TUKIO MOJA LILILOFANYADUNIA KUFIKA ZANZIBAR MWEZI HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #Zanzibar #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    cc: Sadia Rashid
    cc: Masoud Maganga

ความคิดเห็น • 90

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +21

    Allah azijaze kheir nyoyo za waislam wote,nawaombea kila wote mlokusanyika Allah apokee dua zenu na kuwalipa mema dunian na akhera ameen yarab

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว +6

    hudhuni katika nafsi yangu walimu wa hizi shughuli hasaa ni wale waliokuweko gerezani Inshaallwah Allwah awafanyie sahali watoke Amen.

  • @sadamsellem173
    @sadamsellem173 4 ปีที่แล้ว +1

    SUBHANAALLAH ALLAH AKBAR ❤️waislm sot n ndugu tushikamane tusaidiyan 🙏🙏🙏YA RABBY TUJALIYE TUTIMIZE NDOTO ZETU ZA KWENDA MAKKA KUHIJI AMIN 🙏🙏🙏

  • @zawadkhatibu9050
    @zawadkhatibu9050 5 ปีที่แล้ว +3

    Amiiin mungu atuzidishie iman

  • @khadijahkhdoo6387
    @khadijahkhdoo6387 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah uislamu tamu,tnx ktv kwa habari njema

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 ปีที่แล้ว +1

    Wznz wabaguzi vip na kila mmoja nataifa Lake ivo wa tanganyika nyinyi mnatupenda?

  • @sadaukovizurikakanyimbozak6753
    @sadaukovizurikakanyimbozak6753 4 ปีที่แล้ว

    manshallah Allah awazidishie

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +3

    SHUKRAN KTV TZ ONLINE KIDOTI HAKIKA HII NI FAHARI YETU

  • @allyissalipawe2118
    @allyissalipawe2118 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah awalipe mbadala iyo ni mihanga ya kutafuta radhi za Allah.kwenda kupata fikra na imani iyongezeke

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว

    Naam naam dadaangu hakika hujakosea maneno yako yapo sawa shukran

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awape umli mlefu wenye kufanya yakumpendeza allah ! wallah nilishtuka nikajua maiti apo mana kilicho ndani na kilicho nje ya kichwa cha habari ni kingine laa hawla wala quwwata illa billah

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 5 ปีที่แล้ว

      Maashallwah wewe mtanganyika lakini sio mjinga kama wenzako Allwah akubariki,na kwa upole nakukosowa sio umli bali ni umri sawa?kiswahili ni lugha tabu sana kama ww sio mswahili sawa?

    • @shamimasalim6912
      @shamimasalim6912 5 ปีที่แล้ว

      Solomon Adams 😂😂😂asante sana mana kushtuka nayo inachangia ! ALLAH akulipe kwa kunikumbusha

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah atujalie uhai 2020 in shaa Allah tukutane tena ktk afya njema uisilamu raha sana.

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah na mm nilitamani niendee Allah anifanyie wepesi siku nyengine

  • @komanyaamin6732
    @komanyaamin6732 5 ปีที่แล้ว

    Allahuma tujalie umma wa kiisilam pepo yako ya Rabbi

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kichwa cha habari nahisi kipo sawa tu, ukitoa hilo kosa la kutoacha space. Hivi kwa mfano unaposema, ukifika mfunguo 3 dunia nzima huelekea Makka kwenda kuhiji inamaanisha Makka sio duniani?

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 ปีที่แล้ว

    jazzaka Allahu hairaa Allah awazidishe iman

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah. Allah baarikk

  • @rajabuhassani1105
    @rajabuhassani1105 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKBAR

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว

    Yaarab iongoze znz kwa mema.. Na uwaokoe waislam wote na upotevu.. Na uviongoze vizazi vyote

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah azidi tufanyia wepesi

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว

    allah atuwafiqishe

  • @FatmaSalim-k2b
    @FatmaSalim-k2b 20 วันที่ผ่านมา

    Vuq onlan
    2:17

  • @ahrasamr100
    @ahrasamr100 5 ปีที่แล้ว

    MA SHA ALLAH

  • @adam5ramadhan154
    @adam5ramadhan154 4 ปีที่แล้ว

    Namuomba Allah azidumishe ijtimai

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah atabali maombi yenu 🤲🏼

  • @aminaburundi5210
    @aminaburundi5210 5 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @allysaid6742
    @allysaid6742 5 ปีที่แล้ว

    Khuruju Fiysabililah wada'awatu ILallah

  • @fatmahamed3285
    @fatmahamed3285 5 ปีที่แล้ว +3

    Vaileth acha ujinga ww uo ubaguz wa zanzibar si mmeulet nyny watanganyik pia jua sehem gn unatuma coment kama hutupend wazanzibar ss twajipend na umoj wetu ndio mnaumia na mnaon wazanzibar wabaguz

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 5 ปีที่แล้ว +1

      Allah atuzidixhie upendo wetu wazanxibari

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว

      @@khajumkhamis7910 Allah atuzidishie tupendane waisilamu wote dunia zima hata wale maadui wa uusilamu Allah azifanye nyoyo zao ziwe zenye utu ktk hii dunia ili kupatikane amani dunia zima. Mnafiki Mkubwa ww.

    • @chamamichbabu2946
      @chamamichbabu2946 5 ปีที่แล้ว

      @@zayyatiyussuf9566 aamin yaarabil aalamini

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว

      @@chamamichbabu2946 Allahumm amin

    • @vailethmbwambo8850
      @vailethmbwambo8850 5 ปีที่แล้ว

      fatma HAMED mhhhhhhhh sifa ya mdomo kutamka Ila sasa kinachotamkwa,,,,ukweli nyie wabaguz na huyo mungu wenu hana hasira

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

    😲Kushangaa mwisho mala moja dunia imefika zanzibar 🤗 swali na Zanzibar imefika wapi?Ktv tz online kidoti swali hilo🙄😞

    • @ukhtysakinaa7664
      @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว

      😂😂 inaonekana iko kwa planet nyengine sasa ndo ishafikiwa na dunia

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ukhtysakinaa7664 😂😂😂😂😂😂😂MUACHIE KTV TZ ANIBU

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 ปีที่แล้ว

      Me nauliza, kwani unaposema mwaka 2022 dunia nzima itaelekeza macho yao Qatar kufatilia michuano ya World cup; unakuwa unamaanisha Qatar sio duniani?

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 ปีที่แล้ว +1

      Au unaposema ukifika mfunguo 3 dunia nzima hukimbilia Makka kwenda kuhiji inamaanisha Makka sio duniani?

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 5 ปีที่แล้ว +1

      @@zayyatiyussuf9566 ZANZIBAR imefikia ktk planent ya Mars ila kama ww unazidi kutuekea chuki achana nasi coz naona comment zako nyingi sana ya kwamba unaonesha ubaguzi na utofauti ila umesahau kama dini moja sisi

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤

  • @mariakayuni5782
    @mariakayuni5782 5 ปีที่แล้ว

    Dunia kufika Zanzibar huhuhu hahahahaha sorry kwa atakae kwazika nacheka tu kichwa cha habari

  • @zenj1986
    @zenj1986 5 ปีที่แล้ว

    Mwanzo mumeonyesha msikiti wa kiembe samaki na watu wake ndani na baadae munatuonysha picha ya watu wamelala. Mbuna hamueleweki!!!!!

  • @daudipaulomatanga6479
    @daudipaulomatanga6479 5 ปีที่แล้ว

    ewe ya allahu tujaalie heri

  • @idrisaabkar8439
    @idrisaabkar8439 5 ปีที่แล้ว

    mtangazaji rekebisha maneno yako hii haifanani na hija hata siku moja

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 5 ปีที่แล้ว

    🤲🙏😭

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

    Hayo matangazo yenu yanakera

  • @vailethmbwambo8850
    @vailethmbwambo8850 5 ปีที่แล้ว

    wazanzibar walivyo wabaguz huyo mungu wao yuko wap

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 ปีที่แล้ว +1

      Astaghfirullah sasa ww unafanya nini uandishi wako tu inaonekana na ww mbaguzi .mufike pahala muzingatie yanayompendeza mumba .

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +1

      Usiseme maneno mabaya kwa wenzio fikiria kabla ya kuanza kuandika au kuongea.

    • @salimjuma9815
      @salimjuma9815 5 ปีที่แล้ว +1

      Elimu muhimu maana kwa jinsi ulivyoiandika iyo coment yako tu imejuulisha kama haufai ht kueka mahojiani kasome kwanza ndo utaujua ukwelia

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 5 ปีที่แล้ว

      Maninawe weh mshenz nn ubaguz si nyny mmeanz na wazanzibar mung wetu Allah kaa kimya pumbav weh

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 5 ปีที่แล้ว

      Muogopeni mungu mjinga usimjibu

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah