PART1:KIJANA ANAYEISHI NA JINI MWILINI/NINAWEZA KUJUA MAMBO YA KESHO/KIUMBE CHA AJABU KINANITOKEA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 51

  • @mikarubisha3331
    @mikarubisha3331 3 ปีที่แล้ว

    Salute sana Mr captain...nakubaliii sana story za Hawa viumbe...pole sana kwa mkasa huo.all the way from kush land 👍

  • @suleimaniyasri2166
    @suleimaniyasri2166 3 ปีที่แล้ว

    Utaponaaa inshaaalaaaaaaaaaah

  • @mohammedkhamisi2237
    @mohammedkhamisi2237 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sna shaby ufike na pemba mastory kama yote nyumbani

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

    Hatarii

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunapenda story nzuri nzuri kupitia kwenu Davista 👏👏👏😀

  • @beautyshine935
    @beautyshine935 3 ปีที่แล้ว

    Salute kaka golden boy 🇰🇪 🇰🇪 dada

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa mwenyezi mungu ameumba binadamu na majini bali kiumbe akiasi ndio anaitwa shetani

    • @abdulrahmanhassan9254
      @abdulrahmanhassan9254 3 ปีที่แล้ว

      @Mrs Inziani sikatai na unacho kuamini, ila majini wazuri wapo ukiamua kujifunza utaelewa, wanamuabudu mungu kama vile sisi binadamu wapo kila mathehebu wapo waskisto wapo waisilamu... wapo walevi, wazizi, wezi, waganga wa hospital wajadi, yaani kama vile binadamu nawao watawala zao. Tafuta maarifa kwa wenye maarifa utaelewa tuu

    • @abdallahrenatus524
      @abdallahrenatus524 ปีที่แล้ว

      Hapana. Sio kwel

  • @sophiasanga5218
    @sophiasanga5218 3 ปีที่แล้ว

    Pole kaka tumia msipo na maji ya madafu Allah atakupa nafuu inshaallah

  • @tiffaommy846
    @tiffaommy846 3 ปีที่แล้ว

    💃🏼

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kk allah atakulinda

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja Sana Mr Sheby Alaw

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 ปีที่แล้ว

    Twende Kazi...

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

    pole bro wngu Allah akufanyie wepes🙏🙏🇪🇭🇪🇭

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja tusikie kwanza 👂

  • @thb9561
    @thb9561 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye AT hapo mzee baba umeachwa nazan bado ujamjuwa kama ni yule wa mama nitilie au ni yup naona umekubali yaishe tu 😂😂

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana bro

  • @suleimani6212
    @suleimani6212 3 ปีที่แล้ว

    Ndio hom?

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว +1

    Number 3

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔🤔🤔

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @dikodixson22
    @dikodixson22 3 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda sana Zanzibar

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 3 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar mashetani ndo yalipo zaliwa r na hapo yapo tele

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    N5 bora pamoja saana sheby 💪

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

    Tumevuka maji sasa💪💪💪💪

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

    🙇🙇🙇

  • @Tuilumba
    @Tuilumba 3 ปีที่แล้ว

    Naona tangazo la DSTV hapo

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 ปีที่แล้ว

    Huko zanz c ndio wamejaa Majini hatar

    • @benjaminkiteleke8458
      @benjaminkiteleke8458 3 ปีที่แล้ว +1

      Majini wapo kila sehemu, hasa jirani na maji/bahari

    • @makame3524
      @makame3524 3 ปีที่แล้ว

      Shida ya cc binadam tunapenda kuongelea vitu tusivyovifaham.....majini wapo kila sehem

  • @tututz100
    @tututz100 3 ปีที่แล้ว

    NAIJUA KESHO

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 ปีที่แล้ว +1

      USHIRIKINA UMETAWALA MPAKA WATU HAWAOGOPI TENA KUSEMA 'WANAIJUA KESHO'

  • @yusuphkevini8266
    @yusuphkevini8266 3 ปีที่แล้ว

    Kiushauli umtakiwa kuwaoji watu ambao wanajua kuongelea story vizur

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 3 ปีที่แล้ว

      Watu wana maumbile tofauti tunajifunza pia kuwaelewa watu wasiojua kujielezea vizuri pia.

  • @johalisemalima6979
    @johalisemalima6979 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajua huwa nacheka vipi??? Mtu anakwambia vitendo vya kishetani.... vitendo vya kiucha MUNGU... kwahiyo kama hakuna shetani mwenyewe hivyo vitendo vya kishetani vinatoka wapi???? Haya tuseme na vitendo vya kiucha MUNGU.... MUNGU pia ni sifa.... hata mtu anaweza... kuwa MUNGU???? Watu tumekwama wapi????

    • @oscarkibate1913
      @oscarkibate1913 3 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha Leo mtu anawezakujua kwamba anamjua MUNGU lakini ufahamu ukawa potofu au uzembe wa kujifunza. Hiyo siku maajabu tutayaona kweli ila MUNGU atusamehe.

    • @johalisemalima6979
      @johalisemalima6979 3 ปีที่แล้ว

      @@oscarkibate1913 mie nilisha sema nikachoka eti hakuna shetani..ni sifa....

    • @mozuusuleiman4702
      @mozuusuleiman4702 3 ปีที่แล้ว

      Allah kasema wamakhalaktul jin wal ins ila liyaabudun. Tafsiri ni kua nimeimba Majini na Watu ili wapate waniabidu. So Majini wamegawika wema na wabaya. Na watu pia wema na wabaya. ukiwa na vitendo vibaya vya utakua shetwani jini wa kishetani wapo na mashetani watu wapo

  • @oscarkibate1913
    @oscarkibate1913 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna Shwaitan? 🤣🤣🤣🤣