MAULIDI HAYASIMAMI BILA YA KUMSINGIZIA UONGO MTUME WETU || Muhammad Bachu || 29/9/2023.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 598

  • @ninononi3674
    @ninononi3674 ปีที่แล้ว +13

    M/Mungu amelinyanyua jina lako kwa sababu ya kuipigania Haqi "{Namuomba allah aliye shinda na kutukuka akuthibitishe ktk Haq nawala asikuwache peke yako.

  • @allyabdallah4679
    @allyabdallah4679 ปีที่แล้ว +9

    Mashaa Allah sheikh Mohammed bachu Allah akuongoze katika kutetea haki usiache akhy katika kutetea haki

  • @omariweldingfabrication7630
    @omariweldingfabrication7630 ปีที่แล้ว +13

    Mashaa Allah shekhewang.
    Allah yupo pamoja na watu wenye kusema ukweli na kuongoza katika haki .

  • @nasherabdalla2478
    @nasherabdalla2478 ปีที่แล้ว +7

    Allah hafidh ya sheikh Allah akuwezeshe kuitetea sunnah na kupinga maovu

  • @rashidabdulrahman6784
    @rashidabdulrahman6784 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah mashallah mashallah Allah akuhifadhi tunakupenda sana Muhammad bachu

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah sheikh mohamed bachui endeleya na darsa tubate elmu kwanza umetuba elmu tumerekeys kwa hagi baulid tumewa nacwengi wamewata na hawa wangune wanskuyukana watakuja kujuwa hagi Allah atawsba imani kujuwa injuya za hagi

  • @kassimsalim6160
    @kassimsalim6160 ปีที่แล้ว +18

    ماشاء الله تبارك الله يا اخي محمد باشو..... الله يحفظك ويبارك فيك ويطول في عمرك أحبك كثيراً في الله ..... استمر الله في هدايتك وهدايتنا

  • @FadhiliMohammed-w4k
    @FadhiliMohammed-w4k ปีที่แล้ว +4

    Mwenyizi mungu akupe umri mrfu shekh

  • @alaminbahero3604
    @alaminbahero3604 ปีที่แล้ว +9

    Bachu
    أسأل الله الكريم رب العرش العظيم أن يتولاك في الدنيا والآخرة وأن يجعلك مباركا أينما كنت وأن يجعلك ممن إذا أعطي شكر وإذا ابتلي صبر وإذا أذنب استغفر
    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 ปีที่แล้ว +22

    Sheikh Mohammed bacho
    Kwanza kupa hongera Kwa kutoa darsa kubwa Kwa watu wenye akili salama wamekuelewa.
    Pili nakuombea Kwa Allah akulinde na akupe mwisho mwema.

    • @jumasalum2677
      @jumasalum2677 ปีที่แล้ว

      @@sharifuburuhani1969 Sasa hao waiokimbia wamethibitisha wanyama waliongea wakati mimba ya mtume imeingia.
      Nawewe pia hukusoma ndio maana una tawaliwa kifikra

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 ปีที่แล้ว +7

    Allah akuzidishie subra na akupe malipo mema inshaallah

  • @hometownke.9658
    @hometownke.9658 ปีที่แล้ว +11

    ALLAH AKBAR HIZI NDIZO KHUTBA TWAHITAJI KUPEWA KILA LEO ZIDNA ILMA WARUZUQNA FAHMA NAFIAN

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 ปีที่แล้ว +19

    MashaAllah Mwenyezmung akupe umri mrefu upate kuwafungua macho vipifu na una sauti kama ya baba yako

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 ปีที่แล้ว +8

    Mimi ni Mkristo ila kwa kweli napenda jinsi ambavyo Muhammad Bachu anadadavua swala la Maulid. UKWELI usemwe. Nakupenda kwaajili ya Allah Sheikh Bachu. Love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @aliHassan-my7jv
      @aliHassan-my7jv ปีที่แล้ว +1

      Acha unafiki mkristo na maulidi wapi na wapi

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 ปีที่แล้ว +3

      ​@@aliHassan-my7jvsasa unafik gan maana ake anamfuatilia inaweza ikawa ni neema ya kumuingiza katika uislam

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว +2

      @@aliHassan-my7jvebu soma kwaza hilo jina lake kabla yakumwita mnafki

    • @omarmwabege
      @omarmwabege ปีที่แล้ว +2

      Tumia kauli nzuri kwaajili ya Allah

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว

      ​@@aliHassan-my7jvsio vizur, waislam hatupo ivo, unamwita mtu mnafiki Kwa kipi!?, Yan mkristo anaelewa kua jambo la maulidi ni hakuna Kwa sabab yeye ana tumia akili, na wewe uskaze kichwa skiliza hoja na ufate haki acha ushabiki

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah shukurani sana Allah akulipe mm nimejifunza mengi sana Toka uanze kutoa darasa zako

  • @EbrahimEbrahim-bc5ko
    @EbrahimEbrahim-bc5ko ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, تَبَارَكَ اللَّهُ

  • @HawaFakih
    @HawaFakih ปีที่แล้ว +6

    Allah akuhifadhi shehke wetu

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah namuomba Allah akuzidishie elimu yenye manufaa nasi tuzidi kufaidika kutoka kwako na viongozi wengine wakisunnah

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 ปีที่แล้ว +8

    🤲 YAAA ALLAH TULINDIE SHEIKH WETU NASHARI ZA WASIO TAKA KUKUBALI KAMA MAULIDI NI UZUSHI YA RABI🙏

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 ปีที่แล้ว +5

    ALLAHU AKUHIFADHI

  • @abdulkrimalawi7165
    @abdulkrimalawi7165 ปีที่แล้ว +6

    الله يحفظك يا اخي الكريم اخي المحب احبك لأجل الله اعانك الله في حياتيك

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kheir na akihifadhi Bachu.. Inaeleweka sana .. Sisi vijana tunakuelewa hao wenye maslahi hawawezi acha ujinga

  • @wildbaobabsafaris
    @wildbaobabsafaris ปีที่แล้ว +3

    Wallahi nakupenda kwa ajili ya ALLAH, namuomba ALLAH akuhifadhi sana ukupe umri wa kuzidi kupigania haki

  • @MahmoudMohamed-yc6fr
    @MahmoudMohamed-yc6fr ปีที่แล้ว +11

    Masha Allah Mungu akuhifadhi Shekh wetu wewe ni nuur kwa jami

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 ปีที่แล้ว +7

    بارك الله فيكم وحفظكم الله ورعاكم ويرضى الله عليكم ويسعدكم في الدنيا والاخرة يارب اينما كنتم يااحبابي في الله

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 ปีที่แล้ว +14

    Sheikh Mohammed bacho
    Umetufumbua waislam wengi sana asilimia80 tulikua tunadanganywa
    Lakini Allah amekuleta wewe ili utuoneshe njia sahihi
    Allah akulinde na mafasiki
    Akuongoze njia sahihi utumbue
    Majipu Kwa ajili ya kutegemea radhi za ke

  • @gilailarashid6838
    @gilailarashid6838 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, Allah akuzidishie subra

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 ปีที่แล้ว +10

    أسأل الله أن يبارك لكم في حياتكم ويكتب لكم الخير ويوسع أرزاقكم ويهبكم الصحة العافية ويجعل لكم في كل أمر يسر وفي كل رزق بركة ويرزقكم نعيم الدنيا الاخرة

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
    @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 ปีที่แล้ว +10

    Ma shaa Allah walllah tumekuelewa mia mia na hoja zako ziko wazi.
    Allah awaongoze wote walio tawaliwa na nafsi nyoyo zao azilainishe sababu ni ngumu kuliko mawe au zaidi ya mawe .

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 ปีที่แล้ว +16

    Allah akuhifadhi shekh wetu

  • @MaulidFadhil-qi2dh
    @MaulidFadhil-qi2dh ปีที่แล้ว +20

    Bachuu wewe n kiboko wa masufi nakupenda kwa ajili ya allah endelea kuwanyoosha watakuelewa tu!

    • @alumbulaisinda9746
      @alumbulaisinda9746 ปีที่แล้ว

      Lugha za kujifariji

    • @saidimussa-lh8pz
      @saidimussa-lh8pz ปีที่แล้ว +3

      Bachu ni kiboko ya wazushi, Allah ampe umri mrefu na afya na amani na adumu katika kamba ya Allah.

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 ปีที่แล้ว

      Kwanza bachu hapo anafanya bidaa mtume wapi katoa khutba ya ijumaa Kwa lugha nyengine zaidi ya kiarabu na khutba ya ijumaa ni ibadaa khatibu lazima awe na udhu toa hadithi mtume au abubakara au Omar alitoa khutba ijumaa Kwa lugha nyengine yoyote zaidi ya kiarabu

    • @rukiakhamis-le6kg
      @rukiakhamis-le6kg ปีที่แล้ว +1

      ​@@abdallahally842Mhh kwakweli kumbe kuna watu ni maboxi. Mimi nimekuona wewe ni miongoni mwao

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 ปีที่แล้ว

      @@abdallahally842naam
      Hawa mawahabi hawajui maana ya bidaa katika dini.
      Bidaa ni ibada au kitu kilichokuja baada ya Mtume Mohamed Rehma na Amani iwe juu yake.kila kitu tunachotumia kufanya ibada havikuwepo na Mtume hakuvitumia.Quraan tukufu ilivyo andikwa na Irabu iwe rahisi kwetu sisi kusoma,juzuu zilizo orodheshwa toka juzuu 1 mpaka ya 30 istitoshe aya ya kwanza mpaka ya 114.
      Leo iko train toka Jedda to Makkah to Madina badala ya farasi na punda,……..
      Vyote hivyo havikuharamishwa lakini Maulid.
      Eti tunamsingizia uwongo Mtume
      Allah awasamehe Hawa majahil

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khaira jazaa

  • @mustafahakim-iq7dj
    @mustafahakim-iq7dj ปีที่แล้ว +6

    mashallah

  • @mbaroukbakar572
    @mbaroukbakar572 ปีที่แล้ว +8

    "Masha Allah "

  • @AbeidSaid-i8s
    @AbeidSaid-i8s ปีที่แล้ว +2

    maAshaallah mungu akuhifadhi na uendelea kutuelimisha

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 ปีที่แล้ว +11

    IBADA ASOIJUA ALLAH(S.W) WALA MTUME (S.A.W) WALA MAKHALIFA,WALA ASHARA AL MUBASHIRUNA,WALA MAIMAMU WANNE,WALA WEMA WALOTANGULIA......
    ALLAH AKUPAMBE KWA UMRI NA AFYA TUZIDI KUFAIDIKA SHEKHE LETU

    • @Abdallah-i1d
      @Abdallah-i1d ปีที่แล้ว

      Una uhakika Allah na mtume Mohamed (S.A.W) hawajue umma wake watakuja kusoma MAULIDI? Yanayo fanywa katika MAULIDI hayakufanywa wakati wa mtume (S.A.W) NA maswahaba

    • @abuuaisha2619
      @abuuaisha2619 ปีที่แล้ว

      allah akbar.

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes ปีที่แล้ว

      ​@user-hr9kb7ev1i Allah ni mjuzi wa kila kitu, na mtume pia aligusia kuwa kuna zama watakuja watu kumzulia na akatupa onyo, ndo haya twayaona ya maulid na tawasul za kumshirikisha Allah kupitia mtume, tumewaona makhururafa mara ngapi wanampa mtume SAW vyeo visivokua vyake

  • @jamaldineali3228
    @jamaldineali3228 ปีที่แล้ว +7

    Daima nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wango Mozambique

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuhifadh xhek muhamad bachu ukwel utbk ukwel amn mtu atawez kutetea maulid pk qiyama

  • @abubakarkisandoh9541
    @abubakarkisandoh9541 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulinde endelea kuelimisha ila mm naomba masheikh msiwe mkiongelea bidia na uongo wa barzanji tuu kwenye wa mwezi huu ila wewe hata baada ya msimu huu kwenye khutba zenu kueni mkikumbusha uongo huu

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen 🤲🤲 🤲

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah ala neemat Al Islam wa noor Al Haq

  • @khatibrashid172
    @khatibrashid172 ปีที่แล้ว +4

    Enyi waja wa Allah muogopen mola wenu acheni kuchangia ujinga acheni matusi mcheni allah

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla ปีที่แล้ว +2

    الله يحفظك يا يشخنا ويعيذك من كل ذي عين وحسد وسحر وكل سوء .

  • @athumaniomari9760
    @athumaniomari9760 ปีที่แล้ว +5

    maaashaallah allah akulipe kila lakheri uskate tamaa

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 ปีที่แล้ว +34

    Mimi kwakweli nampenda sana huyu kijana pamoja na babayake wallahi hayupo duniani ila kama yupo ametuachia faraja ya mtoto mwema 😢😢😢

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 ปีที่แล้ว +11

    Allah akuhifadhi wewe na kizazi yako tutaonana pepini za bustani yarabb

  • @oman6124
    @oman6124 ปีที่แล้ว +4

    بارك الله فيك

  • @Captainome
    @Captainome ปีที่แล้ว +12

    Maa shaa Allah endelea kutoa elimu.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +11

    Nimekufahamu. Allah akuzidishie.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +10

    mashallah
    baraka Llah fiikum
    Munaqasha wa Tanga na Momnasa , huku kwetu umeleta ATHARI KUBWA sana .
    Watu wengi wameanza kuifuata Suunna
    Leo kila kijana akıwambia MAULID! Atakuuliza wapi dalilii!!!

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek ปีที่แล้ว +5

    Bachu nakupenda sana uje utusalinie uku bumbuli wanabumbuli wanakupenda sana na uku Sunna inaenea kwa kasi

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad 🤲

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 ปีที่แล้ว +12

    Kumbe Leo nimewajuwa wengi Mashekh wanasherekea Maulid kwa sababu tu kijana mdogo ambao wengine wanamzaa wanamsema vibaya kwa ajili tu Ya Mawlid
    Kwa kweli Sheikh Bachu uko juu endelea kufundisha Sunnah mpaka kieleweke

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 ปีที่แล้ว +20

    علامات محبة الرَّسول ﷺ :
    ١- الإيمان بِهِ ﷺ.
    ٢ - تقديم محبته على محبة النفس والولد والوالد..
    ٣ - تقديم طاعته ﷺ على طاعة غيره مِنَ المخلوقين.
    ٤ - تقديم طاعته ﷺ على هوى النفس وشهواتها.
    ٥ - اتباع سنته والاقتداء بِهِ في أقواله وأفعاله.
    ٦ - تصديق أخباره وأقواله.
    ٧ - كثرة ذكره ﷺ والصلاة والسلام عليه .
    ٨ - الدفاع عَنْهُ وعن سُنَّته ﷺ .
    ٩ - تعظيمه وتوقيره ﷺ حيَّا وميتًا .
    ١٠ - مولاة أوليائه وبغض أعدائه ﷺ.
    ١١ - تمني رؤيته ﷺ.
    ١٢ - عَدَم رفع الصوت في حضرته ﷺ.
    ١٣ - عَدَم رفع الصوت عِنْدَ سماع حديثه .
    ١٤ - عدم رفع الصوت في مسجده.
    ١٥ - عدم ذكر اسمه ﷺ مجرداً.
    ١٦ - الصلاة عليه ﷺ عِنْدَ ذكر اسمه.
    ١٧ - مطالعة سيرته ﷺ
    ١٨ - الغيرة له وعلىه وعلى شرعه وسنته.
    ١٩ - الغضب إذا نتقص منه ﷺ وبذل النفس فداء له.
    ٢٠ - عدم ذكر مَا يُزري به ﷺ

  • @muhammadjelle-jk3tu
    @muhammadjelle-jk3tu ปีที่แล้ว +5

    maa Sha Allah

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se ปีที่แล้ว

    Wallahi Billaahi Tallahi,Bachu na wenzake nataka watembee ukimwengu mzima kuendelea kuyapinga Maulidi basi Maulidi hayo yataendelea kuwepo Ulimwenguni

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 ปีที่แล้ว

      ni kweli kwasababu m/mungu anaaema kua hakika ya wale walioamini na kutenda matendo mazuri ni wachache.kwaio kupitia aya hii watakao kua ktk haqi ni wachache na watakao ktk batwil(maulid) ni wengi.

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Sheikh Muhammed Allah akupe uzima na afiya njema akupe mwisho mwema akuepushe na hasada

  • @AliMasigaSaleh-vs2jh
    @AliMasigaSaleh-vs2jh ปีที่แล้ว +7

    Alhamdullilah wauslamu wengi sasa wanafungua macho, na sunnah zimeingia karibu kwa kila mji tangu ukweli usemwe.

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว

      Hakika maana na sis wengine ndo tulikua wapiga madufu lkn saiv mm binafsi kupitia bachu na Dr. Islam kw uwezo wa allah nimeacha maulidi na aina zingine za uzushi

  • @RamadhaniSaidy-s4n
    @RamadhaniSaidy-s4n ปีที่แล้ว +3

    Vizuli sheikh kutfundish sis tulikuwa twasom maulid ingali wadog mpk twajitambuwa Allah akupe afya njema uwendelee kutufndisha

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah shekh Allah akulipe kheri kwa jitihada zako hawa watu wa bidaa wanatamani ardhi ipasuke wajichimbie chini na ukitaka kujua hilo angalia comments zao ni matusi tu ila kazi wanayo kichwa kimoja tu kinasumbua Afrika mashariki wanapokezana vijiti tu leo huyu kesho yule na bado wanafyata mkia. Allah akulinde wewe kizazi chako

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว +1

      ❤😂😂❤❤ alopewa kapewa wewe waache waseme kijana bachu yupo na allah ukizingatia anasema. Hakki yenye dalaili na inayoingia akilini😊

  • @FadhilSaid-mb2yk
    @FadhilSaid-mb2yk ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH

  • @dostikarogi8521
    @dostikarogi8521 ปีที่แล้ว +7

    Well said n its true wanatafuta ya tumbo yao allah akuhifadhi uzidi ku elimisha ndugu zetu.

  • @aliathman7609
    @aliathman7609 ปีที่แล้ว +7

    mashaallah sheikh bachu jazaa yako iko kwa Allah.khutba umeitowa kwa hamasa mapaka ikanikumbusha aya hii; { وَلَقَدۡ نَعۡلَمُ أَنَّكَ یَضِیقُ صَدۡرُكَ بِمَا یَقُولُونَ }

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว

      Imenigusa kuona Aya hii ni. Sawa na mtume akiwalingania watu kama hawa masufi

    • @MussaRashidi-ds6hn
      @MussaRashidi-ds6hn ปีที่แล้ว

      Shekhe yote unayosema nisawa swali nani kamzulia urongo nachukizenu munajiita watuwasunna nahali niwatu wakujivuna Hali inazungumza kabla ya maneno hizochuki bali jengeni uwelewa

    • @aliathman7609
      @aliathman7609 ปีที่แล้ว

      @@MussaRashidi-ds6hn covid 19 bado iko palepale. hayajajibiwa

  • @swalehmohammed3491
    @swalehmohammed3491 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tumefurahi kutupa vitu vya roho Allah akuhifadhi

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek ปีที่แล้ว +6

    Mashaykhi wa maulidi acheni wivu na mtoto wa mwenzenu jifunzeni kupitia huyu mtoto anatisha kwakweli mm ni mtoto mdogo ila nimeingia kwenye sunna mwenyewe kwa mawaidha ya mtoto wa vachu

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว +3

      Allah akuongoze na uzidi kudumu kuishika sunnah Kwa meno ya magego na usiiache❤❤

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 ปีที่แล้ว +10

    NDUGU YANGU IBNU BACHU NAKUNASIHI SANA UCHUNGE ADABUL IKHTILAF
    LEO KUNA MAMBO MENGI MUHIMU YA KUZUNGUMZIA AMBAO NI MUHIMU MNO USISHUKULISHE NA MAULIDI TUSIWE KAMA WANASIASA FIKRA YAKO NI WAZI HESHIMU FIKRA YA WENZAKO SHUKRAN

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 ปีที่แล้ว +2

      Ktk Uislamu hakuna fikra za binafsi ni Qur'an na Sunna tu, ukifanya usafi unaanza ndani kwanza, hayo ya ushoga yako wazi maasi yake. Shk Bachu yuko sahihi kabisa.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 ปีที่แล้ว +2

      Kila mtu afanye kazi kwa nafasi yake. Ndio Maana unawaona kina Mazinge wanapambana na wakristo ukiwaleta huku hawana hiyo elimu ila vifungu vya biblia vimejaa. Wafanya kazi kubwa sana. Na wengine wao ni wataalam wa maswala ya historia wengine wao ni wataalam wa lugha, wengine wao ni Qur'an n.k kwahiyo usitake Bachu aongelee kila kitu wakati wapo wengine pia kila mtu afanye kwa nafasi yake.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna khilafu juu ya Maulid bali khikaf iko kuna wanaofiata matamanio ya nafsi na kuna wanao fuata haki tulikuwa masufi kama ninyi msijaribu kuturudisha huko tumesoma kama ninyi mnaturudisha katika upotevu tena jamani?

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 ปีที่แล้ว

      Kua na dabu wewe pia sababu hata wakati wa mtume muhammad saw unataka kusema walikua wote wakifanya kazi moja tu? Kuna wengine walienda pigana jihad wengine walienda lingania dini kivyengie wengine wakawa askari wa nyumban kwahyo achaneni na Bachu kama mnaumia mshtakieni Allah tuu ndio kila kitu.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 ปีที่แล้ว

      @@omarchaijefwa729 Sasa Uzuka wa maulidi unaingiaje ktk ikhtilaf? Wanyama waliongea ilivoingia mimba ya mtume (s.a.w) ni urongo, km ni kweli wathibishe basi😅😅😅

  • @Arafati-t4y
    @Arafati-t4y ปีที่แล้ว +4

    Mashallh ostazi ulie shikaman na kitabu na sunnah Kwa ufaham wa salaf wema

  • @generalabdize3647
    @generalabdize3647 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah tabaraka Allah ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 ปีที่แล้ว +9

    MashaaAllah simbaa wetu wape mpaka kieleweke,haki yabaki kuwa haki.

  • @chigoboy38
    @chigoboy38 ปีที่แล้ว +5

    Allah ukulinde na hao waovu watu wa twarika

  • @omarsaid2818
    @omarsaid2818 ปีที่แล้ว +2

    Kiboko ya Makhurafi. Allah akupe elimu zaid

  • @abkmavoko
    @abkmavoko ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulila nimepata kujifunza kitu kutoka kwako, sikuwa najua zaidi ya haya.allah akupe umri mrefu na atuongeze walimu wengi kama wewe wenye msimamo huu insha'Allah

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah

  • @AngoligaJamada-ps7zu
    @AngoligaJamada-ps7zu ปีที่แล้ว

    MashaAllah ustadh

  • @IbrahimIsmail-te7mw
    @IbrahimIsmail-te7mw ปีที่แล้ว +11

    mashaallah

  • @hameidseif7083
    @hameidseif7083 ปีที่แล้ว +3

    good boy

  • @husseindiba2169
    @husseindiba2169 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh bachu

  • @amaroo1220
    @amaroo1220 ปีที่แล้ว +17

    Wape Bro! Simama na ukweli, usihofu makundi. Hata ndugu zake Sayyidna Yusuf 3alayhi-Salaam walkuwa "3usbah"

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarakallah

  • @mohamedkibwana7558
    @mohamedkibwana7558 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah

  • @Yousouf-wn1qz
    @Yousouf-wn1qz ปีที่แล้ว

    Mashaalla mwenyezi mungu akuifazi unafahamika kabisa

  • @jamilanassor6975
    @jamilanassor6975 ปีที่แล้ว +5

    Nakuombea allah akuhifadhi katika khifadhi yake ameen

  • @ShaabaniAyyubu
    @ShaabaniAyyubu ปีที่แล้ว +2

    ماشاالله

  • @Mswahili-12
    @Mswahili-12 ปีที่แล้ว +6

    Wallah hawa jamaa wanaoikumbatia bida'a wanajua wazi kwa wanalolifanya halimo kwenye dini ila ni kwamba wanalinda heshima zao .

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว +1

      C waache tu au wataona wameshindwa na hao wanao waita mawahabi??!

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 ปีที่แล้ว +1

      Maulid yanachakaa kila siku. Sisi tunaopinga leo tulikuwa twayatetea kabla na watu akili zinafunguka, ni kweli yataendelea kuwepo lakin kasi itakuwa ndogo sana masna nakumbuja miaka ya 87 moaka tisini na kitu yalikuwa na nguvu sana na lilikuwa jambo la kitaifa na kila kijiji kila nyumba ya muislam lakin linepungua kama asilimia 75 nzima imekatika bado 25 na hii ni kutokana na muamko wa watu kusoma na kujitambua na kuwacha ushabiki wakat wa kusoma.

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 ปีที่แล้ว +15

    Watu wenye akili salama wamekuelewa vizur unachofundisha shekh

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe afya uko juu bin Nassor

  • @abdulkadir-hh7br
    @abdulkadir-hh7br ปีที่แล้ว +1

    Atakwenda jibu kwa Allah uyo bachu kwa kuzuiya kutajwa jina la Mtume wetu na kupiga vita kuenea historia ya mtume wetu
    Sisi tumeanza kumfaham mtume wetu sana kwa kupitia hayo maulid anayoyakataa yeye

    • @Nuruyasunnah.official_tv
      @Nuruyasunnah.official_tv ปีที่แล้ว

      Sio bachu alokataa maulidi hiyo maulidi mtume haijui, maswahaba hawaijui Wala taabiina (wanafunzi). Wa maswahaba hawajafanya

    • @suleymansalim5732
      @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂Unamjua mtume kupitia maulid aseee na quran utaijua kupitia mashindano au😂😂😂 mbona madrasa ni nyingi tatizo nini kwenda kusoma

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot ปีที่แล้ว

    Haya maneno yamekuja mahala pake khasa Wallaahi, na masufi nivichwa ngumu, lkn wanyooshwe hivohivo, ipo siku watakuja kuku kumbuka Shekh Muhammad.

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy ปีที่แล้ว +1

    Unafundisha baba Allah akuhifadhi Na fitna za walimwengu

  • @Fardadihd
    @Fardadihd ปีที่แล้ว +5

    ❤❤❤

  • @MUBKAM-th3ln
    @MUBKAM-th3ln ปีที่แล้ว +2

    Safi kabisaaa ni mwendo wa kupigilia misumari tuu watanyooka mbona😂😂😂

  • @SalmaAbeid-w9t
    @SalmaAbeid-w9t ปีที่แล้ว +3

    ASSALAM WAALEIKUM SHK MOHAMED BACHU ASIYE TAKA KUKUELEWA WALLAHI HUWEZI KUKUELEWA KWA SABABU YA HAWAA ZAO LKN USICHOKE KUWAELEZA WALLAHI HAYA YOTE ULIYO YAELEZA HAWAWEZI KUYAJIBU NA HII NI CHALLENGE CHALLENGE KAMA KWELI WAO NI WATU ILIMI KAMA WANAVYODAI KINA D.J WAJIBU

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie kher ila kaka yangu Mohamed uwe makin watakupa sumu watu wa Bidaa

  • @Abdallah-i1d
    @Abdallah-i1d ปีที่แล้ว

    Hao wanao kusikiza pia hawaja soma, lao wangekua wasomii wange kuweka chini na kukutahadharisha na kauli unazo ongea , Allah akupe ilmu na akuzidishie ufahamu

    • @badrudinsalum3139
      @badrudinsalum3139 ปีที่แล้ว

      Siku zote wapenda maslahi yao binafsi lazima wachukie haki, hivi mpaka mtu afanye bida'a ndo aonekane msomi? Hayo anayoyasema si ya kwakwe ananukuu kwa wanachuoni na anaudhihirishia umma, sasa wewe unataka asome nini ili akurudishe wewe? Yeye kazi yake ni kufikisha tu wanao ongoka wanaongoka na wanaoziba masikio yao kwa pamba waendelee tu, ila Alhamdulillah wengi tunafaidika na tumebadilika, Allah amlipe kheri shekh Bachu na wengine wote wnaoshikamana na Sunnah za Mtume

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 ปีที่แล้ว

      Wewe unaishi dunia gani?? Twarika yupi unaemjua katoa hutba yak kielimu? Moyo wako ushakua mgumu tulalia ukate viuno

  • @wildbaobabsafaris
    @wildbaobabsafaris ปีที่แล้ว +2

    Wewe kweli ni Simba, Masha ALLAH

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 ปีที่แล้ว +2

    Shekh wewe msulimoto jazzka allh kheir

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah endelea kutuelimisha shekh Allah akuhifadhi ....

  • @RamadhanOmar-f5q
    @RamadhanOmar-f5q ปีที่แล้ว

    Khotuba nzur maaashllah,lakni mbna ulishindwa kuthibitisha kweny munaqasha Mombasa....kuhusiana tu na hadithi 😮

  • @assumaniselemani975
    @assumaniselemani975 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 ปีที่แล้ว +11

    Napenda kuwakumbusha msisahau kabisa kuzungumzia haya ma ziara ya Kwenda makaburini kila siku kwa shangwe na ngoma watu kwenda kufanya shirk. Ni msiba mkubwa huu.

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 ปีที่แล้ว

      Hakika kifo ni ukumbusho kwa kila mwenye kukumbuka kama wnaenda na kuwafanyia dua hkuna shida yoyote piga goti soma mwenyewe uckukubali kusomewa shukran