MBOWE AFUNGUKA “NITACHUKUA MAKOMANDOO, WADOGO LAKINI BALAAH, NAWAHITAJI MAKOMANDOO”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 265

  • @revocatuscharles934
    @revocatuscharles934 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko wote kwa mahandamano mr mwenyekit nikiwa pande za karagwe mkoa wa kagera

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +3

    Sawa kbs safi sana jibu zuri sana kuna swali lingine?

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว +8

    Km sijaelewavle hayomatamshi yanamaanagani au yanafaidagani kwa wtz nataifakwaujumla?

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hapo kwenye kutengeneza jeshi makomamdoo hapana tunaenda kwingine huko nikuombe usiongee hiyo kama niwalinzi waajili lakini usiseme hicho ulichosema. Alafu musimuongee magufuli hivyo ukisema mwenda zake huku linatafasiliwa tusi

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 2 ปีที่แล้ว +4

    Ulizi nimuhimu

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 2 ปีที่แล้ว +4

    Hapo pa Makomandoo!! Yawezekana ndo tatizo lako kubwa!

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 5 หลายเดือนก่อน

    Pole na kazi mzee mbowe manakazi yako ngumu kwelikweli bila moyo wa wito huwezi kufanya

  • @musasaid559
    @musasaid559 2 ปีที่แล้ว +3

    Unajua kule jela sio pahala pazul wenda ameanza kuchanganyikiwa

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo we unapambana na dola sio?

  • @valencemateru544
    @valencemateru544 2 ปีที่แล้ว +11

    Aise umenifurahisha wadogo lakini balaa

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 2 ปีที่แล้ว +11

    Hakika we ni GAIDI acha hao wapuuzi washan gilie

    • @andersonmwenda6390
      @andersonmwenda6390 2 ปีที่แล้ว +1

      Aliye timamu anakuona ww ndiyo mpuuzi,mjinga mwendokasi,kwa kuwa kajibu swali aliloulizwa

    • @musason1680
      @musason1680 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu n gaid t ety kupambana na Dola

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Charles huyo ni gaidi kabisa maneno yake tu yameshawaingia vizuri watanzania walikuwa wanamtukana igp siro sasa sikia anachosema

  • @jongwemomumo8729
    @jongwemomumo8729 2 ปีที่แล้ว +5

    Halafu mlikataa kuwa sio Gaidi 😇😇😇

    • @Teksani
      @Teksani 2 ปีที่แล้ว +1

      Nini maana ya Gaidi?

  • @kainimlowe7555
    @kainimlowe7555 2 ปีที่แล้ว +8

    safari hii watakuunganisha na zumaridi

    • @deus8629
      @deus8629 2 ปีที่แล้ว +1

      Umenichekesha... Mbowe ni Kiongozi BORA watu wachache ndo wanaomuelewa

    • @asiaokelay8421
      @asiaokelay8421 2 ปีที่แล้ว

      Zumaridi no 2 kabisa

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว +6

    Wewe pia huishi milele Mbowe huna aibu ,hayo maneno yatakukost

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Rose huyo hachukui dulu muda si mrefu safari imeshamuivia acha amtukane tu hayati magufuli

    • @benosilwani5208
      @benosilwani5208 2 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 Hata wewe safari imeiva, hakuna mtu atabaki. Utakufa pia.

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 2 ปีที่แล้ว +3

    Na ww utakua mwenda zake tu nikajua unaakili kumbe ni tope tu

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 2 ปีที่แล้ว +3

    Gaidi... Itakuwa ni kweli!..

    • @desderiusluoga7736
      @desderiusluoga7736 2 ปีที่แล้ว +3

      watanzania wengi hatuna uelewa gaidi angetolewa jela

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

      No one like kwani serikali ilikuwa ni wajinga maneno yake si hayo mitandaoni yanatoa jibu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaani jasho hilo lote na matamshi hayo ili uchukue nchi kweli? kwa hali hiyo?

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Charles musiba hana ubavu huo serikali siyo ya wajinga anajimaliza mwenyewe mitandaoni kuwa chama cha magaidi nani anataka vita kama vya Ukraine

    • @JohMalila
      @JohMalila หลายเดือนก่อน

      ​@@margarethpolepole7438asiwe na walinzi afee sio mvaage viatu vya watu muoñe

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 21 วันที่ผ่านมา

    Good person

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmh haya bana

  • @mosesmwafwenga3012
    @mosesmwafwenga3012 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweliiii

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 18 วันที่ผ่านมา

    Yes

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 2 ปีที่แล้ว +7

    Hawa wapuuzi et mwendazake ww umepoteza baba mkwe mdogo kwaiyo nao wendazao ht ww utaenda

    • @andersonmwenda6390
      @andersonmwenda6390 2 ปีที่แล้ว +1

      Umekuwa mjinga mpaka kiswahili kinakushinda?!!

    • @amenaameeena3317
      @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว

      Mwendazake sio tusi jamani Acha kumshambulia mbowe mwendazake ni marehumu ILO neno linatumiwa na WA Kenya Ivo Kwa Tz tumezoea kuitwa Hayati au marehemu

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว

      Cha moto huyo GAIDI MBOWE atakiona.

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว

      Na yeye atakuwa mwenda zake, mpumbavu sana

    • @ernestwegga6557
      @ernestwegga6557 5 หลายเดือนก่อน

      Hana hekima. Kila mtu ataonja mauti. Inauma sana kumhusisha Jpm na mambo yake

  • @calvinlameck1577
    @calvinlameck1577 2 ปีที่แล้ว +1

    We taila tu

  • @ramadhanimtambo6755
    @ramadhanimtambo6755 ปีที่แล้ว

    Mhe mbowe kua na walinzi wastani tu nchi inapokua na uongozi bora wa kutosumbuliwa wewe na Jenga Imani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama Kwa wakati huu wa demokrasia makini Toka Kwa mama kama unavyomuamini mama .tunakupenda waaelimishe viongozi wengine siasa za ustaarabu Kwa nyakati mambo yalivyobadilika ahsante

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +5

    Haya mama samia waajiri wote waliongia jeshini jkt mbowe atawabeba wote mkiwaacha jibu ndilo hilo analitoa hadharani vita hiyo viongozi wa dini waliomuombea kwako amekwisha wageuka

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 2 ปีที่แล้ว +2

      Hizo ni akili zako hazioni mbali Kama bata

    • @georgegerald4153
      @georgegerald4153 2 ปีที่แล้ว +2

      hacha kupotosha vitu wewe...Mbowe kasema kuwachukua kwa ajili ya ulinzi wao binafsi dhidi ya watu wasio julikana.

    • @meshackmpalanga9130
      @meshackmpalanga9130 2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kuwaombea vijana wetu ajira kinamna

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +7

    Mhuni tu uyu kashazeeka t n uchu wa madaraka tu unamsumbua hana kt anadhan yeye ataishi milele

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Kwa kupata urais au kitu chochote aombe mungu sana musa amekwisha huyo amekuwa kama chizi

  • @vradmirlenin8290
    @vradmirlenin8290 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeanza tena kubweka

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 21 วันที่ผ่านมา

    Maneno yahovyo

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 2 ปีที่แล้ว +3

    People's💪

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 ปีที่แล้ว +3

    Chama makini

  • @sosomacharles6685
    @sosomacharles6685 2 ปีที่แล้ว +5

    Na ww utaenda tu huwezi kwepa,ww dhihaki tu.

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 9 หลายเดือนก่อน

    Siasa mh!

  • @deuslucas2256
    @deuslucas2256 2 ปีที่แล้ว +1

    Muhuni

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 ปีที่แล้ว +9

    Hiii ni atari kwa usalama wa nchi hatuwezi kwenda ivi yaani siungi mkono kabisaa hili swala.serikali iliangalie hili swala kwa mapana na kwa mstakabali wa nchi 🙌🙌🙌🙌🙆🙆🙆🙆😀

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Tena serikali mwiga imfuatilie kwa makini huyu ni gaidi kabisa

    • @mwigakatumpula6852
      @mwigakatumpula6852 2 ปีที่แล้ว +1

      @@margarethpolepole7438 alipo niacha hoi pale anasema hawa makomando nawatumia maana serikali inawafundisha matumizi ya siraha harafu wana wa fukuza KAZINI sasa sisi tutawatumia. Kwanini nasema ni atari kwanza mtu alikua mtumishi harafu afukuzwe kazi unadhani atakua na mapenzi na serikali yake apo?!

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu kuna kitu sio bure mbona amekua na makali hivi aisee 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

      Edger nandonde huyo jela imemtia uchizi na muda si mrefu atamfuata huyo mwendazake anaemtukana

  • @yahayakikoko740
    @yahayakikoko740 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe namba kwa kupendwa dunian.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Yahaya usimfurahie huyo anatumiwa kuleta vita na anapewa pesa wewe unaweza kuikabili vita angalia Ukraine

  • @arbogastmireni2004
    @arbogastmireni2004 23 วันที่ผ่านมา

    2 ago tena tupe update ya leo

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 ปีที่แล้ว +3

    Walipe ..wakulambe..wasaliti

  • @musasaid559
    @musasaid559 2 ปีที่แล้ว +3

    Ameanza kuvulungwa ila ukae ukijua kua baba wakambo namama wakambo bora baba wakambo endelea kulopoka watanzania wapo watakuombea tena boya wewe

  • @cpamussamwampamba2917
    @cpamussamwampamba2917 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatari sana..... Hilo halikubariki kabisa.....

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 ปีที่แล้ว +3

    Peoples power

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani mmmh sisemi kitu napita tu

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kaachiwa juzi kishaanza kiburi na uchochezi

  • @TheLovejoyz
    @TheLovejoyz 2 ปีที่แล้ว +4

    Una takakupinduwa nchi

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      The livejoyz hana ubavu huo na wanamsikiliza tu kwani serikali ni wajinga atarudi aliko toka waliomuombea msamaha siwanamsikia hao viongozi wa dini

    • @monalisaally4387
      @monalisaally4387 2 ปีที่แล้ว

      @@margarethpolepole7438 yaan wanamsikia maneno yake ovyoo kabisa

  • @EmmanuelMolel-p6t
    @EmmanuelMolel-p6t 23 วันที่ผ่านมา

    Kabisa

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaani kweli jpm ....?

  • @enocksosthenes4505
    @enocksosthenes4505 2 ปีที่แล้ว +9

    Mwenda zake ni neno linatumika zaidi Kenya likimaanisha marehemu japo halitukiwi kwa watu wenye nyadhifa katika jamii hata Kenya hiwezi ukalitumia kama mbadala wa Hayati. Hapa kwetu Mtu wa hadhi ya JPM linatumika Hayati ndo maana huwezi hata tumia neno Marehemu mfano kwa Nyerere etc. Hivyo heshima tuliyohiwekea ikabaki kuheshimiwa na kulinda matendo ma ya viongozi wetu.

    • @bahatimallya32
      @bahatimallya32 2 ปีที่แล้ว +1

      Inategemea huyo mwenda zake aliishi vipi nawatu binadamu uwezi kuwaonawezako hawasitahili kuishi wakati wamezaliwa kama wewe anasitahili kuitwa mwenda zake

    • @shadymbuki87
      @shadymbuki87 2 ปีที่แล้ว +1

      @@bahatimallya32 taahira wewe huwezi kumuita mkuu wa nchi mwendazake, endeleeni yajayo yanafurahisha.

    • @kelvinwilliam5145
      @kelvinwilliam5145 2 ปีที่แล้ว

      Wafu hawajui neno lolote

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo mmezoea kuheshimu mtu kinafiki,ndiyo maana tutabaki kuwa maskini.

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 2 ปีที่แล้ว

      Kesha anza , huyu kwanini ametoka, mmeona , jeshi ni moja la tanzania nzima, kwanini awe na majeshi yake,, kama ni mabodigar sawa, lakini majeshi, jamani kuweni makini majeshi ya kujitemea ndo yanaleta fujo inch za jirani , tuyakuja kulia, mkiwachia wafanye wanavyotaka

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 8 หลายเดือนก่อน +1

    mbowe baba wa democracia tz hata mama wa taifa mama maria nyerere anamjua mbowe ni baba wademocracia kama rais mstaafu wa congo joseph kabila kabange arie tengeneza katiba ya marithiano DRC na kukubali kun'gatuka nakura maisha kwa heshima mpaka afe bira maneno tatizo huku tz mama wa kambo kanogewa na utawala na kuiba mali kam jk wa angushamizoga kila miaka ajui ipo zamu yake yaja nae atakua mzoga tuu amina

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 21 วันที่ผ่านมา

    Tupo pamoja mweheshimiwa itakaa sawa

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @abdumpunda4026
    @abdumpunda4026 2 ปีที่แล้ว +2

    Unajua kusma vibaya marehemu magufufuli ni vibaya tambua hata wewe utaishi milele na jeuri hiyo unaitowa wap?

  • @MohammedAwadh-gq9si
    @MohammedAwadh-gq9si 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo unaunda jeshi la kupindua serekali?

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +4

    siasa si maneno ya ovyo juu ya washindani wako bali sera za maana zenye maono ya kumaanisha kuijenga nchi na maendeleo ya wananchi... eee Mwenyezi Mungu Tukumbuke WaTz

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 2 ปีที่แล้ว

      Kwani ww unasemaje?

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว

      @@kisangageorgethomasi2830 😂😂😂😂

    • @YEHOVATV-mz6sp
      @YEHOVATV-mz6sp 8 หลายเดือนก่อน

      BEBA KAMUSI YA KISWAHILI HALAFU SOMA MAANA YA NENO SIASA.SIASA NI MFUMO WA JAMII WA KIUCHUMI AU KIUTAMADUNI.PIA SIASA NI MAAMUZI YA BUSARA ILI KUFIKIA JAMBO FULANI .Siasa sio MANENO YA HOVYO JUU YA WASHINDANI WAKO.

  • @lovely-mq4rg
    @lovely-mq4rg 2 ปีที่แล้ว +3

    Amechoka

  • @simonlugalila5554
    @simonlugalila5554 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa kiongozi

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +1

    Mshaambiwa yee ataendelea kupambana na Dola dadeki huyu angesota t uko

  • @mromalais900
    @mromalais900 หลายเดือนก่อน

    Kwawale wasioelewa wametuma message mfano wa wapizani wenyewe...nikwamba
    Ako sahihi kutengeneza ulizi wake na pia wa viongozi wengine kutokana Wanao tekwa na kuwawa ni viongozi wa chadema na sio wa CCM...
    Nalengo sio kukabiliana na Dola...nikujilinda zidi ya watekaji..?

  • @timotheeciza1592
    @timotheeciza1592 2 ปีที่แล้ว

    Only God can protect you.

  • @fidahusseinkassim9778
    @fidahusseinkassim9778 2 ปีที่แล้ว +6

    Tuwe makini watanzania,siasa inapoenda sio sawa, tushikamane tujenge nchi yetu, viongozi wawe makini na maneno wayasema,

    • @nasrahassan7346
      @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +2

      Hakika

    • @shijamasunga6889
      @shijamasunga6889 2 ปีที่แล้ว

      Hata uasi unatengenezwa hivihivi ni process unaweza sema ni watatu kesho wakawa 50 ww Bila kujua wakifika mia ndo unastuka kumbe ni hatar eee too late

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว +4

    Mbowe wewe ni kichaa sana eti mwenda zake!!!mpuuzi sana

    • @abdiraheemsheikh5409
      @abdiraheemsheikh5409 2 ปีที่แล้ว +1

      Unataka amuite jina gani ? Unaelewa maana ya mwenda zake unataka amuite mungu au.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +2

      Rose huyo anasumbuliwa na laana na akirudishwa gerezani ndiyo imetoka acha abwabwanye tu

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni mwendazake tu ndio jina linalomfaa... mbona haitwi Mkapa mwendazake.. ukiishi wa watu vibaya ndio matunda yake hayo.

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 2 ปีที่แล้ว +1

      Mwenda zake kama mwenda zake😂😂😂😂

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 ปีที่แล้ว +5

    Kweli itachukua wakati kwa wapinzani ukiwa na hamasa sana saa ingine yanakutoka maneno ya ajabu

  • @veriusechrispin9971
    @veriusechrispin9971 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli nimeamini hamna siasa bali mnamapambano na serikari

    • @enocksosthenes4505
      @enocksosthenes4505 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani wanapambana na Hayati. Hii inaonyesha ni jinsi gani chuki zao ni za hybrid na sio za kawaida.

    • @veriusechrispin9971
      @veriusechrispin9971 2 ปีที่แล้ว +1

      Haswa kaka na tukiendekeza siasa za namna hii tutalipoteza taifa letu zuri tulilo pewa na mwenyezi mungu R.I.P Baba John Pombe Magufuli

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว +1

    Muheshimiwa Mbowe najuwa kabisa wewe ni msomi na unao uwezo mzuri wa kuongoza ila kitu 1 nakiona kwako kwa sasa hutumii muda vizuri.
    Wananchi kwa kweli walio wengi wana mzigo mzito wa maisha mgongoni
    - mfumuko wa bei
    - tozo
    - kodi sumbufu
    - rushwa
    - mauwaji holela
    - ugumu wa kujitibia
    Ila kamanda sisi wanachama wako tunakusikiliza mwanzo hadi mwisho ila hamna sera hata moja ni kulalamika tu.
    Nadhani huyu muda ulikua mtaji mzuri wakuanza kunadi sera zako hayo ya makomando ni yako binafsi.
    Juzi ulikua hai ukasifiya police Leo tena umekuja na la makomando.
    Kitu hamjuwi wa tz walio wengi kwa sasa wako njia panda hawana la kufanya hamna mtu anafurahia Tozo ila 😷😷😷

    • @emanuelmargwe7087
      @emanuelmargwe7087 2 ปีที่แล้ว

      Kila Jambo na wakati wake, jamaa ndo ametoka gerezani. Hapo hapo aanze na Bei ya sukari 🤣🤣🤣

    • @munguhashindwijambo2681
      @munguhashindwijambo2681 2 ปีที่แล้ว

      Mbunge wako kazi yake nini?
      Kwanini humwambii mwakilishi wako halali badala yake unasumbuka na mtu asiyemwakilishi wako?
      Mkuu nenda hata kwa polisi, mkuu wa wilaya mkoa, watakusaidia mapema zaidi

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 ปีที่แล้ว

      @Pius Mpilu
      Mbunge Mimi ni Mbowe, kamanda wangu ni Mbowe sasa unaona sina uhalali wa kumuomba atusemeye?

  • @patrickkagito3376
    @patrickkagito3376 2 ปีที่แล้ว +2

    Huna akili wewe

  • @georgemhalla8853
    @georgemhalla8853 2 ปีที่แล้ว +11

    Mbowe umenikera Sana, uliiposema mwendazake! Marehemu lazima astiriwe pls, kuanzia Leo sio shabiki yako Tena. Cz nilikua nakuona mtu wa maana sana, Ila kwa kauli yako hiii yaani ni bure kabisa wew

    • @DAINOSSA
      @DAINOSSA 2 ปีที่แล้ว +3

      Futa i coment yako

    • @bahatimallya32
      @bahatimallya32 2 ปีที่แล้ว +4

      Wewe nenda tu tupowengi mnoo maana mwendezake alijiona Mungu mtu

    • @siddyoneonlinesi5433
      @siddyoneonlinesi5433 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwan bado upo

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 ปีที่แล้ว +3

      Acha kuongopea watu huwezi kuwa mpemzi wa mwendazake at the same time ukampenda Mbowe vitu viwili tofauti we chapa mwendo tu tena faster

    • @marcominja8850
      @marcominja8850 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbona hakuna ubaya wa hilo neno! Angalia kamusi ya kiswahili maana yake aliyeenda mbele za haki, kwa kiingereza departed.

  • @hoseajackson8127
    @hoseajackson8127 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna siku nilisema serikali ya ccm imekwenda kumnoa mbowe c kumkomesha wala kumdharirisha na kibaya zaidi tz ya leo c ile ya 84 watu wameelimika wanajuwa ukweli,

    • @onesmothimos2635
      @onesmothimos2635 2 ปีที่แล้ว

      Una maa Nisha Nini mwendazake acha pigo izo ile hotuba ya kanisani Nita ipuuza ukiende Lea kutumia neno ilo Kwa Alie kuwa kipenzi Cha watanzania

  • @elizabethnzunda9223
    @elizabethnzunda9223 ปีที่แล้ว

    Kuwatumikisha tu watt wa wenzako

  • @ALBERTNyemba-uk3fr
    @ALBERTNyemba-uk3fr 21 วันที่ผ่านมา

    Jidanganyeeeeeeeee

  • @benphonerepair
    @benphonerepair 2 ปีที่แล้ว +1

    Hyu jamaa msnge Sanaa

  • @davidsimoes3171
    @davidsimoes3171 2 ปีที่แล้ว

    A Pergunta é isso , ou seja esse Senhor é ou não Corrupto........??

  • @kuntakinteomolo2832
    @kuntakinteomolo2832 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona sasa ulikamata kama kuku na hao makomandoo walikuwa wapi mzee

    • @davidnyambuche352
      @davidnyambuche352 ปีที่แล้ว +1

      Akikamatwa kihalali na maafisa wa polisi wanaojitambulisha hakuna shida na kwa njia hiyo hawawezi kumuua wala kumdhuru maana wanakuwa washajulikana, makomandoo wanamsaidia kudeal na wasiojulikana na wale wanakamata watu kisirisiri ili wawadhuru bila kujulikana.. Hapo sasa ndo watakutana na makomandoo

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 19 วันที่ผ่านมา

    Yaan mamae zako we unadhani Mungu akiamua kuna mlinzi hapo? Wananchi mkitaka kujua huyu mjinga anatafuta vita ndyo muone hicho anachokisema serikali kaeni mkao wa kula c amesema yy mwenyewe? Sasa nadhani umefika wakati wa kuwachunguza vizuri watu kama mbowe. Et komandoo Mungu akiamua unatembea ww hamna komandoo hapo ni mbwembwe tu.

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 2 ปีที่แล้ว +6

    Chadema Genge la wahuni tu

  • @noelymwakasege2428
    @noelymwakasege2428 2 ปีที่แล้ว +1

    Tukumbuke kuwa hakuna mtu hata kuwa mwenda zake Kila mtu ataitwa kwa muda wake wew fulai sana kuita mwenda zake kesho mim keshokutw ww mungu mpunzishe ralam rais magufuli

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mkuu

  • @yussufrabba2282
    @yussufrabba2282 2 ปีที่แล้ว

    Nini maana ya mwendazake????nisaidieni I'm from Burundi but living in south africa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว

      Yusuf mwendazake ni kiumbe aliyefariki na kiswahili hiki kinatumika sana mombasa Kenya

  • @Mufti-c7t
    @Mufti-c7t 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa una lengo gani mpaka unakusanya makomandoo? Unajua mkubwa hua hatishiwi nyau? Kutafuta makomandoo wasio na zana za kikomando nisawa na mbwa asie na meno sawaaa?

  • @KangalaMabula-r5l
    @KangalaMabula-r5l 22 วันที่ผ่านมา

    Manyanyasotu hayo waacheni nawezenu wapate iamani

  • @jastininjano262
    @jastininjano262 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mbowe

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi napita tuu nisiongee vibaya kesho nikajikuta kuleeeee Ila mama wetu anatoshaaaaaa kazi iendelee

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว +2

    Red brigade 🤔

  • @kambonamahmadoo6814
    @kambonamahmadoo6814 2 ปีที่แล้ว +4

    HAWANA KITU hawa wachumia tumbo,,wananunulika KIURAHISI,,hawa ndio wale walioambiwa na mwalimu, kuwa wana tabia za kimalaya malaya

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

      Tena sana kambona lakini tuwe na tahadhari nao

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 2 ปีที่แล้ว +1

      Akina nani hao? Inaonekana akili yako ndogo hujui unamsema nani

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba jamani

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenda zake wewe mwendawazimu

  • @Mufti-c7t
    @Mufti-c7t 8 หลายเดือนก่อน

    Ushawaponza ao daah!

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa hana akili aliposema neno mwenda zake t ndipo nimeamin hana hata sifa ya kuwa kiongozi ni mhuni t ambae serikali inamvumilia kwa kuogopa makelele ya watu ila ingemwacha asote t uko na huyu mama asipokua makin hawa wahuni watatufikisha pabaya. Mtu hata hajifunzi ety mwenyekt wa chama hata marehem unashindwa kmstr

    • @patientlazaro6930
      @patientlazaro6930 2 ปีที่แล้ว +1

      Alafu hao makomandoo wanakazi gani.? Kama wanakuwepo na yeye anakamatwa hakuna haja yabkuwa na hao walinzi hawafai. Nenda kamkamate mkuu waheshi na walinzi wake wapo uone😉. Siasa hizi mbovu sana

    • @patientlazaro6930
      @patientlazaro6930 2 ปีที่แล้ว +3

      Mie mwenyewe alipoosema mwenda zake nimemuoa wajabu.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbowe akili yake finyu sana haoni aibu kauli za matishio ,huyo alitakiwa aendelee kukaa mahabusu, etc anajifanya kuriingaaa

    • @musason1680
      @musason1680 2 ปีที่แล้ว +1

      @@patientlazaro6930 kabisa huyu n mpuuzi t

    • @ernestlaiza6084
      @ernestlaiza6084 2 ปีที่แล้ว

      Hata huna akili ww

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 ปีที่แล้ว +3

    #NONSENSE

  • @storytownTv
    @storytownTv 21 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 apo nimekupongeza sana kwa ilo , maana ni kwel serikali unachukuwa vijana wakujitolea kwenda jeshini wanapewa mafunzo afu haiwaajili badala yake inawatelekeza mtaa,, apo ukiwachuwa mbowe utakuwa umelamba madume..kwel kwel .😂

  • @shijamasunga6889
    @shijamasunga6889 2 ปีที่แล้ว

    Ama kweli mama anaupiga mwingi kama wengi wanavyosema 😀😀😀

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว +3

    Wera wera. Mbowe komando ni mihimu

  • @LeonardGilbert-ox5ul
    @LeonardGilbert-ox5ul 21 วันที่ผ่านมา

    Saf san

  • @francomsaki6007
    @francomsaki6007 2 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe pia mwenda zako mtegemewa wali kuramba ww na makomandoo wako

  • @SampleKiller99
    @SampleKiller99 2 ปีที่แล้ว

    Amiri Jeshi wa Red Brigade.. 🤪😝

  • @willymdeka6034
    @willymdeka6034 27 วันที่ผ่านมา

    We jichanganye tu utakuja kujuta tu

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid 12 วันที่ผ่านมา

    Kwa Nini serikali inaachia uundwaji wa jeshi kwa upinzani hao wataleta shida ya machafuko

  • @sixmakochogilbert3331
    @sixmakochogilbert3331 ปีที่แล้ว

    Tupo tayar kuungana na ww mbowe

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf 22 วันที่ผ่านมา

    Mandamano yahaki nilazima

  • @kennethmwalukama2009
    @kennethmwalukama2009 2 ปีที่แล้ว +3

    Katika nchi yoyote Ile Sahi kuwa na amiri jeshi wa kuu zaidi ya mmoja . Na majeshi zaidi ya moja Kila moja na amri zake. Mbowe unachemka.

    • @asiaokelay8421
      @asiaokelay8421 2 ปีที่แล้ว +1

      Kachemka sana tu

    • @annestamwinuka
      @annestamwinuka 2 ปีที่แล้ว

      Anamaluweluwe ya magereza bado hajamtoka sawasawa maana hata nachokiongea hakieleweki sijui amekuwaje yan point zake ni kama za visas shauli yake atarudishwa

    • @Fukaramsomi
      @Fukaramsomi 2 ปีที่แล้ว +1

      ni jambo la kawaida hilo mbona wanajeshi kibao hata nje wakimaliza majukumu majeshin huja mitaani kuanzisha huduma hizi za VIP Protection kwa wenzetu ulaya ni mambo ya kawaida tu

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 2 ปีที่แล้ว +6

    Mbowe hafai kuwa kiongozi hata wa Kijiji hajielewi..sawa na mnywaji wa bangi tu..hajielewi hata kidogo..juzii tu katoka korokoroni kwa huruma na kaongea mbele ya rais tufanye siasa za kistaarabu leo anaongeza utumbo..huyu jamaa keshafilisika kisiasa.

    • @manenombuma3987
      @manenombuma3987 2 ปีที่แล้ว +1

      Kheri yako ww tajiri mwenye mawazo mgando.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa hata kijiji hawezi mchonganishi mkubwa