Muhammad Bachu PAMBANENI NA ALBANI KWANZA KISHA NDIO MUJE KWETU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 125

  • @MikidadiShaban
    @MikidadiShaban 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan ww bachu allah akuongongoze

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 2 ปีที่แล้ว +4

    We Muhamad Bacho ukapimwe Akili....

  • @kassimabdallah7297
    @kassimabdallah7297 2 ปีที่แล้ว +2

    Akhiy.umeharibu ddawa yako kwakujiingiza kwenye ddawa za mipashoo una felii

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +1

    HUYU MISIKINI
    MUHAMMAD NASSOR BACHU
    HAJIELEWI!!

  • @yusuphsammysammy7424
    @yusuphsammysammy7424 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Allah amuongoze

  • @zaharahassan7873
    @zaharahassan7873 2 ปีที่แล้ว +2

    We tubia we. Kwakuwafurahidha kina barahiyani ndio uite MSIKIT kijisikiti..
    سبحانالله!

  • @mohammedlakhan5258
    @mohammedlakhan5258 2 ปีที่แล้ว

    Allah akuongozee ndo dua gan hyo na umesoma dini ww
    Mtumee kafanyiwa mangap hajawah hata cku moja kukubal adhabu iwashukiee makafir sembusee ww unaombea dua waislam wenzako !!!!! Jitafakari akhy

  • @abdallasaid9348
    @abdallasaid9348 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Muhammad Bachu ni Mwanafunzi wa MSABAHA Unapita mule mule...

  • @aminirashid2833
    @aminirashid2833 ปีที่แล้ว

    Wee muhamad bachu humjui vizuri sheikh Rabii acha ujinga

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

    Shekhe,upo sahihi ni kweli hawa majadida kina mafuta na genge lake wamemdhulumu xana shekhe barahyani allah amuhifadhi,shekhe kapambania sunna sana tz wakati huo wanaompiga vita kina mafuta na wenzie walikuwa wapiga madufu na wengine wamezaliwa juzi tuu,maskini hawajui mchango wa sunna hapa tz ni barahyani amesaidia sana kupambana na watu wa bidaa amepigwa xana mawe yule shekhe Allah, atamlipa siku ya kiama kwawale walomdhulumu hakika allah awapendi madhalimu, wengi hawajui katika hii comment zao humu ni majadida na watu wa bidaa ndo wanaotukana.

  • @jabalutv3359
    @jabalutv3359 2 ปีที่แล้ว

    Jazzakallahu khayran sheikh wangu

  • @swalehjamal4867
    @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว

    Uko vzuri bachu lkn achana na kujibizana na watu wa bid3ah.. sio kua hawajui…wanajua haki ila wanaangalia matumbo yao…fabya daawa yako kwajili ya Mungu na sio vzuri kumuombea mwenzio dua mbaya …Allah atuongoze sote

    • @AdamDaudy
      @AdamDaudy ปีที่แล้ว

      Unaposema watu wa bidaa unakusudia nini?

    • @swalehjamal4867
      @swalehjamal4867 ปีที่แล้ว

      @@AdamDaudy nakusudia binadamu yeyote anaezusha mambo katika dini ima kumsingizia Allah au kumsingizia mtume? Umeelewa au bachu atoe vdeo ndio muelewe?

  • @ahmedjuma2674
    @ahmedjuma2674 2 ปีที่แล้ว +5

    Hivi unaakili au matamanio ndio yamekutawala

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

    Hapa umeteleza Allah akusameheme

  • @mohdabdallah2629
    @mohdabdallah2629 2 ปีที่แล้ว +2

    Anakataa dua ya pamoja halafu anawambia waumini waitikie dua

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 ปีที่แล้ว

    Ametoka Kwa Salafi ameingia Kwa masufi kibaya Zaidi Ni Shekh mzima anatoa laana Na Dua Kwa pamoja ndani ya msikiti Na kulazimisha kuitika Ameen si Dhani kama mtume s.a.w aliwahi fanya hili kumuombea maovu muislamu mwenzako.

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mm nakubaliana nawewe kuwa sio sahihi kuwasema vibaya bila heshima wale wote wasiofanya yasawa katika Sunnah ya Mtume SAW.
    Allah akulipe heri inshallah

    • @anyeresa928
      @anyeresa928 ปีที่แล้ว

      Ustadh wangu wenyewe hao ndo pia wamwita majina mabaya...
      kwani huwaoni au huwasikii... sema wote waache kudharauliana.

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว +2

    Aibuu mawaidha ya dini kueleza mipasho na kuombeana dua mbaya, huko ndo kutangaza uislam, tuna tofauti gani baina yetu na mashia wanaotetea madhihebu yao kuwa ndo uislam, binafsi sisi tusiokua na elimu hatuoni fakhri kwa malumbano yenu mme poteza dira mnaacha kufata misingi ya dini mnakimbilia kujinasibu kwa ubora nani zaidi aibu gani hii

    • @kassimabdallah7297
      @kassimabdallah7297 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ungekuwa na kheri nyingi
      Ungekaa darasani ukasoma na kusomesha huku ulikoingia sikoo.hiyo sio ddawa ya mbora wa viumbe

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      @@kassimabdallah7297 sikuelewi ndugu yangu mbona mchango wako wa mawazo hauko fasaha wewe unayaonaje hayo nisawa wanavyo fanya?

    • @kassimabdallah7297
      @kassimabdallah7297 2 ปีที่แล้ว

      Unajua Allah amekupe elimu maashallah na nimesikiliza baadhi ya darsa zako nikazielewa sana jinsi unavyo kataza maaswi lakini nikazisikiliza nyingine nikakuta na wewe unaingia mule mule nikichukia sana japo sijakudharau.nikakupa udhuru labda ujana huoo huenda ukikua utaacha

    • @kassimabdallah7297
      @kassimabdallah7297 2 ปีที่แล้ว

      Yana kuna mambo unayakataza yakuwasema watu kabla ya kuwafuata.alafu na wewe unayafanya tena ukawaita wanafiqi.mimi nasaha zangu kwako badilika waachie wenyewe walumbane wanao lumbana wee bainisha haqii kataza maasi achana na kuwataja watu majina.mana ibilisi ni mshenzi sanaa

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      @@kassimabdallah7297 ahh endelea kufahamu unavyofahamu mimi simo humo, sikuwezi, sina la kukuelekeza ni juu yako kuamini unaloona ni sawa kwako, hakuna atakaebeba dhambi za mwenzake kila mmoja atakua na lwake,

  • @nasriramadhani3980
    @nasriramadhani3980 2 ปีที่แล้ว

    Ww mvuta bangetuu

  • @sulebeka7202
    @sulebeka7202 ปีที่แล้ว

    Tabia yakutukana sio mzr

  • @rahmaabdillahi2795
    @rahmaabdillahi2795 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhaanallah

  • @suleimanissa5301
    @suleimanissa5301 2 ปีที่แล้ว +1

    uislam unaenda pabaya sijui tunaacha kizaz cha aina gani kiyama hicho

  • @hassanmussa4734
    @hassanmussa4734 2 ปีที่แล้ว +2

    Kijana mche Allaah kiukwel hata wew ni miongoni mwa wanaomsema vbaya shekhe rabii kwaiy unataka Allaah aondoshe nguvu zako wew za kiume au vp?
    اتق الله

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 ปีที่แล้ว +1

    Masufi ndio
    Waliokukosoa kuwa kiarabu hujui
    Na wakaweka maneno ambayo umeyatamka vibaya sana kiswarfa
    Na wakaonyesha kuwa elimu ya lugha katika milango ya sarufi uko mtupu kabisaa
    Kama masufi wamekosea mbona huwakanushi na kutuonyesha kuwa umepatia na hukukosea
    Kisha upnyeshe huko kupatia kwao
    Ewe ghabiyyun

  • @abdulahmahamed3790
    @abdulahmahamed3790 2 ปีที่แล้ว +2

    Makosa ni ya hao watu waliyokaa hapo kumsikiliza huyu ambae anatafuta balaa hapa duniani

  • @dihemwamwenemilao2055
    @dihemwamwenemilao2055 ปีที่แล้ว

    Ufahamu mdogo tu huyu shekhe...

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 2 ปีที่แล้ว +1

    @Muhammad bachu unajuwa manhaj lakini wew kweli vp utamrad mubtadiii afy utaje kazur yake kwel hjsoma manen ya wana vyuon afu shekh rabiii kwel umfananishe na mdai riba et na yeye atajiwe mazur yake Wallah huko ni kuwafanyia hiyana waislam

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 2 ปีที่แล้ว +1

    Kijana una jazba kasome tena

  • @BakarJuma-i5r
    @BakarJuma-i5r ปีที่แล้ว

    Wewe Muhammad Bachu una akili lakini barahiyan ni salafi

  • @kassimabdallah7297
    @kassimabdallah7297 2 ปีที่แล้ว +1

    Mana unayokataza ndio unayo yafanyaa sasa nashindwa kukuelewa

    • @daudymussa4620
      @daudymussa4620 ปีที่แล้ว

      Anayo yakataza ndio anayo yyafanya

  • @suleimanmussa3212
    @suleimanmussa3212 2 ปีที่แล้ว +2

    Barahiani muombaji riba Hahahaha duuuh

  • @MohammedAlly-i1e
    @MohammedAlly-i1e ปีที่แล้ว

    Wapambane kwanza na mwanafunzi wako albani Kisha ndio waje kwako aalim ambae hakuna kama ww porojo jingi

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar หลายเดือนก่อน

    Wewe kijana nikikuzingatia nakuzingatia Kama vile uliwahi kuumwa uchizi maqnq unaropoka tu hujielewi Sasa Nini unacho kiongea eti kwasababu sheikh rabii Allah amrehemu alikuchapeni mahizibi mnamchukia kwanini nyinyi mahizibi barahiyani mpo kwaajili ya kufurahishana fuateni mahaji sahihi na unatakiwa ukitaka kufata manhaji sahihi ya salafy lazima usaidiane na masalafy Kama masalafy wanao tambulika kuwa Ni masalafy Sio mahizibi wakianswari

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @abuuutheymiintv7875
    @abuuutheymiintv7875 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah. Allah akulipe kila la kheri .

  • @seifshamuun1542
    @seifshamuun1542 2 ปีที่แล้ว +1

    We kibabu huna hekma, mbn mchechezi badala ya kuwaelekeza watu unawaombea maangamizi

  • @mansurabubakar3906
    @mansurabubakar3906 ปีที่แล้ว

    Mhjamani diniyetu uhuu

  • @farajirashid8859
    @farajirashid8859 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo ulipo fikia uislam wetu

  • @farhathassan7178
    @farhathassan7178 2 ปีที่แล้ว +3

    mbona mipasho mingi kama mwanamke

  • @amisiiddy6959
    @amisiiddy6959 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndio maneno ya wahenga kumba ukijichamba saaana mwisho utatoka na kinyesi ndio nyingi kujifanya mwajua saana mwisho mwajikama wenyewe kwa wenyewe sisi masudi tumetuliiiia na mimaulidi yetu na ndio kwaaanza yanazidi kushamiri

  • @OmarOmar-wx9zg
    @OmarOmar-wx9zg 2 ปีที่แล้ว

    Bayana chungu kwelikweli duh!
    Hahahahahahaha.

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416 2 ปีที่แล้ว

      Hana cha bayana huyu mtafuta sifa

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly 2 ปีที่แล้ว +2

    Barahiyani huyu dhwaalimu arudishe milioni 200 za watu

  • @fadhilimussa5067
    @fadhilimussa5067 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Muhammad. Nacho leo umejikanyaga .Kuna siku niliikuskiaa unamsema vibyaa shekh rabiii..kwamba ana kisuu cha kukata watu .akijiskiaa kumtoaa mtu kweny sunnah anakata .na kumtoa .tena leo unasema hivo mbona unajikanyaga shekh ???

  • @abdallasaid9348
    @abdallasaid9348 2 ปีที่แล้ว

    Heee!!
    Muandamane..

  • @mwinyimohamed9746
    @mwinyimohamed9746 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa na wewe pia ni shekhe duuh hii elimu haina wenyewe

  • @aminaali9715
    @aminaali9715 2 ปีที่แล้ว +1

    ww ni mjinga nenda ukasome kweli nakunasihi

  • @Heiswatching.
    @Heiswatching. 2 ปีที่แล้ว

    We babu, kisa umepata nafasi ya kupewa meza na spika.. unafanya vurugu kweli kweli.. babu..

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila mtu mwenye akili timam,, hawezi kuwa wahabi,,kwa staili hiii,, ya Vijembe

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +1

      Wahabi ni mtu wa SUNNA Kama hutaki SUNNA tutaonana kaburi MUNGU akuongoze ww na mm

  • @sadikkibiki6227
    @sadikkibiki6227 2 ปีที่แล้ว

    Mpuuz ww kwa dua yk

  • @abuubakarihussein2664
    @abuubakarihussein2664 2 ปีที่แล้ว +1

    Tanga watu wake.tunapenda sn dini kuliko. Mikoa.yote Tanzania Alhamdulillaah watu watanga allha atujalie ikhilaswii.
    Ila shkheee Mohammad nacho. Hizo Radi zakisalaf Ziacheni shikamaneni kutetea Sunna nasiyo kutetea Taasisi zenu

    • @afrahamohamedi6301
      @afrahamohamedi6301 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mpokeeni Hazrat Mirza Ghulam Ahmad (a.s),Mwanzilishi mtukufu wa Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiyya.huyu ndiye Imamu Mahdi na Hakimu Kwa zama hizi ,mtu anayekufa bila kujiunga na Imamu huyu amekufa kifo Cha kijinga .

  • @nasriramadhani3980
    @nasriramadhani3980 2 ปีที่แล้ว

    Unaakili ww ujielewi

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 2 ปีที่แล้ว

    Nnashida na no zako

  • @captainmajid6049
    @captainmajid6049 2 ปีที่แล้ว

    سبحان الله تضع صورة الشيخ عبدالله لأ جل الطعن

  • @OmarAli-lm9sf
    @OmarAli-lm9sf 2 ปีที่แล้ว

    أطال الله بقائك على منهج أهل السنة وحسن الخاتمة عند الموت

  • @jumahashim8109
    @jumahashim8109 2 ปีที่แล้ว

    Jamani haya malumbano yetu sisi waislamu kwa waislamu mpaka lini?

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 2 ปีที่แล้ว +1

    Masufi ni waovu kwa imani yako na wanachuoni wengi wanawakubali wacha mdomo mchafu mdomo wako hauna twahara katika kulinganisha waislamu wahabi

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว

      Wahabi ni mwanachuoni si unaona unavumsema vibaya halafu msiambiwe iv kweli

  • @nasriramadhani3980
    @nasriramadhani3980 2 ปีที่แล้ว

    Untabia zakishoga

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 ปีที่แล้ว

    Sasa unaiba pesa za waislam Kisha tukusifie kwa sunna

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 2 ปีที่แล้ว

    Ss si munasema duwa haram nyinyi ss amin ya nn

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 2 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo lako upo Tofauti Sana
    na Almarhum baba yako Allah Amraham, Baba yako Alipata umaarufu kwasababu ya Dawah, ila wewe Unataka umaarufu kupitia kusema watu tuuuu na kiki

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 ปีที่แล้ว +1

      Ametoa ushahid kwaiyo ww uko tayar wanachuoni wasemwe vbaya au na ww ni ktk wanaowasema wanachuoni vibaya mm binafsi kwa hili naunga mkono mfa Muhammad bin Abdulwahab anasemwa vinaya sana na watu wa bidaa Hadi wanaofuata SUNNA wanaitwa mawahabi au ww hujui

    • @banihashim5347
      @banihashim5347 2 ปีที่แล้ว

      @@medimisi6930 laa abdan sipo tayari wana wachuoni wasemwe, ila mgogoro upo hapa, nani mwana wachuoni sasa hapo?

    • @abuahmad1206
      @abuahmad1206 2 ปีที่แล้ว

      Weye ni mgonjwa

    • @banihashim5347
      @banihashim5347 2 ปีที่แล้ว

      @@abuahmad1206 nawewe mwehu muhuni chizi mukhaffaf

    • @abuahmad1206
      @abuahmad1206 2 ปีที่แล้ว

      Wew msenge rui

  • @Heiswatching.
    @Heiswatching. 2 ปีที่แล้ว

    MPOTOFU.. TU WEW..

  • @aminaali9715
    @aminaali9715 2 ปีที่แล้ว

    ww ni mubtadic na pia ni boyi wa barahiani

  • @abuibra
    @abuibra 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini umichagua ALLAH awavunjie nguvu za kiume ?!!!

  • @suleimanmussa3212
    @suleimanmussa3212 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha huyu

  • @KGONLINETV-i7z
    @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว

    Wewe kwisha wewe

  • @ABC-ls7jg
    @ABC-ls7jg 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ni uongo hajachukua hizo pesa na hajadai riba alkuwa aseme mwenyewe, maana kaambiwa aseme kama uongo utatolewa ushahidi. Lakini mbona kanyamaza kimya??
    Kwanini hajatoka kujitakasa na yaliyosemwa???

  • @jumanneissa7118
    @jumanneissa7118 2 ปีที่แล้ว

    Hili zombi la kihizb ukiwa umesoma huhangaiki

    • @ekishaschool163
      @ekishaschool163 2 ปีที่แล้ว

      Samahani al -akhiy tumia lugha nzuri utaeleweka ..

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 2 ปีที่แล้ว

    Mada imekushinda wewe mpuuzi wewe

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 ปีที่แล้ว

    Ushawataja wangapi wewe mpuuzi

  • @hashimshariff8903
    @hashimshariff8903 2 ปีที่แล้ว +1

    Na wewe unayewakosoa wakina barzanji na mashekhe wengine uombewe dua gani

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 ปีที่แล้ว +1

      Hiki kipande kifupi,ipo ndefu yake itafute kwasababu amelizungumzia jambo ili ulilosema

    • @deathrow8004
      @deathrow8004 2 ปีที่แล้ว +3

      Maulid ni bid'aa & barzanji inamakosa mengi

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 2 ปีที่แล้ว

      @@jumamahmoud9271 tuma link basi tuone

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 2 ปีที่แล้ว

      @@suleymansalim5732 nitazituma mbili musikie kwa sauti zenu kua sheikh muhamed yupo sahihi kabisa tena maneno yake yanaendana na maulamaa.

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 2 ปีที่แล้ว

      Mm huyu sheikh simuelewi mn si salafi ila barzanji Hana faida kwa wanaotafuta elmu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +1

    Kasima mafuta na genge lako
    Mbona kinyaaa

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว

    😄😄😄eti ndio dini hii😄😄😄hakuna dini hapa ni upuuz mtupu huu

  • @hashimshariff8903
    @hashimshariff8903 2 ปีที่แล้ว

    Kuwakufurisha watu ambao walikuwa ni maulamaa

  • @nahlaaasidee1848
    @nahlaaasidee1848 2 ปีที่แล้ว

    We Muhamad Bacho ukapimwe Akili....