ni rasmi sio kuwa walkuwa kishkaji tu
@@fenomenatz9104 yeah! Kikubwa tumuombe Mwenyezi Mungu atujaalie hekima ktk kuishi na Hawa wanawake,,,,aisee Kuna wanawake wana dharau,hajui heshima ya mume,anajiamulia mambo yake hata akosee huona yupo sawa ,,,yaani mi natoa ushuhuda Kuna mwanamke niliwahi kuishi nae alikua na dharau,majibu ya shombo,mpaka sometimes nilikua nikiongea ananirukia ili anipige,,,lakini Mimi nilikua na msimamo sikutaka kuruhusu anipande kichwani ,ila hakubadirika mwisho wa siku nikaona nitaishia kwenda jera nikaamua tuachane tu kiroho safi ili kuepusha mengi
Maamuzi aliyochukua kuutoa uhai was my ni makubwa
Ingawa uliyoyaandika inawezekana huyu mwanamke hakuwa mtu wa kusimamia ndoa yake na kuna Mambo mengine nyuma ya pazia
Eee Mungu wangu naogopa hata kwa maisha yangu yaliobak nitaahirisha hata walioniomba ndoa nitawakataa hayo sio mapenzi ni uhalifu, usikute huyo mume ni jambazi hiyo silaha aliyokuwa nayo ni ya Nini?
Asante kwa kuwaza km mimi, lkn hapo kwenye malipo hapana
yaaaani kwa nini amueee....siangemuacha tu😢😢😢😢
th-cam.com/video/N80zk6dLF0s/w-d-xo.html
Ukitendwa utajua kwa nini
Angemuaacha, ila shida ninayoiona hapa pengine palikuwa na maneno ya kukwazana... pengine jamaa kaambiwa hamkuni vizuri... hasira inapokuja ndio kinachotokea.
@@hamisiwengi2498 NONSENSE
@@manish-fp1fb hata kama jaman 😢😢😢😢 OMG naumia jaman kamkatisha uhai kweli?? hiyo adhabu kubwa sana
Kuna haja ya serikali kuweka mafunzo ya ndoa kwa kila channel ya TV kwa lazima japo siku moja kwa wiki. Sio mnaweka kampeni za choo kizuri mnasahau jambo hili. Vianamke vya siku hizi hasa vinavyotumia mitandao sana havina adabu kabisa, vinawaza kudanga ndo alternative. Alafu kuna nyimbo nazo zizuiliwe hasa singeli sababu zinapotosha jamii. Mfano nyimbo kuachana shilingi ngapi. Yani shetwan ametulia plan kona mbalimbali
Asante umeongea kitu..
Wanawake wao wanawauwa waume zao kimya kimya wanacheza tu na mitishamba na mganga hawfungwi Wala hawakamatwi na polis coz serikali haijui uchawi wanawake Kwa Hilo wamefanikiwa Kwa kiasi kikubwa ila wanaume Kila Kila ukatili. Wanaoufanya wanajikuta wapo mikononi mwa serikali wanawake wametuzidi ujanja
Mwanamke akiwa anatafta ndoa huwa anakuwa mpole mno na hapo ndo wanaume wengi huwa tunaingia kingi.
Rest in Peace my former classmate Swallha! Mungu akuweke mahala pema peponi
Pole sana mlisoma nae shule gani,na animaliza mwaka gani
Alikuwa malaya??
Polee sana
@@innocentandrea6482 hapana
Innocent Andrea duh hili swali Ndugu sio poa aseeh