Huyu sawa simulaumu sana nikudanganywa na mume.makosa ya huyu mudulumiwa dada nikudanya pili pesa taslim laki tz 900,000/= katoa wapi na mke wa JAMA makosa nikumbiga na kuchukukua tz.30,000/ case mku wa mkoa madam ni muheshimu kwa uamuzi nzuri huyu madam anafa kua mku wa sheria
@@kenedynashon9717 hatukuwepo ila video tulivyoiyona na maelezo Na maelezo yakwenye video Na maelezo yamke Na mume tofauti tayar mke Na mume wameshanasa kwenye mtego ukiwaskiliza kwaumakini jaribu kuangalia Tena Ile video kisha utapata jibu
Uko vizuri shoga angu.halafu mbona alimuuliza umeshalala nae mala ngapi?hakiyamungu matapeli wote bibi na bwana.wamsafishe walipe fidia na wakome maelezo ya vena yamenyooka mno.hao wakinamwakumakumati ni wezi
Maelezo wala hayachanganyi! Majibu yote utayapata kwenye video ya tukio mana pale huwa haidanganyi! Mrs anasikika anamuuliza jina na lini alianza mahusiano na mumewe? Na pia alihoji alikuja na usafiri gani? Sasa kwenye mahojiano akadai anamjua na jina tena akataja jino sio na kuaminisha kuwa ndio huyohuyo !Pia akadai alimuonya! Kwa kichapo kile cha siku ya tukio bila uvumilivu ujasiri wa kumuonya Mara 3 aliutoa wapi? Pia alidai aliwafumania saa mbili asubuhi ajabu nduru ilipigwa saa saba mchana! Mlango akabomoa akawakuta wamelala! Mmh Jamani! Na Mume alidai alimsikia mkewe hiyo saa mbili asubuhi akiwa nje! Akawa anamlaumu mcheps ! Inamana mkewe hakusikia yeye alikuwa busy kusikiza Tone za msg zilikilia alizotuma kwa mumewe! Kwahiyo Mr yeye akawa ame relax tu kitandani ktk atmosphere hiyo kweli anasubiri tukio? Alafu Mume akadai yeye alifungua mlango! Afu Mke alivunja! Mweeh!
Yaani wale inaonekana wote wasanii kwanza Kama ulisikiliza vizuri watoto walipohojiwa walisema mama na baba waliondoka baada yakutupikia chakula kitamu hawakurudi Tena
Mama wewe mjinga kabisa.ulishindwa kufanya biashara peke yako mpaka ufakamie wababa?ukome na hautarudia.Muombe Mungu ingia kanisani ili Mungu akufungulie biashara halali yako peke yako.
Vicenti asema anashukuru Mungu kwa kushikwa ati Mungu anataka kumbadilisha!! Muongo Sana mwanamme mzima mzee huyo hangeweza kushawishiwa na huyu mrembo mfogo. Wakulipe hela na mikufu yako ya dhahabu.
hoja zake za msingi kabisa zimenyooka huenda hamkuanza mwanzo. Video ya awli kurushwa mke anaonyesha hamjui mfumaniwa lakini sasa mahojiano na Joyce Kiria anasema anamjua miaka 5 nyuma. Awali alimuuliza namba yako inaishia na 26, mtuhumiwa akasema inaishia 13
Dada mimi nakuamini ni kweri sana. Alikuwa akujui kabisa alivyo kuwa anakuoiga waongo sana hao. Ajasema hata mala moja amekuwarn kwenye ile videos. Pole sana dada. Wale majamaha ni wahongo sana.
Yule mama alichoksea ni kumpiga mtu ambaye hajamletea ubishi wala dharau ila ukweli na wewe si kweli eti ukatoe pesa kwa ajili ya biashara ambayo hata sehem ya biashara huijui na wala huji unaenda kufanya biashara gani kuhusu pesa ni uongo vitu vingine muachieni Mungu awatetee kuliko kuongea uongo
Mama Abdul ww ni mrembo 👏👏👏👏👏👏jaman wanaume muoen huyu dada jaman. Yule mwanaume ni shoga limelogwa limeisha mbaka Sura imepolomoka. Hivo alivo huyu dada hawez lala na mwanaume kama yule jaman
ww acha upuuzi huyu ni muuza bar, muuza bar anaangalia sura tizama kauza bar moshi sasa yuko mikoani anauza bar mwanza utatuambia nn ww,laki tisa na chup iliyotoboka
Tangu nimeanza kufatilia hii kitu, mke na mmewe waongo sana na maongez na tukio tofauti maana tukisikiliza alivyokuwa anamuoji na mda wa tukio tofauti, Wale matapel mtu na mmewe. Dada pole sana
We mama mdangaji tu laki tisa hizo nani shahidi alieona, yule mama aliempiga ilikua ana uchungu mpaka ikawa yuwahema kama ni utapeli wangechukua pesa tu na asingekupiga
huyo jamaa na mke wake ni wezi ni vitu simple sana kwa kufikiria,walipanga kumtapeli huyu dada,kama ni hawala yake ,kwa nini ampeleke pale na sio gest?tapeli huyo kaka akamatwe
Niukweli my makosa yapo mengi tu. Wamekutana wakapanga Ayo yote mwanaume na mwanamke wake wakamuoshe uyo dada walipo mzalilisha nakumshambulia yeye siyo muuwaji. Kwani Nani asiye nakosa la kuzini. Kama uyomama awakupanga inawezekana vp ukamfumanie mume saa 2 Asubuhi eti ajeavunje mlango saa name mchana masaa 6 yupomlangon tu. Na wao wanajuwa washakutwa waendelee kulala tu. Aiingi akilini kabisa
Wote mnamakosa hapa, wewe ulikuwa na uhusiano na mume wa MTU, na mke kachukua sheria mkononi, pesa hiyo hukuwa nayo. Siku nyingine usimfuate mume wa MTU kwake please. Achana na hizo mambo Fanya maisha mengine hao ni wanandoa.
Mim mwenyew naona kuwa huyo mwanamke hakuwa na laki 9 ila ilibidi aseme laki 9 ili amkomeshe huyo alompiga, ata ungekuwa wew lazma useme umeporwa ela nyingi ili kuwakomeshaa, ila ukifikiria kiukweli kabsa hilo eneo linakaa kibiashara kqeli? No if no then huyu alifumaniwa but huyo Dada mwngne kumpiga na kumdhalilisha vile apo kiukweli alikosea japo n hasira tuu
Tapeli akiamua atakupeleka hata chooni akakutapeli so kuhusu eneo kuwa la kibiashara Hilo halina mashiko vip kuhusu wale wanaotuma text umeshinda million sita kutoka kwa mtandao fulan hata km hujacheza hiyo bahati nasibu Tena sms unapata kutoka mtandao tofauti na mtandao wa hiyo promo.... Binafsi naona wale ni wezi tu ndo maana maelezo yao wenyewe wanapishana, mume kasema walikuwa na boda 5, mke 6, mume alisema alifungua mlango, mke alivunja aliwakuta kitandani wamelala, mara alifungua mlango akakimbia.. ebu, mume kasema alifilisiwa na huyo dada miaka mitano Sasa, mbona bado anamng'ang'ania wa nn, mume anasema anaishi kwa shemeji yke, km hela ya kupanga hana ila elfu 30 ya gest anayo, ebu acheni kutetea wezi jmn
Mbona siku aliyokuwa akipigwa alionekana amekaa chini akiomba msamaha, nakuwaomba wamsamehe alikuwa hajui kama ni mume wa mtu na aliendeleya kujiteteya mwanaume alimdhihirisha hana mke wametengana ndy maana hakuwa na hofu , maelezo yako dada yanatofauti ya awali na sasa , maelezo yako ndy chanzo cha kupoteza haki zako kama kweli hukutendewa haki
Bana kairudie kyisikiza ile klip alimuliza umetembea nae mara ngapi akasema sjawahi kutembea nae kimapenz sasa hapa wafanyaje na mume wangu alijib nibiashara tu akasema biashara na mume wamtu akajib alisema hana mke ndi nikawa nae kwajili ya kutaka kufanya nae bishara hata jina alikuwa hamjui lakin leo mama anasema kamuonya maranying wakat hata no yakealimuliza kuwa inaishia na ngapi mara kamfelis mali mumewe wakat wanainekana hawana chochote toka awali hata nyumba hawajawah kumilik niwez hao walipe pesa zaid walizo chukulia huyu mama
Unabahati mm ningekuua na umalaya wako wewe ni muongo alikukimbia kwani wewe ni mke wake ndo ujue hakupendi huna lolote kesho unasema hili kesho kutwa linguine huna lolote
Yani dada mungu amfichi mnafiki hata mumbua tu,mm naomba tu shelia ifuate mkondo wake amekuzalilisha Sana uyo mm mtumzima ovyo,kiukweri nimeumia sana kwA alicho kifanya uyo mm mtumzima .
Kweli itatuweka huru. Miamala uliyopita sehemu kuifanya dada umesahau kutuambia. Zain na voda tusaidieni tuupate ukweli mwisho wa movie. Dada laki tisa kubwa afu dada mle ndani hapakuwa na kitanda.mama anasema na nanii yako ya tobo bado imo ndani kitandani, ikapimwe DNA tujue ya nani😀.msinitafute naweka flyover...🤣🤣🤣🤣
Sasa dada mbona alivokupiga ulisema hujui kama anamke hukusema kama umekuja kufanya nae biashara haukusema ivo dada sema maneno yafanane huku unasema ivo na huku unasema ivi au mjifungie kwajili ya biashara kwanini msiongelee nje hauweleweki sema tu wakupe pesa za matibabu sio walikuibia
Kwakweli sisi wanawake single wakati mwengine huwa tunadharauliwa sana kwann wanamfanya hivi huyu mama serekali pls msaidieni mama kile naeza kukwambia kama walichukuwa na hawataki kabisa kukupa ila wanakuchafua jina piga magoti waombee mungu aliye juu atakulipa mikono bado unayo.
Usikubali Dada lazima wakulipe mimi nikiwa kama mwanamke mwezio nimeumia ulivozalilishwa na matus juu na juzi wakati anahojiwa na Joyce alisema chupi yko imetoboka baada aombe radhi anazidi kukuchafuwa, 😢😭nimeumia saaana.
Hali yao ya maisha vile kama kweli unatembea na yule Mkaka acha kudai pesa za uongo laki tisa siamini ulikuwa nazo na mkufu wa dhahabu wa kiunoni acha akufidie kipigo muachane maana ujue Mungu yupo mwenzio pia anateseka na ndoa na watoto yote ndio hasira ya kukudunda ogopa Mungu
Pole dada Ila kweli amekuchafua Sana na Tena amezidi kukichafua eti umemaliza pesa zake amefirisika ! Hivi kweli hayo maneno yanaukweli kweli Ni waongo Sana wamepanga wenywewe kimwanaume chenyewe kimenyooka Kam mnyoo mbn pale mlango haujavunjwa hapo serikali ichukue hatua iwe funzo na kwa wanawake wengine
Wale matapeli bhna walipe hizo pesa zote na gharama za hospital,haiwezekan aseme anamjua alimuonya zaid ya mara moja haraf kweny clip anauliza hat namba why?huyo mama kwanz n bondia 😄😄 alipe hela za watu yeye na hako kamalaya kake,dada usikubali wamekudhalilisha sana wakulipe gharama zako zote
Sawa dada usikubali!!! Akusafishe kwanza kwenye mtandao kama alivyokuchafua!!! Halafu akulipe fidia!!!! Matapeli hao wote wawili walidhani wewe ni mjinga watakutapeli kumbe umeenda shule. Usikubali hata kidogo. Unafumaniwaje kitandani namume wake na nguo zako zote!!!! Umeona dada wa watu alivyo mzuri tofauti na ile video alivyocharazwa!!!!
Tumechoka na taarifa zenu wewe dada ni ndefu muongo kwel unakwepa kitendo ulichokifanya ucjulikane umefumaniwa eneo lenyewe la tukio kwel utafanya biashara gani pale woi unachosha labda uuze dadiiii
Jamani eee,Mimi mkenya niko Nairobi. Kwa majina naitwa victor,huyo mwana dada ameadaiwa nahuyo jamaa namkewe ukiskiza kiini cha hicho kisa, huyo Dada kaonewa buure na wawili hawa matapeli wanafaa kuchukuliwa hatuwa Kali sana kisheria maana hilo video nilikitizama alipigwa vibaya nakuhaibishwa ambapo aliumizwa.tusiwe wakuthulumu wanadada wanaoishi bila waume.
Hiyo ya huyu dada kusema hawakufahamiana muda ni ktk hali yakujitetea jaman asiendelee kupigwa hata km ni ww halaiki iliyopo na yy yupo peke yake anaweza akajib ni mpenz wake wa muda mrefu jaman,si angekufa lazima ukane ili kujitetea😂😂😂
Kweli kabisa amezoea kuchukua mabwana za watu tena kujitambulia maaana angekumbana na mm engejut Na kujilaumu maaan a heeee namkunuta badae Aje aseme nimemuibia dola ww uwe napesa izo uwend ukalale kondeni ww ndio tapeli mung atakulin mjinga ww
Fena wewe unakula kwa wanaume wengi ni kweli umeiba mume WA mtu kubali tu, kwanza umejichubua mukono mweusi uso tu mweupe siwafamu ila wewe vena ni mla wanaume Acha wana ndoa walee Familia zao Acha kudai mambo yasiyo ya kweli nipo Germany but vena unadanga
Huyu mama hakuwa na hizo hela video ilionyesha kuwa kafumaniwa kweli na alikuwa anakubali kama kafumaniwa ila hakujua kama jamaa ni Mme wa MTU, wayamalize tu ila akome kutembea na wanaume za watu, atafute mabachela
ww nawe kama.mume umekutana nae na akajwambia amekupenda na akakuakikishia hana mke ww utaota kua ni muongo.uyu ana makosa makosa yana yule.shenzi sura ya kujikunja
Sn wala mke hamfikii Mchepuko nilimshanga et kusema ww ni mwanamke wa kutembea na mume wangu nilitaka kumuona mke wa halali kumbe wa kawaida tu km mie 😂😂
huyo mwanaume na lijike lake ni majambazi ona sur zao kama wamepondwa na tela, wanasheria msaidieni mwanamke mwenzetu huyo dada anajielewa sana kwa jinsi alivyokuwa kisura haiwezekani kukubali kulala kule machakani, huyo ni dada wa 5 star hotel. yule jike jangili ndiyyo saizi yake haswa kulala na kuishi sehemu ile hebu ona kwanza sehemu anayoishi yeye. sheria ifuate mkondo wake haki itendeke
Umaskini unatakiwa kwenye ufuatiliaji,huyu mama mwanzoni alisema walifamiana kwenye mtandao akiwa mwanza,kumbe alikuwa anauza tu hapo moshi ndo walifahamiana ndo kwenda Mwanza pia kuuza bar hawa ni wapenzi.kuhusu kulipwa atakipwa kwasababu mke halali alijichukulia Sheria mkononi
Kwanini asiweze kuwatafta viongozi wa serikali kama aliweza kujua kuwa mumewe yumo ndani na mwanamke mwingine na ilkua saa mbili asubuhi na kuanza purukushani saa saba mchana kweli,hapana huyo mume na mke wafuatiliwe vizuri watasema tu ukweli.
Mungu yupo dada atakupigania, palipo na dhuluma Mungu hutetea watoto wake, wanajifanya wajanja kuidanganya jamii , baada kukimbia kufundishana cha kuongea wakarudi, fanya maombi wakati ukiendelea na kesi yako uone Mungu atakachofanya
Yule mama alisema alivunja mlango kwenye ile clip yake. Ila dada wa bwana kasema alikuwa akivunja mlango kutoa spare keys Walipanga na mke wake wachukue hiyo hela dada. Pole sana
Huyu Malaya kama biashara aliulizaje kama ana mke yule baba? Ina maana katabia kake ka uhuni huyu Dada walimkomesha na wangemtoa jicho moja ili kila akilala astuke
tuoneshe huo mwamala wa laki tisa ulioufanya siku hiyo uoneshe jina lako halisi tafadhali. lkn mimi nionavyo ninyi mlikua wapenzi. ila yule mama mwenye mume ana makosa ya kujichukulia sheria mikononi. (nyote mna makosa, msameheane tu yaishe)
ww upo sahihi huyu muuza bar na huyu bwana ni wapenzi,huyu hakuwa na laki tisa muongo mbona kulikuwa na watu pale kwann wasiseme.hata akikiri bd mwenye mume ana kosa la kujichukulia sheria mkononi tu
Vena nimkweli maana baunsa aliuliza umeshalala na mume wangu mala ngapi?namba inaishia 26?isitoshe mlanga aliushika mke wao wakiwa ndani bwana akasikia akasema umeniponza!!hapo SAA mbili lakini tukio halisi ilikuwa mchana kweupe.bwana nae anasema SAA saba usiku tulikuja na boda mala ngapi kakutomba?kama alikuwa anamjuwa mbona alisema alikuwa anamuomba mungu amsaidie amjuwe anaemzuzuwa mumewe?!Jambazi wakubwa hawa walipe tu kesi iiishe mikundu zao wezi
Ila na sisi Wanawake tiwe tunaangalia da unachepuka na mtu haeleweki hata kidogo. Kuna wanaume wengine bora kukaa peke yako. Maana mwanaume sio wako alafu hana pesa haeleweki wa nini jamani zigo la maviii unatembea na matatizo jamani lo niko kwenye ndoa ila usichana wangu sikujichafua na wanuka mavi mimi. Pata kashifa na mtu anaeeleweka unapata kashifa na kitu kisichoeleweka jamani? ??
Kama mke na mume maneno yao ya kweli watuletee ushahidi wa msg. Maana mwanamme anasema alikua nae miaka 5 lazima kutakua na msg wakitumiana watuonyeshe bila ya hivyo ni sio matapeli tu bali wajambazi
dada hakika wamekuzalilisha na usikubali kupokea hata simu zao ,kama wanataka au anataka kuongea nawe aonge mbele ya mkuu wa mkoa kwa sababu pale ndio kwenye hilo suala lenu na hao walikusudia kukutapeli
Hii nikweli huyu dada malaya tu anataka kulipwa hana lolote malaya tu sasa mbona aseme amemwambia hana mke huyu mjinga tu we sema ulipwe tu utoke hapo nyau
Hata km hajaibiwa pesa wamlipe tu kaumizwa nakuzalilishwa janaume lenyewe lakishamba tu ameshindwa hata kod anakaa kwa shemeji yake looh..et nilikuwa na pk pk tano na gari moja,na mke nae kachapia mume wangu alikuwa na boda boda sita 😂😂😂 et vero kanifilisi khaa ulikuwa umefumba macho nyau ww.
Haaa yule mama jambaz na Mme wake kwani alikuwa anamuliza namba ako inashia na 26leo tena anasema anamjua hapana hao nimataper angalia vidio zake vizur sio uropoka tu
Dada karibu kwa Yesu, wokovu ni afya na unalipa... Wewe ni mzuri sana njoo kwa Yesu hutodhalilika tena.
Huyu mdada anafanana na mesina kweli tunaofatilia selina like hapa
Hahahaaaaa
Hahahahaaaaa, kweli kabisa, sasa huyo mume cjui ni Nelson au Nathan au Yerico
Dada wewe ni mrembo sana utakuja kuolewa arusi mchana kweupe ww ni mwanamke jasiri sanaaa
We ushaiba mume wa mtu basi endelea na maisha yako shukuru mungu hujatolewa utumbo
Kabisa alikuwa anamloga jamaa mpaka kasahau familia
Huyu sawa simulaumu sana nikudanganywa na mume.makosa ya huyu mudulumiwa dada nikudanya pili pesa taslim laki tz 900,000/= katoa wapi na mke wa JAMA makosa nikumbiga na kuchukukua tz.30,000/ case mku wa mkoa madam ni muheshimu kwa uamuzi nzuri huyu madam anafa kua mku wa sheria
Maelezo yahuyu dada yapo sahihi Wale mke namume wamelitengeneza bomu mungu akusimamie dada
InshaAllah
Sio kweli msikilize yakwanza msikilize nahii vizuri huyo muongo nayule na mumewe wote waongo wanatengeneza uongo ambao hauna faida
Wewe ulikuepo? Nyie ndio wachochezi
@@kenedynashon9717 hatukuwepo ila video tulivyoiyona na maelezo Na maelezo yakwenye video Na maelezo yamke Na mume tofauti tayar mke Na mume wameshanasa kwenye mtego ukiwaskiliza kwaumakini jaribu kuangalia Tena Ile video kisha utapata jibu
Mnatete upuuzi tuu mtu kafumaniwa af mengne yasiyo ya muhim yanaongelewa ndo mnaanza kutete ujinga tuu
Uko vizuri shoga angu.halafu mbona alimuuliza umeshalala nae mala ngapi?hakiyamungu matapeli wote bibi na bwana.wamsafishe walipe fidia na wakome maelezo ya vena yamenyooka mno.hao wakinamwakumakumati ni wezi
Maelezo wala hayachanganyi! Majibu yote utayapata kwenye video ya tukio mana pale huwa haidanganyi! Mrs anasikika anamuuliza jina na lini alianza mahusiano na mumewe? Na pia alihoji alikuja na usafiri gani? Sasa kwenye mahojiano akadai anamjua na jina tena akataja jino sio na kuaminisha kuwa ndio huyohuyo !Pia akadai alimuonya! Kwa kichapo kile cha siku ya tukio bila uvumilivu ujasiri wa kumuonya Mara 3 aliutoa wapi? Pia alidai aliwafumania saa mbili asubuhi ajabu nduru ilipigwa saa saba mchana! Mlango akabomoa akawakuta wamelala! Mmh Jamani! Na Mume alidai alimsikia mkewe hiyo saa mbili asubuhi akiwa nje! Akawa anamlaumu mcheps ! Inamana mkewe hakusikia yeye alikuwa busy kusikiza Tone za msg zilikilia alizotuma kwa mumewe! Kwahiyo Mr yeye akawa ame relax tu kitandani ktk atmosphere hiyo kweli anasubiri tukio? Alafu Mume akadai yeye alifungua mlango! Afu Mke alivunja! Mweeh!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣meona eeeh
Hapo hata mimi ninapata ukakasi kidogo yani pilika zote hizo Alafu wao bado wamelala tu
Kweli mume name wamepanga
Yaani wale inaonekana wote wasanii kwanza Kama ulisikiliza vizuri watoto walipohojiwa walisema mama na baba waliondoka baada yakutupikia chakula kitamu hawakurudi Tena
Mke na mume ni matapeli tunawajua
Pole haki yako lazima upate.....big up #AYOTV
Kwanini wa kimbie basi kweli kama wako sawa 🤔
The question is "mbona wakati unachapwa ulisema Mume alitaka urafiki n alikuambia Hana Mke ,, mbona hukusema mlikua na Biashara ... Nop nop
Mama wewe mjinga kabisa.ulishindwa kufanya biashara peke yako mpaka ufakamie wababa?ukome na hautarudia.Muombe Mungu ingia kanisani ili Mungu akufungulie biashara halali yako peke yako.
Huyu ndo maandishi wangu wa habari no 1 🇹🇿 brother big up sana unaijua kazi yako umetulia hela yako chuoni imeenda kihalali kabisa
Dada inaonekana kama ulifumaniwa, shukuru Mungu haujadhulika sana! Maelezo yako hayaendani na tukio!
Link Reuben Dada we we umefumaniw kubali tu
Fuatilia toka video ya tukio tena uxidikilize vizuri mno utajua nani anaonhopa!
Amefumaniwa uyoo akome mume wa mtu sumu mbona alikubali alivyokiuliza
Vicenti asema anashukuru Mungu kwa kushikwa ati Mungu anataka kumbadilisha!!
Muongo Sana mwanamme mzima mzee huyo hangeweza kushawishiwa na huyu mrembo mfogo.
Wakulipe hela na mikufu yako ya dhahabu.
Mama Nyoosha maelezo, kwa kweli bado sijakuelewa vizuri.
Labda ww ndo ujamuelewa
hujamuelewa kwa wapi?
hoja zake za msingi kabisa zimenyooka huenda hamkuanza mwanzo. Video ya awli kurushwa mke anaonyesha hamjui mfumaniwa lakini sasa mahojiano na Joyce Kiria anasema anamjua miaka 5 nyuma. Awali alimuuliza namba yako inaishia na 26, mtuhumiwa akasema inaishia 13
Dada mimi nakuamini ni kweri sana. Alikuwa akujui kabisa alivyo kuwa anakuoiga waongo sana hao. Ajasema hata mala moja amekuwarn kwenye ile videos. Pole sana dada. Wale majamaha ni wahongo sana.
Tcra wafuatilie mawasilino yao.watajua Kama Ni wapenz na ikibainika Ni kweli huyu Dada alipe mb zetu.
Poleni sana. Ni Muda wakumludia Mungu.Dunia iko Ukingoni.In sha Allah Allah Atufanyie Wepesi sote kwa kila Jambo Jema
Ulkome kusopoa waumw zawatu bwana sumiuiuuuu achanae fanya yako
Huyo dd nitapeli
Yule mama alichoksea ni kumpiga mtu ambaye hajamletea ubishi wala dharau ila ukweli na wewe si kweli eti ukatoe pesa kwa ajili ya biashara ambayo hata sehem ya biashara huijui na wala huji unaenda kufanya biashara gani kuhusu pesa ni uongo vitu vingine muachieni Mungu awatetee kuliko kuongea uongo
Huyu nae bwana ye kweli alifumaniwa na ile chupi aliyoiacha je
😀😀😀😀😀😀
Na hiyo chupi uliyoiacha je
@@joharisimtowe5661 chupi kavuliwa na huyo dada alojidai kafumania?
Hiyo chupi inaweza kuwa imetafutwa tu wasituchezee akili, wawajibishwe ktk hili
Mama Abdul ww ni mrembo 👏👏👏👏👏👏jaman wanaume muoen huyu dada jaman. Yule mwanaume ni shoga limelogwa limeisha mbaka Sura imepolomoka. Hivo alivo huyu dada hawez lala na mwanaume kama yule jaman
ww acha upuuzi huyu ni muuza bar, muuza bar anaangalia sura tizama kauza bar moshi sasa yuko mikoani anauza bar mwanza utatuambia nn ww,laki tisa na chup iliyotoboka
Wakupe pesa zako maana unaongea maneno yamenyoka mpaka raha
Umeona eh!!!!
Kweli dada anajielewa sana! Mke na mume ni matapeli tulioko moshi tunawajua.
Kabisa hyu yupo sahii ila wale wanacho ongea ni pumba tuu
Yani hata Mimi nimefurahi anavyojieleza wale wanajichanganya kama mahakamani wanafungwa
Sanaa
Tangu nimeanza kufatilia hii kitu, mke na mmewe waongo sana na maongez na tukio tofauti maana tukisikiliza alivyokuwa anamuoji na mda wa tukio tofauti, Wale matapel mtu na mmewe. Dada pole sana
We mama mdangaji tu laki tisa hizo nani shahidi alieona, yule mama aliempiga ilikua ana uchungu mpaka ikawa yuwahema kama ni utapeli wangechukua pesa tu na asingekupiga
Ukifumania mme ndio umpige mwanamke mwenzio hivi. Mume wako ndio hajiheshimu ww mwalimu. Unamng'ang'ania mtu unamfumania kila siku. Jiongeze ww like gonjwa ulilokua unasema ukipigana utalipata kizembe
Dada kaa mbali na waume za watu! Next time, watakuuwa! Tembea na walinzi! Mungu akutetee jamani!
Hahahaaaa, lkn jua na walinzi wana wake pia, cha msingi aangalie alie single, kama alikuwa anamdangia mume wa mtu wamemkomesha
huyo jamaa na mke wake ni wezi ni vitu simple sana kwa kufikiria,walipanga kumtapeli huyu dada,kama ni hawala yake ,kwa nini ampeleke pale na sio gest?tapeli huyo kaka akamatwe
Mume wa mtu sumu
🤣🤣🤣😁😁😁😁
Kweli hiyo point wengi wameisahau, huyu analipa kwa matendo aliyofanya, kipigo cha mbwa mwizi azarani sio mchezo ati
Dad hongera maan unaongea ukwel na kila swal unatoa sababu and that's is true and good conversation
atakama walikuwa katika mausiano kosa lipo la kushambulia mwili nakuto yamatusi
Niukweli my makosa yapo mengi tu. Wamekutana wakapanga Ayo yote mwanaume na mwanamke wake wakamuoshe uyo dada walipo mzalilisha nakumshambulia yeye siyo muuwaji. Kwani Nani asiye nakosa la kuzini. Kama uyomama awakupanga inawezekana vp ukamfumanie mume saa 2 Asubuhi eti ajeavunje mlango saa name mchana masaa 6 yupomlangon tu. Na wao wanajuwa washakutwa waendelee kulala tu. Aiingi akilini kabisa
Wewe ni muongo, ushaaendaapo x4.
@@marthashenenga8282 tena sasa hakuna mlango uliovunjwa maana Joyce Kiria alikwenda tukaona hiyo nyumba nzimaaa!
Hatakama ni fumanizi angepambana na mume wake.,ndiye mwenye makosa.
Ndoa ZIHESHIMIWE
Wewe ni hawara.. achana na waume wa watu. Uchapwe sawa sawa.
Jamani haya matukio yanachanganya sana ila hapo mahakama ifatilie mawasiliano ya hawa wote waoneshe SMS na call zoteee watajua nani mwongoooooooooo
Kweli kabisa uko sahihi
Tunaiamini TCRA
Point
🤝🤝🤝
Safi sana umeongea pwent
Wote mnamakosa hapa, wewe ulikuwa na uhusiano na mume wa MTU, na mke kachukua sheria mkononi, pesa hiyo hukuwa nayo. Siku nyingine usimfuate mume wa MTU kwake please. Achana na hizo mambo Fanya maisha mengine hao ni wanandoa.
Kweli kabisa
Mim mwenyew naona kuwa huyo mwanamke hakuwa na laki 9 ila ilibidi aseme laki 9 ili amkomeshe huyo alompiga, ata ungekuwa wew lazma useme umeporwa ela nyingi ili kuwakomeshaa, ila ukifikiria kiukweli kabsa hilo eneo linakaa kibiashara kqeli? No if no then huyu alifumaniwa but huyo Dada mwngne kumpiga na kumdhalilisha vile apo kiukweli alikosea japo n hasira tuu
Wew umeona kama mm
Saws sawa, inaonekana dada kafumaniwa!
Kweli huyo Dada amefuniwa Ila anajitetea tu
Huyu muongo hela ilivyo ngumu utabeba laki tisa kama buku haiwezekani hata mama mgwira kagundua
Tapeli akiamua atakupeleka hata chooni akakutapeli so kuhusu eneo kuwa la kibiashara Hilo halina mashiko vip kuhusu wale wanaotuma text umeshinda million sita kutoka kwa mtandao fulan hata km hujacheza hiyo bahati nasibu Tena sms unapata kutoka mtandao tofauti na mtandao wa hiyo promo.... Binafsi naona wale ni wezi tu ndo maana maelezo yao wenyewe wanapishana, mume kasema walikuwa na boda 5, mke 6, mume alisema alifungua mlango, mke alivunja aliwakuta kitandani wamelala, mara alifungua mlango akakimbia.. ebu, mume kasema alifilisiwa na huyo dada miaka mitano Sasa, mbona bado anamng'ang'ania wa nn, mume anasema anaishi kwa shemeji yke, km hela ya kupanga hana ila elfu 30 ya gest anayo, ebu acheni kutetea wezi jmn
Pole mum mola a kusaidia aki inauma si vizuri kuchukua sheria mikononi
Mbona siku aliyokuwa akipigwa alionekana amekaa chini akiomba msamaha, nakuwaomba wamsamehe alikuwa hajui kama ni mume wa mtu na aliendeleya kujiteteya mwanaume alimdhihirisha hana mke wametengana ndy maana hakuwa na hofu , maelezo yako dada yanatofauti ya awali na sasa , maelezo yako ndy chanzo cha kupoteza haki zako kama kweli hukutendewa haki
Bana kairudie kyisikiza ile klip alimuliza umetembea nae mara ngapi akasema sjawahi kutembea nae kimapenz sasa hapa wafanyaje na mume wangu alijib nibiashara tu akasema biashara na mume wamtu akajib alisema hana mke ndi nikawa nae kwajili ya kutaka kufanya nae bishara hata jina alikuwa hamjui lakin leo mama anasema kamuonya maranying wakat hata no yakealimuliza kuwa inaishia na ngapi mara kamfelis mali mumewe wakat wanainekana hawana chochote toka awali hata nyumba hawajawah kumilik niwez hao walipe pesa zaid walizo chukulia huyu mama
Kuomba msamaha ni kitu bora sana,we ulitaka akatae au arudisha mashaburizi?alifanya jambo la busara sana,
Hahaha
Asante Dadaa,umejieleza vizuri sana...hao wajinga ni wakuweka ndan na walipe fidia yakutosha
Shosti kang'aa au kashapewa ka laki tisa🤗🤗 jmn wanawake wa kichaga mnaniangusha sa mnagombania nani pale😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃 baba kakomaa uso yle lbda Ni Kaka yao yle
😂😂😂😂😂😂😂
Yaan mwenyw nashangaa mwanaume mwenyewe yuko wap?
Mume mwenye kapauka mweeee😃😃😃🤣🤣
Unabahati mm ningekuua na umalaya wako wewe ni muongo alikukimbia kwani wewe ni mke wake ndo ujue hakupendi huna lolote kesho unasema hili kesho kutwa linguine huna lolote
Dada yupo bomba sana yani anavyoonekana ni mwanamke wa kudekeza kitandani yaani daah kweli kizuri chajiuza
Huyo mwanaume na wanaume walipanga wa kumuibia washez selikali uchikue atu wame mdhalilisha Sanaa
Umeona eeh na halafu Dada hajashutuka...
Sheria isimame kwakweli
Yani dada mungu amfichi mnafiki hata mumbua tu,mm naomba tu shelia ifuate mkondo wake amekuzalilisha Sana uyo mm mtumzima ovyo,kiukweri nimeumia sana kwA alicho kifanya uyo mm mtumzima .
Kweli itatuweka huru. Miamala uliyopita sehemu kuifanya dada umesahau kutuambia. Zain na voda tusaidieni tuupate ukweli mwisho wa movie. Dada laki tisa kubwa afu dada mle ndani hapakuwa na kitanda.mama anasema na nanii yako ya tobo bado imo ndani kitandani, ikapimwe DNA tujue ya nani😀.msinitafute naweka flyover...🤣🤣🤣🤣
Hahahahaaa ndg utanipa hela ya matibabu ya mbavu maana mm hoi
Hahahaaa
Mbavu zangu mie jamani,
Ngoja tuwaachie vyombo vya sheria viangalie haki ipo wapi,maana dah
Sasa dada mbona alivokupiga ulisema hujui kama anamke hukusema kama umekuja kufanya nae biashara haukusema ivo dada sema maneno yafanane huku unasema ivo na huku unasema ivi au mjifungie kwajili ya biashara kwanini msiongelee nje hauweleweki sema tu wakupe pesa za matibabu sio walikuibia
Hehhh mambo
Kwakweli sisi wanawake single wakati mwengine huwa tunadharauliwa sana kwann wanamfanya hivi huyu mama serekali pls msaidieni mama kile naeza kukwambia kama walichukuwa na hawataki kabisa kukupa ila wanakuchafua jina piga magoti waombee mungu aliye juu atakulipa mikono bado unayo.
Dada unapata wapi moyo wa kujitetea hivyo. Mtu akikosea anaomba msamaha mbinguni na duniani. Machangu wamezidi kuharibu ndoa za watu
Usikubali Dada lazima wakulipe mimi nikiwa kama mwanamke mwezio nimeumia ulivozalilishwa na matus juu na juzi wakati anahojiwa na Joyce alisema chupi yko imetoboka baada aombe radhi anazidi kukuchafuwa, 😢😭nimeumia saaana.
Yaan ni aibu kama mwanamke kutoa matusi mazito. Lazima alipwe fidia hakuna kuwaachia . Au nenda mahakamani
Mke na mume ni matapeli mm naomba serikali ichukue mkondo wake waende mahakamani
Jamani kama ao watu mke na mume kama walikua na mali wana sema mbona ata nyumba hana uyo baba na mke wake kama sio mata peli
Waongo hao mata peli sharia if ate mkono wake
Matapeli wakubwa hao
Usikubali mpk kieleweke wamekutia aibu lazima watoe fain. Mke mme matapeli
Haswa man hata naongez yao hayafungaman et pikipik 5 mala mke nae pikipik 6 wap na wap hao nimataper Shelia ifuat mkondo
Hali yao ya maisha vile kama kweli unatembea na yule Mkaka acha kudai pesa za uongo laki tisa siamini ulikuwa nazo na mkufu wa dhahabu wa kiunoni acha akufidie kipigo muachane maana ujue Mungu yupo mwenzio pia anateseka na ndoa na watoto yote ndio hasira ya kukudunda ogopa Mungu
Uyo jamaaa na mke wake ni matapeli tena wakubwaa!!wememchezea mchezo dada uyo wa wizi
Pole sana
Pore xana
Haki itendeke mama na uyo mume wake ni wauji na walishavunja sheria kudhalilisha dada wa watu
NDIYE WALIMTAPELI WALIPANGA KUMUIBIA
Wakupe hela zako you have big experience ya kujieleza kabsa
We mama kubali tu ulifumaniwa basi yaishe na usirudie tena.
4
Pole dada Ila kweli amekuchafua Sana na Tena amezidi kukichafua eti umemaliza pesa zake amefirisika ! Hivi kweli hayo maneno yanaukweli kweli Ni waongo Sana wamepanga wenywewe kimwanaume chenyewe kimenyooka Kam mnyoo mbn pale mlango haujavunjwa hapo serikali ichukue hatua iwe funzo na kwa wanawake wengine
Yaan huyu dada anavo ongea vizur hadi raha jaman yan hata kama anaongea uongo bas kasomea me na muamin 💯💯💯
Na ukme kama vyenye ulikoma kunyonya titi LA mamako
Oookaaay katembea na uyo mwanaume🤚Ila point inabaki palepale wampe hela zake jamon😪😒.wale wamepanga kila kitu mxiiiiu😒
Huyu Ni muongo Ila anajua kuongea mwanzo alisema walijuana kwanjia yamtandao leo anasema anamfaham
Huyu Dada toka mwanzo nishaona muongo
Muongo kahaba huyu
🤔🤔🤔wakulipe dada angu wasimbe tunazalaulika sana mungu hatakusimamia tu
Point, huyu kavamia pasipo ni muongo na alisema asamehewe anatafuta so ni mdangaji. Sasa anatafuta haki.
Kweli kabisa
Pole dhena
Wale matapeli bhna walipe hizo pesa zote na gharama za hospital,haiwezekan aseme anamjua alimuonya zaid ya mara moja haraf kweny clip anauliza hat namba why?huyo mama kwanz n bondia 😄😄 alipe hela za watu yeye na hako kamalaya kake,dada usikubali wamekudhalilisha sana wakulipe gharama zako zote
Huyu dada niuongo jamani kafumaniwa kweli .mumeanauma jamani.fatlieni kwamakini kwamaelezo yao.
Sawa dada usikubali!!! Akusafishe kwanza kwenye mtandao kama alivyokuchafua!!! Halafu akulipe fidia!!!! Matapeli hao wote wawili walidhani wewe ni mjinga watakutapeli kumbe umeenda shule. Usikubali hata kidogo. Unafumaniwaje kitandani namume wake na nguo zako zote!!!! Umeona dada wa watu alivyo mzuri tofauti na ile video alivyocharazwa!!!!
Tumechoka na taarifa zenu wewe dada ni ndefu muongo kwel unakwepa kitendo ulichokifanya ucjulikane umefumaniwa eneo lenyewe la tukio kwel utafanya biashara gani pale woi unachosha labda uuze dadiiii
Ukachukuwe chupi lako limetoboka katikati ukome ungekaa kwaķo yasingekukuta
Muongo sana umefumaniwa kiasi akupige mume anauma umeyataka
@@salmayusuph34 ilisemekana aliacha chupi kwa chumba Chenye walifumaniwa... Tena hiyo chupi imeraruka Katikati 😂😂😂
Jamani eee,Mimi mkenya niko Nairobi. Kwa majina naitwa victor,huyo mwana dada ameadaiwa nahuyo jamaa namkewe ukiskiza kiini cha hicho kisa, huyo Dada kaonewa buure na wawili hawa matapeli wanafaa kuchukuliwa hatuwa Kali sana kisheria maana hilo video nilikitizama alipigwa vibaya nakuhaibishwa ambapo aliumizwa.tusiwe wakuthulumu wanadada wanaoishi bila waume.
Huo ni utapeli wa mke na mume. Watu wengi wanatapeliwa namna hii. Yaani bwana na bibi wanapanga kutapeli.
Ni matapeli kbs bwana na bibi
Hili zecomed imenichosha nimejaribu kuifuatilia
Hili zecomed unalionaje wewe mdau unaye fuatilia
Ndio malaya wakome kuingia kichwa kichwa ktk familia za watu dadeki na bado
Hiyo ya huyu dada kusema hawakufahamiana muda ni ktk hali yakujitetea jaman asiendelee kupigwa hata km ni ww halaiki iliyopo na yy yupo peke yake anaweza akajib ni mpenz wake wa muda mrefu jaman,si angekufa lazima ukane ili kujitetea😂😂😂
Uyu dada yupo tayari kwalolote ilimradi ushahidi ujulikane pole Sana dada Ila usikubali kirahisi kuisha ulipwe
Nimekuja kugundua yule baba ni marioo wa kimataifa lakini huyu dada alikua Darling wa huyu mariooo. Mume wa MTU sum shogaa same he tyuuu."
Kweli kabisa amezoea kuchukua mabwana za watu tena kujitambulia maaana angekumbana na mm engejut
Na kujilaumu maaan
a heeee namkunuta badae
Aje aseme nimemuibia dola ww uwe napesa izo uwend ukalale kondeni ww ndio tapeli mung atakulin mjinga ww
Fena wewe unakula kwa wanaume wengi ni kweli umeiba mume WA mtu kubali tu, kwanza umejichubua mukono mweusi uso tu mweupe siwafamu ila wewe vena ni mla wanaume Acha wana ndoa walee Familia zao Acha kudai mambo yasiyo ya kweli nipo Germany but vena unadanga
Mume yupi kaa hata mbwa hamnusi
Wanaume wanatakiwa kujua kama wanandoa zao kabla hawajamfuata.
Huyu mama hakuwa na hizo hela video ilionyesha kuwa kafumaniwa kweli na alikuwa anakubali kama kafumaniwa ila hakujua kama jamaa ni Mme wa MTU, wayamalize tu ila akome kutembea na wanaume za watu, atafute mabachela
Wafunge hawana adabu kabisa
Pole Sana dada
Ana komaje wakati Ye akujuwa kama mumewamtu ata wakatalia malangap wanaume kwani wote ndo wana harama kuwa ndo waume wawtu
ww nawe kama.mume umekutana nae na akajwambia amekupenda na akakuakikishia hana mke ww utaota kua ni muongo.uyu ana makosa makosa yana yule.shenzi sura ya kujikunja
Wawekwe alama kuazi skuizi waume zawatu wote tujue
Wachaga mnatuchosha wangekua wazaramo kesi ishaisha hapo🤣🤣🤣👌
Dada mzuriiii mnonooo mishavu kama yoteeee beuty
Na Mimi je😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Sn wala mke hamfikii Mchepuko nilimshanga et kusema ww ni mwanamke wa kutembea na mume wangu nilitaka kumuona mke wa halali kumbe wa kawaida tu km mie 😂😂
@@najmasaidi1412 RukiaeMohammed we mzuri
Kweli
Kulingana na maoni yangu.uyu dada awesi kutembea na .ule baba sio glas yake. Uyu bwana na bibi niwaizi.🙆🙆🙆🙆Wakulipe pesa yako
Akutibu .
Ilikua njama ya mke na kume, ushauri wng.usiwe mjinga.fata sheria.mahakamani utapata haki yako usikubali hata kidogo kuyamaliza kienyeji
Ukweli dada wamepanga ili wakuachiye lawama
Kabisa, hao ni majambazi mke na mume
Hawoo nivibaka Kama vibaka wanao chomwa Moto Shure zilifungwa wakaaza kukaba watuu nenda mahakamani weka wakali tupo kwakusaidia wanyonge haoni wez
Dada nenda mahakamani haki zabinaadam Wana kuangalia nenda mahakamani Dada izo longo longo huyoo nimwiz
huyo mwanaume na lijike lake ni majambazi ona sur zao kama wamepondwa na tela, wanasheria msaidieni mwanamke mwenzetu huyo dada anajielewa sana kwa jinsi alivyokuwa kisura haiwezekani kukubali kulala kule machakani, huyo ni dada wa 5 star hotel. yule jike jangili ndiyyo saizi yake haswa kulala na kuishi sehemu ile hebu ona kwanza sehemu anayoishi yeye. sheria ifuate mkondo wake haki itendeke
WATU wameenea sana kila pembe,,,,,kazi yao ni utapeli
uyu dada anaongea maneno ya menyoka kabisa awo watakuwa matapere tu
Matapeli aya machaga
Kweli kabisa
Huyu dada hana ubabaifu huyo mama ni mwongo
Umaskini unatakiwa kwenye ufuatiliaji,huyu mama mwanzoni alisema walifamiana kwenye mtandao akiwa mwanza,kumbe alikuwa anauza tu hapo moshi ndo walifahamiana ndo kwenda Mwanza pia kuuza bar hawa ni wapenzi.kuhusu kulipwa atakipwa kwasababu mke halali alijichukulia Sheria mkononi
Hakuna alichotapeliwa huyu Dada sikiliza maneno aliyoongea kwanza na sasa hivi utamjua kuwa ni muongo na kingine wangalie simu zao wameanza lini
This lady is innocent. The guy and his wife are scammers. Justice must be served 😎
Kwa kuwa hujaolewa Dada ivi kweeeli umfumanie mumeo uanze kutafuta viongozi wa serikali Dada kweli kabisa
Hata mimi ningemraruaa .
Kwaiyo vizuri ni kuanza kumpiga mwanaumwe mwenzio ndi
We mpige ukimaliza uandae pesa za kumlipa
Kwanini asiweze kuwatafta viongozi wa serikali kama aliweza kujua kuwa mumewe yumo ndani na mwanamke mwingine na ilkua saa mbili asubuhi na kuanza purukushani saa saba mchana kweli,hapana huyo mume na mke wafuatiliwe vizuri watasema tu ukweli.
Mjinga sana hyu hajui uchungu wa mume na hajui hata hasira za kufumania zinakujaje wakt wa fumaniz hana hata anachojua hyu kahaba tu
Pole Sana dada vyanaume nivitaperi
Kwanini walikimbia km wao walikuwa wakwel 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Halima umeona wanakimbiaje mke halali umemfumania mmeo ukafanya tukio unakimbia nini sasa???
Walienda pangia hiyo Senti.Ati Vero alimlazimisha waende nyumbani.waongo mtu na mkewe.
Na hatukuona mlango umevunjwa.
Mungu yupo dada atakupigania, palipo na dhuluma Mungu hutetea watoto wake, wanajifanya wajanja kuidanganya jamii , baada kukimbia kufundishana cha kuongea wakarudi, fanya maombi wakati ukiendelea na kesi yako uone Mungu atakachofanya
Dada wewe NI mtu mbaya Sana uwezi kuambiwa mke tumeachsna alafu uongozane na mme wa mtu. Acha upigwe hiyo nayo NI dawa
Dawa lkn wanamlipa mme wa mtu ana nn mbona tunatembea nao wengi tu Tena kwa upande wa biashara uyo mke wa mtu anahangaika tu alimzaa yeye
Huyu ni mshenzi tuu tena likubuuu lililoshindikana na ni mjanja mjanja sana shame on you dawa yenu ndo hyo
Hata hivi huyu dada ni mstaraabu, inabidi alipwe milioni 30 kudhalilishwa,aende mahakamani ndo haki itatendeka
@@majaliwamsigwa3974 umeona ee .utazani kamzaa yy lazima wamlipe bwana mwenyewe kapauka kaa nn loooh
Weka akiba ya maneno!! Huyo mume na mke ni matapeli tunawajua na walitengeneza mazingira ya kumtapeli.
Asante dada, yasiishe tu kirahisi, hai wazazi ni wakatili usiwaache
Sasa huyu dada mazingira yale angefanya biashara gani?Huko kote hajapaona akafungue biashara pale?. Hajaniconvince bado
Za mwizi arubaini, hivyo tu
Huyu malaya ty
Hsrbadili ya mbayyana imemuumbua
Na 40 zake ndo zilifika
@@nyamkamawanjara29 tena Malaya aiekua na soko
Happy Maina alikwenda kupaona sio kufungua biashara nawew uelewe
Yule mama alisema alivunja mlango kwenye ile clip yake. Ila dada wa bwana kasema alikuwa akivunja mlango kutoa spare keys
Walipanga na mke wake wachukue hiyo hela dada. Pole sana
Pole ya nini akome kuvamia visivo vyake, hela inarudi kwa watoto, period!
Nikweli wamepanga wakulipe usikubi
Maman mzuri tafuta hela ureye watoto wako dada pamoja na Mungu utafika
Ni uongo wakutosha'''walijipanga mtu na mkewe
kumbe alikuwa mteja alikuwa akija anahudumiwa kama wateja wengine.......hii imenyooka kumbe alikuwa anapata huduma ya chakula safi sana
Huyu alifumaniwa kweli,na kwa nini waende migombani kule,wakati yeye si nduguyo na uende nae huko shamba.na pia hizo laki tisa mhh.
Naye utakwenda napesa zote kwako bilashahidi harinigii hakirini hopes hakuwanayo
Huyu Malaya kama biashara aliulizaje kama ana mke yule baba? Ina maana katabia kake ka uhuni huyu Dada walimkomesha na wangemtoa jicho moja ili kila akilala astuke
Dada tetea haki yako usiogope .
Kwa ukweli wamepanga tu wakulipe alafu wachukuliwe sheria mke aliempiga kwa kumdhalilisha
tuoneshe huo mwamala wa laki tisa ulioufanya siku hiyo uoneshe jina lako halisi tafadhali.
lkn mimi nionavyo ninyi mlikua wapenzi. ila yule mama mwenye mume ana makosa ya kujichukulia sheria mikononi. (nyote mna makosa, msameheane tu yaishe)
ww upo sahihi huyu muuza bar na huyu bwana ni wapenzi,huyu hakuwa na laki tisa muongo mbona kulikuwa na watu pale kwann wasiseme.hata akikiri bd mwenye mume ana kosa la kujichukulia sheria mkononi tu
Aonyeshe muongo tu na yeye
Kabisa
Vena nimkweli maana baunsa aliuliza umeshalala na mume wangu mala ngapi?namba inaishia 26?isitoshe mlanga aliushika mke wao wakiwa ndani bwana akasikia akasema umeniponza!!hapo SAA mbili lakini tukio halisi ilikuwa mchana kweupe.bwana nae anasema SAA saba usiku tulikuja na boda mala ngapi kakutomba?kama alikuwa anamjuwa mbona alisema alikuwa anamuomba mungu amsaidie amjuwe anaemzuzuwa mumewe?!Jambazi wakubwa hawa walipe tu kesi iiishe mikundu zao wezi
Ila na sisi Wanawake tiwe tunaangalia da unachepuka na mtu haeleweki hata kidogo. Kuna wanaume wengine bora kukaa peke yako. Maana mwanaume sio wako alafu hana pesa haeleweki wa nini jamani zigo la maviii unatembea na matatizo jamani lo niko kwenye ndoa ila usichana wangu sikujichafua na wanuka mavi mimi. Pata kashifa na mtu anaeeleweka unapata kashifa na kitu kisichoeleweka jamani? ??
Mambo ni mengi pole kwa kipigo, yule mama ni mkali sana, anapiga Sana angewapiga sana ndo Mana yule baba akakimbia, akae hapo mpigwe wote
TCRA ihusike maana walitumia mitandaoo kwenye mawasilio mpk kukatokea hili
You are very beautiful woman 🥰🥰
Jamani kuna wengi kwasasa wanatumia njia hii wengi wengi sana ,mke na Mme wamepanga kumuibia huyu mama
Tunataka ushahidi haswa kwa messegi tutajua ukweli
Kama mke na mume maneno yao ya kweli watuletee ushahidi wa msg. Maana mwanamme anasema alikua nae miaka 5 lazima kutakua na msg wakitumiana watuonyeshe bila ya hivyo ni sio matapeli tu bali wajambazi
Sio kweli huyo kafumaniwa sehemu gani ya biashara porini hivo huo ni uwongo.
@@saidimpili3301 sio polin we au ile video ujaona
ni kweli kabisa huyu wamemuibia hela wale mke na mume ni matapeli
Acha umalay nikufamania nawakwang matiti nitayakat mboyawee😚😚😚😚
dada hakika wamekuzalilisha na usikubali kupokea hata simu zao ,kama wanataka au anataka kuongea nawe aonge mbele ya mkuu wa mkoa kwa sababu pale ndio kwenye hilo suala lenu na hao walikusudia kukutapeli
Huyu Dada roho yake safi
Pole Dada Mungu akuonekanie
Mwamtesa mama single mother
Wewe ulivopingwa mwenywe ulisema kwamba alikwambia hana mke mwenyewe uliongea nauyo Dada alive itwa wifii kaongea surili yute mulifanya umo kukupinga ndovibaya ila nikweli alafu unabadilisha kwamba ulukuwa napesa mbona hukuongea Kwenyi tukio lakwanza wemuongo nahukuwa nahela ukweli ndoulioongea mar yakwanza baada yakupingwa na mume umesema umempingia Simu mumewake aka kwambia nitakupingia badae ndoasira ukaona namumeamekutenga Dada mumongo
Dada kwa kweli umedhalilishwa sana ! Pia usipende sana kujitokeza kwenye mitandao ya kijamii!
Ata wee dada piq sikuelewi kabisaa kwa nn ulisrmq alikuambia hana mke na wew sema unataka hako kalaki Tisa ufidie maumivu wote wajanja tu
Hii nikweli huyu dada malaya tu anataka kulipwa hana lolote malaya tu sasa mbona aseme amemwambia hana mke huyu mjinga tu we sema ulipwe tu utoke hapo nyau
Naona huyu dada apewe hela yake maneno mengi hayana maana hao ni matapeli
@@floramolel4283 kabisa! Toka Siku ya kipigo anaongea hihyo! Kwa kipigo kile unaweza kumbuka uliyoyaongea Leo?huyu Dada yuko sahii
Hata km hajaibiwa pesa wamlipe tu kaumizwa nakuzalilishwa janaume lenyewe lakishamba tu ameshindwa hata kod anakaa kwa shemeji yake looh..et nilikuwa na pk pk tano na gari moja,na mke nae kachapia mume wangu alikuwa na boda boda sita 😂😂😂 et vero kanifilisi khaa ulikuwa umefumba macho nyau ww.
Mtu kusema kuwa anamke si sababu hayo ni maongezi ya kawaida kabisa
Mbona inshu simpo tu .Huyu mama sikasema alitoa muamala basi waaze kufatilia muamala wa siku ya tukio
Mm yangu macho na masikio sababu ata sielew Ila uyu dada anasema ukweli japo ajazoea Mambo ya interview
Wew mama acha upuuzi ushafumaniwa na Mara ya kwanza uliulizwa na ukakubali Kila kitu as saiv unaleta maneno
SASA huyu bwana NA mke wake kama wanyosema kama nikweli mbona walikimbia kama kweli hao walipatana wafanye hayo walipe pesa za watu matapeli hao
Kabisa wale ni wababaishaji
Walielezea kwa Nini walikimbia, walitoa sababu walivyo hojiwa
Umeona
Uyu dada Ni muongooo jamani mungu atakuonesha utalipwa upya
Kwakweli dada kuwa wazi yule mama alikosea tu kukupiga ila ulifanya vibaya kutembea na mume wa mtu dhambi.
Jamaniiiii hakutembea naee
Hakunaga mme wa mtu saiv
Wakulipe hela zako short and clear
Ww Mama taarifa yako ni ya uongo.Huwezi kufikiria serikali penye kufumaniana.Acha tabia mbaya Mama.
Unauwakika
🤣🤣🤣aache tabia mbaya kwakweli
Aache umalaya
Malaya wahed
Mpeni dada wa watu pesa zake 😎😎
Yule mama sio chizi akupige tu vile dadaaa HAPANAAAH
Haaa yule mama jambaz na Mme wake kwani alikuwa anamuliza namba ako inashia na 26leo tena anasema anamjua hapana hao nimataper angalia vidio zake vizur sio uropoka tu
Shani uko sahihi
Yule ni jambazi kabisa
Matapeli wanapiga ua mmesahau ujambazi
Tapeli
Pole dada nenda mahakamani upate hakiyako