MAJIBU KWA OSTADH SAID WA MAMBRUI || Muhammad Bachu || 28/7/2023.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 510

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym ปีที่แล้ว +31

    Ustadh ALLAH akuzidishie ujasiri, kuwashinda madhalim. Imefika wakati saivi kuvumilia uongo unaozushwa kwenye dini usivumiliwe tena, manaake yanazidi mno, saivi huwa wanafanya mpaka keki ya birthday ya mtume.
    Subhanallah

    • @zanzibarspice8686
      @zanzibarspice8686 ปีที่แล้ว +2

      Aliekuwa shehe mkuu wa Dar es Salaam alifanya Keki kwa Kumbukumbu Zangu

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 ปีที่แล้ว +3

      Subhanallah.. imefika kwa keki

    • @rukiakhamis-le6kg
      @rukiakhamis-le6kg ปีที่แล้ว

      ​@@zanzibarspice8686Na video nnayo

    • @aliali-ji9ym
      @aliali-ji9ym ปีที่แล้ว

      Balaa zito, kwasababu ALLAH haachi kitu kila mtu ataulizwa kwa anacho kifanya, imefika wakati hii dini Wengine wanafananiza na ushabik wa siasa au mpira, hawapo serious

    • @AbdulkareemMbelwa
      @AbdulkareemMbelwa ปีที่แล้ว

      Achen ujing uyo muhamed kakos ladhi za mashekh zake

  • @user-zf3fz5lf4m
    @user-zf3fz5lf4m ปีที่แล้ว +52

    Sheikh Muhammad Bachu. watu wengi wamekuelewa sana.mungu akulipe kila la heri. na ninaamini Mungu atatupa ushindi juu ya kuibainisha khaki.

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว +3

      Umemuelewa kwamba nyie ni mawahabi au unaitikia tu😭😢

    • @abuhassan9552
      @abuhassan9552 ปีที่แล้ว

      Wata ujinga kwani shekh Barazanji ninani kwani akiletewa wahyi sibimaadamu tu kama banaadamu

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว

      @@abuhassan9552 Humjui Barzanji kaulize kwanza,acha kuropoka

    • @hishambakar5785
      @hishambakar5785 ปีที่แล้ว +1

      ❤ good

    • @teamfeisal8822
      @teamfeisal8822 ปีที่แล้ว

      @@JamalAbdallah-m1o barazanjii nikitabu kimeja ushrkina mwengi

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว +20

    Sikwambii Kenya …east africa sjaona kijana Kama bachu…Allah akupe umri uzidi kufaidisha ummati Muhammad

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว

      @@mansourkombo587 Hebu lala ww Acha kero

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 ปีที่แล้ว

      Umeona kijana. Ashatia kichwa kichwa huyoo shekh said atakula za kichwa tu na yy. Haki ipo juu kila siku

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว

      @@salumtakao9828 Acha nayy aje tupate faida zaidi

    • @hajigahimbare579
      @hajigahimbare579 ปีที่แล้ว +1

      Umefanya vzr kusema: sijaona kijana kama Mouhammad bachu, Hukusema... Hakuna kijana kama Muhammad bachu.
      Wewe tu ndio Hujaona, Asikulaumu Mtu, sababu Hayo ni macho Yako Akhy.

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว

      @@hajigahimbare579 kwa mwenye akili ndie atakae elewa…Uko vzuri

  • @mohammedaliabdallah5508
    @mohammedaliabdallah5508 ปีที่แล้ว +19

    @MuhammadNassorBachu nakupenda kwa ajili ya ALLAH., wape elimu kadri ulivyojaaliwa

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +13

    RABBANA Akulipa Kila Lenye khery na Akuepushe Na Mabaya Sheikh Mohammad Bachu
    Ichi ndicho Tulikuwa Twakisubili Kwa hamu Tusikie Kauli Yako Sheikh wetu Wabilahi Tawfiq

  • @user-hf4pb7wi1j
    @user-hf4pb7wi1j ปีที่แล้ว +15

    Niko Bujumbura sheikh Mohamed nashukuru sana kwa kazi kubwa kwa kuwagusa hao washenzi Alla akulinde Alla akupe mwisho wa kuingia firdaus pembeni ya rasuluna

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh Muhammad hawa watu wanauchungu sana nawe, siajabu watamani uondoke duniani na dua mbaya hukuombea ila nasi twakuombea umri mrefu ulomwema.

  • @sheikhsaadabywaqas
    @sheikhsaadabywaqas ปีที่แล้ว +1

    Nasisi wa Islam wa Rwanda tunamushukuru Shaykh Muhammad Bachu tunamuombea kila la kairi na maisha bora mpaka mwisho wa maisha yake

  • @user-wp4nb1cm7v
    @user-wp4nb1cm7v ปีที่แล้ว +5

    Wallahi msiba mkubwa sana Allah tuongoze yaa rabb Allah yupo pamoja nawe shekh mohammad bachu na atakulinda daima yeye ndio kila kitu

  • @allyjuma9669
    @allyjuma9669 ปีที่แล้ว +10

    Akhi muhmmad bachu allah akuhifadhi haki inajulikana hawa ni majahili

  • @fatmamombasa3430
    @fatmamombasa3430 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah mafupi na yakuekeweka kwa mwenye Akili Allah akulinde na mahasid na madhwalim haki lazma usemwe Allah atuongoze

  • @oman6124
    @oman6124 ปีที่แล้ว +18

    استاذ محمد بارك الله فيك
    الله يثبك على الحق وين ماتكون

  • @hatimabubakar
    @hatimabubakar ปีที่แล้ว +6

    Jazaka allahu kheri shk Muhammad bachuu , allah akuhifadhiii

  • @saidkumpuni6599
    @saidkumpuni6599 ปีที่แล้ว +6

    MUHAMMAD BACHU ALLAAH AKULIPE KHERI MWALIMU WETU,
    UMETOA DARSA TUMEKUELEWA VIZURI, ALLAAH AENDELEE KUKUPA TAWFIIQ NA KUENDELEA KUIFUNDISHA HAQQI KWA WAJA WA ALLAAH!!.

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 ปีที่แล้ว +10

    Sawa sawa kabisa, Mjadala unao endelea ni wa Maulid. Wasichanganye mapungufu ya Masheikh na Maulamaa wa Ahlilsunna. Abuu Taimia kasema hivi, kaandika hivi, tuleteeni miongoni mwa Mtu wa Tarika aliepewa Ijaza ili Mwendokasi uendelee.

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 ปีที่แล้ว +2

    Bachu iko siku yako inshaAllah. Mm sikutukani wala sikukosoi kama nyinyi munavyotukana watu kwenye comments. One day Yes inshaAllah 🙏. Shaikh Jaafar al Barazanji atakujibu. Hakuna lisilo na mwisho ndugu Bachuu.

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 ปีที่แล้ว +9

    ALLAH azidi kukupa nguvu na akupe ikhilas kwakaz kubwa unayo fanya...kwan kila wanavyojitokeza ndivyo watu wanapata kubadilika kuachana na bidaah

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 ปีที่แล้ว +13

    Watu wa twarika mna jazba sana hebu ondoweni jazba SS sote tunapenda mtume Muhammad saw

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว +2

      Sisi Tunampenda mtu kisunnah na sio kibidaa hao wanamzulia mtume wetu

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 ปีที่แล้ว +1

      Wanababaika je hao bado bin Nassor ana waita kwa heshma kama ivi al akhiii sheikh ndugu yangu fulani au fulani tizama wao mtoto wa bachu muuza pweza bwege na mjina mabaya tuuu bado hajibu hovyo
      Hakika Allah atasimama nawe mpaka kieleweke wataweka wapi viburi vyao kwani wakiita sheikh au muhamad wataharibu nini eeh kweli aibu kubwa kwao wanababaika tuu hao

  • @YussufSaid-ok4pu
    @YussufSaid-ok4pu ปีที่แล้ว +5

    Allaah akuhifadh na kila Shari Akhiy Muhammad

  • @ibrahimabubakar8356
    @ibrahimabubakar8356 ปีที่แล้ว +12

    Shekh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi amen

  • @user-Anasmohammed12
    @user-Anasmohammed12 ปีที่แล้ว +12

    Ostadh muhamed bachu allaah akusaidiye na akupe ufa swaha zaidi na akuja aliye haya ni katika hsanati zako ❤

  • @alfauzantv123
    @alfauzantv123 ปีที่แล้ว +4

    Mashallaah Muhammad bachu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuifadhi shehewetu Muhhamadi Bachu. Kwani hawa imewauma ulivyo wasomesha kule Tanga😂

  • @saidimswaki3364
    @saidimswaki3364 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuhifadh sheikh bacho

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaykum Sheikh Muhamad Bachoo.
    Tunashukuru kutokea Mtu kama wewe ulijotoa kwa ajili ya Allah kutetea haki.
    Kupinga batili.
    Allah akutie nguvu
    Akupe ushindi
    Tupo nyuma yako

  • @shaabanm.ashrak2623
    @shaabanm.ashrak2623 ปีที่แล้ว +9

    Yaan shekh Muhammad bachu maneno yako yapo kwenye mstari

  • @user-zo6wx9zt3p
    @user-zo6wx9zt3p ปีที่แล้ว +6

    Akhi muhamaad allah yupo pamoja na ww haki sikuzote iko kwa allah tabaaraka wataala waache watu wabidaa allah ameziba maskio yao na amepofua macho yao

  • @mabruqjumamponda7629
    @mabruqjumamponda7629 ปีที่แล้ว +25

    Watu wa twarika ni waoga mnono yao ni maneno na viji neno tuu kupitia kwa mitandao ya kijamii,ukweli wa mambo ni hawana mada na sera hawa ni wale wale itawakuta makubwa kuliko ya tanga trust me hii ya mambrui itakua mwisho wao na maulidi ndani ya kanda hii ya afrika mashariki.
    Habari nilizo nazo ni kwamba mpaka muda huu sabass alkubra yuko taaban mno haja pona maumivu ya kichapo cha Tanga, hata wafadhili wake ikiwemo shehe wake yusuf diwani wame mtupilia mbali sembuse hawa wa Kenya.
    Mwenyezi Mungu amlinde Sheikh wetu Muhammad Nassor Bachu yeye na familia yake.
    Ameen thuma Ameen.

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว +2

      Hlf ww wahabi hujitambui, maulidi Sasa yanasomwa mpk Makka na Madina

    • @ameirameir4349
      @ameirameir4349 ปีที่แล้ว +1

      Amin

    • @Ahmad.ali1-r9o
      @Ahmad.ali1-r9o ปีที่แล้ว +3

      ​@@JamalAbdallah-m1okwahio? Kama yanasomwa huko ndio na sisi sote tusome au?

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o ปีที่แล้ว

      @@Ahmad.ali1-r9o Si ndio kigezo chenu, ht mwezi mnasikilizia huko, nyie chawa tu ya mawahabi wakubwa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      ​@@Ahmad.ali1-r9owanao mpenda mtume s a w watasoma musio mpenda musisome kaeni ba uhasidi wenu

  • @alimasiga8422
    @alimasiga8422 ปีที่แล้ว +1

    Naomba Allah azidi kukuhifadhi na kila shari, akuzidishie ilm, hikma na imaan na taqwa zaidi. Na Allah atupe masheikh wengi na wanachuoni wa kutetea haki bila ya kuendeshwa na tamaa za nafsi zao

  • @OmayAlly
    @OmayAlly ปีที่แล้ว +6

    Wamekuelea shekhe alihamdulillah nafurah Sana❤

  • @Abusalim308
    @Abusalim308 ปีที่แล้ว +7

    Bachu Allah akulipe kila la kher yani hapo umewaweza sana ngedere wanaotafuta kutrend usiwape nafasi kabisa sisi tunamtaka Kigogo wao

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 ปีที่แล้ว +14

    Maa shaa Allah sheikh. Nakupenda sheikh Muhammad bachu

    • @zanzibarspice8686
      @zanzibarspice8686 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu Nakuona sana ktk comment tupo pamoja Akhy

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 ปีที่แล้ว

      ​@@zanzibarspice8686shukran akhy

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 ปีที่แล้ว +4

    Allah Allah assalaamu aleikum warahmatulllah wabarakatuh, alhamdulillah rabbit alaamina, hapa imekaa vizuri sana, haya Mashegh wa Mombasa kazi kwenu tunaomba muwe waadilifu kwa kujibu kwa wakati ,ili sisi Waislamu tupate kujifunza

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +8

    ماشاء الله، جزاك الله خيرا أستاذنا ومعلمنا

  • @saeedqaseem3172
    @saeedqaseem3172 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuongoze na akuhifadhi pia......amiin

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh letu sis tunakuombea sana Allah akuzidishie ujasiri kupambana na hawa watu manake balaa limeingia tumevamiwa na mashia kupitia maulidi yao na hawaoni

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 ปีที่แล้ว +10

    Ila siku hizi nakuona kama unaanza kubadilika unaongea kwa adabu unaanza kuwa na heshma ndugu yangu binafsi nakupenda kwa ajili ya Allah ila mawaidha yako mengi ulikua hutumii adabu katika kufikisha al hamdu li llahi unaanza kubadilika maa shaa llah allah atuongoze njia iliyoonyooka

    • @Tandalesse
      @Tandalesse ปีที่แล้ว +1

      اللهم امين

    • @Abusalim308
      @Abusalim308 ปีที่แล้ว

      Umetumwa nini pale mtu atakapo vuka mipaka kwa jambo la Allah basi atakosolewa hata akiwa na umri gani au ni shekh gani atapewa ukweli hap ndo mnasema hana adabu

    • @yussuphmbaroukalliy8669
      @yussuphmbaroukalliy8669 ปีที่แล้ว

      Hata yy na binaadam anakosea ila cha muhimu kinachoongelewa ni haki bc huna budi kufata au kuwacha kma ni batwil

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 ปีที่แล้ว

      Wewe kaongopee watu tu kuhusu ndoto. Upate pesa kaa kimyaa

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416 ปีที่แล้ว

      kumbe unanifatilia ee jazaaka llahu khayra

  • @Captainome
    @Captainome ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa Allah umewagusa ndipo.,watulete wariqa full by blood ndio akiamgushwa no more excuses

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, sheikh wetu, unafanya kazi nzito,Allah akulinde popote pale ulipo, Ameen!

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +6

    Shida ya masufi/twariiqa ni kwamba wanataka kutetea upotovu na hio ni kitu ngumu sana kufanya sababu unapiga vita Allah na hakuna anaye jipima na Allah subhanuhu wataala

  • @hassaniissa4085
    @hassaniissa4085 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda kw ajili ya allah ...ustaadhu ..allah awe akulinde kutokana na maadui zako

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi sheikh Muhammad Nassor bachu.

  • @sayidshion
    @sayidshion ปีที่แล้ว +6

    Allahu Akkbar
    Allah Ya Hadeek ya Sheikh .❤

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 ปีที่แล้ว +3

    MAA shaa Allah kwa Mara yakwanza namshuhudia bachu anaongea kwa kujishisha na hekma sannah.

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf ปีที่แล้ว +15

    Mwambaaa Mohd bachu tuko pamoja saana tuna wasubiri saana kina sharifu washindwe na waregeeeee mwaka huu wapotoshaji hao ndo tuna wamaliza

    • @ahmedbadi5822
      @ahmedbadi5822 ปีที่แล้ว

      Cha kushangaza hajamjibu said nukta hata robo

    • @shilingi-Ahmadi
      @shilingi-Ahmadi ปีที่แล้ว

      ​@@ahmedbadi5822
      Akubali niqaash mambo ya shareef aachane nayo kazi yake ni kutangaza dini siyo kujulikana

    • @hafidhseif9638
      @hafidhseif9638 ปีที่แล้ว

      @@ahmedbadi5822 kasema huyo sharifu wenu achague nani wa kujadiliana nae aje sharif mwenyewe au achukue katika hao vijana wake akiwemo huyo said wako,sio tena baadae museme hamumtambui kama mulivyokmkataa cobra wenu .sabas cobra

  • @SwaahibSwaahib-fs5eg
    @SwaahibSwaahib-fs5eg ปีที่แล้ว +5

    بارك الله فيك

  • @MohamedHasan-kt4lw
    @MohamedHasan-kt4lw ปีที่แล้ว

    Sheikh Muhammad Mungu akulinde na kila Shari na ukuzidishie elmu na busara uzidi kuwaelimisha HAO watu wa bidhaah

  • @halimaosmanmahando7793
    @halimaosmanmahando7793 ปีที่แล้ว +5

    Mashaclah Allah Akulinde❤

  • @omarussi7316
    @omarussi7316 ปีที่แล้ว +9

    MASHAALLAH
    Allah akulipe kheri

  • @issicajosefu9681
    @issicajosefu9681 ปีที่แล้ว +1

    Shk Mohammad bachu Allah akuhifadhi na hawa watu wa shubuhaati

  • @massoudsaid765
    @massoudsaid765 ปีที่แล้ว +2

    Shekh bachu tupo pamojaa Allah akuhifadh

  • @user-db8vq4mw5j
    @user-db8vq4mw5j ปีที่แล้ว

    Kuna shubha kaileta shekh mziwanda INGEKUWA vizuri ungefanya bayana shekh pale ulipo mkosoa baba yako na unavyomkosoa barazanji baarakallahu fiika

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y ปีที่แล้ว +5

    BarakaAllahu umeneno maneno mazuri

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +6

    Nyie masufi mara hii ni.mwaka wa kusafisha shirkiii zenu na mabidaaaa yenu
    Sasa tunakwambieni mnavotaka tunataka
    Na hata kenya mie nipo znz nitakwenda
    Katu siwez kumwacha mkono kijana huyu mwenye hirsii na uchungu wa kutetea dini ya allah
    Ya allah mlinde huyu kijana

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana sheikh wangu! Hili ndilo nililolingojea baada ya kuona kujitapatapa ku matv mbali mbali sasa waje tukawaone vile watakavyotetea batwili eti wanampenda mtume

  • @dullahmihuri
    @dullahmihuri ปีที่แล้ว +5

    Mashallah... watanyooka tu.mwaka huu😊

    • @hafsalonlinetv105
      @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว

      Co kunyooka ni miaka mingapi mnapiga kelele kupinga mauleed na kila miaka ikienda mbele yanazidi kuengezeka duniani!!
      Ni wakati wenu muelewe kua mtumi Swallaa llaahu alayhi wasallaam amesema yakwamba ummati wake hawakusanyiki katika upotevu,,,,,,,,

  • @ukhtynaa005
    @ukhtynaa005 ปีที่แล้ว +1

    HAMUNA LOLOTE MANENO MENGI TU KAMA KASUKU SISI NA MAULID NA MAULIDI NA SISI FANYA MUNAQASHA MPKA UCHOKE ILA UJUWE HATUWACHI MAULIDI ❤❤❤❤❤

  • @rachidmuhammad3356
    @rachidmuhammad3356 ปีที่แล้ว +3

    Assalam alaikum sheikh wakumbushe hoja 19 wazijibu wa ache malawama

  • @kasumunigwasa
    @kasumunigwasa ปีที่แล้ว +1

    Mtoto WA sheikh Bachu anasema kweli kwenye barzanji Kuna uongo mimi mwenyewe namuunga mkono na nilikua nafanya maulidi kabla ya munaqasha uliopita lakini ametuonesha haqi basi tukubari kuifiata ,,masheikhe msifanye kama dini ni League za Mpira tuikubali haqi ikitudhihirikia

  • @AboubakarSheha
    @AboubakarSheha ปีที่แล้ว +8

    Utadh bachu, nakuomba kwanz uwaulize hao watu wa twarika huyo ustadh said no miongoni mwao watu wa twarika au sio? Km sili wasije kumkataa baadae baada ya kushindwa

  • @user-dw2bz1ne7q
    @user-dw2bz1ne7q ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, namsikiatu upepo akibwabwaja mbona tanga hakuja aulize maswali watu watwarika yao nimatusitu Alihamdulillah Allah atawalipatu inshaallah

  • @user-om1ko3ky7v
    @user-om1ko3ky7v ปีที่แล้ว +6

    Muhamad bachu wakomeshe wazushi wa maulidi

  • @Ismailomar-o1x
    @Ismailomar-o1x ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKUHIFADHI na kila Shari Sheikh wetu tunakupenda kwa ajili ya ALLAH

  • @kombomakame9541
    @kombomakame9541 ปีที่แล้ว

    Mtume s.a.w hakujikweza katika maisha yake, lakini kwa Nini waislamu wa Sasa hivi wanajikweza na kujigamba?
    Muhammad Bachu msome sana Mtume Muhammad.
    Mjadala wa maulidi muliofanya Tanga Bado haijawa sababu ya kujigamba na kujifutuwa, kwani ipo kazi kubwa ya kupambana na kuwasaidia wanaabudu Ngombe, wanaabudu Mapango, wengine wanasema Nabii Isa ni Mungu na wanamuabudu, hawa ndio wanaotaka kusaidiwa.
    Vyenginevyo waislamu kwa waislamu tunatakiwa mambo ya dini yajadilwe kwa heshima na adabu kwa kutoka Ushahidi wa hadithi na Quran na sio kuonyesha misimamo ya mashekhe.
    Muhammad Bachu kuwa makini,
    Hadhi ya Mtume haija haribiwa Bali ni mitazamo ya waislamu na Kila mmoja kusimama na kutukuza mitazamo ya Mashekhe wao.

  • @user-yd6sc8ws3g
    @user-yd6sc8ws3g ปีที่แล้ว

    Ya Raab tuongoze waja wako tujue ukweli na kuepukana na batwiil....Ya Raab tuongoze katika njia ilionyooka..amin

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 ปีที่แล้ว +1

    Baaraka llahu fik MashaAllah,umetulia sn,unajiamini bab'kubwa

  • @abdulx7gamer611
    @abdulx7gamer611 ปีที่แล้ว +2

    Usikimbie mjadala wa Mambrui. Naona umenyamaza sana bila kujibu lolote.

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba 11 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akuhifadhi atupe wepesi ktk kupambana na wazushi

  • @ismailmakame7183
    @ismailmakame7183 ปีที่แล้ว +12

    اللهم وفقه على الصواب آمين

  • @ashrafbunu2371
    @ashrafbunu2371 ปีที่แล้ว +3

    Allah hafidh hapo sawa sheikh bachu

  • @abdikadirkadifula3925
    @abdikadirkadifula3925 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam alaykum shekhe achana na watu wa majazi endeleza kazi ya Allaah

  • @user-mx6yp7st3q
    @user-mx6yp7st3q ปีที่แล้ว +1

    Nakushauri sheikh wangu huyu kijana wa mabrui nijahili atakutatiza akili bure ,tena hiyo mada ya barzanji imeisha ukweli umejulikana hakuna re match walete mada nyengine

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah maashaallah maashaallah Allah akuhifadh

  • @ramakaingu1902
    @ramakaingu1902 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah

  • @3993-u7g
    @3993-u7g ปีที่แล้ว

    Shekh Cholo TH-cam inalipa vizuri basi hebu twambie umesoma wapi kwa shekh gani chuo gani sio unakaa kwenye kioo unaropokwa tuu wote hawajasoma ww pekeyako umesoma kila mtu hajasoma mche mwenyezi mungu Ust cholo tende za saudia zinakuzalilisha

  • @hafiznahardemohd5158
    @hafiznahardemohd5158 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheik muhammad bachu Allah akuhifadhi inshallah na akujaalie kila unalolifanya liwe katika mizani yako inshallah Amiin

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว +1

    Mimi Omni langu kwa watu wa Twarika. Mwacheni Bachu atangaze shirki ya Barzanji Duniani na nyinyi watu wa Twarika endeleeni kuyasoma Maulidi!! Someni Maulidi kwa nguvu zoote na yeye mwacheni atangaze Shirki iliyomo kwenye Barzanji kisha safari hii akitie moto khaswaa Kitabu Cha Barzanji

  • @jambojomba9042
    @jambojomba9042 ปีที่แล้ว +1

    Assalaam alaikum sheikh,Allah akulinde na akupe afya uzidi kueneza sunnah

  • @nasraabdallah
    @nasraabdallah ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kher shekh bachu pambana kuutokomeza ushirikina inshallah

  • @maulidmussa8969
    @maulidmussa8969 ปีที่แล้ว +2

    ujumbe umewafikia sheikh

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +1

    Kalaam alhikma sheikh bachu. Maana hawa matwarika hawaogopi kusema uongo

  • @ashtaqlaly9244
    @ashtaqlaly9244 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah ,mungu Akulinde shekh wetu

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed ปีที่แล้ว +2

    For the first time you declare your self being wahabi.

  • @alajamiyonlinetv3526
    @alajamiyonlinetv3526 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mtoto utajua hujui unajaribu kulideki bahari njoo mombasa usomeshwe ndugu na ujue hamutawahii kutushinda nakwambia ivo uhabi umezuka tu😂

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +1

    😂😂WALIMKATAA VIBAYA SANA .NYIE DIWANI APEWE MAUA YAKE MAANA ALIMTOA SADAKA MWENZIE MBELE YAKE 😂

  • @AbdulkareemMbelwa
    @AbdulkareemMbelwa ปีที่แล้ว

    Wew Mohamed bachu umekos ladh za mashekh zak kajifunz adabu

  • @hafsalonlinetv105
    @hafsalonlinetv105 ปีที่แล้ว +1

    Twamuelewa vizuri tu Muhammad bin Nassor bachu, ila hebu na apambane na kundi lililopo kwa Zanzibar, Taaliim Organization kama kweli ni msomi, mbona wanalikimbia hili kundi na kulifanya kama kwamba halipo!!,,,,,,,

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Hakika Allah kakup elim yeny manufaa

  • @kassimkiduba-gp3nm
    @kassimkiduba-gp3nm ปีที่แล้ว +1

    Jazakalaah khaira .........Almajaz katosheka bado kilemba cha Alhatimy kitalowa

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Shehe Said Mbona Kama Ameshashindwa Kabla Hata Ya Munaqasha😅😅😅😅

  • @WakalaTigopesa
    @WakalaTigopesa ปีที่แล้ว +5

    Allah akuhifadhi

  • @barakakhemedi1250
    @barakakhemedi1250 ปีที่แล้ว +3

    Mimi pia nimeanza kukuelewa ila jitaid utumie busara ktk mazunhumzo haki wengi tumeelewa

  • @rukiaabubakar1257
    @rukiaabubakar1257 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi yakhy bachu na akupe thabaat ktk kuitetea sunna y bwana mtume swalallahu alyhi wasallam

  • @AbdirahimIbrahim-sh6sl
    @AbdirahimIbrahim-sh6sl ปีที่แล้ว +1

    Sheikh wenye akili timamu tumekuelewa shukran wa jazaka llah kheyr

  • @omarsima2763
    @omarsima2763 ปีที่แล้ว +1

    Yes yes yes yes fanya vitu vyako waelimike bi idhnillah

  • @alajamiyonlinetv3526
    @alajamiyonlinetv3526 ปีที่แล้ว +2

    Fanya adabu ww ikiwa babako alishindwa we nani

  • @ayubmusa9816
    @ayubmusa9816 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sheikh langu

  • @omarmuhamud3302
    @omarmuhamud3302 ปีที่แล้ว

    Masha Allah maneno mazuuri na ya hikma kwa wanao fahamu

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 ปีที่แล้ว +2

    Haya nafasi ipo io hatutaki ngonjera kidume asogee.mukikaa kimya maana yake mumeshindwa na sheikh muhamed bachu

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 ปีที่แล้ว +3

    Dunia Imeishaaa, Qiyama kipo karibu