SHEIKH ALHAD ALHATIMY AMTIA KITANZINI MUHAMMA BACHU ~ HATA TAFSIRI YA MANENO HAYA HUJUI RUDI DARASAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @sadofaraji5999
    @sadofaraji5999 ปีที่แล้ว +12

    Allahumma salli alaa Muhamad wa alaa aali Muhamad.

  • @user-yc2ys6xc1y
    @user-yc2ys6xc1y ปีที่แล้ว +4

    Allah amasamehe barzanji kwa makosa mingi iliomo katika hiki kitabu na nyinyi mliobaki nyuma yake msiwai soma hiki kitabu kikona makosa mingi saana....

  • @mozasalum8742
    @mozasalum8742 ปีที่แล้ว +4

    Ndo iyo shiriki mnayoambiwa sababu uyo mtume iyodini siku yake ya ALLAH kwaiyo kumpa sifa mtu miongoni mwa sifa za ALLAH nishirkibilah ambayo ndomnayoambiwa nawala muhamed bachu habishani kama mnavozania Ila anakumbusha kwa kufichua vitabu tena haina maana chanani wakati hakukosoa msahafu yupo sawa mana vyengine vitakua na udhaifu2 ALLAH ATUHIFADHI NA KAZI ZETU

  • @azgaraligulamhusseinnargis5949
    @azgaraligulamhusseinnargis5949 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mm ustdh Mohd bachu kiukwli hadi sasa sijaona et kua umeshindwa pahali ppote mashaAllah...sema InshaAllah Allah akuepushe na shari

    • @user-we1xi4kt7e
      @user-we1xi4kt7e 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe utajuaje na utaonaje aliposuindwa na ww ni moenzi2 hauna ki2 et?.

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin mola atuongoze ktk din y Uslam amiin

  • @madinaidiris
    @madinaidiris 11 หลายเดือนก่อน +2

    Muhammad Bachu ako sawa Allah amhifadi

    • @user-we1xi4kt7e
      @user-we1xi4kt7e 11 หลายเดือนก่อน

      Kwaio unataka kusema kibri na majivuno na hacra ndo Yuko sawa et?.

  • @AliAhmed-or7is
    @AliAhmed-or7is ปีที่แล้ว +18

    Naomba mashekhe wetu watumie hikma kukosoana tusianike aibu zetu kwenye mtandao,shukran.

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah sheikh Al haatimy

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว +11

    Tatizo hawa watoto wana kimbilia kwenye mike wakati uwezo bado ni mdogo

  • @seifkifundi904
    @seifkifundi904 ปีที่แล้ว +2

    MAKAFIRI WANAFURAHI SANA WAKIONA WAISLAMU TUNAGAWIKA TUNATUPIANA MANENO YA HOVYO.JEE MNARITHISHA DINI GANI KATIKA VIZAZI VIJAVYO.ELIMU MNAYO ILA HEKIMA HAMNA

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว

      Waislaam hatunaga umoja tumezidi unafki na makundi yasiyo na tija ni aibu kubwa masheikh kudhalilishana kama hivi kwann wasikutane hata misikitin wakawekana sawa

    • @allykombo2992
      @allykombo2992 ปีที่แล้ว

      jamani eee tusomeni mana huyu mtoto wa bachu hana mbwaaaa ni kujidaiiii tu

  • @muddymtoro3929
    @muddymtoro3929 ปีที่แล้ว +15

    shukran alhatimy we ni maalimu tunakujua mfundishe uyo mweny elimu ndogo ya kiburi..

    • @kibokokabisa5246
      @kibokokabisa5246 ปีที่แล้ว

      Poleni nyeemna fundisha hamuelewi acheni maulidi siodini amkeni muache kupoteza wasionaelim nakuelewa

  • @halidijuma1884
    @halidijuma1884 ปีที่แล้ว +24

    USHAURI WANGU SASA :: NAWAOMBA MFANYE MJADALA HADHARANI ILI TUPATE FAIDA ,,
    NYINYI WAOTE MUNAKUBALI CAMERA MUALIKANE KI ADABU MUFANYE MJALA WA KIILM,, MUULIZANE MASWALI USO KWA USO ,, KWA TENA KWA ADABU,, INSHAALLAH

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 ปีที่แล้ว

      Hana hadhi ya kutani sha nalhahd

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 ปีที่แล้ว

      Umeongea hapo

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว +1

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +6

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين 🥰💗

  • @shambaboy41
    @shambaboy41 ปีที่แล้ว +3

    Vyovyote itakavyo tetewa maulid lkn mwisho siku ni kwamba hayafai kwasababu hayamo ktk mafundisho ya Mtume (SAW).

    • @user-we1xi4kt7e
      @user-we1xi4kt7e 11 หลายเดือนก่อน

      Yapo katika mafundisho ya nani?.

  • @naimaally6719
    @naimaally6719 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Al khatimy, Allah akurehemu akuhifadh, Mohamed Bachu ni kijana mdogo mwenye kibri na majivuno

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 ปีที่แล้ว

      Khatmy hajui maulid imeanza wapi,na mwaka gani,angejua hili asingelitetea kauli za namna hiyo.

    • @AbdulLiumbo-gz2qs
      @AbdulLiumbo-gz2qs 3 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi ni washenzi sana tena hawana akili

  • @nasirabdullah6227
    @nasirabdullah6227 ปีที่แล้ว +1

    Huwez kuwa mtumwa wa mtume Muhammad s.a.w sisi ni watumwa wa Allah..shekhe umezidi kujidhalilisha tu

  • @alijuma4893
    @alijuma4893 ปีที่แล้ว +8

    Al hatimy Allah akupe afya na umri mrefu ili uwatoe matope kwenye masikio yao

  • @adijahmdosi5863
    @adijahmdosi5863 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu atujalie kheri kama makosa yametikea turekebishe kwa hekima waislamu yatakiwa tuwe kitu kimoja na tufundishane kwa upole

  • @fatmaally7241
    @fatmaally7241 ปีที่แล้ว +8

    Tatizo la alhatmiy unapenda sana wali ndomana kila kukicha unapigania barzanji na unauhakika ni kitabu kibovu andaa majibu kwa allah

    • @ashurswaleh6106
      @ashurswaleh6106 ปีที่แล้ว

      Haha stiri

    • @burundiwoodfilmsproduction2008
      @burundiwoodfilmsproduction2008 ปีที่แล้ว

      Huna adabu Fatima Ally, tutakapo kuwa tukizungumza kwa masheikh zetu tutumie kauli za adabu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Tatizo kubwa la mawahabi ni ubahili.watu wakila waliwao huona na wao watachangishwa. Ndiyo maana wanautia wali wa baraka wa maulidini. Pili ilio shamba mawahabi inawawashia nini kama siumbea

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline ปีที่แล้ว

      Uwezo wa kielimu na kiadabu huonekana kwenye comment

    • @fatmaally7241
      @fatmaally7241 ปีที่แล้ว

      @@burundiwoodfilmsproduction2008 adabu unazo weye

  • @kitosio
    @kitosio 11 หลายเดือนก่อน

    Huna Lugha hapa. Hoja nyny na MASAHABA Nani Bora mpaka mkaazisha Utumbo huo. Angalieni Maswahaba njia waliyopita kumfuata mjumbe wa ALLAH MUHAMMAD (S.A.W)

  • @mursalabdallah8139
    @mursalabdallah8139 ปีที่แล้ว +8

    shekh Mohammed bachu yupo sasahi naam Allah ibarik

  • @user-ik1dv8km8c
    @user-ik1dv8km8c 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shk Alhad unaelimugani

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 ปีที่แล้ว +8

    Na pia nimeangalia sana maongezi ya ALHATIMY,huwa anatumia rai yake au akili yake kuzungumzia au kuelezea analolielezea,tofauti na maana halisi ya ilivyo,bado hawezi kujibu hoja za zilizotolewa na MUHAMMAD BACHU.Na kuondosha mzizi wa malumbano kama unajiamini wekeni mjadala,Mwenzio yuko tayar wakati wowote..

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว +1

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

    • @mahersuleiman5767
      @mahersuleiman5767 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @johariabdalla3319
      @johariabdalla3319 ปีที่แล้ว +1

      @@abdallahismael3993 sisi...au nyie tayar mshapotezwa huko,na bado mnaendelea kutetea kupotezwa!na pia namshukuru Mungu nimeshapita darasani..na naendelea madarasa mengine,ila ukweli uko wazi

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 ปีที่แล้ว +1

      Shida hata likitamkwa neno kariina hamlijui mtaelewa nini zaidi ya kufuata mkumbo tu,Darasa pana sana Shekh kaeleza wala hamuelewi

    • @iddyjohn1032
      @iddyjohn1032 ปีที่แล้ว

      Watu wa kukata kanzu mnamatatizo sana,elimu ndogo mnaingia kwenye media,hovyooooooooooo

  • @husseinmaalim885
    @husseinmaalim885 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah...Allah atuongoze katika ufahamu sahihi wa dini na atuepushe hatari ya elimu chache

  • @abusihaa6396
    @abusihaa6396 ปีที่แล้ว +6

    Hatimy mche Allah kila ukijaribu kufungua mdomo wako kumjibu Muhammad Bachu unazidi kujifedhehesha kua wewe ni mbumbu mzungu wa Reli yaani debe tupu

    • @ahmadymuhina6546
      @ahmadymuhina6546 ปีที่แล้ว

      Kivipi ndugu yangu?

    • @hamidmau227
      @hamidmau227 ปีที่แล้ว

      Abuu siha unaendeshwa na matashi na upendeleo wa moyo wako

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 ปีที่แล้ว +1

      @@hamidmau227 ndugu Hamid Allah akusamehe lakini inaonekana hauna Tofauti na sheikh lako yanao toka mdomoni mwako kuelekeza mwengine hua kihakika yaliyo moyoni mwako...kama alivyo ibn al qayyim Allah amrehemu ulimu hufichua yalioko moyoni

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 ปีที่แล้ว

      Ww mwendawazimu mwenzk bachu nyote elimu zero

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 ปีที่แล้ว +1

      @@ahmadmadaai1357 hadani Allah waiyakum hayo ni kawaida kutoka kwa watu wa sampuli yenu kwa taarifa dini sio kama time za mpira (simba na Yanga) ukashabikia bali ni dalili ambazo Alhatimy hana ni mlemba mkubwa tu pia mm sio mfuasi wa Bach bali ni Haq mtu ana faa aifuate na sio mtu

  • @aliabdullahi9200
    @aliabdullahi9200 ปีที่แล้ว +2

    Assalamu aleykum warahmatullahi taala wabarakaatuh.shukran laka ya sheikhy alhatimy mimi nakukubali saana achana na vijana wa zamahizi unajua we alhatimy unaheshimika mbele ya ummah. Asikuchafue yulekijana hana elimu lenye adabu. Kijana kamahuyu usihangaike kwake ni kama bendera fuata upepo.achana naye

    • @swifationlinetv
      @swifationlinetv ปีที่แล้ว

      Hapo umeongea, hakuna haja ya kujibishana na mtu anaetafuta kiki

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว +7

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakat Naomba tuijengeni Dini yetu mzur ,inayotufunza mazur,inayotutakia kheiry ,tuijengeni Dini yetu nasis tuwe watu wazur kwenye maisha yetu ,leo waisilam kwa waisilam tunagombna tunavunjiana heshima ili mrasimmdi mtihan je tunawajengea picha gan makafir na haya makafir ndio qanavowataka sisi tugombne ili wapate fursa ya kutuhatibia maisha yetu ,tujifunze kuwa na maneno mazur na hekma kwenye kufundishana na kuelkekezana.

    • @maalimjaffar5563
      @maalimjaffar5563 ปีที่แล้ว

      Nisawa usemavyo ndugu yangu,,,lkn ikitokea mtu kama huyu anaona masheikh wote hawana wajuwalo kuliko yeye,inabidi aadabishwe kwanza tena hadharani kama yeye mwenyewe alivyotukana hadharani,,,huyu bwana mdogo hamna kitu kichwani mwake,,,ameshindwa hata kufahamu nn barzanji kakusudia aliposema neno "abduka miskiinu",jee twatarajia nn kutoka kwa mpotoshaji na mkufurishaji mkubwa huyu.

  • @uweyssjawhary5587
    @uweyssjawhary5587 ปีที่แล้ว +1

    Tumswalieni MTUME MUHAMMAD (S. A.W)

    • @habibahassan8596
      @habibahassan8596 ปีที่แล้ว

      Allahu- Maswali - wasalaam- Allah🤲💖🙏❤️

  • @zuberikasonso4104
    @zuberikasonso4104 ปีที่แล้ว +16

    Allah akihifadhi sheikh alhatimy

  • @Abdulracheed
    @Abdulracheed ปีที่แล้ว +2

    Mimi sijakuelewa ata
    Sasa kama ni mtumwa wa Mtume. S.A.W. Unatuambia nini kuhusu yale maneno ya kumuomba Mtume.
    Sheikh Muhammad Nassoro Bachu yuko sahih kabisa ni ushirikina

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Niambie shekhe mmoja anafuraha bachu ni mwanafunzi wake hamna kwasababu amekosa nidhamu mbele ya wazee wakee

  • @othmanali3820
    @othmanali3820 ปีที่แล้ว +2

    Shekh mungu akulinde na Kila Shari kwa kweli nafrahi Sana ndani ya moyo nikikusikiza

    • @athumanipima
      @athumanipima ปีที่แล้ว

      Ukimsikiliza shekhe yupi sasa

  • @herimatano9636
    @herimatano9636 ปีที่แล้ว +39

    Mi naona Sheikh muhammad Bachu unao uwezo wa kusoma na ukawa Sheikh mkubwa sana, ila kuwa mtafiti alafu kaa na hawa Masheikh unao wakosoa mubadilishane mawazo. Maana unaobishana nao huwafiki kiumri kama ni kukaa majamvini washakaa sana na pengine wamepitia kwa masheikh wakubwa wengi kukuliko.Mi naona utumie hikma usitumie media unawatajirisha tu hawa. Na masheikh wengi wame kukosoa lakini hutaki kubadilika, midomo ya watu sumu brother

  • @hassanmubarak704
    @hassanmubarak704 ปีที่แล้ว +2

    Sheik M. Bachu Anafanya kazi kubwa na nzuri ya kusafisha Aqida na kutoa makosa ya Barzanji na mengi yanatokea ktk maulidi kwa sababu yake, watu wanavuka mipaka, na kutokana na maneno ya barzanji Hoja za Sh. Alhatimi sio sawa, basi ni kujitetea ktk Batil nayo ni miongoni mwa Kibri. Lkn kwanini itetewe Barzanji ya kutungwa wakati haikuwepo wakati wa mtume wala wakati wa swahaba‼️

    • @hamidmau227
      @hamidmau227 ปีที่แล้ว

      Muogope mungu Hassan mubarak

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Mimi namuone huruma bachonelimu kidogo inamuhangaisha sana ,elimu kidogo inamsumbua kijana mdogoo amabae hata mashekhe hawataki kunasibishwa na yeye

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 ปีที่แล้ว +4

    Alhatimy acha kiburi, haki ushaoneshwa, km ni kiarabu humshindi Abulahaby nae yuko motoni, fata haki ukiiona, acha kiburi

    • @twayibshaykhmuhammad1034
      @twayibshaykhmuhammad1034 ปีที่แล้ว

      Wewe akili yako je iko sawa ?? ama wakataa QUR'AANI ?? SHEKH M AL HATIMY ametowa daliili katika QUR'AANI yakuwa عبد inamaana nyingi kwahivyo huyo SHEKHE wa KIWAHAABI anaye juwa maana moja pekee kwa ukosefu ya ILIMU ndiye unaye mfuwaata kasome brother

  • @djumapiliamina1139
    @djumapiliamina1139 11 หลายเดือนก่อน

    Watuu wa bidaa acheni uzushii, njoo kwenye Sunna.Hammad bachu Allah akuhifadhi kwakutuonyesha Yale tulikuwa tukiyasoma bila kujuwa .

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 ปีที่แล้ว +8

    WALLAH WE MTOTO WA MOMBASA HATARI SANA MANENO MAZURI MNOOO KAMA HAJAKUELEWA NA HAPA BASI BANGI ZAKE BADO ZIPO KICHWANI 😂

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว +1

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 ปีที่แล้ว

      @@abdallahismael3993 sahii

  • @kitosio
    @kitosio ปีที่แล้ว

    Shekhe Kilemba Amani Ya ALLAH iwe juu yako. Swali ivi nyny hamkuona Ibada zilizofaradhishwa ambazo hazina Shaka na naamini hamjazumaliza Sunna zote kwanini mnatumia mwanya ambao haukubali. Ivi mkiacha Maulidi mtakuwe mmekosa kumfuata Mtume (S.A.W). Kama hamkupita shule. Tuliyoletewa yanatosha mtu akiyafanya Kwa Ikhlas kuipata Pepo ya ALLAH.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว +3

    Elimu ni bahari,allah tuongoze na utusamehe kwa udhaifu wetu

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja na kutokujua lugha bin Nassor nakuelewa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +5

    Sasa shekh
    ukilera kwa maana ya MTUMWA
    haileti maana انا عبدك مسكين
    Mm n mtumwa wako masikini *
    sasa ndıo nini
    Mimi n mja wako masıkın hii ndıo maaana ya barzanji
    acha ujanja ujanja

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 ปีที่แล้ว +2

      Hiyo utaambiwa ujui maan iliyo kusudia kwa sabab hujui lugh.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Kunakosa gani kusema mimi ni mtumwa wa mtume.masnake nipo kwenye twaa yake.Hawa mawahabi wamerogwa nini

    • @abuukilanga2249
      @abuukilanga2249 ปีที่แล้ว

      Nawewe kasome vilevile

  • @binaley6480
    @binaley6480 ปีที่แล้ว +2

    Mie naona sheikh bachu Yuko sawa

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +4

    Afu mbona umekimbia kule kwenye uongo wa malaika wote na roho ya mtume??

    • @kalelaonlinetv
      @kalelaonlinetv ปีที่แล้ว

      Amejibu aujaona kwani?

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      Kajibu na kajibiwa au wewe hujaona tatizo hamtaki kusikiliza pande zote muelewe nenda kasikilize Hadith aliyotoa imempiga chin haihusiani na kauli yake

    • @allykombo2992
      @allykombo2992 ปีที่แล้ว

      hizo pete hazkuhusu wewe

  • @AsiaChamzuri-ec3gy
    @AsiaChamzuri-ec3gy 11 หลายเดือนก่อน

    Asant shekh muhammad alhatimy Allah awatwawilishe mashekh zetu tuzidi kustafiid

  • @aliabdalla6998
    @aliabdalla6998 ปีที่แล้ว +5

    Kijana Alhatimy umepewa challenge kubali muweke mjadala watu wafaidike, nionavyo waogopa kukubali kwa sababu M Bachu atakuaibisha

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว

    ATAKAMAHIVYO BADO AILETINAANA SHEIKHE ALHATIMI HAPOUNAJITAHIDI KUJITETEATU LAKINI BADO UJAFAULU UKWELI UPOPALEPALE BADO KITABUCHABARZANJI BAHADHIYASEHEMU KINAMAKOSA NATUNAEFANYA NDIOTUNAKOSEA

  • @masoudamour
    @masoudamour ปีที่แล้ว +6

    HATA IMAM.SHAF NAHAMMBAKI NAMALIKI WAKIKOSOWANA ILA WALIHESHIMIANA KILA MTU AKAJUA UMUIMU WA NAFASI YAMWENZIE KWAIY NAC TUUNGANE SOTE KALIMA NIMOJA LAILAH ILLALLAH MUHAMD RASUL LLAH DINI ISONGE MBELEE

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

    Mim Sijui Dini ila Uyuu Sheikh Wa Mombasa Amezingua Sna Hpa Amekosea Sana kuwa Barazanji Alimwambia Mtume Salallahu Waliiyu Wasalamu Kuwa Mim Ni Mtumwa Wako Apa Kiukwel Ni kma Barazanji Alimtukuza Mtume Kumpeleka Daraja La KIMUNGU
    APA Sheikh Atimy Umekosea Kubali Tu

    • @msarama5406
      @msarama5406 ปีที่แล้ว

      Anabisha lakini ukiangalia tafsiri zote alizotoa za neno a'bdu bado huoni kama kajibu hoja zaidi ya kujisifu tu kujua kiarabu na yule hajui

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      @@msarama5406 hawa Watu wa kupiga Maulidi Wana Zidi kutupotosha kusema Ule Ukwel

    • @msarama5406
      @msarama5406 ปีที่แล้ว

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 wanapenda sana kutumia akili na nahau za kiarabu ili kuzungushazungusha maneno

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭
    WENGINE WAVUTAJI BANGI SHEIKH HATMIY WATAKUUMIZA KICHWA!!!

    • @fatmaally7241
      @fatmaally7241 ปีที่แล้ว

      Mh!

    • @ashurswaleh6106
      @ashurswaleh6106 ปีที่แล้ว

      Duh

    • @fatmasalim7132
      @fatmasalim7132 11 หลายเดือนก่อน

      Kama ulimshuhudia akivuta bangi! Lkn kama unamzulia muogope Allah ambae malipo yake huanzia hapa hapa duniani!

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว

    SHEIKHE ALHATIMI KWATAFSIRIZAKO ZOTE 4 AZINAUTOFAUTI NA ANAVYOELEZA MUHAMMAD YANI MUHAMMAD YUPOSAHIHI KABISA

  • @amourmakame9795
    @amourmakame9795 ปีที่แล้ว +3

    Weka mdahalo. Na sheikh wetu Muhammad Nassor bachu

    • @suleymanmadyan1730
      @suleymanmadyan1730 ปีที่แล้ว

      Ww kishabiki tuu ushaonesha dalili zote maana hoja ameizungimza kwa dalili za aya za mungu tena tafsiri zote NNE na bado utaki kuelewa ss hata ukifanywa huo munakasha unaenda kutafuta hakki au unaenda kumshabikia sheikh bachu?

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Niambie shekhe mmoja anafuraha bachu ni mwanafunzi wake hamna kwasababu amekosa nidhamu mbele ya wazee wakee

  • @ibnuomar6108
    @ibnuomar6108 10 หลายเดือนก่อน

    ♥️♥️♥️Love u Alkhatimy

  • @UB40X1
    @UB40X1 ปีที่แล้ว +5

    Baba kubali mjadala wa uso kwa uso in shaa Allah. Utajificha mpaka lini?

    • @fayeezabdallah2217
      @fayeezabdallah2217 ปีที่แล้ว

      Sahih

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

    • @UB40X1
      @UB40X1 ปีที่แล้ว

      @@abdallahismael3993anaepoteza watu ni yule anaetetea shirki na kusema uwongo.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@UB40X1 WAKUONEWA HURUMA NI YULE HAJUI KIARABU. HALAFU ANAWATAFSIRIA WATU.

    • @UB40X1
      @UB40X1 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 usiwe mjinga baba. Majibu hayo th-cam.com/video/RGSiU8QR_lc/w-d-xo.html.

  • @harunaamani7
    @harunaamani7 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh umetishaaa
    Wewe ndie kibokoyaoo

  • @SUNSHINE-fu4ec
    @SUNSHINE-fu4ec ปีที่แล้ว +11

    Niko na maswali mawili:-
    1]Kwa nini sheikh Alhad Al hatimy amkosoe sheikh Mohamed Bachu ilhali zanzibar wako masheikh wakumjibu?
    2]Masheikh wakikosoana hadharani ( social media )wasikilizaji tushike njia gani sahihi?
    Nasaha:- Dini ya uislam ni dini yenye muongozo bora ikitokea ikhtilaf bax masheikh watatue kwenye msingi ulio na nidham na hishima.
    Social media ni mtandao unao tizamwa dunia nzima.Mukionekana munagombana inaleta picha mbaya kwa waislam na wasio waislam. Itaonekana uislam ni dini ya mizozo

    • @abuukilanga2249
      @abuukilanga2249 ปีที่แล้ว +1

      Kaongelea kenya huyo bachu na akamtaja lazima amjibu

    • @huntermakini
      @huntermakini ปีที่แล้ว

      Dini ya uislam co ya mzozo. Nna uhakika nailo. Ngoja sku ya kiama utajua

    • @DHIKRATV005
      @DHIKRATV005 ปีที่แล้ว

      @@huntermakini Mjadala upo katika uislam mbona inatakiwa watu wajadilane ili upatikane ukweli dini isongembele

    • @ramadhanitwahili6837
      @ramadhanitwahili6837 ปีที่แล้ว +1

      Kama mtu akiongelea jambo lolote la dini kwenye media likiwa sawa tutalisikia wote na likiwa baya pia tutalisikia wote kwaiyo mtu akialibu kwenye media lazima ajibiwe kupia iyoiyo media mana akichwa waliomsikiliza watamuona yeye yupo sawa.

    • @AbdulHassan-yq4ze
      @AbdulHassan-yq4ze ปีที่แล้ว

      Dini haijabagua mzanzibar au au mmbara kam anmuek saw angetafuta nmb yake nd amkoso

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Alhatmy amekaa kama adui wa kihindi 💯👌

    • @AllyAlly-ud6wv
      @AllyAlly-ud6wv ปีที่แล้ว

      Ww mwenyewe hadui dini umeijua uzeeni

    • @zamzamabdalla4338
      @zamzamabdalla4338 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @mohamedhalake5983
    @mohamedhalake5983 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU akuhufadhi shekh m hatimmy

  • @nahnuissa7653
    @nahnuissa7653 10 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar wanadharau sana wajiona wao ndonwasomi pekeao duniani kaah....hiki ni kiburi hiki sasa

  • @nhamoabdalanze341
    @nhamoabdalanze341 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh muhammad alhatimy muelimishe huyo kijana bado ilmu yake no ndogo, allah akuongoze muhammade alhatimy, tunakukubali sheikh huku kwetu Moçambique mocimboa da praia.

  • @musamohamed5830
    @musamohamed5830 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu hatimy kwanza ni kalasinga na hiyo kilemba chake,kijana wa bachu anatetea dini alofundisha mtume Muhammad pbuh

  • @tawhiidwasunnah2023
    @tawhiidwasunnah2023 ปีที่แล้ว +4

    انا لله و انا اليه راجعون

  • @user-yc2ys6xc1y
    @user-yc2ys6xc1y ปีที่แล้ว

    Wewe cjui alhad wajichanganya tu wataka wafwasi kwa batil....mungu akuongoze.....

  • @shafydauda5
    @shafydauda5 ปีที่แล้ว +3

    Kipengele ni abduka siyo abdu

  • @sillycamara4997
    @sillycamara4997 ปีที่แล้ว +1

    Allahou akbar allahou akbar

  • @abdulkarimsalum356
    @abdulkarimsalum356 ปีที่แล้ว +3

    safi sana shekh Alhatmy!

    • @is-haqmf8513
      @is-haqmf8513 ปีที่แล้ว +1

      Juzi Sabas kilimramba kwenye munaqasha, tunataka pia huyu AlHatmy akaoshwe

  • @binuthaymeen9885
    @binuthaymeen9885 ปีที่แล้ว

    Mbna umejibu moja na shirk nyingi Kasema shekh Muhammad Bachu

  • @travy0110
    @travy0110 ปีที่แล้ว +13

    Waislam wenyewe haelewi, mara sheikh mkuu katumbuliwa, mara bakwata sijui nini, mara ma ulamaa yaan shida Tu, mara Yule rafiki Ake na sharifu majini anamsema vibaya sheikh wa mwanza anasema mwizi mara hafai sijui hafungi, Leo tena bachu na mwaraaabu anaejivunia lugha.... Mambo ya kuitanana na kuyaweka Sawa... Wanatumia mitandao kuchafuana na kukosoana na kudhalilishana wao Kwa wao, daah aibu sana Mungu atusaidie😭😭

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣
      Mara dr mwaka. Mara jalala na mziwanda. Huu mwaka wa mashekh

    • @travy0110
      @travy0110 ปีที่แล้ว +1

      @@adamhashim3352 wanazngua sana masheikh asee

    • @ramadhanmakame1328
      @ramadhanmakame1328 ปีที่แล้ว +1

      Akosolewe hadharani kama alivyojifanya kukosoa hadharani. Hana adabu

    • @kassimmanaramalika8592
      @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว

      Allahumma Amiin Yaa Rabbi atunusuru na hizi tabia Zao Allahumma Amiin Yaa Rabbi Mtihani mkubwa kwakweli

    • @AMIRIAMIR-gp4uu
      @AMIRIAMIR-gp4uu ปีที่แล้ว

      Mbn maneno yako hayanq hekma wewe Ni Muislamu Kweli? Hizi tofauti Ni rehma Na akikosea mtu anambiwa ukweli

  • @suleimanahmed5571
    @suleimanahmed5571 ปีที่แล้ว +1

    Muhammad Bachu Ako sawa

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว +3

    Kwani anazungumza na mtume uso kwa uso au alikua akimsifu kwani barazanji ni swahaba???? Jengine kuhusu kukosolewa hata kama ni ulamaa kukosolewa ikibidi kukosolewa ikiwa alikosolewa amir muumina omar bin hatwab na yule mama kuhusu mambo ya mahari na omar akasema huyu mama kapatia na omar kakosea kwa hiyo suala na kukosolewa ulamaa ikibidi atakosolewa tu

  • @ramiahassani5603
    @ramiahassani5603 ปีที่แล้ว +1

    Mashekh wa siku hizi naona mnapenda sana kuwa wapumbavu,
    ni sifa hio sio tusi,
    maana mpumbavu ni mtu anaweza kuwa na elimu lakini haachi upumbavu wake,
    na mtu mjinga ni mtu asie na elimu na ukimuelimisha huelimika na kuelewa,
    lakini siku hizi watu wapo wamesoma mavitabu ambayo unaweza ukayapakia kwenye Fuso na ikajaa full lakini kwa kuwa watu hao ni wapumbavu bado wataendeleza huo upumbavu wao tu,
    sishabikii shekh yeyote hapo lakini hebu tuchambue maneno ya huyu alie jitapa ana elimu ya kumfundisha huyo mwezake,
    1
    Al'ghabdu الْعَبدُ kwa maana ya mtu mtumwa kilugha na sio kiibada,
    na ni japo ni mtu mtumwa kilugha na sio kiibada, lakini huyo mtu ambae hapo anaitwa mtumwa ataenda kumtumikia boss wake anae mmiliki kwa kumfanyia kazi atakazo ziitaji huyo mtumwa wake amfanyie,
    kwa maana hii ndio huyu shekh alie jitapa ana elimu ndio ambayo mtunzi wa kitabu
    Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī aliimaanisha, wakati akitunga kitabu chake hicho cha Mauld Barzanjī mwaka 1317 Hijiria mwaka wa Kiislam ambayo ni sawa ilikiwa kwa mwaka huu wa Kikafiri ambao sasa ni 2023 sasa wakati Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī anatunga hiki kitabu cha maulidi ilikuwa mwaka wa kikafiri ni 1899,
    2023-1899=124
    kwahio tangia kitabu cha maulidi kitungwe na Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī ni miaka 124 imepita,
    na jee wakati anatunga hichi kitabu mwaka 1317 Hijiria na kipindi tangu Mtume wetu Muhammad صلى الله عليه و سلم amekufa ilikua ni miaka mingapi!?
    Mtume wetu Waislam amekufa mwaka wa 11Hijiria,
    sasa wakati Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī anatunga kitabu cha maulidi ni mwaka 1317 Hijiria,
    yaani ni 1317-11=1306
    kwahio baada ya Mtume wetu Waislam kufa ilipita miaka 1306 ndio Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī anakuja kutunga hiki kitabu cha maulidi,
    sasa turudi kwenye uchambuzi,
    kwahio hapo kwenye maana ya kwanza ya mtumwa العبد tumeona ni mtumwa kilugha wa kutumikishwa,
    SWALI,
    (1)
    Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī
    alishaa wahi kuwa mtumwa wa Mtume kwa maana hii!?
    jibu ni hapana Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī na Mtume wetu صلى الله عليه و سلم wala hawajawahi kuonana na ni kama tulivyoona ni baada ya miaka 1306 kupita ndio Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī anachukua jukumu la kutunga kitabu hicho cha Mauldi,
    kwa kuwa Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī na Mtume hawajawahi kuonana hicho kipengele cha wewe unae jitapa una elimu ulicho kiweka العبد Al'ghabdu maana ya mtu mtumwa kama hio تعمس عبد دينار والدرهم ameangamia mtumwa wa kuitumikia Diinaar na Dirham hakikubaliani,
    na maana itakayo kubaliana ni maana ya mtumwa wa kiibada tu,
    na maana ya mtumwa wa mtu kutumikishwa na mwingine haingii kwasababu Ja’far ibn Ismā’īl al-Barzanjī hajawahi kutumikishwa na Mtume hata kumbebea kilemba chake tu,
    kwahio maana ya العبد Al'ghabdu itakayo ingia ni al'ghabdu ya kiibada tu,
    na hata ukitumia mifano hio hio ulio iweka mwenyewe wewe ulie jitapa una elimu,
    kama
    mtumwa wa
    تعمس عبد دينار والدرهم ameangamia mtumwa wa
    kuitumikia Diinaar na Dirham,
    kwahio mtumwa wa kuitumikia pesa ambayo ni ilitajwa Diinaar au Dirham wa kwanza, na mtumwa wa kumaanisha wa kumtumikia Mtume kama ulivyo maanisha wa pili,
    na mtumwa wa kumtumikia Mwenyezi Mungu wa tatu,
    1 Diinaar
    2Mtume
    3Mwenyezi Mungu,
    mtumwa wa kwanza wa Diinaar tayari mtume ameshaa sema mtumwa huyo kaangamia,kwahio na kama Jaafar nae umemlinganisha hivyo tayari wewe mwenyewe umemuweka Jaafari kwenye juangamia kwa kutangaza ni mtumwa kwa Mtume,
    mtumwa wa pili ambae ni Jaafar ingali sio tabia ya Mtume kumiliki mtumwa kama unavyo taka kummaanishia Jaafar,
    tabia ya Mtume wetu ni kuwakomboa watumwa,
    lakini ni kioja kilioje unacho kilete mpaka mwaka 1317 bado unaongopea watu eti Mtume ana mtumwa wake aitwae Jaafar!!
    langu la mwisho wote muache upumbavu,
    sio tusi hilo, ila ni sifa hata ukasoma vipi ukiwa mtu una sifa ya upumbavu hutaiacha.

  • @badrumbaruku
    @badrumbaruku ปีที่แล้ว +18

    Muhammad bachu ilimu yake ni ya ria sana ajirekebishe muda bado anao Ila mungu hapendi watu wanao penda kujivuna mm nimeona clip nying ambazo anakosowa mashekhe wengine kana kwamba yy tayar amemaliza elim yote elimu siku zote ni kama bahar ww ukiwa umefahamu ivo na mwengine amefahamu vingine mwenye elimu mzur ni yule mwenye hekma na wala c anaekashifu watu hii ni elimu ya kibri Allah aalam.

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa Yani anajiona yeye huyu shekhe bachu Kila kitu anajua nakujifanya kuwakosoa wenzie tena hadharani Hana hekma kabisa huyu shekhe mtu mwenye hikma hata km mashekhe wenzie iwe kweli hawajui ilikuwa awaite wakae pamoja warekebishane ana riyaa kweli kweli huyu bachu ana sifa waislam tunaelekea wapi uislam ni hikma upole sipendi Mimi mtu mwenye sifa

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      Umepasua Moyo wake ukajuwa ni riya siyo au ndo ile tabia yenu ya kudai kujua ghaibu ??

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      @@azizaabeid2055 sheikh wako kaambiwa m bacho tukae face to face tuone Nan Ana hoja sheikh wako ameingia mitini afu mnasema Ana elm kweli mjinga hawez jua mwenye elim ndo Mana mnangangana sheikh wetu hamjui alicho nacho tumuombe Allah atupe afya na Salam tuone mwisho wake.

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      @@azizaabeid2055 sheikh wako kaambiwa m bacho tukae face to face tuone Nan Ana hoja sheikh wako ameingia mitini afu mnasema Ana elm kweli mjinga hawez jua mwenye elim ndo Mana mnangangana sheikh wetu hamjui alicho nacho tumuombe Allah atupe faya na Salam tune mwisho wake.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว +1

      @@albassammusaalbassam7487 si tunamuona anavyopenda kujigamba

  • @zainabkiarie9163
    @zainabkiarie9163 ปีที่แล้ว

    Tunawaomba musikosoane.Allah alituusia kufikishiane jambo kuwa ni Aya Moja.

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 ปีที่แล้ว +6

    Huyu bwana mdogo anakuwa anazingua sana anatakiwa ajuwe kuwa kuna watu wanaelim zaid yake

    • @khalidjmaftah9449
      @khalidjmaftah9449 10 หลายเดือนก่อน

      Anaelewa madhara ya shirki, ndio maan anakutahadharisheni

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว

    ATAKAMA ALIEANDIKA BARZANJI ANAELIMUKUBWA KWANIMWENYE ELIMU AWEZIKUKOSEA NAESIBINAADAM NYINYIMASHEIKHE MUNACHELEWESHA MAENDELEO YAKIISLAMU KUUTWA KUBISHANABISHANA HADHARANI KAMANYINYI MUMESOMA NAWEWE UNASEMA MUHAMMAD AJASOMA WW NDIOUMESOMA NAALIESOMA AKOSEI MWENYE ELIMU AKOSEI MBONAWEWE UNABISHANA NAMUNADHALILISHANA NAMUISLAMUMWENZAKE HADHARANI HAPO NDIOUJUE ATAMWENYEELIMU KUMBE ANAKOSEA HIYOMAULIDI KUNASEHEMU ZIMEKOSEWA

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 ปีที่แล้ว +4

    Nakhofia,naogopa malumbano haya yasiokwisha yasije kuzaa vibri (kibri) kwa mashekhe zetu.Allwah atunusuru sote.

    • @shamimnassor3700
      @shamimnassor3700 ปีที่แล้ว

      Tayari yamezaa kibri..mtazame yule aitwae dulele sijui WA Mombasa kibri sana yule mpaka anafikia kuwafananisha masheikh wenzake na hayawani wanaofaa kutengengwa ..kwa maana yeye amejiandalia Pepo tayari

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 8 หลายเดือนก่อน

    sisi mamuma tunawatazama tu tunachokitaka maulidi ni katika suna na kuruani mambo ya elimu mwenyezi mungu ndiye mjuzi zaidi mkipotosha waislamu wakaacha swala nyinyi mnadhima

  • @khamishassan4744
    @khamishassan4744 ปีที่แล้ว +3

    Shkh wangu naona unashub ha nyingi sasa si maana moja hio ww vp uko sawa lkn

  • @mamaryammaryam7873
    @mamaryammaryam7873 ปีที่แล้ว +1

    Aslam.mimi naomba muelimishana kuliko kusemzana Kwa mitandaoo sio mafundisho ya Rasull Allah.

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid ปีที่แล้ว +5

    Hawa wazushi hoja zao kubwa husema watu hawajui lugha lakini kamwe kujibu mada ni jambo kubwa mno! Sijaskia akijikwamua kokote!!! Jibu swali

    • @yasinitwaha3192
      @yasinitwaha3192 ปีที่แล้ว

      Wewe huelewii acha upuuzii lugha hamjui mtatafsir vip mkasomeee

    • @abuujibriltv5233
      @abuujibriltv5233 ปีที่แล้ว

      Mawahabi ugonjwa wanu mkubwa ni uchache waelimu khaswa kw lugha na ndiyo maana mna tafsiri mbovu mbovu mki tafsri kiarabu

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +2

      @@yasinitwaha3192 naona unajoha kubwa lkn elim huna ispokuwa ya kusomea Dua tu labda lkn tawhid hamna hapo ndo Mana mnatetea paka beiti za shirk kwasbb mmesomea kusoma maulid tu vingine hamna kitu km huyu sheikh hata mie nikiweka mnakasha naye nampiga Chino kwasbb jazba kubwa kuliko hoja je wewe mwenye johaa kubwa HV hiyo tafsir aliyotoa kwa akili yako ni sawa??

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      @@abuujibriltv5233 toeni dalili za kitab na sunna Kisha weken wanachuoni wenye nguvu waliosema hizo siyo shirk afu achen uchawa kwa masheikh kwasbb mkifanya uchawa hamtawez ona makosa yake au mtawafichia makosa yao nalo nijambo baya kwa Allah.

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid ปีที่แล้ว +1

      Yaani amerukaruka na hakujibu hata swali moja la sheikh Mohammad Bachu

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 ปีที่แล้ว

    Mohammad Bachu hajuwi kilichoandikwa wala kilichokusudiwa kwenye hicho kitabu cha Barzanji. Tatizo ni kwamba weengi hatujuwi,waliopita walishindwa kukipigia kelele kitabu cha Barzanji ili kiachwe na wakashindwa so wametumwa wengine waje na kasi kubwaaa. Miongini mwa hao waliotumwa ni Mohammad Bachu lakini In shaa Allaah na yeye atashindwa kama walivyoshindwa hao watangukizi wake.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 ปีที่แล้ว +23

    رحم الله إمامنا جعفر البرزنجي
    و صلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين

    • @allykombo2992
      @allykombo2992 ปีที่แล้ว +1

      sawa sheikh muhammad alhady mungu akuhifadhi mfunze huyo mjinga alokuwa hataki kusoma

    • @khalidmudathir4388
      @khalidmudathir4388 ปีที่แล้ว

      Ndugu zangu Shirki kwani hamuijui..?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +2

      @@khalidmudathir4388 shirki inajulikana, ndio maana wanachuoni walitunga vitabu kwa uweledi ila wajinga Leo ni zogo tu.

    • @bishingwemaxime3655
      @bishingwemaxime3655 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 sheikh muhammad alhatimy hana mfano

    • @osmaniidrisa6290
      @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

      Nasikia jafar barzanji alikua mshia

  • @mahrezyusuf6017
    @mahrezyusuf6017 ปีที่แล้ว

    Muhammad yup saw

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 ปีที่แล้ว +3

    Du wajua tafsiri moja kama mwanafunzi wa chumba cha kwanza nasari.rudi chuoni

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว

      Huwa hamfuatilii pande zote mnaziba masikio kusikiliza upande moja tu lini mtajua haki iko wapi nyie alivyotafsir huyo mzushi mnaona kapatia balaaa acha ije ifafanuliwe vzuri afu ndo mtaona kumbe alijificha kwenye mkaranga.

    • @abou_hamrad
      @abou_hamrad ปีที่แล้ว

      @@albassammusaalbassam7487 tafsiri ya 'abdu akhi...ndio ilioelezwa, mjadala wote uko hapo mmoja ajua maana moja tu.

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว

      @@abou_hamrad wewe bado hujui chochote sisi tupo tuna msikiliza akhy wetu m bacho amejibu Hilo Jambo kaangalie ndo ujue ushikina uko wapi na amefafanua kwa elm kuhusu hiyo mja ilivyotumika nenda utapata faida na utaachana na hao mashehena

    • @abou_hamrad
      @abou_hamrad ปีที่แล้ว

      @@albassammusaalbassam7487 Alhamdulillah, mm mwenyewe msomi, nasubiri kuingia 'Jami'a' na kwa elimu nilo nayo nang'amua ukweli wala siyumbishwi

  • @abdulrahmansalim3016
    @abdulrahmansalim3016 ปีที่แล้ว

    Sheikh Alhatimy kwakuwa umejitoa kuwaelimisha hao wasiopenda Mtume (S. A. W) akumbukwe kwa mashairi na kutuaminisha kwamba wanazuoni waliotumia muda na elmu zao kumsifu katika mikusanyiko kwa kuandika vitabu, basi wewe pekee unawatosha bila ya hata Mashekhe wengine kuingilia, maana kama wao wapo wengi na wewe upekee na wanakushindwa kwa hoja basi wasione aibu wakufuate uwape elmu. Mwenyezi Mungu azidi kukulinda.
    Sisi sote tunaamini kwamba Qur'an ilikusanywa na kuwekwa pamoja baada ya Mtume (S. A. W) kuondoka duniani. Mbona hawasemi kama nayo ni bidaa maana haikufanyika wakati wa Mtume.
    Hawa wapotoshaji, wenye elmu ndogo usichoke kuwaelimisha ili nasi tusio na elimu tuelimike kupitia Shubha za namna hii ili tusibabaike tunapokutana nao humu mitaani.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh usipande presha bure kijana mohammed bacho amekutaka muonane uso kwa uso mufanye mdahalo haina haja ya kupasuka kifua

  • @MAPETEE
    @MAPETEE ปีที่แล้ว +1

    Hatimy Asante Allah Akupe umri mrefu zidi kua fundisha Hawa wajinga kina Muhamed Bachu

  • @bakariomari9304
    @bakariomari9304 ปีที่แล้ว +3

    Shehe alhatimu usiwekee mjadala na huyo kijana kwan hana elimu ya lugha

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Pia bachu hana adabu

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Mimi namuone huruma bachonelimu kidogo inamuhangaisha sana ,elimu kidogo inamsumbua kijana mdogoo amabae hata mashekhe hawataki kunasibishwa na yeye

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc ปีที่แล้ว +2

    Quran na Sunna, discuss Quran na hadith za Mtume (SAW). Hii Barazanji ni mtihani mkubwa kuna kipindi tupo chuoni karibu na mfunguo sita nguvu ya kusoma inapelekwa kusoma mazoezi ya maulidi na kasida badala ya Quran. Pia huo wakati wetu chuoni tukisomeshwa Quran na Maulid badala ya hadithi za Mtume.

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +3

    KUMBE BACHU UONEWE HURUMA WEYE HUJUI KIARABU.

    • @mrbasit4718
      @mrbasit4718 11 หลายเดือนก่อน

      Wakuonewa huruma ni ww muislamu Ambae hujuwi nguzo za dini yako nani na kutoka wapi uifuate dini sahihi. Alyauma akmaltu lakum dinukum watmamtu alaykum niimatiii waraziitul bil islamu diin. Kwa hiyo dini imekamilika na ipo safi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 11 หลายเดือนก่อน

      @@mrbasit4718 TAWHEED Tatu zimeletwa karne ya 7, wakati dini ILIKAMILIKA na kalimatu tawheed moja ya LAAILAA HAILALLAHU.
      ☝️Tukaanzisha BIDA'A POTOVU ya tawheed Tatu kama wasabato. Ah! Mwenye kufuata kundi hilo basi ameangamia na ametoka katika Uislamu sahihi.

  • @user-mp5cr5hu1l
    @user-mp5cr5hu1l ปีที่แล้ว

    Maasha ALLAAHU!Sheikh Muhammadu ibnu Bacho ana elimu,lakini "PENYE MJUZI PANA MJUZI ZAIDI".

    • @sirajimsuya6226
      @sirajimsuya6226 11 หลายเดือนก่อน

      Elimu ndigo ya bachu

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 ปีที่แล้ว +6

    Sheikh kijana ameomba mjadala wakiilimu ambao utaendeshwa kwa hoja ...mkabalie basi.....

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

  • @seifkifundi904
    @seifkifundi904 ปีที่แล้ว +1

    IFIKE WAKATI MASHEIKH MUHESHIMIANE NA MUWE MNAUUNGANISHA UISLAMU SIO KUTUGAWA

  • @fahmymasoud1205
    @fahmymasoud1205 ปีที่แล้ว +3

    Muhammad anakosa adabu....kabla ya kuja hivi vitoto,,masheikh wote waliheshimiana...bora hivi wajibiwe

    • @zahorsuleyman3429
      @zahorsuleyman3429 ปีที่แล้ว +3

      Km umemsikikiza alichosema Muhammad bachu vizur na huyo hatimy bac ungeelewa umechukua maneno kiushabiki Wacha mdomo wa matusi ww kumbuka utaulizwa kuwaita watu mayahudi siku ikifika hutakua na jibu usiendekeze hasira

    • @salehabood7140
      @salehabood7140 ปีที่แล้ว +2

      Kwahio ww unataka mtu asiseme ukwelii,bachu yupo sahihi,

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Niambie shekhe mmoja anafuraha bachu ni mwanafunzi wake hamna kwasababu amekosa nidhamu mbele ya wazee wakee na anawatukanishaa wanamuacha apotee

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid ปีที่แล้ว

    Huwezi kumtia kitanzini mtu wa tawheed. Mwenye kusikiliza maneno yako na ya sheikh Mohammad Bachu hana haja maelezo zaidi.

  • @mansourhubby7398
    @mansourhubby7398 ปีที่แล้ว +3

    Njooni mezani mjadiliane yaishe ama mwaogopana

    • @fahmymasoud1205
      @fahmymasoud1205 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli ila yote haya ni huyu mtoto kutokua na adabu...heshima ingekuepo kwa wenzake yasingekua hivi....mbona masheikh waliopita waliheshimiana...Allah amuhifadhi sh Hatmy

  • @hajimuhidini1903
    @hajimuhidini1903 ปีที่แล้ว

    الحمد لله الذي انزل على عبده الكتاب ولم يجعل له عوجا Hapa sheikh katizametena wanachuoni watafsiri wametafsiri vipi pia na lugha ya kiarabu haangalia kanuni za lugha katika kutoa maana ya ibara

  • @abdulimapande4265
    @abdulimapande4265 ปีที่แล้ว +4

    Nenda darasani ukasome dogo usitafute kiki kupitia mashekhe unataka kuniambia mashekhe wote duniani toka asili hawajui kitafsiri ila wew mtoto wa juzi hapa mpuuz mkubwa wee kasome.

  • @usamaharith
    @usamaharith ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 ปีที่แล้ว +10

    WE MTOTO WA MOMBASA MOTO 🔥🔥 MFUNDISHE HUYO KIJANA CHA BACHU

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +1

      Atamfundisha nn na hajui kitu huyo macho na jazaba tu

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 ปีที่แล้ว

      @@albassammusaalbassam7487 unaota wewe amka utajinyea 😀

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@albassammusaalbassam7487 kawatajia ushahidi wa aya ya Quran.kama mnapinga toeni dalili

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 ปีที่แล้ว

      Waislamu nkienda darsani msomeee mtajua alhatimey amesoma ,ingia darsani ikue balagha ingia darsani ,usiskize shekhe ingia darsani usomee huyu kijana atawapoteza ikiwa hujasoma huwezi elewa,kitambu mpaka wenyewe wakueleweshe ,pia gari zina manual book jinsi utakitumia

    • @khalidmudathir4388
      @khalidmudathir4388 ปีที่แล้ว

      Jamaa kuskiliza bila kuchagua kundi ndio utaelewa haki ipo wapi

  • @banchuchuali8631
    @banchuchuali8631 ปีที่แล้ว +2

    Skh wangu huyu m.bachu mwenda wazimu na ametumwa na mashia kuwakorofisha waislam

    • @khalidjmaftah9449
      @khalidjmaftah9449 10 หลายเดือนก่อน

      Ushahid huu utakuja kuutoa siku ya kiama??

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 ปีที่แล้ว +4

    Bachu mshindani Shukran Sheikh wetu